TWAHA MWAIPAYA; Selikali ndiyo ingefanya uchunguzi na si ninyi kuanza kuzungumzia swala la Mtoto….

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @jonathankessy9615
    @jonathankessy9615 Місяць тому +5

    Ee Tanzania
    Ee Tanzania
    Ee Tanzania
    Mungu atapiga wote wasio haki soon
    Very soon

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 Місяць тому +4

    Mungu awalinde Wana , kikosi, kazi tupo nyuma yenu

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 Місяць тому +1

    Mungu yupo, kama Kuna mkono wa mtu alihusika katika kifu Cha yule binti Mungu amfedheheshe sasa

  • @gsninetz5019
    @gsninetz5019 Місяць тому

    Daah,poleni Sana Ndugu zangu Mwenyezi Mungu Yupamoja Nasi wakati Wote.🤲

  • @Truthteller1985
    @Truthteller1985 Місяць тому +3

    Kwa hio ujumbe kwa wanachi kutoka serekalini ni kwamba, wauwaji ndio wenye haki kwa sababu wanaozijua wao. Ndio tulipo fika huko??

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 Місяць тому +2

    😢Kama (KUUWA) NDIO NJIA SAMIA ANATUMIA KUPANDISHA VYEO WATENDAKAZI WAKE BASI LAIYA TUJIANDAE KUFA SAANAA.😢😢😢 😢😢😢

  • @tweveefron2106
    @tweveefron2106 Місяць тому

    Poleni sana kwa mnayopitia ila niaminivyo mimi kila mtu atalipwa sawa na kazi yake

  • @VascoFeston
    @VascoFeston Місяць тому +1

    Du Jamani inaumiza Sana poleni sana

  • @JuliusMakwengwe-x3e
    @JuliusMakwengwe-x3e Місяць тому +1

    Mpaka hapa mungu tu asimame mwenyewe uzuri hakuna atakaye dumu milele humu duniani

  • @yudanziku6030
    @yudanziku6030 Місяць тому

    Asante mwaipaya kwa kuwatia moyo watumishi

  • @pastorellymacheo
    @pastorellymacheo Місяць тому +1

    Mungu atakushindia

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr Місяць тому

    Pole sana mtumishi wamungu kiukweli imauma sana ira walicho panda watavuna tu haijarishi watachelewa ira watavuna yeyote aliye nyuma hahilo atavuna nauzao wake

  • @LucasKaziyote
    @LucasKaziyote Місяць тому +1

    Amina

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 Місяць тому +2

    Mungu awateteee

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Місяць тому +1

    Poleni sana mke wa mbalikiwa

  • @MariamCleinance
    @MariamCleinance Місяць тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mungu ifikie mwisho watu wako wameumizwa sana

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 Місяць тому

    Serikali ambayo unaweza kutokea kusema mtu ameuawa inakaa kimya tangu Rais, Waziri mkuu na wengine wote sasa sijui wanamaanisha nini kwa wananchi wake

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn Місяць тому +2

    Yanachukiza mno na kukera sana na kuumiza moyo sana, lakini ndo njia hilio sahii Itupasayo kuipitia Wakati wa kuilekea Haki katika kuitafuta "HAKI" hiliokusudiwa mbele za MUNGU Baba. Na eshima hilio kuu mbele za MUNGU; Baada ya haya yote.

  • @cathelinematondo3992
    @cathelinematondo3992 Місяць тому +1

    😭😭😭😭😭😭

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 Місяць тому

    Utwara wa mashetani saizi tuombe tuu mungu

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 Місяць тому +1

    LA!!KIONGOZI WA SERIKALI YA SAMIA KAUWA alafu KAPANDISHWA CHEO LA!!😢😢😢 NA WAZAZI WALIONYWANG'ANYWA MTOTOWAO WA PEKEE WANABULUTWA MAHAKAMANI LA😢😢😢SERIKALI YA SAMIA.

    • @user-hh5bb1gx6v
      @user-hh5bb1gx6v Місяць тому

      𝖠𝖼𝗁𝖺 𝗐𝖺𝗆𝖿𝖺𝗀𝗂𝗅𝗂𝖾 𝖺𝗍𝖺𝗏𝗎𝗇𝖺 𝖺𝗅𝗂𝖼𝗁𝗈𝗄𝗂𝗍𝖺𝗄𝖺 𝗄𝗎𝗃𝗎𝗅𝗂𝗄𝖺𝗇𝖺 𝖣𝗎𝗇𝗂𝖺𝗇𝗂 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝖱𝖺𝗂𝗌...

