Mbarikiwa aukubali mtiti kwenye mkesha wa Mwamposa ingawa anahoji; Watu hao wanakuja kuabudu/kuagua?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024
  • Edit with InShot: v.inshotapp.ne...

КОМЕНТАРІ • 478

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 5 місяців тому +22

    Mimi nimepona kawe nipo nje ya nchi nimepona kwa jina la Yesu sii kwa jina la Mwamposa

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 5 місяців тому +2

      Imani yako imekuponya ktk Kristo Yesu

    • @AishaTarimo-hj2nj
      @AishaTarimo-hj2nj 5 місяців тому +1

      Mimi pia nilikuwa na uvimbe miaka 5 na sipo TZ nipo nje lkn kupitia Mwamposa nimepona

    • @LucasGoliath
      @LucasGoliath День тому

      Mbarikiwa wewe umetengenezwa na nani???

  • @jeymwilson8620
    @jeymwilson8620 4 місяці тому +7

    Mimi nadhani mwenye macho ya rohoni na masikio ya rohoni ndo atakaeelew Mbarikiwa nni anasema i love this Baba keep it up usianche kusema kweli Mungu aliekuita akafanye zaidi na zaidi God bless you Pastor

    • @EdnaMadudu
      @EdnaMadudu 4 місяці тому

      Kabisa kuyajua haya mambo yanaitaji macho ya rohoni sana mungu atusaidie sana

    • @matungwaByarugaba
      @matungwaByarugaba 4 місяці тому

      TATIZO UGANGA NA UCHAWI WENU NA UNFREEMASON MMEKWISHS POTWA TAYARI HIZO HASIRA ZENU SISI TUNASONGA MBELE.AFADHALI MUNYWE SUMU

  • @robutati1010
    @robutati1010 5 місяців тому +19

    Hongera sana Mtume timiza wito ulioitiwa na Mtumishi wa Mungu Mbarikiwa timiza wito wako sisi ni viungo ktk mwili wa kristo kila kiungo na kazi ya e hatuwezi kufanana tumeitwa tofauti

    • @HeriKayezu
      @HeriKayezu 5 місяців тому

      @@robutati1010 kama umati wa watu umemchanganyaa atuambie kwa nn na yeye anawachache tena wanafamilia melancholic wote, plze don't dare with our apostle Mwamposa

    • @DavidMbilinyi-tn3jm
      @DavidMbilinyi-tn3jm 4 місяці тому

      @@robutati1010 hakuna mtume aliyeitwa Kwa jina la yesu kukusanya fedha

    • @josephezekielmasolwa8283
      @josephezekielmasolwa8283 4 місяці тому +2

      Tumitwa tofauti ila Lengo ni moja Watu wa mlingane Mungu.

    • @enockniko9270
      @enockniko9270 4 місяці тому

      Hapana zijaribuni hizo Roho kama zimetokana na MUNGU
      Ukimpima na neno la MUNGU unaona ata mbinguni huwenda awamtambui labda anatambulika kwa kuwapeleka mamilioni ya watu jehanamu

    • @DavidMbilinyi-tn3jm
      @DavidMbilinyi-tn3jm 4 місяці тому

      @@enockniko9270 Amina ndugu tuwe na akili namna hiyo Kwa jina la Yesu.umenifariji hasa kipindi hiki ambacho watu wameyageukia mafundisho ya uongo

  • @AnnaBituro
    @AnnaBituro 5 місяців тому +7

    Pole mtumishi mimi nafikili unatakiwa wale wanaotoka kupokea miujiza kwa mtumishi
    Mwamposa uendelee wewe na wayumishi wengine kuwalea kiroho msana kule ameshawaongoza sala ya toba sasa mkiendelea kukosoa kosoa watu wanashindwa waende wapi mtadaiwai hizo
    Roho za watu
    Mtumishi
    Miwamposa
    Mungu anamjua zaidi kuliko mnavyomyyua ninyi mbona neno lnasema kila mtu atasimama mbele ya kiti cha
    Mungu. Watu wanao toka kwa mtumishi
    Mwamposa tuwapokee tuwaimrishe katika
    Imani ya
    Yesu. Kama walivyompokea jamani. Mbona hivyio ..

  • @NeemaAlphonce-v9y
    @NeemaAlphonce-v9y 5 місяців тому +9

    Aghmity God make you powerful to preach the truly GOD , Ubarikiwe saana Mwakipesile

  • @ObediChristopherLaizer
    @ObediChristopherLaizer 5 місяців тому +8

    Hongera Sana Kwa Kukosoa Wanaopotea ila Kila Unapoongea Hakiki Unachoongea Mtumishi Wa MUNGU Maana Kila Neno Iitahesabiwa Siku Ya Hukumu

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 5 місяців тому +13

    Kwa mwamposa pale inatuthibitishia kuwa watu wanataka miujuza had kuamin miujiza zaid ya Kumuamin Mungu wao, hapo ni uhuni tu.

