Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

HII NI HOJA AU MATUSI?? MUHAMMAD BACHU AULIZWA NA SH, KHAMIS ABDULHAMID??

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лип 2023

КОМЕНТАРІ • 144

  • @IddyDaruweshi-jv1fu
    @IddyDaruweshi-jv1fu 5 місяців тому

    Masha Allah kheir ujumbe mzuri sana kutoka kwa sheikh wangu KHAMIS. Allah amjaalie afya njema na umri mrefu

  • @suleimanmalik8878
    @suleimanmalik8878 Рік тому +6

    Mashallah Allah akupe ufahamu zaidi ili upate kuwaelimisha watu wasio kuwa na busara na hekma kwenye dini yetu

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 6 днів тому

    ALLAH AMUHIFADHI MUHAMMAD BACHU NA NYOTE MNA KIRI KUA ALLAH KAMPA ELIMU NA ANACHOKISIMAMIA NI SAHIHI SASA PANAPO MADHAIFU YEYE NI BINAADAM ILA TUNAANGALIA ZAIDI LILE ANALO LITETEA .

  • @abasijuma6989
    @abasijuma6989 Рік тому +3

    Mwenyezi mungu amhifadhi muhammadi bachu na kila jicho la husda amdumishe ktk daawa awatoe watu katika bidaa awaingize ktk suna kwa idhini ya mwenyezi mungu

    • @abdulwalidali4567
      @abdulwalidali4567 Рік тому

      Allahumma Ameen hawa wanapenda kumchukia sisi tunamuelewa kuliko nyinyi Muhammed Bachu mnamchukukia yote kwa sababu ya maulid mnayoyapenda na hili la Arafa toka enzi za baba yake anakuelimisheni lakini hamlitaki nyei masheikh wakaidi

    • @omaryjumbe14v8
      @omaryjumbe14v8 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @banihashim5347
    @banihashim5347 Рік тому +7

    Huyu mtoto bachu hana adabu hata chembe, mashaallah babake sheikh nassor bachu alikua msomi na mwenye ikhlaas kubwa katika dinj,

    • @abduladam9584
      @abduladam9584 Рік тому

      Ukikosa elimu huwezi kumuelewa kijana.atawatoa jasho 😂

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      ​@@abduladam9584hana jasho lakumtoa mtu ila mtume s a w alisema kutakuja watu wakijiona wana ilimu na watu wakiwaona wana ilimu kumbe hakuna lolote na warongo ndio wataonekana wakweli na wakweli wataonekana warongo

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому +2

    Ww mwnyew unamtafuta sana Sheikh Muhammad

  • @sharifuteacher5025
    @sharifuteacher5025 Рік тому +3

    Unajuwa unaweza ukasoma lakini usipewe hekma na uwelewa wa kile ulicho kisoma kwaiyo Alie kua sawa anajulikana na asie kua sawa anajulikana kwaiyo kikubwa kuombeana Dua Sana ili nusra zipatikane

  • @mwadinihaji1277
    @mwadinihaji1277 Рік тому +2

    Maa Sha Alla. Kwenye hoja ya maneno yasiyopendeza ipo kweli kwa mhubiri huyo. Hata hivyo, suala kama hilo naomba liangaliwe kwa upana wake maana kwa siku hizi tunashuhudia mawaidha kama hayo kwa wahubiri wengi tu kwenye dini yetu. Inshaallah Mwenyezi Mungu atuwezeshe kufanya anayoyaridhia. Amin

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 4 місяці тому

    Ahaaa mzeee haya mambo siyako Naona unababaika Tu hujajipanga hatakama kakosea ww Mzee hujajipanga

  • @user-rt1bz7lk4s
    @user-rt1bz7lk4s Рік тому +1

    Muhammad bachu yule sio sheikh ni mpuuzi tu kama walivyo wa puuzi wengine !

  • @salimhashimbabuya4438
    @salimhashimbabuya4438 Рік тому +2

    Allah awalipe mashekh wote walo na nia nzuri kw ulinganizi wao

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 Рік тому +5

    Sheh wangu usisikitike MUHAMMAD bachu kakosa elimu ya kufikisha ila ni jazba tu

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Рік тому +2

    Watu wakudhikiri !allah awaongoze

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 Рік тому +3

    Hiyoo ni majazy sheikh wangu.

