MAAJABU YAJITOKEZA KABURINI KWA MAALIM SEIF RC SALAMA ASEMA HAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #HabariZaUhakika #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 773 878 523
    +255 773 071 409
    +255 715 418 849
    Zinjibartv Journalists
    cc: Abdallah Pandu
    cc: Safia Hussein
    cc: Maryam Kidiko
    cc: Swaleh Watamaama
    Camera Department"
    Muarabu Mmadi
    Ali Rajab
    Rajab ahmada
    Editors:
    Ali Hassira
    Mohammed Abeid
    Ramla Haji
    Abdillahi Said
    Dereva
    Yussuf Khanmis
    Ali Mohammed
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

КОМЕНТАРІ • 49

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 3 роки тому

    Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Mwenye Enzi mungu awrahamu maiti wetu. Hiyo ni neema za Allahu ambazo mulikuwa hamuijuwi katika Ardhi yenu. Munge fanya utafiti huwo mchanga kwanza.

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 3 роки тому

    Nimeamini kwa Jina lake mwenye Enzi mungu lina la kipeke Kuna manufa fulani kupitia huwo mchanga. Mwenye Enzi mungu ni muweza juu ya kila kitu Allahuma amin. Allahuma amin. Allahuma amin.

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 3 роки тому

    Pili Ardhi ya Allahu ndugu zangu ina neema kubwa Sana lakini mpaka ujuwe Kuna maji almasi madini ya kila aina hata matunda namaboga Tutoweni shukruni Kwa Allahu muweza wakila Amin.

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 місяці тому

    Mmmm!

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 3 роки тому

    Nawapa nasaha munge fanya uchunguzi kwa kina cha juu huwo mchanga. Mimi naona hiyo ni neema Allahu amewatambulisha kupitia marehemu maanake mulikuwa hamuijuwi ardhi kuwa ina faida kubwa Sana

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 3 роки тому +4

    Kwa dua alopata maalim nchi mbali mbali na matendo yake na subra yake si ajabu kunukia kaburi lake.Allah amjaalie pepo utachopanda ndicho utakachovuna.Tujitahidi kufanya mema tupate kheri.Dunia mapito.

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g 3 роки тому

    Jaman

  • @idrisaabdillahibpxkijykbs4162
    @idrisaabdillahibpxkijykbs4162 3 роки тому +8

    Kama mchanga unanukia basi kuna mtu au watu wametia miski hapo na wala haihusiani na jambo lolote kuhus marehem wala sio maajabu yeyote.

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 роки тому +2

      Enzi za mitume baadhi y makaburi yalikua ynanukia miski mpk kesho ukienda kuhiji makka lzm utaenda ktk hayo makaburi yko madina haihusian hsa mtu kuwek miski ww hujiuliz hz miks vichup vingp hbu jaza akili kdgo hyo nimiujiza n kutok kw Allah n nsio ishara y mtu mwem moj mlj pepon hyo

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 роки тому

      Ni maajabu ukiend hajji makka lzima ukzur mkaburi ynanukia mfno w miksi hpo ni kujifunz kutenda mema n ss turidhiwe n Allah

    • @salummwalim4618
      @salummwalim4618 3 роки тому +2

      Kaka umesema kweli ikiwa lanukia kweli mchanga Basi Kuna watu wanamimina manukato

    • @rayurayan543
      @rayurayan543 3 роки тому

      @@zakiahaji1683 exactly

    • @zakiahaji1683
      @zakiahaji1683 3 роки тому +1

      @@rayurayan543 tujitahid kuijua dini ytu mtu anapyuk kusema asoyjua

  • @karimabdul3928
    @karimabdul3928 3 роки тому +3

    Hiyo ni shirki aina moja

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому

    Subhan Alla

  • @MohamedAli-ds8uz
    @MohamedAli-ds8uz 3 роки тому

    Subhanallah

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 3 роки тому

    Subuhana Allah mtu mwema kama hajaindika duniani

  • @sulaimanalmaskari1715
    @sulaimanalmaskari1715 3 роки тому +1

    Jambo la bora ijengwe senyenge yeyoyote anaekkuja kwa ajili kumuombea duaa ili aweze kusimama nje

  • @othmanalnabhany3208
    @othmanalnabhany3208 3 роки тому +1

    Ndugu zangu ndugu zetu kama kweli kunakitendo cha aina hiyo musikifanyetena haifai nendeni mkidhuru mkitoa dua halaf rudini majumbani kwenu lkn haifai kama mtakuwa na mambo ya ajabu mnafanya

