Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

DC MAGOTI ARUDI MSIKITI ULIOLAZA WATOTO 90+, ACHANGIA MIFUKO 300 YA CEMENT “MMETEKELEZA AGIZO HARAKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лип 2024
  • Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama, ametoa mifuko 300 ya cement kwenye vituo viwili vinavyotoa mafundisho ya Dini ya Kiislamu ikiwemo kituo kilichopo Msikiti wa Masjid Salaf uliopo Kiluvya Madukani, hatua hii inakuja siku mbili tangu aagize kituo hicho kifungwe na kuwarejesha Watoto zaidi ya 90 kwa Wazazi wao hadi watakapojenga mabweni na kupewa kibali maalum cha kuendesha mafunzo hayo, hii ni baada ya kubaini Watoto hao wanalazwa katika eneo dogo Msikitini na wengine nje ya Msikiti huku mazingira wanayopikia chakula na yanayowazunguka yakiwa hatarishi na machafu.
    DC Magoti ambaye amefika Msikitini hapo akiwa na Sheikh wa Mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Mtupa, ametoa mifuko 150 ya cement kwenye Msikiti huo na mifuko mingine 150 kwenye Msikiti mwingine unaoitwa Masijid Abdulaziz Ashlak ambako nako walibaini Watoto wakiwa wanalala kwenye mazingira yasiyo rafiki na salama na akaagiza warejeshwe mwakao “Nimefurahi agizo limetekelezwa ndani ya saa 24, nimeamua kuchangia ujenzi na nitasaidia michakato yote ya hati ya kiwanja na usajil wa kituo”
    Kiongozi wa kituo hicho, Sheikh Abdul Hamid amemshukuru DC Magoti kwa kuwachangia cement huku akimuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote kwa ujumla kuwachangia pia kila mmoja kwa kile atakachojaaliwa ili wawezeshe kujengwa kwa Hostel ya ghorofa 5 na Watoto warejee kuendelea na masomo… namba za kuchangia ni Tigo Pesa 0719380268 (Jina Abdallah Samudu)

КОМЕНТАРІ • 471

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 Місяць тому +30

    Mimi ni mkristo lakini uyu shekh kiukweli yuko vizuri ni mtu mwenye eshima na mnyenyekevu nimempenda sana mwenyezi mungu ampe maisha marefu.🙏🙏🙏🙏

    • @issaadinaniissa6487
      @issaadinaniissa6487 29 днів тому +2

      Uislamu sahihi ndio huo unyenyekevu, masalafi ndio hao karibu sana ujifunze mengine mengi

    • @bakarisahede9532
      @bakarisahede9532 29 днів тому +2

      Charlesmugisha6529 Nikweli nduguyangu hatamimi kanihuzunisha sana huyu sheghe mpole mnyenyekevu duh

    • @Muadhin1
      @Muadhin1 16 днів тому

      anakukaribisha ukamtembelee

  • @victorterry227
    @victorterry227 Місяць тому +8

    Shukrani Miradi Ayo kwa kutusapoti sisi waislam katika hili insha-allah Allah akulipe na akujalie ya heri na akuepushe na yashari

  • @rashiditembo1574
    @rashiditembo1574 Місяць тому +41

    Mwenyezi mungu akupe maisha marefu DC wangu,na akutangulie katika majukumu yako ya Kila siku.

    • @jojomdosi-ip4rg
      @jojomdosi-ip4rg Місяць тому +1

      Kiongozi mwenyezimungu hakujalie hakupe maisha marefu hakupe hulizi wa kutosha kwa kutusitili Aameen ya rabb

    • @KONDOBANNAHMUSIC
      @KONDOBANNAHMUSIC 28 днів тому

      Huyu DC hapo ata akifa Leo ghafla PEPONI anaenda

    • @KONDOBANNAHMUSIC
      @KONDOBANNAHMUSIC 28 днів тому

      ​@@jojomdosi-ip4rgkabisa yani sikutegemea aseeeee kama angerudi kwa staili hiyo huyu BANA mi namuombea aseeee ni mtu mwema

