SHEIKH OTHMAN MAALIM AOKOA JAHAZI PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 124

  • @musaamini401
    @musaamini401 6 місяців тому +2

    Sheikh Othman maalim Mungu akuzidishie Baraka naBopar awazidishie kheri awaondolee ain sihri Na hasad

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 6 місяців тому +6

    MASHA ALLAH AWAM NYENGINE KUNA SEHEM INAITWA KIPANGE KONDE WATEMBELEEN NAO MISAADA IMEKUW MIGUMU KUFIKA FIKA ALLAH AWAFANIKISHE NA AWAPE ZAID YA MULICHO KITOW LEO NA KESHO AKHERA AMEEN KWA SOTE INSHA ALLAH

  • @saidomar9135
    @saidomar9135 6 місяців тому

    Mashaallah mashaallah Allah awazidishie Zaid na Zaid na jannah iwe mafikio yenu inshaallah

  • @therealabdulwahab
    @therealabdulwahab 6 місяців тому

    I love you Sh Othman Maalim

  • @ShabaniJuma-i2h
    @ShabaniJuma-i2h 6 місяців тому

    Mungu akupeni kila la kheri zaidi mwalim wetu shekh othman kama unavyo juwa jamii tulizo nazo ni mtihani sio kila mkoja napenda kheri kwa mwenzake

  • @sodingcantara5041
    @sodingcantara5041 6 місяців тому +1

    Matajiri kutoka pemba ni wabahili,wachoyo, na wanaroho mbaya kufru ya mungu, wanavaa kanda mbili, wanavaa mijiflana mikubwa na misuruali mipaana hata ukutane naye haujui kwamba huyu ni tajiri, mungu amewapa neema ila wao eti wazificha wasijulikane wanahofia kuobwa hili ni somo tosha kwao 🤝pemba umaskini umekithiri 😭😭

  • @Sabrinaomary-k7h
    @Sabrinaomary-k7h 6 місяців тому

    Assalam alaikum kazi nzuri kwa ajili ya Allah ila na ss watu WA chanjaani chake chake njia ya pujini ukishapita ofisi ya zimamoto kw mbele kdg tunatamani na ss japo mwaka mmoja inshaallah

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 6 місяців тому +1

    Mashallah Allah akulipen kher Kaka bopar nimfan mzur wakuigwa Allah akuongezee mara 10 ya ulichotoa🤲🤲😍

  • @omarmohd8910
    @omarmohd8910 6 місяців тому +2

    Allah amzidishie kheri na barakabbwana huyu katika maisha yake ya duniani na akhera. Tunatakiwa kutoa kwa siri na kwa dhahiri

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 6 місяців тому

    Mashallha i like him shekh ❤❤ may Allah protect him amin amin

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 6 місяців тому +1

    Tabaarakallahu Rabbul'alamin..... Mwenyezi MUNGU awazidishie maradufu katika rrizki zenu

  • @zeinabfaris5663
    @zeinabfaris5663 6 місяців тому

    Ma sha Allah, Allah ibarik. Take away message; tuwadhanie wenzetu mazuri❤

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 6 місяців тому +4

    MASHAA ALLAH
    ALLAH azidi kuwa wabarqi kwakila mnashokitoa kwenu ni jambo nzuri sn ALLAH azidi kuwapa moyo waimani funguleni lipo kwa ALLAH

  • @adamrehan7991
    @adamrehan7991 6 місяців тому

    Masha Allah, MAALIM OSMAN, ALLAH AKUZIDIZISHIE

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 6 місяців тому +2

    Allah amzidishie neema shekhe bopar na imani na wote wanaomsaidia kheri

  • @SleepyChocolateBonbons-ib6hv
    @SleepyChocolateBonbons-ib6hv 6 місяців тому

    Mashallah allah awawek

  • @soamShs-cp4dl
    @soamShs-cp4dl 6 місяців тому +1

    Allah akupeni umri mrefu wenye Heri na baraka akupeni mwisho mwema awajaalie pepo ameen

