Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Ibnu taymia hakosei ila Mtume anakosea (Maneno mabaya ya Wahabi huyu)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 кві 2024

КОМЕНТАРІ • 217

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 місяці тому +2

    Hahaha hapo upande wa lugha umekwenda mrama muhuni wangu
    Kanachonga ndevu ili kasionekane kazee ili kapendwe na wanawake duh haji wangu mgonjwa kweli haji wangu sisi tulikua huko muhini wangu tulisoma kahama kwa sheikh moja anaitwa sheikh rajabu mwanafunzi wa Muhammad ayyubi wa tanga marehemu mganga mkuu wa ramri mpaka allah katuongoza kuijua haq kisha katupeleka kusoma tamta kwa waganga wa kienyeji duh alhamdulillah الحمد لله والمنة وعلى نعمة السنة والمتابعة ماجاء به رسولله صلى الله عليه وآله وسلم

    • @wangnjamealawy3387
      @wangnjamealawy3387 3 місяці тому

      Eeeh..! Kumbe mtu akichonga ndevu anapendeza na kuvutia hata mbele ya warembo???
      Sasa nyie kwnn mwafuga midevu michafu tu km mwajua hamupendezi???

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 3 місяці тому

      @@wangnjamealawy3387 hata mnyama dume anamshinda

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 3 місяці тому

      @@wangnjamealawy3387 mke na mume na mke wanafanana mashavu
      Hata mtume wake hakuabhivo tuambie swahaba gania alikua anakata
      Ndevu watu wa sunna ndio wanamfwata mtume na maswahaba
      Swahaba gani alifanya maulidi
      Na hivo hivo watu wa sunna wako kama maswahaba hakuna akiefanya maulidi na watu wa sunna hawafanyi maulidi
      Kisha swahaba gani alikata ndevu
      Na hivo hivo watu wa suuna hawakati ndevo ni swahaba gani akienda kuomba msaada kwa wafu waliokufa
      Na hivo hivo watu wa suuna hawaendi kuomba msaada wafu watu wenyewe wanategekea duaa zetu
      Nimtoto gani wa mtu alimfanyia babake mtume maulidi
      Kisha nimjukuu gani wa mtu alimfanyia maulidi Babu yake mtume
      Tuna rudi niyupi mke wa mtume alikua anaonekana sura yake kwa watu
      Kisha niyupi mke wa swahaba alikua anaonekana pia sura yake
      Je mtume alikua anavaa nguo zake zinaishia wapi ambae ndio mwalimu wetu
      Je katika maimamu wanne 4
      ImamuAbu haneefa
      Imamu maliki
      Imamu shafiy
      Imamu ahamadi
      Ninani katika hao kafanya maulidi na akayataja katika kitabu chake hayo mwali yoote naomba unisaidie kuwauliza walimu wako maana na sisi huku kahama kabala ya kuongea na Allah tulibanwa hayo maswali tukawauliza masheikhe wetu walipokosa jibu tukaona Kumbe kwa watu wa bidaa kuna usanii tu ikiwa hata wanafanya mambo ahata Moja katika swaha hakuna aliefanya
      Pia hakuna hata Moja katika maimamu woote wanne kafundisha kwenye kitabu chake hakuna
      Swalilangu ninani kayaleta ???
      Inamaanisha hata jibriil hayajui
      Na ikiwa hayo maulidi ni dini au ni ibada je nibana gani ambayo imefundishwa na Allah kwa mtume wake Kisha mtume akaipuzaa asifanye Mimi na wewe tuje kuifanya
      Je mtume alipokua akimaliza kuzika
      Alikua akimfundisha maiti maneno ya kuwajibu malaika wawili kaburi kua kwa Sasa watakuijia malaika wawili watakapo kukuuliza nani mola wako uwambie bila ya kuwaogopa kua mola wangu ni Allah kwani na wao noviumbe wa kawaida tu kama wewe Wala wasikutishe je hayo maneno aliwahi wafundisha maiti
      Kisha watu wa bidaa wamefanana na makafiri
      Kuomba maiti
      Na makafiri wanasoma sanamu lisiloongea
      Wai wanasherehekea krisimasi sikuku kuzaliwa kwa isaa ambayo isaa hakuifanya pamoja na wanafunziwake Wala haiko kwenye kitabu Cha injili
      Na watu wa bidaa nawao wanafanya kusherehekea kuzaliwa kwa mtume sikuku ambayo haiko kwenye vitabu vyoote vya dini .
      Rudi kwenye vitu vya hadithi
      Uangalie Namna watu wa sunna wanavo vaa je haiko katika uislamu
      Je ndevu mtu kasemaje na wao wanafanya nini kwenye ndevu
      Mtume kasema خَالِفُوا المُشْرِكِينَ؛ وَفِّرُوا اللِّحَى، وَأَحْفُوا الشَّوَارِبَ hiyo ni hadithi
      Ziko hadithi nyingi zaidi ya kumi 10 mtu akizungumzia ndevu je mtu hajui dini Kisha masheikh wa bidaa ndio wanajua ndini kiasi mpaka wao wasifuge ndevi
      Swali langu je mtu laifuga ndevu hakufuga???
      Mtume aliburuza nguo zake au alikata nguo zake
      Mtume kafanya maulidi hakufanya ?
      Maswahaba walifanya maulidi au hawakufanya?
      Je mtume alitukataza kufanana na washirikina au hakutukataza ?
      Je maimamu woote walifanya maulidi hawakufanya?

