KWANN QASSIM MAFUTA HATAK KUKUTANA NA NDUGU YAKE ABUU MUAAWIYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 139

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 3 місяці тому +2

    Kuna watu wanapenda mashekhe na so haki ndo maana akitajwa shekhe wake amekosea anachukia , msiwe ivo طلبة العلم

  • @SheikhYussuf-iv6lo
    @SheikhYussuf-iv6lo 3 місяці тому +4

    اللهم غفر له وارحمه

  • @abuufarha6562
    @abuufarha6562 2 місяці тому

    Mafuta hana hoja hawezi radd na masalafi yeye ana wezana na BARAHIYANI na masufi nawadhaifu wengine wasio nahoja ndio ana waonea, haachi kuwaradd

    • @abuufarha6562
      @abuufarha6562 2 місяці тому

      Ama maustaz na mashekh zetu Abuu hatim khmisi ame aburrabii haha hoja zakuwajibu ila barahiani hamnyamazii kwakuwa ana mmudu,

  • @saldinthegreat2264
    @saldinthegreat2264 9 місяців тому +1

    KUKOSA IKHLASW KATIKA DA'WAH NA ELIMU NA KUJIPAMBA NA RIAA' MIONGONI MWENU NDIO MAANGAMIZI MAKUBWA MNAYOKUMBANA NAYO... NYOTE MNATAKIWA MREJEE NYUMA MFANYE TOBA NA KUSIMAMA KATIKA HAKI ALIYOKUJA NAYO MJUMBE WA ALLAAH, VINGINEVYO SUBIRINI SAA'

  • @MALELEMBARIMO
    @MALELEMBARIMO 2 місяці тому +1

    Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh. Simlaumu sheikh abuu muawiya allah amhifadhi wala sheikh KASSIM allah amhifadhi ila ninachokisema ni kuwa tumche allah kwenye kufanya uadilifu pili tusipende kuvalia njuga maugomvi au maikhtilafu ya wana wa chuoni. Kadhia ukiifatilia uxuri utajua kuwa tumechukuwa maneno juu yasio tuhusu tumeyavaa kama sie ndo wachezaji waislamu wanatakiwa kuwa na insafu kwenye kuziendea kadhia. Nawaombea kheir walimu wangu wote wawili ambao wamefitinika kwenye mfitini huu mkubw

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 3 місяці тому

    Sisi ndugu zake Abul Fadhwil Ni Akhiy Mohammad Mafuta Vip Huyu adai udugu au Udugu wa Kidini??
    halaf sio.lazima kukutana na mtu ww pambana na Uhizb wako

    • @OmarAbdalla-ug5yg
      @OmarAbdalla-ug5yg 3 місяці тому

      uhizbia upi? kwani nni maan ya uhizbia akhy na vipngele vya kumfnya mtu kuwa hizby usiropokwe hun uncho kijua hhha

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 3 місяці тому

      @@OmarAbdalla-ug5yg Mahizb ina maana ya ndani sana ila kwa nje maanake ni Uvyama.
      na kuna alama zake Mfano Kusema uongo,Umoja usio chunga Aqida zetu,Na mengne kibao kama kipaumbele Kusoma Sekula badala ya Dini na mambo mengi.
      Au kwa kifup ni Hawa wanaharakat wa Kianswar Sunna wanaojiuta lakin kiukwel Wao ni Answar Bidaa.

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 9 місяців тому +3

    Wapandisheni masufi daraja maana wao wanaheshimiana

  • @RamadhanJuma-n9p
    @RamadhanJuma-n9p 9 місяців тому +3

    Hahaha yaani yaani sheikh Kasimu mafuta akae na abuu muawiya aache kazi ya kusomesha abuu muawiya saizi yoko ni abuu sufiani hassani jamada na abulmudhwafara abdala gamba wakubainishie ujahili wako.

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 9 місяців тому

      Daah kweli unaongea hivo kwa Taqwa ndugu angu??