    • @AGM19697
      @AGM19697 5 місяців тому

      Hata kwa Yesu miujiza ndio iliwavuta kuamini. Yesu hakutumia upanga kuwavuta alitumia miujiza. Musa pia

    • @matungwaByarugaba
      @matungwaByarugaba 4 місяці тому

      Umekosa wateja na wewe?pole yako

    • @matungwaByarugaba
      @matungwaByarugaba 4 місяці тому

      Yeye mbona hawasemi chochote?

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 4 місяці тому +5

    Kila mtumishi afanye utumishi wake kwa Mungu kwa uwaminifu muache chuki, wivu, na matusi.

  • @barakamzuri6522
    @barakamzuri6522 4 місяці тому +3

    Mbarikiwa, kwa heshima kubwa Sana, umesema vyakutosha. Je wajihesabia haki!!! Siku ya hukumu, Mungu atahukumu. Acha Mungu was haki aje kuhukumu. Wewe mhubiri kristo na hukumu mwachie Mungu

    • @FrolaMkolo
      @FrolaMkolo 4 місяці тому

      Hajawahukumu!!! Soma biblia na uwe rohoni!!! Yuko sawa anataka watu wawe na ufahamu wa Mungu

  • @hilarylaurian7896
    @hilarylaurian7896 5 місяців тому +8

    Mimi sikuwepo pale Packers ila nilikuwa kwangu mkoani nikikesha. Mungu anasema na roho za watu mmoja mmoja. Toba kila siku kwenye ibada anaongoza sara ya toba. Na roho wa Bwana akiingia kwako lazima atakuongoza tu kutubu. Amina

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 5 місяців тому +7

    .... KRISTO ACHA AJITWALIE UTUKUFU .... ALITUMIA HATA TOPE/MATE KUPONYA... Amani ya KRISTO IKUBEBE MTU WA MUNGU.... TUNAMWONA MUNGU KUPITIA BONFACE... MWAMPOSA...

  • @MabulaSamwel-t1j
    @MabulaSamwel-t1j Місяць тому +1

    Maandiko yanasema yadhuri nini? lakini kwa njia zote ikiwa ni kwa hila au ikiwa ni kwa kweli kristo anahubiriwa na kwa hiyo nafirahi naam nami nitafurahi wafilipi 1:18 Mungu awabariki watu wa Mungu tuache maneno tumseme Yesu walio wa Mungu wapone

  • @AyubuIkaku
    @AyubuIkaku 5 місяців тому +2

    Ahsante Mwenyezimungu mmoja kwa kuniongoza katika dini ya haki nayo ni dini ya Uislam.

    • @jaromemwazembe6396
      @jaromemwazembe6396 5 місяців тому

      Ukweli ni kwamba njia ya kweli Ni Kuamini ya kwamba Mungu yeye mwenyewe alikuja duniani akazaliwa akaamua kufa kwa ajili ya kulipa deni la wanadamu na kufufuka siku ya tatu na akapaa mbinguni. Kwa hiyo ukimwamini YESU KRISTO na kuziacha dhambi Roho mtakatifu ambae ndie Mungu yuleyule mmoja anakuja kukaa ndani yako.nawe unakuwa na uzima wa milele kwa maana Ufalme wa Mungu unakuwa ndani yako.
      Ni dua yangu kwamba Yesu kristo akujalie neema ya wokovu usipotee katika udanganyifu wa Dunia hii
      Amina.

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 5 місяців тому

      Haki ipi 😂😂😂

    • @EnaraMfwango
      @EnaraMfwango 4 місяці тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣haki hipi tenà

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 місяці тому

      Dini mnayo abudu na mashetani haifai

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 4 місяці тому

      @@FridayMwassa usikute wewe ndo kashetani kenyewe

  • @sarahmwasyoge1830
    @sarahmwasyoge1830 4 місяці тому

    Asante baba Mbarikiwa kwa uaminifu wako kwa Mungu wa kweli ..

  • @johnpaulin4511
    @johnpaulin4511 5 місяців тому +5

    Kwani mwamposa aliwatumia barua YA mwaliko? Waache wanajua wanachokipata
    Roho mtakatifu ndiyo anayetoa vipawa; nyenyekea hata wewe upewe acha wivu

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 5 місяців тому +2

    This is very deep, "Mungu Yeyote unaye mtumikia". I love the openness of the mind.

  • @JamesSichimata-w1u
    @JamesSichimata-w1u 5 місяців тому +4

    Kumbuka hata YESU watu walikusanyika wengi sana k

    • @ayoubmtumishi50
      @ayoubmtumishi50 5 місяців тому

      Lakini siku alipowaambia ukweli wa kula mwili wake na kuinywa damu yake walitawanyika wote.

