Mtashughulikiwa usiku na mchana kwa nguvu ile ile itakayotumika kupotosha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • Edit with InShot: v.inshotapp.net/invite

КОМЕНТАРІ • 127

  • @theonestrenatus954
    @theonestrenatus954 9 днів тому +3

    MUNGU akubariki pastor mbarikiwa Kazi yako siyo Bure, usiache kusema wengi wanafunguka kwa elimu yako

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 9 днів тому +5

    Mnawapa heshima kubwa kuwaita pasta, nabii, mtume, Mzee eti wa upako...nk......tuwaite kama alivyo waita YESU ....mbwa mwitu, mbweha... wanyang'anyi..

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 10 днів тому +12

    Mchungaji Mbarikiwa wewe ni mtumishi wa Mungu hakika! Mungu anazidi kukujaza ufahamu wa kuwastaajabisha hata maadui wanaokushambulia. Umeteswa sana kiasi ambacho bila Mungu ungeshachanganyikiwa akili lakini kadri wanavyokutesa ndivyo Mungu anakuongezea akili na hekima ya kuifafanua kweli na haki! Mungu azidi kutumia kadri apendavyo! Amen!

  • @hemedsimba492
    @hemedsimba492 9 днів тому +2

    Wabarikiwe wenye kunena kweli na haki na kuwarudisha kondoo waliopotea kundini, aamiin.

  • @malakimapunda010
    @malakimapunda010 9 днів тому +2

    Mungu akubariki sana Mtumishi wake "unasema kweli ya Mungu ambayo siku zote huwa mwiba kwa wasio na maarifa yatokayo kwa Mungu" 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @mwlekartiesmwankenja3602
    @mwlekartiesmwankenja3602 9 днів тому +2

    Hongera baba na mtumishi wa kweli. Mbwa mwitu na wanyang'anyi hao

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 9 днів тому +2

    pastor Mbalikiwa uko vzur sana, ww ni kiongoz mzur.

  • @apostleelisha2994
    @apostleelisha2994 9 днів тому +2

    Wewe mzee Mbarikiwa ni maombi yangu uishi miaka mingi nakupenda sana

  • @msanginaza905
    @msanginaza905 9 днів тому +2

    Yaaan huyu mbarikiwa namkubali sana Mungu amlinde sana ndo anayehubiriiii injili ya kweli

  • @peterkaji7552
    @peterkaji7552 3 дні тому +1

    Kanisa la sasa linahitaji wahubiri kama huyu mtu wa Mungu, Mungu na akulinde kwa Damu ya Yesu.

  • @user-jr3xs9sb9x
    @user-jr3xs9sb9x 10 днів тому +4

    Nyuki alisahau na yeye alikua maskini,Leo kainuliwa anazarau maskini

  • @YohanaKuyato
    @YohanaKuyato 9 днів тому +1

    Bwana ahimidiwe kwa ajili kazi hii mtumishi unayoifanya ya kuwarudisha watu kwenye injili ya kweli,kukemea dhuluma,na upotoshaji.Hakika unauonea wivu injili hii kupotoshwa.ubarkiwe sana unanibariki nikiwa loliondo

  • @zawadimwakapala7935
    @zawadimwakapala7935 10 днів тому +4

    Yaani Joseph Nyuki kanikera kudadadeki! Kweli ama kweli ukristo umeingiliwa, hii Imani mhhhhh! Yaani siku hizi wanataka pesa pesa pesa

  • @stamilinyakunga
    @stamilinyakunga 10 днів тому +5

    Nilikuwa kwa wachumia matumbo

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 9 днів тому +2

    Umeongea vizuri sana mtumishi wa Lord Jesus!... Blessed.

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 9 днів тому +1

    safi sana kiongozi (Mbalikiwa Mwakipesile), mm umenisaidia sana kuelewa mambo, na umenitoa kwenye giza la ujinga

  • @WILLIAMSINGANO-qn2yh
    @WILLIAMSINGANO-qn2yh 10 днів тому +2

    Baba hawa ni matapeli kweli hawana tofauti na chuma ulete. Tunakuja tupo njiani kuwafuta matapeli hawa Tanzania, Hawafanyi kazi wao hutaka ulaji kutoka kwetu.

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 10 днів тому +3

    Ina maana wenye shida wasisikie neno la Mungu. Kanisani ndio sehemu ya kukimbilia. Jamani someni biblia, mstransilate biblia. Nilipokuwa sina pesa nilijitoa kama sadaka, nilikuwa nasafisha makanisa bila kulipwa, nilijitolea kwa miezi sita, nilimpa Mungu muda na nguvu alizonipa, kwa sasa nawajengea wachungaji makanisa na ni support mzuri sana wa gospel of jesus christ. Nilikuwa sina pesa nilipata maarifa kutoka kanisani.aacheni kuwafukuza wasio na pesa kanisani wanaweza wakawa baraka kwa njia nyingine.

