Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

BIBI AMLILIA MAKONDA - AMEAMBIWA AKAMFUFUE MAGUFULI AMSAIDIE - MWAKA wa 3 KANYANGANYWA NYUMBA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2024
  • BIBI AMLILIA MAKONDA - AMEAMBIWA AKAMFUFUE MAGUFULI AMSAIDIE - MWAKA wa 3 KANYANGANYWA NYUMBA...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 557

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 місяців тому +23

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 місяці тому +23

    T M U Team Makonda Ukombozi kama mko hapa tuambiane, kama ww ni muhanga wa leo wa kesho na unamuelewa Makonda naomba tujuane.....
    Na kinamama wote na wajane na wanyonge tusichoke kumuombea Makonda na team yake, asante mama Samia., kwa huyu kijana jasiri na mpenda haki

    • @FredyMolley
      @FredyMolley 2 місяці тому +1

      mungu akubariki San makonda raisi wet we ndo raisi

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 6 місяців тому +23

    Asante Mungu kumpatia huyu Bibi nyumba yake. Be blessed Mh.Makonda kwa kutetea wanyonge

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 6 місяців тому +38

    NAKUKUBALI SANA MWAMBA MAKONDA KWA MOYO HUYO ATA URAIS MIAKA YA MBELE GOMBANIA KIONGOZI 🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @goodlucknnko5493
    @goodlucknnko5493 6 місяців тому +36

    Watu wanakejeli anayoyafanya makonda, lkn kiukweli anafanya mambo makubwa ambayo ndo wananchi masikini wanayoyataka

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 6 місяців тому +56

    Eeh Baba Mungu tutunzie huyu kijana makonda kwa uwezo wake baba🤲

  • @honorascusmatembe2987
    @honorascusmatembe2987 6 місяців тому +7

    Jamani hii nchi munaipeleka wapi kwann watu hawana hofu ya Mungu jamani Asante mama Samia kwa kumteua Mheshimiwa makonda awe mwenezi wa Taifa NEC naomba Mungu azidi kumuongoza katika kutenda kazi yake Muenezi Makondo na Mungu awaguze viongozi wengine wa nchi hi kua Kama huyu jamaa

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 місяці тому +8

    Zaburi 35 ikawalinde Mhshmw Makonda na Team yake...watakaowafuatilia kinyume na kusudi la Mungu, wakashindwe kwa jina la Yesu.

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 6 місяців тому +10

    Ninaona mbegu za Hayati J.P.M Zikimea nakustawi ndani ya mh. Makonda😊💪💪 Mungu akutunze sana baba Kegani💯🔥🔥🔥

    • @sofiasofia7557
      @sofiasofia7557 4 місяці тому +1

      Huyu hakuwa mnafki kwenye nyayo za magufuli wengi tumewaona wamegeuka

    • @deboramuhoja1777
      @deboramuhoja1777 4 місяці тому

      @@sofiasofia7557 kabisa,

    • @angelJacob-op2nw
      @angelJacob-op2nw 14 днів тому

      Haswaaa huyu anazifuata nyayo za magufuli mungu azidi kumlinda na kumtetea nyakati zote ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🌹🌹🌹

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 6 місяців тому +54

    Sasa nimeanza kufatili palikua pamepoa toka magu aondoka makonda ananiparaha🙏🙏🙏🙏💪💪

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 14 днів тому

    Mungu akupe maisha marefu na afya njema siku zote za maisha yako Mh; PAUL MAKONDA❤❤❤❤❤

  • @augustinob.toke1012
    @augustinob.toke1012 6 місяців тому +4

    Maisha marefu Mhe: PAUL MAKONDA kwa kazi nzuri iliyotukuka Mungu akubariki Sana na akuzidishie miaka mingi na kheri duniani pia binafsi natamani niwe mlinzi wako.

  • @malupex6299
    @malupex6299 6 місяців тому +9

    Mungu ni mwema kila wakati na kila saa@ hongera Rais Samia@ asante Makonda..

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 6 місяців тому +24

    Makonda amyatowa maisha yake kwaajili ya wanyonge watamtafuta sana ili wamuuwe lakini Mungu ni mwema jilinde na wanyonge wahimarishe Ulinzi juuyake yupo hatarini sana Jpm walimuuwa kwa kutetea wanyonge 🇹🇿

    • @user-wr7sz7ny9j
      @user-wr7sz7ny9j 6 місяців тому

      Mungu amlinde jamani wakiwaua wote tutasaidiwa na nani sasa mungu

    • @linda99822
      @linda99822 6 місяців тому

      Wamesha Anza kumuroga wamemtumia ata ajali jaman😢😢😢😢😢😢

    • @amanmyolo5359
      @amanmyolo5359 6 місяців тому

      Mungu ni mwema kama musa kwa wana lslaeli. Maisha ya Dunia ya kupita. Na maisha ya mbingu ni ya milele.. Mungu akulinde makonde na hakika watu wema hujitoa kwa ajili ya mungu.

