Dan ne bless aki nilirudi tena kwa church juu ya kusikiza hiz nyimbo zako nilikua nimekataa tamaa ya maisha kabsa aki but know thanks aki nimesimama tena God bless you so much naeza shinda siku nzima nikisikiza hizo nyimbo hua nasikia faraja ya ajabu🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sure aja tegemeo letu liwe mungu, Kwa Kila jambo anaweza ata mm nlkua nme backslide but I got back again am in Christ in full force na ninazidi kuona mkono wa bwana katika maisha yangu, 🙏🙏🙏
Nani ameenda kuchungulia original song ya 9ys tushikane tubariki heaven saund online 🎉🎉 uifundishee roho yanguu habari za mbingu😢😢❤❤mungu awabariki na awainue zaidi 🙏 🤲
Am a malawian i dont understand the language but i feel the presence of the power of the holy ghost i don't know why am crying everytime i listen to this song 😢
Ni ombi langu Jehova uniondolee majivuno mbele zako ata machoni pa wanadam na unipe kunyenyekea kila siku maana majivuno mwisho wake ni dhambi( mauti)...Mungu unasema heri anayejishusha maana utamwinua
Heri kiboshalo Mungu unae itika Jehovah shama Mungu anae itika Uniondolee majivuno komesha kiburi utawale akili zangu ufundishe Roho yangu habari za mbinguni gonga like mtu wa Mungu ❤❤
Amen amen amen Asante bwana,chunguza moyo wangu bwana,uniondolee Kila roho ya uharibifu ndani yangu,unitawale yesu unitakase nauniongoze nienende kiroho nisienende kimwili niongozwe na roho mtakatifu baba naomba🙏🙌♥️
Sijui kama kuna mtu anaguzwa na iyo chorus ya "watu wote tubuni tuache dhambi"? Mungu tusamehe yote tuliyotenda kinyume na neno lako kwa kujua na kutojua turehemu Baba yetu, tuondolee majivuno na kiburi, tuumbie mioyo mipya Mungu, mioyo iliyo na kiu cha kukutumikia wewe , kutenda mema kwa wengine na kuchukia dhambi Amen .Asante mtumishi tunabarikiwa sana
This song means a lot kwa nyimbo za Rosé zote ndio napenda especially in that chorus Uniondolee majivuno komesha kivuli Utawale akili zangu Uifundishe roho yangu habari za mbinguni Usikize kizazi changu Mungu anaishi
Niondolee Majivuno,tawala Akili zangu,eee Mungu wangu,wakati huu mngumu,nisije nkaingia kwenye nitego za adui 🙏🙏🙏, Glory be to God 🙏🙏,More Grace Bro Danny,be blessed
Uniondolee majivuno, komesha kiburi.. utukuzwe Mungu milele🙏 tuned from Patte island, Lamu county. Nashukuru kwa uwepo wako katika familia yangu ikiwa kule koyonzo Mumias.
"UNIONDOLEE MAJIVUNO" very powerful song,GOD BLESS YOU MINISTER DANYBLESS AND THE TEAM,Remember we are in end times,,TUMRUDIE MUNGU,What is really happening is not pleasant in the eyes of the LORD have mercy on us DADDY,KENYA,KENYA KIPENZI CHANGU.NO matter how rich you are,you can not pay for you sins,In him,we have redemption through his precious blood and the forgiveness of sins,according to the riches of his GRACE ( EPHESIANS 1: 7).I pray that GOD will grant us strength and power to overcome all obstacles along our way,IJN,🙏🙏🙏🙏
E mungu wangu mimi ninatukushukuru Mbele ya mataifa mimi nitaimba Dunia nzima nayo itambue hilo Kwamba jina la yesu pekee ndilo Ulimwengu mzima uokolewe kwalo Asubuhi na mapema, mimi nitaimba Kabla ya kinywa kunena, kwako nitaimba Tufani ijapozidi wo, kwako nitaimba Nijapoteswa kabisa, kwako nitaimba Nijapodharauliwa, kwako nitaimba Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi …. Swiyi… Amka we kinubi (Swiyi… Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi… Inuka e zumari, inuka kwa sauti (x2) Woo