Ni aibu! Mwalimu wa mawahabi (Kassim Mafuta) afundishwa lugha ya kiarabu || Sh. Abdulmajid Abdallah

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 457

  • @SalehSonda-bz3hl
    @SalehSonda-bz3hl 7 днів тому

    Hakuna shek wa kikhurafi anaeweza kumrudi shekh kassim bin mafuta Allah amuhifadhi

  • @salimakida95
    @salimakida95 20 днів тому

    Mashalwah, Mafuta amkosoa mpaka salim barihyan, Asante shekh Mafuta kaumbuka

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 17 днів тому

      Hapa haumbuki mafutaa wanaumbuka waislam wot e ikiwa sote Ili kufahamu jamb lazima tusomeshwe tena twasomeshwa lugha isiyokuwa yetu na lazima tu tuelew huu wote ni unafik njia sahihi ya kumkosoa mwislam mwenzio sio hiyo ya kuwekan kweny mitandao

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h 6 місяців тому +5

    لا يفصل بين فاعل والمفعول.
    Na ww pia umekosea apo hujui lugha.

    • @arrawaahiyahtv9800
      @arrawaahiyahtv9800 6 місяців тому

      Sahihi alitakiwa asemeje kama hivi amekosea?

    • @user-iu3me2sm2h
      @user-iu3me2sm2h 6 місяців тому

      Msikilize wau iyo inaatwifia wapi

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 6 місяців тому

      Ww inaonyesha unajua sana lugha Toa clip na ww ujibu sio una comment tu Toa clip na umradd sio unasema tu msikilize wau iyo inaatifiwa wap huyo ulomwambia una uhakika mambo hayo anayajua?

  • @KhatibBahorera
    @KhatibBahorera 2 місяці тому +1

    mashekhe iyo siyo dini muogepene Allah amjengi bali mnaharibu siyo dini hiyo wallahi

  • @eliaihoo77
    @eliaihoo77 6 місяців тому +5

    Ila wewe inaonekana ni mwanafunzi mzuri wa kassim mafuta. Inaonekana wamfuatilia ssaana. Na ikiwa kwenye lugha ni hayo tuu uliyoyaona katika mengi uliyosikiliza, basi jua kuwa hiyo kosa 1% na kupatia 99%. Hapo ndio ulipokosea tuu wewe mwenye chuki zako. Halafu waumia roho sana kwa kuwa umepuuzwa kwa kitambo kirefu saaaaaaaana. Kiufupi umepuuzwa na umepuuzwa na umepuuzwa. Pole sana muislamu mwenzetu.

    • @snyanzigemzigabha
      @snyanzigemzigabha 5 місяців тому

      Mimi sikasiriki kwa hivo unavo sema kwa sababu hata mimi ninasema kwaio ikiwa mimi sipendi kusemwa basi inabidi niache kwanza mimi kuwasema wengine lakini maadam mimi nakusema wewe basi ujue hilo mimi halinikasirish ispokuwa tu ntasisitiza adabu na heshma
      Al muhim nihivo wala hujakosea kusema mimi namsikia kasm mafuta nikweri mimi nampenda na pia namsikiliza kwa sa babu yeye ni ndugu yngu ktk imani na hlitafutika hilo mpaka pale moja wetu atakapo ritadi
      Kasim mafuta anamapungufu yake kama binadam wengine ktk dini na dunia
      Lakn chaa ajabu maungufu yake watu waliyanyamazia sasa akajuwa kuwa watakuwa wanamuogopa au labda hawana elim mwenye elim ni yeye kwa kule kunyamaziwa
      Kumbe watu walijuwa kunafaida gani mapungufu ya muislam mwenzetu kuyaweka hadharani
      Sasa wanamjibu kama alivo fanya kwa wengine cha ajabu mnaumia msiumie ikiwa mwawafanyia hivo wengine
      ikiwa hamtaki hivo basi nanyinyi msiwaseme watu ila kama mta wasema watu na nyie mtasemwa
      Kiukweri mimi sijaona adabu mlio nayo au suna mlio nayo au busala mlio nayo nakama mtasema mtume alikuwa kama nuinyi basi kwa hakika mnamzulia na wala asinge mpata yeyeote wakumfata ntakupa mfano ikiwa mtume kwatabia zaje alipendwa mpaka na makafili akaitw mkweri na muaminifu watu wakasilim kwa tabia zake nzur tazama wakati wanaweka jiwe jeusi wana gombananani aweke hajuwakataa pamoja ba ukafiri wao mpaka wakasilim sasaniambieni nyinyi mlio kama mtume yupi mlio msilimisha jwa tabia zenu hamna adabu kwa wazee hamna adabu kwa mashekh hamna huruma kwa wadogo allah atuongoze samahani ingawa najuwa sijatumia rugha ya matusi wala ya udhalilishaji ila nataka tusigombane tyuuu

