Haji Upepo Online tv
Haji Upepo Online tv
  • 526
  • 1 314 591

Відео

Darsa ya Bidāyatul Hidaya || Mlango wa adabu za udhu : Ustadh Ali Khalfan
Переглядів 899 годин тому
Darsa ya Bidāyatul Hidaya || Mlango wa adabu za udhu : Ustadh Ali Khalfan
Mshukuru zaidi aliekufanya usifiwe kuliko unavyowashukuru wanaokusifu || Ust: Ali Khalfan
Переглядів 2810 годин тому
Mshukuru zaidi aliekufanya usifiwe kuliko unavyowashukuru wanaokusifu || Ust: Ali Khalfan
NI NANI MKOSA BAINA YA MWANAMKE HUYU AU ASKARI ALIEMZUIA? // HAJI UPEPO
Переглядів 41513 годин тому
NI NANI MKOSA BAINA YA MWANAMKE HUYU AU ASKARI ALIEMZUIA? // HAJI UPEPO
Ni nani mwenye haki ya kumpa jina mtoto baina ya mama na baba || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Переглядів 34015 годин тому
Ni nani mwenye haki ya kumpa jina mtoto baina ya mama na baba || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Ni bora kuchomwa chuma cha kichwa kuliko kumgusa mwanamke asiyehalali yako // Ustadh Haji Upepo
Переглядів 1444 години тому
Ni bora kuchomwa chuma cha kichwa kuliko kumgusa mwanamke asiyehalali yako // Ustadh Haji Upepo
Darsa ya Tafsiri Qur'an: Surat Hijri 22 - 27 || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Переглядів 34614 годин тому
Darsa ya Tafsiri Qur'an: Surat Hijri 22 - 27 || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Tunajifunza nini kwa tukio la kariakoo Daresalam || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Переглядів 77014 годин тому
Tunajifunza nini kwa tukio la kariakoo Daresalam || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Darsa ya Bidāyatul Hidaya || Mlango wa Udhu: Ustadh Ali Khalfan حفظه الله
Переглядів 20221 годину тому
Darsa ya Bidāyatul Hidaya || Mlango wa Udhu: Ustadh Ali Khalfan حفظه الله
Mawahabi wataingia motoni na kanzu zao fupi || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Переглядів 6 тис.21 годину тому
Mawahabi wataingia motoni na kanzu zao fupi || Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Uwepo wa Allah hauhitajii sehemu Mawahabi acheni itiqadi potofu || Ustadh Bakar Abeid حفظه الله
Переглядів 1,2 тис.День тому
Uwepo wa Allah hauhitajii sehemu Mawahabi acheni itiqadi potofu || Ustadh Bakar Abeid حفظه الله
Raddi na taaluma kwa Muhammad Bachu juu ya uzushi na upotoshaji wake // Haji Upepo حفظه الله
Переглядів 6 тис.День тому
Raddi na taaluma kwa Muhammad Bachu juu ya uzushi na upotoshaji wake // Haji Upepo حفظه الله
Nasaha za Ustadh Haji Upepo kwa Sharifu feki Firdaus: Usitapeli watu kwa mwevuli wa dini
Переглядів 13 тис.День тому
Nasaha za Ustadh Haji Upepo kwa Sharifu feki Firdaus: Usitapeli watu kwa mwevuli wa dini
Jinsi waumini watakavyomuona Allah siku ya kiama // Sheikh Hussein bin Idriss حفظه الله
Переглядів 1,4 тис.День тому
Jinsi waumini watakavyomuona Allah siku ya kiama // Sheikh Hussein bin Idriss حفظه الله
Jaahil Muhammad Bachu afundishwa na kujibiwa vikali na mtoto mdogo.
