Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Kwanini nilimjibu Sheikh Mselem bin Aly, majibu kwa Ibrahim Juma wa Pemba // Ust Haji Upepo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 207

  • @sheikhyusufdiwan2489
    @sheikhyusufdiwan2489 Місяць тому +7

    جزاك الله خيرا اخي

  • @user-nl3vn6dg6j
    @user-nl3vn6dg6j Місяць тому +5

    Inshallah Allah amlinde SHEKH mselem bin Ally,
    Ila haji upepo kaa ukijua kua SHEKH mselemu hatokujibu

    • @oss_oss151
      @oss_oss151 Місяць тому

      allāhumma ameen

    • @omaryjumbe14v8
      @omaryjumbe14v8 Місяць тому

      Hata asipojibu Ujumbe umefika hatutaki ujinga

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому

      ​@@omaryjumbe14v8huyo haji upapa ana ujumbe gani, ni jahil.

    • @omaryjumbe14v8
      @omaryjumbe14v8 29 днів тому

      @@mohdkhatib223 hehehehehe Ulivyojibu tu nimejua kuwa wewe ni JAHILI🤣🤣🤣🤣

  • @thamani5842
    @thamani5842 Місяць тому +3

    Jazakallahu lkheir Sheikh Haji Upepo

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 Місяць тому +6

    Kiukweli me nakukubali sana Sheikh Haji.

  • @minaziparasu9074
    @minaziparasu9074 Місяць тому +5

    Mashaallah safisana ustadh Haji watakuelewa tuu lnshaallah

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 3 дні тому

    Allah akuhifadhi ustadh Haji Upepo

  • @user-ou2qr1sb9x
    @user-ou2qr1sb9x Місяць тому +3

    Allah akuhifazi na hasadi zabachu

  • @RashidJuma-rl4dj
    @RashidJuma-rl4dj Місяць тому +2

    بارك الله فيك 🎧

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 Місяць тому +1

    Endelea Shekh Haji wakiweka ugoko sisi tunaweka chuma, Allah akuhifadhi

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt Місяць тому +1

    Oooh Allah wajaalie hawa mashekhe maisha maerfu yenye fanaka Kwa kazi wanayo tufundisha

  • @dulapele7868
    @dulapele7868 28 днів тому

    HAJI UPEPO SHEKH MSELEM HATOKUJIB LOLOTE ALLAH AMUHIFADH SHEKH MSELEM TUNAMPENDA SAN

  • @sama-_8368
    @sama-_8368 Місяць тому +3

    Akhy unafanya kazi kubwa sana Allah akulipe khery

    • @KhamisAbdallakhamis
      @KhamisAbdallakhamis 28 днів тому

      Uyo upepo nikatika majuhaal wakubwa yani ,sh mselem ni mtovu adabu

    • @KhamisAbdallakhamis
      @KhamisAbdallakhamis 28 днів тому

      Ukimfuatilia ,unaona mashehe wote hawajui ,labda yeye ,atetea masufi ,wamefanya mema ,ata fir ,aun kwani hajawahi kufanya wema?

    • @KhamisAbdallakhamis
      @KhamisAbdallakhamis 28 днів тому

      Allah amlipe bakora labda sh haji,mtetezi wa bidaa ,na shirki huyooo

  • @hkcode1610
    @hkcode1610 29 днів тому

    Allah atusamehe sote, hakika Binadamu sote ni wakosefu na na dhaifu

  • @Muswlih
    @Muswlih 27 днів тому

    ALLAH AKUVUNJE UTI WA MGONGO

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 Місяць тому +1

    Kwa kuelimishana hivi kwenye mitandao daima mizozo haitosha sababu kila mtu anataka onekane yeye ndio msomi apate comment

  • @rashidhemed1444
    @rashidhemed1444 Місяць тому +5

    Ustadh warekebishe hata iwe nani kama kakosea Allah akuweke shekhe upepo

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa Місяць тому

      Uyo jamaaa hajuw majukumu yake anafanya tarabu kazi ya daawa haijuwi yeye maisha yake yote ataki kujibu watu kukosowa watu afanye daawa zambi mitaani watu wanazini wanalewa washirikina mwache akalinganie aache ufala

