SHEIKH OTHMAN MAALIM NA MFANYA BIASHARA MAARUFU WAACHA HISTORIA PEMBA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лип 2020
  • Kutoka AL FATAH CHARTABLE ASSOCIATION.
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline
    #AlfatahCharitableAssociation
    #ZANZIBAR

КОМЕНТАРІ • 151

  • @suleimanpandu8955
    @suleimanpandu8955 4 роки тому +13

    Maa Shaa Allah ndugu yetu Bopar na Othman Maalim hongereni sana na wengine fuateni nyayo hizi huu ndio Uislam na huu ndio utu Allah atubariki sana

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 роки тому +2

    Sheikh othman maalim nampenda sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana sana uhibbuka fil llah

  • @salumnassor6555
    @salumnassor6555 4 роки тому +10

    Mashallah Said nassir bopar, tupate matajiri 100 wenye moto kama hawa basi znz hakutakuwa na mtu atakaye lala njaa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 3 роки тому

      Kweli tupate watu MAKARIM kama hapa... Mungu akuzidishiye Amin.

  • @alimohd4625
    @alimohd4625 4 роки тому +11

    Mashaallah Allah amzidishie amfanyie wepei na ampe MWISHO MWEMA

  • @khalidhamis5811
    @khalidhamis5811 4 роки тому +15

    Al-fatah hongeren San huwa nikiona hivyo nafulah San had machoz yakinitok natamn siku Allah akinipa Nam nitowe kwa wingi Kam huo inshallah namuomba mungu anipe ili Nam nije kufny hivyo inshallah

    • @sharifaali348
      @sharifaali348 3 роки тому

      Inshaallah

    • @firdausgreen1391
      @firdausgreen1391 3 роки тому +1

      Siyo mbaka uwe nacho kikubwa saaana ndo utoe....waweza toa ata maji ya kunywa au ata ka mkate kalikopo apo jikoni kwako......waweza kuwa na kingi afu usiweze toa ata cent

  • @fatumamwinyi8898
    @fatumamwinyi8898 4 роки тому +7

    Wallah machoz yamenitoka Allah awazidishie zaid ya mlivyotoa😭😭😭😭😭😭

  • @swalehmzee5883
    @swalehmzee5883 2 роки тому +1

    Sh othman umenigusa moyo sana nizaidi yakutowa khutba juu ya membari bila shaka Allah amekukubali kwa hilo umefaulu Allah awafanyie wepesi mumeonyesha mfano hauotosahaulika tarehe njema ya uislamu jazakumullwahu khairan

  • @abdukadiliissa8076
    @abdukadiliissa8076 4 роки тому +5

    Maasha Allah ndugu zetu Sheikhe Uthman Maalim

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 роки тому +2

    Jazakum Allahu Khairaan Kathiraan.

  • @khadijaally7478
    @khadijaally7478 3 роки тому +4

    Alhamdulillah wallahi Allah awazidishie maradufu na awape afya njema na moyo na awazhibitishie imani msichoke hakika Allah amewapa kwajili yakusaidia wasiokua nauweze.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 роки тому +2

    Mungu akubarikini kwenye maisha yenu nyote mlohudhuria. Huu ndio UWISLAM . Nzuri inapendeza WALLAHI..الحمدلله

  • @mohamedsheikh6618
    @mohamedsheikh6618 3 роки тому +2

    Allah akubarik, afya, yako, Mali yako, kazi yako, biashara zako uwe ni wakala mzuri wa Allah kwa kile alicho kubariki a, makusanyo ya Mali yasiowafaa waliokuzunguka ni sawa na adhabu ya kuchunga Mali mwisho wa siku ni kuacha kila kitu baada ya kufa pasi na faida kwa mmiliki, Allah akupe imani ya kweli amin

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 3 роки тому +2

    Mashaallah allah akupe kila la Mr bopar akuokee na ria

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 3 роки тому +2

    MaashaAllaah waislaam wamefurahi mnoo, baaraqa Rrahmaan

  • @mansooralzakwani6031
    @mansooralzakwani6031 4 роки тому +6

    Mashaalah ni kitu cha kheri na cha imani kufanya hivyo.Inshallah Allah awalipe kheri hapa hapa duniani na zaidi huko akhera

  • @abdulcharity4868
    @abdulcharity4868 4 роки тому +4

    Allah akulipe mr bopar na mungu aizidishie Alfalah kutuonesha nasi tupate moyo wa kutoa

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +4

    Mola awadhidishie khayran 🙏🙏🙏

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 роки тому +9

    Mashaallah Allah Akbar Allah awazidishie kikubwa zaid ya icho hongereni sana Shekh Athuman Maalim Allah awajaalie umri mrefu zaidi.