  • @mwatimahassan965
    @mwatimahassan965 6 місяців тому +1

    Mashaallah mungu akuzidishiye akupe duniyani na keshoo akherra

  • @aishabarua6857
    @aishabarua6857 6 місяців тому

    Mashallah Mashallah Mashallah tabarakah allah, mungu akupe cha zaidi

  • @kautharibrahim5730
    @kautharibrahim5730 6 місяців тому

    Mashallah mashallah

  • @abdillahkhalid738
    @abdillahkhalid738 6 місяців тому

    Alllah akulinde shehe wetu aamiin na awazidishie kheri

  • @Mejusmapishini8573
    @Mejusmapishini8573 6 місяців тому +2

    Ma sha Allah

  • @aishasalim9546
    @aishasalim9546 6 місяців тому +5

    Twatamani nasisi watu wa Mombasa tupate misaada jaapo mtukufu waramadhani .MATAJIRI WA MOMBASA TOWENI MUBARIKIWE

  • @hajjism
    @hajjism 6 місяців тому +2

    Hongereni Al Fatah kwa hii. Pia bwana Gopar. Ametukumbusha kusaidia wenzetu.

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 6 місяців тому +1

    BarakaLLah Fikum
    Mashaa Allah TabarakaLLah

  • @jokhasimba4376
    @jokhasimba4376 6 місяців тому +2

    Alhamdulilah allaa akupeni.moyo huohuo wa imani.kwani kutoa ni moyo sio utajiri kwani kuna wengi matajiri lkn hawana.moyo wa kutoa jamani mukimaliza kaskazini nendeni mkoani kuna kijiji kiaitwa Tumbini chambani nao wanahitaji kusaidiwa
    Allaah ampe.pepo ya firdauss kila aliyeshiriki kwa aina nyengine yoyote ya kufanikisha jambo hili

  • @hassansidibe5208
    @hassansidibe5208 6 місяців тому

    Takbeer!..Allahu Akbar

  • @salimakida95
    @salimakida95 6 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu inshallah awalipe nyote pamoja na mfadhili na wasaidizi wote

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 6 місяців тому +1

    Masha Allah biashara ya mja na mola wake alhamdulillah

  • @AliMahmoud-p7o
    @AliMahmoud-p7o 6 місяців тому +2

    Sheik bopari ukipata wasaa mzr nnjoo na unguja sehemu za kijiji cha matemwe kuna wazee wapo hali mbaya na familia zao nilipita nikaona hali nitoka machozi😢😢😭😭

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 6 місяців тому

    Allah awajaalie kheri na mafanikio ya kheri katika dunia na ktk akhera na walokua na uwezo allah alainishe nyoyo zao nao wawe miongoni mwa wenye kutoa kwa ajili ya alkah na xx tulokua hatuna allah atuwezeshe na ss tuje tuwe miingini mwa wabaofanya kheri kwani mali ni fitna kubwa
    Unaweza kua shz huna ukatamani kufny mengi ya kheri lakini baada ya kupata kdg t bx nafsi ikabadilika allah asitujaalue miongini mwa gao🤲🤲🤲

  • @khamiskassim4237
    @khamiskassim4237 6 місяців тому

    Allah akupe kila la kher

  • @nahirhamidu-ms3lq
    @nahirhamidu-ms3lq 6 місяців тому

    Mashaallah❤

  • @khelefmatelephone9653
    @khelefmatelephone9653 6 місяців тому

    Mashallah ❤❤🎉

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 6 місяців тому

    Allah akulipe kheri bwana said Nasser almaarufu bopar

  • @salmasule1427
    @salmasule1427 6 місяців тому

    Allah amzidishie ndugu yetu bopara

  • @SadaAhmed-q4t
    @SadaAhmed-q4t 6 місяців тому

    Allah awalipe kher dunian na akhera

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 6 місяців тому

    Mashalaa hiyoo neema kubwa asante

  • @WaydaHaji
    @WaydaHaji 6 місяців тому

    Mm othman maalim nampenda hapo akisema kitu lazima akupe ushahidi wa hadithi ama Aya kwwnye Quran..mungu amzidishie kheri

