Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Namna Dkt. Nawanda alivyobadili wafugaji Simiyu kupitia Unenepeshaji
Вставка
- Опубліковано 4 січ 2024
- Programu ya kujenga kesho iliyo bora kwa vijana kwa upande wa sekta ya Mifugo maarufu kama BBT-LIFE mbali na kujizolea umaarufu imeonekana kuwa suluhu ya changamoto ya ukosefu wa ajira inayolikabili kundi la vijana na wanawake hapa nchini na kwa kuwa linaweza kutekelezwa na yoyote mwenye nia, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Daktari Yahya Nawanda aliiona fursa hiyo ya unenepeshaji wa Mifugo na kuamua kuingia kwa miguu yote……..
Hongera saana kiongozi, vuta mradi hapa Chilangala tujifunze
Huyu mpuuzi
Mpenda nyuma
Tigo
Naona ameonewa na siasa tu
Mpuuzi huyu bwana
Naomba jinsi ya kunenepesha ngombe
pointiii
Yaani huyu mkuu wa mkoa alikuwa yuko vizuri sana, sijui hiyo kashifa ilitoka wapi, na hawa ndiyo viongozi wanaotakiwa
Hakuna zuri lolote kwa huyu bwana kwa tabia aliyoionesha!
Naomba kuuliza Mradi WA Mkuu WA Mkoa upo sehemu Gani Bariadi?
Kilimo cha simu kizuri no stress
Ufugaji n mzur lkn achen kumnad samia kusko na maana kwan hapo ana uckaje ?alikupa hao ng'ombe bule au kapen zimeanza
Kilimo cha simu kizuri no stress
nimevutiwa na huu mradi
Safi sana