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 3 місяці тому

      Jibu hoja Acha kusengenya na Acha chuki!

    • @GasoreJuma
      @GasoreJuma 18 днів тому

      Pumbavu

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 3 місяці тому

    MASHALAH
    MASHALAH
    MASHALAH
    HAKIKA SHEKH UPEPO UNAWATOWA UPEPO KWELI KWELI MAANA UNAWAJUWA HASWAA HAWA WATU NI HATARI KWA MUSTAKABAL WA UISLAM NA WAISLA
    WAAO SUNNA ZAO WASEME MASHEKHE ZAO TU SIYO SUNNA ASEME MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM
    WAPO TAYARI WAANDAE SIKU MAALUM YA KUMSIFIA SHEKH MOHAMED ABDULL WAHABI LAKINI AKISIFIWA MTUME KWA DARAJA YAKE WANAKASIRIKA KWELI KWELI
    HAKIKA HAWA NI TAWI LA MAYAHUDI MAANA MAYAHUDI HAWAMPENDI MTME WALA HAWATAKI ASIFIWE NA MAWAHABI WAPO HIVYO HIVYO WANASEMA MTUME MTUME NANI YEYE KAMA BINAADAM WA KAWAIDA TU SUBHANA LAH
    HAWA MAWAHABI NI FITINA KAMA YA MSIHI DAJAR
    NA KUNDI ATARI SANA

  • @omaryjumbe14v8
    @omaryjumbe14v8 Місяць тому

    MIMI NDIO MAANA HUWA NASEMA HAWA MAWAHABI WAMESHACHANGANYIKIWA TENA BAADHI WANAJIITA MASALAFU TENA WAMEGAWANYIKA MAKUNXI KWA MAKUNDI NA KILA KUNDI LINAPINGA KUNDI JENGINE

  • @AllysalimSalim
    @AllysalimSalim 3 місяці тому +1

    Mche allaah hebu jalbu kuongea ukwel hii nidini halafu mbona we elmu huna nakuomba katafute elmu tena yakisheria

  • @MwanaFatima
    @MwanaFatima 4 місяці тому +2

    Swadaqta wabaarakta

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 4 місяці тому +1

    Allah atuongoze xaidi soteni inshallah

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 3 місяці тому +1

    Yani sheikh upepo unawajulia kweli hawa watu
    Subhana LLAH DUH WAHABI kumbe nihatari yani alipoulizwa kwa mtume anasema anakosea ibnu taymia hakosei inna LILLAHI😳

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 15 днів тому

    UMESAHAU VITA ILIYOKUWEPO BAINA YA TAMTA NA ZAHARAU NA WOTE WALIKUWA DHEHEBU MOJA 😂😂😂

  • @rushu1232
    @rushu1232 3 місяці тому +1

    Alhamdulliah Sh.Haji umezungumza ukweli wenye faswaha aamini atakae kuamini asiatake shauri yake.

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 2 місяці тому

    Haji weka chuki pembembeni weka uhakika wa huyu sheikh alicho kusudia kuhusu Ibn Taimiyya, Ibn Taimiyya ananukuu kwa mtume na maneno ya Allah, hawez kukosea katika maswala ya dini yake na huu ndio usahihi sabab wote twarejea kwa Allah na mtume. Hakosei katika hilo
    Ama kuhusu mambo yake tofaut na dini anakosea, ni wapi huyu sheikh Amesema Ibn taymiya katika mambo yasiyo kuwa ya dini hakosei

  • @yunusabubakar6862
    @yunusabubakar6862 Місяць тому

    Huyu si sheikh ni shehena, hasomeshi kazi yake ni kukosoa tu, afikia mpaka kukosoa maduktura, eti ana elmu kuliko maduktura, masufi kujifanya wanamapenzi sana na mtume ndio watie nguvu bidaa zao za maulid

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 3 місяці тому

    Utapa shida mno. Sisi hatutaacha kuaamini Masheikh wetu wa Kisalafy , tunawaamini Sana ,tunawapenda mno n tunawaheshim pia. Vijana wengi wetu Alhamdulillah tunaelimika nao. Kila mkiwasema vibaya cc Alhamdulillah tunazid kuafuatilia

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 3 місяці тому

      Muhimu ujumbe umeupata bas limetosha hilo

  • @MohamedMagulu
    @MohamedMagulu 24 дні тому

    Pigeni mawe ao mawahabi,ila Allah udhihilisha haki,بدأ الاسلام غريب وسوف يعود غريبا کما بدأ

  • @KhalidAbdalla-lb4ph
    @KhalidAbdalla-lb4ph 4 місяці тому +1

    Allah akuongoze nawewe pia kuifahamu haki

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 4 місяці тому +1

    Allah akuhifadhi tuzid nufaika

  • @kassimsaid4481
    @kassimsaid4481 3 місяці тому

    Mwenyezimungu atufahamishe. Ameen

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 4 місяці тому +4

    Shekh unapata tabu bure hao Ni Mayahudi ,na Mayahudi siku zote Ni ugonjwa mbaya kwa waislam