  • @mohamedswaleh800
    @mohamedswaleh800 6 місяців тому

    mashallah usiangalie wanasema ni niria wao wasio na ria wako wapi huu ni mfano mzuri

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 6 місяців тому

    Masha Allah

  • @allyelbusaid9888
    @allyelbusaid9888 6 місяців тому

    Maashallah jambo jema na zuri mno hili.. ila nionavyo mie ni bora kupitisha kila nyumba yenye uhitaji wakagaiwa kuliko kupanga foleni refu kama hivyo..

  • @MisMona-oo6zk
    @MisMona-oo6zk 6 місяців тому

    Mashaallah

  • @abdillahkhalid738
    @abdillahkhalid738 6 місяців тому

    Aaamin

  • @gadonassir4261
    @gadonassir4261 6 місяців тому +2

    Mashallah Allah akulipe kheir sheikh bopar

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 6 місяців тому

    Asalaam aleykum sisi tupo qatar mbona tunapewa futar mabarabarani wanachuku picha video mbona ss kwetu kila jambo tulipa uzito honger bopat na shekhe wetu o malimu kwa tuponga msasa allah atuhifadhi kes wote waslamm

  • @safiaali1129
    @safiaali1129 6 місяців тому

    InshaAllah Mola amjalizie pale alipotoa.

  • @jumaahmadi
    @jumaahmadi 6 місяців тому

    Kwel ya akh Othuman

  • @omarmussa7654
    @omarmussa7654 6 місяців тому

    Nimefurahishwa na hili jambo mpaka najikuta natokwa na machozi mwenyezi mungu akulipeni kheri mnao wasaidia ndugu zetu huko kisiwani pemba

  • @SabraAbdilnasir
    @SabraAbdilnasir 6 місяців тому +8

    Achaneni nao sheikh sio kila mtu atakuwa anapendelea heri wengine hasad zinawasumbuwa allah awahifadhi awajaliye umri wenye afya awalipe pepo ya juu wengi tunafurahia mana mimi mmoja nna ndoto hizo nikiona haya hulia kwa furaha nawaombeni msikilize maneno fanyeni kazi na ALLAH nawapendeni kwa ajili ya ALLAH

    • @MbaroukKhalifa
      @MbaroukKhalifa 6 місяців тому +3

      Hakika kama ni riaa bx wangekuwa na wao wanatoa misaada kwa wanavyotaka wao lkn wanawasema watu amabao wanawasaidia wengine wao vya kwao wamevikalia wanaalikana waonkwa matajiri maskin anafunga mchana na uck alafu wanakazania riaa waachwe waongee lkn yeye Bopar afanye yakwake Allah atamlipa inshallah Ramadhan Kareem

    • @AliMahmoud-p7o
      @AliMahmoud-p7o 6 місяців тому +1

      Bopar unajitahidi sana m.mungu akujaalie uwe na moyo huohuo.wa kutoa sadaka 🤲

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 6 місяців тому

      YAA RABBI NA MM NIJAALIE UEZO NIPATE NIWASAIDIE WENZANGU😢😢

    • @aasatt78
      @aasatt78 6 місяців тому +1

      @@HashimSalim-qj7znAmiin

  • @ahmadjuma-xx5nd
    @ahmadjuma-xx5nd 6 місяців тому

    Mashaa allah allah awafanyie wepes inshaa allah

    • @HusnaKhamis-bf9sm
      @HusnaKhamis-bf9sm 6 місяців тому

      Masha allah allah amzidishie kipato amuondoshe maradhi na hasada pamoja na wazazi wake

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 6 місяців тому

    Kazi ya kuwahudumia watu iendelee bila kuangalia watu wapuuzi wanasema nini, Ust Maalim piga kazi.