Переглядів 5 тис.21 день тому
Jaahil Muhammad Bachu afundishwa na kujibiwa vikali na mtoto mdogo.
MUNAQASHA BAINA YA MUHAMMAD BACHU NA SHEIKH KIDAWA || SEHEMU 3
Переглядів 21 тис.Місяць тому
MUNAQASHA BAINA YA MUHAMMAD BACHU NA SHEIKH KIDAWA || SEHEMU 3
Sehemu 2 || Munaqasha baina ya Muhammad Bachu na Sheikh Kidawa // Taqsiimu tawhiid
Переглядів 23 тис.Місяць тому
Sehemu 2 || Munaqasha baina ya Muhammad Bachu na Sheikh Kidawa // Taqsiimu tawhiid
Munaaqasha baina ya Muhammad Bachu na Sheikh Kidawa // Sehemu ya 1 (Taqsiimu tawhiid)
Переглядів 29 тис.Місяць тому
Munaaqasha baina ya Muhammad Bachu na Sheikh Kidawa // Sehemu ya 1 (Taqsiimu tawhiid)
Muhammad Bachu ashindwa tena katika Munaqasha // Ashindwa kutetea Bidaa ya taqsiimu tawhiid
Переглядів 14 тис.Місяць тому
Muhammad Bachu ashindwa tena katika Munaqasha // Ashindwa kutetea Bidaa ya taqsiimu tawhiid
Ukiwa na mambo haya 5 hutodhalilika na kufedheheka milele : Sheikh Othman Maalim
Переглядів 934Місяць тому
Ukiwa na mambo haya 5 hutodhalilika na kufedheheka milele : Sheikh Othman Maalim
Full sermon by Mufti Menk in Zanzibar || Peace, respect and unity
Переглядів 216Місяць тому
Full sermon by Mufti Menk in Zanzibar || Peace, respect and unity
Hii ndo nasaha kwa wanayoendelea duniani || Sheikh Abdulqadir Al-ahdal
Переглядів 939Місяць тому
Hii ndo nasaha kwa wanayoendelea duniani || Sheikh Abdulqadir Al-ahdal
Kisa cha ngamia kumshtakia Mtume uonevu // Sheikh Khamis Abdulhamid حفظه الله
Переглядів 242Місяць тому
Kisa cha ngamia kumshtakia Mtume uonevu // Sheikh Khamis Abdulhamid حفظه الله
Darsa ya Bidāyatul Hidaya: Sehemu ya 13 // Adabu za Udhu (Ustadh Ali Khalfan)
Переглядів 219Місяць тому
Darsa ya Bidāyatul Hidaya: Sehemu ya 13 // Adabu za Udhu (Ustadh Ali Khalfan)
Moja ya faida za vikao vya Maulid ni kuongeza mapenzi kwa Mtume: Sheikh Othman Maalim
Переглядів 197Місяць тому
Moja ya faida za vikao vya Maulid ni kuongeza mapenzi kwa Mtume: Sheikh Othman Maalim
Unapoona ndoto ya kutisha, haya ndiyo unatakiwa kufanya ili usidhurike // Ust Haji Upepo
Переглядів 326Місяць тому
Unapoona ndoto ya kutisha, haya ndiyo unatakiwa kufanya ili usidhurike // Ust Haji Upepo
WIVU ULIOMPATA MKE WA MTUME HADI KUVUNJA SAHANI YA MKE MWENZAKE
Переглядів 156Місяць тому
WIVU ULIOMPATA MKE WA MTUME HADI KUVUNJA SAHANI YA MKE MWENZAKE
Dondoo kwa Wanandoa: Episode 1 // Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Переглядів 237Місяць тому
Dondoo kwa Wanandoa: Episode 1 // Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Somo la mirathi // Muhimili wa urithi katika uislamu: Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Переглядів 366Місяць тому
Somo la mirathi // Muhimili wa urithi katika uislamu: Ustadh Haji Upepo حفظه الله
Sauti ya kwanza kurekodiwa ya Sheikh akisoma Qur'an mwaka 1885 huko Makka.
Переглядів 55 тис.Місяць тому
Sauti ya kwanza kurekodiwa ya Sheikh akisoma Qur'an mwaka 1885 huko Makka.