  • @sufianijuma5568
    @sufianijuma5568 Місяць тому +24

    Kwel,Allah amesema kwel ktk Quruan ,Mnaweza mkachukia jambo likawa heri yenu na mnaweza mkapenda jambo likawa shari yenu,Allah tuzidishie subra Waislam na hekma na busara kwan aman kwetu ndo tulio usiwa na mtukufu wa daraja.Allah iongeze nchi yetu muongoze Dc Magot aijue haki na aifuate,Amyn Amyn Amyn.bila kusahau Mpe Hekima na Busara Rais wetu Samiya Suluhu Hassan❤Amyn Amyn Amyn

    • @YohanaThadeo-ki2qg
      @YohanaThadeo-ki2qg Місяць тому

      Samia

    • @RamaahMtulivu
      @RamaahMtulivu 22 дні тому +1

      Wallah DC Allah akupe maisha malefu na akuonyeshe haki aamin. Sheykh Allah akulipe Kila kheiri liwe kwako kwa jitihada zako fidunia walikhera aamin.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 Місяць тому +19

    Huyu sheikh muelevu sana msikilivu mungu Awabariki viongozi wote na sheikh wangu ❤❤❤

  • @Allybinamour
    @Allybinamour Місяць тому +28

    Kwa hapa DC umekua kiongozi unaepaswa kua mfano wakuigwa.
    alhamdulillah kiongozi wewe allah akubarik. asante DC kwa kazi nzur mashallah

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 Місяць тому

      SI mnatuita makafir,haya kafiri kawasaidia Kwa hekima ti

    • @Allybinamour
      @Allybinamour Місяць тому +2

      @@christinewomanoffaith5479 kufanya wema hakuondoi dini ya mtu, na wala si makosa kumsifia kafiir anapofanya jambo la maslah kama hili. na huo ndio uadilifu.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Місяць тому

      ​@@AllybinamourNa Wewe kafiruna pia

  • @user-dq8qu5oy3u
    @user-dq8qu5oy3u Місяць тому +52

    Tunaomba namba ya kutuma michango japo kidogo jambo la kheri Hilo,hongera MKUU WA Wilaya Kwa Moyo Mkuu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Місяць тому +2

      Namba c zimetajwa Skiza vizuri basi

    • @husna34562
      @husna34562 Місяць тому

      Mashallah

    • @winfordmwangonda5375
      @winfordmwangonda5375 Місяць тому +2

      Hamna kidogo mbele ya kuchangia msikiti, chochote ulicho nacho ni kikubwa mno mbela ya Allah

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Місяць тому

      ​@@winfordmwangonda5375siyo msikiti ni majengo

  • @masoudrashidmohammed4124
    @masoudrashidmohammed4124 Місяць тому +5

    AL hamdulillah namshukuru Allah juzi niliandika comment yng nikasema simlaumu mkuu wa wilaya ktk hili ila nnao walaumu ni matajiri wa kiislamu wapo tyr kutoa mamilioni ya mapesa ktk mipira na baadhi ya mambo ya kipuuzi yasiokua na faida . Sasa kiongozi Magoti hapa umeqapiga pini kubwa sana sasa baada kiongozi wng kutoa cement 150 + 150 sehemu nyengine tutawaona wanaafiki matajiri sasaiv kujitokeza. Mungu akubariki Hon Magoti

  • @ZuberJafar
    @ZuberJafar Місяць тому +12

    Takibir takibir anaye mtaka DC aendre n moyo huuu weka laik nyingi kwenye komenti yangu alhu akibal mungu anasababu kufanya k2

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija Місяць тому +3

    Mashallah Mungu akubariki ulipo towa hicho Mungu azidishe kingine Baada ya dhiki ni faraja Mungu atujaalie subra katik wakati mgumu huwezi juwa nilip litakacho fwata Allahul mustaan

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Місяць тому +31

    Huyu Mkuu wa Wilaya nimemkubali mapema sana japo Mimi niko Kigoma. Big up DC Petro Magoti

