The boy is very confident and inspiring! I like his hustles. Ameni- inspire kuanzisha channeli hii yenye content (Video yenye muziki wa kinanda na gitaa) muhimu sana kwa binadamu kutuliza mwili na akili (relax) baada ya kuchoka na kazi, kwa wanafunzi wanaotaka ku-concentrate katika masomo yao (sikiliza ukiwa unasoma), wafanyakazi makazini, pia kwa wale wanaopata shida wakati wa kulala ukisikiliza muziki huu tulivu usio na kelele utapata usingizi mololo. Jionee video za drone zikionesha uzuri wa dunia. Kujua zaidi, tafadhali fanya kama unabonyeza hapo kujionea mwenyewe. Waafrika tutainuana wenyewe! One Love!!
Kwasababu ,mfano most of family za kitanzania mwanafunzi anasubiliwa amalize chuo akatatue matatizo ya familia yoa,kila kidogo anacho kipata anatumia kusolve matatizo yaliyo tengenezwa tangu hajazaliwa,atakuja kujishtukia kushughulikia matatizo yake mda usha endaaaa.ila cha msingi ni kukubali kuchukiwa tu mda mwingine
Unachukia kusaidia kwa sababu unachukia changamoto, hilo unaloliita tatizo la wazazi wako kabla hujazaliwa ndo ulishinde ili tuone unapambana na changamoto kweli na sio kuziahirisha, hata kama utatega mgongo kuwa hayakuhus upo muda utajisikia mjinga na utarudi kutatua, changamoto ni pamoja na kuwasaidia wajinga ama wazembe (grupu ulilowaweka wazazi ama ndugu unaochukia kuwasaidia), sasa ukishindwa kuwasaidia wazembe halafu utataka watu wenye akili timamu wakuone unatatua matatizo gani labda? Ulishawahi kufikiria kwa nn wazaz ama ndugu zako ni masikin na mwisho wanakutegemea? Sasa mtu anayetambua tatizo halafu akatega mgongo kama halimhusu unazani yeye pia siyo tatizo? ISHI UKIJUA WOTE WALIOFANIKIWA KIFEDHA WALIFANYA KUSOLVE MATATIZO YA WATU, AMA KUPATIA MAJIBU MASWALI YA JAMII.
Sema umechoma account yko kwny forex pia na broker unaemtua rabda sio mzr amekuchezea michezo na pia hujaisoma vzr forex umeingia kichwa kichwa tu ukisoma na ukatumia demo account ndio utapata kuielewa forex ni nn
Ila mafanikio hayana umri. Kuna hawa vijana waliopiga Milioni mia NNE katika kubeti. Pia KFC baada ya kustaafu ndo alitoka. Umri sio kuwa ni mafanikio. Unaweza ukazaa mtoto akawa mbunge na wewe hata balozi nyumba kumi hukugusaga. Kila MTU ana namna yake ya kutoka. Sio kama umefanya kilimo namie nitokee kwa kilimo
From petroleum eng to stock exchange, good lucky bro, For reference forex is not for layman it needs skills and patience ,kwa yeyote anayesoma comments awe makini hakuna mafanikio ya rahisi
Huyo ni mboga saba tokea zamani. ukifikia kiwango Cha kusomeshwa Hadi ulaya ww kwenu Mambo Safi. Hela inaenda kwenye hela . Ila nimpongeze kwa ubunifu tu .Ila sio from 0 to hero .
Nandio hapo watanzania tunafeli, kusoma nje ya nchi ni milion 4 kaka, kusoma chuo cha kairuki Tanzania ni milion 7. Ni wewe tu unaamua kuwa tajiri au maskin
Hicho ndiyo nilikuwa nakitaguta, watu wengi hawasemi uhalisia wa changamoto, ila ukiingia kwenye vitendo ndiyo utaona na kujifunza na hapo utapata uzoefu na hatimaye kufanikiwa
Bro sky jmn vp mbona unakatisha utamu wa handak la kifo mm sijalala naweweseka nahiyo simuliz hapa nimeamka nimekuta hakuna handak bas aaah naona ovyoo kwel yan km sijapata handak sitakuwa shwar kabisaaa
hongera sn,lkn familia zetu zinatofautiana, ww umetoka ktk familia iliyokuwezesha mpaka malengo yako yametimia.lkn kwa wengine inakuwangumu hata kwa kidogo.