    • @user-hh5bb1gx6v
      @user-hh5bb1gx6v Місяць тому

      𝖨𝗇𝖺𝗎𝗆𝖺 𝗌𝖺𝗇𝖺 𝗎𝗍𝗈𝖾 𝗍𝖺𝖺𝗋𝗂𝖿𝖺 𝗒𝖺 𝗆𝖺𝗎𝖺𝗃𝗂 𝗁𝖺𝗅𝖺𝖿𝗎 𝗐𝖾𝗐𝖾 𝗁𝗎𝗒𝗈 𝗁𝗎𝗒𝗈 𝗆𝗍𝗈𝖺 𝗍𝖺𝖺𝗋𝗂𝖿𝖺 𝗎𝗇𝖺𝖻𝖺𝖽𝗂𝗋𝗂𝗄𝗂𝗐𝖺 𝗍𝖾𝗇𝖺 𝗎𝗇𝖺𝗁𝗎𝗌𝗂𝗌𝗁𝗐𝖺 𝗁𝖺𝗒𝗈 𝗁𝖺𝗒𝗈 𝗆𝖺𝗎𝖺𝗃𝗂, 𝗁𝖺𝗅𝖺𝖿𝗎 𝗁𝖺𝗈 𝗁𝖺𝗈 𝖯𝗈𝗅𝗂𝖼𝖾 𝗐𝖺𝗇𝖺𝗄𝗎𝗃𝖺 𝗄𝗐𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗇𝗀𝖺𝗓𝗂 𝗓𝖺 𝖲𝖾𝗋𝗂𝗄𝖺𝗅𝗂 𝗒𝖺 𝗏𝗂𝗍𝗈𝗇𝗀𝗈𝗃𝗂 𝗐𝖺𝗇𝖺𝗁𝗎𝖻𝗂𝗋𝗂 𝗎𝗅𝗂𝗇𝗓𝗂 𝗌𝗁𝗂𝗋𝗂𝗄𝗂𝗌𝗁𝗂 𝗇𝗂 𝗎𝗌𝗁𝗎𝖻𝗐𝖺𝖽𝖺 𝗐𝖺 𝖺𝗃𝖺𝖻𝗎. 𝖬𝗍𝗎 𝖺𝗇𝖺𝗎𝗐𝖺𝗐𝖺 𝗇𝖺 𝗐𝖺𝗇𝖺𝗌𝖺𝗆𝖻𝖺𝖺 𝗄𝗐𝖺𝗄𝗎𝖾𝗉𝗎𝗄𝖺 𝗎𝗌𝗁𝖺𝗁𝗂𝖽𝗂.

  • @nicholaswaemmanuel7221
    @nicholaswaemmanuel7221 Місяць тому +1

    HII NDIYO AFRICA ALIYOIUMBA MUNGU? HAKIKA MUNGU AKAWAFUNIKE NA KUSIMAMA MWENYEWE DAIMA.

  • @EvangelistMwamuzi-hy8jg
    @EvangelistMwamuzi-hy8jg Місяць тому

    mbarikiwa mwakipesile hubiri injili mtoto kama amefariki mwachiye Mungu acha mengine hawa ni walimwengu 😢😢😢😢😢😢😢

  • @RobertGwelela-zq2fr
    @RobertGwelela-zq2fr Місяць тому

    😭😭😭

  • @EvangelistMwamuzi-hy8jg
    @EvangelistMwamuzi-hy8jg Місяць тому

    mtumishi hatakiwi kushitaki

  • @user-hh5bb1gx6v
    @user-hh5bb1gx6v Місяць тому

    𝖧𝗂𝗂 𝗇𝖽𝗂𝗒𝗈 𝖲𝖾𝗋𝗂𝗄𝖺𝗅𝗂 𝗒𝖺 𝖢𝖢𝖬 𝗂𝗇𝖺𝗌𝗁𝖺𝗇𝗀𝖺𝗓𝖺 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗂𝗇𝖺𝗃𝗂𝗇𝖺𝖽𝗂 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗇𝗂 𝖲𝖾𝗋𝗄𝖺𝗅𝗂 𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗍𝖾𝗇𝖽𝖺 𝗁𝖺𝗄𝗂 𝗇𝗂 𝗎𝗈𝗇𝗀𝗈 𝗁𝖺𝗄𝗎𝗇𝖺 𝗁𝖺𝗄𝗂 𝗄𝖺𝗍𝗂𝗄𝖺 𝗁𝗂𝗂 𝖲𝖾𝗋𝗂𝗄𝖺𝗅𝗂.

  • @user-hh5bb1gx6v
    @user-hh5bb1gx6v Місяць тому

    𝖨𝗇𝖺𝗃𝗂𝖽𝖺𝗂 𝗄𝗎𝗄𝖺𝗇𝖽𝖺𝗆𝗂𝗓𝖺 𝗐𝖺𝗇𝖺𝖽𝖺𝗆𝗎 𝗐𝖾𝗇𝗓𝖺𝗈 𝗄𝖺𝗇𝖺 𝗄𝗐𝖺𝗆𝖻𝖺 𝗁𝗂𝗂 𝖽𝗎𝗇𝗂𝖺 𝗇𝗂 𝗒𝖺𝗈, 𝗇𝖺 𝗒𝖺 𝗄𝗐𝖺𝗆𝖻𝖺 𝗐𝖺𝗍𝖺𝗂𝗌𝗁𝗂 𝗆𝗂𝗅𝖾𝗅𝖾, 𝖲𝖾𝗋𝗂𝗄𝖺𝗅𝗂 𝗀𝖺𝗇𝗂 𝗂𝗌𝗂𝗒𝗈𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗇𝖺 𝖧𝗈𝖿𝗎 𝗇𝖺 𝖬𝗎𝗎𝗆𝖻𝖺 𝗐𝖺𝗈????