  • @user-cm4ix9pz5x
    @user-cm4ix9pz5x 5 місяців тому

    Allahul mustaan Allah atuongoze kuijua haqq na baatwil tuiepuke Alkamaalu lillah

  • @user-hm7gq9ns8d
    @user-hm7gq9ns8d 21 день тому +1

    wew kichaaaa umetokea wapi toka lini kichaaaa akawa msomi wew peleka upuuzii wako hukoo

  • @user-ib2lw8kr9v
    @user-ib2lw8kr9v 3 місяці тому

    Allah amuhifadhi sheik wetu na amkinge na hasadi za waja

  • @Modyb
    @Modyb 2 місяці тому

    Zama hizi mutakalimiim wengi na huyu ni miongoni mwao. Kuteleza kiligha sioni kama ni makosa ya kufanyia radd. Allah amhifadhi Sh. Qassim Mafuta.

  • @khalidabas252
    @khalidabas252 5 місяців тому +1

    Mh hatari, watoto wa kishki wamekuwa wengi. Pole sana ndugu yangu watu hawanufaiki na unachokifanya bora somesha darsa watu wanufaike

    • @maulidimuhani
      @maulidimuhani 8 днів тому

      anachofanya mafuta TU kutukana wenzake 😅ndo watu wananufaika sio,

  • @athuminamkwizu1587
    @athuminamkwizu1587 5 місяців тому

    Subhanallah Allah amuhifadhi sheikh wetu qassim mafuta wewe mwenyenye umesema faailu walmafuli umekosea ila kiuhalisia humuwez huyo sheikh watu wanaishia kukucheka tu unajidhalilisha mwenyewe

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 5 місяців тому

      Ki vipi na umemsikia mwenye kasim mafuta hana ilimu ni matusi tu hilo lijuwe na mtume s a w alisema mwisho wadunia mkweli yuwaonekana mrongo na mrongo kama kasim mafuta yuwaonekana mkweli

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 6 місяців тому +4

    MIMI SI MTU WA TWARIQA
    ILA NIMEFURAHI QASSIM MAFUTA KUKOSOLEWA MAANA KAZIDI SANA KUJIONA MJUZI WA LUGHA NA MENGINEYO MENGI

  • @samirrubeya2379
    @samirrubeya2379 5 місяців тому

    Nyinyi hodari wa lugha mnajiona.
    Semeni qalallahu wa qala rrasul saw.
    Wapoteshaji.

  • @user-fv4lt8bu5n
    @user-fv4lt8bu5n 5 місяців тому

    Shekh wajifunza kusoma 😢😢😢😢 kama mtoto wa madrasa

  • @allykisuda4568
    @allykisuda4568 6 місяців тому +2

    Huyu MAFUTA aje maarif tunamtaka mdahalo wa uso kwa uso

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 6 місяців тому

    Shukran habeeb msichoke kuwasomesha mawahabi mpk viziwi wasikie nakutambua kwamba hawa watu ni wachache wa elimu

    • @mussanjimbwi1989
      @mussanjimbwi1989 28 днів тому

      Wewe huoni huyo sheikh anaangalia kwenye kitabu hapo?

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 6 місяців тому +2

    Subhannallah tumefika sehemu dini imekuwa mwatafuta kulipwa na Tube nasio dini bali ukweli kuwa vijijini hakuna miskiti wala walimu mnakaa mijini na Kuboresha hitima plus maulidi .

  • @ramadhanjuma9238
    @ramadhanjuma9238 6 місяців тому +3

    Assalaam alleykum warahamatullah wabarakatu,sasa mmekuwa kaz kukosoana tu,mngetambua kunamaeneo hayana hata msikiti,nashauri tumie mda wenu kueneza din,mm ninslim kwa hili sijapenda,kama hajui kwann utoe aibu ipo siku utakosea na make hujakamilika,make wew nimwadam mche Allah

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 5 місяців тому

      Huyu kasim mafuta kazi yake kupotosha na kutusi watu huyu kijana amfundisha bila matusi

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 6 місяців тому +2

    MAWAHABI WASHAWAHARIBU MASHEKHE WETU SASA NAWAO WAMEANZA KUDHARAU NA KUKEJELI MASHEKHE WENZAO JAMBO AMBALO MASUFI WALIKUA HAWANA.