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o Місяць тому

      Kwaio ulijua ukiwa nae mkoa moja ndo utamjua vizuri au

    • @adambakari9276
      @adambakari9276 Місяць тому +1

      Unajua kwann kafanya hvyo huyu kafungia madrasa na waislamu wamekuja juu hapo anajisafisha juz tena katangaza wauza mkaa na pikpik wakamatwe fain milion 1 na vijana wengi wa kisarawe ndo kaz yko

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft Місяць тому

      Na mm nilitaka nishanga yaani kw Maneno yale yakuwaambia watoto waende shule wakasome wapate kuajiriwa kwa kweli ningeshangaa sana kuona uislam ungekaa kimya 😅​@@adambakari9276

    • @w4058
      @w4058 Місяць тому

      Tupatieni namba ya kuchangia

  • @Official83640
    @Official83640 Місяць тому +6

    Kuna watu walitafsir vibaya sana leo sura zao wataweka wapi Dc kawaumbua vibaya mno Alhamdulillah Allah afanye wepesi In'shaallah

    • @burhaanmamboleo3551
      @burhaanmamboleo3551 Місяць тому

      Na ni sura mbaya kweli...na hao hao uliowaita wametafsiri vibaya sauti zao ndy zimefanya huyo jamaa yako akajikosha.....huwezi sema mazingira yale ni mabovu kuliko mahala pa kulala nguruwe....sisi tumesoma shule mbovu vyoo vibovu tena za serikali hakuna aliezivamia usiku wala kuzifunga na hata leo shule za namna hiyo zipo...bado alichokifanya hakijafunika uvundo alioufanya ..

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 Місяць тому +22

    Mimi sijui kuongea kiingereza lakini kwa kitendo cha DC MAGOTI najaribu kukiongea nikisema "VERY GOOD DISRICT COMMISIONER MAGOTI " Kumbe ziara yake pale siku za nyuma Alisikitishwa na alichokiona akaona afanye jambo .

  • @user-kz5en5tq2z
    @user-kz5en5tq2z 11 днів тому

    Mi ni mchungaji nawapongeza sana sheikh kwa unyenyekevu ambao umezaa mema hayo. Viongozi wa dini tujifunze mema, toka kwa mtu yoyote mwenye karama hizo.
    Mmbarikiwe sana Kisarawe na Dc wenu.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 Місяць тому +7

    Mama Samia hili Jambo nilaheri sio mnasapiti mpira tu Jambo la mungu mnaacha nyuma mnasafirisha paka mashabiki naomba mlione nahili la mungu muweke akiba duniani na ahera💪💪💪💪💪

  • @fettyrashid9042
    @fettyrashid9042 Місяць тому +3

    Allah akujaalie DC Magoti, Lakini pia Ustaadh alikuwa na hekima kwa clip ya kwanza majibu yalikuwa mazuri na pia alikwa msikivu sana Allah atamjaalia Ustaadh wetu❤

  • @SwalahaHusseini
    @SwalahaHusseini Місяць тому +8

    Maashaallah.
    Allah akupe zawasi ya kuingia katika uislamu na akufishe ukiwa katika imani sahihi .

  • @hamidashaban1203
    @hamidashaban1203 Місяць тому +2

    Allah akubariki DC magoti Allah azidi kukuongoza katika njia iliyonyooka na hiyo sadaka Yako iwe ni nyumba Yako yakuishi akhera.

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj Місяць тому +2

    Ni Dc mfanowa kuigwa, the best Dc.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd Місяць тому +17

    mungu akubaliki sadaka hii itaish miaka na miaka hongera sana unafaa kuigwa

    • @LabiloWabikongo
      @LabiloWabikongo Місяць тому

      mashaallah

    • @stevenmanase8162
      @stevenmanase8162 Місяць тому

      Kesho tuu mnanza kuwaita makafili alaa kumbe kafili anaweza kuwa lulu hivi waisilamu wote leoa wanapompongeza

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke Місяць тому

      ​@@stevenmanase8162uyo kiongozi yupo apo kwa ajili ya wananchi

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd Місяць тому +2

      kwaiy kwa sababu katoa sadaka Ndio ukafili wake umeisha ukafili haundolew Nasadak Na hata kafili akifanya jema anastahili kushukuliwa japokua ukafili wake upo pale pale mpaka asilim

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 Місяць тому +1

    Tunashukuru sana mkuu wa wilaya kwa hicho ulicho toa.mungu akulipe kila lenye heri na wewe pamoja na familia yako awafanyie wepesi kwa kila jambo.ubarikiwe sana🙏

  • @jeffmwambe7657
    @jeffmwambe7657 Місяць тому +1

    Asante sana DC huo ndo uongozi na utu maana rengo ni zuri ivyo tuna shukuru kwa saport yako.