  • @alimohamedalisaid7040
    @alimohamedalisaid7040 4 роки тому +6

    Mashallah x3 mungu akupe afia ameen thuma ameen mashallah mungu amupe zahidi na zahidi ameen thuma ameen

  • @salmabakar4339
    @salmabakar4339 3 роки тому +3

    Mashaalah Allah akuzidishie kheri illa mfike na kisiwa cha fundo

  • @ashirafuyazid6988
    @ashirafuyazid6988 3 роки тому +2

    Manshallah manshallah

  • @hamdanseifslum1669
    @hamdanseifslum1669 4 роки тому +4

    Bopar mashallah mungu akubarik ishallah

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 3 роки тому +3

    😭😭😭 Nalia kwafuraha mfanya biashara na Sheikh othmani maalim na woote mlioshirikiwooote ktk Kheri Allah awazidishie kila la kheri Allahumma Aamiin 🙏

  • @hemedabry1906
    @hemedabry1906 3 роки тому +3

    Mashallah Allah akuzidishie iman

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 роки тому +4

    Maashallah hii ndio imani hasa ya muumin au waumini kwakweli wanaopokea sadaka hizi na nyengine hakuna budi kuwaombea dua zakheri ck zote ili Allah azidishe baraka na rehma zake waweze kuendeleza kheri hizi shukran Al fatah TV online

  • @twahrhamid3941
    @twahrhamid3941 3 роки тому +3

    Allah awalipe kwakilaa hatuwa ishaa Allah

  • @AhmedAhmed-nb1tn
    @AhmedAhmed-nb1tn 4 роки тому +6

    😭😭😭 mashaallah Allah amjaalie bopar kila la kheri katika maisha yake pamoja na mwisho mwema.
    Amiin

  • @kassimaliyy5490
    @kassimaliyy5490 3 роки тому +2

    Dah mungu akulipe kila la kheri father

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +6

    😢MA sha Allah Alhamdulillah Mola awajaliye kheri awadhidishie vitendo maqbul 🙏

  • @mohammedhassan-yv9yd
    @mohammedhassan-yv9yd 4 роки тому +7

    Masha Allah, Allah abarikie zaidi na nyinyi Al fatah, Allah awalipe kwa juhudi zenu.

  • @moa4122
    @moa4122 4 місяці тому +1

    Mashaallah Allah azidi kukubarik Bopari na mama yako bi sultana na familia yako mzima Ameen. Kwa kweli ulitoka mbali mpaka ukafika ulipo. Sisahau kabisa tokea uweleni mpaka ukafika Unguja.

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому +6

    😭😭😭😭Hakika nawa penda kwa Ajili YA ALLAH Mtukufu 💞

  • @sultannassor9756
    @sultannassor9756 4 роки тому +5

    Hongera sana Alfatah kwa kutujuxa menge tusoyajua mungu awalipe kheri nyingi

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому +2

    maashaallah maashaallah

  • @masoudidadi7369
    @masoudidadi7369 3 роки тому +2

    Mashallah Allah awalipe
    Safi sana

  • @dullahamoud6037
    @dullahamoud6037 3 роки тому +4

    Mashallah mzee Bopari

  • @suleimanmohamed4367
    @suleimanmohamed4367 3 роки тому +3

    Mashallah

  • @shamilamo9159
    @shamilamo9159 3 роки тому +3

    Mashaallah mungu awazidishie

  • @aliomar255
    @aliomar255 4 роки тому +6

    Mashaallah hii vdeo imeniathiri sana mpka Bopar mwnywe amechukua mzgo na kuupeleka na shekh Othman maalim Allah akuekeni na Akulipeni wema wenu