  • @JannatTahmid
    @JannatTahmid 5 місяців тому

    Nilivyo faham mm kwamba Muhammad sio hana elimu isipo kuwa kutowa Muhadhara ndo tunahitaji lugha nzuri.

  • @hamisibakarimwahundu4861
    @hamisibakarimwahundu4861 Рік тому

    InshaAllah kila la kheri.

  • @bahashachembea6922
    @bahashachembea6922 Рік тому +1

    MashaAllah! Maneno kuntu

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 Рік тому +3

    MTUME WETU KIPENZI MUHAMMAD (Rahma na Amani ziwe juu yake) amesha tuambia kwamba MWISHONI MWA ULIMWENGU KUTAKUWA NA WANAZUONI WACHACHE LAKINI WAHUBIRI ( Waongeaji ) WATAKUWA WENGI.
    Pia katuhadharisha kwamba KUTAKUJA WANAZUONI WAOVU.

  • @user-ki4sg8yz9j
    @user-ki4sg8yz9j Рік тому +2

    Kweli sheikh kashindwa kuvumilia kwa upuuzi wa Bachoo.

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb Рік тому +1

    MZEE WETU UMEKOSA HOJA UNALETA KUMSEMA MTU HAPA TULETEEE HOJA ZAKIELMU HAPA SASA HAPA WATAKA TUAMINI UNACHOKISEMA KWAHURUMA

  • @tawaqalmuniss2902
    @tawaqalmuniss2902 Рік тому +5

    achaneni na yule shekhe bachu anatafta kiki

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 11 місяців тому

      hahahaaa. nimecheka vya kutosha

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 Рік тому +5

    Nikweli kijana anajikweza afuate nyayo za baba yake.

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh Рік тому

      Apuuzwe tu

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 Рік тому

      No sio kweli baba yake hakuwa km yeye kabisa ardhi na mbingu,shekh nasor alikua na hoja na mashiko,anatiririka na hoja km alivosema shekh hoja hadith na qur an tukufu,

    • @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh
      @MaldiniEl-Dugheish-fs9zh Рік тому

      @@mohammedmfamau43 mimi nahis wanatumiwa na wakristo baadhi ya waislam coz huwezi ona kuwa wakali mambo ya ushoga mabaa kuwekwa public huwezi ona kuwatetea masheikh walio wekwa jela huwezi ona kuwalingalia vijana na madaya ya kulevya au baadhi ya matukio km ya kukojolewa Quran na kama yule jamaa aliye mtukana mungu na kuna jamaa Alikuwa Answar sunna akajiita mtume n.k

    • @mohammedmfamau43
      @mohammedmfamau43 Рік тому

      @@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh kabisa ndugu yangu.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Рік тому

      @@mohammedmfamau43 Elewa nilichosema na maana yake,Mimi namanisha mtoto wa Nassor Bachu hua hakubali kukosolewa ila yeye kutwa kuwavaa wengine,Anaona makosa na mapungufu ya wenzie yeye hajawahi kubali au kukili aliwahi Fanya makosa kama alivyomkosoa Shekh Izudin Nae shekh Izudin akakubali na kusema alieleweka vibaya kinyume na yeye alivyokusudia.

  • @hamzashaha7039
    @hamzashaha7039 Рік тому +1

    We mzee huna akali yani mada inazungumza vyengne na wewe unafafanua vyengine mwuwacheni kijana atangaze dini ya Allah nyie endeleeni kutafuta sifa kwa viongozi

  • @rachidmuhammad3356
    @rachidmuhammad3356 Рік тому

    Tuone ilmu ya sheikh

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Рік тому +3

    Huyu anaongea kifiqhi nimependa sana

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Рік тому

    Wewe mzee unalolitaka utalipata, yote hayo Hoja za kuthibitisha Kuwa kitabu cha Barzanji hakina uongo mmeshindwa kuthibitisha sasa ukijibiwa usiseme mtoto hana adabu

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +1

    Nyie masufi hamzidi ila ujinga mwingi na porojo.
    Fahamu mbovu kupita kiasi, mahala pa kumshika mtu hamuna, sasa mnatafuta makosa ya kulazimisha ndio nini sasa!
    Khalafu kwani huyo fatuma na mwajuma ndio hoja za Shekh Muhammad mpaka mutokwe na mishipa ya shingo kuzungumzia jambo hili?

