MATAJIRI MUIGENI BOPAR, SHUHUDIA ALICHOFANYA KWA MLEMAVU HUYU
Вставка
- Опубліковано 25 сер 2024
- ~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE"
• LIVE:SHUHUDIA WAZIRI M...
~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu
Maashallaah, unazidi kuuonyesha maajabu huu umma. Ni matajiri wachache wenye kukumbuka maskini. Allah akulipe kheri.
Allah akuzidishe kila la kher na akujaalie uwe na moyo wakutoa kwenyemambo ya kheir
Asante Mr. Bopar Allah akufanyie wepesi mamboyako yote na akulipe kila lakheri 🤲
Mungu akuzididhie bopar
Asante baba ALLAH Akupe haja yamoyowako
Mashallah Allah atakujaza kher na baraka atakupa zaid ya unayo yafanyia watu Ameen.
MashaAllah...Allah akupe zaid ya ulichosaidia mtoto huyu
Ameen
Nyinyi nibwakomnozi wa Habari kwa Visiwa vya Zanzibar, hongereni sana. Hongera sana Bopar
Mashaa Allah, Allah akuzidishie bopar,Allah akulipe pepo ya daraja yajuu.
Masha Allah. Ukiwa nacho kitumie katika njia za kheri kama hizi. Allah Awajaalie imaan matajiri wote wawe na moyo kama wa Bopar. Ameen
Mashaallah Allah akuzidishie barka na akuongoze njia ilio nyooka na kulipe wema
maashaaAllah ndugu bopar Allah amjaalie kila lakheri amfanyie wepesi ktk mambo yake ampe janna firdaus yeye na ahli yake yaarabb al aalamiin
Mashallah, Allah akulipe jannah
Masha Allah Allah amlipe sheikh bopar
MashaAllah MashaAllah MashaAllah BOPAR Mola akuzidishie hapa duniani na kesho Akhera wewe ni mfano mkubwa sana wa kuigwa...Utajiri na kila kitu tutakiacha hapa hapa duniani jamaani
Masha Allah Mungu akuzidishie katka kipato chako Bopar
Ah sante sana K tv tz on line hakika hii ni fahari yetu na ni fahari yetu kweli mnafanya kaz nzur sana kw jamii..
Ahsante sana mdau wetu Ahmed Bob kwa kuwa pamoja nasi
Mashahallah Mungu amsimamie kwa kuwasaidia watu
mashaallah mungu akubari bopar
Allah swt akubariki.
Jazakh Allah kheir
Mashallah leo mtu wa mwanzo. Mungu akulipe bopar
Mungu amuongezee palipopungua
Maasha Allah,inshaallah utapata zaid
Mashaallah Allah akupe zaidi na zaidi
Maashaa Allah Allah akulipe kila la kheri duniyan na akhera ameeeen
Kumbe watu wema wangali duniniani ewe mola wangu waongoze watu wema wawaone mafakiri walipo wewe baba mungu asikulipi ila pepo duniani Na akhera amin
mungu akupe miongoni mwa nyumba zake bora peponi na atujaalie na sisi kuiga mfano wako,,,,ameen
maa shaa Allah tabaaraka Allah brother Bopar. Kweli si chengine ila ni moyo na imani yake vyema. Natamai wengine wangeiga mfano kama huu, ila roho na imani dhaifu kila mtu hujifaharisha nafsi yake tu...
May Allah guide us to the right path 👏🏽
Mashaallah Allah amlipe zaidi ya alichokitoa
Mashallah jazaka wallah kher
Hongera sana mzee mungu akujalie uendelee na moyo wakusaidia wasiojiweza.
Mashaa Allah, Allah akupe furaha akhera na duniani, Amiin
Mashallah.
maashaa allah
Jazaaka llahu kheir
Mashaallah ALLAH AKUZIDISHIE IMANI NA AKUONGEZEE BARAKA👏
mungu ata mlipa innshallwa
Allah amlipe kila heri
Mungu amfungulie zaidi anayemjengea nyumba huyo mtoto
mashallah vzur
Amina jamn
Mungu akuzidishia imani uzidi kusaidia wanyonge
Mmungu akuzidishie katika biashara zako
Amina rabila alamina M/Mung amzidishie
mashalllah
Mashaallah Allah azid kukupa nguvu na roho ya huruma
Mashallah, Allah amuekee mepesi kila kwneye uzito wa mambo yake inshallah
Mashallah
Kazakh alla
Masha allah
Mungu akubariki
bopar mungu akuzdixhie ktk mal zako
ممن يعدك تكفي فقد والده*** كالفخر في العش لم ينهض ولم يطر
Na ikimaliza pia mtuleteeee
Hakuna shaka mdau wetu Naslam Gollo
KTV TZ nawakubali sanaaa tuko pamoja mkono kwa mkono hadi pepon ila nnaombi naomba namba za bihawa shangingi
Namba ya Bi Hawa shangingi +255 777 482 938
KTV TZ thanks
Mungu akubarik bopar
mashaa allah
Mashaallah
Mungu amzidishie
Masha allah mola ampe kila la kheri ya rabbi. Hongera Kwa moyo wako wa imani bopari. Na kuhusu wazee mumemtupa mtoto wenu kwa sababu za mambo ya kidunia either kila mmoja alipata mpenzi wake mpya na kuona bora muangalie pale mulipo na mukaona bora mumtupe mtoto ambae hana kosa na wala yeye hakutaka awe mlemavu hivyo.