  • @Qur-an
    @Qur-an Місяць тому +3

    Jazaka llah ustadh nakupenda kwaajili ya Allah

  • @yunusabubakar6862
    @yunusabubakar6862 Місяць тому +2

    Huyu anatafuta umaarufu kwa nguvu Wallah

  • @nasrarichadi2278
    @nasrarichadi2278 Місяць тому

    Kwa kweli unajitahidi allahu akupe kiona mbali akupe afya njema uzidi kuelimisha

  • @maulidimuhani
    @maulidimuhani Місяць тому +4

    Haji unasema watu waliokuja Leo wakasoma vitabu 3, sasa wewe na Ibn fauzani ni nani aliekuja Leo, na akasoma vitabu 3, tumiaga Akili basi😢😢😢

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 Місяць тому +2

      Hujamuelewa inaonyesha wew ndy hujatumia akili, yeye kasema kumanisha Fauzan niwaleo na Salaf Swaleh ni wazamani kama wakina Ibn A'bbas na wengine na huo ndy ukweli, Sheikh Hajj yupo sawa ila ninyi Mawahabi umliozuka 1115 h ndy mleta fujo.

    • @user-om7ov3ji3r
      @user-om7ov3ji3r Місяць тому +1

      Naww ucwe zuzu tofautisha baina ya Salafy na Salafiyya Sheikh Fauzan cy Salaf bl ni Salafiyya ibn Abbas ni Salafi Asalafi ni maswahaba Assalafiyyat ni wale wanofata nyayo za masahaba ktk ibadazao

    • @omaryjumbe14v8
      @omaryjumbe14v8 Місяць тому +1

      Kwani yeye huyo Fauzani ni Malaika hakosei we vipi wewe

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Місяць тому

      Huyu haji upapa anatafuta umaarufu, hana elimu yoyote

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 29 днів тому

      ​@@mohdkhatib223sio umarufu anaongea kweli na hoja yuwakutole

  • @SalumSharif-p7y
    @SalumSharif-p7y Місяць тому +2

    Sheikh huna adabu ww kwa elimu gan ulionay y kumzidi swaleh fauzan حفظه الله

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 Місяць тому

      Kwani ni muhali kumzidi fauzani kielimu?
      Kwan fauzan ni mtume anapokea wahyi?

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 Місяць тому

      Fauzan ni mtume au binadamu akikosea awekwe sawa tu.Si mtume hata kama ana elimu kiasi gani.Akipotosha mtu yoyote asi❤❤wwatchwe.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Місяць тому +1

      Fauzani ni jahili tu wakiwahabi kama walivyo majahili wengine

    • @user-kf6po4ux2n
      @user-kf6po4ux2n Місяць тому

      Ndugu yangu fawzan si mtume na anafaa kikosolewa lakini fikiria uwezo wa elimu wa fauzn na uwezo wa elimu haji upepo vipi mtu wa form four Ana uwezo wakumkosoa professor​@@mzeerajab9154

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 Місяць тому

      Kwahiyo Fauzani hakosei? kama wakina Imamu Shafii walisema pindi itapo swihi Hadith huo ndy mwenendo wangu , yaan (hacheni maneno yangu) alijuwa kukosea kupo Sasa Fauzani we waona tabu kukosea nakusolewa? au wataka mtu Maarufu ndy amkosoe ndy uone sawa?
      We angalia kamkosoa kwa hoja gani inamashiko au laa bas, sasa ukianza Ooo ! we Haji kwaelimu gani ulionayo mpaka wamkosoa, Sasa ulofundisha ww au Bibi yako hacheni ujinga huo.

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 Місяць тому

    Masshaalla sheikh nilicho kielewa kwako na diwani ni ufasaha wa lugha ila kwa wahabi woote wakishaona jina kubwa la sheikh nikuchua nukuu basi hawaangali njia alio pita sheikh

  • @aqthamsalim6775
    @aqthamsalim6775 28 днів тому

    Huna Heshima ndugu yngu lkn Allah atakulipa kwa nia yko kma ni umaarufu bc utaupata sana

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 Місяць тому

    Shekh Mselem, hajawahi kuwakosea wanavyuoni ila wewe Haji Upapa una elementi za ushoga.
    Wewe mshenzi haji upapa ulifika kuwakufurisha akina ibn Taimiyah.