  • @nicholaussteven3188
    @nicholaussteven3188 10 днів тому +1

    amen pastor umefundisha vyema...kiukweli joseph nyuki na lusekelo wamekosea sana kuwakataza wasio na kitu kutia miguu yao kanisani sijui wanataka waende wapi.

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 9 днів тому +2

    Injili ni kutetea wanao Onewa
    Na WADHALIMU.
    NGORONGORO NA LOLIONDO NA MSOMERA, BADO WANALIA
    NA KUTESEKA KWA
    MACHOZI YALIO JAA UCHUNGU
    Na MANUNGUNIKO JUU Ya
    UTAWALA Wa KIDHALIMU.

  • @user-bg9ct3yn8w
    @user-bg9ct3yn8w 10 днів тому +1

    Watu wanachukia kweli wanapenda uongo Mtumishi Mungu akubariki simamia kweli ya Mungu

  • @user-sc2yw5kk5r
    @user-sc2yw5kk5r 9 днів тому +1

    Hapo sasa naona wanaanza kukuelewa....

  • @DanielKoipapei
    @DanielKoipapei 10 днів тому +3

    Dunia imekwisha kabisa baba yetu ubarikiwe sana baba yetu i?

  • @NebatiMgute
    @NebatiMgute 9 днів тому +2

    Hata kanisani kwetu mchungaji wetu anatukamua kwelikweli yaani mpaka unatamani uishi tu maana ni afadhali mpagani kuliko vikoba vya hapa kanisani

  • @user-le6jm2tf5y
    @user-le6jm2tf5y 8 днів тому

    Barikiwa sana mtu wa Mungu

  • @YustoNgede
    @YustoNgede 3 дні тому

    Vikoba taype. Hubiri watu wabarikiwe wafanikiwe wapate cha kutoa, wao wanakumbuka kuhubir kutoa, zimepatikanaje sio kazi yao kujua, wana wa majoka hawa.

  • @user-is9sd4mz9d
    @user-is9sd4mz9d 8 днів тому

    Mbarikiwa upo vzr Mungu akubariki sana.

  • @ezekielmakililo
    @ezekielmakililo 8 днів тому

    Ubarikiwe Mno

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 9 днів тому +1

    Wewe ndiye mtu wa Mungu tena wa Busara uliyepo huko tanzania tunajivunia sana

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 10 днів тому +2

    Nyosha mapito ya bwana baba kanisa limeingiliwa na vibaka

  • @SAUTIYAHAKI
    @SAUTIYAHAKI День тому

    Kweli baba.wamepototokahao.ameeeen

  • @janepatrickmesso7487
    @janepatrickmesso7487 7 днів тому

    Nakuelewa pastor

  • @user-mo2sb2nh8u
    @user-mo2sb2nh8u 10 днів тому +2

    Unachosema ni kweli tunaibiwa lakini mijitu sijui midishi imeyumba

  • @agnesyjoseph3906
    @agnesyjoseph3906 9 днів тому

    Amen, Mungu azidi kubariki mtumishi udumu kuinena kweli ya Mungu Kama ilivyo

  • @TAG-863
    @TAG-863 8 днів тому

    Mtumishi songa Mbele kama tanzania ingelikuwa na wachungaji kama awa ingelipendeza sana tanzania na wanawake kuvalia suruali kusingekuwepo tanzania

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 10 днів тому +2

    NIMEKUELEWA SASA MCHUNGAJI UNAPAMBANA SANA ...MUNGU AKUBARIKI

  • @mengindegeya2780
    @mengindegeya2780 9 днів тому

    Asante mlinzi nakukubari mtu aliae nyikani.

  • @surylinetv4677
    @surylinetv4677 9 днів тому

    Mungu akubariki Mwakipesile

  • @Josephineisack-go1wu
    @Josephineisack-go1wu 9 днів тому

    Mungu.akubariki

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 днів тому

    👊👍✌️.

