Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

IMAM HUYU WA MSKITI WA MAKKA ANA MAKOSA KATIKA USOMAJI WAKE WA QUR'AN : UST HAJI UPEPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 кві 2024

КОМЕНТАРІ • 579

  • @AllyMwaduga-ot1tz
    @AllyMwaduga-ot1tz 3 місяці тому +1

    M/Mungu akusimamia wewe pamoja nami sisi pamoja nawe nanyi na tusisahau kusoma soorat iqilas every single day kwa ajili ya maadui na watu wenye usuda Allahumma ameen

  • @amanimwabilo3623
    @amanimwabilo3623 3 місяці тому +6

    Allah akulipe jazaa kwa juhudi zako kufikisha usawa kwa kauli njema

  • @jumamaulid9462
    @jumamaulid9462 3 місяці тому +12

    Subhaana Allaah
    1.Unajiskia faraja gani kumkosoa sheikh mkubwa kama huyo huku ukimuonyesha sura yake hadharani.
    2.Huko Makka na Madina kuna wasomi zaidi yako lakini wapo kimya juu ya hilo.
    Wewe kwa kitabu kimoja tu tayari umekuwa front line kukosoa hata waliokuzudi hadharani kwenye media.
    3.Ungeliandika japo barua kuituma Mamlka ili imfikie sheikh mwenyewe ajirekekbishe kwa siri kama kweli ni kosa.
    5.BORA ungelizungumzia kosa hilo kama sehemu ya kuielimisha jamii, pasina kumtaja au kumuonyesha sheikh hadharani.
    Elimu zetu zichunge heshima na nafasi za wengine.

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 3 місяці тому +1

      Ukisikia ujinga ndio huyu
      Elimu pasina hekima haimfikishi mtu popote
      Unacokiongea uko sahihi100%100 alicotakiwa kukifanya nikutuma email kwa Sheikh mwenyewe Ila sasa atatumaje wakati kiarabu patupu??? Hajui kiarabu hajui English anacojua ni uswailiiiiiii
      Muhim aonekanate yy kagundua kitu ao mjuzi
      Hekima iko wapi kusambaza vitu kama hivi hadharani???
      Allah atuongoze

    • @murtarakhalfan8179
      @murtarakhalfan8179 3 місяці тому

      Huyo kijana hajambushia Heshima Sheikh Yasser.
      Lakini hiyo point yako ya kuwa ATI Makka Kuna Masheikh wengi wakubwa na wasomi kwahiyo huyu kijana kama ametovukwa adabu.
      Hilo hupo sawa.
      Kwasababu huko Makka siku hizi ukimkosoa mkubwa jambo basi unakwenda Jela.
      Kwanza kwa taarifa yako tu nikwambie mimi binafsi Nina wasiwasi kuwa hao Msheikh wa Makka mayahudi walopachikizwa ili kuivuruga Dini.
      Imamu wa Makka asikosolewe kwaninj yeye kashushwa kwa uzi wa Hariri kutoka mbinguni?
      Watakosolewa na wataendelea kukosolewa.

    • @bobdeobobdeo8026
      @bobdeobobdeo8026 3 місяці тому

      Kawaida ya tz kila mmoja mwalimu na ili aonekane anajua lazima ajirushe .

    • @Commentsplus
      @Commentsplus 3 місяці тому

      Lugha ni ya warabu mbongo unajikutaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ustadh-ally
      @ustadh-ally 3 місяці тому

      Linapokuja kukosewa kwa quraan basi ni lazima ukosolewe alkamalu lillahi pekee

  • @sadiamalow3157
    @sadiamalow3157 3 місяці тому +4

    Subhanallah kama kungelikua nakosa kingerekebishwa na ulamaa ya wengi Qiraa ya sheikh haina makosa iko sahih Alhamdulilah soma Yako tusikie mbona husda mbaya kwa kila jambo kukosoana tu hapo umekosa wewe kama ni sifa unatafuta sielewi Allah akuongoze

    • @user-pf6yw7vh1p
      @user-pf6yw7vh1p 3 місяці тому

      Mtafute inbox inshaAllah mjadili ikisha mtupe fatwa usimpinge kama alivopinga yy.asaakher Mungu atawezesha 11:57

    • @abdulzacharia699
      @abdulzacharia699 3 місяці тому

      ​@@user-pf6yw7vh1pamtafte inbox vipi yeye kapiga adharani na yeye anapigwa adharani

  • @khalidmainala2570
    @khalidmainala2570 3 місяці тому +5

    MASHALLAH nimependa Hikma yako

  • @Logicentric
    @Logicentric 3 місяці тому +4

    Hamna zaidi ya kupenda sifa na mwenyezimungu hakubali amali za riyaa.
    Wewe kama umeona kuna makosa ulitakiwa utume hata barua au email ueleze mashaka yako. Sasa unatuambia sisi ndio uafanya nini..Sisi ndio tunaosoma?
    Nyinyi watanzania mna matatizo sana kwa sababu hamna ucha mungu. Hizo elimu zenu hazijaambatana na ucha mungu...Mungekuwa mnapima mnayoyafanya...
    Hata kama huyo imamu ana makosa basi kuna adabu za kumkosoa mtu bila kumvunjia heshima yake. Sasa wewe unamvunjia heshima yake.
    Nyinyi wabongo mna shida sanaaaaaaaa......

