HUYU NI MHUNI ANA WAIBIA WAUMINI KIBOKO YAWACHAWI USHAHIDI HAZALANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • #0766998994 #call0688199370

КОМЕНТАРІ • 202

  • @DanielNasibu
    @DanielNasibu Місяць тому +6

    Mungu aendelee kukupigania maana unaongea kweli na kweli tumekalibia nyumbani❤❤❤

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Місяць тому +4

    Hapa ndipo ninapochoka kwani katika mathayo Yesu aliwaambia mmepewa bure toeni bure.sasa hizi hela vepe?

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 16 днів тому +1

    Keshafukuzwa huyo kiboko ya wachawi asante serikali yetu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 23 дні тому +2

    Yesu hakuwalipisha watu mamilioni😢

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 17 днів тому +1

    Kwani Congo Akuna Waumini Ebu Kaa Uko Kwenu Matatizo Unakuja Kuzalisha Matatizo Kwetu Kuanza Kugawa Watu

  • @Filemonclemens
    @Filemonclemens 5 днів тому

    Mungu akulinde baba juu yaukweli huu damu yayesu iendelee kunena mema juuyakn

  • @TatuYufuramadhan-zw2ln
    @TatuYufuramadhan-zw2ln Місяць тому +2

    Nakama uyu mam amepon sio mwamposa Bali imni yake ndy ilimponya mungu atusaidie.we mchungaji mungu akubariki sana❤🎉

  • @Alicemsafiri
    @Alicemsafiri Місяць тому +3

    Ila siyo makosa ya manabii bali ni sis waumini ambao ni vipofu

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 Місяць тому +2

    Jasiani mimi kristo na kwa mbia achana na kupambana na watu ,hujaninijua kama ungenijua wewe ,ungenihubiri mimi MUNGU ...wewe ni kipofu nami nitakufungua macho kasiani UNANIHUBIRI ILA HUNIJUI .UKINIHUDHI ZAIDI NITAKUFUTA ..KATIKA INJILI YANGU YA MILELE

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 23 дні тому +1

    UMATI WA WATU AMBAO HAWATAMLAKI YESU, NI NZI KWENYE MZOGA. TUBUNI MAANA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA.

  • @chrissmussa3732
    @chrissmussa3732 Місяць тому +2

    mbona kama una chuki si upapambane kuongelea vyako kila siku hoja za wengine

  • @MaryannAlivitsa
    @MaryannAlivitsa Місяць тому +9

    Cassian mkishikana na Apostle moses kimotho mtaikomboa mioyo ya wengi iliyotekwa kwenye ulimwengu wa giza na kufunguka macho ya kiroho waliamini neno la Mungu na kua wazoefu wa maombi na kuutafuta ufalme wa Mungu zaidi ,wewe na Apostle moses mnenifungua macho ya kiroho siku hizi lazima nijisomee bibilia na kuomba Mungu anipe ufahamu wa kuilewa zaidi mungu azidi kukutumia kama chombo chake

    • @AGM19697
      @AGM19697 Місяць тому

      Watu weengi wanamaswala na mizigo isiyo na majibu. Majibu yapo aina mbili, maneno na matendo.
      Baada ya maneno yanapaswa kudhibitisha kwa vitendo.
      Sasa kama wanapoenda ni fake au ni uchawi, watumishi wa ukweli wajitokeze huu ndio wakati muhafaka. Yesu alisema tutafanya makubwa kuliko aliyoyatenda

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Місяць тому +3

    Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6. Hawa manabii wa uongo waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Kiboko ya wachawi Pumbavu kabisa

  • @LylianeBaumaLyly
    @LylianeBaumaLyly Місяць тому +2

    Baba hawataki kusikiya asha hela zao ziliwe wenyewe kama akili zao zimetekwa Mungu tusaidiye

  • @MarthaLungwa-sr4er
    @MarthaLungwa-sr4er Місяць тому +2

    Tangu nimeanza kusoma biblia hadi leo sijaona sehemu mtu anaambiwa ni sahihi kuabudu.nachokijuwa biblia imeeleza dini ilokweli ni ipi.ambapo nikusaidia yatima na wajane hyo ndio dini ya kweli

