KIPINDI: UBORESHAJI WA MIFUGO KWA NJIA YA UNENEPESHAJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Karibu katika kipindi hiki kinacholetwa kwako na Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo utapata fursa ya kufahamu namna ya kuboresha mifugo kwa njia ya unenepeshaji huku tukijikita zaidi kwenye Mkoa wa Katavi..Endelea kutazama.

КОМЕНТАРІ • 4