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 4 роки тому +3

    ALLAH awazidishie kila la kheri

  • @aishasulaiman4144
    @aishasulaiman4144 4 роки тому +3

    MaashaAllah maashaAllah Allah akulipen kheyr kubwa hapa dunian n kesho Akhera

  • @TheTruth10071
    @TheTruth10071 4 роки тому +9

    Allah atawalipa kheri inshallah musichoke

  • @salem9874
    @salem9874 4 роки тому +4

    Bopar Mashallah Mungu akuzidishie zaidi

  • @mohammedrajabu7449
    @mohammedrajabu7449 3 роки тому +3

    Maashaaallah Allah awaongezee zaidi ya mlichotoa

  • @swabriali4583
    @swabriali4583 4 роки тому +12

    Mola awazidishie na atupe nasi hima ya kutoa kwa ajili ya Allah

  • @mubaarakothman5912
    @mubaarakothman5912 4 роки тому +4

    Mashallah Allah awalipe kheri

  • @alimuhsin6655
    @alimuhsin6655 4 роки тому +4

    mashallah jazaka llahu kheir

  • @mussasaid4955
    @mussasaid4955 3 роки тому +5

    Huyu Bopar Allah amzidishie huyu sio kama Mo dewj kufadhili upuuzi tu

    • @mpendwacravery126
      @mpendwacravery126 3 роки тому

      Jamani....mimi ni mkristo....balaa bukoba...mmm jammmmany wewe bwana ktk hili Mungu wa Ibrahim....akitazama...na akifanyiwa ayo ayo ndugu yangu!!!

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 роки тому +2

    Mashaallah Allah atawalipa kesho Ahera Allah humma Amiin

  • @othmanal-nabhany9243
    @othmanal-nabhany9243 3 роки тому +2

    Mashallah mashalla Mola ambarik sana na atubarik sote waja wake atujaalie tuwe waja wema

  • @abdullmikidadi3814
    @abdullmikidadi3814 3 роки тому +3

    Mashaallah

  • @alimselem7056
    @alimselem7056 3 роки тому +2

    Allah atakulipa kheri

  • @ahlanwasahlan373
    @ahlanwasahlan373 3 роки тому +2

    NI KHYR KUBWA SANA

  • @mussasaid4955
    @mussasaid4955 3 роки тому +2

    Allah akuzidishie Boppar usiwe kama kinna Mo Dewj na GSM ukapoteza muda buree

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 роки тому +4

    eee huyu anaetowa sadaka na yeye anabeba kuwagaiya watu duuu mungu mkubwa allhamdulillah

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 роки тому +4

    Mashaallah Allah akuzidishieni umri wenye afya njema nyote muliojitolea kutoa kwa ajili ya Allah

  • @dullysavage5939
    @dullysavage5939 2 роки тому +1

    Mashalla mwenzimungu akulipe kheri duniani na akhera.

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 3 роки тому +2

    Jazakallah kheir

  • @abdulharith5642
    @abdulharith5642 4 роки тому +3

    Allah awajaalie kher kubwa Allah amjaalie bopar moyo wa kutoa amjaalie maisha mema duanian na akhera

  • @mussabinnassory8760
    @mussabinnassory8760 3 роки тому +2

    Mashaallah alhamdulillah Allah akupe moyo huwo huwo wakutowa inshaallah

  • @nadirmahfoudh1812
    @nadirmahfoudh1812 4 роки тому +5

    Masha'Allah!!
    Nooron alaanoor!!

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 3 місяці тому +1

    Yaa Allah awajaalie muwe miongoni mwa waja wa peponi ma pia muwayixame na watu wa mjini nao jamn shida wanazo iangalieni tibirinzi au kariakooo

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 4 роки тому +2

    Mashaallah tabarakallah Allah awabarik

  • @mundhiraliy1307
    @mundhiraliy1307 3 роки тому +4

    MashaAllah 🥰🥰🥰

  • @bakarsalimu6418
    @bakarsalimu6418 4 місяці тому +1

    Mashall mungu awalipe ujira mwema inshallah

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 роки тому +2

    MashaAllah

  • @amenamaashaallahyasheikh3457
    @amenamaashaallahyasheikh3457 3 роки тому +3

    Maa shaAllah tabarakallah

  • @dogojb5889
    @dogojb5889 3 роки тому +1

    Allah akulip kila la kheri katik maisha yako inshaallah

  • @mahsinkhaturush9620
    @mahsinkhaturush9620 3 роки тому +4

    Kina langu ni muhsin kwakweli huu nimfano mkubwasana ambao unafaa kuigwa kwamatajiri wengine boss kushiriki nakubeba mzigo begani sijawahikabisa kuona hii ndio marayanguyakwanza mungu ambariki amzidishie na awabariki waislamu wote amiin

  • @mufid707
    @mufid707 3 роки тому +2

    MashaAllah Tabarak Llah.
    Napogeza sanaaa Al Fatah TV. na Sheikh Othman na kakangu Said bopal nawaombeya Allah awabarik na awape maisha mazuri hapa na kesho Akhera Ameen Ameen