na utukuzwe Mungu, Woo na utukuzwe Mungu, Yee Jehova adonai, Yee Jehova adonai, (Jehova Adonai) El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom, Uniondolee majivuno, komesha kiburi Utawale akili zangu, Bwana niongoze Unifundishe roho yangu habari za mbingu Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi Uniondolee majivuno, komesha kiburi Utawale akili zangu, Bwana niongoze Unifundishe roho yangu habari za mbingu Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi (Chorus) NIpe moyo ya nyama, ulopondeka Moyo uliotulia, na unyeyekevu Mimi si kitu kwako, ni mdhuru? tu Mimi ni kama nani, uniinue Unifinyange bwana, kama upendavyo Unifundishe Bwana kama upendavyo (Chorus) NIkikuita mungu, unaitika Rohi eloie heika (?), noishikimu Jira el shadai, Jehova oseenu El elyo shammah, Mungu unaitika Jehova shabbah, Mungu utanijibu (Jehova Shabbah, El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom, El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom,
I tap this blessing to our minister 🙏.may God continue using you as a vessel even to non believers.continue spreading the gospel of God all over the world.every stewardship has a reward 🏅🏅🏅🏆🏆🏆🏆🏆
Mungu uniondolee majivuno na utawale akili zangu, ufundishe roho yangu habari za mbingu, sikizeni kizazi changu Mungu anaishi weueeee strong words,, 🙏🙏🙏
❤❤❤❤i like the mix so much,, May God use you to inspire us 🙏👍🤗 may God also bless every work of your hands and continue with the same spirit 😮😮😮😮, For me the song is new everyday ✅✅💯💯💯🙏🙏🙏 Amen , hallelujah 🙏🙏🙏
Wenye tumekuja hapa straight from Ticktok to get the whole song tungoge likes tukisonga👍. I tap the anointing in Jesus name🙏🙏
Amen amen 🙏
Amen amen ameeen❤
Hallelujah I tap it too
Amen
Mimi hapa😂
Mwenye hii song imeguza na kujikuta analia akiomba piga like tukisonga🙏🙏🙏
"moyo uliyotulia...kwa unyenyekevu"....
Eeeii this song aki😢🙏
Nipo hapa nalia😢
Wale wote tunaoamini kwamba iko siku Yesu Kristo atarudi kutuchukuwa twende kuishi naye paradise gonga likes kwa utukufu wa Jehovah Mungu wetu .
Amen amen
@@MINISTERDANYBLESS Amen mpendwa.
@@MINISTERDANYBLESSamen mung u anaishi kueli😊
Yes I believe and it's giving me headache 😭😭
@@nancychelagat6619 Jehovah Mungu wetu kweli anaishi, be blessed dear 🙏
Wale wote wanaoukubali huu wimbo kuanzia kwa Rose mpaka sasa remix gonga like hapa
Mungu baba simama na inchii yangu Kenya tumekukosea kwa mdaa mrefu twaomba msamaa baba😭😭😭😭
Amen amen 🙏
Amen tunajua sisi n watenda dhambi utusamehe mungu wetu🙏🙏
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Set us free jesus Christ 😢😢
Wenye tuko tayari kung,ang,ania yesu gonga like
💯💯💯💯✊
Wale ambao tumehisi baraka kupitia huu Wimbo piga like tukianguka nayo
❤❤❤
Kama umebarikiwa na nyimbo hii weka like hapa🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉
❤❤❤Mungu asifiwe kwa nyimbo hizi
Bro, let me be frank with you, been constantly playing this piece on repeat mode...I feel Jesus' presence amidst my uncertainties. 4:36 ❤❤
🎉
Sio "nyimbo hii" bali sema "wimbo huu"
"Na kizazi changu kiiishi kujua Mungu anaishi,Anaponya na ndiye Njia ya Uzima wa milele"🎉😊
Amen amen 🙏
@@MINISTERDANYBLESSmay God bless you
Hapo sasa
🙏 🙏 🙏
Ameen 🙏
Amen ... sauti ya Rose Muhando itaishi hata ulimwengu wa pili. Barikiwa ndugu kwa kudumisha uhai wa wimbo huu.
Amen
@@MINISTERDANYBLESS
Bless you for giving this song a new touch 🙏
May God bless Rose muhando for this song.