  • @hazardmjeshi5200
    @hazardmjeshi5200 3 місяці тому +5

    Umeleta pwenti kwa heshima masha allah

  • @user-td8bp9kz8d
    @user-td8bp9kz8d 3 місяці тому

    Asante sheikh kwa kutufahamisha inawezekana kweli ni kasoro za maumbile Allahu aalam wa Ahkamu

  • @anamgulfcorner
    @anamgulfcorner 3 місяці тому

    Mashalla Tabaraka rahman Allah yahfadhak ya sheikh
    Jazakumu llahu kheir kwa ufafanuzi

  • @jumamaulid9462
    @jumamaulid9462 3 місяці тому +3

    Ushauri kwako sheikh:
    Allaah akulipe kwa moyo wako wa kheri.
    -1.Katika Mamlakat Suudia kuna mabingwa wa tajweed wanaovijua vitabu na sheria za dini zaidi yako na wapo kimya juu ya hilo:
    -2.Eidha kwa vile wao ni wajuzi zaidi, wameona hilo si kosa kitaaluma zaidi.
    Na ktk kila fani iwe secular or religious matters kuna kutofautiana/ ikhilaafu katika kuyatazama mambo. Lile ambalo kwa mtaalamu huyu ni KOSA kiufahamu wake huenda kwa wengine ni SAHIHI kielimu yao.
    -3.Wewe ulipaswa kama umeona ni kosa kwa heshima na nafasi ya sheikh, ulipaswa kama si kuonana naye basi kuandika barua kuielekeza katika Mamlaka ya Suudia ili imfikie sheikh mwenyewe pasina jamii kujua.
    -4.Ulipaswa kuzungumza au kufundisha juu ya kosa hilo pasina kumtaja jina la sheikh husika.

  • @user-zs7eq8up5s
    @user-zs7eq8up5s 3 місяці тому +2

    Hili ni sufy kolo nmeona baadhi ya vedio likisema uwahabi ni uozo kwahiyo watu wa sunna tahadhirini nalo jitu hili limesa adabu na malezi jitu la bida'a

    • @YasiniRajabuAlly-oc1pd
      @YasiniRajabuAlly-oc1pd 2 місяці тому

      Malengo yake hapo ni yeye kumfedhehesha na ionekane watu wa sunnha uko makkatul-mukarrama wanaongozwa na mtu ambae hata qur Ani yamshinda Allah akulipe kwa Nia yako mbov huna her nae kabbisa, ni wangapi katika mashekhe wa bidaa wanakosea na haukosoi?

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 3 місяці тому +1

    Shukran kwa kutuzindua

  • @user-hx6do8zw9i
    @user-hx6do8zw9i 3 місяці тому +2

    Nakuchukia sana kwa ajili ya Allah ewe jaahil katika majaahil, na Allah ni shahidi juu ya chuki zangu kwako kwa ajili yake kwa kuwa haupo kwenye haqqi wala manhaj sahihi, Allah akuingoze kwenye haqqi pia ujue maqam yako katika elimu kwani hakika Allah atakuuliza kama umepokea pesa kusambaza elimu au kukashifu wanazuoni , maana wewe mjinga hufundishi elimu kama unayo ila wakosoa sana wenye elimu bila elimu pia , Allah akuongoze ewe jaahil

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 3 місяці тому

    MashaAllah
    Asante kwa Nasaha zako
    Tuseme ndio maumbile yake

  • @AlikamisAli
    @AlikamisAli Місяць тому

    Sheikh haji ww mkali sana vipengele unaviona hasa ALLAH akupe uwezo zaid ili tukaesawa

  • @EnthusiasticAtv-gn6pb
    @EnthusiasticAtv-gn6pb 3 місяці тому +1

    MNAPOKOSOA WATU JIFUNZENI USULUBU WA QUR'AN
    Qur'an mara nyingi zaidi hakupendelea kutaja majina ya watu waliofanya makosa. Kwa vile tu inatufundisha kusitiri aibu za watu ili na zetu nazo ziweze kusitiriwa, na asiyesitiri aibu ya mwenziye, naye aibu yake itafichuliwa.
    Wakati wa Mtume Muhammad (saww) iliposuuka Qur'an katika kutanabaisha masuasuala mbalimbali, ni majina ya watu watatu tu ndiyo yametajwa ndani yake:~
    1. Jina la Mtukufu Mtume Muhammad (saww);
    2. Jina la Sahaba Zaid bin Harith;
    3. Jina la Abul Lahab.
    Hivyo, tunawashauri Masheikh muwe mnaelimisha kwa mifano juu ya makosa yanayofanywa pasina kutaja majina ya watu.
    Shukran

  • @maulidympembeta6045
    @maulidympembeta6045 3 місяці тому +4

    Maashallah Allah akulipe kheir na kuongoze katka njia ilio sawa wewe pamoja na sisi . Hakika umefanya Jambo la uhodari sana wengi wangeogopa kufanya hivyo

  • @suleimanhafidh1957
    @suleimanhafidh1957 3 місяці тому +3

    Sio sawa sheikh ww una kariri

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 3 місяці тому

    Mashaa Allah
    Jazakallah Khairan

  • @MavenguTanga
    @MavenguTanga 3 місяці тому

    Alhabdulillah rabbil aalamiin. ALLAH alietakasika. Anasema bira shaka mmepata kiigo chema mtume Muhammad s.a.w. mtume hakuwa na jazba. Wewe mwiislam mwenye jazba unamuiga nani.
    Dini ya ALLAH inahitaji uharisia na tafaqqul na mazingatio. Sio!? Jazba na matusi. Ushauri wangu kwandugu zangu Waislam. Tujihid tuwe na tafaqqul na mazingatio
    Sio jazba na matusi.

    • @laylatabdallah2796
      @laylatabdallah2796 3 місяці тому

      Sheikh haji mbona hakuongea kwa jazba lbd umeshindwa tu kumfahamu vzr binafc me mwnyw nimejifunza kitu kwa hii darsa allah atuongoze kwenye kheri

    • @user-is8vm9tl2u
      @user-is8vm9tl2u 3 місяці тому +1

      Nikweli alichokiongy sheikh nisahihi kwan hata mm nnae eafik yang anamuiga huy mpk unakerek usomaj wak maana km anafanya uchep hiv namchez kwaiyo nikwel

  • @abdikadogoo2456
    @abdikadogoo2456 3 місяці тому +2

    Wacha husda kijana. Hakika ya husda hula mama ya mtu kama vile moto hutafuna kuni.

