Rais Magufuli aliposikia sababu za wafanyabiashara wanavyosafirisha madini "kiujanja" kutokana na msusuru wa malipo. Sikiliza mlolongo huo na namna Rais anavyosikiliza.
Nikweli asa ayo ndio usika tunamkumbuka sana aliekuwa rais wetu rais wawanynge rais mwenye ofu ya mungu wamemziki kwaaliokuwa anatufanyia watanzania amepambana namafisadi ametutia ujasiri watanzania wote eeeeh ulazwe pema peponi arp josefu pombe makufuli
Huo ndo uongozi ulivyo kuwa bora na ilikuwa hivyo kipindi hicho. yani ukiwa kiongozi bora yani hata watumishi wako huwa waminifu na kusema ukweli na kuwa na ujasili katika kazi yake kwa sababu anachokuwa akikisema kinakuwa na ukweli ndaniyake nakutekelezeka kwa halaka hivyo selikali na wana nchi wake hufulahiya matunda ya utendaji wao kwa uaminifu muzuli na kuiamini selikali na raiya kuamini selikali yake: Sijui? hii leo je, hayo yanayo semwa na huyo mubunge yana tekelezwa au ndo imebakia kama histolia? kama hivi zamani vile?
Mungu azidi kumpumzisha jpm.
Hongera xn umefunguka
Apumzishwe kwa amani Mungu amlipe kwa mema haya na mengi ya haki aliyotutendea
Allah akulaze mahali pema peponi
Mh hongera baba
huu jamaa yuko sahihii sana alio yaongea hajakosea kabisaa
nikweli kaka hongera sana
huyu jamaa anajua njia nyingi
Dah Mzee Magu RIP 😢 🙏
Alitoa uhuru sana kwa wananchi kumshauri nn afanye ndo maana alifanikiwa
Ndugu mnenaji mwema tu Hadi kaongezwa muda size yake tu,heko🎉jamani naye rais aliyekuwa na maslahi ya nchi yake rohoni make apumzike Kwa amani🙏
Jamaa ako Sawa Kwa maelezo, magufui mchaguwe huyo jamaa
My former president r.i.p 🙏🙏
Mara ih atukusikii ata saut Jpm wetuuu dunian ama tunapta
saf sana
Sema leo nasikiliza nikiwa nimevuta bangi kwahyo hata simsikii na kumuelewa
😊
Nimekuelewa mwinji
Mashallah
Mwinjilist Solomon nyang'hwale nakuona mtumishi.
WATU wana uchungu na TAIFA
King Solomon 💯💯💯💯
Mungu aku
nikwel kabisa muinjilist
Nikweli asa ayo ndio usika tunamkumbuka sana aliekuwa rais wetu rais wawanynge rais mwenye ofu ya mungu wamemziki kwaaliokuwa anatufanyia watanzania amepambana namafisadi ametutia ujasiri watanzania wote eeeeh ulazwe pema peponi arp josefu pombe makufuli
Ni raisi mwenyewe msimamo Sana na mfuatiliaji hatu kwa hatu toka akiwa waziri wa ujenzi kwakwel atutopata raisi mwenyewe msimamo km huyu tena
Hili swala la dhahabu hata wabunge wa upinzani awaongei hili swala ni kupewa bahasha tu.
Dah jpm tutakukumbuk
Suluhisho ni machine tu
13:44
Wazalendo was kweli
R.i.p Jpm
Bila chenga kabisa
Huo ndo uongozi ulivyo kuwa bora na ilikuwa hivyo kipindi hicho. yani ukiwa kiongozi bora yani hata watumishi wako huwa waminifu na kusema ukweli na kuwa na ujasili katika kazi yake kwa sababu anachokuwa akikisema kinakuwa na ukweli ndaniyake nakutekelezeka kwa halaka hivyo selikali na wana nchi wake hufulahiya matunda ya utendaji wao kwa uaminifu muzuli na kuiamini selikali na raiya kuamini selikali yake: Sijui? hii leo je, hayo yanayo semwa na huyo mubunge yana tekelezwa au ndo imebakia kama histolia? kama hivi zamani vile?
😅
😊
Uongoz Wa maguli hakuna kiongozi anayesema vijisent au helaya chai maliuma unasema hela ya chai vijisent ni aibu
Hapa maguli anaitendea HAKI kiti Cha urahis wapigaji mabeberu wazawa wanashikina na wanje ya nchi hapa anapata ukweli
Magu tinao wengi ila wamebanwa na matajiri wa nchi hii ila tukimuomba mungu kwa pamoja hanaga roho mbaya.
HIVI HUYUU JAMAAA ALIKUWA MWINJILISTI KWELI
ALIKUWA AMEVAA KIVULI CHA UINJILISTI?
HAKIKA ALIKUWA MTUMISHI MWEMA.
Hahaha sahihi jamaa ni mwinjilisiti sahihi Mimi jirani ukitaka hata namba yake nikupe umsalimie
Hapa maguli anaitendea HAKI kiti Cha urahis wapigaji mabeberu wazawa wanashikina na wanje ya nchi hapa anapata ukweli