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 місяці тому

      Itaki llah muogope allah, uyahudi unakujaje hapo? Kwani kuna myahudi katamka Laila Ila llah na kamkubali mtume muhammadi, acheni chuki za kukaririshwa mitaani na propaganda zenu mnazokalilishwa madrasa, na shekhe zenu, arafu nikufunze kitu uwahabi so dinni wala dhehebu ni jina la Allah katika majina 99 ya mwenyezi mungu wahabi likiwemo Sasa unapomtukana mtu ukamnasibisha na jina la mungu unakosea, kaa usome vzr dinni usilete ushabiki kama wa Simba na yanga hii dini hupelekwa kiilmu so kibu busa, uislamu usipo Soma mengi utafanya bila kujuwa hapa ni makosa, kingine nikunasihi ukitaka kuijuwa hakki muombe mungu akuongoze ya rrabi nibainishie hakki ni kundi lipi lipo sahihi katika uislamu niongoze ewe mwenye kuongoza watu Allah atakujibu duwa zako so kuporomisha matusi je! Ikiwa huyo wahabi unae dai ww kumshambulia akiwa katika hakki yeye utamjibu nini Allah siku ya kiama na hali ya kuwa uliwadhulumu na kuwabeza kwa matusi na Allah kila mtu atamlipa kwa dhulma alomfanyia mwenzie, akuta punjwa mtu siku hiiyo hiyo mikumbo inayofata hawo marafiki au mashekhe wanao kudanganya utakuwa nao kila mtu anaiwazia nafsi yake hiyo ndo siku ya hakki yauma tubila salahiru'''

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 місяці тому +1

    Wallahi wabillahi watallahi weqe ni muongo kabisa tena macho yako to yanaonesha unatafuta umaarufu kabisaaa katefte umaarufu kwa mke wako kwanza allah akuongozee weye kwa kufanya mambo ambayo hata swahaba moja hakuwahi kufanya kisha unakuja kufanya wenye kanajifanya eti kana Elimu ya kukosowa walitoa vitabu wewe lete kitabu chako japo kimetungwa na babu yako acha baba yako babu yako kwanza hapo wewe mwenyewe hata arabauuna nawawiy huna kifuani kisha maneno makaavu kama chakula kilichokosa mafuta

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN 3 місяці тому

    Shekhe usipate shida lete ushahid wa iyo hadith sahih na aya ya Qur an ilizungumzia Maulid.
    Mbona hili linawashinda na wanakuja ahlulmaulid wengine wanakubali kua haifai kumuomba mtu ambae amekifa hata kama ni Mtume?

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 3 місяці тому +1

    WEWE NI MUONGO

  • @sulaimanismail7031
    @sulaimanismail7031 3 місяці тому

    Huyo kijana ana nini jameni,kwani hatukusikia kilicho zungumzwa😅😅ukafanya ujanja wa kupeleka video haraka eti tusisikie😅😅sheikh amesema kwamba:
    Ibnu taymiya alikuwa akisema qalallah ,qalarasulu,hivyo acha kupoteza watu
    Pia kumbuka hakuna kundi linalo itwa wahabiii,acheni chuki dhidi ya sunna

  • @zakariasuleiman4113
    @zakariasuleiman4113 4 місяці тому +6

    Huku kenya nchi nzima wahabi anaye heshimu wenzake ni mmoja tu shekh yusuf abdi basi

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 3 місяці тому

      Msanii

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 3 місяці тому

      Maswahaba walikua na uchungu na dini wewe
      Taja swahaba hata Moja na hata kama ake zake au watoto wake walifanya maulidi
      Kama maulidi inafaa basi kirismasi inafaa

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 3 місяці тому

      Watu wa maulidi na wakiristo wote wanafanana kwa kuongeza kwenye dini ya Allah

    • @wangnjamealawy3387
      @wangnjamealawy3387 3 місяці тому

      ​@@matendupiterngoge8707tizama maneno yako ewe wahabi, wakristo wameongeza nn kwenye dini ya Allah?

    • @princefeisla3692
      @princefeisla3692 3 місяці тому

      ​@@matendupiterngoge8707tafadhali weka wazi hapa Leo hili liishe toa Aya au hadithi inayosema maulid hayafai ntakuba kunazi ukithibitisha hili

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge 3 місяці тому

    Hata wewe huna tafauti na wahabi huna elimu naomba nenda kasome uziri ujue dini ungali darasa la 0..je wewe nimadhahabu gani? Umejidai kupita kiasi.

