PROPHET IPM AWAUMBUA WACHUNGAJI WANAOTUMIA MAFUTA YA UPAKO NA MAJI HUWEZI PATA UTAJIR KWA MAFUTA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 671

  • @augenmagabila3081
    @augenmagabila3081 28 днів тому +31

    Mtumishi wa MUNGU IPM, Hongera sana kwa neno lako na umejua sana kuelezea hii ni biashara ya watu. Asiyejua haya yote, atafute na asome kitabu cha aliyefanya mamboo hayo ya kuuza mafuta,maji,vitanbaa, udongo, hela za mapepo , n.k anaitwa Makhado Ramabulana, na kitabu chake kinaitwa Church Mafia. Soma utaelewa ni kitabu kizuri.

    • @augenmagabila3081
      @augenmagabila3081 28 днів тому +3

      Kitabu kipo Mtandaoni yaani soft copy bure.

    • @marthajarome1718
      @marthajarome1718 14 днів тому

      Mafuta na maji yakiombewa yanakuwa na nguvu ya kuondoa vifungo na nira vinavyopelekea magonjwa laana na mapepo,hasa ukiyatumia kwa imani, sema wanaoyachukua na kuyatumia ndio shida, akili za kuambiwa changanya na kwako

    • @jessagemauma2861
      @jessagemauma2861 20 годин тому

      😊😊

  • @BlessedAnne-fh6lk
    @BlessedAnne-fh6lk 27 днів тому +20

    Asifiwe Yesu Prophet..Mungu akubariki Sana Kwa kusema ukweli..hayo nimeoyaona Mimi..unasema ukweli mtubu.🎉

  • @justinemisigaro1471
    @justinemisigaro1471 27 днів тому +14

    Hapo IPM nakuunga mkono kabisa Mungu akulinde na kukujaza ujasiri zaidi damu ya Yesu kristo ikufunike

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 27 днів тому +11

    Ubarikiwe sana sana kwa kuliona hilo hawa watu wanatumia nguvu za giza mwish wanaua watu mungu akupe maisha marefu sana

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 27 днів тому +21

    Mbarikiwa Mwakipesile, hata mwisho ataeleweka kwa,njia yakumbinga uovu. Big up Mbarikiwa Mwakipesile wetu.

  • @LINNAHPATER
    @LINNAHPATER 15 днів тому +4

    Yaani umenifunguwa sana baba Mungu akubariki eweeee baba muumba wa mbinguni Akulinde jaman Mungu baba mlinde IPM

  • @grationgabriel4904
    @grationgabriel4904 25 днів тому +4

    I appreciate your research is alright IPM, may God defend you always, and go ahead.

  • @DINANCHAGWA
    @DINANCHAGWA 22 дні тому +6

    Kuhusu Kafara ya Wanyama mtumishi wa Mungu nakushaur kwamba iliishia msalabani kama unasoma maandiko vzr Yesu alpokata roho Pazia la hekalu lilikatika katikati kumanisha upatanisho wetu na Mungu ni kupitia damu ya mwana wa Mungu.
    Wanyama,biashara,mazao,na vngne vpo tu kwa ajili ya kutolea zaka na sadaka na syo vingnevyo.
    Mungu wa mbinguni awape uwelewa

    • @npiperito19
      @npiperito19 14 днів тому

      Inamana walio kuwa wanatoa kafara Au sadaka ya wanyama walikiwa awantii mwenyezi mungu? Acha kuzarau agano la kale. Ayo yote ni mapendekezo ya mwenyewe.

  • @rajabukiza4851
    @rajabukiza4851 29 днів тому +10

    Aiseee asant mtumishii umenifungua macho kuhusu kafaraa asnte saana❤

  • @FlorensiaMkombozi-et1ts
    @FlorensiaMkombozi-et1ts 28 днів тому +8

    Nakuombea Mungu akulinde Mungu akusimamie na Mungu akupe ngu ya neno lake takatifu

  • @nanubob1969
    @nanubob1969 27 днів тому +4

    kweli nimevutiwa na mazungumzo yako! Ninatamani sana uwe mwokovu genuine! Ubarikiwe!!!