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 5 місяців тому +10

    Chapa injili SANA mtumishi wa Mungu

  • @AdamJulius-z5i
    @AdamJulius-z5i 5 місяців тому +7

    Na wengi watawadanya, ni kweli wamefanikiwa pakubwa, sijui watu hawaelewi nini

  • @isayasanga1069
    @isayasanga1069 5 місяців тому +2

    Mungu aturehenu Roo waMungu atufunulie tuijue kweli

  • @jesusmwitila2215
    @jesusmwitila2215 5 місяців тому +11

    Ni vizuri huo mtiti uwe kwako .... hakuna sababu ya kumsema mtu onyesha Mungu wako

    • @MagdalenaMatiko
      @MagdalenaMatiko 4 місяці тому

      Sasa ungefanya kama elia kuondoa ubishi wewe ni maneno tuuu,fanyavitendo watu wajae kwako

  • @MichaelMwasese
    @MichaelMwasese 4 місяці тому

    Mbalikiwa mwasese h😊apa mm tume natkakuonana nawe mby hapa ,Mungu aklupe wepes tuonane mtumishi

  • @leahmafwenga4695
    @leahmafwenga4695 5 місяців тому +3

    Wivuu huoooo pambana na wewe ujaze. Na nyinyi mnavyorukaruka madhabahuni mnajiona mpo sawa

  • @JaneKisweka
    @JaneKisweka 5 місяців тому +9

    Hawaagui Bali wanasali tuache wivu mwenzako akifsnikiwa mpongeze Kila mtu amepewa kipawa chale Mungu amempa onyesha kazi siyo maneno Mwamposa songs mbele.

    • @ayoubmtumishi50
      @ayoubmtumishi50 5 місяців тому +1

      Watu wengi kama mchanga wa pwani wanaoenda upotevuni

    • @Dianamwansasudddw
      @Dianamwansasudddw 4 місяці тому +3

      ​@@ayoubmtumishi50kuna wengi wataenda mbinguni hapo hapo.angalia wewe usije ukaachwa?

  • @CharlesRyoba-iv1sc
    @CharlesRyoba-iv1sc 4 місяці тому

    Dah, Mungu wako ni dhahiri neno la injili unalolifundisha ni kama kwa mtumishi wa Mungu "pastor ezekiel" kutokea mavueni mombasa kenya. Ukweli ni kwamba watu hawatakuelewa na ndivyo ilivyo kwenye yohana 17:14. Hongera sana baba, Mungu atakulipa thawabu yako

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 5 місяців тому +7

    Kwa kweli mtumishi wa Mungu Mwakipesile hadi umefungwa kwa kweli yako kuokoa waliopotea endelea kutenda kazi ya Bwana Yesu akulinde na familia yako🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🎉🎉🎉❤❤

    • @HeriKayezu
      @HeriKayezu 5 місяців тому

      @@hildandumbalo5827 huyo chizi nilijua milembe Iko Dodoma kumbe mbeya

  • @IsaacpauloNgwavi
    @IsaacpauloNgwavi 5 місяців тому +5

    Mtakubali tu

    • @matungwaByarugaba
      @matungwaByarugaba 4 місяці тому

      Shetan wao kafirisika muda sasa wameanza kuchanganyikiwa

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 4 місяці тому

    Wivu mbarikiwa wivu,achana na mwamposa ni wakati wake!!na wewe sio Mungu acha Mungu amhukumu!

  • @samsonzablon
    @samsonzablon 4 місяці тому +1

    Ukweli ni kwamba kila nabii au mtume ameitwa na kupewa kitu tofauti na mwingine, lakini kila alichipewa yeyote kina lengo la kuujenga mwili wa Kristo. Injili kazi yake ni kuonesha hitaji la Mungu kwa wanadamu, lakini injili ya leo ni hitaji la wanadamu kwa Mungu, hii ni kinyume na kusudi la Kristo kuja duniani

  • @BaloziErasto
    @BaloziErasto 4 місяці тому +1

    Muoneshee mungu wako watu wamuone wajee wajae na wewe kwako

  • @magidalenarauya4286
    @magidalenarauya4286 4 місяці тому

    We mnafiki,ulisema afungiwe leo unamsifia jitafakari,sali sanaa

  • @GodwinBuberwa
    @GodwinBuberwa 5 місяців тому +3

    Njia iendayo uzimani ni nyembamba,lakini iendayo jehanamu kubwa mno😊

  • @HappyAnacondaSnake-zl4vj
    @HappyAnacondaSnake-zl4vj 5 місяців тому +15

    Mubarikiwa nimecheka Sana mwenye akili ndio anaelewa pongezi zako

    • @BeniJohn-xd3cn
      @BeniJohn-xd3cn 5 місяців тому +2

      😂😂😂😂 Kweli kabisa

    • @ombendaud5938
      @ombendaud5938 5 місяців тому

      Huo ndo ukweli.Hapo wanaenda kuagua

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 5 місяців тому

      Wataelewa wenye D mbili tu,

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 5 місяців тому +1

      Pongezi za kinafiki

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 5 місяців тому

      ​@@mosesjohnswilla9926hamna sio kinafki lakini anasema hao wanaotafuta miujiza

  • @MfikaMkumbwa
    @MfikaMkumbwa 5 місяців тому +1

    Onyesha nguvu ya Mungu sio maneno

  • @charlottesindayigaya2030
    @charlottesindayigaya2030 5 місяців тому +3

    HUO NDIYO UJUMBE BWANA YESU AMEKUPA KUHUBIRI WATU.????? HUBIRI INJILI YA YESU ACHA KUTAZAMA MTUMISHI MWINGINE

  • @juliusakilimali9424
    @juliusakilimali9424 5 місяців тому +9

    Kila mmoja na UTUMISHI wake!! Acheni kuhukumu! Nawe onyesha UTUMISHI wako ili watu wa Mungu wakuelewe na wapone.Mwache mwenye enzi Yesu Kristo atakuja kutenganisha pumba na Mchele.