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau 3 місяці тому +1

    Mimi mawahabi nawatambua kwa mawaidhanyao tu huskii kusema qala LLAHU qala RASUL
    utaskia qala ibnu taymia ibnu thaymin ibnu qayim ibnu jawzan sijui basi hua nishajua huyo niwahabi😅

    • @MBAROUKSAADHUSSEIN
      @MBAROUKSAADHUSSEIN 3 місяці тому

      Sema kweli japokua chungu. Utaenda kuulizwa kua mawahabi hawawemi Qalla LLAH WA QALLA RUSULU LLAH

  • @user-xo9rb7wj7s
    @user-xo9rb7wj7s 3 місяці тому +2

    Sio kutompenda Mtume tu,, hata Qur'an hawaipendi pia ,, hawataki isomwe popote ,, hawa mawahabi,, angalia hata mavazi yao ,, ni ya namna maalum ,, yaani wako kwa point of no return kwa mipango yao ya kuleta far'qa katika ulimwengu wa kiislam,, wako tayari kushika hata silaha kuwaangamiza waislam ambao si wa mrengo wao ,,, angalia mawahabi kwa n'chi ya Burundi 🇧🇮 huko ,,, hatari,,,

  • @SalumAbdullah-wy5no
    @SalumAbdullah-wy5no 3 місяці тому

    Naskitika, anasema uwongo mkubwa. Kusema wanapendwazaidi wabazuoni kuliko mtume s.a.w

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 3 місяці тому +1

    Wewe ni jitu la bidaa unachuki na watu wa sunnah

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 місяці тому +1

    Allh awaongoe ninyi masufi mnaofanya shirki na bidaa katikika dinni so mawahabi wapo katika hakki

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 3 місяці тому

      Shirki imejaa ktka vitabu vyenu mawahabi

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 3 місяці тому

      @@jamalishoo3802 urongo wapi uliona mawahabi wanafanya shirki? Zaidi tunakuta shirki zimetawala kwa masufi wanaabudia na kuyatakasa makaburi maeneo mbalimbali tena wanaotetea kabisa lete aya na hadithi wapi imekataza kumuomba maiti, mombasa lamu makaburi ya makina road ni masufi mambo yapo wazi skuhizi mitandao haifichi mlituficha zamani na kutubuluza kama sasa tumeona hakki acha tupumzike kwa mtume na sunna zake na uislamu safii leteni ninyi picha ata moja shekhe wa kiwahabi mnao dai kakutwa anasujudia makaburi leteni dunia haina siri saivi

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому

      ​@@jamalishoo3802mawahabi Sana washirikina.

  • @fay9687
    @fay9687 3 місяці тому +2

    Haji upepoooo upeperukeee mpaka angani mzushi mkubwa wewe mbona hiyo audio umepeleka mbio tusisikie utaenda kuchomwa na uongo wako kurafi mkubwa

    • @arafatally3723
      @arafatally3723 3 місяці тому

      Hekima iko wapi katika mazungumzo?Kuapizana Kwa Nini?

    • @izzymonterey5811
      @izzymonterey5811 3 місяці тому

      Hauna haki ya kumuapiza mwenzako ...muogope Allah wacha jazba tumia hekima kurekebisha kma hujapenda.Mbna uko na hasira lkni daah

  • @user-dm9yr4hc4k
    @user-dm9yr4hc4k 3 місяці тому

    Karibu mozambiki chekh. Nakupenda kua ajili ya Allah

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 3 місяці тому

      Umekimbilia msumbiji baada kupata kichapo kutoka kwa jeshi la Tanzania, magaidi wote lazima mchapwe kisawa sawa

  • @alisharifsalim
    @alisharifsalim 3 місяці тому +1

    Wahhabi wote ni wavutaji bangi

  • @sadatmalk6334
    @sadatmalk6334 3 місяці тому

    WEWE NI JAAHIL MURAQQAB ‏صدقني

  • @mohamedially3145
    @mohamedially3145 2 місяці тому

    Usiseme wanatafunana hata ww upo huk usijifanye wajua kila kitu huna lolote

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 2 місяці тому

    Huwez ivunja sunnah kwa kuweka makelele yako mtandaoni, huyu sheikh mm namfatilia kwa Muda mref na huu n moja ya minakasha yake na mashia wew kwakua uko sawa na mashia n ndugu zako katika dini endelea kumtukana Ibn taymiya huwez fikia elimu yake wew na huyo mwalimu wko na babu ya mwalimu wako huwez fikia elimu ya Ibn Taimiyya,
    Uwongo ndio NGUZO yenu masufi na chini ya mashia.

    • @user-bj6yz7gy1v
      @user-bj6yz7gy1v 2 місяці тому

      muongooooooooo na uo ushirikina wenu wakuvunja nazi na kuabudia makaburi ya masheikh wachawi nyie haturudi tena kwenye usufi munatunywisha makohoo munasema ijazaaa porojo tupu hamuna aya wala hadithi

  • @huriyaomar3313
    @huriyaomar3313 3 місяці тому

    WEWE NI MTU WA BIDAA MUMEJAA SHIRKI HIVI UTAPEWA WEWE USHEKHE WA MAKKA NENDENI MKAABUDU MAKABURI NA MASHARIFU!! SHIDA MBAYO NYINYI KTK USHIRIKINA MUMEJAA SHIRKI WACHAFU WAOVU MSOJUA KITU ILA SIFA TU!!!

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 місяці тому

    Nyiny kazi za kufanya hamna Kila siku mada hizo hizo , sas kijana mwenyew mdogo huwez kupoteza ukwer, nyinyi watu wa bidaa hamna point unachokifundisha hata hakionekani ebu thibitsha kauli ya kibr na maneno machafu

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 3 місяці тому

      Je ukithibitishiwa utauacha uwahabi?