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 6 місяців тому

    Allah akupeni maelewano baina yenu

  • @aliabdullahi9200
    @aliabdullahi9200 6 місяців тому +1

    Mashaalah ❤️ ❤️

  • @mubaarakmuhammad8299
    @mubaarakmuhammad8299 6 місяців тому

    Kumbe lugha hajui minikajua hajui dini tuachie shkh wetu

  • @user-ro4nx4xv2m
    @user-ro4nx4xv2m 8 днів тому

    Shkh qasimu mafuta ni mjididi tz &kenya

  • @KASSIMSAMAMBO
    @KASSIMSAMAMBO 6 місяців тому +3

    Shekh unacheza na mtandao ujulikane hahahahaaa

  • @SalehSonda-bz3hl
    @SalehSonda-bz3hl 7 днів тому

    Silaha kubwa y'a makhurafi nahau,eti wanasomeshwa nahau zaidi y'a miaka 9,hawajui tawhid,wanaabudu makaburi,

  • @user-zg4zj2cf2q
    @user-zg4zj2cf2q Місяць тому +1

    Wewe umeferi

  • @mussamsuya8595
    @mussamsuya8595 6 місяців тому +1

    Huwezi kufanikiwa chichote wew kakae utulie

  • @abdul-rahmanfakijuma1879
    @abdul-rahmanfakijuma1879 6 місяців тому +1

    Maa shaa ALLWAH

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 17 днів тому

    Upuuz mtupu na akili huna ungekuwa na akili usijifanya kuwa na akil wakati kichwan ni patupu na lazima ujue kuwa lugha ya kiarabu sis tunajifunza hii ni lugha ya waarabu kwahyo sis tunasoma na kukosea kupo mpumbavu wew

  • @allykisuda4568
    @allykisuda4568 6 місяців тому +1

    Ustadhi tunaomba short clips za hivo vibwagizo

  • @ahmadaliabbad1818
    @ahmadaliabbad1818 6 місяців тому

    Dunia hii hakuna mkamilifu ndugu yangu mche mungu wako na walimwengu kwa jumla .
    والله أعلم على ما نقول وكيل

  • @AbuuSiiriin
    @AbuuSiiriin 6 місяців тому +1

    Mumekosa hamna pakukimbilia hayo ni maneno ya mkosaji

  • @user-ul5sw7ms9h
    @user-ul5sw7ms9h 5 місяців тому +2

    Sheikh kassim mafuta.. Allah amuhifadh

    • @azizaj776
      @azizaj776 12 днів тому

      Allah amjalie MOTO HUMO MUWE MAKAZI YAKE - AMEEN

  • @HusseinTofikihussein
    @HusseinTofikihussein 6 місяців тому +2

    امجنون انت

  • @abdallahmoussa614
    @abdallahmoussa614 6 місяців тому +27

    Nakuskiliza kutoka Cape Town lakini kama unataka eti kumdhalilisha kwakumkosowa Sheikh Qassim Mafuta Allah amuhifadh hakuna litakalo kusaidia kwasababu kukosea nikawaida na yye sio wakwanza kukosea hate wewe hapo kiarabu sio lugha yake nakukosea lazima utakosea .kwakumalizia tunapata faida nyiiiiingi saana kupitia Sheikh Qassim Mafuta

    • @mybabyarchive2104
      @mybabyarchive2104 6 місяців тому

      Lugha hajimui halaf anachukua kitabu cha sheikh na kukikosoa bila ya kuuliza wajuzi wakitabu hicho

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 6 місяців тому

      Utoto mtupu

    • @abuuammar4924
      @abuuammar4924 6 місяців тому +1

      Sasa kwa utoto huu ndio unataka akujibu

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 6 місяців тому

      Ndugu Abdullah mie nipo Durban

    • @abumuhammadmbwana3964
      @abumuhammadmbwana3964 6 місяців тому +1

      Unachokisema ni sahihi ila ninachokuomba uwe na insaaf kwani huyu Mafuta ndiye mwenye tabia ya kuwakosoa wenzie pindi wanapokosea, alimkosoa Mohammed Iddi ktk kosa la kilugha wakati anajua wazi kua Abuu Iddi alipitiwa na ubinadamu tu lkn si kwamba hajui lugha. Hivyo nikuombe ndugu yangu uanze na huyu Mafuta kwanza kumkanya kwani yeye ndiye chanzo cha hizi vurugu.