    • @DR.SAIFILLAH.5363
      @DR.SAIFILLAH.5363 Рік тому

      Hapa ndipo walipo taka tufike wale walioleta mwenendo mpya ndani ya dini kwa kisingizio cha Sunna na kuleta fitina na fatuwa za ajabu hadi kufika kuwakosowa maswahaba, matabiina, Matabii tabiina kisha kuwa tukuza WANAZUONI wa Najidi ambao ni juzi tu wengine wamefariki juzi tu.
      Hivi kweli kuna mwanazuoni wa karne hii ya 21 anasimama na kujiona yeye bora na mwenye elimu kuliko IMAMU SHAFI ambaye kazaliwa mwaka wa 150 wa hijria yaani ndani ya karne bora ambazo mtume kasema ni karne 3 tu

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому +1

    Khalafu wewe Faasiq haji upepo sindie ulie kua unawaambia watu kila siku kwamba Muhammad bachu nimpuuzi, mwendawazimu, mpumbavu mkubwa, na huyo shekhe wenu anathibitisha kua Shekh Muhammad yuko vizuri sana na anamfatilia, sasa tuwaelewe vipi nyie mapimbi?

  • @shaibhemed4152
    @shaibhemed4152 Рік тому +2

    Wwe hunahikma unataka cheotu kilasiku umemshika shk Mohammad bachu huyu kijana atawatieni presha maana hamna hoja yakumjibu nimambo yakitoto kwako wwe haikutakiwa kutoa maneno humu ilikua umfate umfahamishe lkn wataka umaarufutuwwe hunahoja yakumjibu bachu wwe tunakujua msimamo wako wamwezi hata ukionekana pemba huukubali sasa hunahoja ila kusema bachu katukana walemavu aah hoja yakitoto Tena wanasari musimchukulie bachu kwa umriwake mdogo mchukulieni kwa elimuyake nandio inayowatia presha mukasema ovyo ovyo lkn kamaulivo mjibu humu nawwe utajibiwa kielimu humuhumu ndio ulitafutalo

  • @salumbinabed6906
    @salumbinabed6906 Рік тому +1

    Nyie mashekhe waserekali tuna wajua watu wanauliwa hasemi watu wanazini ovyo hamsemi wasenge wamejaa hamsemi ila mna kaa kilamtu anmsema mtoto wa bachu

  • @HamisiAli-uy3sg
    @HamisiAli-uy3sg Рік тому

    Fala tu huyo bachu Junior...
    Mwehu huyo

  • @AlisaidSalim-ln7wl
    @AlisaidSalim-ln7wl 11 місяців тому

    Sheokh acha kumhukm muislamu mwenzio wewe hujajitambuw utafaulu au utaangamia maana mnakaa chini yaserikali kukidogsh kitabu cha Allah

  • @arkanodadirey
    @arkanodadirey Рік тому

    Na sheikh sharifu kasha sema mwenye kutegemea ilimu basi itampotosha na nwebye kutegemea pesa zita isha na mwenye kitegemea afya ita dhoofika ila mwente kutegemea MUNGU naye yupo hai

  • @hutiswalehe2444
    @hutiswalehe2444 Рік тому +2

    Bachu na wafuasi wake wote kwa ujumla hawana adabu na dini wala wanavyuoni....kuna wakati huyu bacho ni kumnyamazia tu ila ana khatar kubwa sana akikutana na allaah cjui atamjibu nini kwa huu uchafuz wa dini anaoendelea nao mitandaon,ameweka maslahi yake ya tumbo mbele kuliko dini!!