  • @beathapontian2187
    @beathapontian2187 Місяць тому +1

    Mtumishi waMungu sijui nisemeni mpaka machozi yananitoka kweli wewe.ninuru kwenye giza Asante Mungu Kwa ajiri yako sifa na utukufu apewe Mungu

  • @TamariDusenge-oo5ig
    @TamariDusenge-oo5ig Місяць тому +1

    Amen amen ubarikiwe sana mchungani ,unanibariki sana Mungu azidi kukutia nguzu

  • @SaraMataba
    @SaraMataba 23 дні тому +1

    Tunaitaji musaada wakiloho nyakatihizi za mwisho❤

  • @Amosmpaji
    @Amosmpaji Місяць тому +3

    Nitapeli tena mkubwa unaenda kuonana naye harafu wanakwambia ili umuone toa laki 2-5 . Na ukitoa lakimoja wanaipokea ila una onana na matapeli wengine mle ndani tofaut na kiboko wa utapeli.

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z Місяць тому +2

    Eeh! Mungu mwenye rehema! Rehemu wanao Baba waliotekwa nyara na hawa manabii wa uongo. Mungu wangu,Baba yangu! Inaumiza sana ukiona wana wa Mungu wanaendelea kufungwa nafsi zao kiasi hiki.
    Mungu akutunze kwa kuendelea kufunua siri hizi za giza nyakati hizi za mwisho.

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 Місяць тому +2

    YESU KRISTO ATUREHEMU NYAKATI ZA MWISHO HIZI NYAKATI ZA HATARI

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 Місяць тому +3

    Nyingi mwasumbuliwa na wivu😊😊😊

    • @clementmahiya409
      @clementmahiya409 Місяць тому +1

      Wewe ni mjinga uliwaye, mtauza mpaka skin tight mpeleke kwa kiboko wa wachawi.

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 Місяць тому +4

    YESU anawaita wote waliolemewa na mizigo waende kwake awapumzishe.
    Wenye mizigo hiyo wanaamini kanisani ndio sehemu sahihi ya kukutana na YESU, ila baadhi ya mapastor wanapiga marufuku kuingia kama huna sadaka.
    Sasa je hiyo mizigo itapumzishwa vipi.
    Ila watu wajifunze kumtafuta Mungu wao wenyewe waache uvivu wa kiroho, kwani alisema niite nami nitaitika na sio mtasaidiwa kuitiwa nami nitaitika.
    Utapeli umeingia kwenye mambo ya kiroho tuwe makini.

  • @HermandKipolongo
    @HermandKipolongo 2 дні тому

    Mbona unaingilia maisha ya wenzako

  • @user-zx4zr3hc7y
    @user-zx4zr3hc7y Місяць тому +2

    Ushuhuda unaweka wa Mwamposa maelezo unamuelezea kiboko ya wachawi wewe ni mnafiki sana na wewe ndo tapeli na muongo mkubwa sana acha uswahili

  • @HermandKipolongo
    @HermandKipolongo 2 дні тому

    Tunafaamu Sasa kwanini unampinga kiboko, wewe njo mwongo😊

  • @gwakisamwakalinga5441
    @gwakisamwakalinga5441 Місяць тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @PaulLuziga-bn1zv
    @PaulLuziga-bn1zv Місяць тому +6

    Mchungaji piga kazi bila kuogopa chochote wala usichoke. MUNGU akutumie nguvu za 🎉🎉🎉

  • @Alexanderthegreat-w3v
    @Alexanderthegreat-w3v Місяць тому

    Pigakazi baba mungu atakuja kulichukua kanisalake likiwasalama salimini nguvu yamungu ikondaniyako pastor 🤲🤲🤲

  • @bellyjoseph1442
    @bellyjoseph1442 Місяць тому +2

    Akuna pastor anaepokea watu bure,alafu ukianza kuwasema watumishi wengine haipendezi.tafuta plan yako bro ili uweze kutoka sio kuwasema wengine. Kwani wangapi wanaenda hospital na hawaponi?