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo Місяць тому

    Huyu kijana Kwa kweli Hana adabu hata chembe na inaonesha adabu zske zinaishia pale anapovaa chupi yake maneno machafu ndio elimu yake lkn tumuombe Allah aurekebishe mdomo wake amuoneshe njia sahihi asiwe na pote na Masufi na amuondolee kibri cha ubaguzi azungumze yaliyo men's ya kielimu na sio Tosi za Pemba!na sijuwi Pemba imemfanya nini kwa kweli!maana hata hao Masufi wa Pemba hawatamuelewa!

  • @masoudkhamisthaiboxing1011
    @masoudkhamisthaiboxing1011 27 днів тому

    Huyu kweli upepo

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya Місяць тому +2

    Binafsi shekhe imenyooka sana Alla akuhifadhi

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Місяць тому

    Mawahabi ni watu wa bidaa kubwa kuliko pote lolote baya, fikiria kufru zao, hawa wamempa mwili mungu, wanasema ana mikono miguu kichwa, pia wanasema anachoka, pia wanasema kuna Tauhid 3, wanasema anabebwa na malaika 4 mawahabi ni shida na ni mtihani katika kaumu hii ya sasa

  • @MohdSuleiman-fw2un
    @MohdSuleiman-fw2un Місяць тому

    Ebwana weee sheikh mselem na wengine wote ni binaadamu hakuna alokua hakosei na pia kila mtu anaufahamu wake pia hakuna mkamilifu mengine tumuachie Allah sote pia waislam ni ndugu ayo mambo hayafai No bady perecect

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 Місяць тому

    Haji upepo acha kuzungumza upepo maana hata muhamadi Abduliwahabi humjuyi maana mnapenda shiriki kwasababu lengo leno mnachukiya wanayo somesha tahidi

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo Місяць тому

    Wewe unahitaji lugha kama unazotumia wewe!na kama wewe ulivyomtoa adabu Sheikh Mselem!na unatafuta sifa kupitia wanavyuoni!lkn hatokujibu utajibiwa na watu saizi yako!ni huo Upemba umekujaje hapo wewe mjinga mshenzi wa Unguja

  • @hassanally446
    @hassanally446 Місяць тому +1

    Wewe upepo mwenyewe unatumia kauli mbaya, unamwambia mtu kashiba tosi za pemba na vitobwesho, usijisahau bwana, we hujachanjwa hata kiwembe kwaajili ya dini, unazungumza kitaasisi na wala sio kodini, na hicho kiburi ondoa

  • @mohammedsalehsharyani6973
    @mohammedsalehsharyani6973 Місяць тому +2

    Sheikh Haji Upepo:
    Hebu sikiliza video yako hii kuanzia hapo dakika ya 8.
    Unasema:
    ' Ukishasiba tosi za Pemba na vitobwesha...'
    Unadhani hii ni kauli nzuri na ya kuleta umoja katika Uislam?
    Shukran

  • @mohamedronka8793
    @mohamedronka8793 Місяць тому

    Jamani mashekhe mnashida kweli kweli ndomana mtume kasema wasomi wataingia motoni kwa kuhusudiana, mbona saivi kila shekhe anapaaza sauti kumkosoa mwenzake? Yani imekuwa bora sisi tusiokua na elimu.

  • @kitosio
    @kitosio Місяць тому

    Kama katovuka adabu Sh. Msellem basi wewe ni ndio zaidi. Na kwa hatuwa hizo huogopi maapizo ya ALLAH. SH. DEDES kasema vipi ambaye ni SHEKHE wako mkubwa wa Kaadiria.

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 Місяць тому

    Eh, mashekh zetu mnatupeleka wapi ? Mbona mnatukana hadharani kama watu wasio na elimu !! Ikiwa maimamu mnafanya hivyo je maamuma watafanya vipi. Ya rabbi tujaalie mwisho mwema.