  • @user-pg9dv9vo8p
    @user-pg9dv9vo8p 28 днів тому +12

    Fact kabisa Leo umeongea ukweli

  • @RobartNgwembe-m3h
    @RobartNgwembe-m3h 16 днів тому +3

    Mtumishi naamini ujumbe umefika, na usirudi nyuma katika hili mungu akupe nguvu

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 26 днів тому +2

    Hongera kiongozi kwenye uislamu pia yupo tapeli mmoja aitwa Dokta S

  • @johnsonkategela479
    @johnsonkategela479 28 днів тому +9

    Daah brother umeongea facts ambazo wanufaika zitawauma sana! Watu wamepigwa na vitu vizito mpaka wanakuwa mazuzu Kwa kuamini vitu badala ya Mungu. Yaani huo mchanha ungewasaidia Israel na Palestina waache kuuwana. Asante Kwa upelmbuzi yakinifu

    • @alexandermilanzi9860
      @alexandermilanzi9860 28 днів тому

      Hakuna cha dear brother yy mwenyewe mpigie tu!..... Ameshauza mafuta huyu tena yeye 5000-10000 kama sijakosea nimesahau tu gharama lakini

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 14 днів тому

      Sasa nae ni prophet gani kama si biashara tu. Prophet wa mwisho ni Muhammad basi. Wala maprophet wenyewe hawakufanya hivyo

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 14 днів тому

      Anaelewa kur ani na mtume Muhammad alimtambua Issa na alisema kwamba yeye ndie prophet wa mwisho iweje yeye nae awe prophet? Si ni uongo? Muongo si mtu wa motoni? Huyu kaenda ukristo ameona kuna wadanganywa kirahisi na kujiongezea kipato. Hupati waislam wa kuwadanganya kirahisi. Sidhani kama anaombea watu bure na hachukui sadaka na kuzitumia yeye

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 14 днів тому

      Ana nini cha ziada hadi nae ajitawadhe uprophet? Kuna Yule wa Nigeria Joshua kumbe alikua na maovu kibao na wengi tu ni hivyo hivyo kudanganya tu na kujitajirisha

  • @SanyuMoses-vp3dw
    @SanyuMoses-vp3dw Місяць тому +5

    God bless you it's true brother

  • @user-rn8lm2nc5i
    @user-rn8lm2nc5i 21 день тому +2

    Nakubalisana mtumishi
    Ipm Mungu akupenguvu
    Naitwa Alex kutokeya canada

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 21 день тому +1

    Hongera mtumishi..umenena ukweli. Mitume na manabii hawa ni matapeli watupu..nimelia kabisa kwa jinsi watu wa imani zote wanavyotapeliwa

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 27 днів тому +3

    ❤❤❤❤❤❤apo niko nacwewe Ubarikiwe mnooo

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 29 днів тому +12

    Nikweli lakini hata wew hauna imani kabiza aloo sikukubali kabisa

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 29 днів тому

      Nikweli nilishetani tosha tuu 😢😢😢

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 29 днів тому

      Tatizo ndio lo Iman ndio itakukomesha

    • @EstaDaffi-wg5cr
      @EstaDaffi-wg5cr 28 днів тому

      Hata yeye so salm japo anayoongea ni kweli.