  • @MassoudAbdalla-v9g
    @MassoudAbdalla-v9g 6 місяців тому

    Kila la kherr sheh

  • @SelemaniDowile-mk1wm
    @SelemaniDowile-mk1wm 6 місяців тому

    Allah atawalipa kwa kile mnachokifanya hata dini yetu saiz tunard nyuma kwa sababu ya maneno maneno ya kipuuuzi na dhana mbaya kama hizi wako matajir wengi lkn hawalifanyi hili

  • @Dranka186
    @Dranka186 6 місяців тому

    Ya kuskitisha tunao wafanya biashara wengi wa huku kwetu Pemba hawaji kutoa huku kwao Pemba hasa wale dar kariako wapemba ndio mataji pale ila hawaji kuhu kwao Pemba kutoa sadaka tunawaomba waje siku kama hizi mwenyezi mungu atawazidishia

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 місяців тому

    Binaadam hutuna jema kwa kweli tunapenda kuhukumu

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 6 місяців тому

    Safi sana lakin mm hujiuliza huo uchuki wa blue unafanya nn.

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 6 місяців тому

    Hatari nchi ina wetu wachache imekabiliwa na njaa hatari

  • @saidali25
    @saidali25 6 місяців тому

    Misaada inatolewa katika jamii zisizojiweza kabisa mfano baada ya kutokea majana kama matetemek,mafuriko vita na kadhalik

  • @saidali25
    @saidali25 6 місяців тому

    Samahani lugha nzuri ni utowaji wa swadaka siyo utoaji wa misaada hii nikwamujibuwa wa akiliyangu inavyo vuta hisia

    • @Anuarmustafa4128
      @Anuarmustafa4128 6 місяців тому

      Menda tena chuoni sadaka na msaada Ina kasoro gani?

  • @rashidiramadhani4342
    @rashidiramadhani4342 6 місяців тому

    WANAFANYA RIA WANASAIDIA HUKU WANAWATANGAZA MITANDAON SIO VIZUR

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 6 місяців тому

    Wakati wa mtume watu km hawa pia walikuwepo wanafiki nia yenu allah ndio anaejua fanyeni wajibu wenu allah atawahifadhi

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 6 місяців тому

    Huo ndo utakuwa utaratbu wa Matajiri wote Nchi nzima sasa Wakisaidia Lazima Makamera yawepo.
    Pumbavu sana.

  • @Maryam-o3i6j
    @Maryam-o3i6j 6 місяців тому

    Asalam alaykm warahmatullah wabarakatuh naomba mufike msuka ungi nako Hali mbaya jamani kwamajina naitwa maryam

  • @zengandoto7088
    @zengandoto7088 6 місяців тому

    Hatuhukumu ila kuwasaidia watu hao angewatengezea sehemu za kazi anaweza kuwasaidia milele.hiyo kuwapa chakuwa anawafanya watu masikini zaidi .hicho chakula kikisha wanatapu tena . Sasa tunataka matajiri wanaoleta maendeleo katika misaada Yao..huo misaada kuonesha na kutaka apate jina kwa maskini na watoto wasiotambuwa nini hasa msaadaa

  • @ummyremmy-pc9cy
    @ummyremmy-pc9cy 6 місяців тому

    Matajiri wa kenya wachukue mfano hpa sio kwenda kusmamisha watu juani kutwa nzima

  • @JameelMohamed-l8b
    @JameelMohamed-l8b 6 місяців тому

    Watu wwnahitajia wanahitajia msaada kwa wingi, huwezi kusaidia bora kuka kimya

  • @jokhasimba4376
    @jokhasimba4376 6 місяців тому

    7:19 😂

  • @omarizuberi2300
    @omarizuberi2300 6 місяців тому

    Ningeomba asaidie maji kwenye sehemu hazina maji pemba kutumia solar

  • @TheFire_Gamer
    @TheFire_Gamer 6 місяців тому +1

    Ssdaka unaweza kutoa kwa siri na kwa dhahir

  • @AdmiringCorgi-rg5tj
    @AdmiringCorgi-rg5tj 6 місяців тому

    Na kusini mwendeeeeee

  • @yokooomar7796
    @yokooomar7796 6 місяців тому

    Mukipata nafasi kuna sehemu inaitwa wingwi mteman shehia ya jambonia

  • @zuuomar4657
    @zuuomar4657 6 місяців тому

    Hao wanaowasema vibaya roho mbaya tuu inawasumbua kwani ubaya uko wapi hapo mtu kujitoa kwa wenzake kwa neema alizompa Allah?