    • @user-kr9xx8br4o
      @user-kr9xx8br4o Місяць тому

      @@bellyjoseph1442 MATHAYO 10:8
      8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
      Mathayo 10:8
      WATU HUTOA SADAKA KATIKA IBADA KANISANI NA KWA KIWANGO ALICHONACHO MTU, NA SIYO KATIKA HUDUMA YA MAOMBEZI.
      NENDA KWA WATIMISHI WA KWELI KAMA ASKOFU GAMANYWA.
      PIA INGIA KATIKA MAKANISA YA EAGT (KANISA LOLOTE) KAMA UTAULIZWA SHILINGI MOJA KWA AJILI YA KUOMBEWA.

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 Місяць тому +1

    Tunakuombea kwa Mungu wa mbinguni aendelee kukutia nguvu😊

  • @Amosmpaji
    @Amosmpaji Місяць тому +2

    Wa Tanzania wengi tunahitaji ukombozi wa fikira

  • @GloryGodLove
    @GloryGodLove 9 днів тому

    Mtumishi uishi maisha marefu ukweli kazi yangu unaifanya

  • @amanimushagalusa8752
    @amanimushagalusa8752 Місяць тому

    Mungu aendeleye kuku Linda mtumishi naitwa AMANI toka Africa ya kusini

  • @annacyril5832
    @annacyril5832 Місяць тому +2

    Ni tapeli hilo Jamani fungueni macho ya kiroho wa Tz.

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 Місяць тому

    Yanayoongeleka yanaukweli ndani yake kikubwa Imani yako inakusukuma kufanya nini
    Nimekwenda na nimeyaona ya huko kiukweli ni Hatari inayoikumba jamii yetu Baadhi ya watumishi ili uwaone Kuna hatua 4
    1.Nunua maji chupa 2 kitambaa na Mafuta na chumvi na udongo
    2.Sadaka ya Ibada asubuhi
    3.Mtaitwa na kuulizwa kiasi Cha sadaka mlichotoa
    4.Mtapelekwa Ofisini mtaambiwa Gharama za kumuona mkuu kuanzia 500,000 Hadi 200,000
    Ambaye Hana atatoka alichonacho Kisha atamuona msaidizi
    NAWASHAULI WACHUNGAJI MAASIKOFU MANABII TOENI HUDUMA LAKINI IMEKUWA TATIZO KWA MASKINI WANAKOPA HELA ILI WAJE Wawaone lakini wanakwaya Hadi kukopa nauli Mungu anawaona anayetaka ukweli anitafute nimwelezee kiundani

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 Місяць тому

    Amina ubarikiwe Sana mtumishi ila waambie watu wasome bibilia ndio mtu hatakua mrahic wa kudanganywa na manabii wa uongo

  • @user-ej5ly8ii1z
    @user-ej5ly8ii1z Місяць тому +2

    more blessed ev cassian

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 26 днів тому +2

    Huyo siyo kiboko wa wachawi huyo ni kiboko wa wajinga

  • @lilianemanuel2579
    @lilianemanuel2579 Місяць тому +1

    Amina sanaa mtumishi

  • @PeterMagwea
    @PeterMagwea Місяць тому

    mungu atutetee jaman wanae tunaangamia kwa kukosa màalifa yakujua mashetan wanao tupoteza. mungu akubaliki mtumish

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 13 днів тому

    Kiboko ya wachawi. Nimwizi Mimi nilifika nikadaiwa kiingilio nikawaona. Nikaambiwa .mambo yangu .ni. 50000 nilikimbia mbaya

  • @elizaedward1851
    @elizaedward1851 Місяць тому

    Mungu akubariki na akukumbuke kwakusema Kweli ya Neno la Mungu

  • @twaibujuma5023
    @twaibujuma5023 Місяць тому

    Ee mungu hawa watu waizi wataisha lini dunia simama nishuke

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b 17 днів тому

    Matapeli hawa wapo wengi sana Tanzania wanaojiita Manabii (shame on you) na watanzania ni watu wakwenda na mikumbo alieanza hii issues ni moses kolola hadi leo wakristo hwajielewi ni nani mungu wa kweli anayestahiki kuabudiwa wamebaki na 1+1+1=1its doesn't make sense.