  • @NURUABDALLAH-kq4ui
    @NURUABDALLAH-kq4ui 3 місяці тому

    Tafuta elimu Kabla hujazungumza chochote u so we inaongea bora,

  • @AhmedNassor-qk1ch
    @AhmedNassor-qk1ch 3 місяці тому +1

    Wewe ni muongo

  • @MaryamAlli-is1jg
    @MaryamAlli-is1jg 2 місяці тому

    Ewe kijana mche Allah hiyo njia uipitayo ya kukosoa kosoa wanachuoni njia mbaya hiyo. Wewe na ibnu uthaymy umeshamzidi elimu?

    • @othmanfakih2601
      @othmanfakih2601 Місяць тому +1

      Swadakta,,,hajamzid hata kdg ibn utaymia,,ila ukwel ikiwa ibn mkubwa wa darja Mtume wetu muhammad (s.a.w) anakosea,,je huyo ibnu utaymin yy nani askosee kibinaadamu?
      Wa-Allahu A'alam

  • @work880
    @work880 3 місяці тому

    Maneno ya sheikhi yamekatwa katwa

  • @Ochuminho
    @Ochuminho 3 місяці тому

    Unachokiongea hukifahamu.... unachanganya mas-ala hemu jamaa hem mkae chini jamaa na msome... nani aliekwambia Salafi ni kundi limezuka, ama ukisema kutofautisha na nani alikwambia salafi pia hukufurisha waislam..... sipo hapa kuongelea uazo wa maulidi bali najihusia nafs yangu na kuhusia kumcha allah

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 3 місяці тому

      Kwa maana unataka kutuambia ibnu taimiya anakosea?

  • @RadjabuAbdillah-sf6by
    @RadjabuAbdillah-sf6by 3 місяці тому

    ALLAH akuogoze,wengine utafuta pesa kupitia dini kumbe uko mzushi mtu wa bidaa 😢😢

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 місяці тому

    Huyu ni muongo anayachukua kutoka katika katika media za kisufi za Sudan kuhusu hili la huyu aliyemwita Abdulazizi ,ambazo zinazokata klip kwa kusudio la kupotosha,kama zilivyo klip zinazoandaliwa na wazandiki kama yeye huyu Haji Upepo,na akijua hili limebabaishwa kwa kuunga klip na kwa kuzua mengi tu,hao unaowaita mawahabi,Allah kawajalia Makka na Madina,wewe hata upotoshe vipi,wewe hutowashinda Almutaqina,tunajua wewe una asılı ya ushia,na ndo maana masheikh wanakuwacha ubwabwaje,na kuupanga uwongo kwa kutia sumu za upotoshaji,Allah ni mwenye kujua tunayoyaona na tusiyoyaona ,na laana ya Allah itakuandama.

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

  • @AibumuadhikaasimKidocho
    @AibumuadhikaasimKidocho 3 місяці тому

    Wewe ni muongo hata Allah anajua wewe ni muongoo

  • @user-om7ov3ji3r
    @user-om7ov3ji3r 3 місяці тому +2

    Apa upepoujafahamu hii klip umeikata hawa wanabishana ktk hadith uyu jamaa haikubali au anaikubali sasa ibn taimiya anaenda kinyume nayy sasa wewe upepo ulitakiwa uilete iyo hadith na sisi tuijadili nisahihi kwamba mtume s a w kibinadamu anakoseya ktk wahy hakosei na ibn taymiya ananukuu hadith vip iwe kakoseya nakule juu haijakosewawewe unachuki na ibn taymiya uelewa wako nimdogomno ww nimtotowajuzitu sisi sote tumetoka ktk usufi tunajuwa uwozo wao wasiri ambao wafasiwao hawayajui wanahisi ni makarama na uwaliy unalakutuambia sote usufi tumezaliwanao tunaujuwa uchafuwao hatuwezi kurudia matapishi ukiwana hasira kufa kwa chukizako ucwaone masalaf unamda ata wakuwasomesha watoto fiqhii mdaote kwenye mtandaotu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

  • @user-zk5jk2he6v
    @user-zk5jk2he6v 3 місяці тому

    Kamasiugonjwa waliliunao basi unamasheitwani wew alla akuongoze jisufiweee

  • @MBAROUKSAADHUSSEIN
    @MBAROUKSAADHUSSEIN 3 місяці тому

    Mi nahisi shekhe ili watukume mawhb tuendelea kutafuta misaada tupewe zile zana za mnande kama wa Qadiria ili Zanzibar tuwe wa kwanza kuliko Kenya ili tukuze Moholi yetu.
    Ili tupate uwenzo nzur wa kukata viuno mbele ya wazazi na dada zetu na Maulid yakue.