КОМЕНТАРІ

  • @HamadOthman-d9r
    @HamadOthman-d9r Годину тому

    Tatzo lako ww allah kakunyima ufahamu ndo maana unapatata tabu

  • @ramadhanihamisi3977
    @ramadhanihamisi3977 2 години тому

    Bachu allah akuhifadhi uzidi kutupa elimu juu ya dini yetu tukufu nasaha zangu tusikilize hii mijadala kwa ajili ya kupata elim tusisikilize kishabiki ukiijua haki hata kama haipo kwa unaempenda ifuate kwa kuwa hii ni dini

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 5 годин тому

    Jaahil murakkabu anaetukna ulamaa

  • @SaidMohamed-xt9yr
    @SaidMohamed-xt9yr 6 годин тому

    Mashaallah leo umenena

  • @IssaaaAmour
    @IssaaaAmour 8 годин тому

    Shukran

  • @PrincessMaryam-c1r
    @PrincessMaryam-c1r 8 годин тому

    Sbuhanallah Allah atufanyie wepesi

  • @PrincessMaryam-c1r
    @PrincessMaryam-c1r 8 годин тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 9 годин тому

    Ww

  • @issajuma910
    @issajuma910 9 годин тому

    Shukran

  • @IdrisMwayama-hf2dx
    @IdrisMwayama-hf2dx 11 годин тому

    MashaAllah sheikh haji upepo Allah ukuhifadh

    • @hajiupepo3146
      @hajiupepo3146 11 годин тому

      آمين ... واياك شكرا

  • @IdrisMwayama-hf2dx
    @IdrisMwayama-hf2dx 11 годин тому

    MashaAllah sheikh haji upepo Allah ukuhifadh

  • @HajiHatib-f8e
    @HajiHatib-f8e 12 годин тому

    She Haji mashallah ufahamu wako mzuri sana

  • @PrincessMaryam-c1r
    @PrincessMaryam-c1r 12 годин тому

    Shukran sn kpnz chetu sheik haji upepo

    • @hajiupepo3146
      @hajiupepo3146 12 годин тому

      Ahsante sana, بارك الله فيك

  • @PrincessMaryam-c1r
    @PrincessMaryam-c1r 12 годин тому

    Allah atujaalie ELIMU kwa tusiyoyajua

  • @AdamuMohd-k1s
    @AdamuMohd-k1s 14 годин тому

    Hafaham masuali shekidawa

  • @YUSUPHMTULILA
    @YUSUPHMTULILA 21 годину тому

    Kweli we jipepo potevu

  • @YUSUPHMTULILA
    @YUSUPHMTULILA 21 годину тому

    Jahiiil murakabbbbbbeeee anta

  • @ahmedmalau1791
    @ahmedmalau1791 День тому

    Umeongea upuzi mwanzo mpka mwisho kisha yani tuache uwahabi unaohusia kufata sunna tushike ukhurafi wenye bid'a na shirki kijana hebu soma kwnza usitafute likes na comments u tube.

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f День тому

    NA ANAETAKA KUWAJUA ZAIDI MAWAHABI INGIA RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f День тому

    SHEKH HAJI ALLAH AKUWEKE AKUPE UPEO ZAIDI UTUELIMISHE MPAKA ULIMI WAKO UNAONYESHA UCHA MUNGU NA NI KWELI UNATAKA RADHI ZA ALLAH

  • @AliMuhammed-k7j
    @AliMuhammed-k7j День тому

    Nikweli kabisa

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f День тому

    UKITAKA KUWAJUA MAADUI WA ALLAH NA MTUME SAW NA WANAOFANYA IBADA ILI WATU WAWAONE HAPA DUNIANI INGIA UTUBE RVS ONLINE TV SALA YA IJUMAA MASJID FATMA

  • @moussaabdallah-h4u
    @moussaabdallah-h4u День тому

    huyu inaonekana anachuki na mawahabi kwaiyo haitoshi kuelezea bila kutaja wahabi ?? na kuusu kuvaa kanzu ndefu jiulize kwanza ni sunnah au sio sunnah ? na hadith inayo zungumzia wat 3 watadhibiwa vikali wakiwemo wa vaa nguo ndefu huoni kama nimakemeo makali kwaiyo usipotoshe watu acha watu wafwate sunnah ya Mtume sala na salam zuwe juu yake