  • @user-go3ks1wj9i
    @user-go3ks1wj9i Місяць тому +2

    Wemwenyewe mwizi kwahiyo wewe njo mkweli tapeli hata wewe umetumwa na nani wezi kaziyenu mnafiya pesa wewe ni malaika hauna baya toka mwizi trena mwizi

  • @MalackRichard
    @MalackRichard Місяць тому

    Mungu aendelee kukuongoza juu ya kutuambia siri za wizi wa kiroho maana siku hizi za mwisho mambo mengi yaendelea kutokea

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 22 дні тому

    Very sad shetan kaa mbali ma Tanzania 🇹🇿

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h Місяць тому

    Jamani .aji na .afuta tena siyo Yesu kwahiyo ni maji na mafuta viliponya siyo Yesi mbona mnatuchanganya basi Yesu asihusishwe Yesu anajitegemea hahitaji visaidizi

  • @mathewdaniel4341
    @mathewdaniel4341 25 днів тому

    Oi kiboko ya wachaw ww piga hera mzeee kikubwa ushapata mtaji

  • @DrAmiijmpembaThedon
    @DrAmiijmpembaThedon 24 дні тому

    Hayo maneno tu watu wamepona kwa kiboko ya wachawi nyie mnakazi yakumchafulia mtu jina huo unabii wakuona umeupata wapi sema mwamba hawamuez
    Na hapo badoooo hamjasema

  • @MukindjeKasongo-cu9gp
    @MukindjeKasongo-cu9gp 21 день тому

    Cassian tunavyoona nikama unaiacha tena njia.sababu hautaki mtu kuomba kitu kinachoitwa pesa kwa watu unasema ni utapeli maana yake unawaambia watu kwamba injili inaendelea bila pesa sasa achakuomba watu pesa ni utapeli

  • @jeremyamos535
    @jeremyamos535 Місяць тому +1

    Watanzania mumuonae huyu baba, ametoka mbali msimuone hivi leo, kaeni nae atawasaidia,,

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 29 днів тому

    KWANI UTARATIBU WA DINI YETU UKOJE MBONA WATU WANAJIANZISHIA TU HUDUMA NAONA UTAPELI WAZIWAZI KABISA NA HAKUNA HATUA ZINAZO CHUKULIWA

  • @GeorgeSagumo
    @GeorgeSagumo 18 днів тому

    Nimeka nilikuta.mama.tokasingida.kapigwa lakitano naanadaiwa.nyingine ili mjukuwake afufuliwe

  • @anitamashobe6185
    @anitamashobe6185 Місяць тому

    Kama ni tapeli hao watu wanajipeleka wenyewe,wanapenda kutabiriwa,pesa wanapeleka wenyewe,ina maana hawaoni

  • @Veronica-xe3ss
    @Veronica-xe3ss 6 днів тому

    Balaa sana

  • @DanielMichael-fq6br
    @DanielMichael-fq6br Місяць тому

    Mtumishi wa mungu ubarkiwe Sana lakini kabisa lako likowap

  • @GiftErasmus-pd7zz
    @GiftErasmus-pd7zz Місяць тому

    Wewe unaukumu wewe ni Mungu Acha Mungu awakumu mwenyewe Acha wivu atoae laana nae ata laaniwa auwae kwa upanga nae atauwawa na upanga wewe unawaukumu na kuwakejeli manabii wa Mungu sijawai kusikia umesema huyu ni nabii wakweli Ila wote unasema ni manabii wa uwongo sasa wakweli ni yupi ?? Watu wanapona magonjwa yalioshindikana hospitali na ni Mungu anawaponya Ila wewe ukiona nabii amemuombe mtu amepona unasema anatumia nguvu za Giza wewe auamini kuwa Mungu anaponya na ananguvu sana wewe unaona shetani ndoo mwenye nguvu kuliko Mungu? Maana sikuelewi kabisa Mimi ninachojua Mungu ananguvu sana akiambia milima uame unaama Mungu anamtumia mtu yoyote kumponya mtu Mimi ninaamini Mungu yupo