  • @ZUHURAKHALFAN-mc8nd
    @ZUHURAKHALFAN-mc8nd 6 місяців тому

    Lakini huyu Bopar anafanya ubaguzi anadodesha na anatia unyonge kwa kua hata mwaka mmoja hajatoa sadaq kwa watu wa Mkanyageni anapitisha magari ya vyakula katika vijiji vyote Mkanyageni anapapita watu wa Mkanyageni wanamuuliza Bopar kawakosea nini?kua Mkanyageni hatoi sadaq watu wanaumia sana kwa hivo watu wa Mkanyageni wanampa Salam Allah atakwenda kumuuliza ubaguzi anao ufanya

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 місяців тому

    Haifai kutoa sadaka ukajionesha hiyo ni riya ukitoa mkono wakulia wakushoto usijue hiyo riya haifai

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 місяців тому

    Hiyo ria haifai kwani ukituma watu watoe hautalipwa au mpaka ujitaje jina hiyo shehe huwezi kumpinga tajiri sisi tunajua sudesi anasalisha hagawi pesa wa chakula wajibu kukumbushana

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 6 місяців тому

    Jamani tibirinzi iangalieni nayo

  • @saidali25
    @saidali25 6 місяців тому

    Amlipe kheri hapa dunian na khera yake kuanzia mtoaji hadi washirik

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 6 місяців тому

    Ogopen Sana Wanafki Ndani Ya Dini Yenu Kwan Hao Ni Wabaya Kuliko Makafir

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 місяців тому

    Sisi tunofaham kidogo dini yetu tunawaombeeni kher na baraka ktk mfanyayo kwa ndugu na familiya zetu kote unguja na pemba

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 місяців тому

    Naamini kwa sisi binaadam tulivo utakuta baba yupo kupokeya konde mtt kenda pokeya ntambile .kama wapo wanofanya hivo waache hiyo ni misaada .

  • @mbarouksuleiman4351
    @mbarouksuleiman4351 6 місяців тому

    Mashehe wanagombana wao kwa wao wakati kuna maskini hawana chakula kila mtu msomi yeye hapo kuna watu watapanda membari kupotosha watu wakat yeye ana jirani yake hajui kala nn wala kalalaje turudi kwa Allah kaburi ipo karibu

  • @user412
    @user412 6 місяців тому

    Kuna kijiji mkoani pemba kinaitwa TANGA fanyeni maarifa mupeleke. Hawapati misaada

  • @TheFire_Gamer
    @TheFire_Gamer 6 місяців тому

    Muwe mnakwenda mote ili wapate wote japo pesa wengine wanaona wivu hawapati kama mtabwe na sehemu nyengine

    • @AyoubAbdullrahmanAmir
      @AyoubAbdullrahmanAmir 6 місяців тому

      ​@@salumalriyamyAllhamdullilah, umeongea vyema mno cc bin adam viumbe wazito mno kuelewa mwenyez atuswameh makosa yeto na watoa pia wandelee toa ..