    • @HaikaFoya-m5r
      @HaikaFoya-m5r 5 місяців тому

      Naye huu nduyo Utumishi wake.

    • @jaromemwazembe6396
      @jaromemwazembe6396 5 місяців тому

      Ndio kila mtu na alivyo itwa lakini kumbumbuka sisi sote ni mwili wa Kristo. Sasa je kristo anatutaka tufanye hayo? Au Ana tutaka tuwafanye watu waache dhambi na kuufuata Yesu Kristo tu. Mtu Hana laana akimwamini Yesu na akiacha dhambi na kufanya kazi kwa bidii.
      Wewe huna laana kwa maana Yesu Kristo amekuokoa. Hayo mengine ni udangqnyifu wa Dunia hii.

  • @FarialaRokambele-n8w
    @FarialaRokambele-n8w 5 місяців тому +6

    Watumishi wote hapa inchini Tz kama wangekua na hekima pamoja na wokovu kama Mtume Mwamposa inchi hii ingekuwa yenye Baraka saana kwahali yakumpendeza MUNGU BABA

    • @frankbutati8343
      @frankbutati8343 5 місяців тому +2

      We ni kiande kweli kweli, iko siku mtamumbuka mwakipesile

    • @francisandrew5386
      @francisandrew5386 5 місяців тому

      @@frankbutati8343 kwanini umemdhihaki ila hujamuelekeza….
      Nini maana kiande.!? Sio sawa

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe 4 місяці тому

      ​@@frankbutati8343😂😂😂

    • @amanelias4672
      @amanelias4672 4 місяці тому

      Amen

  • @YeftahMichael
    @YeftahMichael 4 місяці тому +1

    Mi kama msomi wa bibilia ni naamini kila mtumishi kaitwa kwa namna yake tatizo la huyu pastor anataka kila mtu atumike kama yeye no! Paul anasema sikuja kwenu kwa maneno ya hekima tu bali kwa nguvu na uwezo wa Roho mtakatifu, bibilia sio siasa kama mnavozani bibilia imejaa demonstration of power tangu mwanzo hadi ufunuo huwezi kumkomboa mtu zambini kwa siasa ya bibilia bali ni kwa ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu✍️

  • @eliabbanyikwa8716
    @eliabbanyikwa8716 5 місяців тому +1

    Wewe naye umeanza kutupoteza kwanini sana unahubiri watumishi wengine kwani wewe Imani ya madhabahu yako wao wanajua lililopo

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 5 місяців тому

    Asante sana Mtumishi wa Mungu na Ubarikiwe kwa ufafanuzi sahihi wa KIMUNGU. Njia ni nyembamba iendayo Uzimani bali njia ni pana iendayo upotevuni. Hatungoji kufika mbele ya kiti cha Enzi cha Mungu cha Hukumu kuweza kuyaona hayo yaliyoandikwa bali yapo dhahiri hapa hapa duniani sote tunayaona. Mwenye macho ya kiroho haambiwi tazama. Ataona tu kama tunavyoona sasa. Siku ya mwisho ni kuthibitishiwa tu na kuelekezwa kwenda tunapostahili kulingana na Matendo yetu na imani yetu. Mungu atusaidie sana.

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 5 місяців тому +5

    Mathayo11:28Njooni kwangu nyini nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha sasa kama watu wameenda kuagua au kutatuliwa shida zao kwa mtumishi wa Mungu kuna shida gan ulitaka waende kwa mganga wa kienyeji au kalale wew

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  5 місяців тому +1

      Yesu anawaita wenye mizigo ya dhambi ili watubu. Sio wenye kudanga ili wapate hirizi za kudanga zaidi.

    • @josemangula8806
      @josemangula8806 5 місяців тому +1

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile alie kwambia kwa mwamposa wanaenda wadangaji ili wadange zaidi ni nani acha chuki zakitoto watu wanaenda kutua shida zao kwa mtumishi wa Mungu na miujiza hata Yesu alifanya leo mwamposa anafanya miujiza mnabaki kumsema vibaya mnashida gani nyie kama mnaamini anatoa miujiza feki kwanini nanyi msitoe Yenu watu wawafate nyie

    • @jaromemwazembe6396
      @jaromemwazembe6396 5 місяців тому +1

      Miujiza sio kipaumbele, lengo ni kuweka bidii yakuwafundisha watu wamwamini Yesu Kristo na kutubu dhambi basi. Ukiona ni masikini wafundishe kufanya kazi kwa bidii kwa kufuata kanuni za uchumi wa Mbinguni. Cha zaidi wafundishe wakue katika Imani ya kumwamini na kumpenda Kristo siku zote na kuwaambia kuwa hawana laana yoyote ili wasienende kwa hofu.