  • @swalehsaidmahu2052
    @swalehsaidmahu2052 3 місяці тому

    Marshallah sheikh umenichekesha sana

  • @misbahukhalifa3216
    @misbahukhalifa3216 3 місяці тому

    جزاكم الله خيرا وبارك الله فيكم الأستاذ

  • @binhussein4411
    @binhussein4411 3 місяці тому +5

    HUYU UPEPO MWENYE KAKOSEA KUMILUITA SHEIKH
    ANAITWA YASSER ADDUSARY SIO ADDOSARY DAL INA DHWAMMAH AKAJIFUNZE YEYE KUTAMKA MAJINA YA WATU NDIO AJE AKOSOE WATU

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 місяці тому +1

      Wewe nawe ndio hoja gani hiyo hilo jina kwani ndio quran

  • @user-zc6rq5is8t
    @user-zc6rq5is8t 3 місяці тому

    Allah ajaalie huu ujumbe umfikie mwenyewe mapema sana ❤

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 3 місяці тому +6

    Haji mie namshangaaa mbona kwenye BARZANJI kuna mambo tele hukosoi

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 3 місяці тому

      Wewe jahili wakiwahabi usilazimishe makosa kwenye barzanji. Wewe kama umeyaona yarekebishe

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 3 місяці тому

      @@abiabi9353 weye msomi wa kitwariqa kwa hio barzanji ni maasuumiina hakosei

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 3 місяці тому +1

      Masufi wanatabia kama za nzi! Kutafuta penye kidonda, kila kukicha wanafuta kuwatia dosari watu wa sunnah hasahasa baladu tawheed wa sunnah قل موتوا بغيظكم

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 3 місяці тому +1

    Shukran sanaa sheikh kwa kutukumbusha makosa ya usomaji MOLA akusahilishiye akuzidishiye ilmu

  • @SalehSaidmbarouk-pu9jq
    @SalehSaidmbarouk-pu9jq 3 місяці тому +1

    Shukran akhuy mungu akubariki

  • @AliAhmed-ry5pq
    @AliAhmed-ry5pq 3 місяці тому +3

    Ubarikiwe

  • @fahadsaid9616
    @fahadsaid9616 3 місяці тому

    Upo sahihi jazaaka Allahu khayra

  • @ahmedmohamed-rm9jn
    @ahmedmohamed-rm9jn 3 місяці тому +3

    Hiyo namna sheikh anasoma inaitwa Tonnal variation katika fasihi ya kingereza ya usomaji wa mashairi na kwenye Quran inaruhusiwa. Wew ni nan umkosoe masheikh waliochukua masters katika Quran na kujua sheria za usomaji katika Qiraa zoote 7

    • @nouraynaasheikhunkabir3749
      @nouraynaasheikhunkabir3749 3 місяці тому

      Haji upepo sio wa kwanza kulisema Hilo , masheikh wakubwa akina Ayman Suweid na baadhi ya mashekhe wakisalafi wameutanabahisha umma juu ya usomaji ya Dr dousary Allah amhifadhi , hata Sudeis ana makosa pia na umma umetanabahishwa hasa uvutaji wa mada katika neno العلمين Suratil faatiha , Rudi ukamsikilize

    • @sudihammad7387
      @sudihammad7387 3 місяці тому

      Shida ni kosa shida kingereza kinatambua usomaji wa quran hairuhusiwi kifupi kosa

  • @silimakhamis7088
    @silimakhamis7088 3 місяці тому +1

    Shukran ❤

  • @shukuranikaponda2125
    @shukuranikaponda2125 3 місяці тому

    Dini ni ya Allah ,tunaomba sh.hajji endeleya na huu uslubu katika kukosowa Allah akuhifazi

  • @ShadhilShaame
    @ShadhilShaame Місяць тому

    Barzanji je hem kaaa ifahamishe wat wanaikosoa nyinyi isomeshen hakuna wat wanaosoma ivo

  • @user-pb2yu8dk9r
    @user-pb2yu8dk9r 3 місяці тому

    MASHAA ALLAH Ustadth tuna pasta Faida kutoka kwako Alhamdulila

  • @rahmalutengwe2901
    @rahmalutengwe2901 3 місяці тому +1

    Nobody is perfect in the world.,,,,,,Allah only is perfect in everything.There are many things that we don't know. Allah knows that we know not.

    • @Maalim_Samatta
      @Maalim_Samatta 3 місяці тому

      Even if no perfect in this world, this is not mean other to shut up their mouth to remind him.

    • @user-dx8qe4di9n
      @user-dx8qe4di9n 3 місяці тому

      Mtiyani kwl

    • @user-dx8qe4di9n
      @user-dx8qe4di9n 3 місяці тому

      Hhhhhhhh

  • @RamadhanKhamis-oy2tm
    @RamadhanKhamis-oy2tm 3 місяці тому +1

    Masha allah al shkh, shukran wa jazakallah khayran kwa kutuelimisha, mm mwenyewe pia nlikua najua yuko sawa.

  • @abubakarirajabu9502
    @abubakarirajabu9502 3 місяці тому

    Tumekuelewa vizur sheikh Hajji Upepo lakini nadhani ungeifanya hii Darsa kwa Lugha ya Kiarabu ingependeza sana. Asante

  • @mahdy011
    @mahdy011 3 місяці тому

    Chukran sheikh kwa nasaha,

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 3 місяці тому +2

    من سمع سمع الله به، ومن يراء يراء الله به.

  • @AliSaid-y5j
    @AliSaid-y5j 3 місяці тому

    SHK. WEWE NDIO HUJAELEWA ANAVYOTAMKA SHK. YEYE HATINGISHI MIDOMO, BALI NI SAUTI INAYOBADILIKA KATIKA KOO KWA KUPANDA NA KUSHUKA KWA MAWIMBI. SIO MDOMO SHK... ELEWA KWANZA KISHA NDIO UTOE MAELEZO. SHK. DOSARY YUKO SAHIHI. WEWE NDIO HUJAMSIKILIZA KWA KINA.

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 3 місяці тому +7

    Jee, umewapelekea taarifa?