  • @MohammedAlnabakhany
    @MohammedAlnabakhany Місяць тому

    Mimi nimejifunza kitu kutoka kwa shekhe Mselem, kwanza mtu mjingamjinga hawezi kumfahamu shekhe mselemu kirahisi ila shekhe mselem namkubali sana na Allah atamlinda duniani na akhera

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa Місяць тому

      Ni kweli kabisa ni watu ambao maisha yao ni kumtangazia ALLAH mjomb wallah jamaa ukimskiliza unazidisha iman ila hawa hji upepo ni watu wakugombanisha watu sio watu wa kumtangazia ALLAH bali kuuharibu uislam

  • @kitosio
    @kitosio Місяць тому

    Sh. Msellem, Sh. Mziwanda , Mufti wa Misri, Wote hao ni wenu. Sasa Hawa hawana elimu , una elimu wewe muuzaji Ndizi.

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor Місяць тому +2

    الجزاء من جنس العمل SHEIKH endelea maana mawahabi walitamba siku nyingi wakiwaaminisha watu ni wao tu wapo kwenye hakki

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Місяць тому

      @@MuhidiniNassor Kweli kabisa hata mimi waliniteka niliwai kuswali nao idi za kuwai mara kadhaa
      Kwa kelele zao mbui za "BAKWATA....." mara "HADI ASEME MUFTI... "
      Baada ya akina Abuu Idi na akina Haji na akina Uweso na Walid na wengine wengi bila kumsahau Kambodia Allah amrehemu kuanza kuwajibu na kubainisha ujanja ujanja wao
      Sasa nimeona Twarika ndio njia ya sawa richa y kelele za hawa ndugu zetu
      Mwenye hoja aje japo mimi mwanafunz lakini mawahabi nawaweza UFAHAMU SHIDA KUBWA KWAO
      ALLAH ATURUZUKU UFAHAMU na wao ili warudi kwenye njia ya sawa waache kukufurisha wenzao kwa ufahamu wao mbaya.

    • @KhamisAbdallakhamis
      @KhamisAbdallakhamis 28 днів тому

      Sasa waonaje. Mawahabi ikiwa wako kwenye batwili ,onyesha batwili yao

  • @Najdi358
    @Najdi358 Місяць тому

    Hiv kwan huyu upepo kazi yake ni kutoa mawaidha au ni kuwakosoa kila mmoja, anajiona yy ndio mwenye elimu kuliko woote na anajihisi hakosei, yaan ikifika hatua ikisha Mkolea namna hiii ya kuona kila mmoja hafai, hata Mtume atakuja kumkamata soa huyu

  • @amohammed3390
    @amohammed3390 Місяць тому

    Aloo weye ndio huna adabu. Yaani Weye unamkosea adabu Sheikh Msellem. Astaghfirullah. Weye huna adabu wataka bakora hasa

    • @alihabib7640
      @alihabib7640 Місяць тому

      Tena huyu Hana elimu anajikomba tu Hana ishu

  • @ibrahimomarhamad7930
    @ibrahimomarhamad7930 Місяць тому

    Unajiwa haji upepo wakati mwengine nakukubali

  • @user-nl3vn6dg6j
    @user-nl3vn6dg6j Місяць тому

    Kuwa makini ndugu yangu haji upepo. SHEKH mselem hajamtaja mtu na alipozungumzia kadhia ya arafa alisisitiza kua huu ni msimamo wake yy .
    Tujihadhari na kula nyama za wanawachuoni kisa tu kuna uhuru wakutumia youtube. Allah ndie anaejua kilichomo kwenye nafsi zetu na kilicho kwenye nafsi ya sheikh mselem

  • @MkindiRama-lp6hy
    @MkindiRama-lp6hy Місяць тому

    Maaashaallah

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg Місяць тому +1

    Wewe haji upepo unatovukia watu adabu na utàpata tàbu sana heshima yako wewe uko wp

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 Місяць тому

    Yni ww haji upepo mpotoshaji sana na unaetaka sifa mitandaonitu hauna lolote , hapo sh.Mselem ametumia busara kubwa kwa anae elewaanaelewa.

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 Місяць тому

    Haji Upapa usipaniki, ni kweli akili zako haziko sawa

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya Місяць тому +2

    Mkosoe kwa hoja

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Місяць тому

    bwamdogo kutumia kauli ya shegh katovukwa adabu: inaonekana wazi heshima huna na wazee wko sijui wako mbali.....achana na hii habar au hichi kipindi na ukifanya masihara utaumbuka

  • @AliMohd-sp1bd
    @AliMohd-sp1bd 26 днів тому

    Kasome shekh, bado kabisa. Hujawa huna hata akili za kutafutia kijio.

