SHEIKH OTHMAN MAALIM NA BOPAR WATOA SOMO PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 бер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 208

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 5 місяців тому +17

    Allah amzidishie baraqah ktk mikono yke na mali yake na maisha ake na family yake❤ameen ya rabil

  • @AliAbdulla-xq8vr
    @AliAbdulla-xq8vr 5 місяців тому +12

    Shehe saidi Nassir anatoka kwenye umasikini anaujua umasikini haswa mungu ambariki duniani na akhera

    • @user-zh4np7kf5i
      @user-zh4np7kf5i 5 місяців тому

      😢😢😢 hakika Tajiri aliepita magumu hua a anajali sana

    • @yussufamani7995
      @yussufamani7995 4 місяці тому

      Mungu amzdxhie mema na ampe umri mrefu

  • @zenj1986
    @zenj1986 5 місяців тому +8

    Allah amempa dunia na amjaalie na akhera amlipe zaidi .

  • @salimhamad7965
    @salimhamad7965 5 місяців тому +9

    ALLAH AMJAALIE UMRI MREFU WENYE AFYA NA BARAKA NA AMJAALIE HUSNUL KHATIMA NA AMUINGIZE KATIKA PEPO YA FIRDAUS ..AMIN

  • @Zanha582
    @Zanha582 5 місяців тому +6

    Allah amjalie Pepo na ndugu zake woote

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 5 місяців тому +8

    Allah ambariki anajitoa amjaalie umri mrefu.

  • @Ahmadasshii-raazy8888
    @Ahmadasshii-raazy8888 5 місяців тому +16

    ALLAH amjazi kheir ndugu yetu bopar

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 5 місяців тому +11

    MashaAllah tabaraka Allah sheikh Allah akuajalie kheri na mwisho mwema

  • @sadih5333
    @sadih5333 4 місяці тому

    Allah akupe hifadhi ya Duniani na Akhera, na akuepushe na Maradhi na Husuda.

  • @user-vs5gp5zw5w
    @user-vs5gp5zw5w 4 місяці тому

    Mashallah mungu hatupe uwezo wa kutoka nasi sheikh mzee

  • @user-hx8tj3oe3r
    @user-hx8tj3oe3r 5 місяців тому +6

    Mashallah Allah awamiminie Rehma na awape furaha duniani na akhera

  • @user-tp6mp7pe3i
    @user-tp6mp7pe3i 5 місяців тому +5

    Maa shaa Allah Allah akubaarik Sh Said Nassir Bopar na akupe siha njema na ailinde Mali yako Ameen

  • @FatmaMohamed-jw2lc
    @FatmaMohamed-jw2lc 5 місяців тому

    Allah akujaaliye mwisho mwema na firdaus ikawe makazi yako insha a Allah

  • @user-dx6dm6lh1i
    @user-dx6dm6lh1i 5 місяців тому +5

    Allah akuhifadh na ampe shifaa ya dunia na akhera akampe pepo ya firdaus allahuma amiiin.

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 4 місяці тому

    Mashallaaah Allaah amplipe mara nyingi zaidi AMINA

  • @alhajrahassan89
    @alhajrahassan89 5 місяців тому +3

    Mashallah fatabarakallah Ahsan Halikin Allah akuzidishie pale palipo pungua sheikh said nassir bopar Allah akujaalie afya njema na uzima wa mwili na akili amiin 🤲🏾

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 5 місяців тому +2

    Allah amzidishie kila kheri katika otoaji wa sadaka katika kila anaestahiki

  • @officialcandleboy6923
    @officialcandleboy6923 4 місяці тому

    Allah hamzidishie kila lenye kheri na hakhera

  • @abrahmanamour8223
    @abrahmanamour8223 5 місяців тому +1

    Yaani hii Zanzibar matajiri tulionao wangetoa watu km ww bopar japo kwa hii Ramadhan tu wakawa wanatoa kile Allah alichowaruzuku basi umaskini ungalipungua kwa kiasi kikubwa بإذن الله Allah azidi kukumiminia Neema zake إنشاءالله

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 місяці тому

    Allah awape moyo safi na wengine wajitolee kw moyo saf

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 5 місяців тому

    Mashallah Allah amzidishie afya Mali na ampe pepo

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 5 місяців тому +9

    Kazi nzuri, allah akujazeni kheri.

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 5 місяців тому

      Allahuma Aameen Yaarb Alaameen 🤲
      Andika kwa herufi kubwa Allah
      Shukran

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du 5 місяців тому

      @@sheikhanasser4714 Asante kwa tanbiih. Allah akujaze kheri.