    • @amanmyolo5359
      @amanmyolo5359 6 місяців тому

      Asante mungu hakika umetoa na umeleta magufuri namba 2

    • @zuhoor-mc7hq
      @zuhoor-mc7hq 4 місяці тому

      Tuzidi kumuombea mola amuhifadh

  • @user-ty2kc5jy7s
    @user-ty2kc5jy7s 4 місяці тому +7

    Huyu mzee anaesoma hiyo barua naisi kama alikuja kwenye mkutano amelewa 😂😂

    • @albert3359
      @albert3359 2 місяці тому

      anuani iyo hapo
      simu iyo hapo

  • @obedlwinga9194
    @obedlwinga9194 6 місяців тому +15

    Makonda katika hili saluti kwako ila natamani sana kero zote zishughulikiwe maana wanaopata nafasi ya kueleza ni wachache sana weka utaratibu endelevu asante

  • @rehmastyle4446
    @rehmastyle4446 6 місяців тому +14

    Na Sabaya arudushww kwenye kazi Itapendeza sana

    • @user-wp4fs2xr3l
      @user-wp4fs2xr3l 6 місяців тому

      Kweli arud sabaya

    • @Zubaiba
      @Zubaiba 2 місяці тому

      Kweli kabisa mama Samia rudisha sabaya na Ali hapi

    • @betricemainoya4176
      @betricemainoya4176 2 місяці тому

      Sabaya huyu mmoja tuu mdhulumu ama Kuna mwingine

  • @Moses-yw5mb
    @Moses-yw5mb 5 місяців тому +3

    Hakika waliosema magufuli amekufa xaxa amerudi japo c kwa sura yake ila kwa moyo wa makonda yeye mwenye nguvu akulinde na akutete, hakika hukuwa mnafiki bali unaishi kwa kile alichokiamini. Amina

  • @TedyEmanuel
    @TedyEmanuel 6 місяців тому +9

    Kaka makonda mungu akubariki kwa kuwatetea wanyonge

  • @urasaanold2851
    @urasaanold2851 6 місяців тому +16

    😂😂😂 hakuna cha tunduma hoyee soma barua😂😂😂

  • @constantsimiyu7484
    @constantsimiyu7484 6 місяців тому +4

    This man was sent by God to bring justice in Tanzania, Mungu tuletee na sisi Wakenya mtu kama huyo

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 4 місяці тому +5

    Mungu akulinde akuepushe na mabaya yote

  • @sifuabdallahmkamba6102
    @sifuabdallahmkamba6102 6 місяців тому +10

    Njia hii unayotumia hon makonda uko sahihi kabisa ila kama kuna wanao kubeza basi nawao wapande jukwaani watatue shida za wananchi kwa njia wanazo zijua.

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 6 місяців тому +4

    MashaAllaah uwemaaa wako naimani yakoo umebakiyaaa kusilimuhhhh tuu ….Allaah Akuhefadhiiii muheshimiwaaa makonda. Baba wawanyongeee…..

  • @user-fu3xt6dc4h
    @user-fu3xt6dc4h 6 місяців тому +10

    Anafaha kuwa lahisi waTanzania,🇹🇿🇹🇿 kabisa uyu kiongozi wetu. Makonda

    • @wycliffeombogo8953
      @wycliffeombogo8953 Місяць тому

      Makonda wewe mwanaume mungu akuongeze maisha ndugu 6:15

  • @mamuugrace2770
    @mamuugrace2770 2 місяці тому +2

    Upo vizuri mkuu endelea kutupiga spana mpaka tukae sawa

  • @user-uf5qw2dl9l
    @user-uf5qw2dl9l 5 місяців тому +2

    Makonda Mungu akulinde kazi ambayo Mungu angeshuka kuifanya umeifanya Mungu akubariki sana

  • @AbasiMadege-ot2of
    @AbasiMadege-ot2of 6 місяців тому +5

    Ivi kwann viongozi hawamuingi huyu jamaa Makonda anafanya nipende Tanzania yangu 😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mungu akupe maisha marefu Makonda watakuchukia sana ila omba Mungu atakusaidia kila mtu huenda kwa ahadi

  • @SongaRazaki-p4k
    @SongaRazaki-p4k Годину тому

    Mungu akutunze Mh.Paul Makonda akufanyie ulinzi mkuu

  • @SurprisedGrapes-by5bw
    @SurprisedGrapes-by5bw 2 місяці тому +1

    Kwa dizain hii yatupasa kuomba sana Watanzania, Mungu atupe viongozi watakaoliongoza Taifa letu kwa hofu ya Mungu.
    Kama kiongozi anahofu ya Mungu, huwezi ukamjibu bibi wa watu" nenda ukamfufue Magufuri" jamani😢😢😢. Mungu awasaidie viongozi wetu.

