- 841
- 301 978
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Приєднався 16 січ 2018
Televisheni mtandao ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo utapata fursa ya kufahamu matukio mbalimbali yanayofanywa na Wizara hiyo.
Upumzishwaji Ziwa Tanganyika ni chachu ya ongezeko la Malighafi Viwandani
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa zoezi la upumzishwaji wa hiyari wa shughuli za Uvuvi wa Ziwa Tanganyika limechagiza ongezeko kubwa la malighafi za Viwanda vilivyopo kwenye mikoa inayozungukwa na ziwa hilo.
Переглядів: 50
Відео
Dkt. Kijaji aanika matunda ya Viwanda vya Uvuvi Ziwa Tanganyika!
Переглядів 64День тому
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa uwepo wa Viwanda vya kuchakata mazao ya Uvuvi kwenye mikoa inayozungukwa na Ziwa Tanganyika umekuwa chachu ya Maendeleo ya wananchi wa mikoa hiyo. Mhe. Dkt. Kijaji amesema hayo leo Januari 21, 2025 wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha kuchakata samaki na dagaa wa Ziwa Tanganyika cha LIFA kilichojengwa mkoani Kigoma ambapo mbal...
Dkt. Kijaji aanika mikakati ya mapinduzi ya sekta ya Mifugo nchini!
Переглядів 34421 день тому
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuelekea mapinduzi makubwa katika Sekta ya Mifugo, miongoni mwa mambo muhimu ni wafugaji kuogesha mifugo yao ili kuwa bora na sekta hiyo kuchangia zaidi katika pato la taifa. Mhe. Dkt. Kijaji amebainisha hayo leo (11.01.2025) wakati alipokuwa akizindua josho la kuogesha mifugo lililopo Kijiji cha Elerai Kata ya Kibirashi, Wilaya ya Kilin...
Dkt. Kijaji adhamiria mapinduzi makubwa sekta ya Mifugo!
Переглядів 26428 днів тому
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amedhamiria kuboresha miundombinu ya ufugaji ili wafugaji wafuge kisasa wakiwa katika maeneo yao rasmi na kuondokana na ufugaji wa kuhamahama.
Rais Samia ametupa Pikipiki 700 na Vishkwambi 4500 ili kuwahudumia Wafugaji-Dkt. Kijaji
Переглядів 13828 днів тому
Rais Samia ametupa Pikipiki 700 na Vishkwambi 4500 ili kuwahudumia Wafugaji-Dkt. Kijaji
Kilimo cha Malisho ni sehemu ya mapinduzi ya Sekta ya Mifugo nchini-Dkt. Kijaji
Переглядів 22928 днів тому
Kilimo cha Malisho ni sehemu ya mapinduzi ya Sekta ya Mifugo nchini-Dkt. Kijaji
Wakulima na Wafugaji tunategemeana-Dkt. Kijaji
Переглядів 7028 днів тому
Wakulima na Wafugaji tunategemeana-Dkt. Kijaji
Ni lazima Tulinde Rasilimali zetu za Uvuvi kwa Wivu Mkubwa-Dkt. Kijaji
Переглядів 83Місяць тому
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ametoa wito kwa Watanzania, hususan wale wanaojihusisha na shughuli za uvuvi kulinda rasilimali hizo za asili ili kuwahakikishia wananchi kukuza uchumi wao kwa misingi endelevu na kuwahakikishia upatikanaji wa malighafi (samaki) wawekezaji wa sekta binfasi waliowekeza kwenye viwanda vya kuchakata samaki na mnyororo wake wa thamani ili kuk...
Wavuvi Ziwa Ikimba wajipanga kupumzisha Ziwa kwa Hiyari!
Переглядів 36Місяць тому
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Edwin Mhede amewapongeza wavuvi wanaofanya shughuli zao kwenye Ziwa Ikimba kwa uamuzi wao wa kufunga shughuli za Uvuvi wa ziwa hilo kwa hiyari.
Dkt. Kijaji ahimiza uadilifu kwa waajiriwa Viwanda vya Samaki!
Переглядів 63Місяць тому
Katika kuadhimisha wiki ya Viwanda, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amezindua viwanda viwili vya kusindika samaki na mabondo vilivyopo mkoani mwanza Disemba 20,2024.
Wazalishaji, Wauzaji Zana haramu za Uvuvi kukiona!