Mungu amzidishie Rose muhando ju kama sio yeye kutunga huu wimbo haungekua unaimbwa
🙏👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Wale tumekuja hapa kutoka tiktok nipeeni like....
niko hapa
Ndio natoka TikTok sai sema mbio Hadi you tube
Niko
He's blessed with good voice
Tuko
Team Gen Z wale tunareject 2024 finance bill huku ebu niwaone
Amen
I am still rejecting 😂😂😂😂😂
In the same knot we also declare to reject devil
Niko apa...naskiza hadi inanitulisa naeza sema finance bill oiyeeee!!!😅😅
😂😂
uniondolee majivuno,
komesha kiburi😢😢
utawalee akili zangu
bwana niongoze 🚶🏽♂️🚶🏾
uifundishe roho yangu habari za mbingu ⛪
"sikizeni eee kizazi changu, Mungu anaishi...." 🔥🔥
Thanks for makingi me understand this song❤
This part😢😢 may God renew his covenant with our hearts
Amen Mungu ambariki Rose alieutunga huwimbo🙏
Rose Mhando hapa alituliza akili sana. kuutunga huu wimbo
Who else is being blessed by this man of God? I am always blessed with his covers. Let us appreciate him by likes.
Amen 🙌🙏
@@mercyakech 🙏🙏
❤❤❤🙏🏿🙏🏿
Amen
Am always blessed but language barrier 😢
Kaa wwe ndiye tegemeo kwa familia yenu ,,, may God multiple your hustle
Amina
Amen
Amen
Amina
In Jesus name Amen 🙏
Uniondelee kiburi na uondoe Chocho ambacho si chako ndani yangu mungu.....
Amen
Amen
Amen
Amen and Amen 😘 uniondolee majivuno....komesha kiburi...utawale akili yangu....🙏
Hallelujah
Niumbie moyo wa nyama..
Ameniguza Sana amen
We need Rose Muhando's like here too 👍👍👍
Dan ne bless aki nilirudi tena kwa church juu ya kusikiza hiz nyimbo zako nilikua nimekataa tamaa ya maisha kabsa aki but know thanks aki nimesimama tena God bless you so much naeza shinda siku nzima nikisikiza hizo nyimbo hua nasikia faraja ya ajabu🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tumushike mungu tena ndungu yangu pia mmi huu mwaka sichawai ikia Church kwa mambo ya mtu tu
am also a victim imagine 😮
@@Salashsalama hallelujah
Sure aja tegemeo letu liwe mungu, Kwa Kila jambo anaweza ata mm nlkua nme backslide but I got back again am in Christ in full force na ninazidi kuona mkono wa bwana katika maisha yangu, 🙏🙏🙏
May our good God amazingly uplift you...mambo bado mambo meupe mbele!!!....Ngai mbele....
Direct from TikTok ❣️❣️nani amejaribu kuskiza hii wimbo kwa system with volume yote🔥🔥
Am here dancing with my husband, rejoicing.God has blessed us with a baby boy 😍😍😍🫂...
I did, the auto tune and the angelic ladies sounds are heavenly 🎉🎉🎉
Am leaving this comment here for you to see if you are like or un like but if you like I'll be back to watch this video again 💪💪
Hallelujah Hallelujah
🙏 AMEN *Uniondolee majivuno, komesha kiburi, tawala akili zangu, Bwana niongozee, Amen 🙏 🙌
Amen amen 🙏
Rose muhando ubarikiwe mama yangu ww ndiye uliefanyika Daraja kwangu kwa nyimbo zako ad ukanibadilisha dini Ooohh halleluya🙏🙏🙏🙏
I just came from tiktok to like this song
Amen
Nice one
I am in tears when I'm listening to this song,I'm saying why may I going through this type of life people outside there please pray for my life.
May God see you through
May Lord bring change into your life
Nani ameenda kuchungulia original song ya 9ys tushikane tubariki heaven saund online 🎉🎉 uifundishee roho yanguu habari za mbingu😢😢❤❤mungu awabariki na awainue zaidi 🙏 🤲
Amen
Wooooow hii nsyo imenifanya i was to eat lunch nikaacha, mmmmh niondolee majivuno YESU KRISTO, komesha kiburi.😭😭😭😭😭🔥🔥🔥🔥🔥 May God forgive me.
Amen amen hallelujah 🙌
@@MINISTERDANYBLESSwhat are your social media minister you hve done well with this mix?