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 Місяць тому +1

    Maaashaalllllah maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah maashaallah..........hongeraaa sannaaaa mungu akufanyie wepes....kwajuhudikuuubwaaa ulizofanya mkuu wa wiliyaa...

  • @shabanimbiaji
    @shabanimbiaji Місяць тому +1

    SUBIRI NA WEWE MUDA SI MREFU ALLAH ATAKUPA MAKIPO YAKO,,,,SUBHANNALLAH,!!!!!

  • @user-uw5oh5yy5m
    @user-uw5oh5yy5m Місяць тому +1

    Umeupiga mwingi sana DC kwa kuonesha mfano kwa viongozi wengine ,mungu akubariki sana!!Inshallah jengo litakamilika kwa uwezo wake ALLAH S.W .INNAH BAADA USRI YUSRA🎉🎉🎉

  • @SophiaAthumani-ri4lu
    @SophiaAthumani-ri4lu Місяць тому +2

    Asante DC hakika umefanya vema kulichukulia jambo hilo kwa uzito,Sadaka yako ikawe kheri kwa watoto wetu.

  • @husseinkadawa2846
    @husseinkadawa2846 Місяць тому +1

    Allahuakbar shekh Allah hatakuacha peke yako na malengo ulio weka yata timia tu kwa uwezo wake ndugu zangu waislam na wale wote tunao amini uwepo wa mungu tuchanga usidharau hela hata buku tuma kwa maana buku kwa watu milioni ni bilioni jambo linaenda nuia sadaka yako tuma huenda na wew ikawa ndo sababu ya kufunguliwa matatizo yako.

  • @saeedmagoda9651
    @saeedmagoda9651 Місяць тому +1

    Mtangazaji Mungu akubariki kaka unajua kuriport hongera sana kwa taarifa yako

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 6 днів тому

    Takbiiiiiiiirrr
    ALLAHU AKBARU ALLAHU AKBARU ALLAHU AKBARU
    Walillah Llihamdu

  • @user-ry8xf1no2s
    @user-ry8xf1no2s Місяць тому +1

    Mashalahaa Alha akufanyiewepesi kwenye uongoziwako
    Mueshimiwa laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani ujawaikuniangusha una tupa viongozi makini sana awakulupuki na kupenda laisi wangu Samia

  • @maryamabdallah3140
    @maryamabdallah3140 Місяць тому +2

    Siku zile nilijisikia vibaya lakini lengo lako lilikuwa jema kabisa...Mungu akutunze DC

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 Місяць тому +7

    Mungu anatufundisha katika quran kua na subra katika kila Jambo. "Waeza chukia Jambo kumbe Lina kheir nawe na ukapenda Jambo kumbe Lina shari nawe.Awali wengi tuliona Shari kumbe mbeleni DC Magoti ameleta faida kwetu.Kaka Magoti mungu akupe umri mrefu na akufanyie wepesi katika maisha yako.Yaraby mpe furaha kama alivyo tufariji.