  • @MuhammediKinyagari
    @MuhammediKinyagari 3 місяці тому

    Nikweli shekh haji umesema kwel mawahab nivituko

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 місяці тому

    Hiyo heading pekee yaonesha wewe ni Jahil

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 місяці тому

    Watu wa Maulidi ni washenzi kwer kwer kwahyo mnahisi kucheza Ngoma na wakinamam siku ya Maulidi ndo kumpenda MTUME? Huo ni upotevu na hamuwezi kupoteza ukwer hata ww kijana mdogo upoteze muda na ukauke koo hutopata wa kukusikia labda wapotevu wenzako

  • @user-dy9xh8ob3v
    @user-dy9xh8ob3v 3 місяці тому

    Jazakallahukheir ALLAH akuhifadhi unasema kweli

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 3 місяці тому

    Watu wameifanya dini kuwa matakwa yao, jamani dini sio matwakwa ya mtu. Dini ya Allah mtu anachotakiwa ni kufuata hayo mengine hayana sehemu

  • @user-fk7vx5qw7n
    @user-fk7vx5qw7n 2 місяці тому

    Mnafiki saana ww

  • @jumakassim1112
    @jumakassim1112 3 місяці тому +1

    wee mpuuzi mkubwa kwanza wazungumza kama mwanamke shenzi zako

    • @NurdinTwangeni
      @NurdinTwangeni 3 місяці тому

      Ndugu nasahazako ndo matus nn sasa

  • @seifmohd5357
    @seifmohd5357 4 місяці тому

    Salafi ni uzao wa mawahabi lakin wenyew kwa wenyew hawaelewani magomvi kwao ndio dini chuki na viburi vimewajaa katika vifua vyao mpaka wazazi wao wanawatia katika upotevu Allah awaongoe hawa watu

  • @user-ze8rk9ye6r
    @user-ze8rk9ye6r 23 дні тому

    masufi acheni porojo hamana lolote mjualo

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 місяці тому

    Huyu anatafuta umaarufu kwa kuikashifu haki,elimu hana.

  • @IbraFareed
    @IbraFareed 3 місяці тому

    Sheikh naomba utoe darasa juu ya kitabu kinachoonyesha mifarakano ya wahabi wakipigana raddi kuwa wao ni watu wa bidaah wenyewe kwa wenyewe
    Kinaitwa
    ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز.
    KITASAIDIA SANAH KUEKA MAMBO HADHARANI
    Ikiwa hujakipata ninayo pdf yake nikutumie whatsapp

  • @user-be7cx3oj3o
    @user-be7cx3oj3o 3 місяці тому

    Tafuta ya muhimu uongeee watu wailimike

  • @KhalidAbdalla-lb4ph
    @KhalidAbdalla-lb4ph 4 місяці тому +1

    Muongo usipotoshe umma

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 4 місяці тому

      Muongo ni ww na video amekuletea ww iblis wapili ww video umewekewa na wakataa ww mnafik

  • @AbulqassimAshirazy-yd7th
    @AbulqassimAshirazy-yd7th 4 місяці тому +1

    Wewe ni mpotoshaji kama unakusudia Haki ulikua umejificha wapi baada ya zile raddi za Haji upapa kukufedhehesha,au unazania tumesahau, wewe ni mpotoshaji wacha kumzushia Mtume saw.

    • @fauznuhu9981
      @fauznuhu9981 4 місяці тому

      Wewe mhabi asha kelele mbona nyinyi viziwi?

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 4 місяці тому +1

      @@fauznuhu9981 sisi tu nakutakieni kheri ila mda mwengine hasira Zinazidi. Wacheni kumzushia Mtume. Huo Ndio ukweli.

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 4 місяці тому

      @@fauznuhu9981 sisi tu nakutakieni kheri ila mda mwengine hasira Zinazidi. Wacheni kumzushia Mtume. Huo Ndio ukweli.

    • @makameally1962
      @makameally1962 3 місяці тому

      ​@@AbulqassimAshirazy-yd7th acha porojo

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 3 місяці тому +1

      @@makameally1962 mwambieni uyo haji amche Allah, aache kuwazulia uongo wanachuoni. Mtume saw alitutahadharisha na hao wazushi.

  • @user-sw1ol9jb6z
    @user-sw1ol9jb6z 3 місяці тому

    Muongo mawahabi hawafundishi kiburi we muongo

  • @HafidhMaalim
    @HafidhMaalim 3 місяці тому

    HUYU JAMAA ANATAFUTA UMAARUFU NA HAJUI KITU

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 3 місяці тому

    Hiii chanel Ni ya Upotofu.
    Jitu La bidaa Linahangaika hangaika.
    Allah akuvunje Mfupa wa mgongo kwa kutafuta Shubuha zako.

    • @allymbarouk5362
      @allymbarouk5362 3 місяці тому

      Upotofu gani?
      Labda kitu gani amesema hakipo sawa hapo?
      Makundi ya maanswar yapo tu na kila moja lina shekh wake

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 3 місяці тому

      @@allymbarouk5362 halafu uzur mim sio Answar Mim ni Ahlu sunnat waljamaa.

    • @RashidiSwalehe-yb3nt
      @RashidiSwalehe-yb3nt 3 місяці тому

      Mkunde we kwan huku unatafuta nn ww ndo unavuruga jamii

    • @RashidiSwalehe-yb3nt
      @RashidiSwalehe-yb3nt 3 місяці тому

      We mkundu leo n mwshoo kukusikiliza

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u 3 місяці тому

      @@RashidiSwalehe-yb3nt hizi ndio Adabu mnazofunzwa ktk Madrasa zenu.??Hamna Heshima Kabisaaa mkishindwa kwa hoja mnaanzisha vurugu na matusi.
      Allah awaongoze.

