''TOENI MILANGO YOTE'' - RC SIMIYU AKERWA na MRADI wa TASAF - UJENZI WA WODI ya WAZAZI MEATU...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • ''TOENI MILANGO YOTE'' - RC SIMIYU AKERWA na MRADI wa TASAF - UJENZI WA WODI ya WAZAZI MEATU...
    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda ameagiza kuondolewa kwa milango yote pamoja na kufanyika kwa baadhi ya marekebisho katika ujenzi wa Mradi wa wodi ya wazazi katika Zahanati ya Kijiji cha Mwaukoli Wilayani Meatu Mkoani humo.
    Dkt. Nawanda ametoa maagizo hayo leo baada ya kutembelea mradi huo katika ziara yake, mradi ambao unatekelezwa na mfuko wa maendeleo ya Jamii (TASAF) ukigharimu zaidi ya Milioni 70.
    Akiwa katika mradi huo, Mkuu wa Mkoa amebaini uwepo wa mapungu mengi Katika ujenzi mradi huo wake ikiwemo fremu za milango na milango yenyewe iliyowekwa kuwa chini ya kiwango.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 15

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 3 місяці тому +2

    Udhalilishaji wa wafanyakazi wa serikali mna kazi kubwa.
    Mishahara midogo na wanaowatukana wao wanaishi vizuri na wanawapa mishahara midogo na bado wanawadhalilisha

    • @mjukuuhotelitv7736
      @mjukuuhotelitv7736 2 місяці тому

      Na wewe ni mainjinia wazinguaji we huoni anaongea kweli mainjinia wanapewa Hela wanakuwa wapigaji kisa Hela za umma

  • @user-kx7ei6pf7b
    @user-kx7ei6pf7b 2 місяці тому

    Wamekupa kesi

  • @angelabanzi8253
    @angelabanzi8253 3 місяці тому

    Safi Mkuu

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 3 місяці тому

    Safi kwakazi mkuu

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 3 місяці тому

    Wataalam wetu ni shida

  • @Mamkubwa
    @Mamkubwa 2 місяці тому

    Makelele weonekane kwenye TV. Mnakaa sana maofini, huo ikaguzi ukifanya kila mara hata ngazi zz chini watakua na adabu.

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 3 місяці тому

    Ila ni kweli...hapo hamna kitu

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z 3 місяці тому

    Bado hamjasema, na bado

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 3 місяці тому

    Ndo maana mnambambikia kesi

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 3 місяці тому

    OCD SIJAELEWA MKUU

  • @TuntufyeMwakaluka
    @TuntufyeMwakaluka 2 місяці тому

    Mama nae huyu ipo wazi ni fitina kutokana utendaji wake

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 3 місяці тому

    CCM OYEEE PELEKA MOTO MKUU

  • @SelijusiMalambo-rh6sf
    @SelijusiMalambo-rh6sf 3 місяці тому

    Mtembee nakiboko wajinga kweli