    • @janealbert7901
      @janealbert7901 27 днів тому

      Waacheni wabongo wajinga sana. Watapigwa mpk wanyooke

    • @emmanuellukololo4427
      @emmanuellukololo4427 26 днів тому

      Mtu kusema kweli ni shetan? ​@@user-nb6yh2bn9y

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 10 днів тому +1

    Mungu atusaidie saana,Kujifunza MEMA

  • @neemataris3273
    @neemataris3273 День тому

    Ongea mtumishi, Na Mungu akubariki na akulinde

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 14 днів тому +1

    Neno lako ni zuri lakin apo kwenye kafara mchungaji sijaelewa Bado, nachojua mm kafara kafara ya dam ya yesu ilimaliza hakunaga mnyama au fahari inayoweza ondoa dhambi (damu ya yesu yatosha) amen

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 29 днів тому +2

    Apo sawa ipm .👏👏👏👏

  • @stanleynyakunga5926
    @stanleynyakunga5926 25 днів тому +3

    Barikiwa sana IPM

  • @rosemarykimath9337
    @rosemarykimath9337 26 днів тому +4

    Some times ifike mahali watumishi wa Mungu mfocus na mambo yenu jmn kma mwenzio ana karama amekuzid basi mshukur Mungu kila mtu ana karama yake kma huna uwezo basi acha wanatoa muujiza watoe Mungu ndo hakimu wa kweli

  • @KhalifaChuma
    @KhalifaChuma 20 днів тому +1

    inshaallah Mungu Atakulinda Bro bora ukwli ukifa unanafac yko kwa Mungu

  • @user-bp5pq9to9e
    @user-bp5pq9to9e 25 днів тому +3

    Uko sahihi, MUNGU akulinde Amina

    • @NeemaMngongo
      @NeemaMngongo 11 днів тому

      Huyo amekosa waumini ache kuponda

  • @johnmhangi315
    @johnmhangi315 19 днів тому

    Mungu akulinde na ahsante kwa somo nzuri

  • @JonasAmon-q3z
    @JonasAmon-q3z 12 днів тому +1

    Uko saw mtumishi.unajua hao watumishi siyo wabaya ila sisi tunao wafuata ndio wabaya.Mungu atusaidie tu

  • @SimonFire-ms2be
    @SimonFire-ms2be 27 днів тому

    Waoooooooo Asante Sana Mtumishi

  • @BENEDICTMwanga
    @BENEDICTMwanga 25 днів тому +4

    Ipm mbona wewe unauza maji na mafuta unaonana na watu kwa pesa broo au umeacha umemrudia mungu kaka

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 24 дні тому +3

    Mchungaji nimekupenda sana

  • @adeladaudi2047
    @adeladaudi2047 3 дні тому

    Wewe ushindwe kwa jina la YESU KRISTO, Hatuji Kwako ng'o, na wewe ni walewale unatumia kafara ya wanyama unataka kuwadanganya waumini walete mbuzi zao, kondoo zao na ng'ombe zao uwafiris kabisa. Sisi hatuamin cha maji wala cha mafuta wala cha kafara ya wanyama Tunaamini damu ya YESU KRISTO iliyomwagika msalabani TUU!!🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @Jacksonswai685
    @Jacksonswai685 27 днів тому +4

    Mungu atusaidie mwisho watimia yan binadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa

  • @mtumishiraymond2001
    @mtumishiraymond2001 27 днів тому +4

    Amina, Umeongea ukweli na umefunguwa watu macho

  • @livingistonmalula262
    @livingistonmalula262 19 днів тому +1

    Hongera sana usichoke kutupa elimu Mungu yuko pamoja na wewe

  • @victorngimbwa5558
    @victorngimbwa5558 29 днів тому +5

    Hujafanya utafiti ,Mungu akusaidie.waliofanikiwa Ni wengi mno.Na nani alikwambia wanaotoa mafuta wanawambia watu wasifanye KAZI.Jifunze bila Hila utajua Nini kinaendelea .Petro alipovua usiku kucha asipate samaki,shida ilikuwa Nini, na kwanini alipoambiwa na Yesu atupe nyavu alipata samaki wengi mpaka akaita watu kumsaidia.Yapo mambo mengi yanayozuia watu kufanikiwa licha ya kufanya KAZI kwa bidii.Mwombe Mungu atakufungua macho.asilimia kubwa ya wanaofanya KAZI kwa bidii ndio hafanikiwi wanapata mlo TU

  • @user-yc7dk4vy7v
    @user-yc7dk4vy7v 26 днів тому

    Facts bro I appreciate you.

