Tazama NARCO Kongwa walivyofanikiwa kwenye malisho ya Juncao!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Mkurugenzi wa Maeneo ya Malisho na Rasilimali za vyakula vya Mifugo Dkt. Asimwe Rwiguza ametembelea ranchi ya Mifugo ya Kongwa iliyopo chini ya Kampuni za Ranchi za Taifa (NARCO) ili kuona namna walivyofanikiwa kwenye kilimo cha malisho ya mifugo aina ya Juncao.. Tazama hapo mazungumzo yake na wao yalivyokuwa..

КОМЕНТАРІ • 17

  • @mifugouvuvionlinetv9032
    @mifugouvuvionlinetv9032  5 місяців тому +2

    Mbegu za malisho ya Juncao zinapatikana kwenye mashamba ya Serikali ya mbegu za malisho likiwemo shamba la Vikuge (Pwani) na Langwira (Mbeya), Kwa mawasiliano piga simu namba 0714060849 (Reuben, Meneja wa shamba la Vikuge)

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 5 місяців тому

    Hongereni sana

  • @jacob.surassa725
    @jacob.surassa725 3 місяці тому

    Hongereni. Dodoma mbegu tunapata wapi

  • @cyprianmgogo7625
    @cyprianmgogo7625 2 місяці тому

    Nimekupata toka Zambia mkuu,nitaanza ufugaji wa ngo'mbe baada ya kuona video hii,umehamasisha sana .unapatikana upande upi na mbali gani toka mbeya mjini?

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 2 місяці тому

    Jani hilo linaitwa aje?

  • @hildakamugisha1135
    @hildakamugisha1135 3 місяці тому

    Dar tunapata wapi

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 2 місяці тому

    Tuwekeeni no za simu zenu na wapi tuwapate kwa kagera

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 2 місяці тому

    Na mbegu tutaipata wapi?

  • @MATHIASLUGIKO
    @MATHIASLUGIKO 5 місяців тому

    Ni kiasi gani Cha mbegu Kwa hekta

  • @davidkelvin1692
    @davidkelvin1692 5 місяців тому

    Wizara ingejitahidi kusambaza mbegu kwa kila kanda ili wafugaji wazipate kwa urahisi nakuanza kufuga kisasa

  • @HawaShangla
    @HawaShangla 5 місяців тому

    Utaratibu wa kupata mbegu ya hayo ukome kwa hapa dodoma

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 2 місяці тому

    No za Jossam kwa kqgera

  • @user-iw4ho4wb5p
    @user-iw4ho4wb5p 5 місяців тому

    Kwa Kagera ulizia mbegu kwa Bwana Jossam wa Kahama Fresh, Alhaji Shakiru Dangote na Katongo kwenye bustani ya mbunge Mwijage. Shambani kwa mbunge mbegu ni bure

    • @felixchristopher7018
      @felixchristopher7018 3 місяці тому

      Mawasiliano mkuu. Hongereni sana kwa jitihada za kufikisha majani haya nyumbani. Omukama abebembele muno mwaakora!!!

  • @user-iw4ho4wb5p
    @user-iw4ho4wb5p 5 місяців тому

    Tayari Muleba tuna mbegu nyingi

  • @GeraldinaGerard-xy6pl
    @GeraldinaGerard-xy6pl 2 місяці тому

    No za Jossam kwa kqgera