  • @alfanmwatamu9030
    @alfanmwatamu9030 6 місяців тому +8

    Well done brother keep it up 💪 fata nyayo za magufuli ,, from 🇰🇪

    • @tonyi6807
      @tonyi6807 6 місяців тому +1

      Safari ya Haki na Utu ni jambo la kila mmoja ili kila mmoja anufaike pia aongeze tija katika Taifa lake🙏🇰🇪🎶🇹🇿

    • @RichardMkumbo
      @RichardMkumbo 6 місяців тому

      😮​@@tonyi6807

    • @RichardMkumbo
      @RichardMkumbo 6 місяців тому

      ​@@tonyi6807😅

    • @marlysjoseph
      @marlysjoseph 2 місяці тому

      Fact

  • @user-cn4fr8zz3v
    @user-cn4fr8zz3v 2 місяці тому +1

    Mimi ni mkongomani toka DRC naipenda tanzania ilikua ni sababu ya magufuli.ila kwa sasa namuona mwengine magufuli tayari tanzania.kwajina la makonda.acha niseme tanzania mume barikiwa saaaana.najiuliza na sisi DRC lini tuta mpata mtu kama makonda?aisei makonda maisha marefu baba.hizo ni baraka zako to DRC goma

  • @ChiefNgosyemo
    @ChiefNgosyemo Місяць тому

    Mungu akuzidishie hekima mweshimiwa nakupend kutoka moyoni
    Nafurahii kila nikikutizama namuona John
    Pombe

  • @jboytz5715
    @jboytz5715 13 днів тому

    Salut makonda nimekupenda Bure Mungu akupe maisha marefuu sana

  • @yohanashingashinga3974
    @yohanashingashinga3974 Місяць тому +1

    Makonda ww n Tumaini la Watanzania,Nyerere ajae na JPM ajae,Mungu akulinde

  • @danifani7899
    @danifani7899 6 місяців тому +3

    Watching live from Jordan makonde mungu akubariki kwa kutetea haki ya wananch

  • @jafaribori5428
    @jafaribori5428 6 місяців тому +6

    Hongera kaka Makonda Nina kufatilia sana nikiwa hapa UK nahisi majonzi yanapunguwa kwa kukupata kijana wa magufuli

  • @Worldunite
    @Worldunite 6 місяців тому +7

    Baada ya kufariki mwamba JPM, watu walianza kuleta dharau na kumzungumzia vibaya tena bayana kabisa bila ya woga wwt

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 6 місяців тому +1

      Kwel kabisaa haya mafisadi ni nguruwee kabisaa Allah aya komeshe yote yaliyo tuzulumu sisi wanyongee

  • @brotherIdi-rp4tx
    @brotherIdi-rp4tx 2 місяці тому +2

    Anastaili kuwa raïs uyu miye nimkongo lakini nilisha mkubali kinoma sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 6 місяців тому +4

    Hongera mwanangu Makonda Mungu akutie nguvu fumua madudu wanaosema wanawadhadhrilisha viongozi hvo ni vzuri wanyonge waoneewe kuliko viongozi hao viongoz ni wengi kuliko wananchi Makonda hoyeeeeeeeee

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 6 місяців тому +3

    Usife, Usioze Mh. Mwenezi Makonda Mungu akutunze kwa Kazi nzuri.

    • @aziziatumanially424
      @aziziatumanially424 6 місяців тому

      Umesifia kupitiliza neno la Mungu ni lazima aoze.. hivyo ataoza

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Місяць тому

    Makonda Kaka yangu Mungu akulipe maana mimi sina cha kukulipa❤❤

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri 4 місяці тому +2

    Kama Mungu aishivyo iko siku makonda atakua raisi

  • @adamjosephkatigizu19
    @adamjosephkatigizu19 6 місяців тому +4

    Eee Mungu Baba mlinde makonda

  • @user-cr3mc1ch9g
    @user-cr3mc1ch9g 29 днів тому

    Huyu jamaa Mungu amlinde tuu...anapiga kazi sana

  • @annamussa185
    @annamussa185 6 місяців тому +5

    Kwa style hii utapata urais miaka ya mbele ila usome sasa❤

    • @user-ym5ko9ov2o
      @user-ym5ko9ov2o 6 місяців тому

      Ila wewee😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JumaJafary-xz8jm
    @JumaJafary-xz8jm Місяць тому

    Kiukweli najihisi kama namuona mh magufuli.
    Ndugu makonda Sali sana, kumlilia mungu akukabidhi hii nchi.
    Allah atakuongoza aamin.