Переглядів 44Місяць тому
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ameagiza kufungwa kwa viwanda na maduka yote yanayojihusisha na Nyavu zisizofaa kwenye shughuli za Uvuvi ikiwa ni hatua ya kukomesha Uvuvi haramu nchini.
WATAALAM WATUMIKIENI WAFUGAJI, WAVUVI KWA WELEDI-DKT. KIJAJI
Переглядів 337Місяць тому
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewataka wataalam wa Wizara hiyo kutumia taaluma walizonazo kuwatumikia wafugaji na Wavuvi kwa weledi pindi wanapoenda kwenye maeneo yao.
AZAKI zatajwa kuwa na mchango mkubwa sekta ya Uvuvi!
Переглядів 14Місяць тому
Asasi mbalimbali za kiraia na Taasisi zisizo za Serikali zimetajwa kuwa na mchango mkubwa kwenye ukuzaji wa sekta ya Uvuvi nchini.
Tanzania yapokea Dozi 1000 za Mbegu za Ng'ombe bora wa nyama!
Переглядів 6932 місяці тому
Nchi ya Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi chini ya Kituo cha Taifa cha Uhimilishaji wa Mifugo (NAIC) kilichopo mkoani Arusha leo Desemba 02, 2024 imepokea dozi 1000 za mbegu za Ng'ombe bora wa nyama kutoka nchini Indonesia ambazo zitawawezesha wafugaji nchini kuongeza kiwango cha uzalishaji wa zao la nyama.
Serikali yakagua Wazalishaji, Wauzaji wa Vyakula vya Mifugo Dodoma!
Переглядів 2362 місяці тому
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Halmashauri ya jiji la Dodoma imefanya ukaguzi kwa wazalishaji na wauzaji wa rasilimali za vyakula vya Mifugo waliopo jijini hapo Novemba 14, 2024.
FURSA ZA UFUGAJI SAMAKI KWA VIZIMBA ZIWA TANGANYIKA.
Переглядів 1712 місяці тому
FURSA ZA UFUGAJI SAMAKI KWA VIZIMBA ZIWA TANGANYIKA.
MAKALA YA MAFANIKIO BAADA YA UFUNGUZI WA UVUVI WA ZIWA TANGANYIKA
Переглядів 2522 місяці тому
MAKALA YA MAFANIKIO BAADA YA UFUNGUZI WA UVUVI WA ZIWA TANGANYIKA
VIWANDA VYA MAZAO YA UVUVI KIGOMA VYATAKIWA KUKAMILIKA
Переглядів 662 місяці тому
VIWANDA VYA MAZAO YA UVUVI KIGOMA VYATAKIWA KUKAMILIKA
AJENDA YA AKINAMAMA KWENYE SEKTA YA UVUVI YAPIGIWA DEBE
Переглядів 92 місяці тому
AJENDA YA AKINAMAMA KWENYE SEKTA YA UVUVI YAPIGIWA DEBE
A-Z, Ziara ya Wataalam wa Mifugo nchini kwa wadau mkoani Arusha!
Переглядів 1863 місяці тому
A-Z, Ziara ya Wataalam wa Mifugo nchini kwa wadau mkoani Arusha!
TSAP yaibuka na mikakati ya kuboresha sekta za Mifugo na Uvuvi!
Переглядів 593 місяці тому
TSAP yaibuka na mikakati ya kuboresha sekta za Mifugo na Uvuvi!
Dkt. Samia kafanya makubwa sana sekta za Mifugo na Uvuvi-Silinde
Переглядів 443 місяці тому
Dkt. Samia kafanya makubwa sana sekta za Mifugo na Uvuvi-Silinde
Mashindano ya Kupiga Makasia yafana Kagera!
Переглядів 1953 місяці тому
Mashindano ya Kupiga Makasia yafana Kagera!