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 6 місяців тому

    Safi sana

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 6 місяців тому

    Hebu tamka tena jina sheikh Abdulwahaab

  • @user-hn6cd1jp7e
    @user-hn6cd1jp7e 6 місяців тому

    بين فاعل ومفعول

  • @Saaid-yv6bg
    @Saaid-yv6bg 6 місяців тому +5

    TUNAKUSIKILIZA TUKIWA SOUTH AFRICA CAPE TOWN MAASHAALLAH huku south africa Sisi ni twarika damu.

    • @Saaid-yv6bg
      @Saaid-yv6bg 6 місяців тому +1

      Shukran Al hajj upepo..

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 6 місяців тому

      Kua mtu wa SUNNA na sio twariqa

    • @bagalucha
      @bagalucha 6 місяців тому

      Bismillah Rahman Rahim
      Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili.
      KWA WALE WAABUDU MAKABURI
      Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri.
      Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18
      Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada."
      [Musnad imaam Ahmad (12/314)]
      Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 6 місяців тому

      @@iddijumaali7192elewa kwanza usikariri

    • @mustaphakawanda4138
      @mustaphakawanda4138 6 місяців тому

      Poleni kw upotevu wenu

  • @user-oh9eo4lc3j
    @user-oh9eo4lc3j 5 місяців тому

    wew mwenyew haujitabu

  • @saidishalako
    @saidishalako Місяць тому

    Yaani tumua che ili tukacheze Ngoma, Hilo haliwezekeni

  • @hamadimussa2119
    @hamadimussa2119 6 місяців тому

    Unatafuta umaarufu wala huna jipya, hata angeongea kidigo inawezekana angekosea japo ni lugha yake, je kiarabu alichojifunza kuna ajabu akikosea,tuachie Shekh wetu Wallaah tunampenda tunamuelewa na hii da'awa inakuwa maa shaa Allaah

    • @user-zs6qg7ql1i
      @user-zs6qg7ql1i 5 місяців тому

      Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane

    • @user-zs6qg7ql1i
      @user-zs6qg7ql1i 5 місяців тому

      Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane

    • @user-zs6qg7ql1i
      @user-zs6qg7ql1i 5 місяців тому

      Anavokosowa wenzake j mnaon Raha na kujifny ana elimu mpuuzi tu Leo muach apatikane

    • @user-zs6qg7ql1i
      @user-zs6qg7ql1i 5 місяців тому

      Wacha ujinga akikosoa wenzke je mwehu anaon Raha muache akosolewe hajui kitu akasome

  • @machoshop8761
    @machoshop8761 4 місяці тому

    Uyu mwalimu ana ilmu kunzidi sheikh qasim mafuta

  • @khadijaaliy9263
    @khadijaaliy9263 5 місяців тому

    Badala ya kujadiliana vpi mtaikoa jamii tufanye vp tupate dola ya kiislam ati unamkosoa sheikh kassim nyinyi mmemsoma Mtume (saw) naona hawa mashehe wetu kukosoana2 ndo wameona ndio dini

  • @eidallyeidally5093
    @eidallyeidally5093 6 місяців тому +1

    Tatizo mnaloga sanaaaa

  • @user-fv4lt8bu5n
    @user-fv4lt8bu5n 5 місяців тому

    Subhana llah huyu shekh mbona anafanya mambo ya kitoto au ndo anataka umaurufu kwa nguvu

  • @MohamedAhmed-yi1yf
    @MohamedAhmed-yi1yf 6 місяців тому +1

    Watu wa bida mkikosolewa na sheikh kassim mafuta mwalaumu uwahabi Kassim

  • @i_gabbykisalo4280
    @i_gabbykisalo4280 6 місяців тому

    Masha'Allah tunaendelea kusubiria muendelezo wakumkosowa huyo dajjal wakisalafi.. masheikh msichoki kuwakosowa Mawahabi maana walishakufurisha waislamu sana. Allah awape umri mrefu wenye faida kwa jamii nzima yakiislamu amiin

    • @lubuva708
      @lubuva708 6 місяців тому

      Mche Allah mbona unakuwa huna hekma kijana

    • @i_gabbykisalo4280
      @i_gabbykisalo4280 6 місяців тому

      @@lubuva708 hiyo ni hekma ila kwa nyinyi Mawahabi ndo sio hekma. Insha'allah karibuni mtaiona haki na njia ya kweli