    • @abuuhafswa
      @abuuhafswa Місяць тому

      ila kutoa siyo tatizo msinganganie sadaka mnazopewa tuu . angalia na dosari aliyoiweka kwenye dini . yapasa atuombe radhi

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft Місяць тому

      ​@@abuuhafswaDosari kubwa sana kwa kweli nilishangaa sana yale sio maneno yakuwaambia watoto, eti watoto wazuri mama samia anawapenda amewajengea shule nzuri zenye ubora ili muene mkasome muwe watumimishi kama hawa niliokuja nao so kungangania kulala hapa mahala hapafai, kwakwelu nilimshangaa sana ana maanisha nini kuwaambia vile watoto na kuwashushia lawama wazazi kua wamewatelekeza watoto wao wamewatupa kama hawana uchungu nao, yan imeniuma sana ivi unazani mm kama mzazi unakuta nimepeleka mtoto wangu hapo na naona video ya mazingira kama hio na maneno kama hayo alafu naambiwa mtoto anarudishwa nyumban unazani ntajiskiajee ?? Mwengine anaweza akagairi kabisa kumrudisha mtoto hapo atamtaftia sehem nyengine kbs na kuichukia dini, na kwa hao watoto walio rudishwa sizan kama watarudi kwa idadi sawa kama walivyoondoka wengi watabak makwao,
      mm ninachojua kama yeye kiongozi alipoona hilo tu angechukua maamuz ya kusaidia ujenzi watoto wakae mahal salam kam wanavyofanya makanisani ila kwasbb ameona ni waislam hawana wakuwasemea amejifanya yeye kama hajali kinachoendelea hapo wala hakina maana anawaambia watoto waende shule waende shule wakati watoto karibia wote hapo wanaenda shule na wanarud hapo kupata elimu ya dini ila yy akataka kufikisha ujumbe waonekane kana kwba waislam wamewarundika watoto hapo kama kuwakusanya ty kwa kwel. Iliniuma sana ile vd jinsi alivyoongea 😢

    • @user-ow7pl6tz2c
      @user-ow7pl6tz2c Місяць тому +1

      nikweli alisema vibaya sana naamekosea sana waislam na hiyo sio lizaa yake itakua amepokea maagizo kutoka juu

    • @EddahBure-te7ft
      @EddahBure-te7ft Місяць тому

      @@user-ow7pl6tz2c safi

  • @allymwinyi970
    @allymwinyi970 Місяць тому

    Ahsante sana Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. MUNGU akubariki. Tunakuombea MUNGU kwa wema ulioifanyia Madrasa hiyo. Tunaamini huku fanya lile zuio kwa utashi wako, ila kwa utekelezaji wa majukumu yako ya kuangalia maslahi ya baadae ya watoto hao. Tunamwomba MUNGU akuinue kupitia Raisi mwenye huruma kwa watu wa makundi, rangi na dini zote na na hata huruma kwa watu waakundi maalum. Mama yetu Dkt
    SAMIA SULUHU HASSAN. MUNGU anakupenda, wananchi wote wanakupenda. Kuna watu hawakuona Kam unaweza. Kwa Rehma na Huruma ya MUNGU amempa jicho Raisi wetu kukuteua na sisi tunaona. MUNGU akulinde na akulipe heri nyingi. Amin.

  • @AbuujureyjKhaniy
    @AbuujureyjKhaniy Місяць тому +1

    Usimjaji mtu kwa muonekan wake hakik Dc umekuwa mwema na umetend haki mungu akutangulie
    Shekh uwaz na ukweli wake mungu kamfungulia upande mwengine hakika ukweli ni baraka nyoote Allah akutangulie

  • @SalmaSamiry
    @SalmaSamiry Місяць тому

    Mashaallah allahumma barik mwenyezi mungu awajaalie awape maisha marefu awaepushe na hasadi za walimwengu ameen ameen ameen yaa Allah 🙏

  • @abdulmagido5444
    @abdulmagido5444 Місяць тому +2

    Big up Doto Magoti Allah akuhifadhi

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому +3

    Ma sha allah
    Tunashukuru kwa kusema alhamdulilahi

  • @user-qw6wv4hf5c
    @user-qw6wv4hf5c Місяць тому +1

    Mwenyezi mungu akujakie ds magoti Kwa moyo waupendo allah akulipe kheri ww na timu yako inshaallah

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 Місяць тому +1

    Allah atie nuru ya uislam ktk kifua chako mkuu wa wilaya bora kuwahi kutokea

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 Місяць тому +4

    Mungu akuzidishie

  • @ashiaabdul887
    @ashiaabdul887 Місяць тому

    Masha Allah DC Allah akufanyie wepesi katika utendaji wako wa kazi .