  • @user-gt4rp4bo8y
    @user-gt4rp4bo8y 23 дні тому +3

    Mungu atusaidie sana ww mwenyewe hueleweki unasema tuuze sigara ktk biashara zetu je ni sawa?

  • @user-cp1uo3lb7w
    @user-cp1uo3lb7w 14 днів тому +1

    Ubarikiwe sana baba yesu atakulinda

  • @AyubuJkechegwa
    @AyubuJkechegwa 15 днів тому +1

    MUNGU akulinde mtumishi

  • @user-oo2bp2vz7v
    @user-oo2bp2vz7v 4 дні тому

    Safi sana hiyo ni sindano umetupa IPM

  • @bridgetphiri5663
    @bridgetphiri5663 25 днів тому

    Amen 🙏 it true 💯 you have to work hard 🙏🙏

  • @DelilaRitte-sr9wr
    @DelilaRitte-sr9wr 20 днів тому +1

    Kweli mtumishi wa Mungu,, watumishi wengi wana wanyonyo sana ,, waumini waoo,, na wao kifanikiwaa waoo

  • @upendofredrick8988
    @upendofredrick8988 23 дні тому

    Asante mtumishi,mwenye masikio haambiwi sikia

  • @user-oo2bp2vz7v
    @user-oo2bp2vz7v 4 дні тому

    Hongera sana unatufungua

  • @Hamisi-uz9cj
    @Hamisi-uz9cj 25 днів тому +10

    Wewe kalia wivu sisi tunaendelea kupiga mafanikio yetu kupitia upako wetu arise and shine kazi iendelee

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 25 днів тому

      Umepotea kwasababu hujui maandiko

    • @joshuatituslusinde1260
      @joshuatituslusinde1260 25 днів тому

      Mwapotea kwasababu hamjui maandiko

    • @LilyWeitz
      @LilyWeitz 24 дні тому +1

      Wivu Tu 😅

    • @richardsiame8328
      @richardsiame8328 22 дні тому +1

      Sio wazima nyie kunawivu hapo ,anaongea kweli tupu

    • @LilyWeitz
      @LilyWeitz 22 дні тому

      @@richardsiame8328 kwa kuwa anekuwa mungu anahukumu watu au watumishi wengine yeye ni mungu au .kila mtu acheze kalata yake mwenyewe mambo ya watumishi wa mungu yeye inamuhusu nini.yeye kama kashidwa atulie au akalime vitunguu shamba

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 29 днів тому

    Tunashukuru kwa somo Suri mtumishi

  • @FrankBororo-dk1fv
    @FrankBororo-dk1fv 29 днів тому +4

    Penye mzoga ndipo wakutanikapo ndege waitwao tai,brother. Ni kweli watu wanainuka kiuchumi baada ya upako na ndomana wanaweza kuhudhuria mara zote hizo na kutoa sadaka hizo mara zote hizo. Umati mnaouona kwa watumishi hao maisha yao yamebadilika na ndomana wanakua na uwezo wa kutoa kila wakati. Hawajaaminishwa,wanaona matokeo ndomana wanaendelea kwenda. Inashangaza kuona mtumishi wa Mungu anapoona miujiza anasema ni nguvu za giza! Hii tafsiri yake ni kwamba wanaamini shetani ndo mwenye miujiza mikubwa na sio Mungu. Mungu wao ana mipaka na matendo ya miujiza. Watu wameinuka kiuchumi sana na wao wenyewe ni mashahidi ndomana anaweza hata kutoa 50,000 kila wiki na alikua hata 2,000 hawezi kutoa. Watu wanakwenda ili kazi zao zifunguliwe na sio hawafanyi kazi,huo ni upotoshaji.