    • @kidesusaidimohamed8888
      @kidesusaidimohamed8888 Рік тому

      Sio bachu ni mwanae kuwa makin wee

    • @hutiswalehe2444
      @hutiswalehe2444 Рік тому

      @@kidesusaidimohamed8888 Kwan huyo bachu mwenyew alikuwa na adabu??

    • @kidesusaidimohamed8888
      @kidesusaidimohamed8888 Рік тому

      @@hutiswalehe2444 kumbe tena wew ndo huna elimu kiasi hicho basi kaa kimya tu alafu mche ALLAH kisawasawa cio unamsengenya mtu kusema hana adabu

    • @abdulabdulathumani5992
      @abdulabdulathumani5992 Рік тому

      ​@@hutiswalehe2444bachu kila siku yeye ni wakuwafitin waislamu

    • @hutiswalehe2444
      @hutiswalehe2444 Рік тому

      @@kidesusaidimohamed8888 wewe unayo ilim akhiy??

  • @mybabyarchive2104
    @mybabyarchive2104 Рік тому +2

    Hawa mawahabi dawa yao ni Nikash tu muandae muhadhara wa pande mbili ubarikiwe na Mamuft wetu najua haki ipo upand e flani sasa wakikutanishwa wote pamoja sisi hadhira tutajua ukweli ni upi

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u Рік тому

      Hoja 19 bado hazijajibiwa... mwataka kumuua huyu mzee maskini...😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TheAmadoni
    @TheAmadoni Рік тому +1

    We wamkosoa online mbele ya Ummah kisha wataka yeye akufwate kisiri 🤣🤣🤣

    • @AbdlhamidSeif
      @AbdlhamidSeif Рік тому

      Bachu aliwataja wakina fatuma online pia

  • @ramadhanhajji
    @ramadhanhajji Рік тому +2

    Kila mfahamu atajuwa kuwa katumia kwanjia ya mifano hakumaanisha wake zawatu Wala watoto wawatu au hayo majina niyawanao au wakezoww kwakoww nimajina ya wakezo kwa wengine nimajina ya wagombanishaji wa ndowa zawatu

    • @mwalimshekha-kn3hp
      @mwalimshekha-kn3hp Рік тому

      Wewe mtumzimzima ila sisi tushafahamu unataka kumsha ila kwahilo utashindwa

    • @salehpandu2250
      @salehpandu2250 Рік тому

      Ustetee uhuni ni maneno ya kihuni aliyo yatumia

    • @ramadhanhajji
      @ramadhanhajji Рік тому +1

      @@salehpandu2250 sawa yy muhuni kwa maneno aloyatumia nihakki anyooshwe lakini mnatakiwa muwe na inswaf haji Upepo mbona hanatumia maneno ya kashfa huwaita wenzie mbuzi mjinga mwehu hamujamsikia mbona hamumnyooshi au kwavile Sufi Acha aseme atakavo madhali alisemalo nidhidi ya salafiy kuweni wadilifu ndososi yamjadalahuu

    • @almarwazyahaythamy4905
      @almarwazyahaythamy4905 Рік тому

      @@ramadhanhajji naam

    • @RamadhanimaulidMokola
      @RamadhanimaulidMokola Рік тому

      Majazi hayoooo.

  • @hashimshariff2743
    @hashimshariff2743 Рік тому +1

    Usiwe na waswas shekhe kesho atachapwa kichapo tanga maisha yake hatosahau

  • @zawiaissa8912
    @zawiaissa8912 Рік тому

    hoja19 meshindwa kujibu alafu mnadadavua mambo mangine tu kwani niongo sasa arafa simoja tu duniani mbn unasimamsha mishipa sana huyo Fatima alie tajwa ni mke wako nn😂😂acheni majungu nyieeee

  • @salimmbwana6926
    @salimmbwana6926 Рік тому +3

    Sh inaonesha una nia nzuri sana kwa huyu kijana lkn ulikuwa umwite inbox kama unavyotaka ww.

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab Рік тому

    Wewe mbona haujaumfuata Inbox? Na kwani kutaja majina ya wanawake ndio kutaja wake za watu ,hahaha mashehe wa michongo bhana!!