  • @user-hh5bb1gx6v
    @user-hh5bb1gx6v Місяць тому

    𝖧𝗂𝗏𝗂 𝖾𝗇𝗒𝗂 𝗏𝗂𝗈𝗇𝗀𝗈𝗓𝗂 𝗆𝗇𝖺𝗉𝗈𝗈𝗇𝖺 𝗆𝗇𝖺𝗒𝗈 𝖽𝗁𝖺𝗆𝖺𝗇𝖺 𝗒𝖺 𝖬𝖺𝖽𝖺𝗋𝖺𝗄𝖺 𝗆𝗇𝖺𝗃𝗂𝗎𝗅𝗂𝗓𝖺𝗀𝖺 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗆𝗅𝗂𝗉𝗈𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗄𝖺𝗍𝗂𝗄𝖺 𝖬𝖺𝗍𝗎𝗆𝖻𝗈 𝗒𝖺 𝖬𝖺𝗆𝖺 𝗓𝖾𝗇𝗎 𝗆𝗅𝗂𝗃𝗂𝗍𝖺𝗆𝖻𝗎𝖺 𝗆𝗍𝖺𝗄𝗎𝗃𝖺 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗆𝖺𝗋𝖺𝗂𝗌, 𝖬𝖺 𝖱𝖯𝖢, 𝖬𝖺𝗁𝖺𝗄𝗂𝗆𝗎? 𝖭𝖺 𝗆𝗇𝖺𝗍𝖺𝗆𝖻𝗎𝖺 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗁𝖺𝗒𝗈 𝗒𝗈𝗍𝖾 𝗆𝗇𝖺𝗒𝗈𝗃𝗂𝗏𝗎𝗇𝗂𝖺 𝗆𝖺𝗎𝗍𝗂 𝗒𝖺𝗍𝖺𝗄𝖺𝗉𝗈𝗐𝖺𝖿𝗂𝗄𝖺 𝗆𝗇𝖺𝗍𝖺𝗆𝖻𝗎𝖺 𝗄𝗐𝖺𝗆𝖻𝖺 𝗆𝗍𝖺𝗓𝗂𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺 𝗇𝗀𝗎𝗈 𝗆𝗈𝗃𝖺 𝖺𝗆𝖻𝖺𝗒𝗈 𝗇𝗂 𝗌𝖺𝗇𝖽𝖺 𝗉𝖾𝗄𝖾𝖾? 𝖩𝗂𝗍𝖺𝗁𝗂𝖽𝗂𝗇𝗂 𝗌𝖺𝗇𝖺 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗇𝖺 𝗁𝗎𝗋𝗎𝗆𝖺 𝗇𝖺 𝗐𝖺𝗇𝖺𝖽𝖺𝗆𝗎 𝗐𝖾𝗇𝗓𝖾𝗇𝗎 𝖣𝗎𝗇𝗂𝖺 𝗁𝗂𝗂 𝗍𝗎𝗇𝖺𝗉𝗂𝗍𝖺 𝗁𝗂𝗓𝗈 𝗇𝗒𝗈𝗍𝖺 𝖯𝖧𝖣 𝗇𝖺 𝗆𝖺𝗆𝖻𝗈 𝗒𝖺 𝗇𝗒𝖺𝖽𝗁𝗂𝖿𝖺 𝗇𝗂 𝗎𝗉𝗎𝗎𝗓𝗂 𝗒𝖺𝗇𝖺 𝗆𝗎𝖽𝖺 𝗃𝖾, 𝗎𝗆𝖾𝗒𝖺𝗂𝗌𝗁𝗂𝗃𝖾 𝗆𝖺𝖽𝖺𝗋𝖺𝗄𝖺 𝗒𝖺𝗄𝗈?... 𝖠𝗎 𝗇𝖽𝗂𝗒𝗈 𝗆𝖺𝗐𝖺𝗓𝗈 𝗒𝖺 𝗇𝗀𝗎𝗏𝗎 𝗄𝗎𝗐𝖺 𝗐𝖾𝗐𝖾 𝗆𝗄𝗎𝗎 𝗐𝖺 𝗆𝗄𝗈𝖺 𝗎𝗆𝖾𝗌𝖾𝗆𝖺, 𝖺𝗎 𝗐𝖾𝗐𝖾 𝖱𝖯𝖢 𝗎𝗆𝖾𝗌𝖾𝗆𝖺?