utaani1 mashaallah
Allah amjalie pepo bwana bopar kwa kusaidia jamii
Allah akubariki sana, ni mfano bora dhidi ya wanafiki
Masha Allah
ALI SHEHE HAMAD MMungu akuzidishie kila aina ya kheri na wengine wafuate nyendo zako akulipe kwa ikhlas kama unavyofanya wema kwa ikhlas MMungu akukinge na kila hasadi na balaa na sote Umati Muhammad Amiin YAARABIY
jazaka llahu kher
mashallah mungu amlipe bopar hongera
Mi ni msihi tu atoe kwa ajili ya Allah na sio kwa kujionyesha kwa serikali jazzak llah kheiry Allah akulipe ujira wako
MashaAllah mungu atakulipa her
Allah kaeem
mashaa Allah mola ampe mema
#hakikahinifahariyetu #mashAllah
alhamdulilah rabil alamin. ....mwenyezimungu
Mashaallah mgu amubaziki
MashaAllah👏
Aigwe Kwa lipi?
Mashaa Allah
mshllah
Mashaallah lkn si vzur kujua ulichokifanya unapotoa iwe siri yk
Mashaalah
alhamdulilahi
Masha'Allah Alhamdullillah
Mashallah Mwenyezimngu amjalie jana firdausi.
faraj rashid Ameen kwasote Inn shaa Allah
mashallah
Daah mm nilipokna mara yakwanza nililia kweli zanziba iman ipo
Mashallah ,Mungu ampe atakacho mfadhili huyo
mwenye zimungu ampe moyo huo huo wa kuwasaidia walemavu wasio jiweza alhamdililah
Nazani sasa baba mtu atakua karibu nae baada yakumtelekeza kwamuda mrefu neema imemteremkia huyo mtoto mashaallh
mabruk br bopar unajuwa kufanya biashara na Allah kwa hio hutofilisika hicho ulichokitoa ndio chako na utakikuta mbele
hilo limama na hilo jibaba saii yatajitokeza maana yameona mtoto Allah amemsitiri
Baba ake mukrim nyumba hiyo ya kuongeza wife
Hakukuwa na haja tena kila 1 ajue yy afanye halafu achune cio kila mtu kujua hapo ni sawa na kujamba kwenye maji. Nothing kitu.
Ibrahim Latif kwa hiyo na rais akitoa misaada wandishi wa habari wakenda ina kua kajamba kweny maji ?
kweli ukitowa mkono wa kulia wa kushoto usijuwe, ila tuangalie na upande mwengine na nia yake pengine sio kwa kujionesha ila ni kwa kuwatia nguvu na wengine. Kwani mambo kama haya ni muhimu na wahitaji ni wengi, ila kila mtu huangalia nafsi yake tu, labda na jamaa zake, ilhali wengine uwezo mkubwa wanao. Hongera bw. Bopar 👍🏾
Allah akuzidishie imani na barka zaidi na zaidi...
Kubwa Lijalo Ali yeah nakubaliana na ww . Pengine anataka na wafanya biashara matajiri wahamasike kutoa misaada kwa maskiniii in sha Allah kher
Nami niko omani huku kuna mengi
Naslam Gollo Kuna mengi gani huko ? Kunashinda huku ?
Black Nature ata km but upo kwenu na uhuru huku ni utumwa kwenda mbele
Naslam Gollo Sasa ulilazimishwa kwenda huko ? Mimi nilikuwa huko miaka 12 sikuyaona hayo unayo Sema niliondoka kwa sababu nilikuwa nimesha jijenga lakini niliishi vizuri tu
Black Nature sorry jiongeleee we usiwaongeleee wenzako sawa kulazimishwa nakutolazimishw nihiar yangu sawa nawala huwezijua nimekujaje so usinisemeeee wewe ata ungekaa miaka mia bila tatizo niwewe
Naslam Gollo basi kaa ufanyekazi ila usisahau kujijenga ukiondoka ujuwe una kitu Cha kukuendesha maisha maana Na kwetu mhhhh
Mashallah
Mashaallah Mungu atakulipa zaidi ya ulichokitowa
Mashaallah
Masha Allah
Mashallah
Masha Allah
Mashaallah
brazaaa Bopar hakika sio chengine zaidi yes iimaan yako thabbit, Allah akulipe kheir