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 9 днів тому

    Amina Amina

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 5 днів тому

    Mungu akulidee uendelee kutuelimisha ilitujuwe kweli yotee

  • @omanqqwe4061
    @omanqqwe4061 9 днів тому

    Kweli kabis baba ubarikiwe

  • @SmilingArcade-xj7zg
    @SmilingArcade-xj7zg 9 днів тому

    Mungu atusaidie sana 🙏

  • @ExavelySimbey
    @ExavelySimbey 9 днів тому

    Ubarikiwe sana pastor.
    Tupo pamoja

  • @gwamakaadamson131
    @gwamakaadamson131 8 днів тому

    Kama kuna manabii wa uongo basi Mungu aliye hai uinua watumishi Kama mbarikiwa

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 9 днів тому

    Chapa injili SANA baba aah, chapa injili vya kutosha Mungu tunayemwabudu atakupigania Amina

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 9 днів тому

    Asante sana brother
    Piga kazi

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga 10 днів тому +1

    Hao ndo wanaweka ugumu wa injiri, wanaona wakafungue makanisa ili wajinufaishe kwa kusimamia vifungu baadhi hata wasiweze kuvitafsiri kwa HEKIMA ya Roho wake KRISTO😢

  • @ustawiwetu
    @ustawiwetu 9 днів тому

    Fungu la 10 ni kama TRA ndogo, usipotoa unashitakiwa na kuhukumiwa.

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 9 днів тому

    Hii mijamaa ni mitapeli ya dunia.

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 7 днів тому

    Kwasa pandambegu. wengine wengiwao niwaongo. manabii matatizo. mitume nishida hao hao kimbia

  • @user-bg9ct3yn8w
    @user-bg9ct3yn8w 10 днів тому

    Ameeni baba kweli kabisa umefundisha vizuri

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 5 днів тому

    Awa siyoo wachungaji wachumia tumbo nawapiga Dili

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 9 днів тому

    Hawa ni wahuni na matapeli TU!

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 10 днів тому +1

    Hufungwe ww songa mbele kanisa limetiwa ujinga vusuluali na misengenyo na kutoambizana ukweli hadi pombe xinakubaliwa kunywa tu

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 10 днів тому

    Mubarikiwa endelea mbaana sana Wala usiangalie ni nani Wala usiongopee

  • @AdamJonas-sx4mi
    @AdamJonas-sx4mi 9 днів тому

    Munasumbua network tuonyeshe na kanisani kwako hapo hatukuelewi kwasababu umechukua neno moja tu hujaanzana naye mwanzo umetuonyesha neno moja tu na ndo unalo hukumia mtu.

  • @user-qm2ve7tx3s
    @user-qm2ve7tx3s 9 днів тому

    Wakemee namimi Niko nawakemea kwenye koment hapa kwajina layesu mngu ikimpendeza kufanya miujiza aanze nahivyo vihubili vinavyo potosha kwasababu ya Tamaa ya mali na vyeo avishike midomo viwe vibubu mpaka vitakapo tubu ndipo vimjue mngu wakweli viachane nahuyo mngu mpenda pesa amina

  • @user-vw2kb8hp9u
    @user-vw2kb8hp9u 9 днів тому

    MUNGU WA MBINGUNI AKUBALIKI SANA MTUMISHI NAKUEREWA VIZURI SANA SEMA KWERI TUPONE

  • @WTC492
    @WTC492 9 днів тому

    WAPIGWEE

  • @princenelsonsinko5237
    @princenelsonsinko5237 9 днів тому

    Hawa ni wachungaji matapeli na hawa sio watumishi wa kweli

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f 9 днів тому

    Pamoja mtumishi waambie

  • @TUMUENZIMBARIKIWA
    @TUMUENZIMBARIKIWA 10 днів тому

    Eeeeeee Aminaaaa baba ,mtu ndiye zaidi ya pesa

  • @lailaiza7288
    @lailaiza7288 9 днів тому

    Hongera sana wape ukweli hao

  • @EnockTuza
    @EnockTuza 10 днів тому

    Nakukubali,hapo umesema kweli.

  • @Magufuli.
    @Magufuli. 9 днів тому

    Kulanao sahani moja mbwa wakubwa hawa

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 9 днів тому

    Tumwombee Joseph Nyuki ndgzng wakristo

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 9 днів тому

    Lusekelo nimemfuta ktk watumishi wa Mungu wa ukweli mwanzoni nilijua yuko ktk nuru kumbe yuko ktk giza

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 10 днів тому

    ❤❤❤❤

  • @user-bg9ct3yn8w
    @user-bg9ct3yn8w 10 днів тому

    Ameeni Ameeni pia

  • @user-ro2mb5uc1y
    @user-ro2mb5uc1y 9 днів тому

    UBALIKIWE Sana mtumishi wa MUNGU

  • @user-bg9ct3yn8w
    @user-bg9ct3yn8w 10 днів тому

    Ameeni

  • @adophmmole6389
    @adophmmole6389 9 днів тому

    Uyu nyuki nyuki si alikuwa mwimbaji sasa imekuwaje awe pastor saiv muhuni uyo na mm nafuta nyimbo zake zoote kwa simu tumkatae watanzania atufai tena