  • @swalehaltooq5233
    @swalehaltooq5233 День тому

    Nenda kasome au kama huwezi bora ukae kimya

  • @HamadOthman-d9r
    @HamadOthman-d9r День тому

    Wew sio muelewa bhna ebu msikilize vzr kwanza

  • @HamadOthman-d9r
    @HamadOthman-d9r День тому

    Tafuta saizi yako dogo

  • @TalibAbdalla-e4j
    @TalibAbdalla-e4j День тому

    Hana hoja ya kielimu huyu mzee kumbe vitabu bidaa duh

  • @SALUMKHALFAN-z4f
    @SALUMKHALFAN-z4f День тому

    ،AMESEMA MTUME SAW ALITAKA KUWAFAHAMISHA WATU KWA SUALA NA JAWABU AKAWAULIZA MASAHABA اتدرون ما لغيبة؟ قالوا الله ورسوله اعلم قال ذكرالله اخاك بما يكره قيل افرايت ان كان في اخي ما اقول ؟ قال ان كان فيه ماتقول فقد اغتبته وان لم يكن فيه ماتقول فقد بهته رواه مسلم وابوداود والترمذي والنساؤي ومايكرهه الانسان يتناول خلقه وخلقه ونسبه وكل ما يخصه وعن عاؤشة قالت للنبي حسبك من صفية (زوج النبي) كذا وكذا تعني قصيرة فقال النبي لقد قلت كلمة لو مزجت بماء البحر لمزجته. MNAJUA NINI KUSENGENYA WAKASEMA ALLAH NA MTUME WAKE NDIO WAJUAO ZAIDI" AKASEMA KUMTAJA NDUGU YAKO KWA JAMBO ALICHUKIALO) WAKASEMA JEE IKIWA NDUGU ANALO LILE LISEMWALO?? AKASEMA IKIWA ANALO HILO LISEMWALO BASI ITAKUWA UMESENGENYA NA IKIWA HANALO BASI UMEMSINGIZIA UWONGO,,, NA ALICHUKIALO MTU NI LILE LINAHUSU MAUMBILE YAKE TABIA YAKE NASABA YAKE NA KILA LINALOMHUSU؟؟؟ IMEPOKEWA KUTOKA KWA MKE WA MTUME SAW BIBI AYSHA AMESEMA BIBI AYSHA ALIMWAMBIA MTUME SAW INAKUTOSHA KUWA SAFIA YAANI HUYU SAFIA NI MKE MWENGINE WA MTUME SAW NI KADHA WA KADHA ALIKUSUDIA KUWA NI MFUPI MTUME SAW AKASEMA UMESEMA NENO LAU LINGECHANGANYWA NA MAJI YA BAHARI LINGEYACHAFUA،)) HUU USIA WANGU KWA WAISLAMU ALLAH HALALI WALA HASINZII MASAHABA WETU WENGINE WALIKUWA SI WAISLAMU WAMESLIMU KOSA KUBWA KUTAJA YAO YA NYUMA NA YA SASA UKIJIONA UNA SALI SALA 5 HALAFU UNASENGENYA HUJASALI

  • @ThabitisalumJuma-o9l
    @ThabitisalumJuma-o9l 2 дні тому

    Innaalillah wainnaailayh raajiun 😢😢😢

  • @kabeyajeff2948
    @kabeyajeff2948 2 дні тому

    Asalaam alaykum sijawahi kuona niqash hata moja ilioisha kwa makubaliano mazuri mmoja akiri kua amekubali kushindwa na kuushika msimamo wa mwenzie tunachokiona niqashi zote hua kila mmoja anatetea upande wke hata kama ukweli utabainika

  • @HamadOthman-d9r
    @HamadOthman-d9r 2 дні тому

    Wewe mfitinishaji umeona lakufitinisha hakuna sasa unaamua kugeuza haki kua batwiri kwahilo mwenye akili zake timamu hatokuelewa kabisa bado ujasema lenye kueleweka rejea tena darsani Muongo mkubwa wew tutashika haki mpka tunaingia kaburini wew baki nahuo huo ujinga wako uliorithi kwamababu zako fitna 1.wew

  • @KaralaJafar-t7e
    @KaralaJafar-t7e 2 дні тому

    SHEIKH bachu should go back to class really he was defeated openly 💯 knock out

  • @abdulimohammed6281
    @abdulimohammed6281 2 дні тому

    Toka apa sitaki kuona hata sura yako kwenda unapotosha watu nimekutamani sana

  • @HamisKibanuka
    @HamisKibanuka 2 дні тому

    Hayo mAkatoni ya vitabu hamna lolote humo mara matableti mbwembwe2

  • @HamisKibanuka
    @HamisKibanuka 2 дні тому

    tawhidi ni moja tuu wana twarika hatudanganyiki

  • @SalehLoffy-kn6oh
    @SalehLoffy-kn6oh 3 дні тому

    Sh Msellem hajaathirika sana na Uwahabi sana kwasabab hajasoma kwenye vile vyuo vikubwa vya kiwahabi