Siyo kweli, kupata maisha mazuri siyo chanzo wazazi, hapo ulipo unaweza anza hata Leo kwa mtaji wa 10000 na ukafikia Marengo yako na ukawa tajili mkubwa! Na unaweza kupewa milion 10 ukaharibu zote bila hata kufanya cha Maana. Cha msingi angalia vipaumbele vyako ni Nini. Epuka kuwaza vitu vidogo vidogo Waza mambo makubwa! Usijione kushindwa, hapo unajiroga mwenyewe, Amini unaweza na utaweweza! Jione unaweza na usimamie Marengo yako, na usikubari kukata tamaa! Zaidi mshirikishe mungu na umatangulize kwa kila Jambo.
Daaaaah huyu jamaa namkubali sana napenda sana kufatilia video zake
OMG
mbona sasa nazeeka sijatajilika
Hahahahaha
Naanza kuwa serious kuanzia kesho
Ctaki mchezo
Kama umeamua pia gonga like
frozah julius hhhhhhh ati kuanzia kesho
Hahaha gutuka my mimi mbona nimeanza sasa 😂😂😂
frozah julius 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 imefeli wenzetu h ao wanajijuwa Italian mpaka nvi zikuote
Real..... let's be serious friends
Zamzam Hamisi
Ndiooooo sahv staki mchezo mm
Naamua kabisaaaaaa
Myaka 25 cmiliki ata bajaji!
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Congrats kaka!there is no foolish job,wajinga ndio wanakuwa wanazarau na wanakufa maskini,kazi ni kazi bro❤
The boy is very confident and inspiring! I like his hustles.
Ameni- inspire kuanzisha channeli hii yenye content (Video yenye muziki wa kinanda na gitaa) muhimu sana kwa binadamu kutuliza mwili na akili (relax) baada ya kuchoka na kazi, kwa wanafunzi wanaotaka ku-concentrate katika masomo yao (sikiliza ukiwa unasoma), wafanyakazi makazini, pia kwa wale wanaopata shida wakati wa kulala ukisikiliza muziki huu tulivu usio na kelele utapata usingizi mololo. Jionee video za drone zikionesha uzuri wa dunia.
Kujua zaidi, tafadhali fanya kama unabonyeza hapo kujionea mwenyewe.
Waafrika tutainuana wenyewe! One Love!!
Huku Jamii Forum tunamtambua kwa jina la Ontario...huyu jamaa ni noma
Nikawa nataka kusema uyu si ontario uyu
@@marlonstudios4408 hahaa sitasahau tmt
Kawapiga watu huko jf wanalia. 😀😀 wakina cnnp engneer.
Ontario huyu? Siku izi JF haonekani ama ana ID nyengine?
@@el_chilubi7458 inawezekana maana watu wanamshutumu kwa utapeli
Hata mm nimependa jmn uwiiiii ngoja niendeleee kukazana bado hata sijachelewa wallah daaaah had raha In shaa Allah nami nitafika huko
Nmekukumbuka vp umepiga hatua?
u made me jealous n very inspired ,congrats one day ntakukutafuta after making my goals alive ,yo are blessed
Nmekukumbuka vp umepiga hatua?
Safi Sanaa Jeff
shda ya ss vjana tunalalama na siasa na c kaz
thanks bro skytz
The only thing I can say is congratulation you have done The best for yourself and the country too all the best Son of the soil
sir jeff history yako mwanangu daah..! enzi za batian doms mpka uku
Ni elimu bora sana kuizingatia kujifunza Hongera sana!!!
Hongera kaka , unainspire vijana wengi .
Awe blessed...napenda anavyo eleza na kiswahili chake sanifu
.
.
I am so moved by your presentation...Big up
Confident...compitent...geniuz big up broth👏👏👏
your really impressive bro ,,you have made me think in another way ...Thanks a lot
uko vizuri mkuu asante kwa kutushauli
EXECUTION....PROCESS......NIMEPATA KUJIFUNZA BURE....THANKS SANA SIRJEFF
Daaaaah kwakweli Atari,mazingira ukiyashinda lazima utoboe.the most problems for Tanzanian young is environment ,mazingira ukiyadhinda baass
dah mawazo mazuri i wish niwe kama wewe tofauti na wale wanaopiga kelele mitaan i think my dream will come true soon as possible
God bless you
Kwasababu ,mfano most of family za kitanzania mwanafunzi anasubiliwa amalize chuo akatatue matatizo ya familia yoa,kila kidogo anacho kipata anatumia kusolve matatizo yaliyo tengenezwa tangu hajazaliwa,atakuja kujishtukia kushughulikia matatizo yake mda usha endaaaa.ila cha msingi ni kukubali kuchukiwa tu mda mwingine
shadrack deogratius .kweli yani umeongea swadakta ndo tupo hivi kma tumejizaa wenyewe
Lutphia Gharib yaaaanni ni sawa kuuchuma mchicha kabla hauja komaaa,na bado unategemea ukomae ukupe na mbegu.jaman daaaaaa!!!