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 9 днів тому

    Mi nasali nyumbani

  • @stamilinyakunga
    @stamilinyakunga 10 днів тому

    Kweli baba

  • @thimoteslangay2010
    @thimoteslangay2010 9 днів тому

    😂😂😂majambazi tu nyie mzee wa upoko na nyuki😂😂😂

  • @amosnjiaapostle
    @amosnjiaapostle 10 днів тому +2

    Mungu ni wa wote wenye mwili ninyi mtakao sadaka ni tamaa zenu tu pia sadaka ya kwanza njema ni kuitoa miili yetu kama dhabihu takatifu endelee mtu wa Mungu kuwapiga spana matapeli hao

  • @janelithaSolomon
    @janelithaSolomon 9 днів тому

    Kwa hili nakuunga mkono....

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 10 днів тому

    Hawa wanyanganyi sijui kwann wanapata wafuas

  • @user-mo2sb2nh8u
    @user-mo2sb2nh8u 10 днів тому

    Anayetukana nadhani akili zake hazipo sawa

  • @EmanuelStart-jd1vr
    @EmanuelStart-jd1vr 10 днів тому

    Makanisa ya mashetani ,wanavuta bangi hao ,Bora uwafumbue macho kwa wasio jua ubarikiwe mtumishi kikosi kazi,

  • @designdesign4426
    @designdesign4426 10 днів тому

    Mpaka mje mgundue biblia imeandikwa na maginius ya kizungu kwa waafrika matahila.

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 10 днів тому

    Wataendelea kujibainisha wenyewe na kazi zao hawa mashetani

  • @ashelikilele167
    @ashelikilele167 10 днів тому

    Wezi ndio Wanao sajiliwa nakuliita nikanisa

  • @valelianonyato-gx5bq
    @valelianonyato-gx5bq 10 днів тому

    Kwamujibu wa maandiko hao niwachungaji wezi na wanyang'anyi Yesu alisha sema

    • @RizikiEsromu
      @RizikiEsromu 10 днів тому

      Andiko huua roho huuisha tafuta ufunuo ndipo unaweza kulifundisha neno Kwa usahihi.

    • @user-xd7gb9ub4t
      @user-xd7gb9ub4t 6 днів тому

      Toeni sadaka acheni kumuibia MUNGU

  • @elishadodi8787
    @elishadodi8787 10 днів тому

    Wasio na Sadaka ndiyo wasiende kwa wahubiri wenye njaa Ila wenye dhambi hawaoni shida kwao. Wapo radhi wawe wazinifu kanisa Zima Ila siyo wasio na Sadaka. Kwa Mwenye macho ya roho na ufahamu wa Mungu siyo kazi ngumu kuwajua Hawa matapeli wa injili. Huu ujinga kiukweli tusiunyamazie

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 10 днів тому

      Yes wapo masikini mm nawajua ninwanaomba na kuililia nchi hii inakuwa salama na MUNGU ametuagiza tutor sadaka kwa masikini tena hao masikini ndo wasafi na MUNGU amesema shida sana matajili kuulidhi ufalume wa MUNGU

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 10 днів тому

      Ukweli mm nipo pamoja na ww mbalikiwa kwa sasa kanisa limejaa wahuni miwigi mividuku na kujibadilisha langi ambazo MUNGU Alitupa kanisa limepoteza mwelekoe eti kama huna sadaka usije alafu watu masikini waende wapi hakuna ukweli hapo

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 7 днів тому

    wewe. nimutumishi nzuli ningekuwa. Nipo. Mkowa. Wako. ningesali. kanisanikwako ilamtumishi nkunawengine. hatakwaiyaliyao. hawatoi. hata zaka malimbuko hawatoi kamili. inavyotakiwa haounawasaidiaje

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 9 днів тому +1

    5 Lakini jicho la Mungu lilikuwa likiwaelekea wazee wa Wayahudi, hao wasiwazuie, hata habari ile imfikilie Dario, ndipo jawabu litakapopatikana kwa waraka.
    Ezra 5:5
    👉 Barikiwe sana kama lilivyo jina lako babangu 🙏

  • @FestoMbwilo-xf9px
    @FestoMbwilo-xf9px 10 днів тому

    Peleka injili mbalikiwa

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 9 днів тому

    Kwani hawa watu ambao wanaoabudu katika makanisa haya hawafikiri utapeli wa hawa majamaaa?? au wamefungwa akiri??