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 місяці тому

      Msikilize Vizuri Naujue Yeye Hayupo Huko Ulipo wewe. Anatuhadharisha Sisi Tunaoiga Lakini Nimuhimu Kuiga katika Kheri Au katika Usawa Nalile Lisìlo Sawa Tuachane Nalo

    • @hussenrahiyaty.allhahakuhi6251
      @hussenrahiyaty.allhahakuhi6251 3 місяці тому

      Jazakka llhahu khaira

  • @musaomar4184
    @musaomar4184 3 місяці тому +4

    Elimu muhimu kuna usomaji aina saba wa Quran mpaka uelewe hilo kwanza

    • @AbuuSalman-op1zy
      @AbuuSalman-op1zy 3 місяці тому

      Tupe kosa lake akhiy

    • @AbuuSalman-op1zy
      @AbuuSalman-op1zy 3 місяці тому

      Barakaallahu akhiy umesema kweli usomaji wa quraan uko aina 7

    • @sullaymanchande632
      @sullaymanchande632 3 місяці тому

      Kaka huyu upepo mtaftie kosa lengne ila kwa hapo yupo sahihi , mie mwenyewe nilihamaki nikasema ngja nimsikilize kwanza nijue kavurunda wap. Ni kweli Upepo yupo sahihi

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 3 місяці тому

      ​@@sullaymanchande632sijui kapatia ao kakosea lakini tujiulize nihekima kuweka mambo kama haya social media nakumtaja muhusika tena imam wa msikiti kama makka hadharani??? Unaonaje angalimtumia email Sheikh nakumueleza kua shekh ww huna elimu na huko makka naona Hakuna wasomi kwahiyo naomba nikurekebishe ! Sheikh angelielimika akawaca kusoma makosa na file likaishia hapo.
      Ila kwa maskitiko hata jina la Sheikh mwenyewe hajui kulitamka
      Hata masahaba walikua wakikosea sababu ni bin Adam lakin waliyamaliza nakusahhihisha ndani ndani pasina kuwapa faida makafiri
      Kwahiyo ukosefu wahikma aliooenyesha huyu jama nimbaya zaid yakosa la anaekosolewa .
      Allah atuongoze

  • @LASSUH4947
    @LASSUH4947 3 місяці тому

    Shukran sana habeeb

  • @AlmohammadHashim
    @AlmohammadHashim 3 місяці тому +1

    Asalam alaykum. Mimi bado sijaona makosa ya usomaji wake na kur-an nimekuja nakupokelewa njia tofauti ya usomaji na Allah amewaafikisha kusimamia nyumba ilio kubwa Alkaaba. Natena wakasikilizwa visomo vyao na maulamaa wakbwa sio wewe vipi utoe makosa kwawatu ambao Allah kashawaweka kusimamia nyumba yake. Ivo wewe huoni haya kukosoa wanazuoni? Basi wanazuoni hukosolewa nawale waliobobea Katika elimu mche Allah

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 місяці тому +2

    Chuki na watu wa sunna, hazitokusaidia kitu,walekebishe masufi wenzio waache kwani maulidi kisha waache shirki za kutawasuli kwa mayiti ndo uje katika watu wa sunna walokatika daawa ya mtume

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 3 місяці тому +41

    Naona umekuwa aalim wa kukosoa tu soma wew tukusikie nakuomba urikodi kuanzia alfatha mpaka an Nas ili tujue kama wew hukosei

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 3 місяці тому +3

      Kweli kabisa alikuwa asomee tumsikie

    • @ABALKASIM1
      @ABALKASIM1 3 місяці тому +2

      ndio kwaz na yy asome tumsikia no makosa??

    • @shawwalmsati3405
      @shawwalmsati3405 3 місяці тому +3

      SHEIKH UMEONGEA VIZURI.
      HATOKUELEWA AMBAE HAJASOMEA FANI HII.
      NANYI MLIOMSEMA SHEIKH HAPA ALIPOKOSOA USOMAJI WA SHEIKH YASIR DOSARY MUOGOPENI ALLAH KATIKA COMMENT ZENU.
      SHEIKH NIA YAKE QURAN ISOMWE KWA UFASAHA LAKINI NYINYI MWAMUATTACK, HILO MNALOLIFANYA NI KOSA MBELE YA ALLAH, MWAZINGATIWA KUWA MWATETEA MAKOSA.
      KWA HIYO NI VYEMA MZIFUTE HIZO COMMENT KWANI SHEIKH YUKO SAHIHI KATIKA KUELEZEA KOSA HILO. HAKUNA MWAACHUONI YEYOTE ALOBOBEA KTK QURAN ANARIDHIA USOMAJI HUO WA SHEIKH YASIR.
      ALLAH ATUONGOZE SOTE KTK HAKI

    • @drimazonechoice9822
      @drimazonechoice9822 3 місяці тому +1

      ni kwel lakin naamin shekh hashindan anatoa elim ili kuweka sawa ili kutanabahisha na hakuna mkamilifu hata yeye anayake makosa

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 місяці тому +1

      Hata Anaejua Anaweza Kukosea Nahayo Nikatika Makamilifu Yaubinadamu Katika kukosea Kwake. Ukamilifu Wakila Naikatika kukosea Kwake.

  • @shmohd11
    @shmohd11 3 місяці тому

    للمساهمة في دعم المكتبة الشاملة
    المكتبة الشاملة
    كتاب فتاوى نور على الدرب للعثيمين
    [ابن عثيمين]
    الرئيسيةأقسام الكتب الفتاوى
    فصول الكتاب
    ج: ص:
    2
    مسار الصفحة الحالية:
    فهرس الكتاب تجويد القرآن بالنسبة لقراءة القرآن بدون تجويد هل عليها أجر كوني لا أعرف القراءة بالتجويد وهل إذا وضع المصحف في مسجد يعتبر صدقة جارية أم لا؟
    [بالنسبة لقراءة القرآن بدون تجويد هل عليها أجر كوني لا أعرف القراءة بالتجويد وهل إذا وضع المصحف في مسجد يعتبر صدقة جارية أم لا؟]
    فأجاب رحمه الله تعالى: نعم القراءة بالتجويد ليست واجبة وإنما هي سنة لتحسين الصوت بالقرآن لأنه ينبغي على الإنسان أن يحسن صوته بتلاوة كتاب الله ومن التحسين التجويد وأما كونه واجبا فلا إذا كان الإنسان يقيم الحركات يرفع المضموم ويفتح المنصوب ويكسر المجرور ويسكن الساكن فليس عليه إثم في ذلك

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 3 місяці тому +11

    WATU BWANA MTU KAONGEA VIZURI TU MNALETA CHUKI HAINA MAANA UKIWA MAKKA NDY HUKOSEI HAPANA, Sheikh Haji Asante kwa ukumbusho.