  • @gavanaimrani6777
    @gavanaimrani6777 3 роки тому +2

    ABDALLAH MWINYI AJIFUNZE KUPITIA HIIII MBUNGE ALOREJESHEWA VYAKULA VYAKE

  • @mamawa3mamawa321
    @mamawa3mamawa321 3 роки тому +1

    MashaAllah MashaAllah Allah amzidishie Bopar

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 3 місяці тому +1

    M mungu ampe kheri ishallah

  • @suleimansaidhamad4428
    @suleimansaidhamad4428 2 роки тому +1

    Mashallah kila la kheir

  • @huweiy6587
    @huweiy6587 3 роки тому +2

    Maa shaa allah

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 Рік тому +1

    mashallahw mashallahw Allahw Aqbr Alhw Aqbar

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q 4 місяці тому +1

    Ma shaallh♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @hajiha6507
    @hajiha6507 3 роки тому +3

    Wallahi naona wivu wanachokifanya hawa alfatah na Bopar. Natamani niungane

  • @mbarakaiddi8209
    @mbarakaiddi8209 3 роки тому +4

    Sina lakusema natamani kulia kwa furaha ila machozi yangu wacha yadondokee moyoni allwah awape toufiq

  • @saidhassanahmed4
    @saidhassanahmed4 3 роки тому +1

    mashallah mungu azidi kumzidishia amfungulie azidi kusaidia watu ampe mwisho mwema yeye na familiya yake na amuingize peponi firdausi bila ya hesabu ya rabbi

  • @fadhilarajabu1440
    @fadhilarajabu1440 3 роки тому +1

    Masha Allah
    Allah awalipe zaidi ya mnachokitoa 🤲

  • @tausiramadhani4259
    @tausiramadhani4259 3 роки тому +1

    Machozi yananitoka wallahi ee molla wangu mpe pepo bopar

  • @fatmarashid0005
    @fatmarashid0005 4 роки тому +2

    Allah awalipe kheri innshaallah

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 роки тому +1

    Allah awazidishie bopar

  • @saomyhao5299
    @saomyhao5299 4 роки тому +3

    Allah awalipe kheri

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 роки тому +2

    Mash'Allah

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 роки тому +2

    huyoo bopa mungu amjaze kheri sijaona mfanowake kubeba mwenyewe Mtume SW ndivyo alivyo fanya

  • @hamadiabdalla396
    @hamadiabdalla396 2 роки тому +1

    Allah amzdshye moy wa iman

  • @BimkubwaJuma-ew5dg
    @BimkubwaJuma-ew5dg 3 місяці тому

    Mungu atakulipa bopar na Shekh othmn maalin

  • @alhamdulillahalhamdulillah7529
    @alhamdulillahalhamdulillah7529 2 роки тому +1

    Wapemba wamekaza mashaallah

  • @ablatuny5406
    @ablatuny5406 4 роки тому +2

    Mashallah alhamdulillah

  • @chulizeyladin909
    @chulizeyladin909 4 роки тому +2

    Ameen Ameen ya ALLAH

  • @RashidAbbas-zy6xx
    @RashidAbbas-zy6xx 4 місяці тому +1

    Bopar ni mtu na nusu M/mungu amlipe kheri inshallah

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 роки тому +1

    Maasha,Allah
    Tabaraka rrahman

  • @ghulamjuma2883
    @ghulamjuma2883 4 роки тому +2

    Tz mpeni Uraia Shehe Othman Maalim

  • @user-fe9jc5di9f
    @user-fe9jc5di9f 3 місяці тому

    Allah akulipe janna kakaangu

  • @amissilongane4614
    @amissilongane4614 4 роки тому +1

    Jazakhalau kheir

    • @ghanimaali4507
      @ghanimaali4507 4 роки тому

      mashallah

    • @doctasuly5249
      @doctasuly5249 3 роки тому

      Bopar yupo na mwanazuoni pembezoni mwake hawezi kuharibikiwa insha Allah na ndivo alivofanya halifa omar abdul azizi kuwa nao karibu na wanachuoni

    • @idrisasaidmbegu7789
      @idrisasaidmbegu7789 3 роки тому

      @@doctasuly5249 Jazzallahu Khair

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 3 роки тому

    Mashaallah mr bopar
    Allah akuzidishie kheri akuepushie shari
    Uwe hivo hivo ngangari
    Mlipaji ni kahari
    Kwa watu waso na kiburi
    Wewe umechukua nambari

  • @afyaabdallah1352
    @afyaabdallah1352 3 роки тому +2

    Machozi yananitoka kwa furaha ishallha mola atakupa pepo yako bompa

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 роки тому

    Mashaallah 🥰🌹