  • @ronaldsikaponda3553
    @ronaldsikaponda3553 10 днів тому

    Siyo vyema kutafsiri Biblia kama upendavyo ili tu uwapinge wengine ,hapana hiyo si sawa.Na usitowe maneno mengine kichwani mwako ilimradi uwafurahishe wanadamu hasa wasiopenda kumtolea Mungu hiyo si sawa unawadanganya watu.

    • @Furahamwasyika
      @Furahamwasyika 10 днів тому +3

      Mungu angekuwa anangalia sadaka kwanza basi hakuna ambaye angeokoka
      MATHAYO 12:7 Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia. Bila shaka na wewe ni zao hao Wahubili hao.

  • @valelianonyato-gx5bq
    @valelianonyato-gx5bq 10 днів тому

    Wajifunze kwa kanisa katoliki hakuna upuuzi wa hivyo

  • @Lupembeajua
    @Lupembeajua 10 днів тому

    Nilikuwa nakusubiri baba juu Hawa wajinga

  • @stamilinyakunga
    @stamilinyakunga 10 днів тому

    Dunia imeisha Mweeee baba Mungu akupe heri mm bado najitafta nipate hata hatua kadhaa japo niricherewa nikiwa kwa wachumba matumbo.

  • @ronaldsikaponda3553
    @ronaldsikaponda3553 10 днів тому

    Hapo umedanganya nimefuatilia misitari uliyosoma hakuna mahali panaposema "hapo ndipo usiingie mikono mitupu" hayo maneno umeyaongeza mwenyewe kwa sababu unataka Biblia ukufuate wewe unachofikiri.Nyie mnao mfuatilia kuweni makini na anachosema. Maneno mengine anayaongeza.

    • @albamwanja4304
      @albamwanja4304 10 днів тому

      Hizo verses ni supportive kuwa sio lazima uwe Tajiri utoe Sadaka au inapinga pia wachungaji wanaojaribu kutumia lugha ya kitisho

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 10 днів тому +1

    Matapeli ni wengi sana, mzee wa upako tulichanga tupate kanisa la barabarani lakini akaenda kununua nyumba mikocheni ya Mariele.

  • @AlexKabage
    @AlexKabage 10 днів тому

    Yesu alisema hakuna mwema duniani mwema ni Mungu aliye juu pekeyake ko acha acha wivu Mungu hapendi kabisa wivu ko ebu badilika mtumishi acha njaaaahiho

    • @Furahamwasyika
      @Furahamwasyika 10 днів тому

      Bila shaka wewe ni zao la hao Wahubili matapeli ajabu sana kujiita mwema ni dhambi?

    • @nkanabodastan7887
      @nkanabodastan7887 10 днів тому

      Mjumbe wa Ibilisi wewe ,usiwapotoshe walitayari kubadilika

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 9 днів тому

      We dogo, wewe ndo sio mwema, Unadhani uchafu ulio nao na nasisi tunautenda? (Pastor Mbarikiwa anautenda)???

  • @AlexKabage
    @AlexKabage 10 днів тому +1

    We muongo sana ebu badilika

    • @AnaniaKyando
      @AnaniaKyando 10 днів тому

      Kibaka mkubwa mtapata na laana bule kama hujui kaa kimya

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 10 днів тому

      Wew una comment Mara ngp? Devil mkubw

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 10 днів тому

      Naona vibaka mmeanza kuhemea mipira hahahaaaaaaaaaaaa😂

  • @AlexKabage
    @AlexKabage 10 днів тому

    Yaani muda wowote unashinda tu mitandaoni kuchunguza wenzako iv ww ni Mungu kwamana umezidi muno eeeeee

    • @JohnJoseph-qq7ow
      @JohnJoseph-qq7ow 10 днів тому +1

      Kwa hio wewe unafurahia utapeli?

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 10 днів тому +1

      Wew ndo shetan mwenyew umetumw,? Sis tunaon anachoongea mbarikiw nkwel kabsa

    • @shukranimpomwa7460
      @shukranimpomwa7460 9 днів тому +1

      Wewe ndo huna akili,
      Unashinda mitandaoni kuangalia WENGINE walichokifanya, jinga kweli wewe.

    • @emmanueligale526
      @emmanueligale526 9 днів тому

      Kweli kazidii mahana anawahalibia saaaaana tapeli mkubwa ww😂😂😂

    • @user-xd7gb9ub4t
      @user-xd7gb9ub4t 6 днів тому

      Hebu mtoleeni MUNGU hakuna sala bila sadaka,kupenda au kufurahia kutokumtolea MUNGU huo ni umaskini wa fikra, Hosea 4:6.