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 6 місяців тому +5

    Sitaki, kuamini kwamba Chama cha Mapinduzi' (katika ngazi yeyote), kinaweza kufanya thu'ruma kiasi hiki!
    Kama haya ni kweli, basi kutakuwa na kazi kubwa, haki kupatikana nchini.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 2 місяці тому +1

    Bi Mkubwa ajipata viongozi Kama MAKONDA,10 ataukata,kwenye uongozi wakeee..10 tuuu

  • @norahmogiti6849
    @norahmogiti6849 Місяць тому

    Mungu usimpite huyu Makonda unapobariki na kuinua familia yake na uzao wake uwe juu zaidi ya wengine,NAMI nahitaji msaada kama huo😭😭😭

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 6 місяців тому +4

    Makonda Mungu akutunze

  • @etemesiedward1508
    @etemesiedward1508 2 місяці тому +2

    magu is back oyoeee

  • @AmisiEmedi-qk1wj
    @AmisiEmedi-qk1wj 2 місяці тому +1

    Magufuli is back

  • @emmyurio7735
    @emmyurio7735 6 місяців тому +5

    Mungu akutunze akuagizie malaika Kila unakokwenda

  • @UmiSaid-du1vy
    @UmiSaid-du1vy Місяць тому

    Asante kwa kazi nzuri, uje znz utusaidie nasisi wanyonge😢

  • @Wiope430
    @Wiope430 6 місяців тому +9

    Ziara ya Mh. Makonda kwenye mikoa nchini ni tasmini tosha ya jinsi kazi zinazofanywa na viongozi kwa wananchi;
    Pili imeonyesha jinsi ufisadi unavyoendelea kufanywa na baadhi ya viongozi kwa wananchi nchini kwenye hawamo ya 6.
    Kazi kwa MH.Raisi Samia.
    Ubarikiwe MH. Makonda

  • @Shwaibu
    @Shwaibu 2 місяці тому +1

    Huyu mwamba anafaa kuwa raisi anatetea wanyonge MUNGU akulinde

  • @user-bb2xi3vi7y
    @user-bb2xi3vi7y 4 місяці тому +1

    Makonda baba heshima yako 🙏🙏🙏🙏🎉

  • @user-qj6kl3bs9o
    @user-qj6kl3bs9o 2 місяці тому +1

    Amina

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 місяці тому +1

    Machozi yetu hayataenda bure, asante mama Samia.

  • @PromissGmtoto
    @PromissGmtoto 2 місяці тому +1

    MZEE WEWE SIYO MKUU WAMKOWA TU BALI WEWE NIMKUU WA WAKUU WAMIKOWA TZ
    UBALIKIWE SANA

  • @amanmyolo5359
    @amanmyolo5359 6 місяців тому +2

    Mungu akufanyie wepesi mh makonda

  • @samwelgetocho6913
    @samwelgetocho6913 2 місяці тому +1

    Mungu ana watu wengi, anaweza kumuinua hata mtoto akamsaidia

  • @nyamaithyaka
    @nyamaithyaka 4 місяці тому +1

    Keep up good leader , like the late pombe maghufuli tetea watazania

  • @mukaipeter2186
    @mukaipeter2186 3 дні тому

    Mungu akubariki sana makonda

  • @FortunateAlphonce
    @FortunateAlphonce Місяць тому

    Makonda mungu akupe maisha marefu umekua kimbilio la wadhulumiwa

  • @user-qt3rb3vo1f
    @user-qt3rb3vo1f 6 місяців тому +4

    Mheshimiwa makonda unankumbusha magu nahc wew ni kivuli cha magu Unafanya kaz nzuri Mungu akubariki sana!