  • @SuzanShayo
    @SuzanShayo 4 місяці тому

    Mbarikiwa fanyakazi ya MUNGU Acha kuhukumu. onyesha kazi baba.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 місяців тому +6

    Mimi nakupenda sana acha mwanzako avune ni wakati wake mungu anampa mtu lidhiki omba ya kwako mungu atakupa

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  5 місяців тому +1

      Utaua/uhubiri si njia ya kupata faida 1 Timotheo 6:5 na majadiliano ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, huku wakidhani ya kuwa UTAUWA NI NJIA YA KUPATA FAIDA.
      Kama anahubiri ili apate faida ndio maana nimesema kuwa ni tapeli

    • @wistonJaphethofficial
      @wistonJaphethofficial 5 місяців тому

      hatumtumikii Mungu Bure Duniani mara mia Kisha uzima wa milele

  • @williammakali5518
    @williammakali5518 4 місяці тому

    Ukitaka kuwa hivyo kama,uwe na hekima ndicho ambacho Mungu anakutaka kwa mtumishi wake siyo kuokoa hadi simu za waumini wako,,,Mwache Mungu ajitwalie utukufu

  • @fredynjige5663
    @fredynjige5663 5 місяців тому +4

    Mwamposa aifunika mecca Saudi arabia

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 4 місяці тому +1

    sasa hv wachungaji mnaniuz sana eti mmesahau majukumu yenu kabisa mmeitwa kuwafundisha watu na kuwahubilia neno la mungu na kuwaponya..na co kila cku kumtolea macho mch..yule mara yule na kuanza kukosoana fundishen watu NENO la MUNGU bc hicho ndicho mulichoitiwa

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 4 місяці тому

    Kweli njia iendaye upotevuni ni Pana na waingiao ni wengi!
    YESU tusaidie,nyakati za hatari hizi!

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 5 місяців тому +8

    Injili ya Yesu Kiristo lazima ina ambatana na miujiza na ishara.

    • @hoseaCHRISANTUS
      @hoseaCHRISANTUS 5 місяців тому

      Ni sawa injili ya kweri ina ambatana na ishara za miujiza na uponyaji ila ishala yeyote ya kuponya wagonjwa bila fundisho la kweri na sahihi ya kuwambia watu waache njia zao mbaya watubu zambi zao injili isio kuwa na ondoleo la dhambi hiyo ni feki na ni injili ya mauzauza nenda ukasome kitabu cha mthayo agizo kuu la mungu aliloliagiza kwa wanadam walio okoka bila kujali wewe ni nabii au mtume au mwalim au mshirika yoh 3.16 marko 16,1 hadi mwisho

    • @hoseasteven6241
      @hoseasteven6241 5 місяців тому +1

      Soma Biblia Ishara na miujiza siyo kweli inadhibitisha uwepo wa Mungu

    • @gidionkadaraja1403
      @gidionkadaraja1403 5 місяців тому

      Ishara na miujiza Kama hamna hivyo ni kelele2 bas

    • @NovatusSweetbert
      @NovatusSweetbert 4 місяці тому

      Pole ndugu yangu

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 4 місяці тому

    Wingi wa watu ni roho. Sasa kusababisha roho za watu wakukubali huo ni upako. Yesu alimwambia petro acha kuvua samaki nikufundishe kuvua watu.
    Watu walivyomfata yesu siyo kwamba watu wote walimjua mungu. Ila walipopata kusikia neno wakaamini.
    Wewe fanya yakwako mungu aliyokwambia ufanye usianze kuangalia mwamposa.
    Yeye anafanya Mungu wake alivyomweleza.

  • @JanetMwaijumba
    @JanetMwaijumba 4 місяці тому +1

    Umekosa KAZI mnafiki mkubwa ww huo ndo wito wako pole na mungu wako Huyo mdogo mdogo ulie nae utakufa Kwa presha mwaki

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 5 місяців тому +1

    Kama una Roho w Mungu uwezi kujuwa kweli Kila ukiitwa unaitika uwezi kutofautisha sauti ya Mungu ktk Kristo Yesu na sauti ya Miungu

  • @ThomasThom-r6m
    @ThomasThom-r6m 4 місяці тому

    Mwamposa ni shujaa sana I appreciate him

  • @vikimartin9441
    @vikimartin9441 5 місяців тому +2

    Hujawahi kukosa neno,ulivyoona wewe moyoni mwako ndivyo ulivyo,na pale hatukuenda kuhukumiwa,kila mmoja alienda kwa kilichomsukuma kwenda moyoni mwake, sisi ndio waumin na tuna maamuzi yetu na hatufungiwi na dhehebu Wala kanisa lolote msituamini kivile.tunajua unaumia rohoni na unamfatilia Sana,kitendo Cha kumfatilia mtu ambae Hana habari na wewe kinaumiza, bado hujaaema utasema, na ninatarajia utawaalika wale watu wako wataongea na wao,Hilo nauhakika.mtu anaependa kuongelea watu mda wote kiukweli ni wivu, uchawi,ushirikina.huo mda unautoa wapi? Si ujifungie chumbani mtafute mtoto? chum

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 5 місяців тому +2

    Hilisibure hayanimengine nandomana afrika ss tunakuwa maskini sana

  • @NeemaMinga-pl8ty
    @NeemaMinga-pl8ty 5 місяців тому +3

    Me nakukubali lkn kwa ushaur tumia zaid muda kuhubiri neno, achana na kukosoa muda mwingi umewekeza huko, lkn tunaokufatilia tunaomba ufundishe neno.