  • @kitosio
    @kitosio Місяць тому

    Ndio Kukosa HESHIMA ya Dini. Msellem. Jitahidini tusiwe wajinga. Ukimuona Mtu Anakosea huo ndio ukamilifu wa mwanadamu. Sasa ndio hukosei ila anayejinasibu kuwa yeye yupo sawa kila kitu zama hizi huyo atakuwa mjinga. Akili zake haziko sawa, hajakosea.yuko sahihi.

  • @faharitv5763
    @faharitv5763 Місяць тому +1

    wanaowambia wenzao hawana adabu yeye huwa hana adabu zaidi

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 Місяць тому

    طلبُ العلمُ 😂😂😂😂😂

  • @JechaSakim
    @JechaSakim Місяць тому +1

    Alicho kisema msellem ni uongo kwani? Endelea tu na chuki dhidi ya watu wa sunna

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 Місяць тому

      Eti watu wa sunna. Mawahabi tangulini wakawa watu wa sunna

  • @Grataaaaa
    @Grataaaaa Місяць тому

    Weee haji upepo hufanyi kazi ya mtume muhammad kazi wew ni tarabu hulinganii wetu yani ni ambaye akili yako finyu kabisa watu wanafanaya muhanga wadini wanafanya daawa wewe unabaki kueka mipasho sijawahi kuona shekh asiye juwa majukumu yake kwa kumtangazia ALLAH kwa wasio mjuwa na wasiomuabudu acha kazi ya dawa huiwezi kaimbe tarabu naix nd fani yako brooo wala uxjifanye unaelim huna chochote

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Місяць тому

    Sheikh Shafi usiwache hawa mawahabi wanyoshe mpaka waelewe

  • @YahyaKombo-j3g
    @YahyaKombo-j3g Місяць тому +1

    Shekh haji umekosea sna kma unataka nikupe elimu mm Niko tayar

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 Місяць тому +1

      Amekosea nini nawew ? haya nipe mimi hiyo I'lmu uliyotaka kumpatia tuone.

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Місяць тому

      @@jumamasoud1188 Maashaallah

  • @MuhidiniNassor
    @MuhidiniNassor Місяць тому +1

    Sijawahi kukuchukia sheikh kwa sababu unawazindua wanaojina wanajua kumbe تمهيد

  • @masoudkhamisthaiboxing1011
    @masoudkhamisthaiboxing1011 27 днів тому

    Huyu hana heshima na adabu kabisa jiangalie kijana

  • @Mh_69rz
    @Mh_69rz Місяць тому

    Huyu mtu na sio sheikh hajulikani yuko wapi? Mwache akasome kwanza.

  • @user-oz6oo3qw9u
    @user-oz6oo3qw9u Місяць тому

    Ukweli uko palepale swala la dini hata wazee wanapokosea ni swala la kisheria kukumbushana sio KUSEMA watu waliokuja leo

  • @abuunusaibayussuf4829
    @abuunusaibayussuf4829 Місяць тому

    Subhaanallah wew upepo ndio wamkosoa sheikh fauzani dah qiyama kipo karibu

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya Місяць тому

    Kukosoa kuzuri toeni kilp na nyinyi kumjibu sh haji sio kwenye comment to mnaogopa nni kama elim mnayo😅

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g Місяць тому +1

    HAJI UPEPO ENDELEA NA JUHUDI ACHANA NA WAROPOKAJI

  • @badrukhamis-rx1yu
    @badrukhamis-rx1yu Місяць тому

    Mie nahisi haji upepo msimwite shekh

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Місяць тому

      @@badrukhamis-rx1yu hisia zako haziko sawa

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb Місяць тому

    Maashaallah sh yote uliyoyaongea ni ya kweli Allah akulipe ziada

  • @abdalaomarsaid1465
    @abdalaomarsaid1465 Місяць тому

    Hufai.atakuitwa.sheh.kwasababu.unahekima..alafu.umesema.sawa.lakini.hujielewi.na.hujamfahamu.sheh.mselem.nenda.kwasheh.mselemu.

