Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

TAZAMA: SHARIF MUHAMMAD HASHIM ALIVYOMVAA KASSIM MAFUTA MBELE YA MUDIRI SHEKH SAMIRI SADIQ..........

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2023
  • Comment
    Like
    Share
    Subscribe

КОМЕНТАРІ • 90

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 8 місяців тому +1

    Maa shaa Allah

  • @salimakida95
    @salimakida95 7 місяців тому

    Asante sayid muhamad hashim

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 8 місяців тому +1

    We shekh gani umeshindwa na beberu Huna ata ndevu moja

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому +1

      Kwasababu yeye sio beberu.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      Kwani suna ni nderevu pekee yake

  • @Mofaiz_11
    @Mofaiz_11 8 місяців тому

    mashaallah maneno mazito sana shekhe wangu

  • @GharibAli-po6fp
    @GharibAli-po6fp 8 місяців тому +1

    Unasema hekima sio dini, msikilize Allah, ومن يءت الحكمة فقد أوتي خيرا كثيرا

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому

      Aya inasema, aliopewa hekima kapewa kheri (sio kapewa dini), au wewe umetafsiri vipi?

    • @noorululaatv8973
      @noorululaatv8973 8 місяців тому

      WAHABI NI VICHAA WALLAH

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 8 місяців тому

      ​@@noorululaatv8973masufi ni wazimu wakutupwa tena

  • @IddDafo
    @IddDafo Місяць тому

    Shekh wap vidonge vyao

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 8 місяців тому

    IMEKUUMA SANA KUONA MASHEIKH ZETU KUPATA QABULI NA KULINDWA

  • @mawazoit8070
    @mawazoit8070 6 місяців тому

    Allahu Akbar, ninapenda kuskiliza hoja za kielimu Ili kujifunza. Na hapa nliamini Kuna darsa kubwa kumbe ni hadith sawa na zile za alfu lelaulela

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      Mana hadithi ni nn tuambie tafadhali

    • @abdulysheky1057
      @abdulysheky1057 5 місяців тому

      Stori

    • @abdulysheky1057
      @abdulysheky1057 5 місяців тому

      Stori

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 5 місяців тому

      Na hio hadithi si zimetoka kwa mtume s a w ila nyinyi mawahabi wapotoshaji mwamsingizia mtume s a w hata hadithi hamuna tawhed tatu mumezitoa mtume s a w hajafundisha wala maswahaba hawajafundisha sasa mumezitoa wapi kama nyinyi si wanafik

  • @abuunajat1164
    @abuunajat1164 8 місяців тому

    Umeweza kumaliza mb zawatu njecheweyeee...! Pumba tupuuu

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze 6 місяців тому

    Matapeli wa dini kazi kukazia nasaba😮

  • @saidramadhan4516
    @saidramadhan4516 8 місяців тому +1

    Hebu amkeni nyinyi masheikh wetu ALLAH AWAPE UFAHAMU MSHIKAMANE KWA PMJ MUHESHIMIENE MUELEWANE KTK KILA JAMBO.Huu mwendo mnaoenda siooooo!!

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      Mwendo aendao kasim mafuta wakutukana wanazuoni ndio sawa muogope Allah

    • @abdulysheky1057
      @abdulysheky1057 5 місяців тому

      Kuwalingania watu kushikamana na suna kumbe nayo ni matusi?

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 8 місяців тому +1

    Huyo sheikh na Maswahaba nani zaidi

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl 7 місяців тому

    Acha uongo na polojo

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      Uwongo upi hemu sema ww ukweli tukusikize kama ww nimkweli ama ni upotofu

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 8 місяців тому

    HAULI HAKUNA KATIKA UISLAAM
    NI UZUSHI

    • @Manimajura
      @Manimajura 8 місяців тому

      😅😅😅😅 dahh ebu someni kwanza kabla ya kupinga mambo

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому

      Kwani HAULI maana yake kwa kiswahili nini? 😂. Ndio ndio hujui kiarabu ukaona na weye useme pia! 😀

  • @user-zr2pn5uv8b
    @user-zr2pn5uv8b 8 місяців тому

    mzee rudi katika Haki Allah atakupenda

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 7 місяців тому

    Hao kina maftaa si ndio waalimu zao hawa mnao wakataa kusoma ni kufahamu sio ubishi mawahabi ufaham ni mdogo kwa walio wengi wao wanafata akili zao

  • @jamalishoo3802
    @jamalishoo3802 8 місяців тому +1

    Mawahabi mavi yamewabana wanahangaika tu

    • @abuunutsamuonlinetv2703
      @abuunutsamuonlinetv2703 8 місяців тому +1

      Achaa bangi wewe sisi hatukati viuno na kuimba ngonjera kama unahoja unawasilisha mezani sio kulopoka

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому

      @@abuunutsamuonlinetv2703 hoja lete wewe mpingaji maana sisi tumetuliaa twasonga mbele. Mie nikikupa hoja wewe huwezi kujibu.
      Kama uaweza.
      Lete maana ya BIDA'A KILUGHA NA KISHERIA?. anza kujibu hapo tuanze kazi ikiwa wewe mwanaume kweli.