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 3 місяці тому

    Kuna kundi limehalalisha kulawitiana hasa.Mbona hulisemi.Unafiki tu.

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 3 місяці тому

    Hata watu wakitabu walikua wameshikamana mpaka ulipowajia ubainifu ndo wakafarikiana

  • @AbdullahiHamadi
    @AbdullahiHamadi 3 місяці тому

    Tusomeni jamani hata ukitafsiri Qurani sasa hivi utaitwa wahabi sawa lakini tutaonana kiyama dunia haina mda mrefu tuache kuwarizisha watu tumrizishe allah jamani

  • @user-sw1ol9jb6z
    @user-sw1ol9jb6z 3 місяці тому

    Wahabi hawasemi ibnu Taimiyah hakosei

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    ,alikuwa mfadhili wao mkubwa wàlikuwa wakipishana kwenye ngazi lakini leo yuko mbele ya haki wanamsema hana kwenye ,,mikutano yao walikuwa wakikirimiwa vilivyo lakini hakuna hata mmoja anae wajulia hali allah karimmwakba yao afariki allah amrehem wanaishi alhamdulilah zulma yhakimu wa hakiote walio wafanyiwa na taasisi ya ansar allah ndie ha
    ,nne umekwikwisha ba

  • @user-be7cx3oj3o
    @user-be7cx3oj3o 3 місяці тому

    Kwani kumpenda mpaka usome maulidi nakukata viuno, mbwa ww

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

    • @hatybshenkondo373
      @hatybshenkondo373 3 місяці тому

      Acheniatisi hivi nyie ni waislamu kweli unaachia matusi kwenye hoja sa kiislam jamani jamani tuacheni matusi,

  • @MwanaFatima
    @MwanaFatima 4 місяці тому +1

    Hiiii huyu amekwenda mbali zaidi akaaaa asa yy kiongoz wake ni nan

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 4 місяці тому +1

    Kweli hili kundi ni Mtihani.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    ,sidhani kama kuna shekh hata mmoja katika ansar 20:48

  • @binaamour318
    @binaamour318 3 місяці тому

    Kw kipimo gani ulichotumia kwamba masufi hawasomi eti mawahabi ndio wanasoma? Au ushabik umekujaa? Kuliko ufahamu ebu ingieni koment za kielimu kama alivyopitia yy pingeni ushahid kw kunukuu vitabu kama munavyo yy alishatoa ya kwake

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 місяці тому +1

    Weee kasome vzr dinni mpotoahaji jahli ww suffi waabudia makubari na masharifu unasemaje kasome tauweed na uache shirki na bidaa ndo uje umtangaze allah

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 4 місяці тому

    Usiweke vidio za wajinga kama hawa wa kiwahabi hawafai mjinga mkubwa inakuaje umdharau na kumtuhumu mtume na umtukuze mtu ovyo tu wa kawaida wahabi ni tatizo

  • @jumakassim1112
    @jumakassim1112 3 місяці тому

    wee mpiga ngoma utatuambia nini masalafi wewe ni mjinga kaa usomeshwe dini

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 місяці тому

    haji iyo bidaa inayofungamana na mtume inafaa na isiyofungamana na mtume haifai hayo maneno umeyatoa wapi

  • @user-oh6iy4li9k
    @user-oh6iy4li9k 3 місяці тому

    Tafuta elimu ndg Allah akuongoze

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    20:48 ,anayejua haki wangewatetea yatima wa janjira kumwambi

    • @HilalAlhabsi786
      @HilalAlhabsi786 2 місяці тому

      Kuna haqi ya kuwafanyia WATU Na Kuna DINI YA HAKI. Wewe umeijua haqi Ni Bora uwe pia KATIKA Dini YA haki

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 3 місяці тому +1

    Mawahabi nimarekani nawingereza na Israel angalia ata kufunga wanafunga mwezi pamoja nakufungulia wanafungulia pamoja

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 3 місяці тому

    Uongo.Mtume ni bora kuliko bin Taimiya.

  • @MuhammadHamisi
    @MuhammadHamisi 3 місяці тому

    semaaaaa haji hawa wajinga tu

  • @junaydnasser4337
    @junaydnasser4337 3 місяці тому +1

    Kiukweli binafsi Mawahabi wote nawaona kama majuhaa😂😂😂😂

  • @KhalidAbdalla-lb4ph
    @KhalidAbdalla-lb4ph 4 місяці тому

    Ikiwa kasema ibnu taymiya hakosei uyo kakosea na kachupa mipaka

  • @jumaajambiamusa8214
    @jumaajambiamusa8214 4 місяці тому

    shehke shafi mm ni mfwatiliaj san kwakukuskiza ww ila naomba hizi krp acha kuzipeleka spdi kwan,hawa wana ongea kama mlivyo waweka apo wana pelekwa na haraka haraka hatusikii kbsa

    • @nasoros.mgungo5502
      @nasoros.mgungo5502 3 місяці тому

      UA-cam hawaruhusu kutumia Video ya MTU bila Idhini yake na Kama utaitumia Basi ipeleke haraka hili anaetaka aende akatafute original

