Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

SEHEMU YA 2: SHEIKH MUHAMMAD IDDI AMJIBU KASSIM MAFUTA, MAJIBU MFULULIZO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2023
  • Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    UA-cam: / @babdeomiladu

КОМЕНТАРІ • 329

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 8 місяців тому +10

    Mwenyezi Mungu akuhifadhi na akupe Umri Mrefu Shekhe wetu Abuu I'ddi Muhammad I'ddi

  • @salimmgwira7179
    @salimmgwira7179 8 місяців тому +3

    Alafu shk qassim ana abiyati ameziandika akiieleza akida yake na madhehebu yke kwaiyo kabla huja ongea vizuri ukafanya utafiti

  • @engineerjuma9876
    @engineerjuma9876 8 місяців тому +3

    Asalam aleykum wa rrahmaturllah taara wabarakur' ivi ili neno (TAARA) LIMEPOKELEWA KATIKA SALAM YA KIISLAM

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      Hhhh waulize hao masuf

    • @engineerjuma9876
      @engineerjuma9876 8 місяців тому

      @@tellackyabdul9312 ukiwauliza watasema mbona mtume wa ALLAH akupanda ndenge nyie mnapanda mmetoa wapi

  • @MerabaqshAbdulaziz
    @MerabaqshAbdulaziz 8 місяців тому +1

    Fedhuli sana Huyo Mafuta.Sijui Mafuta ya Taa au ya kupikia.Ujeuri wake Mafuta atadidimia tuu Kwa Ujeuri na Ufedhuli kutukana Mashehe wakubwa wa TWARIKA.

  • @saidburuji9984
    @saidburuji9984 8 місяців тому +6

    Mashaallah kwa kweli ALLAH akujaalie afya na umri mrefu wa kheri ili uendelee kutufundisha uislam sahihi kama ulivyoelekezwa na mtume wetu alayhi sswalaatu was salaam

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 8 місяців тому +3

    DUH.. ALLAH AKUBAARIQ SANA SHEKH LETU ABUU IDD

  • @user-br6tx2jy1h
    @user-br6tx2jy1h 8 місяців тому +3

    ZUNGUMZIA MASHIA WANAVYOWATUKANA MASWAHABA

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 8 місяців тому

      Hapana mashia ni kundi na nyinyi ni kundi subiri ueleweshwe

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 7 місяців тому

      Si fanya wewe unajua .kilammoja anachukua nafasi yake

  • @abuuammar4924
    @abuuammar4924 8 місяців тому +1

    Shekh Kaasim Allah amhifadhi,alikuwa juzi akimjibu shekh Samiir mudiir wa shamsul maarif...naona shekh Abuu Idd akaona shekh samiir atashindwa..ikabidi sasa aingilie kati..
    Kwahiyo sasahiv shekh Kaasim anawafundisha mashekh wawili wakubwa wa kisufi hapa nchini.
    LKN CLIP ILE YA KWANZA NA HII YA PILI TUNAONA MANENO NI YALE YALE ALIYOJIBIWA KIPINDI KILE CHA MJADALA WA MWEZI

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 8 місяців тому +2

    Jibu maswal ulioulizwa shekh usirukeruke

  • @ramadhanmbwana5718
    @ramadhanmbwana5718 8 місяців тому +2

    TATIZO LAKO MZEE MUAMUDI WAONGEA HAPO SHEKH AKIKUJIBU WAKIMBIA
    SISI TWAJUA UMEKUJA KUJIBU YALE MASWALI ALIYO ULIZWA NA SHEKH KASIMU MAFUTA
    KUMBE UNAMKIMBIA NA UNAKUJA NA MFUMO MPYA
    MAMBO HAYAENDI HIVYO TUJIBU MASWALI YETU ULIO ULIZWA KWANZA

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 8 місяців тому +1

    Shekh mkudaaa ww hauna tafauti na samiyriii

  • @user-zk3dt3us7j
    @user-zk3dt3us7j 7 місяців тому

    لا يؤمن احدكم حتى يكون هواه تبعا لما جاء ت به

  • @zainulabidiendhulfikar7398
    @zainulabidiendhulfikar7398 8 місяців тому +1

    Uwahabi unatekeleza matakwa ya mkoloni mwengereza tang kuiangusha ottoman empire na utawala wa bani hashim

  • @rashidhasni2112
    @rashidhasni2112 8 місяців тому +3

    Mimi namuuliza swali moja tu
    Wewe shekhe walipotukanwa maswahaba hatukukuona kusema chochote au kwa sababu nyinyi na mashia ni kitu kimoja?

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 8 місяців тому +3

    الصوفية أكثر عداءً لابن تيمية ومحمد عبد الوهاب

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 8 місяців тому +1

      Sahihi 100%. Ipo sababu. Na kwanini hawawachukii maimamu wanne na salaf swaleh wala maswahaba? 🤔

  • @mwalimjecha6893
    @mwalimjecha6893 8 місяців тому +7

    Shekhe unafanya kazi nzuri kabisa Allah atakulipa malipo mazuri

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 8 місяців тому +3

    Kama Jambo la hoja katika Kila Jambo basi hata wakristo, wayahudi, na hata sheytwan ana hoja juu ya Jambo lake.

    • @jumaamohamed4203
      @jumaamohamed4203 8 місяців тому

      Ndio maana hata Mafuta pia Anazo hoja juu ya ujahili wake

  • @saidrashidrashid2488
    @saidrashidrashid2488 8 місяців тому

    Assalaam Alaykum Sheikh Muhammad Idd. Nakushukuru kwa elimu unayotupa. Allah akujazi kila kheri. AMIN
    Sheikh, je tukitaka vitabu hivi tutaweza kuvipata wapi? Na gharama yake ni kiasi gani?
    Kwa kuzingatia sisi tunaoishi mikoani katika nchi yetu Tanzania. Na huku mikoani vitabu havipatikani kirahisi.
    Shukran na jazaka-Llahu kher.