Kbc
Am a malawian i dont understand the language but i feel the presence of the power of the holy ghost i don't know why am crying everytime i listen to this song 😢
Let's gather here to tap this anointing,be blessed son of God min Dan bless as you minister nations🙏🙏
Amen hallelujah
Amen 🙏
I believe one day i will come back here and testify what the Lord has done 🙏🙏🙏 team gulf God is always with us 🙏
Yaan nmetokea tktok kukutafuta kwa yute kweli ya Kale ni dhahabu hongera sanaa rose muhando Kwa kz nxuri ambao vzazi wanajivunia mpka Leo 🎉
Nani amebarikiwa na hizi wimbo nipee likes
Ni ombi langu Jehova uniondolee majivuno mbele zako ata machoni pa wanadam na unipe kunyenyekea kila siku maana majivuno mwisho wake ni dhambi( mauti)...Mungu unasema heri anayejishusha maana utamwinua
Amen amen hallelujah
Oh Lord I can't stop listening this song makes Heaven connection easy Be blessed Rose Muhando and Danny Bless.❤❤
Mungu kweli ana ishi mahali pasifa ubalikiwe sana🎉🎉🎉🎉
Heri kiboshalo Mungu unae itika Jehovah shama Mungu anae itika Uniondolee majivuno komesha kiburi utawale akili zangu ufundishe Roho yangu habari za mbinguni gonga like mtu wa Mungu ❤❤
The uniondolee majivuno na ukomeshe kiburi part humbles me🙏 0:24
Wow uko sawa rudia nyimbo kama tatu za rose muhando ziko viti
Amen amen amen Asante bwana,chunguza moyo wangu bwana,uniondolee Kila roho ya uharibifu ndani yangu,unitawale yesu unitakase nauniongoze nienende kiroho nisienende kimwili niongozwe na roho mtakatifu baba naomba🙏🙌♥️
Amen amen hallelujah
@@MINISTERDANYBLESS amen
Sijui kama kuna mtu anaguzwa na iyo chorus ya "watu wote tubuni tuache dhambi"? Mungu tusamehe yote tuliyotenda kinyume na neno lako kwa kujua na kutojua turehemu Baba yetu, tuondolee majivuno na kiburi, tuumbie mioyo mipya Mungu, mioyo iliyo na kiu cha kukutumikia wewe , kutenda mema kwa wengine na kuchukia dhambi Amen .Asante mtumishi tunabarikiwa sana
Hallelujah Hallelujah 🙌 🙌
Amen
Niondolee majivuno na kiburi mungu wangu kisasi changu kikutambue milele ,,,my daily prayer
Amen amen 🙏
Amen
Huu wimbo umeninifunza kuwa mwaminifu na kutegemea Mungu. Majivuno yameondolewa kufuatia huu wimbo. Asante kwa mwenye alitinga huu wimbo.
This song means a lot kwa nyimbo za Rosé zote ndio napenda especially in that chorus
Uniondolee majivuno komesha kivuli
Utawale akili zangu
Uifundishe roho yangu habari za mbinguni
Usikize kizazi changu Mungu anaishi
Unifinyange Bwana kama upendavyo 🙏
God bless you heaven sounds when I start listening this songs I don't remain the same thank you for the message Love you from 🇺🇬🇰🇪🙏
Mimi na nyumb Yangu tutamtumikia Bwana🙏🕊️🙏
Hallelujah
Niondolee Majivuno,tawala Akili zangu,eee Mungu wangu,wakati huu mngumu,nisije nkaingia kwenye nitego za adui 🙏🙏🙏, Glory be to God 🙏🙏,More Grace Bro Danny,be blessed
Amen amen hallelujah
Uniondolee majivuno, komesha kiburi.. utukuzwe Mungu milele🙏 tuned from Patte island, Lamu county. Nashukuru kwa uwepo wako katika familia yangu ikiwa kule koyonzo Mumias.