  • @IddyAyoub-h2r
    @IddyAyoub-h2r 3 дні тому

    Kwann waisilamu tusimtandike bakora ili asiuchafue uisilamu wetu

  • @allyomarysuleiman5232
    @allyomarysuleiman5232 3 дні тому

    Bachu mshenzi tena hajitambui leo hii anasema hakuna mwanachuoni ambae akisema jambo ataambiwa bidaa wakati karibuni tu alisema alichoandika shekh jaffar bidaa Mshenz mkubwa mbwa ww usie na mchunga

  • @HamisSuleiman-c7x
    @HamisSuleiman-c7x 3 дні тому

    Mashekh na mashabiki wao wamchukia bachu kwakuwa kaja kutia kitumbua cha watu mchanga sasa matwarika kazi mnayo hakuna kubumba hapo

  • @RajabJuma-m2n
    @RajabJuma-m2n 3 дні тому

    Sawa tuseme wanatia wato motoni nawewe umeandika nini katika kichwa cha habari?wacheni kuoneshana ubabe wa elmu fanyeni bidii kwa vijana wanaangamia kwa mihadarati mnatuchosha

  • @alyjjuma7088
    @alyjjuma7088 4 дні тому

    mi hata sikuelewi unazungumzia nini sheikh wangunAllah akusamehe na akurehemu ww na familia yako na waislam wote kwa ujumla

  • @abdinoornyanga2117
    @abdinoornyanga2117 4 дні тому

    Allah atuongoze sote,Leo KAZI ya kutoa na kutia watu motoni umekabidhiwa wewe

  • @IdrisMwayama-hf2dx
    @IdrisMwayama-hf2dx 4 дні тому

    I'm from Mombasa Kenya 🇰🇪 Allah ukuhifadh sheikh

  • @IdrisMwayama-hf2dx
    @IdrisMwayama-hf2dx 4 дні тому

    MashaAllah sheikh haji upepo

  • @nasirmohamed1589
    @nasirmohamed1589 4 дні тому

    Na hivi watu walivokuwa washenzi .leo hii wakisikia ujinga kama huu ndo watanyonya kuma na mikundu mpaka basi

  • @StiviniFransis
    @StiviniFransis 4 дні тому

    Unatia wtu moton unamamlaka gn

  • @SheikaYussuf
    @SheikaYussuf 4 дні тому

    Sheikh .Allah akulipe kheri ya dunia na Akhera piah. Lkn FIRDAUS ni mbishi hataki kuambiwa hana anachokijua kaibeba dunia km ataishi milele.

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 4 дні тому

    Wewe nani amekupa shekh manake huna elmu bali nimtu wa bidaa

  • @abdulrahmanally1875
    @abdulrahmanally1875 4 дні тому

    Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Kilicho chini ya fundo mbili katika vazi kitakuwa motoni” [Al-Bukhaariy na an-Nasaa’iy]. Akikusudiwa mvaaji wa lile vazi kuingia motoni na si vazi lenyewe. Na imepokewa tena kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Allaah Hamuangalii mwenye kuburuza nguo yake kwa kiburi” [Al-Bukhaariy, Muslim na Maalik]. Na imepokewa katika riwaya nyingine kutoka kwa Abu Dharr (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: “Hatazungumza na watu aina tatu Siku ya Qiyaama wala Hatawaangalia na wala Hatawatakasa na watakuwa na adhabu iumizayo”. Akasema: “Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aliikariri kauli hii mara tatu”. Akasema Abu Dharr: “Watu hao wamehasirika, ni kina nani ewe Mtume wa Allaah?” Akasema: “Mwenye kuburuza nguo kwa kiburi; na mwenye kujionyesha kwa fadhila aliyomfanyia mtu mwengine; na mwenye kuuza mali duni kwa kiapo cha uongo” [Muslim]. Na katika riwaya nyengine: “Mwenye kuburuza kikoi chake kwa kiburi".

  • @JaffarsibaAbdulqadir
    @JaffarsibaAbdulqadir 4 дні тому

    Uamsho haujaisha wa2 wataamshwa mpaka yaumull kiama