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 Місяць тому

    ❤❤❤❤ mashallah mwenyezi mungu ampe maisha marefu na afya njema inshallah

  • @zaituniNkupa
    @zaituniNkupa Місяць тому

    Hongera mkuu wa wilaya umefanya jambo jema mno. Mungu akubaruki

  • @mayaniphilipo9256
    @mayaniphilipo9256 Місяць тому +2

    Hongera Sana Mheshimiwa
    Nimependa Ulivyorejea
    Mwanzo Ulinishangaza Kwa Lugha Zako
    Ila Hakuna Aliyekamilika
    Allah Atusamehe, Atuongoze Na Atufanyie Wepesi Kwenye Harakati Zetu
    BIG UP DC

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt Місяць тому

    MashaAllah.mkuuu.wawilaya.Allah.akupemwisho.mwema.naimani.mola.wetu.anaweza

  • @user-xv7mo8tw7c
    @user-xv7mo8tw7c Місяць тому

    Masha Allah tunahtaj viongoz kama wey mungu akupe afya

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy Місяць тому

    MashaAllah. Hongera sana Dc Petro magoti kwa moyo wako mkunjufu nakuombea kwa Allah akusimamie katika majukumu yako ya kazi inshaAllah. Ameen

    • @stevenmanase8162
      @stevenmanase8162 Місяць тому

      Watu walianza kumdhihaki mh petrol sisi wakristo hatuna baya kazi kazi kwenu sasa ona hata milioni16 mnashindwa kuchangishana mnaomba kwa rais mmekalia kuwa ita watu makafili tuu

  • @gmelectronics1997
    @gmelectronics1997 26 днів тому

    Taqabal Minah wa aminkum JAMIYAHTUL muslimunah..kila apangalo mungu hua lina kheri kubwa

  • @SirahShabani
    @SirahShabani 29 днів тому

    Mashaallah ❤

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Місяць тому

    asantesana mkuuwa wilaya munguakujaliye kwaupendowako akuogezeumrimrefu akuhfadhiwewe na familiyayako

  • @SophiRamadhani
    @SophiRamadhani Місяць тому

    Mama msikivu na mtendaji. Mwenyezi Mungu amuongoze kwa hili liwe jepesi Insha Allah

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Місяць тому

    Mheshimiwa Petro Magoti ubarikiwe sana. Mungu azidi kukufungulia na akujaalie afya njema.

  • @user-gy7wu5iy6q
    @user-gy7wu5iy6q 26 днів тому

    Mashaallah

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 Місяць тому

    Maa shaa allah

  • @issarashid7707
    @issarashid7707 Місяць тому

    Mungu akusimamie katika kazi zako ..Kwa hakika huo ndio mfano mzur

  • @lukumanisharifu
    @lukumanisharifu Місяць тому

    Safi sana DC huo ndio uungwana mungu akupe Imani sabiti

  • @allyjumakukulo4972
    @allyjumakukulo4972 Місяць тому

    Masha Allah allah akuongoze na akufanyie wepes upate neema ya uislam

  • @user-hy1bp7sp6z
    @user-hy1bp7sp6z 22 дні тому

    Mashaallah Allah haitupi Qura'an alishaahidi

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr Місяць тому

    Allahu akbar DC mungu Allah akuhifadhi❤❤❤

  • @WardaDonyi
    @WardaDonyi Місяць тому

    Hakika DC Magoti were ni kiongozi bora sana. ALLAH akubariki ulipotoa

  • @Anza_tz
    @Anza_tz Місяць тому +1

    Hii inaitwa wajibisha alafu fundisha kwa hekima safi sana mkuu wa wilaya ni Jambo jema Sana la kuigwa na kufuatwa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Місяць тому +1

    Hongera sana MH magoti wewe ni mfano wa kuigwa ❤❤❤

  • @nasrasalumu7005
    @nasrasalumu7005 Місяць тому

    DC wewe ni mfano wakuigwa kabisa mungu akuongoze hivyo hivyo kiongozi wangu mkuu wa wilaya safi kabisa na shekhe mungu akulipe kwa hekma wewe muelewa na msikivu na wewe mungu akuongoze hivyo hivyo na akujaalie mwisho mwema inshallah

  • @jamalnaheka
    @jamalnaheka Місяць тому

    mh.magoti Allah akupe afya njema sana kazi nzuri.