  • @user-fr3vz2np4e
    @user-fr3vz2np4e Рік тому +1

    Ww mzee inaonekana hujui lugha ya kiswahili

    • @salumjidawi1590
      @salumjidawi1590 Рік тому

      Maneno yako inaonyesha una jazba sheykhe punguza kdgo kaka innamal islaama ikhwaana

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk Рік тому +2

    BABAETU usiwafuate VIJANA. .HAO wamekuja na DINI mpya ndio mana WOTE WAZAMANI ilikua hawapatii chochot ILLA niwaotu. Na HAPA KUNA mukta muhim. Mana HAPO Sasa inabidi tufunge aashuuraa kuangalia mwezi misri sasa kwelikabisaaa. Mana ya arafa ni saudia. Ramadhani saudia .aashuraa ni misri.

  • @abdallajuma0587
    @abdallajuma0587 Рік тому

    Haji upepo huna Elimu wewe unalingania watuu katika kuabudia makaburii msufi mchafuu wewww na wenzako maghurafii

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Рік тому +2

    Dini bila adabu nisawa na zero

  • @eastzooadmin6416
    @eastzooadmin6416 Рік тому +2

    Bado mkeli na haya bado, watu washa move on 😂

  • @challengepcn7982
    @challengepcn7982 Рік тому

    ua-cam.com/video/E1wCOsSA0p8/v-deo.html&ab_channel=FAUZPRODUCTION
    This is the link the Sheikh Khamis was trying to show.

  • @user-rq7hr8ee7i
    @user-rq7hr8ee7i Рік тому +1

    Shekh sio kosa lakini mm nahisi ww nimtumzima na niustadhi ww usiwe nakibri ww vizuri umwite huyo nimtoto naamini hatokataa ukimwita kutoleana maneno mitandaoni siodini hiyo

  • @user-lr4rk3pb8h
    @user-lr4rk3pb8h 11 місяців тому

    Muhamad bachu kapatia

  • @arkanodadirey
    @arkanodadirey Рік тому

    Huyo kijana bacho sijui bako sielewi ilimu anayo ila ametegemea sana ilimu kuliko MUNGU na hekma zailimu

  • @mohammedalaraby0073
    @mohammedalaraby0073 Рік тому

    Toa hoja za kielimu usimkosoe mtu kwa udhaifu ya uzungumzaji wake sawa kufikisha kafikisha vibaya tunakubali je wewe hoja yako ya kielimu iko wapi inayoonesha kwamba arafa mbili mbona hujaweka

  • @omarmsomall3809
    @omarmsomall3809 Рік тому +1

    We we mbona hujaenda inbox ume amua kupwa yuka tu.

  • @rashidkhalid5645
    @rashidkhalid5645 Рік тому +1

    Mimi nahic nyinyi ndo mloishiwa hoja na kutaka kutumia shubha tu ili mumtie dowa shkh Mohamed bachu na nahic hampati ucngizi kwa hoja zake

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 Рік тому

    Kaongea vizuri tu bachu ni nja ya kuongea tu kiswahili ni kikubwa fatuma ni jina tu hajakosa lolote kweli arafa ni moja ndio kusudio lake

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Рік тому

    Ni kupuuza tu... hii ngoma ikivuma saaana itapasuka tuuu....

  • @auazenafusse134
    @auazenafusse134 Рік тому

    Tulifate lipi ikiwa machekhe amutaki amukubariani?

  • @mgazamhina840
    @mgazamhina840 Рік тому +3

    Sasa na wewe siungemfuata inbox,wewe wataka kufuatwa inbox

  • @is-haqmf8513
    @is-haqmf8513 Рік тому +2

    Maulid ni bid'aa.

    • @kadoditsa3805
      @kadoditsa3805 Рік тому

      Wewe ndio bidaa3aa

    • @is-haqmf8513
      @is-haqmf8513 Рік тому

      @@kadoditsa3805 Naona juzi Bachu kawaramba hajawasaza. Allah amuhifadhi you've been feeding us a lot of innovations and heresy which the Prophet is against.

    • @kadoditsa3805
      @kadoditsa3805 Рік тому

      Hana Elimu ... Pupa tu...