  • @JakoboKazilo
    @JakoboKazilo 5 місяців тому +3

    Huyu jamaa mbarikiwa ni pepo au? Fanya kazi zako nawe tuzione, Acha taarabu nahis injiri sasa imevamiwa!!! I hate you mbarikiwa😩😩😩

  • @EmanuelMsindo
    @EmanuelMsindo 4 місяці тому +1

    hayo yote tutajua uko mbingun kila mtu abebe msalaba wake acheni kurudisha Imani zawengine nyum kila mtu anaimani yake

  • @MESHACKYLABISU
    @MESHACKYLABISU 4 місяці тому

    Be blessed the man of God

  • @susanmshindo7593
    @susanmshindo7593 4 місяці тому

    Imetoka hiyo umeshindwa wivu huo daa ushindwe kwa jina la Yesu

  • @allenmlelwa7950
    @allenmlelwa7950 4 місяці тому

    Omba mungu akupe mtiti..

  • @barakamzuri6522
    @barakamzuri6522 4 місяці тому +1

    Mtumishi, Kuna wakati Elisha aliitwa na wazee wa Yeriko juu nchi ilikuwa ni nzuri lakini ilizaa mapoza. Elisha akaiponya nchi. Elisha hakuponya wale wazee Bali alisema, nimeiponya nchi hii........

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 4 місяці тому

    Mimi nimepona kwa mwamposa mungu akubariki mtume

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 5 місяців тому +7

    Tatizo wachungaji wa kikrito wanafuatiliana hadi inakera. Mahakama za kikristo zimekuwa nyingi? Kila Mchungaji anamwandama Mchungaji mwenzake. Wakristo tuna shida sana. Kwani Mwamposa alienda kuwaita watu nyumbani waje kuabudu pale? Mnajihesabia sana haki, pengine hata Mungu hawajui

    • @EmanuelMsindo
      @EmanuelMsindo 4 місяці тому

      ❤❤ waache maneno acha injili isonge mbele kwan mbn hata usipofika kwake roho bad atasem nawe kwahy kikubwa Imani acheni kufatiliana fateni I injili msonge mbele

    • @Shemahonge-ku7xx
      @Shemahonge-ku7xx 4 місяці тому

      Ndioujue njaa mbaya ndiomaana ariswekwa ndani kwaujinga wake ninawasiwasi amekatwa malinda

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 5 місяців тому +5

    Watu wanashida nyingi sana, ukiona watu wanakuwa hivi Kuna kitu wanafaidika, wao sio wajinga. Mungu aliumba Kila mtu na upako wake sio wote mfanane. Hiyo kazi muachie Mungu.

    • @deogratiasrutabana2387
      @deogratiasrutabana2387 5 місяців тому

      Sio kweli unachosema ni kuwapotosha watu imeandikwa zichunguzeni kila roho na tunazichunguza kwa kutumia maandiko maana imeandikwa wataukumiwa kwa sheria zao na sio wanaoijua sheria watakaookolewa bali watakaoishika na kuitenda ndio wataesabiwa haki. Katika Agano jipya maji, chunvi, mafuta etc vinawakilishwa na Roho Mtakatifu kwahiyo tunatamka wala sio kukanyaga au kuchukua Chupa ya maji huo ni uganga na uaguzi.
      Wanachofanya akina mwamposa ni uganga na ushilikina na hao wote wanamaagano na kuzimu mkusanyiko wa watu unaletwa na nguvu ya kuzimu. Wakati watu wamekusanyika katika ulimwengu wa roho ya kuzimu wanachukua vipawa vya wote wanakuwa wamejiungamanisha na ibada. Yesu alisema kemeeni na kuonya.
      Kinachomaliza shida ya Mtu ni kuijua kweli na kuitenda sheria si vinginevyo. There is no short kati laazkima tutimize sheria na Imani pasipo matendo imekufa.

    • @lwitikoasa6899
      @lwitikoasa6899 5 місяців тому

      ​@@deogratiasrutabana2387Biblia. Yakobo 5:14
      [14]Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana.
      ANDIKO ILI NIAGANO JIPYA AU LAKALE?

  • @susanmshindo7593
    @susanmshindo7593 4 місяці тому

    Mmm we unamwonea wivu mwache Mungu amtumie tupone kaa kimya na donhe lako pole

  • @lidyamwakikuti783
    @lidyamwakikuti783 4 місяці тому

    Unamsema mtu asiye kujibu mtume unanisumbua bureeee kaa chini omb a Mungu akupe nguvu na maono

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 5 місяців тому +6

    Wivuuuu. mtateseka sanaaaaa Ariseeeee

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 5 місяців тому +3

    Muda unaotumia kujadili matukio ya watumishi wenzio ungekuwa unahubiri na kuita watu waokoke Mungu angekufurahia sana

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 5 місяців тому +5

    Mwamposa amenyooka, Tumshukuru Mungu kwaajili yake, Mbarikiwa unapenda mashindano sn, Sasa unataka afanyeje?? Fundisha Wewe hayo unayoona ni sahihi.