    • @KombHaji-dr5pd
      @KombHaji-dr5pd 3 місяці тому

      kasom vzr ndo mawimbi hayo ya bahr

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 місяці тому

      @@KombHaji-dr5pdMawimbi ya upotoshaji???

    • @MussaJuma-nf3vg
      @MussaJuma-nf3vg 3 місяці тому

      Ww unazijua utaratibu unaotumika kumpa imamu kibla cha MAKKA halafu msikilize vizuri uyo mwehu anavyoongea anamkubali halafu analeta ujinga

    • @saidrutunga756
      @saidrutunga756 3 місяці тому

      Nakwe nye maulid uwemkwel

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 3 місяці тому

      Asalam ALEY kum hata mm nimekuelewa nikwamba kuwa imamu WA msikiti WA mama au madina sio KWAMBA hukosei LAZIMA utakosea sasa akitokea MTU WA kumkosoa hapo ndipo ahida inaanza utasikia wivu au wewe hukosei Mara huna elimu yule ni imamu WA maka wewe huna hata uimamu umakosoa??? Kumbe wewe lengo LAKI nikutaka kutanabaisha au kuipa heshima qurani heahima YAKE katika uaomaji.maashallah ALLAH AKUJALIE SHEIKH.

  • @LabiloWabikongo
    @LabiloWabikongo 3 місяці тому +1

    ishallah hekma nzuri na umeeleweka na upo saw allah sw akuhifadh

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 3 місяці тому

    Mungu akuhifadhi sheikh Hajji ume sema ukweli na kuna wengi wanao igiza mashekhe khaswa wa haram mimi kumwambia mmoja alikuwa akiadhini kuigiza adhana ya makkah nika mtanabahisha hayo ni makosa hata kama yule muadhin wa makkah yuwa adhini hivo! labda ni maumbile yake
    Katika
    حي على الفلاح
    Anasema
    حي على الفلاحعه
    Badala ya
    حي على الفلاح

    • @jumajuma1324
      @jumajuma1324 3 місяці тому

      yupi huyo?

    • @bagalucha
      @bagalucha 3 місяці тому

      Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo

  • @hazardmjeshi5200
    @hazardmjeshi5200 3 місяці тому +1

    WEW SHEKHE UNATAFUTA KIKI TU HUYU SHEKHE HAJAKOSEA HAPO COUZ HAJAVUTA GHARKA NYINGI SAW SAW IYO INA ITWA MADATUL TWAWIL KUA MAKINI UNAWEZA KUKOSEA PASIPO KOSOLEWA SW

    • @abdallahkabuto8392
      @abdallahkabuto8392 3 місяці тому

      The palate may be deep into thee nose for the first reader but for the it's not hence the sideways jaw movement.

    • @abdallahkabuto8392
      @abdallahkabuto8392 3 місяці тому

      Boy

  • @saidkhamis1898
    @saidkhamis1898 3 місяці тому

    MashaAllah umefafanua vizuri

  • @MohamedHassan-kk5te
    @MohamedHassan-kk5te 3 місяці тому

    Haji upepo anafanya kazi kubwa Allah akufanyie wepesi zaid
    Nahi NIKUONESHA dini cyo maqa tuuuu kama mawahabi wanavyoitak kuwa maqa hawakosei

  • @abulhuseinalzinjibary
    @abulhuseinalzinjibary 3 місяці тому +2

    Man mm nimesikiliza hizo mbwebwe kwa huyo shehe czioni ila kwa huyu mkosaaji anazilazimisha zije na ziwepo

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 3 місяці тому

      Haji upapa anatafuta umaarufu tu

  • @AbdallaHassan-gu6fi
    @AbdallaHassan-gu6fi 3 місяці тому +1

    NASISITIZA KUA SHKH HAJAKOSEA HUKMU KTK VISOMO VYAKE. TEGA SIKIONI. USIKIE VZR SAUTI. SIO MDOMO. USIHUKUMU KWA KUTIKISIKA MDOMO. HALI YA KUA SAUTI IKO SAWA.

  • @rahakesho
    @rahakesho 3 місяці тому +1

    Si kua anamkosoa, ila shkhe anavyosoma si kama hivi anavyosema huyu jamaa, huyu ameweka chumvi, kama mtu ni msomaji wa Quran ataona hapo shkhe analeta madi, ambazo wanazivuta kama mashkhe wengine na wala hafanyi kama hivi huyu anavyofanya, si jambo sawa kuongeza uongo ambao si sahihi kwa asie jua kusoma Quran ataona kama vile anavyosema huyu jamaa anaekaa chini na kuweka chumvi kukosoa mashkhe, shkhe hawezi kuweka kusalisha makkah kama ingekua ni kweli anafanya kama huyu anavyosema, huyo mtoto ndio anafanya kama huyu anavyofanya, ila kwa yoyote anaejua kusoma Quran akisikiliza shkhe anavyosoma ni tofauti kabisa na huyu jamaa anavyosema, ni chumvi tupu unasingizia na wasiojua wataona kama unayoyasema ni sawa, wewe rekodi walau peji kadhaa usome kama kweli wewe unajua kusoma Quran sahihi kiasi unakosoa maimam wa makka makosa ya kuwasingizia, mche ALLAH wewe,