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 8 місяців тому +1

    AMESEMA SHEIKH QASSIM MAFUTA ALLAAH AMUHIFADHI AKIBAINISHA MADHEHEBU ANAO YAFUATA YEYE
    عقيدتنا سنية سلفية
    تركنا تحزبا بغيضا مذمما
    ومذهب شافعي مناة دروسنا
    عليه نأصل المسائل ربما
    HIVI ABU EID UNAONGEA KIELIMU AU UNAKURUPUKA TU????!!!!!!!!!!!!!!!!!

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 8 місяців тому

      Hivi wewe unatumia matope au ubongo Shekhe yupo wazi kabisa usichokielewa ni kitu gani

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 8 місяців тому +2

    Baba Muhammad iddi
    Umekoroga koroga mambo mpaka unajivuruga,mpaka hujui unaeleza nini,unatia aibu shekhe ,

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 8 місяців тому +2

    Yale maswali sasa mbna hujajibu shee kidevu andazi,afu masufi mna adabu nyinyii,sindo mana aliyekua sheikh wa mkoa alikwambia umerudia bangi😂,na ile nyimbo hatumtaakii baajuuriii ilikua adabu kweli kwelii😂

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 8 місяців тому +2

    Wanafunzi wanakujua KUWA na wameisha kuona MPAKA hapa yaani we mbabaishaji sana TU.

  • @mohamedswalehe4442
    @mohamedswalehe4442 8 місяців тому

    HUJIELWI ISIPOKUWA YAKO NIHAMASA LAKINI HUJIELEWI WEWE NAHUYO SHEIKHE WAKO KASIMU MAFUTA NYOTE NIVIPOFU UKWELI HAUONI NIKUJIROPOKEA ETI NIMSEMA KWELI NIMPUUZI TU

  • @hassanabdallah9571
    @hassanabdallah9571 8 місяців тому +1

    Hata haeleweki

  • @shakourdutilo3813
    @shakourdutilo3813 8 місяців тому +1

    Tunakuelewa saanaa sheikh, muqaddima upo vizur twasubir nambar 3 insha allah

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      Haya umeelewa nn hapoo?? Porojo??

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 8 місяців тому

      kazi unayo ss tumeelewa ww endelea kutashaddudi
      @@tellackyabdul9312

  • @saadayoub7179
    @saadayoub7179 8 місяців тому +1

    Alhamdullilah kwa neema ya uislam na sunnah...hawa maghurafiy Allah kawanyima utambuz....sasa anasoma kiarabu kama ki afrika magharib uko naijeriya....uyu mwambieni kwanza ajibu maswali ya radi za arafa kabla hajakimbia tena

  • @misrusaidi3627
    @misrusaidi3627 8 місяців тому +1

    Maiti kapiga chafyaaa

  • @AbuumuussaaAttanzaaniy
    @AbuumuussaaAttanzaaniy 8 місяців тому +3

    Ukiangalia kama alama yamwanzo ya kwamba eti ni mutashaddiduuna
    1:Je yeye sio mutashadidu na kama sivyo kwann yeye ana himiza watu kushikamana na maulid na mambo mengine aliyo yataja, huko ndo kuwa mutashafidu shekh pia tunaweza sema haja fanya uziroli wa kufikiri asante mwenye hoja ajibu tuwekane wazi

    • @JabirBakar-ys8dw
      @JabirBakar-ys8dw 8 місяців тому +2

      wahabi miradi wacha kutusumbua bhana kama una kitabu na wewe kilete

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 8 місяців тому

      Wewe mjinga sana unakuwa kama mwanaume anae waashwa nyuma vitabu vinasomwa unasema hoja kwhy kama hayo hujaelewa wewe si utatusha tu

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 8 місяців тому

      Tena we ni maenge sana unatolewa vitab kabsa tena unadai hoja una akili wewe unaskia hzo bid ghaa zenu apo

    • @AbuumuussaaAttanzaaniy
      @AbuumuussaaAttanzaaniy 8 місяців тому

      @@abubakarymaulidy5681 shekh hiyo twamjua sie kama wewe humjui hivyo nakwambia kaa chini usome DINI itamjia huyo Kwan BINAFSI nilikua huko miaka MINGI SANA na ninamfahamu sana huyo hayo ni maneno yake TU hivyo ajibu koment alafu tubainish japo kidogo isiwe na jazba na usiwe mutashafidu kama alivyo sema huyo shekh tafuta ubainifu huku na huku huenda Allah akakuonyesha wapi ipo haki nakwambia kwa ajili ya Allah tu

    • @AbuumuussaaAttanzaaniy
      @AbuumuussaaAttanzaaniy 8 місяців тому

      @@abubakarymaulidy5681 ndugu mbona unatukana matus hujui kama kumtukana muislaam mwenzako ni ufaasiki yaan uovu mkubwa sana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 8 місяців тому

    MASUFI NI MATUNDA WA MASHIA!!
    NAWE PIA MUHAMMADD IYDI NI PUNDA WA MASHIA!!
    KASSIM MAFUTA ANALINGANIA SUNNAH,YAANI MAFUNDISHO YA MTUME صلى الله عليه وسلم
    WAWE NA MASUFI WENZAKO MWALINGANIA KUACHANA NA MAFUNDISHO YA MTUME صلى الله عليه وسلم NA KUFUATA MAFUNDISHO SIIJUI ETI YA MASHEIKH ZETU!!
    YUPI YAPO SWAHIHI?

  • @aliyseif8114
    @aliyseif8114 8 місяців тому +6

    بارك الله فيك يا شيخنا الفاضل محمد ابو عيد الله يسلمك من كل شر و مكروه وسوء

    • @salumumatimbwa9723
      @salumumatimbwa9723 8 місяців тому +2

      mumkumbushe pia asije kukimbia tena kama mjadala kuhusu arafa

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 8 місяців тому

      ​@@salumumatimbwa9723MULIKUWA MWADANGANWA NYINYI TU KWANI WADHANIA WATU HAWAKUELEWA MBONA WATU WALIEWA SANA TU, ULE ULIKUA UBABAISHAJI TU WA SHEIKH WENU

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 8 місяців тому

      huyo atakimbia..