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 8 місяців тому

      Bora na sie tumebanwa nyie mmejunyea hasa mnanuka na waganga wote ni nyie had makafir wanatuchukia masufi hamna kitu 😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому

      @@saidimkwinzu9106 HAKUNA MTUME YOYOTE WALA MWANACHUONI YOYOTE HALAFU AWE SIO MGANGA. SASA WEWE SI MGANGA KWASABABU MUNGU HAKUJIBU DUA SASA UMGANGE NANI MWENZANGU 😂, KUOMBA DUA UKAJIBIWA HUJUI. MTUME SAW ALIPELEKEWA ZAWADI MAMBO MATATU
      1) MALI
      2) MWANAMKE
      3)MGANGA.
      MTUME SAW AKACHUKUWA MALI NA MWANAMKE, KISHA YULE MGANGA AKAMFUNDISHA TIBA ARUDI KWAO AKASAIDIE KWASABABU SISI WAISLAMU WENYEWE WAGANGA HATUHITAJI MGANGA. Au hiko kusa huijui?. Halafu mlivyokuwa wanafiki nyie MAWAHABI ndio wa kwanza kuenda kwa hao waganga mkizidiwa kisha kwa ujinga wenu mkubwa mkisema (MAMBO MENGINE SHIRKI LAZMA) YAANI mnamfanya Allah sw mambo mengine yeye hayawezi mpaka mumshiriki yaani kufru na matusi kwa Allah sw haswaaaa mnaona mfanye. Afazali sufi anafanya tiba kwa kuamini kuwa Allah sw ndio anaejibu kwa elimu alizotufunza. Kwshio sufi anajua sio shirki tiba na hapa siongelei washirikina (makafiri) wala wanaokwanga na kutoa watu vikoa (wachawi). Mie naongea waganga kama ulivyosema wewe.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      ​@@abuunutsamuonlinetv2703mezani hata kusoma hamujuwi mawahabi wapotoshaji tu

  • @user-bp6fb6wo5u
    @user-bp6fb6wo5u 8 місяців тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂 kuna mambo mengine ni kucheka tu, wewe mzee kidevu kama embe mwanzo kafuate sunna ya ndevu... kisha uongee mbele ya waume!!! Tuna ndevu zetu waume wewe unasema nini mbele yetu!!!
    Alafu wazee wa mkahawa kaa uskilize wasomi wacha kelele!!! Makhurafi mnaweka wazee wa mkahawani waongeee 😂😂😂😂😂😂...

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 8 місяців тому +1

      Ndo mlivyo fundishwa mtu kama Hana ndevu hajafuata sunna

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 8 місяців тому +1

      Sasa Ndevu Ndio Dini Hata Mayahudi Wanafuga Madevu Saa hii Kama Kufuga Ndevu Ni Kwenda Kinyume Nao Saa Hii Wazayun Wanafuga Madevu Sasa Tufanyaje?
      Someni Enyi Mawahabi Acheni Kubebeshwa km walokole

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому

      @@hafidhseif1686 hata mwanamke anaeota ndevu anafaa kutoa khutba msikiti wa mawahabi kwasababu mawahabi wanaitakidi kuwa tofauti ya mwanamme na mwanamke ni kuota ndevu 😁. Kwahio mwanamke mwenye ndevu kwa mawahabi huwa anaoa na haki zake kama mwanamme. Kwao asioota ndevu hawezi kusalisha wanamuona mwanamke. 😁. Yaani hio ndio Qur-an yao na sunna yao, mtihani kweli kweli

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 8 місяців тому

      Waume wakiongea kaa kimya kidevu taa wewe 😂😂😂😂😂 waume simba tukiongea unakaa pembeni...​@hafidhseif1686

    • @user-bp6fb6wo5u
      @user-bp6fb6wo5u 8 місяців тому

      ​@@tanzaniaonmzamiloon8627 weee nenda kamsome mtume swalla llahu aleihi wasallam ujue alikuwa vipi sura yake! Sio mnacheza chakacha mbele ya waume na kidevu embe na waume wanakutizama.... ndio mana mambrui huku kumejaa watu wa ajabu sababu ya mambo hayo!!!
      Na waume wakiongea mnakaa kimya nyinyi... simba wakinguruma mnakaa kimyaaa....

  • @issarashidiferuziferuzi9201
    @issarashidiferuziferuzi9201 8 місяців тому

    Kuwa na hekima ndefu sio dini sheikh mnapata madhambi

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 8 місяців тому +2

    Kwahio faradhi uwe na ndevu ukubwa gani ili usipate dhambi!?. Pili. Kuna wanawake wanaota ndevu jee wafaa watoe khutba msikiti mwenu mawahabi?