    • @BashirChikomele
      @BashirChikomele 4 місяці тому

      Sahihi

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 3 місяці тому

      Hizbu salaf qassimu mafuta ajifanya anajuwa kila kituuu qassimu alikuwa akimkimbia sheikh muawiya Maana anajuwa hamuwezi rahimahullah shekh

  • @ismailmsangule1380
    @ismailmsangule1380 9 місяців тому +1

    Kumbe abuu muaawiya ni Hassan awadhi ribe
    Wewe ni salafi ambae kidogo unaheshimu walimu zako ndio maana sijakusikia ukimradi sheikh bakari Kigamboni

  • @JumaShundi-tn9pf
    @JumaShundi-tn9pf 8 місяців тому

    tunaomba wakutane ili tustafiid na tujue haqq Zaid, Allah atatuonyesha njia ya haqq, na mtu fedhuli huangushwa na Allah.

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 5 місяців тому +1

    Mmeelewa jibu????

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 9 місяців тому +1

    Haya Masalafi hao wanalana wao kwa wao. Allah awaongeze katika njia ya haki.

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 9 місяців тому +2

      Hii comment ina manufaa gani kwa umma??

    • @RamadhaniMuhidini-nn2kg
      @RamadhaniMuhidini-nn2kg 9 місяців тому +1

      Allah akuongoze, hayo maneno yako sio ya haq, hujui nani salaf na nan sio salaf , fanya reseach kabla hujazungumza

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 9 місяців тому

      @@RamadhaniMuhidini-nn2kg Toa elimu wewe ya nani ni salafi na nani siye salafi, ili tunufaike

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o 9 місяців тому +1

      @@RamadhaniMuhidini-nn2kg Hao ni mawahabi, salafi walishapita

    • @RamadhaniMuhidini-nn2kg
      @RamadhaniMuhidini-nn2kg 9 місяців тому

      @@AhmedAli-gh1lm kama ndo kaz yako kusoma mitandaon pole, darasa zipo kasome ujue salaf ni nan

  • @MirajiAli-tq6id
    @MirajiAli-tq6id 9 місяців тому

    Assalamu alaykum walahumatulah wabalakat

  • @simbaramadhan1882
    @simbaramadhan1882 9 місяців тому

    Mashallah Ila nitafurah kukawa na munakasha

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt 3 місяці тому

    Shekh Abul fadhil Qaasim mafuta Qaasim Hana muda wa kukujibuni

    • @OmarAbdalla-ug5yg
      @OmarAbdalla-ug5yg 3 місяці тому +1

      sio hana muda..Hana kauli za wanachuoni za kumfnya azngmze katika hili kma anlo angelijbu tu...Dhulma kaifnya na bado hkumfkia hta kwa mustwi wa kielmu alakhy abuu muawiyah رحمه الله.

    • @allymtito8117
      @allymtito8117 3 місяці тому

      Kweli kabisa​@@OmarAbdalla-ug5yg

  • @mohamedijuma9888
    @mohamedijuma9888 9 місяців тому

    Kiongozi wafitina katika wasuna niqasimu mafuta kwajifanya yeye anajua kila kitu au yeye ndio awe kiongozi wakila jambo angoze familia yake au nakabila lake

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI 9 місяців тому +1

    adabu ipi mbele ya haqi

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 9 місяців тому +5

    Siku hizi kila mtu akitaka afahamike basi anamsema Shekh Abulfadhil Qassim Mafuta, ndo mana shekh akiwanyamazia huwa wanaumia sana. Nyinyi fundisheni dini ya Allah kwa ikhrasi kwa kufuata quran na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia basi Allah atawainua

    • @KASSIMFUNDSIMU
      @KASSIMFUNDSIMU 9 місяців тому

      Twayyib

    • @AhmedMohamed-un4zh
      @AhmedMohamed-un4zh 8 місяців тому +2

      Misingi hiyo ndio alianza nazo bwana mafuta alivyotoka Yemen
      Haya ndio matokeo Yake
      Hao ni vijana wake ale matunda Sasa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 3 місяці тому +1

      Qassimu ni hizbu salaf na anajifanya anajuwa zaidy

    • @abubakarilugina-zw4gt
      @abubakarilugina-zw4gt 3 місяці тому

      HAJAAWIRA ABUU MUAWIYA , HAJURY NA WAFUASI WAKE

    • @UssiIddi-s3d
      @UssiIddi-s3d 3 місяці тому

      Wewe ni mjinga kumbe​@@abubakarilugina-zw4gt

  • @mussakhamis-g8c
    @mussakhamis-g8c 9 місяців тому

    TATIZO LENU UCHAAMUNGU UMEKOSEKANA MUNGELIKUA WACHAAMUNGU MUSINGEFANYA MAMBO YA KIPUUZI

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 9 місяців тому +1

    Sheitwn anawachezea tu nyinyi bila kujijua nyote

  • @BakariOmari-tr8cy
    @BakariOmari-tr8cy 3 місяці тому

    Kwanza kabisa hii sio adabu kumuita shekhe qasm et kwanini qasim sema kwanini sheikh qasim mafuta vp nyinyi