    • @ashrafuomaribakari7101
      @ashrafuomaribakari7101 6 місяців тому

      Hebu jikague unaswali swala tano? Nina wasiwasi na w

    • @i_gabbykisalo4280
      @i_gabbykisalo4280 6 місяців тому

      @@ashrafuomaribakari7101 Lazima uwe na wasiwasi maana nyinyi Mawahabi hamna mnachokijuwa zaidi ya kutowa watu kwenye uislamu na kutukana. Allah awaongoze amiin

  • @abuuaiman9575
    @abuuaiman9575 6 місяців тому

    Unaesoma kwenye kitabu na anasoma alichohifadh nan ni rahis kukosea
    Asome uarabun na kukaa huko kwa miaka asijue faaila wal maf uula unachosema kua na in swafu allah hamjanyui mwenye kujikweza in taabih

  • @AbuuSiiriin
    @AbuuSiiriin 6 місяців тому +1

    Huyu mwendaazimu huyu mwenyewe anakop na kupest

  • @user-fv4lt8bu5n
    @user-fv4lt8bu5n 5 місяців тому

    Shekh uwoni ata aibu wamkosoa mtu wemwenyewe wasoma kitabu ata mtoto wa ibtidaia ana soma kama kilivyo 😢😢😢😢😢😢 pole ostadh sema tu comment ujulikane tu

  • @user-tc2pm7yf1y
    @user-tc2pm7yf1y 4 місяці тому

    ww shekhe mjinga sn mbn unasifa sana

  • @RashidHassan-qi6ll
    @RashidHassan-qi6ll 8 днів тому

    Hilo nikosa la ukimi umeteleza nawala sio kosa la jahil(hajui) hapana nikosa la kibinadamu husimbandikizie Shubha zako wew unajua lugha kumliko yeye sh.kasim mafuta?

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 6 місяців тому +2

    Yaani.huyu sufi nae hama kitu KUMBE yeye hajui jambo unasema ta allumu ndio faaili ikisha mbe unaotia jaari Ar ba ii hio jari ndio mansuub pumba la sheikh mafuta yuko sahihi hakukosea huyu kichwa maji ndo kalikoroga TA ALLUMU fiilu gani hio tusaidie 😂😂😂😂😂🎉😂

  • @AbdillahSaleh-og1gu
    @AbdillahSaleh-og1gu 6 місяців тому

    Sheikh mwapata Faida gani mukikosoana mitandaoni? Wallahy aibu. Mwaskitisha. Mwajidhalilisha. Hakuna cha thawabu hapo. HasbiyaAllahu waniimal wakil. Mwapoteza umma. Sio kuulimisha.

  • @tellackyabdul9312
    @tellackyabdul9312 6 місяців тому

    Daah yaani nlivoona hiki kichwa cha habariii nkajua kuna jambo la maaana kumbe upuuuziiii tu.....

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 6 місяців тому

      Hata watu walipoona hii comment yako walijua ni maneno ya maana kumbe maneno ya upuuzi tu😂

  • @kareemkahemele362
    @kareemkahemele362 14 днів тому

    Mpaka wewe naye ukamkosoe sheikh qasim mafuta allah amuhifadhi

  • @quickbookingzanzibar
    @quickbookingzanzibar 6 місяців тому +1

    Sijapata faida yoyote ulichokielezea inawahusu washairi

  • @laisamaujud1157
    @laisamaujud1157 6 місяців тому +1

    Jamaa anataka kusafiria nyota uyuu

  • @allytwalibjr.6431
    @allytwalibjr.6431 6 місяців тому

    Bila shaka mwamtambua shekhe qaasim n nn kwa upande wa nahwi namaanisha muelewe yy n bina damu

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud1672 6 місяців тому +1

    Umesoma lakini akili ya kufikisha ujumbe kwa anayekosea hujui

  • @saidsaid-oj6qx
    @saidsaid-oj6qx 6 місяців тому

    Mbona unasoma kama watoto wa chekechea??

  • @hadjihadji197
    @hadjihadji197 6 місяців тому +1

    Hapa ni upuuzi tu, kutaka kumdogosha Mafuta. Mtu haiwi Kiswahili mara nyengine huteleza itakua lugha ya kujifunza?
    Mbona na weye hukuja kama weye umekuja na makaratasi uliyo andikiwa ili usome? Ungeingia bila makaratasi baadae ukatoa elmu.