    • @ABASIRAMADHAN
      @ABASIRAMADHAN 3 місяці тому

      Chaajabu huyu jamaa hana jitihada yoyote katika din ukimuangalia hata muonekano wakehauna athari katika dini jamani mukisha kula vyenu nendeni mukaongeeni mambo ya tonge waacheni kuwatukana watu ambao vizazi navizazi vimetumia kuwandaa kwaajili ya dini nyinyi kaeni uwanaharakati wenu nyinyi mume lelewa kihila na hila zeni zimewafanya dini imewashida nyini watu nyinyi tabia zenu zinanuka yani lile jopo lile jopo lililo mchagua halijaona wewe khaini ndoo umeona kweli wenzetu dini imewashinda acheni hila
      Nenda wewe ukachaguliwe kua imam mulijisau kusoma din mukashika mila za babu zenu mukaona nidini sasa munajiita wasomi msiba mkubwa

  • @user-yz4cn7zc5d
    @user-yz4cn7zc5d 3 місяці тому

    Mashaallah. Hivi ndivyo tunavyotakiwa kukosana Kwak heshima, nidhamu na upole wa unyenyekevu kwani hata mkosolewaji nae ataelewa kwa wepesi kuwa anakosolewa.

  • @abuumundhir8926
    @abuumundhir8926 3 місяці тому

    Mmmh Upepo umezidi ivyo ww unavyomigiza ndio unakosea ila anavyosoma wewe na yeye ni vitu viwili tofauti bali wewe waongeza chumvi ingawaje mdomo wake unacheza cheza lakn herufu hazitoki mbili mbili tofauti kabisa jiangalie sana akhy na ikiwezekana kaa tena chini msililize vizuri na ujirekebishe wewe katika uigizaji wako wa ma qaarii

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 місяці тому

    Al-Hajj
    3. Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi.
    4. Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali.

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 3 місяці тому

      Petro nenda nyuma ssshhetani we 😢 uu kikwazo kwangu

  • @user-ye3fy9kk6r
    @user-ye3fy9kk6r 3 місяці тому

    Baaraka llahu fik

  • @HemedKhamis-lc4mz
    @HemedKhamis-lc4mz 2 місяці тому

    Tena Wewe ndo hufai kusikilizwa wala kuigwa kwa 7bu huna ujualo, huna haya basi ata kidogo akhiy pale unapoliongelea hilo kwenye hadhwara, au lengo lako umaarufu

  • @hamilcharles6830
    @hamilcharles6830 3 місяці тому

    Shukran

  • @bagalucha
    @bagalucha 3 місяці тому

    Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo

  • @abubakarahyan9515
    @abubakarahyan9515 3 місяці тому

    Dunia hii kila mtu mwanachuoni, wengne wanatak sifa wasifiwee, Wangine hjiona wao hawana makosa, wengne no RIYAA

  • @abdulmalikali1501
    @abdulmalikali1501 3 місяці тому

    Hivi ndio mwawapatia nguvu makafiri enye mashekhe zetu.Mambo hako mengi kufanya katika dini si kufuatili kila mmoja na kuraddi huyu na yule

  • @suleimanayoubkhamis5419
    @suleimanayoubkhamis5419 3 місяці тому

    Mashallah, umeitendea haki Qurani na wasomaji wa Qurani wanaojifunza. Kwa sababu Qurani si adhana.
    Kwenye adhana labda Targhiydi isingekuwa kosa. Lakini umeweka wazi itakuwa kosa katika Qurani.

    • @LazaroKalamata
      @LazaroKalamata 3 місяці тому

      allah akubarik kwa jitiada yako shekhe

  • @user-qe8xp6ii1u
    @user-qe8xp6ii1u 3 місяці тому

    Hayo yamekushinda lengo Lako Kiki,
    sio Dini.
    Sioni Dalili.Kwa hyo jaribu kutafuta Dalili.
    Na hayo uliyodai kuwa ni Makosa ndio Tunayaona kwenu Kweny ule usomaj mnaosema Kuwa Usomaj wa Tajweed tena mnaweka kabisa mashindano.
    Mfano :sheikh wa Mkoa Daresalam,

  • @animalchannel296
    @animalchannel296 3 місяці тому

    ANAPOAMUA KUKOSOA MA IMAMU WA MAKKAH NA WASOMAJI WAKUBWA WENGINE
    UJE NA REFERENCE YA KUELEWEKA
    KWANINI UTUMIE KITABU ALICHO ANDIKA AL JAZAR JE UISLAMU UNAMTAMBUA AL JAZAR KAMA NANI KWENYE USOMAJI WA QURAN
    NADHANI UMTAFUTR KWANZA SHEIKH AL DOSARI AKUPE FACT ZAKE KWANN AMAFANYA HIVO
    SIO WEWE KUMUONGELEA KWENYE MEDIA ETI KWAKUTUMIA KITABU CHA AL JAZAR KAMA REFERENCE

  • @user-on6gi8pw7v
    @user-on6gi8pw7v 3 місяці тому

    Up sahih xn shekh

  • @mustafapandu5189
    @mustafapandu5189 3 місяці тому

    Sheikh umesema kweli watu wasiige ila fanya tàfiti tena qiraa zote za usomaji utaona sheikh hakosei. Ndo maana mabingwa wa khitilafu na ukosowaji na wanaojifakharisha kielimu wako kimya hawajamkosoa wameona hakuna kosa lakushika. Maikilize na sheikh khudhaifi na shureimi vizuri au alkhosarry.

  • @networkeryuzzo09
    @networkeryuzzo09 3 місяці тому +1

    Nimefatilia anachosema shekh na anavo soma imam ni tofaut kabisa

    • @rahakesho
      @rahakesho 3 місяці тому

      Kabisa ni tofauti tofauti tofauti, anaweka chumvi sna shkhe wala hafanyi anavyofanya huyu jamaa, astaghfiru llaj

  • @danialsuleiman9706
    @danialsuleiman9706 3 місяці тому

    Sh haji upepe

  • @hajihassan9097
    @hajihassan9097 3 місяці тому

    Nenda kalinganie waliokuwa si Waislamu ili juhudi yako ionekane na sio kupoteza muda ktk kukirihisha Waislamu wenzako. Dini hii ya Uislamu inapigwa vita sana duniani, isijekuwa nawe ni miongoni mwao. Fanya kazi ya kulingani dini na sio kukosoa watu huu ni upuuzi huisaidi dini bali ni kuiongezea dini yetu uzito. Harmonize alimkashifu Allah hatukukusikia wala kuona video ya kulaani juu ya jambo lile. Nasaha tangaza dini na sio kukosoa wavyuoni laana itakushukia.