    • @is-haqmf8513
      @is-haqmf8513 Рік тому

      @@kadoditsa3805 Watu wamefunguka macho sasa, watu wengi hawajui tafsiri ya Barzanj, lakini juu ya kuwa maulid bidaa sasa twapata uongo na shirk ndani yake. Allah atuhifadhi.

    • @mafiatv5479
      @mafiatv5479 Рік тому

      ​@@is-haqmf8513kawaramba kajirambabmitako yako tupu lake

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 Рік тому +1

    Sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah
    Lakini Achana na kujadili Mtu kwa
    Kumuashuria Mtu Fulani
    Sio vyema Kabisa wewe ni Baba Mlezi
    Hakuna sababu ya kufanya hivyo
    BACHU ni kijana
    Mdogo mno Asikufanye umjadili

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab Рік тому

      Hawa wazee Bachu kawapiga na kitu kizito kinachofuata ni kumchafua tu 😂😂hawana hoja

  • @salumbinabed6906
    @salumbinabed6906 Рік тому

    Mie munanikera hapotu mashekhe waunguja yapo mambo mengine siyaku pigiana kelele

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 Рік тому +1

    hana adabu mohamed bachu

  • @imamumohamedmalina6995
    @imamumohamedmalina6995 Рік тому

    Kuweni makini nyie mnaotoa matusi ktk coments zenu maana mtakwenda kufirisika siku ya qiyama!

    • @salehothman6144
      @salehothman6144 Рік тому

      Wanaona ni jimbo la kawaida sana kutukana masheikh ila lazima wajue kuwa lazima haya yatakuja kuulizwa

  • @JumaOmar-lj9yh
    @JumaOmar-lj9yh Рік тому +2

    Sasa hapo shekh hii sio matusi mbona mfano mashekh wanatoa sana

  • @nassiryahya
    @nassiryahya Рік тому +2

    Ni mke wa nan aliemtaja hapo hebu tuambie

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 Рік тому

    Umekuwa huna mawaidha kazi kumuongelea Sheikh Muhammad wazee wa barzanj n majaz

  • @nassiryahya
    @nassiryahya Рік тому +2

    Huyu mzeee naona kuna kitu anakitafuta ila atakipata

  • @omarally6819
    @omarally6819 Рік тому

    Allaah Mtukufu anasema :
    وجحدوا بها واستيقنتها أنفسهم ظلما وعلوا.........

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 6 місяців тому

    Pumbavuu tuu

  • @abdallajuma0587
    @abdallajuma0587 Рік тому

    Sasa haji upepo acha kibri bidaaa mbaya hizo

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 Рік тому

    Na wewe huna hekma hata kidogo kama una hekma ulikua umfuate hivi huoni na wewe unamkashifu vp ndio dini hiyo

  • @rachidmuhammad3356
    @rachidmuhammad3356 Рік тому

    Sheikh jibu hoja 19 za bachu acha rawama

    • @rashidhemed1444
      @rashidhemed1444 11 місяців тому

      Hoja Gani ujibiwe wakati mtume humfati

  • @blacknature3691
    @blacknature3691 Рік тому

    Mzee usipate presha Bure yule kijana wasiwasi akili Hana ndo ukaona mufti kamfungia kazi sababu kamushtukia akili yake sio barabara

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 Рік тому +1

    Binaadamu hukosea,kateleza,sote tunateleza,Kosa alilolifanya haliifuti haki aliyoielezea

  • @hamisikiyungi8540
    @hamisikiyungi8540 Рік тому +1

    huyo mtoto muhuni2 yeye analopoka maana kila analo liona au linalokuja katika kichwa chake analopoka nalo,watu watanga wanamsemo unao sema mgurwa gurwa koma macho kundu galicha!!!!

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 Рік тому +1

    Alietajwa ni mke wanani???? Hata wewe waongopa na mviizotee???