    • @shabansaid2323
      @shabansaid2323 8 місяців тому

      Mjadala gani umkimbize Muhammad idi?

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 8 місяців тому

      Bachu hadi jasho lilimtoka Kenya badala ya kujibu hoja yeye anaanza kumfundisha namna ya kuuliza swali, yaani yeye anataka uulize Kama atakavyo yeye

  • @mwalimuyussuph6469
    @mwalimuyussuph6469 8 місяців тому +2

    Ongea hoja uliyokusudia MBONA unachanganya chiki na dhana mbaya Kwa mambo usiokuwa na dalili nayo

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 8 місяців тому +1

    Hujazungumza hojja za kielimu
    We upo uwahabi uwahabi tuuu Huna hojja

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 8 місяців тому

    Kwanza hujajibu hoja za zaman
    Lkn mbn ww wakitajwa maswahaba wasema ni uvunjifu waamani??
    Lkn akitajwa shekh wako waja juuu .
    Ukisema wanapewa pesa .
    Twakuukiza mzee uliokimbi mjadala mbn mashekh wenzako wengine walisimama kuhusu mashia ukawatetea mashia!wasisemwe
    Mbn huumii maswahaba wakisemwa vibaya??

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 8 місяців тому +1

    Si alikimbia huyu kumkimbia sheikh kassim mafuta

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 8 місяців тому +1

    Muhammad iddi uwe una kaaa chini na kujipanga ,hizo mada unazoleta hujipangi,basi hata maana ya uwahabi hutoi ,sawa wahabi wapo ,unataja tu vitabu ,soma vinasemaje,alafu ata bidaaa huijui,kukosa dhehebu Nako bidaaa,duuuuu!

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 8 місяців тому +11

    Huyu jamaa hajamjibu Shekh Qasim kama anuani inavyojieleza bali kafungua mas'ala mengine ambayo tunamuonea huruma namna alivyoyaingia mambo

    • @ruudsaleh
      @ruudsaleh 8 місяців тому +3

      Alhamdulillah ww umekua waKwanza kum prove right Sheikh kua uelewa ni mdogo na lazima uwe hauna adabu...
      Pamoja na yote Sheikh Muhammad Iddy hakuacha kumuita Qassim kua ni Sheikh yaan akitanguliza Sheikh kisha Qassim ila wewe umauita huyu jamaa, yaan mtu asiye na identity na maana yoyote!
      Karibu tuendelee na darsa

    • @abumuhammadmbwana3964
      @abumuhammadmbwana3964 8 місяців тому +3

      Jamaa ni nani? Haya ndio aliyoyaeleza shekh kua mawahabi hawana adabu kwa masheikh.

    • @khalfanmasoud1514
      @khalfanmasoud1514 8 місяців тому +2

      PAMOJA NA KUTOFAUTIANA NAE KAMUITA SHEIKH LAKINI WEWE UNAMUITA JAMAA ?? ANACHOKISEMA KWELI HAWANA ADABU NA USIKUTE ALIYEITWA SHEIKH AKAJA KUMUITA ABUU IDD MPUMBAVU NA JAAAHIL SIJUI LINAVUTA BANGI TUSUBIRI TUTAONA

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому +1

      ​@@khalfanmasoud1514
      Kwan nan Kasem lazima kumuita sheikh ndo adabu???

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому +1

      Acheni ubabaishaji nyie masufi wajinga wajinga hamjielewi mmefumbwa macho na masheikh zenu mnataka kuleta bal Bala hapaa....em kaeni kando

  • @mashallaah7290
    @mashallaah7290 8 місяців тому +1

    لا تدخل الملاءكة بيتا فيه كلب ولا صورة ( رواه البخاري ٣٣٢٢) (ومسلم ٢١٠٦)
    Shekhe hiyo 7dithi vipi

  • @abuuhudhayfah90
    @abuuhudhayfah90 8 місяців тому +1

    Hoja zote ushajibiwa na ukaulizwa maswali ukakimbia.

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 8 місяців тому +2

    شكرا لك وجزاك الله خيرا

  • @kagalihussein1959
    @kagalihussein1959 8 місяців тому

    Kitu ambacho nimegundua kiukweli sheikh muhammad eid Hana Elimu yakumjibu sheikh Kaasim allah amhifadhi,pia muhammad eid hawajui mujjasima ni akuna nani.Sheikh muhammad eid kasome kitabu kinaitwa القوعد المثلى في صفات الله واسماءه الحسنى cha فضيلة الشخ العلمة محمد بن صالح العثيمين

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 8 місяців тому

    Hivi mashekh wa twarika pia wanaunga mkono hizi hoja anazotoa huyu mwenzao!! Mbona kama jahazi limeingia maji na huyu bwana anaongeza maji ili lizame vizuri

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 8 місяців тому +1

    Aa masufi ni vifaranga vya mashia ndo maana wakitukanwa MASAHABA Hawawatetei ...

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 8 місяців тому

      hapo sasa , woga ni mwingi sana. Maswahaba kuwakingia kifua ni bora mara elfu kuliko hawa masheikh na walimu wetu

  • @salimmgwira7179
    @salimmgwira7179 8 місяців тому

    Wajua shk Muhammad watakiwa hujibu hoja haya maneno sijui miradi mawahabi ni maneno ya maskani mtu yeyote anaweza kuropoka jibu hoja tupatae faida siyo porojo za kimtaani

  • @tibaasiligreatmoment8850
    @tibaasiligreatmoment8850 8 місяців тому +2

    Tatizo Hujipangi Katika Kujibu Masaaili Abuu Iddi Ulijibiwa Na Ukaulizwa Hukujibu.