  • @DamasiAdam
    @DamasiAdam 2 місяці тому

    Yes huyu mkuu wa mkoa Yuko vizuri anataka kufata nyayo za Uncle Magu

  • @user-zm5pn5wg4y
    @user-zm5pn5wg4y 5 місяців тому +1

    Safi sana muhushimiwa wahtee wenye hakizao

  • @boneharris4949
    @boneharris4949 Місяць тому

    Mwenyezi MUNGU akulinde

  • @Itsst4ra
    @Itsst4ra 6 місяців тому +1

    Alafu anakuja mangekimavi anataka kutugombanisha na makonda wetu magufuli is back Mungu anatupenda yarabi

  • @AbdulkadirShaib
    @AbdulkadirShaib 2 місяці тому

    Next president🎉

  • @user-rw6cj8jy8m
    @user-rw6cj8jy8m 5 місяців тому +1

    Mungu amubariki Makonda

  • @RabieGerard
    @RabieGerard Місяць тому

    Uyu mwamba namkubali sana piga kazi baba mungu akutunze

  • @user-vy2bc6xg3i
    @user-vy2bc6xg3i 6 місяців тому +4

    Anuani hiyo apo😂😂 no ya simu hiyo hapo😂😂😂😂tumbo kubwa utafikiri hujambi

  • @sabasmbunda5018
    @sabasmbunda5018 Місяць тому

    Mungu akulinde mheshimiwa

  • @sofiasofia7557
    @sofiasofia7557 4 місяці тому +1

    Mungu akutunzemakonda wetu weee unanipa raha sana

  • @hannan4508
    @hannan4508 6 місяців тому +4

    Aibu Sana Kwa chama cha mapinduzi

  • @AminaGervas
    @AminaGervas 3 місяці тому

    Yaani mwenda zake namuona huyu hapa, Sina cha kuzungumza juu yako bb Kegan Mungu tu akutetee. Aaamin

  • @pennywilliams3151
    @pennywilliams3151 2 місяці тому

    Spirit of magufuli ❤

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi Місяць тому

    Vijana wako vizuri sana nibasi tu

  • @user-ou5dk1ds5t
    @user-ou5dk1ds5t 6 місяців тому +1

    Makonda ubarikiwe na mungu akulinde

  • @Mrenosoda-oh2vx
    @Mrenosoda-oh2vx 2 місяці тому

    basi tu. makonda Mungu akulinde popote uendapo na uingiapo

  • @rahmashapani5926
    @rahmashapani5926 5 місяців тому

    Ubarikiwe kiongozi wetu Baba yangu pia kazurumiwa mashamba.yake yote na ndugu zake Mungu anawaona ukosefu wa pesa mtihani Wallah

  • @StellaShirima-t4x
    @StellaShirima-t4x Місяць тому

    Mungu akulinde wewe tu .

  • @hadijajuma3773
    @hadijajuma3773 Місяць тому

    Barikiwa baba.Makonda kaka wa Taifa.

  • @AsnathRingo-db4jl
    @AsnathRingo-db4jl 2 місяці тому

    Makonda nampenda sana anatetea wanyonge

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 6 місяців тому +1

    Makonda nakupenda sana, tetea wanyonge mungu akulinde

  • @user-mk3gu3ft3u
    @user-mk3gu3ft3u Місяць тому

    Hiyo nikama magufuli mungu amulinde.kalume David kutoka r.d.c .

  • @user-pw8ml6ts8r
    @user-pw8ml6ts8r Місяць тому

    Makonda safi 🤝👏👏👏👏

  • @user-ve5yv8kg8z
    @user-ve5yv8kg8z 6 місяців тому +1

    Respect the moment Kiongozi Mungu atakusudia

  • @machimushukran3742
    @machimushukran3742 2 місяці тому

    Makonda waangalie sana walio kalibu na ww ushauli wangu kwako

  • @anthonyndema2739
    @anthonyndema2739 6 місяців тому +3

    Braza makonda wanaokubeza hawitakii mema nchi hii,na hawajui wanyonge wanavonyanyaswa.

  • @husseinshabani3306
    @husseinshabani3306 2 місяці тому

    Dahhh!! Ila namuona Mh! Magufuli ndani ya Makonda. Mungu akulinde mdogo wangu maana tunaambiwa vizuri havidumu.

  • @candymarandu2230
    @candymarandu2230 2 місяці тому

    Mungu ni mwema Makonda tetea wanyonge

  • @fikiriisaya5803
    @fikiriisaya5803 6 місяців тому +1

    Mungu wawatanzania akulinde makonda

  • @ReonceRevocatus-dp9eu
    @ReonceRevocatus-dp9eu 2 місяці тому +1

    Mtetezizi wa wanyonge kweli

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c Місяць тому

    Viongozi kama hawa ndio tunataka ila wengi wanachukua hiyo advantage ya uongozi wakinyanyasa wanyonge

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Місяць тому

    Mnapangisha bib wa watu anayeseka😢😢

  • @michaelicharlesi7515
    @michaelicharlesi7515 4 місяці тому

    Wapenda makufuli mpendeni makonda jamani nyendo zile zile