Kweli Sana Kaka....
Unachukia kusaidia kwa sababu unachukia changamoto, hilo unaloliita tatizo la wazazi wako kabla hujazaliwa ndo ulishinde ili tuone unapambana na changamoto kweli na sio kuziahirisha, hata kama utatega mgongo kuwa hayakuhus upo muda utajisikia mjinga na utarudi kutatua, changamoto ni pamoja na kuwasaidia wajinga ama wazembe (grupu ulilowaweka wazazi ama ndugu unaochukia kuwasaidia), sasa ukishindwa kuwasaidia wazembe halafu utataka watu wenye akili timamu wakuone unatatua matatizo gani labda? Ulishawahi kufikiria kwa nn wazaz ama ndugu zako ni masikin na mwisho wanakutegemea? Sasa mtu anayetambua tatizo halafu akatega mgongo kama halimhusu unazani yeye pia siyo tatizo?
ISHI UKIJUA WOTE WALIOFANIKIWA KIFEDHA WALIFANYA KUSOLVE MATATIZO YA WATU, AMA KUPATIA MAJIBU MASWALI YA JAMII.
Hongera bro
Transformative Thinking..Congrats kaka.
Hongera Sana kijana, uliyoyaongera ni very true! Wajasiliamali tunaohustle tunakuelewa Sana, stay blessed
big up bro sky interview zako zina niinspire sana
Hongera sana kaka jerf! Karbu sana Mtwara pia kwa sabb vijana huku tuna changamoto katika matumiz ya opportunity kama hizo! Be blcd
I tried Forex nimeibiwa $900 = 2M Tsh. Haya mambo yanahitaji ufahamu wa hali ya juu
Hukuibiwa umepoteza kwa kutokuelewa
@@flaviusmwemezi9961 The guy who said ananishow how it works ameniibia. He promised me success akanionyesha I won amount but sijui kuliendaje
@hotnigga Tv Nikija Bongo nitajaribu tena
Sema umechoma account yko kwny forex pia na broker unaemtua rabda sio mzr amekuchezea michezo na pia hujaisoma vzr forex umeingia kichwa kichwa tu ukisoma na ukatumia demo account ndio utapata kuielewa forex ni nn
congratulation from Kenya.I am also setting foot in forex trading.
Hongera sna dogo kwani vjana wengi hatutaki kujtu Bali kuoneana wivu basi
Great inspiration brother,keep it up
nimejifunza ki2 kutoka kwako brother hongera sana
We all in same journey INSHAALLAH
yale yote umesema ni muhimu sana kaka ,,pongezi na umekaribishwa sana Kenya.
Asante sana
Pamoja sana bro
asante
Great... hongera sana
Thanks brother jap nimechelew kukufaham ila thank nashkur kw hich ulichotup appreciate
Duh kwa mara ya kwanza kuona mjasiliamali anasema ukweli😀😀😀
Waoooooooo!!!!mungu mwema hongera san kak
Huyu jamaa kanivutua Sana, pongezi nyingi kwake
Asante kwa ajiri yangu
Ila mafanikio hayana umri. Kuna hawa vijana waliopiga Milioni mia NNE katika kubeti. Pia KFC baada ya kustaafu ndo alitoka.
Umri sio kuwa ni mafanikio. Unaweza ukazaa mtoto akawa mbunge na wewe hata balozi nyumba kumi hukugusaga. Kila MTU ana namna yake ya kutoka. Sio kama umefanya kilimo namie nitokee kwa kilimo
M/mng akuzdshie bro
From petroleum eng to stock exchange, good lucky bro, For reference forex is not for layman it needs skills and patience ,kwa yeyote anayesoma comments awe makini hakuna mafanikio ya rahisi
Well said
Jeff bhna anaon fx is so easy buy gold afu ulale
nice interview! very smart guy
Hongera Denis kwa kutengenezaaisha
Jaman unanivutia huo ujumbe lazima na mm nijiajili mwenyewe na niwe siliaz na maamuz yangu hongera kaka
Nmekukumbuka vp umepiga hatua?
Asante kaka kabisa
Sir Jef 🔥
This is the way. Hakuna namna
big up uko vzr brother
sky this is the best video so far on your channel
Sasa kumbe mtu amefika mpaka chuo, kumbe alikuwa na watu walio msaport, hamna kitu hapo. Mjasiriamali nadhani humjuwi wewe sky.
mbegu ya macharia kajiado Hills academy home boy bravoo
Sante sana bro
Hongera mm hata 100 sina uko vzur yng broo
Forex is life
Ikoje
Blessed by your words bro, an insparation for real
jamaa ana miaka 24 na kamaliza chuo 2016 .