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 8 місяців тому

      Kashajibu lakini ili kujiona hakujibiwa ilibidi ajifanye ajasikia

    • @abuuuyaynah8801
      @abuuuyaynah8801 8 місяців тому +1

      Haya aliyozungumza alishajibiwa na akaulizwa maswali hakujibu hata akenda mbioooo m
      Mwambieni ajibu maswali kwanza

    • @abakibibi9917
      @abakibibi9917 8 місяців тому

      HOJA HIZO ZIMEPITWA NA WAKATI NI ZA ZAMANI WAKATI ANSWAR WANAANZA KUELEZEA MAFUNZO YA DINI. TAASISI YA TAMTA WAKIFANYA MIHADHARA KILA MSIKITI TANGA ILISHINDIKANA WAISLAM WENGI WANASWALI MISIKITI YA ANSWAR

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 8 місяців тому

      @@abakibibi9917 acha uongo

  • @HassanJamada-pf4jt
    @HassanJamada-pf4jt 8 місяців тому

    Shekh Abu Idd jibu maswali 10 uliyoulizwa acha kurukia masaail mengine kabla Yako yamekuganda

  • @tellackyabdul9312
    @tellackyabdul9312 8 місяців тому

    HIVI JAMAN HUYU ABUU IDD ANAVOSOMA HIZI IBARA MNAMUELEWA? SIKUSUDII KUKOSEAA ILA ILE NAMNA YAANI KAMA AONGEA KIPARE VILE AU KIDIGO HASOMI IBARA VZURI, NAPATA MASHAKA NA HATA UFAHAMU WAKE NA HIVO VITABU ALOBEBA,,😂😂😂😂 MAAANA MARA HII AKO NA VITABU VIIINGI ALAFU NOTHING IN THE.......😊 NSIJE AMBIWA SINA ADABU😅
    ILA ABUU IDD MARA HII USIKIMBIEE, LAST TIME UliTOKA NDUKI NUSU UTUDOSHE, PLZ SAHIV UCKIMBIE SAWA SHEIKH LA KISUFI USOJUA KUSOMA IBARA ZA KIARABU.😅

  • @bashirusalumbigapsana673
    @bashirusalumbigapsana673 8 місяців тому

    Subuhanallah

  • @saadayoub7179
    @saadayoub7179 8 місяців тому

    Yaani hawa Kupitia vinywa vyao (masufiy/maghurafiy) kuitangaza Daawa ya Ahlul Sunna waljamaa.sasa anachokiongea ni kitu gani?Allah subhana wataaala kawanyima maghurafiy ufahamu

  • @saidhaji1858
    @saidhaji1858 8 місяців тому

    Naona anarudia yaleyale alioraddiwa na sheikh Kasim mafuta.
    Ukiskiliza Majibu ya sheikh kassim bc utajua kma huyu hana jipya,
    Ana upinzani tu usio na faida yyte..

  • @abuuhudhayfah90
    @abuuhudhayfah90 8 місяців тому

    Wewe mwenyewe mbona umemdhania Sheikh Kassim vibaya?....umejuaje kwamba anajiona yeye ni Sheikh mkubwa Nchi nzima? Kama sio Hasadi ni nini?

  • @aliyabasi2058
    @aliyabasi2058 8 місяців тому

    Abuu idd twaomba ujibu maswali uliyoulizwa na sheikh Qassim mafuta hujajibu bado ulikaa kimya kwa takriban mwaka mmoja tukajua unajipanga kujibu kumbe hamna kitu twasubiri majibu yako kadri unavyo mkwepa sheikh Qasim inaonyesha dhahiri kwamba mupo katka baatwil

  • @ibrahimjumaa538
    @ibrahimjumaa538 8 місяців тому

    Salmaleeeeeeee😂😂

  • @tellackyabdul9312
    @tellackyabdul9312 8 місяців тому +1

    MWAMBIENI SHEKHE WENU AJIFUNZE KUSOMA IBARA ZA KIARABU

  • @ngoni7944
    @ngoni7944 8 місяців тому

    Sisi waafrika tuzitafute dini zetu za asili tuachane na dini hizi mbili zilizoletwa na uislam -mwarabu na ukristo - mzungu
    Tulikua na dini zetu kabla ya kutekwa na dini hizi.
    Wewe ni mm' bantu lakini angalia unacho amini kimetoka uarabuni. Sad

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      Fata wewe sisi tupo kwenye dini sahihi hatutaki hzo dini za wazee

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 8 місяців тому +1

    Tatizo lako nimoja tu mzee shekh Muhammad Idd, tatizo ww una mbiyo nyingi huwa unatoka nduki hata nyuma hugeuki. Vipi marahii uko vizuri usije kutoka nduki utatuangusha mzee 😂😂😂😂

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂daaahh nmechekaa saaan

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 8 місяців тому

      @@tellackyabdul9312 ndoivyo huyo mzee yuko vizuri kwa nduki anachokonowa mambo halafu anayayuka yayuuu yaani anapoteya mzima

  • @kagalihussein1959
    @kagalihussein1959 8 місяців тому

    pia ewe sheikh Abuu Eid,kadiri unavo zidi kujitutumua ndivo tunaona uwezo wako ktk Elimu ni mdogo taji ulilo nalo umeveshwa kwa maslahi ya dunia yako tuu..hata sisi wanafunzi pia hauta tupata kwa sababu masufi hamna Elimu zaidi mwajuwa elimu za uganga tu,afu kupingwa ktk kuizungumza haqi ni jambo ambalo halija anza leo.mtume swala na salaam zimfikie yeye pia alipingwa na familia yake hadi baba ake mdogo alimpinga.na huyu mtume sala na salam zimfikie yeye ndie wakale wetu.Hatuishi na dini za kuwarithi masheikh zetu wala wazazi wetu mradi watakuwa ktk upotevu,Nabii iburahiim ali pambana na baba ake asiyaabudie masanamu { ۞ وَإِذۡ قَالَ إِبۡرَ ٰ⁠هِیمُ لِأَبِیهِ ءَازَرَ أَتَتَّخِذُ أَصۡنَامًا ءَالِهَةً إِنِّیۤ أَرَىٰكَ وَقَوۡمَكَ فِی ضَلَـٰلࣲ مُّبِینࣲ }
    [Surah Al-Anʿām: 74] Na Nabii iburahimu Allah amemchaguwa { وَمَن یَرۡغَبُ عَن مِّلَّةِ إِبۡرَ ٰ⁠هِـۧمَ إِلَّا مَن سَفِهَ نَفۡسَهُۥۚ وَلَقَدِ ٱصۡطَفَیۡنَـٰهُ فِی ٱلدُّنۡیَاۖ وَإِنَّهُۥ فِی ٱلۡـَٔاخِرَةِ لَمِنَ ٱلصَّـٰلِحِینَ }
    [Surah Al-Baqarah: 130] na alimkana baba ake kwa kuyaabudia masanamu sasa seuse sheikh muhammad ibnu Abdilwahaab Lazima apinge shirki maana ndio sunnah ya mitume na manabii