  • @salehaljadidi8206
    @salehaljadidi8206 7 місяців тому

    Kwa sababu Jina lake ni Kassim Mafuta ya nguruwe na tokea lini nguruwe akakutana na Waislamu??

  • @mohamedimcheni2068
    @mohamedimcheni2068 9 місяців тому

    poleni kwa mwenendo mbaya

  • @MuhammadIbrahim-w8u1u
    @MuhammadIbrahim-w8u1u 8 місяців тому

    Ww unauhakikagan kama abuu fadhli kakataa kikaona huyohajaawirah abuu fadhli nakilichokuabara usiwajibuhao

  • @ahmedrage9664
    @ahmedrage9664 9 місяців тому

    Wavijana Hawa yaman hawana akhlaaaq hata kidogo

  • @MirajiAli-tq6id
    @MirajiAli-tq6id 9 місяців тому

    Kwadawa salafiya kwa Tanzania sheikhye kasim mafuta

  • @khamisali5978
    @khamisali5978 9 місяців тому

    Sio lazima kukutana nae ati,yeye eandelee na yake na watu wana yao

  • @abuurauzwat1006
    @abuurauzwat1006 8 місяців тому

    MUAWIYA KATAFUTE MAHARAGWE UUZE BHANAA WEE ACHA FUJO BHANAA.

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI 8 місяців тому

    muhammad imamu juzi ka swalia mashia😂 walio kufa Bahraini mwalimu wako ka swalia swala ya janaza mashia 😂😂😂 wew je

  • @binaamour318
    @binaamour318 9 місяців тому

    Et mnawapandisha darja masufi? Hivi nyinyi kawandisha darja Nani? Mpaka ukajua ww kwamba mukojuu?

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 9 місяців тому +2

    Ss hatumruhusu sheikh wetu Qasim mafuta kukaa na watoto wadogo wenye chuki na hii dawa.
    Sheikh Abu muawia tunakuomba umuache tna msaidie katika dawa usimuangushe.tunataka muendeshe hii dawa tu salafiyya.

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 9 місяців тому +2

      Waondoe kasor zao kwanz ndpo washrikiane nje ya hpo itkuw hiv hiv kla cku

    • @shamsuddin4582
      @shamsuddin4582 9 місяців тому +2

      Akae nae tu wazungumze asijikweze kwa kuwa si ktk sifa ya asalaf swaleh

    • @HamadJuma-es8pw
      @HamadJuma-es8pw 9 місяців тому +1

      Mbona sheikh kassim mafuta umemuandika qassim mafuta lakin sheikh abuu muawiyyah ameandikwa sheikh abuu muawiyyah kwenye hicho kichwa cha habar .kwani sheikh qassim yeye sio sheikh .Fanyeni uadilifu rekebisheni hapo kama manapenda haqqi.baraka allah fiikum.

    • @JamalAbdallah-m1o
      @JamalAbdallah-m1o 9 місяців тому

      @@HamadJuma-es8pw hio ndio tabia ya kiwahabi (kibri) kujitukuza na kudharau wengine

    • @NyanyaMbuli
      @NyanyaMbuli 9 місяців тому

      SIKUZOTE HAQI INATAKIWA ISEMWE

  • @khamishabibu2505
    @khamishabibu2505 9 місяців тому

    Khamis Habib

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 9 місяців тому

    tokeni kwenye huwo upuuzi wa abdul wahab njoon kwenye haq ya ahlul bait as

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 9 місяців тому

    kwani ukiwa si salafi unaenda Motoni? hawa jamaa ata siwaelewi hii ndio Dini?