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud1672 6 місяців тому

    Huyo sio kama hajui kusoma sema matamshi ya ulimi wake sio mazuri acheni ujinga mashekhe wa kiislaam

  • @ALIHASSAN-hc2ti
    @ALIHASSAN-hc2ti 6 місяців тому +2

    hata huyu mwenyewe anavyo sema nimakosa matupu

  • @rodgersmartin7336
    @rodgersmartin7336 6 місяців тому +1

    Kama huna lakusemaaa kaaa kimia shekh. Unaelimu kushinda hao ww.. taratibu kijanaa

  • @user-ro4nx4xv2m
    @user-ro4nx4xv2m 8 днів тому

    Hahahaha
    Wew umekosa kazi ya kufanya
    Kwasababu kuzungumiza na voice tu
    Lkn wez kuzungumiza na shkh mubaashara

  • @ramadhanmbwana5718
    @ramadhanmbwana5718 6 місяців тому

    KUTELEZA KATIKA LUGHA NIJAMBO LA KAWAIDA TUU
    HATA KIPINDI ANABISHANA NA MUHAMMAD IDI
    SHEKH ALISHALISEMA HILO KATIKA MAELEZO YAKE
    HATA WEWE TUKIKUKAGUA UNAMAKOSA MENGI

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 6 місяців тому +1

    Hakuna khuraafiii kata mmoja anaeweza kumfundisha mafuta....huyu taahira ana bwabwatuu hapa

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 6 місяців тому

      Ww mwenyewe unatakiwa kufundishwa kiswahili kama hapo ulipooandika "hakuna khuraafii KATA Mmoja, sasa kata sijui ulikuwa unamaanisha nn

  • @hassan_pacha_og
    @hassan_pacha_og 6 місяців тому +2

    بسم الله الرحمن الرحيم
    Ndugu zangu katika imani ningependa kusema kwamba hivi tunavyofanya havileti picha nzuri, sisi ni binadamu si wakamilifu ukamilifu ni wa Allah pekee, kama Sheikh kakosea muite faragha muelimishane
    والله الموافق

    • @mahadhikawia3610
      @mahadhikawia3610 6 місяців тому +1

      Alitakiwa akosoe yaliomo katika kitabu anachokifundisha ( hapa ni uthulu 3 ) au madda zake za kupinga bida'a katika Dini .Lakini kuteleza katika matamshi ilhali somo limeeleweka hakuna tija hapo.

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 6 місяців тому +1

      Mbona Muhammad Bachoo akitukana maulamaa humwambii km awaite na awaelekeze?
      Anatukama maulamaa na wala hana elim

    • @wakatikaisi6743
      @wakatikaisi6743 6 місяців тому

      Anafundishwa Mana yake arudiii darasaniii....sio kukosoaa mashekh Yee mwenyew elimu hanaaaa

    • @user-pu2uw2ib5y
      @user-pu2uw2ib5y 6 місяців тому

      @@wakatikaisi6743.... Hio ndio tabia ya Muhammad Bachoo kukisoa masheikh ilhali yeye mbu mbu mbu

    • @ABUUAhmad
      @ABUUAhmad 6 місяців тому

      Si tatizo ni kweli kakosea muhimu wewe jibu hoja zake alizomradi shekh lako

  • @AbdulRahim-l8q
    @AbdulRahim-l8q 6 годин тому

    Watu wa twariqa Wana chuki na sheikh kassim wanajua anajitahid kutoka upotevu

  • @saidramadhan4516
    @saidramadhan4516 6 місяців тому

    Mashehe acheni hizoooo woteeee mnatuchosha cc maamumah mnatuuziiiiii kwa kweliiiiii acheni tfadhalini sn.Hatuwapi sifa mashehena nyinyi sio mashehe

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 6 місяців тому +1

      Sasa kama ww maamuma unatakiwa ukae kimyaa

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 6 місяців тому

      Maamuma huwez kutoa sifa ni kweli kwa sababu mtoa sifa anatakiwa awe na elim kwanza kisha ndo atoe sifa

  • @saidsaid-oj6qx
    @saidsaid-oj6qx 6 місяців тому +1

    Nyie mmesahau? Labda niwakumbushe kwani yule aliye kusolewa kusoma Qur'ani na lugha tena nahau yawatoto wadogo aliye wahi kukosolewa na watoto wa kishiki yule alikuwa wahabi? Nahili ni sufi lijitu la maulidi sufi kubwa la Kenya

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud1672 6 місяців тому +1

    Appy kama hizi huwa nabrock hasa kama hii naifuta kabisa wewe shekh mpumbavu kama mwenzio kakosea mfuate umwambie sio hivyo unavyofanya