  • @hazardmjeshi5200
    @hazardmjeshi5200 3 місяці тому +1

    Hemu msikilize IDRISA ABKAR SINDO UTAJUATA KABISA MANA UYO YASSIR AL DOSSAR HALALAMIKI KAMA IDRISA ABKAR KUAA MAKINI UNAPO SAHIHISHA WENGINE WAPO SAW KUTOKANA NA QUR'AN BAZI YA MAENEO UNATAKIWA UVUTE HAD 6

  • @animalchannel296
    @animalchannel296 3 місяці тому

    HUYU SHEKH HANA POINT KABISA
    CHA KWANZA KATUMIA KITABU CHA SHEKH AL JAZAR KAMA REFERENCE
    JE KWANI TUNATUMIA KITABU ALICHO ANDIKA AL JAZAR KAMA REFERENCE YA KUKOSOA MASHEKHE WENGINE KWENYE USOMAJI WA QUR'AN?

  • @fuadjabry3653
    @fuadjabry3653 3 місяці тому

    Kweli yako allah akuhifadhi

  • @sakonlinetv99
    @sakonlinetv99 3 місяці тому

    Allah atusameh sote

  • @JK-um6op
    @JK-um6op 3 місяці тому

    Hajji Upepo weeewe unjaa upepo kwa kichwa.. Enda ukatafute tiba kakangu..
    Hilo jina tayari la shekhe dosari Ni AL-DOWSRY) sio dosari, kwa hakika unalitaamka makosa,
    Jee vipi hiyo Quran..? fanya heshima na hii dini kupotowa watu wasio juwa uwapotoshe.. Allah atupe hidaya tuifwate..

  • @ayoubrashid8392
    @ayoubrashid8392 2 місяці тому

    Mbona hajasema hivo....haji kua mtulivu...uyo mtoto sawa

  • @shmohd11
    @shmohd11 3 місяці тому

    Uloeleza ni sawa، lakini hukueleza je ni dhambi kufanya hivyo? Hebu soma jibu la Sheikh Ibn Uthameen (رحمه الله) alipoulizwa kuhusu kusoma Quran pasina kufuata Ahkaam Tajwiid

  • @user-pd2fk6kt5i
    @user-pd2fk6kt5i 3 місяці тому +4

    Kuna watu wanapenda umaarufu sana
    Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake

    • @MuhammadRajabu-rd3fm
      @MuhammadRajabu-rd3fm 3 місяці тому

      Unapo elekezwa jambo uspanik sikiliza chukua faida ukiona lina kukwaza acha ustukane

    • @user-pd2fk6kt5i
      @user-pd2fk6kt5i 3 місяці тому +1

      @@MuhammadRajabu-rd3fm kwani umeskia hapo nimetukana mtu yoyote aiza umesoma vibaya

    • @user-pd2fk6kt5i
      @user-pd2fk6kt5i 3 місяці тому

      @@MuhammadRajabu-rd3fm na anaelekezwa hapa ni nani kwaza ni bora zaidi angelipigia sim sheikh anamuelekeza si ndio hekma na busara kuliko kumsema kwenye mitandao

    • @MuhammadRajabu-rd3fm
      @MuhammadRajabu-rd3fm 3 місяці тому

      nikweli huyu hamuelekezi shekh anaelekeza umma ambao unafuata anacho kifanya shekh

    • @rahakesho
      @rahakesho 3 місяці тому

      Si kama ameelekeza, huyu ameelekeza uongo, anaaema huyu shkhe hafanyi, kwa yoyote anaejua Qur'ani ataona kua huyu jamaa ameweka chumvi wala shkhe hafanyi hvyo, ila kwa asiejua Quran kuisoma sahihi ndio ataona kua anachokisema huyu jamaa ni ndio anvyofanya shkjeyni sio sawa yeye anaongeza chumvi sana sana sana

  • @MasoudimohamediMakonta-qw1gx
    @MasoudimohamediMakonta-qw1gx 3 місяці тому

    Wewe utamkosoaje mtu kwenye mitandao halafu ungetumia kiarabu basi ili huenda mwenyewe shekh atakuelewa lakini unatumia kiswahili hiyo inajulisha wewe mwenyewe hujui kiarabu.nendakasome kwanza,kila binadam anamakosa achana na mambo hayo tafuta kazi kama huna kazi

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc Місяць тому

    sasa kama haujafanya utafiti kwa nini unasema anafanya makosa?

  • @YusphMashaka
    @YusphMashaka 2 місяці тому

    Mtihan

  • @abuuruwaydatvTz
    @abuuruwaydatvTz 3 місяці тому +4

    HUELEWEKI MPUUZI WEWE MALA MAUMBILE MALA HANA KOSA YANI SHIDA YAKO UNATAFUTA UMAARUFU HUU NI UJINGA KAMA ULIKUA UNATAKA KUWEKA SAWA HUKUA NA HAJA YA KUMFANYA WAMFANO HASA UNAPO SEMA HUJUI NI MAUMBILE AU KUSUDI
    JINGA WEWE

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 3 місяці тому

      Nadhani Wewe kwa upuuzi wako ndio huelewi mbona Sisi tunamuelewa vizuri Sana lengo la Ustadh ni Nasaha Acha chuki Mdogo Wangu

    • @ashachitemo7816
      @ashachitemo7816 3 місяці тому

      ​@@saidkipalo4427msitukanane Waislamu!! Ungemuelekeza vizuri tu Kuna hadithi imepokewa na Abu huraira kuhusu mlango wa kusoma Quran.Anasema nilimsikia mtume Muhammad(saw) akisema:Itatokea zama za mwisho watu wataisoma Quran Kwa kuivuta Kwa madaha Hata ikapoteza maana yake, na hawafanyi hayo isipokuwa Kwa kujionyesha tu na Wala hawana taqwa.