  • @NyanyaMbuli
    @NyanyaMbuli 9 місяців тому

    KASIMU MAFUTA HAMUWEZI ABUU MUAAWIA kielimu

  • @AhmednurHussein-m2s
    @AhmednurHussein-m2s 5 місяців тому

    Hana mda wa kupoteza kwa uyo abu muawiya

  • @KhubeybJandaal-uz4oo
    @KhubeybJandaal-uz4oo 9 місяців тому +1

    Kuwasikiliza salaf bora nimsikilize Tupac

    • @KhalfanSeif-r7p
      @KhalfanSeif-r7p 9 місяців тому

      Baba umezungumza kweli mana Hawa. Mara wanakupoteza Kwa misimamo ya ovyo lakini tupaki utatubia baadae ila Hawa misimamo Yao utaona kama ni dini hutotubia Bali utaendelea kuwadharau waislam wenzio bure

    • @AkidaSimba-b1b
      @AkidaSimba-b1b 8 місяців тому

      kassim mafuta acha kibr elimu yeny ucha mungu

  • @MusaMkata
    @MusaMkata 9 місяців тому

    Eeeh mbn kama hajawira huyu kjn

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 3 місяці тому

    Bwana shekh qasimu bin mafuta amemdhurumu shekh Abuu mu3wiya hasani ibnu awadh ALLAH amraham .mpaka umauty umemfikia . ALLAH amswamehe na ALLAH amuongoze bwana mafuta kwa chuki zake kwa watu wanaojinasbisha na sunnah

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 9 місяців тому +2

    HILO BANGO LENYEWE TU LINAJULISHA JUU YA UTOVU WA ADABU

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 3 місяці тому

      Kijana una taasub na shekh wako hizbu salaf mafuta bin oil

    • @MALELEMBARIMO
      @MALELEMBARIMO 2 місяці тому

      Uwe na adabu na masheikh

  • @tanzaniaonmzamiloon8627
    @tanzaniaonmzamiloon8627 9 місяців тому +1

    Yani mtu wa kisalafi akijua kiarabu na akisoma baadhi ya vitabu basi anajiona kila kitu anakijua

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 9 місяців тому

    Mahizbi wa kihajaawira wameona Daawa yao yapooza kwa kukisa ikhlass saii wanamfatilia Sheikh Qaasim ili kutafuta kuskika
    ALLAH awaongoze enyi mahizbi

    • @abuubakarshabanabuubakar5115
      @abuubakarshabanabuubakar5115 9 місяців тому

      Hizbi wewe hebu funga mdomo wako mafuta Hizbi na ndio aliogawa swafu ya masalafi acha kufata matamanio

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 9 місяців тому

      @@abuubakarshabanabuubakar5115
      Hehe ATI Abu Muawiyah Salafi
      Kule Zanzibar na group lake ni kina Bachu Dr Islam na Barahyani ndio safu ya masalafi yenu hiyo mahizbi Wakubwa
      ALLAH amewafedhehesha Daawa yenu Haina Qabul saii mwanza tena fitna najua munasubiri Abul fadhli ajibu lkn hilo sahau tushabainikiwa na uhizbiya wenu na kushirikiana kwenu na aswari
      Kwa hiyo sahau

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 3 місяці тому

      ​@@abuubakarshabanabuubakar5115kabisaa kaka qassimu mafuta ni hizbu na mtu yeyote mwenye hoja yeye nguvu anamkimbia kamkimbia shekh muawiya Maana alikuwa akimuogopa

    • @abuufarha6562
      @abuufarha6562 2 місяці тому

      Mafuta hizbi acheni ushabiki fuatilieni hoja nyie mahzbi

  • @HajiHaji-r6n
    @HajiHaji-r6n 9 місяців тому +3

    Sheikh Abu muawia endelea kufanya dawa Allah atakulipa ila usimkamie sheikh Qasim mafuta nyiny nyote watu wakubwa .

    • @AmaniKepa-s9c
      @AmaniKepa-s9c 9 місяців тому +1

      Mche Allah na kuwafananisha watu abuu muwaawiya hawezi kuwa sawa na shekh qassim mafuta abuu Muawiya yupo chini kielim shekh qassim mafuta yupo juu mbali mno na hizo ni fadhila za Allah

    • @yusuphkhan8963
      @yusuphkhan8963 9 місяців тому

      😂😂😂😂 umetumia kipimo gan?