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 6 місяців тому +1

    Lakini hii zaka au sadaka
    Km zaka basi itakuwa ni mtihani

  • @mudihassan4208
    @mudihassan4208 6 місяців тому

    aokoa jahaz gani mbona mupo na kauli mbovu

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 6 місяців тому

    Kwan Kama Mkifanya Kwa Siri Kunq Shda Gani..? Mpka Muoneshe Kwa Jamii Na Misaada Yenu

    • @MbaroukKhalifa
      @MbaroukKhalifa 6 місяців тому

      Sasa ndugu ww ungeeona vp na kuwapa hawamasa vp wengine walio na uwezo watoe wangepata wapo watu kuomba kwa vijiji vingine kama wangekuwa wanajifarahisha ingekua riaa lkn haya ni kama mawaidha ili na wengine watoe wale wenye uwezo

    • @MbaroukKhalifa
      @MbaroukKhalifa 6 місяців тому

      Samahan lkn kwa kuingilia comment yako 🙏🙏 Ramadhan Kareem

    • @abdulhamis9825
      @abdulhamis9825 6 місяців тому

      @@MbaroukKhalifa Kama Hawawez Kusikia Kilichosemwa Kwenye Quran Wataweza Kumsikiliza Huyo Bopar/Othman Maalim

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 6 місяців тому

      Umesomewa mpaka aya ila bado unamashaka wewe vipi

    • @abdulhamis9825
      @abdulhamis9825 6 місяців тому

      @@IsmailJuma-zb5ni Wanafki Uchaagua Aya Wanazozipenda Katika Maslai Yao Ya Kidunia Ndani Ya Quran Kuna Aya Nyng Zinazoendana Na Mazingira Tuliyonayo Hzo Hutokuja Kusikia Karbu Kumsikiliza Rogo, Ilunga, Mselem Na Wengne

  • @AbeidMabrouk
    @AbeidMabrouk 6 місяців тому

    Hatawapemba Sasa mmekuawajinga akiasihicho nazikiamahakinatena muda refu mtu anakujakuwadhalilisha namnakubali Allah asema mukiwa wanafiki muta dhalilika bado atakuja kafir ambae hanajina likiisilamu atatoamsada namutapokea

  • @ahmedseif2030
    @ahmedseif2030 6 місяців тому

    Shumba vyamboni nako hali ni mbaya

  • @BabuMohamed-f7i
    @BabuMohamed-f7i 6 місяців тому

    Huku kwetu Kenya twasema wewe ustaz ni ngangary kinoma.umepeana furaha mbili zaka na live show .

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 6 місяців тому +1

    Lakini hii zaka au sadaka
    Km zaka basi itakuwa ni mtihani
    Kusema Riya haikubaliki
    Lkn pia km ni zaka basi imekwenda kinyume na matakwa ya Shariah

    • @bilalkhamis_
      @bilalkhamis_ 6 місяців тому

      Sio zaka bali ni Sadaka.... na pia iyo ria Allah n mja wake ndo huwa wanajua.... mana riya y mtu anaeka moyoni mwake..... sisi tumuombee kwa Allah yy ndo anaejua zaid

    • @mwambamkombozi4672
      @mwambamkombozi4672 6 місяців тому

      Naiusia nafsi pamoja na yako ndugu Ya mpendwa katika imani tuache dhana ili tusije tukawa katika waliokula hasara. Tuwe na dhana nzuri ili tupate sawabu. Na tukae kimya ili tupate barka.

    • @ADAMGORA-t2f
      @ADAMGORA-t2f 6 місяців тому

      Unaona kua shkh hajui kama nizaka au sadaka inagawiwa vip achana na hiloo bnh ndo shkh anasema achana kuhukum kama mnajua Sana Sheria shkh huyoo nimsomi anajua sheria

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 6 місяців тому

      Naomba unifahamiahe ni mipaka ipi yasheria iliyochupwa ika itakua nizaka?

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 місяців тому

    Usishangae wamicheweni ukakuta piya wapo konde

  • @IrampaLydia
    @IrampaLydia 6 місяців тому

    Mashaallah ❤❤❤

  • @TheFire_Gamer
    @TheFire_Gamer 6 місяців тому

    Masha Allah

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer 6 місяців тому

      Allah akupe zaidi na zaidi uwape wapemba wote na wengine

  • @omarsaid673
    @omarsaid673 6 місяців тому

    Mashallah