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 5 місяців тому +1

      @@Ali-nl2du Kila la kheri wajib wetu sote kuelekezana njiya sahih
      Shukran

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 5 місяців тому +3

    MASHAA ALLAH
    ALLAH azidi kukubariqi kwa kila ulipo toa THUMMA AMIN 🤲🏼

  • @SAIFMUSALLAM
    @SAIFMUSALLAM 5 місяців тому +2

    بارك الله في الشيخ سعيد بن ناصر ربنا يكثر من خيراته ويرزقه الخير والصحة

  • @jumaahmadi
    @jumaahmadi 5 місяців тому

    Allah akibar Allah akulipe inshallah

  • @salmasule1427
    @salmasule1427 5 місяців тому +1

    Allah akuzidishie ndugu yetu bopar Kwa kuwa kumbuka ndugu zako wapba Hakika Allah atakulipa kheri fidunya wal akhera

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 5 місяців тому

    MashaaAllah tabaraka Rahman ❤

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV 5 місяців тому +2

    Allah amjaalie mazuri hapa duniani na kesho aakhera huyu Bopar...na pia Allah ampe umri Sheikh Othman Maalim

  • @AmaniHakimu
    @AmaniHakimu 4 місяці тому

    Mashallah tabala llah

  • @aminaothman2136
    @aminaothman2136 5 місяців тому +2

    Mashallah Allah akujalie zaidi ya hapo na sisi Allah atufungulie Kila la kher

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 5 місяців тому +3

    Allah azidi kuwafungulia na wengine, In Shaa Allah

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 5 місяців тому +3

    mashaallah mungu awazidishien ameen walio kuw hawajapata bs wavute subra watapata siku nyengine inshallah

  • @alimansourali8871
    @alimansourali8871 4 місяці тому

    Alah amzidishie palipo pungua

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 5 місяців тому

    Mashallah 😍

  • @allymsellem5353
    @allymsellem5353 5 місяців тому +2

    Allah s w akupe afya njema na swiha mzuri Allah s w akupe uwezo mkubwa wa kimali ili uweze kusaidia watu Allah s w akubariki sana mukitowa toweni kwa mkono wakulia wakushoto usijuwe haina haja tv wala camera

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 5 місяців тому

      Soma kaka ili ujue zaid kutoa kwa kuonekana kwa lengo lakutaka na wengine washawishike hakuna kosa Kaka,Allah a'alam

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b 5 місяців тому

      Hakika mm mmoja wao nimeshawishika japo sina kikubwa kwa hichi kidogo

  • @Khateebhammaddy
    @Khateebhammaddy 4 місяці тому

    MASHALLHA

  • @Mh_69rz
    @Mh_69rz 5 місяців тому +1

    Allah amzidishe baraka katika maisha na kazi zake

  • @hajimassawe2592
    @hajimassawe2592 5 місяців тому +3

    Mashallah ❤

  • @NassraSoud-ou3qv
    @NassraSoud-ou3qv 5 місяців тому +1

    MashaaaAllah Tabaarak Rahmaan Allah amlipe kila.la kher na ampe kila hitaji lake yaa Rabbi machoz yamentoka wallah kwa furaha 😢

  • @hotelzanzibar5679
    @hotelzanzibar5679 5 місяців тому +1

    Mashalalaj Allah amjazsme kher ina na matajir wengine waige mfano huo

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 5 місяців тому

    Mashaa-Allah Mashaa-Allah mtiifu saana Bopar... mnyenyekevu Allah Amzidishie.... watu wanatoa nae Anatoa na kubeba mwenyewe 😢😢

  • @jumaahmadi
    @jumaahmadi 5 місяців тому

    Mashallah

  • @taniamidragealifoalifo
    @taniamidragealifoalifo 4 місяці тому

    Allah amlipe

  • @athumanikadaika5817
    @athumanikadaika5817 4 місяці тому

    Allah awalipe wote mlioshiriki ktk hili.kumfuata masikini ndo sunnah bora ya manabii kwa maana hata kama unacho wewe ndo unatakiwa uwe mnyenyekevu umtafute mwenye shida msaidie ndo dalili ya wema na imani.tofauti leo matajiri mpak wafuatwe na masikini kisha washinde kwenye mageti siku nzima kisha kwa muda autakao tajiri ndo anatoka halafu anakupa anavyojisikia matajiri nawapa nasaha tubadilike tuwatafute masikini sio wao wawatafute na .nawasihi waislamu wajifunze kupitia alfatah na sheikh othmani maalim pamoja na ndugu bopar.Allah awalipe kheir kwa wema wao na namuomba Allah atupe moyo kama wao na sie kwa ikhlas tubadilike tusifanye mambo kwa riya.ameen.