    • @karimdaud3993
      @karimdaud3993 7 місяців тому

      Usitizame ibada zake fuatilia kisomo anachakupa

  • @AbuFawzaanAlly
    @AbuFawzaanAlly 8 місяців тому +3

    Alafu Sheikh Kassim Mafuta ALLAAH amuhifadhi akija kukujibu unakimbia kabisa na maswali kakuuliza mpaka Leo hujajibu...!!!

    • @athumanimahunda6541
      @athumanimahunda6541 8 місяців тому

      Duh. Hivi vichwa vigumu jamani!

    • @AbuFawzaanAlly
      @AbuFawzaanAlly 8 місяців тому

      @@athumanimahunda6541 ua-cam.com/video/Cy1v0iHq194/v-deo.htmlsi=vU5n138ECEGC4Lxy

    • @Machapatize
      @Machapatize 8 місяців тому

      ​@@athumanimahunda6541yaani ndugu yangu Allah akuhifadhi ila fatilia pande zote mbili kisha weka ushabiki pepembeni Allah atakupa hidaya

    • @SaidJuma-ru7vm
      @SaidJuma-ru7vm 8 місяців тому

      Wahabi mdogo ww 😂

  • @UB40X1
    @UB40X1 8 місяців тому +1

    Wewe Iddi ni mtu mpuuzi sana. Sheikh Kassim alikujibu kwa hoja na maswali akakuuliza ulijipoteza kwa miaka mitatu sasa umezuka na madai yale yale uliyojibiwa. Kuwa na hayaa basi usiwe kama mnyama na ujihurumie nafsi yako.

    • @user-gt3rp9dy8w
      @user-gt3rp9dy8w 8 місяців тому

      Ila maneno makali Akhy

    • @shakourdutilo3813
      @shakourdutilo3813 8 місяців тому

      Hebu kuwa na adabu wewe usiwe kama mshenzi ulokosa mafunzo kwa wazaz wako, ni adabu gani kumuita sheik hvyo? Unamwambiaje sheikh mpuuz!? Ndo sheikh mafuta awafundisha hvyo? Wewe ushawahi msikia sheikh qasim mafuta anamuita sheikh muhammad ni mpuuzi!? Koma kabisa ulokosa elimu ya adabu kwa wakubwa na masheikh

    • @UB40X1
      @UB40X1 8 місяців тому

      Mpuuzi ni yule anaepewa hoja na kuulizwa maswali kisha akajificha miaka mitatu na akizuka aleta story zilezile. Huyo ni mpuuzi na Ikiwa na wewe ashakufunza upuuzi usiniletee mimi.

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 8 місяців тому

    Huu ndo muda wa masufi wanao taka haki hasa vijana kuingia ktk sunna kwa wingi kwasababu huyu bwana hawezi kuwasaidia zaidi ya kuwafanya wafuasi wake wamsikilize shekh Qassim na hapo ndo usufi unapo zama

  • @user-qn8xl1io3b
    @user-qn8xl1io3b 8 місяців тому

    Hicho kitabu cha Shekhe Nani mbona wataja tu nawala sii kila mwenye kuitwa manachuoni basi yupo katika Haki Haki ipo pale inapo kuja dalili
    Lete hoja ya vitabu vyenye kuonesha maneno yako mbona porojo tu.
    Lete hoja za kiilimu wacha uwongo Shekhe

  • @yazidurashidi8443
    @yazidurashidi8443 8 місяців тому +2

    Shekh mbona maneno mengi clip mbili lakini bado huingii kwenye hoja zaidi ya kuleta lawama na kuleta maneno ya uongo na hayo maneno Unayo yatoa wanafunzi wenu wakiyashika basi wamekwisha kabisa😂😂😂😂

    • @kasumunigwasa
      @kasumunigwasa 8 місяців тому +1

      Muwahabi huyu

    • @abubakarymaulidy5681
      @abubakarymaulidy5681 8 місяців тому +2

      Mawahabi ili aone ni hoja lbda aseme shekhe wake lkn akizungumza mwingine ata aya wanazikataa nawanadai hoja washamba nyie mmekaa kama mashoga tu

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 8 місяців тому

      mbona ulimi wako unamatusi sana ndg. vip mwalimu yupi anakufundisha hayo na sheikh abuu idd anasema mna-ADABU sana?@@abubakarymaulidy5681

    • @Machapatize
      @Machapatize 8 місяців тому

      ​@@abubakarymaulidy5681Tatizo lenu watu wa twariqa amsikilizi hoja za upande wapili

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      ​@@abubakarymaulidy5681
      Sa hpo hoja n ipi??

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 8 місяців тому

    HIVYO VITABU WANDISHI NI AKINA NANI? MAKE CHA KWANZA AMEMTAJA MWANDISHI AMBAYE NI محمد جميل زينو

  • @AbuumuussaaAttanzaaniy
    @AbuumuussaaAttanzaaniy 8 місяців тому +2

    Shekh kalimah yako ya mwanzo TU kuna makosa tele na kwakuwa ulisema wewe upo hewan muda WOTE embu jaribu kujibu comment tukibainishie makosa yako japo sie ni wachache ktk elimu na ufahamu

    • @Naaam353
      @Naaam353 8 місяців тому

      Uliza tutamfikishia

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 8 місяців тому

      Kama ni mchache wa ilmu mbona UMEHUKUMU kuwa kuna makosa???
      Ungekuwa mchache wa Ilmu ungeuliza usahihi wake bila kuhukumu.
      HUO NDIO UWAHABI SASA.