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj Місяць тому

      Shida yako unakalilishwa kamstari kamoja tu
      unatoka kuropoka tu.. Usihukumu...
      Basi toa tofauti Kati ya kuhukumu na kuongea ukweli..
      Amka acha kumpamba shetani..
      Mchawi ni mchawi tu haijalishi anapatikana kanisani au porini.
      Soma bibilia.. Shetani anauwezo WA kufanya miujiza.. Sasa kama husomi bibilia utabaki unasifia kila mfanya miujiza hata mchawi... AMKA ACHA UPUMBAVU UTOKA KICHWANI MWAKO

  • @user-yp6yq4jq6e
    @user-yp6yq4jq6e 20 днів тому

    Mbona ninyi mwenye neno atuoni uponyaji wenu kila siku maneno ata tumbo ajaponya kelele tu nabado unaomba msaada Yesu sianakila kitu mtumishi

    • @exalttarimo5083
      @exalttarimo5083 9 днів тому

      Kaa kimya ww hujui kitu

    • @Filemonclemens
      @Filemonclemens 5 днів тому

      Kinywa chako kilaaniwe wewe unaepinga mafundisho yakweli yamungu alie ai

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 23 дні тому

    KUBLEED NI ALIPOKEA SUBIAN AKAWA ANAKUNYWA DAMU.

  • @fabonkm9043
    @fabonkm9043 24 дні тому

    Cha mchinga kikiliwa sio kosa Bali Ni sababu ya ujinga wake

  • @AishaNuru-vd4vw
    @AishaNuru-vd4vw Місяць тому +1

    Mi ndo maana namfatiliaga mwakasege tu wengne aaah

  • @LebronJane-k7r
    @LebronJane-k7r Місяць тому

    Munaumizwa n'a kuona WACHAWI wanakufa

  • @AsiaasiaAsiaasia123
    @AsiaasiaAsiaasia123 10 днів тому

    Kwan Huwa wanaitwa wanajipeleka wenyewe

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 Місяць тому

    Mungu aendelee kukutunza

  • @AgnesKalinga-if3uf
    @AgnesKalinga-if3uf Місяць тому

    Mwenye masikio anasikia!

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 13 днів тому

    Ila wanawake sijui akili zao zikoje

  • @user-kr9xx8br4o
    @user-kr9xx8br4o Місяць тому

    HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI KWA WATUMISHI WA BWANA YESU KRISTO NI BURE.(MAANA NDIYO AGIZO LAKE BWANA YESU KATIKA MATHAYO 10:8)
    BALI KATIKA IBADA NDIPO KUNA SADAKA KWA KIASI CHA MOYO WAKO KUPENDA, NA HUTOLEWA KWA SIRI, WALA MTU ASIJUE UMEWEKA NGAPI KWENYE KAPU LA SADAKA.
    NENDA KATIKA MAKANISA YOTE YA EAGT UTAOMBEWA BURE.
    BALI NENDA KWA WATUMISHI WA BWANA YESU KAMA VILE ASKOFU GAMANYWA UTAOMBEWA BURE KABISA.
    LAKINI KWA WALE WATUMISHI WASIO WAKE BWANA YESU, (MANABII WA UONGO) UTATOZWA MAPESA.

  • @benedictormasatu2951
    @benedictormasatu2951 24 дні тому

    Mnanichekesha sanaaaas

  • @annakambelenje9410
    @annakambelenje9410 17 днів тому

    Mwinjilisti naomba namba ya kutuma iyo ela ya kupeleka injili

  • @kobylwaho3191
    @kobylwaho3191 Місяць тому

    Ukifungua kanisa lako ,jitahidi hao jamaa ulikokuw wasikufate kukushawishi na wewe ukaanza kugawa upako na kiwese😂

  • @marcelinebaruani7276
    @marcelinebaruani7276 24 дні тому

    Nimembalikiwa nahijiliasate

  • @SuzannaNdege-pj9zg
    @SuzannaNdege-pj9zg Місяць тому

    Dahhh hatari sana, inabidi hawa watu washtakiwe wanawaibia watanzania kwa kuwadanganya eti watapona wezi sana.

    • @AGM19697
      @AGM19697 Місяць тому

      @@SuzannaNdege-pj9zg Kabla hujawahikumu kafanye investigation mwenyewe usije ukasikia unapata hukumu bila kujua

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 25 днів тому

    Tunapigwa kotekote yaani tunawakati mgumu sana. Kwenye Siasa tunapigwa na sasa tunachapwa kwenye nyumba za ibada. Tutaponea wapi?