MWASA AHAMASISHA ULAJI WA DAGAA, SAMAKI KAGERA
Переглядів 243 місяці тому
MWASA AHAMASISHA ULAJI WA DAGAA, SAMAKI KAGERA
Wanafunzi Kagera wahamasishwa Matumizi ya Maziwa yaliyosindikwa
Переглядів 333 місяці тому
Wanafunzi Kagera wahamasishwa Matumizi ya Maziwa yaliyosindikwa
A-Z, DC Muleba Dkt. Abel Nyamahanga kwenye banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Переглядів 613 місяці тому
A-Z, DC Muleba Dkt. Abel Nyamahanga kwenye banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi
TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA JUKWAA LA TASNIA YA KUKU NA NDEGE WAFUGWAO KWA NCHI ZA SADC
Переглядів 223 місяці тому
TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA JUKWAA LA TASNIA YA KUKU NA NDEGE WAFUGWAO KWA NCHI ZA SADC
TANZANIA YARIDHISHWA NA UFADHILI WA POLAND KUKUZA SEKTA YA MIFUGO
Переглядів 2614 місяці тому
TANZANIA YARIDHISHWA NA UFADHILI WA POLAND KUKUZA SEKTA YA MIFUGO
Mbegu za juncao tunazipataje?
🎉
Light white na landrec bei gani Kwa vibwangara vya miezi 3?
Good prof.
Mama njooo wilayani malinyi shida nyingi za wafugaji majosho yametelekezwa nadawa za luzuku zipo
Asante mama
Huu ni mwelekeo sahihi, tulisubiri sana maono haya hapa sasa tumepata jembe, Mungu akusaidie kutimiza haya maono
Wataalamu waongezwe pia kwa kuhakikisha ustaimilivu wa malisho yanakuwepo wakati wote na njia bora kwa matumizi kwa wafugaji
❤❤❤
❤
Naitaji kununu napataje
Tuma namba mkuuu nimeelewa
Tuma namba mkuuu nimeelewa
Tunapataje hayo majani
Kiongozi wetu Hilo sawa Ila migogoro inauzwa na polisi
Semangat adiku
Hizo mbegu ni bolaa sanaaa natamanii na Mara pia tufikiwe ilii tuzipate
Ombi kwa wizara kufanikisha mbegu za jike tupu mana banda ni mama
Hongera sana mwekiti ccwt taifa
Nipo arusha
Mimi ndonimeanza iyo biashara naomba mnitaftie soko nafuga n"gombe wa maziwa nawakunenepesha nambuzi wanyama naomba ushirikiano
Tunahitaji kufunzwa
Tunaomba mawasiliano
Kizimba kina chake ni mita ngapi?
appreciate for your good work in your ministry
Kazi nzri,waongeze uzalishaji wa vifaranga foren ni kubwa mno,hatupati vifaranga kwa wakati
Nawapataje
Pumzika Kwa amani fadhiri😢😢
😢😢😢😢😢😢😢😢daaa fadhili pumzika kwa amani
Katavi tunaomb tunapataj
Can i get this in uganda
Hello
🙏🙏🙏
Naomba kufaham Jins ya kunenepesha ng'ombe
Nina maswali nahitaji majibu tafadhali 1. Ekari 1 inahitaji pingili ngapi za mbegu za juncao? 2.kwanini umbali wa msitari na msitari wakati wa kupanda kwa ajili ya mbegu unatofautiana na upandaji kwa ajili ya malisho?
Nipo Dar mbegu nazipataje?
Mbuzi jike mdogo asie nyonya kwa sasa ni bei gani
Kasema chotara anakupa maziwa ya wastani, baadae anasema chotara anakupa maziwa mengi
8:08 anatoa maziwa ya wastani
9:11 wanatoa maziwa ya kutosha
Mbwa wote wanazurura mitaani waaze kupigwa risasi Sasa maana hawana chanjo
Kweli nimefurahi kufuga samaki ni ndoto yangu ni sephroza toka Serengeti nitapata vipi no zenu
Je mnyama akiwa na homa ya aina yoyote anatakiwa kuchanjwa chanjo ya CBPP ?
Je mnyama akiwa na homa ya aina yoyote anatakiwa kuchanjwa chanjo ya CBPP ?
Je mnyama akiwa na homa ya aina yoyote anatakiwa kuchanjwa chanjo ya CBPP ?
Congratulations
Safi sana ngozi inatupwa huku vijijini kweli tukifiwa na elimu ikatolewa basi ngozi itapata soko
Duka lenu lipo sehem gani
Tunapongeza Juhudi hizo Lakini tuwakumbushe waheshimiwa viongozi wetu Maendeleo endelevu hayawezi kutoka nje ya nchi, utajiri upo ndani nchi yetu wenyewe.
Mhogo kiasi gani
Naomba namba za shamba la ngerengere la mifugo
Anwani zenu.
Naona ameonewa na siasa tu