  • @RoseNdalu
    @RoseNdalu 5 місяців тому +2

    Wivu du unaroho mbaya

  • @NicholousViper28
    @NicholousViper28 5 місяців тому +2

    Mtu unasema mambo ya kanisa la mwingine ? we fanya yako.mungu ndiye anajuwa wapi pakweli

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 5 місяців тому +3

    Kama hayuko sawa hebu mshushie moto kwa haki yako Kama nabii Eliya. Tunahitaji kusikia kazi yako Sasa badala ya kutuambia habari za mapambano na watu walio"trend"

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 5 місяців тому +6

    Hubiri Neno mtu wa Mungu acha kusema ya Wngine....

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 4 місяці тому

    Mbarikiwa uko sahihi hapo hatusikii swala la Toba Toba ndiyo itatuingiza mbinguni siyo vinginevyo tunaweza kustawi hapa

  • @Skyson2023
    @Skyson2023 4 місяці тому

    Unaongea vizur sana pastor sema mim piaa nikushauri kama ingewezekana ni heri kupambana pia kwa Mungu wako ili upate watu wa kuwafundsha kweli halisi ya Mungu ikiwa unaona huyo anaagua bas jitahidi ili na wew upate wa kuja kuabduu na sio kuwa mkosoajii kwa watu

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  4 місяці тому

      Haujawaona?

    • @Skyson2023
      @Skyson2023 4 місяці тому

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile Nimewaona baba na ninakufatlia sana ila ninacho maanisha kuwa wapo waliochaguliwa tayari hebu tupambane kuwahubiria watu ile tunayoona ni kweli kulko kuwajbu hawa jamaa maana kila siku watatokea kama hao wengii zaidi tutengeneze kizazi cha kusaidia wengne katika kwel ya kristo

  • @lovenesskapange2904
    @lovenesskapange2904 День тому

    Mwakipesil Tuna mkesha tar 13 December 2024 😅😅😅😂 Kwa mwamposa uje karibu tukomboe nyayo

  • @reganmartin5485
    @reganmartin5485 4 місяці тому

    Ujumbe mkali

  • @wistonJaphethofficial
    @wistonJaphethofficial 5 місяців тому

    hongera mwamposa

  • @FrancisMliga-pp7cp
    @FrancisMliga-pp7cp 5 місяців тому +6

    Mtumishi mbona wewe umekuwa mkosoaji tu Kwa kila Mtumishi....!??..si ufanye Kazi aliyokuitia MUNGU

    • @DavidMbilinyi-tn3jm
      @DavidMbilinyi-tn3jm 5 місяців тому

      @@FrancisMliga-pp7cp unasoma biblia kazi ya Neno ni kukemea maovu ndio maana kina stefano waliuawa, yakobo aliuawa,yesu aliuawa,yohana aliuawa,Paulo na sira walifungwa gerezani.uwe unasoma Neno la kweli halitakiwi na wanadamu

    • @mashibeelias5574
      @mashibeelias5574 4 місяці тому

      hiyo inayoifanya unajuaje kama si kazi aliyoitiwa? Au kazi aliyoitiwa mtu ni kazi gani?

    • @DavidMbilinyi-tn3jm
      @DavidMbilinyi-tn3jm 4 місяці тому

      @@mashibeelias5574 Neno la Mungu ni la ajabu Sana unaweza kua msomi Sana lakini Neno usilielewe yaani mwamposa sio wakujiuliza uliza ila huyo Yuko kibiashara tu

    • @mashibeelias5574
      @mashibeelias5574 4 місяці тому +1

      @@DavidMbilinyi-tn3jm Kwa mtu anayetafta ufalme wa Mungu, hawezi kumwita mwamposa mtumishi wa Mungu ispokuwa kwa mtu ambaye anatafta mambo yake.

    • @DavidMbilinyi-tn3jm
      @DavidMbilinyi-tn3jm 4 місяці тому

      @@mashibeelias5574 Amina

  • @Graceyusuphh
    @Graceyusuphh 4 місяці тому

    Nyakat hiz ni ngumu mno, ndo maana nikiona sina aman na mtu au huduma. Najiweka mbali nae kimya😢. Tumtafute sana MUNGU NA MUNGU ATATUONYESHA MAHALI SAHIHI

  • @pauloropian2367
    @pauloropian2367 5 місяців тому

    My God bless your people

  • @freemanKalalu
    @freemanKalalu 4 місяці тому +1

    Bwana we usitudanganye kwa chochote tuonyeshe vya kwako au tuonyeshe mtiti wako kiufupi ukiona mchungaji yoyote anafuatilia mwenake kafanya nini ujue yeye huyo ni muumini wa huyo kwa hiyo wewe ni muumini wa mwamposa