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      ​@@sama-_8368
      We kwel jingaaa😂😂 tena jing hasaaaa

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 8 місяців тому

      @@tellackyabdul9312 dini yako ndio imekufundisha kuniita hivyo, siwezi kukupinga. Ni kweli mimi ni mjinga.

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      @@sama-_8368
      Sawa mjinga

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 8 місяців тому +4

    Mashall ah @mwaka huuuu mujipange😂mawahabi pesa zitawagomea

    • @Ahmadasshii-raazy8888
      @Ahmadasshii-raazy8888 8 місяців тому

      USIWATISHE WAACHE TU MANA HUKO HOME HATA HAKUJAANZA WATAKOMA HAWA

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 8 місяців тому +3

      Maaskini wewe ndio hujielewi HUKUMBUKI HUYU BABA IDD MWAKA JUZI ALIKIMBIA !!?? AU ULIKUWA BADO HUJANUNULIWA SMART PHONE !!

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      ​@@ayububakari9942
      Itakua bdoo alikua kwao akiosha osha vyombo alikua hajapata smartphone 😂😂😂😂
      Kanunua simu kaacha kuosha vyombo kwao atusumbua mtandaoni

  • @HamkingCompanyLimited2023
    @HamkingCompanyLimited2023 8 місяців тому

    yaan hata unavyosoma hcho kitabu’ lafudh lako baya sanaa
    mtafute mtu akusomee ustadh’
    pia mbona hoja za abul fadhwil zipo wazi sanaa
    kwa nini usizjbu hzo hoja kwanza ?!
    kisha ulete hzo mbwe mbwe nyngne’

  • @kagalihussein1959
    @kagalihussein1959 8 місяців тому

    na dalili ni nyingi dhidi yako Na una deni la Maswali uliulizwa kuhusu mwezi muandamo vipi mbona huja tujibu ewe Sheikh.kitu mimi nina Amini kwa uwezo wako kielimu Sheikh kaasim Anakusomesha kila kitu Fanni zoote na Aqida fiqhi na kila somo bado uwezo wako mdogo sheikh wa bwabwaja na u wahabi tena kwa dhulma na uongo basi mradi upate wakukusikiliza tu.

  • @user-kg9fn1ph9d
    @user-kg9fn1ph9d 8 місяців тому

    mafuta ya taa

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 7 місяців тому

    Unamfuata Mtume hata ndevu zimekushinda kuweka shekh

  • @yussufhamad3721
    @yussufhamad3721 8 місяців тому

    Sheikh vp kuhusu humjadala mbona hauendelei au sheikh abuu idii umetuma SMS kuusitisha munakasha huu

  • @user-by6fo2yl1u
    @user-by6fo2yl1u 8 місяців тому +3

    محمد بن عبد الوهاب مصلح مظلوم

  • @alybinmana6197
    @alybinmana6197 8 місяців тому

    Mmh mbna cjaona majibu ya kichwa cha habari ya mada kuu iliyowekwa mezani na mawahabi hapa ndio masheikh zetu wanapotuangusha

  • @user-qn8xl1io3b
    @user-qn8xl1io3b 8 місяців тому

    Hicho kitabu cha Shekhe Nani mbona wataja tu nawala sii kila mwenye kuitwa manachuoni basi yupo katika Haki Haki ipo pale inapo kuja dalili

  • @user-ie8nj5ui1c
    @user-ie8nj5ui1c 8 місяців тому +1

    Huyu hamna hata haja ya kumjibu maana hata anachoongea hakifahamu

  • @mudybeka6698
    @mudybeka6698 8 місяців тому

    Huyu sheikh mbona anajikanyaga ...unatakiwa ujibu hoja za sheikh Kassim mafuta ..ili utetee hizo bidaah zenu

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 8 місяців тому +1

    Fichueni musiwabakishe

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 7 місяців тому

    Assalaamu alaikum hebu na ww tueleze hile ulinunua ww mwenyewe unasema watu wanafadhiliwa mbona ww hujasema yakwako na hayo ndio mafundisho ya dini yetu

  • @MuslimYussuf
    @MuslimYussuf 8 місяців тому

    Humu weza shekh kassim

  • @jumaamohamed4203
    @jumaamohamed4203 8 місяців тому +1

    Umetisha sana Al alaama Abuuuu Eid Muhammad

    • @user-zr2pn5uv8b
      @user-zr2pn5uv8b 8 місяців тому +1

      pamoja na kutetea hirizi au

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      Eeh kumbe n a'llama???😂 eeh hatariiii sufi alaf a'lama???

    • @HarunaNkussa
      @HarunaNkussa 8 місяців тому

      Muhammad idi ivi unajielewa kweli .

  • @fatibra7768
    @fatibra7768 8 місяців тому +5

    Mfunzeni shehe wenu
    Utamkaji mzur wa salamu.

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 8 місяців тому +1

      Kwali hamna adabu

    • @fatibra7768
      @fatibra7768 8 місяців тому +2

      @@tanzaniaonmzamiloon8627 Kama adabu ni kukosea utamshi sahihi wa salamu, SAWA
      Lakin narejea tena kusema mfunzeni shehe wenu katika utamkaji mzur wa salamu