  • @ruwailayussuf7142
    @ruwailayussuf7142 5 місяців тому

    Mashaallah

  • @abdul-malikothman5837
    @abdul-malikothman5837 5 місяців тому +1

    Masha Allah
    Allah akulipe kheri nyingi mno ndani ya dunia na kesho akhera tunakoenda

  • @shumayra575
    @shumayra575 5 місяців тому +2

    Ameen Yarab

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 5 місяців тому +1

    Mashallah Allah awalipe kheir duniani na akhera

  • @fatemasalem9677
    @fatemasalem9677 5 місяців тому +1

    Mashaa Allah, Allah amjalie kila lakheri

  • @abouassifmabrouk8110
    @abouassifmabrouk8110 5 місяців тому +1

    Mashaallah Mashaallah 💕

  • @hanifasaid8310
    @hanifasaid8310 4 місяці тому

    Allah amzidishie rizki za halal Bopar na amlipe ujira mwema Kwa sadaka yke

  • @CKMO
    @CKMO 5 місяців тому +1

    Amin Amin ❤yarabi

  • @sajuabdallah6492
    @sajuabdallah6492 5 місяців тому +1

    Mashallah Allah akufanyie wepesi inshaallah

  • @user-zv9xr9cl4m
    @user-zv9xr9cl4m 5 місяців тому

    Allah akujaalie Kila la kheri katika maisha Yako

  • @SleepyChocolateBonbons-ib6hv
    @SleepyChocolateBonbons-ib6hv 5 місяців тому

    Allah amjali mzee we2 said nasri bopar ampe umr mrefu ampe roho ya iman ivy ivyo na amjalie moyo wa iman kushikaman na mzee said n bopar ninan uyo shekh othuman maalim

  • @abuumunyrelbatwaawy7490
    @abuumunyrelbatwaawy7490 5 місяців тому +1

    Allaah awabaarik na awadumishe kwenye kheir

  • @abeliever6823
    @abeliever6823 5 місяців тому +1

    Allah awalipe malipo mema
    MaashaaAllah
    Tabaarakallaah

  • @detectivehr7058
    @detectivehr7058 5 місяців тому +1

    Baaraka LLAH

  • @saiddariyai3617
    @saiddariyai3617 5 місяців тому +2

    Mashaalla❤

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 5 місяців тому

    Allah amjaaliye kheri na Baraka ni kweli mimi nakumbuka bopar alikuwa Ana kijiduka kidogo mjini chake chake..... Hicho kiduka kilikua hakina mauzo lakini Allah amemfungulia Milano mingi na hii ni kutokana na moyo wake na kutosahau wapi alipotoka

  • @ubahamisi431
    @ubahamisi431 5 місяців тому

    Allah awaaajilie heri na mwisho mwema awajaalie kivuli siku ya kiama aami

  • @MetrixJohn-cx5jb
    @MetrixJohn-cx5jb 5 місяців тому

    Mashaa Allah Bopar Eka ikhlaas kwa Amali zako ni wakupigiwa Mfano ww

  • @SamAbrahman
    @SamAbrahman 5 місяців тому +1

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah allah amuhifadh na riya allah amzaidishie barka. Amiin amiin amiiin.❤

  • @almuya
    @almuya 5 місяців тому

    Mashaallah nikheri kwatu kutu pia allah humkunjulie yoyote anaeto kumpa mwenziwe kwaajili yake allah. Hongreni nyote mlio simamia shuhuli hoi na pia mbarikiwe imani zaid ya mani. Amiin

  • @user-oc5zq5hx7k
    @user-oc5zq5hx7k 5 місяців тому

    Ma shall ah Allah akufanyie wepes na azidi kukufungulia rizk zako na akutilie barka, nashauri nendeni makangale pamoja na mkia wa ngombe

  • @MaryamIssaAbdalla-og5wc
    @MaryamIssaAbdalla-og5wc 5 місяців тому

    Mashaa Allah Allah bareek zeed habiby In Shaa Allah Allah akuzidishie imani na mapenzi ktka kusaidia jamee

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 5 місяців тому

    yaa rabbi mjalie bopar kila la kheri katika maisha yake ya dunia na akhera.hakika ni jambo lakuigwa sana analolifanya bopar.