    • @ajmalkiango4715
      @ajmalkiango4715 Рік тому

      Jaribu kuelewa Acha kuropoka.. anakusudia majina hayo ni katika majina ya wanawake ambao kuna watu wameoa wanawake wenye majina hayo

    • @abuushakiraddausiy8666
      @abuushakiraddausiy8666 Рік тому

      Boyaaa kweli wewe

  • @saidnassor5655
    @saidnassor5655 Рік тому

    Mzee atafuta kiki utuuzimani hhhhhjhh lakin kijana kweli utamuweza na lugha zao ndo hizo kwasasa hhhhhhhh

  • @mtemi
    @mtemi Рік тому +1

    Huyu sheikh ameishiwa Cha kusema

  • @masoudtalib4734
    @masoudtalib4734 Рік тому

    Kwani anaongea nin huyu mzee?

  • @Sunnah1212
    @Sunnah1212 Рік тому

    Hebu jikusanyeni nyote mukajibu hoja hata Moja katika zile 19 acheni upuuzi

  • @SaniaNana-hn6dp
    @SaniaNana-hn6dp Рік тому +1

    Mwache mtt wa bachu!

  • @user-wv2jk3nn1x
    @user-wv2jk3nn1x Рік тому

    Hadji upepo wewe mwenyewe huna adabu kama.huyo.mtoto wa bachu

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 Рік тому

    Ni majazi lughawyah

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q Рік тому +4

    Ondosheni jazba kwenye kutangaza Dini ya Allah S. W. Wewe uliye muita mwenzio Jaahil kwenye clip yako fulani, na yeye hamna tofauti!
    Mnaendekeza jazba badlala ya kuelezea lile la kweli mlilo jaaliwa kulinua kutoka kwenye Qur'an na Hadith Sahih za Mtume S. A. W.
    Mnatuharibia maadili ya Uislam! Mbafanya tunachekwa na maadui wa Uislam! Wacheni hivyo, tafadhali. Elekezaneni kistaarabu ili nasi tupate la maana la kujifunza.
    Afadhali hata Sheikh Khamis amezungumza ya maana. Ambapo moja kwa moja amekemea jambo na tumemuelewa.

  • @mwalimshekha-kn3hp
    @mwalimshekha-kn3hp Рік тому +1

    Huna wewe

  • @SalehHajiOmar
    @SalehHajiOmar Рік тому

    Mtoto kaufahamisha Uma ukweli unakwenda kumtupia lawama nakupotosha ukweli Kasema kweli Hakuna arafa baada yakuondoka mahujaji Katika vuwanja vaarafa Sasa wewe hangaika nakubabaisha ivo ndio ukweli ulivo arafa niile siku watu wanayo simama arafa ukitaka hivo ndivo ilivo usipotaka hivo ndivo ilivo endelea kuwapoteza wale ambao niwakupotea kila siku wafuasiwako

  • @Sunnah1212
    @Sunnah1212 Рік тому

    Hawa wengine wanazeeka vibaya hajui ata anachokisema

  • @mozasalum8742
    @mozasalum8742 Рік тому

    Badoshehe hujaeleza point unalakokumbe

  • @aboumuqbil2529
    @aboumuqbil2529 Рік тому

    Mi namuomba huyu shekhe hii vidio yake Kisha aiangaliye kama haitamsutaaaaa yeye mwenyewe

  • @khamisali9907
    @khamisali9907 Рік тому

    Wasome seheni hao mawahabi watoto wabachu hamna kitu

  • @mustayoo
    @mustayoo Рік тому

    Hakuna arafaa mbili

  • @Shabalala99275
    @Shabalala99275 Рік тому +3

    Mie Kila sik nasem huyo bacho nimharibifu2 Hana hikma hataaaa kidg

  • @mafiatv5479
    @mafiatv5479 Рік тому

    Ndo mana limfukuzwa zanzibar, kibri hilo
    kila sheikh ataka mkosoa yeye
    mtume katutahadharisha na washenzi km bachu, watia aibu ktk dini, halafu ajitangaza sheikh, sheikh shenzi tu hilo jambazi, panya buku hilo

  • @jamilahjamilah4157
    @jamilahjamilah4157 Рік тому

    shehe hawa watu wanaojifanya kila kitu bidaa nishida nakama huja soma utoto watakupeleka km wanavotaka wao