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 8 місяців тому

      @@fatibra7768 tufundishe wew ndo ghalim ss hatujaona kama katamka vibaya

    • @issamwembe4245
      @issamwembe4245 8 місяців тому

      نور على الدرب التعريف بالوهابية
      التعريف بالوهابية
      السؤال:
      رسالة وصلت إلى البرنامج من الجمهورية العراقية، باعثها مستمع من هناك يقول خالد عبدالله حسن، الأخ خالد له جمع من الأسئلة من بينها سؤال يقول: سمعت بالوهابية، فمن هم؟
      play
      -04:10
      max volume
      الجواب:
      الوهابية هم أتباع الشيخ الإمام: محمد بن عبدالوهاب بن سليمان بن علي التميمي الحنبلي المتوفى سنة ست ومائتين وألف من الهجرة، كانت وفاته -رحمه الله- سنة ست ومائتين وألف من الهجرة في الدرعية، وقبره معروف هناك، وقد قام بالدعوة إلى الله في النصف الثاني من القرن الثاني عشر، في نجد الدرعية، وما حولها، دعا إلى توحيد الله، وأنكر على الناس التعلق بالقبور والأموات والأصنام، وتصديق الكهان والمنجمين، وعبادة الأشجار والأحجار على طريقة السلف الصالح، على الطريقة التي بعث الله بها نبيه محمد -عليه الصلاة والسلام- وعلى الطريقة التي درج عليها أصحابه، فدعا إلى الله، ودعا معه العلماء الذين وفقهم الله لمعرفة الحق، من أقاربه وأولاده وغيرهم، وأظهر الله به الدين وأزال به الشر من نجد وما حولها، ثم انتشرت دعوته في اليمن والشام والعراق ومصر والهند وغير ذلك.
      وعرف المحققون صحة دعوته واستقامتها، وأنه على الهدى والطريق القويم، وأنه في الحقيقة مجدد لما اندرس من معالم الإسلام، وليس مبتدعًا، وليس له دين جديد، ولا مذهب جديد، إنما دعا إلى توحيد الله، واتباع شريعته، والسير على منهج السلف الصالح من الصحابة، ومن سلك سبيلهم، هذا هو مذهب الوهابية، ساروا على منهج الرسول ﷺ وأتباعه من الصحابة، ومن بعدهم من أهل العلم والإيمان.
      ولكن لهم خصوم، فكذب عليهم الكذابون حتى يستبيحوا دماءهم، كذبوا عليهم وقالوا: إنهم مذهب خامس، وأنهم يسبون الرسول ﷺ ويسبون الصحابة، وكلها كذب، كله باطل، بل هم من أحب الناس للرسول ﷺ وهم على طريق الصحابة، والرسول أحب إليهم من أنفسهم وأولادهم وأموالهم، وهم يدعون إلى ما دعا إليه الرسول ﷺ يدعون إلى توحيد الله، واتباع شريعته، وتعظيم أمره ونهيه، والسير على منهج الرسول ﷺ وكتبهم طافحة بذلك، كتب الشيخ محمد، وأتباعه واضحة في ذلك، من قرأها؛ عرف ذلك، كتاب التوحيد، فتح المجيد، كشف الشبهات، ثلاثة الأصول، كذلك تيسير العزيز الحميد لحفيده سليمان بن عبدالله ، وكذلك الدرر السنية في فتاوى أهل نجد واضحة في ذلك.
      وهكذا كتبهم الأخرى ورسائلهم الأخرى كلها تبين ما هم عليه من الهدى والحق، وكلها تبين كذب أعدائهم، وخصومهم من الصوفية، وغير الصوفية، ومن عباد القبور الذين كذبوا عليهم؛ لأنهم أنكروا عليهم عبادة القبور، فكذبوا عليه، فخصومهم هم عباد القبور، أو جهلة ما عرفوا الحقيقة، وصدقوا عباد القبور.
      أما أهل العلم والإيمان في مصر والشام والعراق وغير ذلك فقد عرفوا صحة ما هم عليه، وشهدوا لهم بالحق، كالشيخ محمد رشيد رضا، وغيرهم ممن عرف دعوتهم -رحمة الله عليهم- وشهد لهم بالحق من علماء الإسلام في مصر والشام والعراق وغير ذلك

    • @abubakarramadhan1716
      @abubakarramadhan1716 8 місяців тому +3

      Lkn alilosema shekh wetu limekugusa

  • @osmaniidrisa6290
    @osmaniidrisa6290 8 місяців тому +1

    Kama huyu ni mtetezi WA mashia

  • @salumumatimbwa9723
    @salumumatimbwa9723 8 місяців тому +1

    mm namuomba kwanza ajibu hoja 10 alizopewa kuhusu arafa pili namuombe asikimbie akaibuka na lingine abaki na bada hihi

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 8 місяців тому

      wazee wake walimuamrisha asiendelee

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 8 місяців тому

      Kaja na nguvu kwamba eti mitandaoni elimu ya sunna imejaa, kwahio nae kaja ili mitandao ijae . kinachotakiwa ni majibu sio kuwa mtandaoni sheikh wetu abu idd

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 8 місяців тому +5

    Wahhabi hata umwambie ukweli gani bado anapinga maana ndio mafundisho ya Imani yao na mafunzo yao, Kubadilika kwao ningumu, Wanafundishwa ubishi na jaziba au hasira na chuki kwa waislam wengine wasio madhehebu sawa nao

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 8 місяців тому +2

      ulosema sio sahihi kwani hata makhurafi nao huwa hawataki kuambiwa ukweli !!

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 8 місяців тому

      @@ayububakari9942 muungalie Shekh wako anapokosolewa huwa anakubali au ndio anazidi kuwa mbishi na kujiona anajua kila kitu kuliko mashekh wengine, Kama hayuko hivo na mimi nitakuwa Wahhabi Kama Wewe

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 8 місяців тому

      @@ayububakari9942 Shida anazungumza au kukosoa vitabu ambavyo hajasomeshwa wala hana fani ya kuvielewa zaidi ya kusoma juu juu bila kuzingatia malengo kusudiwa na maana halisi, Pili hao anao wakosoa wamemzidi elimu mbali xana hata robo hajawafikia kwa kiwango cha elimu, Mfano mwandishi wa Barzanj Bachu hawezi kujilinganisha nae kielimu, Bachu yeye anatafuta wafuasi wake mitandaoni wakati Barzanj ni mwandishi msomi, Bachu anakosoa kwa jaziba na kujisifu ana elimu ya first eleven, Sasa elimu sio sifa au kujigamba au kujitapa mitandaoni.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 8 місяців тому