  • @nzwibasson8479
    @nzwibasson8479 Місяць тому +2

    Kuna ujinga unafanywa hapa. Kwa waisilamu wenye akili wameshaliona hili. Tuhimizane subira waisilamu. Tunakila sababu ya kulinda tunu ya uisilamu tuliyopewa na Allah. Waisilamu wote tunahitaji kuwa na jitihada ya kutafuta elimu ya dini haijalishi ni katika hali gani. Baadhi ya jamii elimu si kipaumbele chao.

  • @arafakhamis3336
    @arafakhamis3336 Місяць тому

    Mashallah

  • @shabanimbiaji
    @shabanimbiaji Місяць тому

    SUBIRI NA WEWE MUDA SI MREFU ALLAH ATAKUPA MAKIPO YAKO,,,,SUBHANNALLAH

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 Місяць тому +4

    Kitu cha maana sana na cha muhimu barikiwa DC maana niliwaza sana ni bora watoto au vijana kujua DIN kuliko kuwa mtaani au kuwa waharifu

  • @NaziaMudi
    @NaziaMudi Місяць тому +1

    Wanafiqi saana awa baada yakuaambia watoto kwamba elim ya dini aina maana wasome wawe madaktari na viongozi wakubwa serikalini leo tena 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 innalillahi wainna ilayhi raj'uun allah awape ufaham wakuitambua hakki

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt Місяць тому

    Asante sana mkuu huu ndiyo uwongozi mungu akulipe

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Місяць тому

    masha allah kajitahifi mkuwamkowa.naselekari yetuwendwa

  • @alihabib2270
    @alihabib2270 Місяць тому

    SAFI SANA DC MAGOTI, HAKIKA WEWE NI KIONGOZI MUADILIFU NA MUWAJIBIKAJI. MWENYEZI MUNGU AKULINDE NA AKUONGOZE KATIKA MAJIKUMU YAKO YA KUIJENGA JAMII.

  • @khalfanabeid5998
    @khalfanabeid5998 Місяць тому

    Allah ampe maisha marefu na anyanyue uchumi wa nchi yetu kupitia hili. Amin.

  • @StewadKizenganya-sk6sg
    @StewadKizenganya-sk6sg Місяць тому

    ALHAMNDULILAh ,mungu anawaongoza watu kwanafsi zetu huku mwili ukitumikishwa

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Місяць тому +2

    Hongera mheshimiwa kwa moyo wa kutowa msaada

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

    Maashaallah. Allah akutoe kwenyegiza akuoete kwenyemwanga yaraby. Mjaalie huyo baba atukiewitowako. Amyn

  • @ismailkiwawas5982
    @ismailkiwawas5982 Місяць тому

    Shukran Sana DC jaah bless 👍👍

  • @mussarashid2216
    @mussarashid2216 Місяць тому +2

    Very Humble ichi ndo tunaitaj na sio yule wa UBUNGO

    • @jitabojilala6162
      @jitabojilala6162 Місяць тому

      Wewe unaongea nini? ubungo kafanyaje? Je kwenye dini yako unaruhusiwa mtoto wa kike kujiuza? Je kwenye kabila lako ni ruksa kujiuza tafakari sana kuna wanawake wanajiuza utafurahi kwa kuwa hawatoki kwako 😢

    • @mussarashid2216
      @mussarashid2216 Місяць тому

      @@jitabojilala6162 Dini yenyew inataka watu wasiopungua wa tatu walio na ushahid wa macho wakati kitend cha zinaa kinafanyik na sio kumkuta mtu guest basi umuhukumu mzinifu yule ansjiuz

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 Місяць тому +5

    Nimefurahi mkuu hakuwa na nia mbaya nimrmuelwa sana na namuombea mungu amsaidie na kumuongoza mkuu huyu wa wilaya mungu amuongoze na amlinde jaman