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 8 місяців тому

      Ushasema wanawake mtume Swalla llaahu alayhi wasallama amesema punguzen mashurubu muache ndevu nyie mnanyoa vyote manakua weupeeee hiyo ni sunna ya nan

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому

      @@saidimkwinzu9106 Mtume saw aliposema tupunguze sharubu na tuache ndevu ujue kwanza hii ni sunna na haina tawkiid. Na lapili. Mekuuliza swali ungelijibu. Jee Mtume saw amesema tupunguze sharubu zibakie urefu gani na ndevu tuziwache mpaka urefu gani?. Kama Mtume saw hakuweka kiasi basi wewe usiwaekee watu kiasi. Kuna maswahaba walikuwa wana videvu kidoocho tu kama kisa ya swahaba aliokuwa akitia udhu na malaika wanafurahikia. Hakugombwa kwa kuwa ndevu zake ni nduchu. Wewe kama nani ugombe watu. Na aliponyoa ndevu hakuambiwa kakufuru ila tu Mtume saw ndio akampa kisa alichokuwa akicheka juu yake, hakuambiwa kakufuru wala kapata dhambi. Akiwa Mtume saw hakusema hivyo wala hakumuingiza motoni, JEE NYIE MAWAHABI NA SUNNA ZENU ZA NDEVU NA KUKATA KANZU NA KUVAA KIPUPUTA HUKU ROHO ZENU CHAFU NA IBADA HAMFANYI NATEGEMEA PEPO GANI?

    • @KASSIMFUNDSIMU
      @KASSIMFUNDSIMU 8 місяців тому

      Kazi ya watu wa bidaa ni kuchukua mifano isio endana na kukwezana

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому +1

      @@KASSIMFUNDSIMU hata wewe unafanya BIDA'A lakini bahati mbaya hujui maana ya BIDA'A

    • @jumaa052
      @jumaa052 8 місяців тому

      @@saidimkwinzu9106 alhabib kwani kunyoa ndevu zote ni dhambi

  • @AbuwNibras926
    @AbuwNibras926 7 місяців тому

    Mzee muongo uyuu

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 6 місяців тому

      Sema ww mkweli tukusikie mawahabi wapotoshaji tu na matusi ndio mwajuwa

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran9933 8 місяців тому +1

    Mi cjamuelewa huyu mzee naona achekesha 2, kweli dini imeingiliwa hata swala ya safari pia huijui mpaka watu waswali jamaaa.
    Acha kuchekesha mzee utakujakuulizwa kesho mbele ya Allah.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious 8 місяців тому

      Siku zote nyny tu ndio mnajua dini hio ndio shida yenu, mnachofaham chengine ni kuongeza maneno na kupotosha

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 8 місяців тому

    ENYI MASUFI NI MITIHANI KWA BID'A MNAZITETEA NA KUZIFANYA NI IBADA!
    YALE MTUME ALIYOYUACHIA NYIE MMEACHANA NAYO!!

  • @saadayoub7179
    @saadayoub7179 8 місяців тому

    Mbona anamuita Samir kavu kavu kwani sio sheikh ?

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 8 місяців тому

    Sasa mtu akiongea maneno ya kujiaminisha na moto asiokolewe
    Acheni maha na jahannam
    Sheikh Samir
    Atakiwa ataraajaa

  • @allycomm1553
    @allycomm1553 8 місяців тому +1

    WEWE unahoja za kujibizana na qasimu mafuta!!?

    • @hafidhseif1686
      @hafidhseif1686 8 місяців тому +1

      Sasa Mafuta Ndo Nani hahahah Aisee Kawaroga Mpaka Hamuoni Kitu Mafuta Km Kipofu Alieona Mwezi? 👂
      Mwambie Atowe Rukhsa Watu Wataka Kuja Pongwe Huu Mwezi Wa Tatu Sasa Hataki Kutoa Rukhsa

    • @ramadhanmbwana5718
      @ramadhanmbwana5718 8 місяців тому

      Shekh kasimu mafuta ni mtu anahoja za kielimu mashaallah
      Pata faida kupitima maneno yake na ufafanuzi wake wa kielimu katika links nitakayo ituma

    • @ramadhanmbwana5718
      @ramadhanmbwana5718 8 місяців тому

      HAPO UKISIKILIZA NDIO UTAMJUA NI NANI
      MASHAALLAH KAWEKA WAZI SANA MAMBO KIELIMU

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 8 місяців тому

      ​@@hafidhseif1686Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, habiib afwan naomba nifahamishe vizuri, sheikh sameir ALLAH amuhifadhi anataka kwenda pongwe kwa niqaash lkin wao ndo wanakataa sio? Naomba nisaidie kufaham sayyidy WALLAH ntafurahi sana mana mawahabi wanamuona kama ndo hakuna zaidi yake

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 8 місяців тому

      Kasimu mafuta ni kasuku tu kama kasuku wengine