Naomba uniunganishe na Mimi kwenye mafunzo
Great inspiration!
Ontario uyo ali tutapeli hela jamii forums
Congratulation
very good interview
Dar huyu jama ni noma
Very inspired..
Thanks my brother
Ofisi zenu zinapatikana wapi tafadhali brother Sky naomba msaada
Jaman sisi wengine tuna kwama wapi?
nipo mwanza nataman kujifunza forex naomba namba jmn jeff dennis
Huyo ni mboga saba tokea zamani. ukifikia kiwango Cha kusomeshwa Hadi ulaya ww kwenu Mambo Safi. Hela inaenda kwenye hela . Ila nimpongeze kwa ubunifu tu .Ila sio from 0 to hero .
Sio mboga saba hata kidogo mm nimesoma nae shule moja na ni mshikaji wangu
@@geraldrusasag638 😹 haha
Nandio hapo watanzania tunafeli, kusoma nje ya nchi ni milion 4 kaka, kusoma chuo cha kairuki Tanzania ni milion 7. Ni wewe tu unaamua kuwa tajiri au maskin
@@kingcopper_tz Great
Huyu ndiye alieitambulisha Forex Tanzania
Ntakuchap fimbo ww
One day like you i will be bro
nipo mwanza nataman sana kuingia kwenye system mpo mwanza sehem gan?
Hicho ndiyo nilikuwa nakitaguta, watu wengi hawasemi uhalisia wa changamoto, ila ukiingia kwenye vitendo ndiyo utaona na kujifunza na hapo utapata uzoefu na hatimaye kufanikiwa
Hivi sisi tunakwama wapi ba ndugu ebu tuelezane ukweli hapa
Mm nataka kufundishwa Iyo biashara ya forex
Mwenye hela ndio anapata hela siku zote
Mimi nilijua mkulima wa jembe la mkono halafu kafikia mafanilio hayo
☺☺☺☺
barikiwa
Hongera sana kaka
Hongera sana kaka.
Ongera,
Napenda mnavohamasisha vijana kazi
Vipi utakuja ZANZIBAR,tunataka tuijue hii elim ya FOREX
Bro sky jmn vp mbona unakatisha utamu wa handak la kifo mm sijalala naweweseka nahiyo simuliz hapa nimeamka nimekuta hakuna handak bas aaah naona ovyoo kwel yan km sijapata handak sitakuwa shwar kabisaaa
hongera broooo
Songa mbele kijana
Mnapatikana wapi ili kama nikihitaji kuwa join nijue nawapata wapi?
Inspired at max. .......
Akili Nyingi..
Haka kamtu kaliwaliza sana maboya jamii forum
Kivip kaka mbn anaonekana ni mtu smart
@@majaliwaomary7171 Yes ni smart sababu ana uwezo mkubwa wa kuwapanga watu wakapangika ila wanalia sana watu jamii forum
Mwanza mnapatikana wapi sirjeff
hongera sn,lkn familia zetu zinatofautiana, ww umetoka ktk familia iliyokuwezesha mpaka malengo yako yametimia.lkn kwa wengine inakuwangumu hata kwa kidogo.
Siyo kweli, kupata maisha mazuri siyo chanzo wazazi, hapo ulipo unaweza anza hata Leo kwa mtaji wa 10000 na ukafikia Marengo yako na ukawa tajili mkubwa!
Na unaweza kupewa milion 10 ukaharibu zote bila hata kufanya cha Maana.
Cha msingi angalia vipaumbele vyako ni Nini.
Epuka kuwaza vitu vidogo vidogo Waza mambo makubwa!
Usijione kushindwa, hapo unajiroga mwenyewe,
Amini unaweza na utaweweza! Jione unaweza na usimamie Marengo yako, na usikubari kukata tamaa!
Zaidi mshirikishe mungu na umatangulize kwa kila Jambo.
MTAFUTE AKUPE HISTORIA YAKE ALIVYO TOBOA ,START WITH WHAT YOU HAVE IS THE KEY TO SUCCESS!
KAMWE USIJIDHARAU KWA NAMNA YEYOTE ILE ....
@@adambasenya6862 Vizuri mwalimu mzuri.
Toka nimeanza kuangalia youtube, leo ndio nimepata nilichokuwa nakitafuta
Mungu tusaidie😄😄😄😄
huyu jamaa sijamuelewa kamaliza chuo 2016 zen 2019 kafikisha miaka 24 duuh
Hahahahaha
Daaaah...
Nahutaji kujua hii ndo ile channel ambayo sir alisema inakuja au ni interview tu????
Inspired
Bigup bro,
Please mbona Zanzibar sijawaona?
Nice 👍🏻
Big up