  • @rashadali6160
    @rashadali6160 6 місяців тому

    Sheikh haji assalam alaykum, iyo heading ya video hujafnya sawa inakejeli.....lengo sio kuaibishana na unaweza kusema kwamba wao pia wanatumia lgh ya kejeli iyo sio hoja kielmu na Dini....unapoandika heading jitahidi isiwe na kejeli ndani yk

    • @wakatikaisi6743
      @wakatikaisi6743 6 місяців тому

      Waoo Kwan hawatumii kejeliii

    • @rashadali6160
      @rashadali6160 6 місяців тому

      @@wakatikaisi6743 inamana wao wakitumia kejeli na nynyi pia mtumie sio ...hii ni dini mzee sio upuuzi.....kama wfny hvy tufuteni namna ya kuwarekebisha lkn sio na nyny kjb au kutumia kejeli pia

  • @BashiruMnyama
    @BashiruMnyama 2 місяці тому

    Shaikh wew unachokijuw ni kukat ndevu ty ukafanan na mkeo,na kufatilia makosa ya mashekh waliokuzid kielim na huku ni kuwakosea adabu,huo mda wako unaopoteza hapo ungeweka darsa ukawafundisha wenzako usufi

  • @abuuhhashim
    @abuuhhashim 6 місяців тому

    Ulikua nimtu unaeheshimazako. Leo unajihumza katika mambo yasio kuhus. Bas hiv sasa wew ndio waonekana mtu asiejielewa. Ww wadhani unavojitutumua uposawa yote. Sis twakuskiliza. Hakuna alie salmika nahayo. Fanya jambo litakalo kusaidia mbele ya molawako.

  • @abunauthar5384
    @abunauthar5384 6 місяців тому +1

    Allah atuongoze wote kwenye haki

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 6 місяців тому

    Sheikh Upepo

  • @mustaphakawanda4138
    @mustaphakawanda4138 6 місяців тому

    Hatushangai masufi ndio kawaida yenu huwa munajikuta wajuaji kushinda hata mashekh walio zaliwa kwnye miji yao huko saudia nahuku wakijizhughulisha na din mpka mwxho wapumzi zao allah awaongoze.

  • @AlhajiShabani-rq9vm
    @AlhajiShabani-rq9vm 6 місяців тому

    Huyo shekhe aliye wakosoa mawahabi hamuwezi kielimu napia ashamkosoa muftyi 17:45

  • @user-qq3yo2ms2k
    @user-qq3yo2ms2k 2 місяці тому

    Umaarufu kazi

  • @user-tc3bg9ln9j
    @user-tc3bg9ln9j 6 місяців тому +1

    HATA WEWE PIA TEYARI UMESHAKOSEA

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 6 місяців тому

      Sema kosa lake kwnza anajitia anajua afu anakosea vitu jama hvyo ni mtihani sana

  • @user-ts1kz1lw9p
    @user-ts1kz1lw9p 6 місяців тому

    Hata wewe jina la Sheikh Abdulwahaab umetamka vibaya

  • @user-qo7bx7db8d
    @user-qo7bx7db8d 6 місяців тому

    Yaani masufi bhana wakikosa hoja ni vituko sana

  • @AshaMwamedi
    @AshaMwamedi 28 днів тому +1

    Allah amhifadhi shekh Qasim Mafuta no sheikh wetu mbora kabisa na Kwa saawa Tanzania hii Hana mfano tafuta wengine wa kuwakosoa au jikosoe mwenyewe huna elimu we ya kumfundisha Bali wewe unatakiwa ukakae usome kwake unarudia Tu alipo teleza kidogo ASA hilo si kosa la kuteleza yeyote aweza kosea .Allah akuifadh shekhe Qassim Mafuta

    • @rashidseif2950
      @rashidseif2950 22 дні тому

      Kwaio kakosea kweli Bin Mafuta?