  • @user-xj2qn4ly7o
    @user-xj2qn4ly7o 5 місяців тому

    Allah akuzidishiye kheyr inshaallah ndugu yetu BOPAR

  • @ZiaderachideRachide
    @ZiaderachideRachide 5 місяців тому

    Allah abarik kazi zake nasi atitowe kwenye giza na atuweke kwenye mwangaza

  • @omaraliy6144
    @omaraliy6144 5 місяців тому

    Dah mashallah pepo hiyo Allah ampe ferdous na sis pia InshaAllah

  • @ahmedyusuf9547
    @ahmedyusuf9547 5 місяців тому

    Mashallah mjalie kila la kheir dunia na akhera ameen ya rabbi

  • @omarramadhan-dm7ce
    @omarramadhan-dm7ce 5 місяців тому

    Allah ukuzidishie kheri na baraka kw unacho kitoa kw ajili ya Allah

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 5 місяців тому

    Maashaa Allah, Allah ampe umri mrefu afya na kheri nyingi

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 5 місяців тому

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mola awalipe kwania zeni inshaallah

  • @user-kx1kv5nq9i
    @user-kx1kv5nq9i 5 місяців тому

    Allah akufanyie wepesi katika biashara zako

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 5 місяців тому

    Allah amlipe malipo kamili na sisi atuwezeshe InshaAllah Aamin

  • @rashidismail6593
    @rashidismail6593 5 місяців тому

    Allah amjalie kheri amzidishie mala dufuu

  • @user-ni1sr7ly9w
    @user-ni1sr7ly9w 5 місяців тому

    Mungu akuzidishie iyo Mali niyetu sote ispokuwa mm nakupa duwa t2

  • @user-kg4uo7ns7p
    @user-kg4uo7ns7p 5 місяців тому +1

    ALLAH akulipe pepo

  • @HaidarOmar-tx7cc
    @HaidarOmar-tx7cc 5 місяців тому +1

    Allah akuhifadhi kam unavyo wahifadhi wazee wetu

  • @AbdiAlawi-fh5gs
    @AbdiAlawi-fh5gs 5 місяців тому

    Allah amfanyie wepesi katika biashara zake , Ameen

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 5 місяців тому

    Naomba muenda na kwetu kisiwa panza hali za waja wa Allah ni ngumu sana umaskin mkubwa huko

  • @user-nm9st1oc4v
    @user-nm9st1oc4v 5 місяців тому

    Allah amzidishiye Kila la kheri Yy bopa na aendelee kumuinuwa

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 5 місяців тому

    Allah awajaalie mema Duniani na kesho Akhera ❤

  • @yusufabdalla5526
    @yusufabdalla5526 5 місяців тому +1

    MashaaAllah

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 5 місяців тому +1

    Bopar alikuwa masikini kiasi unaweza kusema fukara ..Familia yao ilikuwa duni sana pale Mkoani Pemba .

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 5 місяців тому

    Manshallaah allaah awazidishie pale mlipo towa inshallaah

  • @Nassor2377
    @Nassor2377 5 місяців тому +1

    Maashallah...

  • @user-fb3er2pi8r
    @user-fb3er2pi8r 5 місяців тому +1

    Mashaalah .

  • @binrashid1638
    @binrashid1638 5 місяців тому +1

    Yarabil tujaalie riski zetu kuwa nyepesi na tuwe na roho za kutowa....!

  • @mzeemzee7503
    @mzeemzee7503 4 місяці тому

    WABABAH WAJABAH WAJABAH

  • @massudidadi679
    @massudidadi679 5 місяців тому

    Allah akuzidishie

  • @sodingcantara5041
    @sodingcantara5041 5 місяців тому

    Oh!! Yarabbi muongozee zaid ya ulichombariki atoe zaid alichotoa mpe afya njema

  • @badarog1062
    @badarog1062 5 місяців тому

    Allah azidi kumbariki na kumpa zaid

  • @user-qh9jj5xz3p
    @user-qh9jj5xz3p 5 місяців тому

    Masha Allah tabarakallah ❤❤❤

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k 5 місяців тому

    Mashallha may Allah blessing him amin amin ami you're the best man.

  • @HalimaAthuman-us8gi
    @HalimaAthuman-us8gi 5 місяців тому

    Allah awalipe kila la kheri inshaallah

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k 5 місяців тому

    May Allah protect you sheikh ❤❤❤

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 5 місяців тому

    MashaAllah AllahuAkbar

  • @mwajumaramadhan4127
    @mwajumaramadhan4127 5 місяців тому

    Ameeni