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 26 днів тому

      Hakuna kitu kama hicho, wengi ni choka Mbaya

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 23 дні тому +1

      Umeongea umemalza Kila kitu Asante !binafsi nimeielewa point Yako 👏👏👏🙌♥️🙏

  • @FrancisMliga-pp7cp
    @FrancisMliga-pp7cp 29 днів тому +6

    Sema me ulinipiga lakimbili Mtumishi na hivo mbona na wewe huwa unauza kichupa Cha Asali kidogooo unasema hiyo Asali umeionbea ina Nguvu flani ya Mafanikio hicho kichupa Cha Asali unauza elf kumi

    • @rebecayenda6780
      @rebecayenda6780 29 днів тому

      😂kafulia kaanza kujisahaulisha

    • @harmonylogisticszimbabweli3294
      @harmonylogisticszimbabweli3294 25 днів тому

      Afanye kazi ya mungu wake sio kukosoa wenzio. Kila mtu anaufunuo wake.

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail 23 дні тому

      ​@rebecayen😂😂😂😂😅Yani Rebecca yen umenifanya nicheke mpaka mawazo yamepotea duu Asante🙏jamani sisi binadamu tunakazida6780

  • @jumarajabngereza6713
    @jumarajabngereza6713 24 дні тому

    👍🙏. Maashaallah

  • @JumaAbdallah-c7u
    @JumaAbdallah-c7u 20 днів тому

    jaman munguu akubarikii na awez kukupa ujasirii uouo ni kweliii kabsaaa aiseeee munguuu akubarikii xn nimefurahii sio kidog maanaa umenenaa babaaa

  • @user-cy4xf1eu3q
    @user-cy4xf1eu3q 29 днів тому +6

    Kivuli cha Agano la kale ...kiliwakilisha watu kutoa kafara za wanyama ...ila kwa kufa kwake Yesu sisi sote tumesamehewa

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 29 днів тому

      Endeleatu kufanya zambi na uzidijuamini umesamehewa utajua hauajua lakini siku yamwisho utasaga meno

    • @Shalom2018
      @Shalom2018 29 днів тому +2

      Ni kweli kwenye Agano jipya Yesu alikufa pale msalabani na damu yake imetukombo tena inafanya kazi mpaka sasa,hatuhitajiki kutumia tena damu za wanyama,tuanaweza kutumia damu ya Yesu Kristo kwa kuitamka,hayo mambo ya kafara ya kuchunja wanyama na watu yapo kwa shetani.

    • @farajis3dtech306
      @farajis3dtech306 29 днів тому +1

      Fanya zambi ukijua umesamehewa maana ya kila mtu na msalaba wake naona huijui jichanganye ukifanya zambi utajua baadae

    • @MrMwadila
      @MrMwadila 29 днів тому

      Waebrania 10:1-4”Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wo wote kuwakamilisha wakaribiao.
      2 Kama ndivyo, je! Dhabihu hazingekoma kutolewa; kwa maana waabuduo, wakiisha kusafishwa mara moja, wasingejiona tena kuwa na dhambi?
      3 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka.
      4 Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi.”

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 28 днів тому +1

      @@farajis3dtech306wacha asime ukweli 🫵🏾

  • @JoshuaMolen-oc3vi
    @JoshuaMolen-oc3vi 25 днів тому +1

    ipm nakukubali San mungu akubalik lakn loho inaniuma San make nakupigia San SMU unisaidie lakin hopokei SMU yang

  • @ShaurijulienMarandura
    @ShaurijulienMarandura 24 дні тому

    Mungu Akulinde mtu wa mungu

  • @rizikilubula4078
    @rizikilubula4078 12 днів тому

    Ubarikiwe mutumishi wa Mungu!