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 9 місяців тому

      Hawana ukubwa wowote mawahabi ni magaidi tu wavuruga amani wazee wa kujilipua alafu wameshindwa kipigana gaza kumsaidia palestina

    • @MirajiAli-tq6id
      @MirajiAli-tq6id 9 місяців тому

      Sheikhye abu muawia wambiye 1 walendugu zako wamazindde kilekituwa kiliisha wambiye nizima kwa Allah mbona hafundisha ilimu

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 3 місяці тому

      ​Hahaha elimu ganiy anayomzidi shekh abuu muawiya rahimahullah acha ushabiki wewee hizbu salaf wa pongwee

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 9 місяців тому +2

    MADAKHILA WANA KULANA WAO KWA WAO 😂😂😂😂😂😂😂.

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 3 місяці тому

    Hili ni hizibi

    • @abubakarilugina-zw4gt
      @abubakarilugina-zw4gt 3 місяці тому

      Hilo Bango linajulisha Moja Kwa Moja namna ninyi mahajawira hamna Adabu Kwa mashekh

  • @AbiyolaSaidi-qe2ku
    @AbiyolaSaidi-qe2ku 9 місяців тому

    Kwan huy muawy nd nn

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt 9 місяців тому

    Shekh Abul fadhil Hana muda wa kukujibuni Enyi Hajaawira

  • @tanzaniaonmzamiloon8627
    @tanzaniaonmzamiloon8627 9 місяців тому

    Kawaida yenu kila mtu nimwanachuoni

  • @abubakarilugina-zw4gt
    @abubakarilugina-zw4gt 3 місяці тому

    HAJAAWIRA KIPOTE KIPOTEVU KILICHOASISIWA NA SHEKH YAHYA HAJUUR
    ALLAH AMUONGOZI
    Midomo yenu inanuka Kwa kuwatukana wanachuoni na ndio msingi wa da'awa yenu....Allah awaongoze eny mahiizbi wa kihajawira

  • @jailaniramadhan1788
    @jailaniramadhan1788 9 місяців тому

    mawahab wapuuuzi tuu

  • @SirajuChilindo-b4y
    @SirajuChilindo-b4y 9 місяців тому

    Ahahhaaah mnafurahisha mawahabi, hii Ni dalili ya kukosa radhi

  • @JamalAbdallah-m1o
    @JamalAbdallah-m1o 9 місяців тому

    Sio Mafuta tu, kwa kawaida mawahabi wote wanakwepa kukutana na maulamaa wa twariqa, alijaribu mtt wa bachu tu na kajikojolea akakimbia

    • @HajiHaji-r6n
      @HajiHaji-r6n 9 місяців тому

      Usemavo ww ila sheikh Qasim mafuta eshafanya minaqasha na wakubwa watatu niwajuao mm ktka masufi ila sio ile minaqasha ya camera.

  • @أبوثعلبةالزنجباريالشافعي

    Sisi hatushangai sana kusema uongo wewe maana ni kawaida kwako, Na ulishawahi kusema kuwa wewe huwezi kuacha uongo maana umerithi kutoka kwa mama yako,
    Na ukisikiliza tu hayo maneno unabainikiwa kuwa huyu mtu ni muongo na ni maneno yaliokosa adabu na heshima
    Allah akuongoze

    • @KhalfanSeif-r7p
      @KhalfanSeif-r7p 9 місяців тому

      Wewe chiz maneno matamu haya we unasema ansema uongo pumbav kassim mafuta simpendi ni kibri na na ni ulamaau sssuiiiiiiii

    • @مبغضالبدع-ع9ص
      @مبغضالبدع-ع9ص 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂 mbona hasira kaka??? Alisema kweli yeye ni muongo! Na amerithi uongo kweli...​@@KhalfanSeif-r7p

    • @AliDaud-si3fg
      @AliDaud-si3fg 9 місяців тому

      weka link

    • @yahyarashid8038
      @yahyarashid8038 3 місяці тому

      Kaka ukijuwa kama ulio andika ni kweli bas umefaulu na kama ni kwachuki wallahi utaenda kujibu mbele ya Allah na huna jibu rudi kwa Allah umuombe msamaha kabla hujafa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 3 місяці тому

      Wewee ni hizbu salaf ndo mulivyofundishwa na shekh wenuu kusoma uongo