  • @hassanmussa7664
    @hassanmussa7664 Місяць тому +1

    Anajikosha tena.....waache mihemko.....ukuu wa wilaya una mambo mengi ya kufanya....especially kusimamia sera

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 Місяць тому

    Allah akulinde ktk uongoz wko mku wa wilaya yakisarawe wewe nikiongoz wakuigwa ktk uongoz

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 Місяць тому

    MashaALLAAH sheikh wa huo msikiti yupo smart sana

  • @fahamimiraji2338
    @fahamimiraji2338 14 днів тому

    Allah alifanyie wepesi inshaallah

  • @SuleimanIbrahim-lp7qs
    @SuleimanIbrahim-lp7qs Місяць тому

    Asante sasa R C mungu akulinde kwaulichokifanya

  • @rahmaismaily3358
    @rahmaismaily3358 Місяць тому +2

    Kila penye uzito Kuna wepesi.... alhamdulillah

  • @yasirsaid8464
    @yasirsaid8464 Місяць тому

    MAA SHAA ALLAH ALLAH Awabariki wote

  • @fatumasaid9882
    @fatumasaid9882 Місяць тому

    Mashalaah mashalaaah peter magot kwa hilo umengusaaa

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l Місяць тому

    Mungu akujalie sana kuona tatizo na kulitatua sio kuhukumu haijawahi tokea hili ungeeishia tu sehemu

  • @eliezasamwel4891
    @eliezasamwel4891 Місяць тому

    Baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana Kuna wanao mpongeza leo Mh.DC lakini mwanzoni walimponda na kusema anataka kuleta udini sijui anamkosea Mungu hebu acheni kuwa na unafiki ivoo😮

  • @najmasalim-rg6ow
    @najmasalim-rg6ow Місяць тому

    MashaaAllah tabaaraka llah Alhamdulillahi

  • @athumanitanuke6795
    @athumanitanuke6795 Місяць тому +8

    Allah akbar , hadi machozi yananitoka kwa furaha
    Na sio kazi kudhamin mipira na maahindano ya urembo tu

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf Місяць тому +1

    Honger mhshmiwa

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 Місяць тому

    Mungu ambariki amazing alipo pungunguza

  • @BN.seleman
    @BN.seleman Місяць тому

    Masha’Allah
    Allah awalipe mumefanya kazinzuli

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t Місяць тому

    Alhamdulillah Allah awajazie kher hilo nijambo labaraka

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Місяць тому

    Allah akubariki ujenzi utausha kwa uwezo wa wake

  • @abuusuhayl7830
    @abuusuhayl7830 Місяць тому +1

    Mashaa Allah..wale walio kejeli na kutoa maneno ya kifedhuli wamefedheheka wao

    • @hemedahmed3094
      @hemedahmed3094 Місяць тому +1

      مَا كَانَ لِلْمُشْرِكِينَ أَنْ يَعْمُرُوا مَسَاجِدَ اللَّهِ شَاهِدِينَ عَلَىٰ أَنْفُسِهِمْ بِالْكُفْرِ ۚ أُولَٰئِكَ حَبِطَتْ أَعْمَالُهُمْ وَفِي النَّارِ هُمْ خَالِدُونَ
      إِنَّمَا يَعْمُرُ مَسَاجِدَ اللَّهِ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَأَقَامَ الصَّلَاةَ وَآتَى الزَّكَاةَ وَلَمْ يَخْشَ إِلَّا اللَّهَ ۖ فَعَسَىٰ أُولَٰئِكَ أَنْ يَكُونُوا مِنَ الْمُهْتَدِينَ

  • @user-hb7mq8lg9e
    @user-hb7mq8lg9e Місяць тому

    DC Asante Sana..🙏🙏🙏

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo Місяць тому

    Allahu akbar
    Mungu akupe hidaya mkuu
    Shukran sn

  • @user-yj3gy4jc1t
    @user-yj3gy4jc1t Місяць тому

    Maashaallah nimefirahi sana