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 20 днів тому

    Wacha kelele zako na uongo wewe ndio muhuni,acheni fitina na roho mbaya ubaguzi wabongo,wewe ndio shetani na tapeli mkubwa

  • @MacdonaldMbogo
    @MacdonaldMbogo Місяць тому

    Naomba uje Kenya ufungue watu huku ambao wamefungwa na muovu shetani

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 Місяць тому

    Cassian Biblia imetuagiza ukiona ndugu yako anaenda vibaya mwendee kwa hekima na upole umueleze kwa maandiko na vile ameteleza ili ajirekebishe. Kuwashambulia wenzio ktk vyombo vya habari hakusaidii mwili wa Kristo. Hiyo ni chachu inaharibu kanisa la Kristo. Unasrma vizuri lakini furaha utaratibu wa kumfundusha mtumishi mwenzio

    • @user-ro2fl1py6m
      @user-ro2fl1py6m Місяць тому

      Wewe huwajui Hawa manabiii kwani wao si wanafanya hadharani Kila ktu kitafanywa hadharani , unataka hekima Gani wakati watu wanaangamia,?

    • @AishaNuru-vd4vw
      @AishaNuru-vd4vw Місяць тому

      Hao sio watumishi wenzie kila mtu ama Mungu wake apo

  • @user-gh6vc9or3v
    @user-gh6vc9or3v Місяць тому

    Nikweli mchungaji huyo mtumishi alieadithia juu ya kiboko. Ya wachaw hata mm nilishawahi fika hapo kwa kiboko ya wachawi wakanitapeli 50000tena ni wakali nawanasema ukileta fujo utapelekwa polisi halafu vijana wake wote ni wakongomani

  • @user-zx4zr3hc7y
    @user-zx4zr3hc7y Місяць тому

    Mwamposa amenifanya nimjue Mungu nimuogope Mungu nimuamini Mungu milele na milele amina mwamposa hajawai kunitoza hata Mia nikitoa natoa sadaka ambapo hata kanisa lolote ningetoa lakini Mwamposa amenifundisha Mungu anavyotenda kazi Ehe mwenyezi Mungu naomba umlinde mtumishi wako Mwamposa asikatishwe tamaa na watu wenye chuki binafsi na wivu wa kibinadamu naamini na Mungu amenitendea makubwa kupitia madhabahu ya Inuka uangaze

    • @Abcdefghijjjjjjjj
      @Abcdefghijjjjjjjj Місяць тому +2

      Ulipofikia Kwa Mwamposa hakuna anaeweza kukutoa maujinga ya Nanna hiyo.. mpaka Mungu mwenyewe aamue. Actually hakuna haja ya kukuambia haya coz huwezi kuelewa. Ila mwamposa ni mchawi kama wachawi wengine wanaopatikana kanisani
      Hangaikia kutengeneza mahusiano yako wewe binafsi na Mungu billa kuwa na mtu yeyote katikati...

    • @user-ro2fl1py6m
      @user-ro2fl1py6m Місяць тому +1

      Kabisa yaani hiyo madhabahu yenye again la nafaka na mafuta acha kabisa chakula kina nguvu kama tulivyoona Kwa Esau na yakobo na wakuwatoa huko ni Mungu, na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu 😭😭😭😭

    • @kobylwaho3191
      @kobylwaho3191 Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mmefunga pingu na mwampo😅😅 wacha weee😅😅

  • @Jacksonswai685
    @Jacksonswai685 Місяць тому

    Mungu asimame mwenyew

  • @Alicemsafiri
    @Alicemsafiri Місяць тому

    Uyo kiboko ya wachawi ni mtafutaji tuu, akishawaambia wenye elfu 5 kaeni pembeni mnanisumbua kuesabu,