    • @azizaj776
      @azizaj776 12 днів тому

      Molo Mtukufu amjalie mafuta aungue motoni na mafuta yake MWENYEWE - AMEEN 🤲🤲🤲

  • @SalehSonda-bz3hl
    @SalehSonda-bz3hl 7 днів тому

    Acha msahilu pia mwarabu lugha yake hua anaikosea,

  • @rajabungatanda630
    @rajabungatanda630 6 місяців тому

    Munakwenda wapi nyinyi munaojiita mashekhe
    Mbona wapotofu sana?
    Muda mwingi munatumia kushambuliana ktk mitandao nyinyi kwa nyinyi
    Kuliko kutangaza dini kwa hekima "na subra "

  • @yusuphsammysammy7424
    @yusuphsammysammy7424 6 місяців тому +1

    Allah akuongoze sasa hapo shida ipo wapi

    • @wakatikaisi6743
      @wakatikaisi6743 6 місяців тому +1

      Shida IPO wapii we huonii shida IPO wapii anatakiwa akae darasanii asomee lughaaa

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 6 місяців тому

      Na ww ALLAAH Akuongoze kwa sababu shida hujaiona 😂

  • @hassaniomari9407
    @hassaniomari9407 6 місяців тому

    Yaani umeshindwa kuleta hoja za msingi kupinga anachokisema sheikh mafuta wewe umeona muhimu ni kumkosoa lugha😅😅😅 inaonekana huja hoza za kupinga maneno yake ndio maana ukaona uje upande wa lugha

  • @suleimanmasudi3851
    @suleimanmasudi3851 6 місяців тому

    Hahhahaaaaa kumbe Leo mmemkubali sheikh Muhammad IBN abdulwahab, Alhamdullilah taaratibu mtaifaham daawah salafiyah, Allah akuhifadhi sheikh wetu Abulfadhil kassim mafuta kaasim

  • @khamisimoshi5947
    @khamisimoshi5947 6 місяців тому

    Kwakweli elimu ndogo ni sum huwezi ukashindana na shekhe Qasim yeye elim yake inajulikana kasoma wapi yeye kasoma paka jamia wewe tuambie umesoma paka mustawa gani??

  • @abdillahsaid710
    @abdillahsaid710 2 місяці тому

    Mwamba hupati jina kwa hivyo😂😂

  • @AlPaary-ys3ll
    @AlPaary-ys3ll 6 місяців тому

    Kwanza we ni muongo huwezi kusema wamfundisha kwa kuunga clip
    muhim wa yote ni katika ukoseaji wa maana si utamkaji ambapo mahizb na masuf mumekosea kukubwa mpka wengine kutoka kwenye din yao ima lafdhw fadhaaka laysa biquran

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 6 місяців тому

    Mm huwa napenda ile mijadala ya kielimu baina ya sheikh Mazinge anavyo wagaragaza wakristo na kusilimu
    Sio hii

  • @IssaSimbilla-hw9ev
    @IssaSimbilla-hw9ev 5 місяців тому +1

    Hahaa eti anafundisha huku unakodoa macho chini uliza shekh alikua na kitab

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 6 місяців тому +2

    Na kukosea ibara kidogo ya kiarabu haimanishi kuwa hajuwi . Mtu ulimi huteleza wakati mwengine

    • @musakibwana4596
      @musakibwana4596 6 місяців тому +1

      Jeuri/kiburi ndo vinavyo mponza

    • @Abuusaad-uy5cx
      @Abuusaad-uy5cx 6 місяців тому +1

      Kuteleza kwa ulimi si hivi...amekosea ibara nyingi sana..

    • @KombHaji-dr5pd
      @KombHaji-dr5pd 6 місяців тому

      yamanisha hajui quran kiabu hadithi ikiwakiarab huji itakuwaje

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 6 місяців тому +1

      Kukosea na KUTO KUJUA ni vitu viwili
      Hajakosea bali HAJUI

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 6 місяців тому

      Kama unaamni kuna kuteleza kwnn ujinadi kuwa unajua kufanya riseachi ya ilimu upumbavu mtupu maklele kama mbwa

  • @doctoruvuruge4240
    @doctoruvuruge4240 5 місяців тому

    Shuyu shekhe nae anacho kufanya ni mchezo anajua kuwa hicho anacho kikosoa kipo recorded Sasa kwanini anafanya kama yupo na mtu ana kwa ana hiyo ni istiizai

  • @almarwazyahaythamy4905
    @almarwazyahaythamy4905 6 місяців тому

    Kweny lugha ya kiarabu hem kaen kimyaa! Waarabu wenyewe wanakosea tena ni maulamaaa...sembuse muajemi!! Siibawayhi katolewa baadhi ya makosa a ifanni! Nani hamjui siibawayhi..wazee!! Seif alifanya mjadala na muibadhi (wote hawa ni waarabu) ila kuna makosa yamepatina jee muajemi

  • @adamkilembwe.
    @adamkilembwe. 6 місяців тому +2

    Lugha ni tatizo kwa mawahabi wote