      @scienceacademy3289 Nenda kaangalie mjadala uliofanyika Kenya alivyokuwa anafanya, Pia fuatilia majibu mbali mbali ya hoja zake za kukurupukia vitabu visivyo saizi yake na mashekh wakubwa Wanao mzidi elimu parefu lakini kwasababu itikadi yenu nikupinga na ubishi hamwezi kujifunza uislam kwa waislam wengine au madhehebu yasiyo yakwake au yenu

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 8 місяців тому

      @scienceacademy3289 Mfano Wa mashekh Wanao mzidi elimu parefu ni yule ambae amekuwa akimkosoa kwenye kitabu cha Barzanj ,Niambie Bachu kasoma kwa nani na nani na kiwango chake cha elimu ni kiasi gani, Na tuambie elimu ya hadithi amesoma kwa kiwango gani? Amehifadhi hadithi elfu ngapi? Ametunga vitabu vingapi ambavyo vinatumiwa na madhehebu yenu au waislam? Tuambie mpaka elimu yake imesambaa duniani kote kwa waislam kwa kiwango gani na tija yake ipoje? Mpaka sasa kazalisha mashekh wangapi wakubwa na wenye elimu yakutegemewa na waislam? Alafu tuambie kapata wapi ruhusa ya kufanya radi au kukosoa au kulingania waislam wasio madhehebu sawa na yeye kwenye mitandao ya kijamii atoe hadithi na aya kuthibitisha hilo.

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 7 місяців тому

    Hatutaki maneno tunataka ushahidi

  • @abuuhudhayfah5108
    @abuuhudhayfah5108 8 місяців тому

    Ninahaqi ya kumwita huyu shekhe si mtu anaweza mijadala, ulijibiwa kwa hoja wewe unaleta ngojera tu,,,, jibu kwanza maswali uloulizwa kwa hoja.

  • @user-zx2yd4bl2x
    @user-zx2yd4bl2x 8 місяців тому

    Tatizo Hujielewi

  • @user-zx2yd4bl2x
    @user-zx2yd4bl2x 8 місяців тому

    SHEKH VIPI MBONA UNASOMA KIARABU VIBAYA PUMBAVU

    • @akambi482
      @akambi482 8 місяців тому

      Kumbe kweli hamna adabu😂😂😂😂

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      ​@@akambi482Sawa mwenye adabu
      Hutaki aambiwe ukwel 😂😂
      Asoma vVIBAYA KWA HERUFI KUBWA
      AJUWI KUZISOMA IBARA VZUUUURIIII😂😂MFIKISHIENI

    • @tellackyabdul9312
      @tellackyabdul9312 8 місяців тому

      Au mtupe number yake tumwambiee AJIFUNZE KUSOMA VZUURII

    • @riddi676
      @riddi676 2 місяці тому

      Dalili moja ya wahabi ndo hii

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI 8 місяців тому

    wana nfananinsh na nani

  • @user-hv6nb5sz5c
    @user-hv6nb5sz5c 8 місяців тому

    Walai shekh Qasim mafuta katika mada zoote walizo elezeana shekh mafuta hakujibu hata moja.kwa maana mada zoote alizotowa huyu shekh Mohammad alimjibu mafuta Kwa vitabu vya mashekh wao kuwa arafa SI moja.mafuta hakujibu ata jibu Moja kiuadilifi.maulidi ndo kabsaaa hakujibu.

  • @mwanakheri2880
    @mwanakheri2880 8 місяців тому

    Mbona sipati sehemu ya 3 na ya 4

  • @user-qn8xl1io3b
    @user-qn8xl1io3b 8 місяців тому

    Jibu hoja Shekhe wacha kuleta huruma kwa Watu

    • @HusseinAli-fx1ld
      @HusseinAli-fx1ld 8 місяців тому

      Hujaongea sawa, wajua maana huruma. Au Bora uongee tu. Neno huruma kalifanyie utafiti.

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 8 місяців тому +1

    Nyinyi Mashia mna jazba sana

  • @user-hw5zu2vc3m
    @user-hw5zu2vc3m 8 місяців тому +1

    unataka bidaa saiv yale yaliopita yamekushinda

  • @musawaziri5088
    @musawaziri5088 8 місяців тому

    Shekhe muhamadi iddi kasome akida

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 7 місяців тому

    Nyie bidaa zenu zinawekwa wazi mbona ww unatupa maneno tu tunataka ushahidi

  • @user-zr2pn5uv8b
    @user-zr2pn5uv8b 8 місяців тому

    kwaiyo abuuidd kwako hirizi sio tatizo mbona wajiangusha na unajitapa umesoma

  • @topfreelancer5151
    @topfreelancer5151 8 місяців тому

    Ila hapo kwenye kupingana na wakale, ni kupingana katika nini? maana kuna kutambika, kwenda kwa waganga, kutokufanya ibada je hapa ukiacha hayo unakosea? maana jamii yetu sehemu kubwa imeathiriwa na hayo mambo. Sheikh Allah akuongoze, hapo unasemaje yafaa kutokupinga?

    • @user-zr2pn5uv8b
      @user-zr2pn5uv8b 8 місяців тому

      hapo nikila linalofanywa na wazee hutakiwi kupinga

    • @topfreelancer5151
      @topfreelancer5151 8 місяців тому

      @imsimbe Kwa unyeyekevu kabisa, naomba unieleweshe

  • @aliabdulla5395
    @aliabdulla5395 8 місяців тому

    Ili muradi useme tu, watu wanaotaka haqq wameelewa... lkn ww maswali huwezi kuyajibu

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 7 місяців тому

    Kwahio na Mtume engemfuata baba kwakua ni baba yake

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 8 місяців тому +1

    Mashia mkiambiwa ukweli mnakasirika Hahaha 😂

  • @jujanreeves6925
    @jujanreeves6925 8 місяців тому

    Huyu Sufi alishajibiwa haya amekimbia mpaka Leo hii sio ya Leo Ana Maswali kumi Hajajibu mpaka leo