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 3 роки тому +1

    Wanauchukua kwenda kufanyia ushirikina tu

  • @salmasalum3074
    @salmasalum3074 3 роки тому

    Nikweli Maalim tunampenda lkn mambo hayo Haya Fai hata kama mchanga unanukia hio ni kheri kwake na ss tumuenzi kwa kufuata aliyotuachia,Inshaallah

  • @linetnekesa8019
    @linetnekesa8019 3 роки тому

    Mchanga huchukuliwa na watu ambao wamehuzika na kfo cha marehemu wanarnda kujitengeneza wasifuatwe na Togo za kuzimu za marehemu ukisema wengine hawajukui kwa Nia nzuri wamaanisha nn Kwan kuna mwenye hujukua kwa Nia nzuri hii n Africa mzae jua jinzi yakuish na jirani na marafiki sip wote wanakutakia mema na huwez jua background ya mtu mungu awasamehe

  • @kholaalmahrizi8525
    @kholaalmahrizi8525 3 роки тому

    ط

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 роки тому

    Nyie mabalahau wacheni ujinga wa kukosa kujielema hao ni washirikina. Au wenziwe kutoka KUZIMU

    • @alimakame9215
      @alimakame9215 3 роки тому +1

      Balahau babaako kamahuna adabu

    • @aishasaid6749
      @aishasaid6749 3 роки тому

      We acha ujinga kuzimu ndio nini

    • @khulayfnassor6938
      @khulayfnassor6938 3 роки тому +1

      Laana ya Allah iwe juu yako maluuni wee

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 роки тому

      @@khulayfnassor6938 hayo ndio maendeleo aliyo kufundisheni seifu .kuwalani viongoz na alikuwa hakukatazeni . Amekuwachieni laana . Mana hata MWINYI mumemlani sana to .kabur linukie misk au marasha ya kichawi hayo mana nyie kwa kukwanga ila mungu atawalani wote mpaka wewe unae unga mkono pumbav.

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 роки тому

      @@alimakame9215 ban nkwe bubuali . Han nambie we si nbalahau kani pumbav au jomba et Ami Ali

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому +1

    Subhanallah nilisema miujiza itakuwepo

    • @muhammedkhamis1407
      @muhammedkhamis1407 3 роки тому +1

      Masha Allah nifuraha sana kwa mwisho wake je sisi tunao ongoza tunajifunza nini hapa leo unaongoza kesho wewe utaongozwa jifunze kwa waliopita kabla Yenu??

    • @maiyaal7inai260
      @maiyaal7inai260 3 роки тому

      Talib said labda unanuka mavi unmaana gani kuwa mstaarabu unpochangia wewe muislam kila neno unalotamka linaandikwa ktk kitabu chako kuwa muangalifu kuongea

    • @aishasaid6749
      @aishasaid6749 3 роки тому

      @@maiyaal7inai260 hao mbona wapo wengi mtaani petu koani majirani zetu walikuwa wanafurahi na kueka mziki Seif kafa sasa watakosa kusema ujinga na walichokitaka asifiwe na kwa sifa mbaya

    • @muhammedkhamis1407
      @muhammedkhamis1407 3 роки тому

      Masha Allah

    • @hakaboy5780
      @hakaboy5780 3 роки тому

      @@aishasaid6749 Unajua ww muislam usidhnie kitu pengne walikua bdo hawajajua kuhusu msiba maana hata hapa kwangu watu walieka nyimbo tukajiulza lkn kmbe walikua hawana taarifa walipoipta hawakupga tna

  • @kholaalmahrizi8525
    @kholaalmahrizi8525 3 роки тому

    k

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 3 роки тому

    Labda unanuka mavi

    • @aishasaid6749
      @aishasaid6749 3 роки тому +1

      Mavi yatanuka kaburini kwako maana dhahiri una husda na roho mbaya

    • @rayurayan543
      @rayurayan543 3 роки тому

      Hemu staghafiru Kaka yng mbn una bifu kias hicho n mtu ambae hayupo ten dunian c alikuwa akuwakera kashafunik uso wake musharidhik bac muache aliko huko apate afuen cc xote n binaadam

    • @khamisjuma5481
      @khamisjuma5481 3 роки тому

      Wewe ndio unaenuka mavi mbwa mkubwa wewe

    • @najmakhamis8052
      @najmakhamis8052 3 роки тому

      Wakwako utakuja kutoka moto isha Allah kamauliogea kwania mbaya ama kama lilikutoka to hauto yoka moto lana ww