    • @HumeidKimazi
      @HumeidKimazi 3 місяці тому

      @@nasoros.mgungo5502acha Uongo huyu anapeleka mbio ili apotoshe alafu nikupe kanuni moja tu ukikata maneno ya yoyote utaona ana makosa tafuta maada nzima upate uelewa

  • @user-sw1ol9jb6z
    @user-sw1ol9jb6z 3 місяці тому

    Mbona we muongo hebu kuwa mkweli

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

  • @user-nm6hj4gq5b
    @user-nm6hj4gq5b 3 місяці тому

    Kasome sheikh maulid ni nn ni mazazi ya mtume je maswahaba walisherekea maulid ya mtume kasoma hujakuwa mwanachuoni

  • @MawelaKatimka-jp1us
    @MawelaKatimka-jp1us 3 місяці тому

    Masha Allah shaykh hao ni makafiri wakubwa

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 3 місяці тому

    ,a huyo mungu wao awape yatima wa janjira haki yao kwani 🎉

    • @saidrutunga756
      @saidrutunga756 3 місяці тому

      We wajua asili ya bakwata au umedandia tren kwambele

  • @user-hf4pb7wi1j
    @user-hf4pb7wi1j 3 місяці тому

    Watu wa maulid macizi

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

  • @hafidhsalim9237
    @hafidhsalim9237 3 місяці тому

    Alaaa kumbe yusuf abdi ni shekhe????

  • @user-om7ov3ji3r
    @user-om7ov3ji3r 3 місяці тому

    Wewe mbona wale masheikh zako walo jikosha wenyewe uwasemi wakajiingiza wenyewe kaburini wakajilaza kwenye mwanandani wenyewe wakajigeuza geuza wenyewe wakati wa kukoshwa mbona usemi nininiile uleniukweli nayule msemaji hakumtukuza sheikh wake au shida ni salaf kumtukuza sheikh wake alafu atasikumoja ujaskia salaf kamzulia sheikh wake uwongokamaule ili aonekane ni waliy kuwa na inswaaf

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 місяці тому

      Kasome kitabu
      ‎الإيجاز في بعض ما اختلف فيه الألباني وابن عثيمين وابن باز
      Utajua nani hajui yupo kwenye njia ya haki sisi au nyie ndo watu wa bidaah maana mnabidaa nying sanah 😂

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 4 місяці тому

    UKIMSIFIA MTUME MUHAMMAD SAW WANASEMA NI BIDA'A, ILA MUNGU WAO IBN TAYMIA HAKOSEI WAMEMPA SIFA YA MUNGU NA HAINA NENO KWA MAWAHABI

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 4 місяці тому +1

      Wewe una ongea uongo kweupe wala huoni aibu.!?

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 4 місяці тому

      @@AbulqassimAshirazy-yd7th huo ndio ukweli, mnasema haifai kumsifu Mtume saw, tumfate vitendo tu ila tusimsifu Ndivyo mnavyosema. Kwani hatuwasikii??

    • @AbulqassimAshirazy-yd7th
      @AbulqassimAshirazy-yd7th 4 місяці тому

      @@hilalkhalfan1452 nyinyi mnajificha nyuma ya pazia kuwadanganya watu kwua sisi tunawakataza kumswalia Mtume. Bali Sio kweli sisi tunakataza bida ya maulid. Kwani maswhaba hawakujua kumswalia Mtume.!mbona hawakufanya io mnavo fanya nyinyi. Allahuma Sali Ala Muhammad Hii Ndio alivyojibu Mtume alipoulizwa Vp tumswalie. Sio nyinyi mmezua uo mtindo, na wengine hupiga madufu hasa na mazefe.! Maulidini. Nani kawafundisha haya kwani maswhaba hawakujua kumswalia Mtume, na wao walikua bora. Mbona hawakufanya kama mnavo fanya nyinyi. Acha uzushi Mtume alitutahadharisha na uzushi.

    • @HumeidKimazi
      @HumeidKimazi 3 місяці тому

      @@hilalkhalfan1452nani kasema hivo ? Kwa hiyo kucheza dufu ndio njia pekee ya kumsifu .Tunaposoma sira ya mtume na kuonesha ubora wake huko hatumsifu ?Au mnataka tuwe wajinga kama ninyi tucheze ngoma

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 місяці тому

      @@HumeidKimazi mie siongei dufu, naongea maulid

  • @user-gk8tt1qd8p
    @user-gk8tt1qd8p 4 місяці тому

    Ahsanta

  • @MuhammadHamisi
    @MuhammadHamisi 3 місяці тому +1

    mawahabi ni wahuni

  • @hafidhsalim9237
    @hafidhsalim9237 3 місяці тому

    Shekh HU nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @SalminSuleiman-qy3ji
    @SalminSuleiman-qy3ji 3 місяці тому

    Wakirisito ndio wao dini nyng nyie mwaishafua dini

  • @jumajuma1324
    @jumajuma1324 3 місяці тому

    Uo wahabi kaja na lipi jipya?

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 місяці тому

    Haji umekua mtabiri sasa