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz 3 місяці тому

      @@saidkipalo4427 Hapa hakuna chuki ila namwambia ukweli kama alikua amefatilia basi angejua kua sheikh anafanya kusudi lakini kusema mala Hana uhakika mala anao huko ni kukurupuka na kutaka views hakuna kingine Yani hawezi kufanya bahth na kuja na jambo la uhakika kama sio UTOTO ni nini Sasa aache kudumbua watu bana wasomi hawako hivyo

  • @alidochi2889
    @alidochi2889 3 місяці тому +3

    Mashallah
    Umekosoa kwa heshima na nidhamu kubwa
    Allah akujaze kheri

    • @hassanmubarak704
      @hassanmubarak704 3 місяці тому

      Hapana yeye sio wa kumkosoa Sheikh kama yule, labda kataka watu wa Subscribe kwa malengo mengine, wewe umepata faida gani hapo zaidi ya kupoteza muda tu!!

    • @abuuruwaydatvTz
      @abuuruwaydatvTz 3 місяці тому

      @@hassanmubarak704 kabisa habibiy ila wengi amewaongopea Kwa kule kujifanya anaadabu hakuna lolote kwanza anazungumza bila uhakika wa mambo kosa lake la kwanza laanza hapo

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 місяці тому

      ​@@hassanmubarak704hajamkosoa bali ametanabahisha na

    • @user-zs7eq8up5s
      @user-zs7eq8up5s 3 місяці тому

      Hana adabu hatakiw kwanza kumlenga mtu direct af ni imam mkubwa huyu ana husda nae..mbona babu zake wa kitwariqa hawakosoi ndo wabovu balaa

  • @HemedKhamis-lc4mz
    @HemedKhamis-lc4mz 2 місяці тому

    Wewe kwel haji upepo kama jina lako, Elimu aliyonayo sheikh yassir al dosary humfikii hata robo, leo ukamkosoe wewe, amekutangulia nani ktk hili, halafu nakuona sana ukiwakosoa wanazuoni, unapozungmzia kuhusu العلماء unatakiwa uwe na adabu kijana.

  • @user-pn1ml1xf8i
    @user-pn1ml1xf8i 3 місяці тому

    Sawa shekhe...lakini ungezungumza kwalugha yake ili akuelewe yeye mwenyewe...afwana kama nimekukwaza lkn.

  • @kifakaraomar6598
    @kifakaraomar6598 3 місяці тому +2

    WEWE MGANGA WA KIENYEJI KOSOANA NA WENYE NJAA WENZIWE ZAIDI UNATUMIWA KUFURAHISHA MAKADIRIA

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 3 місяці тому

    HAKUNA ALIYE KAMILIKA ISIPOKUWA AllAH peke vake.

  • @alimira8050
    @alimira8050 17 днів тому

    unajiona kama mkamiliiifu vile
    msomi yoyote hajisifu husubiri akasifiwa
    soma kitabu cha taalim shekh

  • @suleimanhashimm
    @suleimanhashimm 3 місяці тому

    Ikiwa umeona amekosea,nenda wewe uka muone wewe mwenyewe
    Kuliko mkosoa hadharani ndani ya Utu be😊

  • @sudihammad7387
    @sudihammad7387 3 місяці тому

    Napenda watu wenye elim kwani ninapenda nipatikane sehem.ya watu wenye elim yoyote ya mwenyezi Mungu

  • @user-us7hy6kl3o
    @user-us7hy6kl3o 3 місяці тому

    Wallahi ya'alam

  • @issaasman9602
    @issaasman9602 3 місяці тому

    Nimerudia mara kadhas lakini hizi wawawa....... Sizisikii Kwa sheikh nazisikia Sana kwako

  • @abdoulshakur
    @abdoulshakur 3 місяці тому

    Jamma umemzidishia kabbisa.wew umeongeza kabbisa kabbisa

  • @user-mh9vx9eq6v
    @user-mh9vx9eq6v 3 місяці тому

    Huyuu jamaa ni hasidin mfitinishaji yy huyoo hajui kuisoma Quran tena atubu na ashike adabu zake kuthalilisha sheikh tena aliye chaguliwa na mwenyewe Allah huyuu kuchagulia na Allah kuwa imamu katika miskiti wa makka sio jambo la mchezo tena amuombe rathi kwa kuwa thalilisha watu ambao walio pandishwa daraja na Allah huyu jamaa hana akili wa adabu hawa watu kama hawa ndio wanao jidai kusoma elimu zao za vipembeni na kufarikisha watu na pia Allah kamchaguwa huna vyakumfanya ikiwa anasoma makosa nenda kamtowe kiblani fethuli mkubwa wee pia usione umetambuwa kitabu chako kimoja na unavaa kofia na kanzu wakuona watu watu wote hawajui kuisoma Quran unae ijuwa ww pekee yako hatoto kusikiliza wewe mjinga panyaa mpunga ww mm na ww na WA African ndio tusio ijuwa kuisoma Quran sio yy sheikh dosar alohifathi akafundishwa na walimu wake akafundishika mpaka hii leo unaona katika haram ya maka

  • @user-wf9se8wf1y
    @user-wf9se8wf1y 3 місяці тому

    Ankosoa kikondoo,anapuliza na kung'ata.huwezi kuwa imaamu wa haramu ukawa unamapungufu ktk qur'an.hugusi mimbari ile isipokuwa umethibitishwa na wabobevu wa qur'an.kwahiyo maneno ya huyu bwana yanatupwa kushoto.Dunia ya leo imejaa viroja tu.

  • @seifmsabah4384
    @seifmsabah4384 3 місяці тому

    Nilipomsikia uyo mtoto ndo nimekuelewa vyema, ila kwa yy sheikh nilihic ni mic zinatoa iyo saut, ishaa Allah