  • @user-wi4kr2zr7x
    @user-wi4kr2zr7x Місяць тому

    Wewe nyukiiiii?ehehehehe😅😅😅😅😅

  • @habarinjema7663
    @habarinjema7663 15 днів тому

    Sasa kama umepewa bule hela ya vyombo unapmba ya nini si utoebule

  • @SamPaulo-h2j
    @SamPaulo-h2j 26 днів тому

    Bora hela yangu ale mchungaji kuliko mganga

  • @URIELMWAFONGO-vl8xo
    @URIELMWAFONGO-vl8xo Місяць тому

    Mhubiri 7:20 na mathayo 7:1-2

  • @nasrabesha5626
    @nasrabesha5626 Місяць тому

    Kwa iyo wew huhitaj watu ila unahitaji ela

    • @GiftErasmus-pd7zz
      @GiftErasmus-pd7zz Місяць тому

      Pesa sabuni ya roho😂aache kuwaponda wezake aache Mungu awakumu mwenyewe

  • @HelenLaizer
    @HelenLaizer Місяць тому

    Baba nisaidie mwali wangu ajaliwe mtoto

  • @bonnyxaverino112
    @bonnyxaverino112 Місяць тому

    Nakukubali
    Ila kuna seemu kidogo uki boresha utakuwa wa kwanza
    Acha kuchaji watu wakiitaji kufanya colabo nawewe
    Ukipew kwa bure nawe toabkwabure mtumishi

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg Місяць тому

    Kwel baba ni kukosa mahalifa duuh sema Baba wapone walio naswa nae

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 26 днів тому

    sikujua bado wana maombi tumeacha mlango wazi ichini tuombee watumishi

  • @SaraMataba
    @SaraMataba 23 дні тому

    Semakwer mutumishi watu tupone

  • @Alicemsafiri
    @Alicemsafiri Місяць тому

    Yaani ni zaidi ya tapeli akuna ambaye ajapangwa akapona zaidi ya watu waliopangwa ndio wanapona icho naamini

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 Місяць тому

    Kuna mtu kakopa assa Ili ampelekee kiboko ya wachawi now anateseka tu

  • @user-wd1ey8vy5u
    @user-wd1ey8vy5u Місяць тому

    MUNGU aturehemu sanaa maan

  • @sarahmwakipembe5033
    @sarahmwakipembe5033 Місяць тому

    Huna lolote. Wewe kiboko nenda k awaibie watu wa kwenu

  • @pastadandan3569
    @pastadandan3569 Місяць тому +2

    Sasa kwani wanalazimishwa kwenda ,mbona wewe unaeombea Bure watu kwako hawaji?? Hela ni yao na muda wao na haijalishi wameipataje ni maamuzi yao kutumia pesa yao wanavyotaka wao!! Wewe ambae unaombea Bure wamekuja wangapi kwako !! Binadamu huwezi kuwa control kwa kutumia nguvu ya dini tumia nguvu ya mungu

    • @christopherkaroli9365
      @christopherkaroli9365 Місяць тому

      We ndo hata huelewi anachoongea

    • @PaulLuziga-bn1zv
      @PaulLuziga-bn1zv Місяць тому

      Yaani wewe naona hujui kitu chochote kuhusu MUNGU

    • @AishaAishaothmani
      @AishaAishaothmani Місяць тому

      Anapatamani yule baba anasaidia sana hata kama ni mazingaombwe lakini nimepona

  • @user-kr9xx8br4o
    @user-kr9xx8br4o Місяць тому

    MATHAYO 10:8
    8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
    Mathayo 10:8
    BWANA YESU AMEAGIZA WATUMISHI WAKE KUPONYA BURE MAANA YEYE BWANA YESU AMEWAPA NEEMA HIYO BURE.
    ILA WALIO WAKE SHETANI NDIYO HUWAFANYIA WATU UGANGA KWA MAJI NA MAFUTA BAADA YA KUWACHUKULIA MAPESA.
    WAGANGA WA RAMLI NDIYO AMBAO HUCHAJI MAPESA MAANA MAZINGAOMBWE YAO YATOKEA KWA YULE JOKA LA KALE YAANI SHETANI

  • @andrew29468
    @andrew29468 Місяць тому

    KUNAHITAJIKA UKOMBOZI WA FIKRA TANZANIA,MUNGU ATUSAIDIE

  • @FelisterLigazio-mw3hh
    @FelisterLigazio-mw3hh Місяць тому

    Kinachowaponza wanataka wakatabiriwe, na watakamuliwa mpaka senti ya mwisho