  • @abughaneem9220
    @abughaneem9220 Місяць тому

    Sasa wewe unao uwezo wakumkosowa fauzani wewe chunga ulimi wako kijana hatakama utamema fauzani anawasema mashekh wa kisufi mwenedo wenu m baya mnapenda shiriki

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp Місяць тому +1

    Umechelewa😂😂😂😂😂 kundi limebadilikaaa😅

    • @sama-_8368
      @sama-_8368 Місяць тому

      @@AllyAhmad-zg2yp Kwan kundi likigeukia kwenye njia mbaya aliye chelewa ni mtoa nasaha au wewe uliye kwenye njia mbaya?
      Juu ya mjumbe ni kufikisha ujumbe tu kuongoa ni kazi ya Allah mwenyewe.

  • @KhamisNeymar
    @KhamisNeymar Місяць тому

    Kiufupi ustaz Huna hoja za msingi maan ww mwenyewe pia unawatovukia adabu na kuwatukan watu

  • @NassorSalekhe
    @NassorSalekhe Місяць тому

    Ww mjnga kwn ww umekamilika mpumbavu wwe shekh mselem n mtovu wa adabu km kakosea ww mwambie mzee wetu hpo umeteleza kidgo unamita mtovu wa adabu kuku wewe

  • @iliyasabakari
    @iliyasabakari 23 дні тому

    Huyu atafutiwe mohd bachu tu akili zitamkaa sawa.

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo Місяць тому

    Kweli elimu yake ni ndogo tena Sana sanaaaa Tu!wewe usilale hasa lkn wewe ni mweupe mweupeee!

  • @NassorSalekhe
    @NassorSalekhe Місяць тому

    Ndungu ygu huwz kumita shekh mselem mtovu waafabu Yule n binadabu km ww na ni mzee wko

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 Місяць тому

      Akifanya utovu wa adabu ataambiwa kuwa hana adabu Mselem ni binaadam kama wengine na anapokosea ataambiwa kakosea anakusolewa Shafii ijekuwa Mselem yeye nani?

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb Місяць тому +1

    Ustadh tupo pmj xn bega kwa bega mawahabi mtihan

  • @khamisjuma8813
    @khamisjuma8813 Місяць тому

    Mawahabi washatubainishia bidaa na sunna. Na kama wewe upepo una chuki na uwahabi kwa kuwa wengi wamesilimu kutoka kwenye usufi kuingia ktk usalafy basi utaumia sana maana watu wengi wameshatoka huko sasa.

  • @NassorSalekhe
    @NassorSalekhe Місяць тому

    Ww kijana ndie huna adabu hta za kuvalia nguo kwnza huyu mshenzi ypo wpi

  • @AshaMussa-zp2no
    @AshaMussa-zp2no Місяць тому

    Ww ni mtu wa kutumwa shekh unajipendekeza kwa serekali

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo Місяць тому

    Adabu inaonesha hata Baba yako hakukufunza huna uwezo kielimu na hao Masufi kwani ndio walioteremshiwa dini?huna hoja eti wazee wetu!kweli wewe ni Baba wa Wajinga!

  • @JabuUssi
    @JabuUssi Місяць тому

    Haji upepe soma Kwanza ndipo utafahamu kunanini ktk barazanji

  • @user-nl3vn6dg6j
    @user-nl3vn6dg6j Місяць тому

    SHEKH mselem Allah amemjaalia hekma sana

    • @jumamasoud1188
      @jumamasoud1188 Місяць тому

      Hana hekma yoyote kwenye baadhi ya mambo.

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 Місяць тому

    Naunavyosema ameshiba tosi za pemba je hayo cio matucii.. acha ujinga.

  • @user-vn3bd2pc8k
    @user-vn3bd2pc8k Місяць тому

    Yaan wew haj it means wew upo sahihi kweny Kila jambo wew ndio haupo sawa

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 Місяць тому

    Haji upapa huna elimu unatafuta umaarufu

  • @ahmedabry293
    @ahmedabry293 Місяць тому

    Mwenye kutaka ukubwa Allah humshusha.. Wewe unatafuta sijui umaarufu Allah ndio anajua nia yako.. Ila tafuta njia nyengine ya kurekebisha watu.. Hii njia sio nzuri kwa sababu ni kama kuna ushabiki wa jambo fulani.. Sh msellem alisema wazi kuwa huo ndio msimamo wake wala hakumkejeli mtu.. Wewe ungetetea msimamo wako.. Adabu huna wewe unatafuta Kiki lakini hewallah Allah anakuona na ndio atakaekulipa..