Amen amen 🙏
Mungu akupeleke mbali mutumishi wa Mungu umerundisha nyimbo ii kwemye ubora wake.❤❤
From tick-tock following this song here. Am so blessed from Zambia 🙏🙏🙏🔥🔥🔥
"UNIONDOLEE MAJIVUNO" very powerful song,GOD BLESS YOU MINISTER DANYBLESS AND THE TEAM,Remember we are in end times,,TUMRUDIE MUNGU,What is really happening is not pleasant in the eyes of the LORD have mercy on us DADDY,KENYA,KENYA KIPENZI CHANGU.NO matter how rich you are,you can not pay for you sins,In him,we have redemption through his precious blood and the forgiveness of sins,according to the riches of his GRACE ( EPHESIANS 1: 7).I pray that GOD will grant us strength and power to overcome all obstacles along our way,IJN,🙏🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Hiyi nyimbo ina nifariji sana moyo,, mungu ka kubariki siku zote baba, wewe ni mwamba kabisa
Rozi muhando kutunga wimbo kama huu aliwaza nn huyu mama mbona kama na yeye ni malaika ila watu hatujui
Amen amen 🙏
Umeona eee
Siri yake naona ni kipawa Kisha akaamua kuimba bilblia haswa haswa zaburi na kujawa neno katika moyo🙏🙏🙏
Kabisaa
You never know, mungu huponya roho za watu Kila inapoitwa leo kupitia watumishi alowachagua na kuwainua
I just came from TikTok to like the song,,,more grace to Rose Muhando🙏🙏
Amen Amen!
Baba wa mbinguni niondolee majifuno ili siku moja nikajipate kwako mahali pa mirere 🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
I WANT TO WRITE IN CAPITAL LETTERS,,,, THIS SONG IS A BLESSING TO ME,, MAY GOD FULFILL YOUR HEART DESIRES BROTHER!!!
My son be blessed huwa nabarikiwa na nyimbo zako
@@ANNEFAVOURED-wp3py Amen amen 🙏
Been playing this piece on repeat mode, cant just get enough of it...this is a powerful ministration.Blessings to the crew. 11:32
E mungu wangu mimi ninatukushukuru
Mbele ya mataifa mimi nitaimba
Dunia nzima nayo itambue hilo
Kwamba jina la yesu pekee ndilo
Ulimwengu mzima uokolewe kwalo
Asubuhi na mapema, mimi nitaimba
Kabla ya kinywa kunena, kwako nitaimba
Tufani ijapozidi wo, kwako nitaimba
Nijapoteswa kabisa, kwako nitaimba
Nijapodharauliwa, kwako nitaimba
Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi ….
Swiyi… Amka we kinubi (Swiyi…
Swiyi… Sikia e kinanda (Swiyi…
Inuka e zumari, inuka kwa sauti (x2)
Woo na utukuzwe Mungu, Woo na utukuzwe Mungu,
Yee Jehova adonai, Yee Jehova adonai, (Jehova Adonai)
El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom
El gibo shalom mungu unaitika (El Gibo Shalom,
Uniondolee majivuno, komesha kiburi
Utawale akili zangu, Bwana niongoze
Unifundishe roho yangu habari za mbingu
Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi
Uniondolee majivuno, komesha kiburi
Utawale akili zangu, Bwana niongoze
Unifundishe roho yangu habari za mbingu
Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi
(Chorus)
NIpe moyo ya nyama, ulopondeka
Moyo uliotulia, na unyeyekevu
Mimi si kitu kwako, ni mdhuru? tu
Mimi ni kama nani, uniinue
Unifinyange bwana, kama upendavyo
Unifundishe Bwana kama upendavyo
(Chorus)
NIkikuita mungu, unaitika
Rohi eloie heika (?), noishikimu
Jira el shadai, Jehova oseenu
El elyo shammah, Mungu unaitika
Jehova shabbah, Mungu utanijibu (Jehova Shabbah,
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom,
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom,
El gibo shalom, Mungu unaitika (El gibo Shalom,
Oooh woooow! Thanks ❤
May God bless Rose muhando for this beautiful song
Wew noma sanaa
The best song ever from Rose muhando. Hii song inagusa roho itadumu sana .mungu amubaliki dada yetu rose...watching from Malawi....
Amen mungu akubariki na aniondolee kiburi na majivuno nikamtumikie jinsi apendavyo
Amen amen
I was worshipping listening to this song..I was telling God to show me my purpose..God gave me revelation
Nothing interesting than worshipping the lord in truth and in spirit..
Hallelujah
You're very right 👍🏾
And more so in a language you understand best
Ohhh really touching song
Rose Muhando live forever
Don't know who gonna read this but the truth is lord God loves 🇰🇪
At times like these, when I am down, some songs lit up my spirits high and become life again.thanks
I appreciate brother. Mungu na akutanguliye brother.