  • @williammakali5518
    @williammakali5518 4 місяці тому +1

    Tatizo lako,nashani ni wivu,,,kwanini unakazania mtiti je wanaorudisha mambo ya kichawi na kumrudia Mungu ni kweli huna ufahamu wa kuyaona,je waliokuwa tasa wakifunguliwa na kupata watoto,hayo huyaoni,,,je akina mama waliokuwa na viumbe zikapona ni kweli huyaoni?au unachoona ni kukagua msg za waumini wako na kuwatimua? Mungu atajitwalia utukufu tu,,,hatuwezi wate kuwa akina mwamposa,,Mungu akupe macho ya rohoni

  • @Saidmathayo-uv4gj
    @Saidmathayo-uv4gj 5 місяців тому +8

    Niwivu tu huna lolote fanya Kaz ya mungu acha majungu

    • @ayoubmtumishi50
      @ayoubmtumishi50 5 місяців тому +1

      Ukute umejaza maji nawewe na gest hukosi.pole sana

    • @matungwaByarugaba
      @matungwaByarugaba 4 місяці тому

      Nayo haiwezi tena make kaidhs vurugwa tayari

  • @PastorTimotheoUkombozi
    @PastorTimotheoUkombozi 4 місяці тому

    Wanaokusapoti wote mpo kwenye chama kimoja cha wachawi tena ninyi ni watu hatari sana zaidi ya wachawi na waganga na watu wengi hawawajuhi lakini hiyo mda Yesu mwenyewe atawafichua

  • @neemangiliule6194
    @neemangiliule6194 5 місяців тому +1

    Ukisema ufuate maneno ya watu hapa tz huwezi kufika popote wanakutungua tu uwafuate wao chini,, kikubwa unakausha halafu chapa kazi ili mradi Mungu yuko nawe
    Tz ukianza hata kazi tu lazima maneno ndio yatakuua na kupoteza kazi, tuwe makini tusituhumu tu kila kitu

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 5 місяців тому +3

    Chalamila time 😂😂😂

  • @simonkyanula4012
    @simonkyanula4012 5 місяців тому +2

    Kila mtu anasehem yake ktk utumishi wake.ndio maana Yesu alisema baba kazi ulio nipa nimeimaliza maana yake alitumwa kwa ich moja tu Israeli na kupitia Israeli mataifa yote tutamjua Mungu ko kila mtu na ufunuo wake .simamia kipande chako na tunako kwenda Mungu anasema utukufu wa mwisho wa nyumba yangu utakua ni mkuu kuliko wa kwanza

  • @mwitasamwelpaul9621
    @mwitasamwelpaul9621 4 місяці тому +1

    Unaongea ujinga hujui unachokiongea hata unaowaombea hamna akili wote mwenye hekima hukaa kimya mwamposa mbona hajawahi kumuongea mtu fanya kazi acha ujinga

  • @KuhaniMwakalambo
    @KuhaniMwakalambo 4 місяці тому

    Hili ni neno zuri na la uponyaji @mbarikiwa

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 5 місяців тому

    YESU KRISTO YUKO MALANGONI TUJIANDAYE KUMLAKI MAWINGUNI SHALOOM

  • @JaphetKilimba-zo2iz
    @JaphetKilimba-zo2iz 5 місяців тому +3

    Magumu mnayoyapitia uponyajiweno upokawe

  • @chimpayejohn6157
    @chimpayejohn6157 4 місяці тому

    Ninachokijua Mimi kupitia mtumishi wa mungu mtume mwamposa nilikuwa naumwa kifafa nimepona toka nilipofika kawe 2019/10 mpaka leo sijaanguka Tena namshukulu mungu.

  • @maryraphaely
    @maryraphaely 4 місяці тому

    Mnashangaza hamnaga mafundisho ya BIBLIA,mpaka mwingine afanye jambo ndiyo mpate somo.Wanaaguliwa wanaabudu hiyo ni kazi ya Mungu

  • @daudimwakatobe2064
    @daudimwakatobe2064 4 місяці тому

    Ninakuelewa Sana Mtumishi,, na mafuta yanapigwa mnada

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 4 місяці тому

    Mwamposa hamtumikii Yehova

  • @AbdulrazaqMadenge
    @AbdulrazaqMadenge Місяць тому

    Huyu anajitoa muhanga kuwaokoa watu wa mungu wanaopotea na halipwi na hamumuelewi, siku si nyingi ukweli utajulikana!

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia 4 місяці тому

    Hakuna mtu anaeweza, kumhukumu mtumishi mwenzake, mbarikiwa funga kibakuli cha mdomo wake, we mwenyewe utahukumiwa mbele ya kiti cha enzi

  • @JanetMwaijumba
    @JanetMwaijumba 4 місяці тому

    Hiv unakili kweli mwakipesile

  • @JackbandLobert
    @JackbandLobert 4 місяці тому

    Bibilia inasema usimnyoshee mtumishi wa MUNGU kidole mwamposa nimtumishi Mimi sioni kosa kwa mwamposa mana munae msema yeye aongei ogopa sana muogopeni MUNGU.