  • @sharifgojo878
    @sharifgojo878 Місяць тому +1

    Hajji ungeachana nae huyo

  • @hijahamadi5793
    @hijahamadi5793 Місяць тому

    Ingalikua haji sio jeuri na mwenye fikra ya kwamba kila anayekwenda kinyume na fikra yake ni wahabi na hana akili basi mimi ningemshuri mambo mawili:: -
    1. Aache tabia hii ya kujifanya anajua kukosoa kila mtu anayetafautiana naye kifikra au kimisiamo ya matawi kifiqhi.
    2. Ajitahidi sana kwenda kwa masheikh mbalimbali ndani na nje ya Zanzibar kutafutar elimu, ili umri wa ujana utakapoisha ( nusu ya uwendawazimu) awe na elimu nzuri ya kuwapatia vijana.
    HAJI TABIA UNAYOENDELEA NAYO ITAKUPELEKA PABAYA.
    Kama huamini endelea kujifanya unajua sana , kila anayekunasihi umuone mjinga kwa sababu tu katamka ibara ya kiarabu vibaya.
    Hikma na maarifa mengine hayamo kwenye vitabu ulivyosoma na wakati mwingine yamo lakini inawezekana ukawa hujaelewa.

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo Місяць тому

    Haji upepo wewe Una dhimmaa kubwa sana wewe ni jaahilun murakkab

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Місяць тому

    hakujibiwa na watu wengi wew ndio uliomjibu! peke yako!!! wew upepo huna maarifa

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 Місяць тому

    WEWE ndio usiyekiwa na Adabu mfano ni huo

  • @abdalaomarsaid1465
    @abdalaomarsaid1465 Місяць тому

    Hufai.ivikweli.wewe.muisilamu.hekima.huna.hatakidogo.kwanini.usimfuwate.shehe.mselemu.ukamwambiya.umekoseya.mkaa.mkayazugumza.leyo.unakaa.unaporoja.

  • @alihabib7640
    @alihabib7640 Місяць тому

    Hakika hili linaonekana ni maamuzi ya ajabu kweli mwezi unaonekana kabisa umezeeka unaambiwa mwezi mosi. Hapa umeenda mchomo wewe

  • @YahyaKombo-j3g
    @YahyaKombo-j3g Місяць тому

    Kwanza kwnye lugha yako mwnyeo ya kiswahili hujaisoma ila unajua tu kuongea

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Місяць тому +1

    Kila anaemsema vibaya ustadh Haji upepo ni Jiwahabi na wahabi yoyote hana ufahamu mzur

  • @RazzackNdayambaje
    @RazzackNdayambaje Місяць тому

    Swadakta mawahabu nibalaa hawana elimu yyt

  • @lukmanshehe9765
    @lukmanshehe9765 Місяць тому

    Shika adabu Yako Wacha kuwadhararu wa Pemba wakishashiba tosi na chai kumbe hufundishwi adabu kenge wete

  • @user-es4uf6gj7u
    @user-es4uf6gj7u Місяць тому

    Huyu anapenda majivuno anacho mkataza mwenzake anakifanya yeye hana Adams hata yabahatimbaya

  • @FamilyVideos-pt1mo
    @FamilyVideos-pt1mo 29 днів тому

    Nyie mipasho tu skuizi

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l Місяць тому

    We mtoto sekh ,selem bahri ingine

    • @Silay1034
      @Silay1034 Місяць тому

      Bahar gn Hana elim huyu mzee mussalam ni mwanaharakat tu

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim Місяць тому

      ​@@Silay1034 eti hana elimu,nenda kasome,tafta kwa Zanzibar nani bingwa wa kutafsiri quran ndo utajua

  • @MwalimuFaki
    @MwalimuFaki Місяць тому

    We haji wajifaya fundi ila wataka sifa tu ,je we ushekhe wakufuru