Amen amen
Aiii 😭😭 tuache dhambi wapendwa 👏👏👏🙏🙏🙏
Rose muhando songs to another level🎉❤
For sure may God bless Rose muhando for thinking for such good message
😢😢Mimi si kitu kwako yesu nisikilie maombi yangu...nimeburudika sana ndani ya yesu...Amina Asante kwa cover ya Rosy Muhando
Wow🎉this team is talented buana😊taking me Back to Back the Rose Muhando oldies version✊️vivaa😊God bless you all💞🙏
Amen amen 🙏
And may God bless Rose muhando for such strong message through this song
Mwimbo huu unanibariki sana sichoki kuusikiliza Mungu wa mbingun akuinue kwa viwango vinngine🙏🙏🙏
Asante Jehovah,Wacha jina lako litukuzwe milele maana ni jina kubwa🙏🙏🙏🔥🔥🔥💃💃💃🌹🌹👏👏🇸🇦🇰🇪
Daah wimbo naupenda huu❤❤❤ unanibarik sana❤❤❤❤
Natamani siku moja nifike hapo umefika wacha mungu akubariki sana sana
Amen hallelujah
Hii nyimbo inabariki sana Mungu na amubariki sana msanii aliyeimba akupanulie mipaka hadi dunia ishangae.
I'm gorret from Uganda glory to God be blessed bro 🙏🙏🙏
Amen amen 🙏
Ameeee mungu atufundishe jinsi ya kuishi Kwa unyoofu na ukamilifu ndani ya yesu kiristo
Amen mungu akupe nguvu ya kuimba..kwa maana si rahisi amen and amen
Hallelujah
Im here now from Saudi Arabia am uganda this song is like delivered i so much thank you papa
Amen 🙌🙏🙏🙏🙏 watching from South Africa
MUNGU baba simama nai inchiyangu congo🎉 utusamehe utusikiriye uruma munord kivu tunateseka utupinganie vita baba
Mara ya kwanza nakufwata; toka DRC, nakupenda sana kabisa. Mungu wangu akubariki saaana !
Amen amen 🙏
Wangapi tumebarikiwa na huu wimbo🎉🎉🎉
Wow am blessed worshipping together while in Saudi Arabia,, your songs. Comfort me alot
Amen amen 🙏
Amen 🙏🙏
Yesu kristo nikumbuke, komesha kiburi 🙏🙏
I tap this blessing to our minister 🙏.may God continue using you as a vessel even to non believers.continue spreading the gospel of God all over the world.every stewardship has a reward 🏅🏅🏅🏆🏆🏆🏆🏆
Amen amen 🙏
Hii song is very powerful Mungu awabariki sana
Amen,amen mama yetu Rose muhando umeacha halama kubwa duniani mungu akubariki sana
Amen amen is
Mungu uniondolee majivuno na utawale akili zangu, ufundishe roho yangu habari za mbingu, sikizeni kizazi changu Mungu anaishi weueeee strong words,, 🙏🙏🙏
Uniondolee majivuno, uifundushe roho yangu habari za mbinguni, mm si kitu kwako
Amen amen
I feel as if iam in heaven singing with Angels. Wow What a blessed song.
Waaa may God continue giving you mercy and blessings apon you guys
Hallelujah
❤❤❤❤i like the mix so much,,
May God use you to inspire us 🙏👍🤗 may God also bless every work of your hands and continue with the same spirit 😮😮😮😮,
For me the song is new everyday ✅✅💯💯💯🙏🙏🙏
Amen , hallelujah 🙏🙏🙏
Ooh Jesus make me a vessel of Humility where there is pride.
I tap the anointing for my son healing apon him in Jesus name Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙇🏾🙇🏾
Uniondolee majivuno bwana niongoze🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👏👏👏👏you guys your gospel are so blessings to me and my family
Hallelujah
The Lord is our strength, refuge,comfort,redeemer,encourager and worthy of praise.
Lord humble me 😭😭😭😭🙏
Mungu wangu sikia maombi yangu😭🙏🏽
Oooh hallelujah hallelujah Glory to be the name of Jesus!!!!
Hallelujah
Ameen