  • @estamarodaofficialtz5233
    @estamarodaofficialtz5233 25 днів тому

    barikiwa sana baba shetani anatutenda kwaakili mungu atutetee

  • @estomihijohn6013
    @estomihijohn6013 14 днів тому

    Haleluyaaaaaaaa! To The BLESSED MOST HIGHER HOLY ALMIGHTY MIGHTY IN THE BLESSED YAHWEH TETRA GRAMA ATON HOLY ZODIAC HOLY DIVINE KIND OF MATRIX GOING IN THE UNIVERSE WAY OF DOING MIRACLES FOR INTERLECTUAL HOLY SPIRIT ENLIGHTENMENT THAT SMILE VERY WELL ORDERING THE STEPS OF OUR FEET, Going Before us Making the croocked places Straight Breacking the gates of brass, Cutting in Sunder the bars of iron To Give Us the TREASURES OF DARKNESS, THE RICHES OF HIDDEN IN THE SECRET PLACES For Us to Know The Holy DIVINE KIND OF MATRIX GOING IN THE UNIVERSE WAY OF DOING MIRACLES Of " IS RA EL ". Haleluyaaaaaaaa! AMEN RAAH! AMEN RAAH! Haleluyaaaaaaaa!

  • @anoldswai9829
    @anoldswai9829 21 день тому

    Mungu akubarik kwa kusema ukwel

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 26 днів тому

    Aisee Mungu akubariki sana

  • @eliviraedward9466
    @eliviraedward9466 28 днів тому +2

    Kafala ilishia msalabani IPM Yesu alipokufa na kumwaga damu hiyo yote ilikuwa ni kielelezo tosha kwa kuacha kafala za wanyama.

    • @enockmarwa7635
      @enockmarwa7635 27 днів тому

      Una uhakika? imeandikwa kitabu gan sura ipi?

  • @Joshualaizer-xu2ov
    @Joshualaizer-xu2ov 26 днів тому

    nice ipm

  • @SaviouryKigola
    @SaviouryKigola 4 дні тому

    Mung u akutangilie manautawindwa naadui baba❤

  • @emmanuelpeter5686
    @emmanuelpeter5686 23 дні тому +2

    Lalini mimi sitaki unafiki wewe IPM c uliwahi kuwauzia wafanya biashara na wafanya kazi mafuta ulikua unasema ni mafuta ya dhahabu we hukua mwongo acha unafiki wivu tu umekujaa

  • @bishopmmbando530
    @bishopmmbando530 29 днів тому +4

    Wewe unakosoa makosa na wew unafanya makosa makubwa zaidi.Unawaambia wafanye kazi ya Kuuza pombe,sigara na vilevi ili kupata Pesa. Kama umeamua KUNYOOKA,NYOOOKA NA NENO LA MUNGU SIO MAWAZO YAKO

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 28 днів тому +1

      🤣😂🤣Tutawatumbua Na moto unawasubiri anayosema ni kweli 🤝

  • @GelardSanga
    @GelardSanga 29 днів тому +1

    Wewe ni machine

  • @nikusamwel3434
    @nikusamwel3434 27 днів тому

    Duh hongera mtumishi

  • @Lucybuchichi
    @Lucybuchichi 20 днів тому

    Very true brother

  • @alfredizabdieli6226
    @alfredizabdieli6226 25 днів тому +2

    Acha unamfki mtumish wapo wenye matatzo mengi na sio wote wanataka utajr

  • @user-mz7pv3uo9y
    @user-mz7pv3uo9y 24 дні тому

    Nime barikiwa Sana usiche kusema kweli lpm mungu Yuko nawe

  • @bilid4128
    @bilid4128 25 днів тому +1

    😂😂😂😂 hapo kwenye unyayo wa yesu 🙌🙌🙌

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h 19 днів тому +1

    Hakalii wivu anawafungua wati macho wajue nini Mungu anasema siyo wivu kumbuka pia utafanikiwa lakini utaviacha hivo vote mtafute Mungu atakufanikisha mjue sana Mungu

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 27 днів тому +2

    Binadam akili ziko tofauti ndio maana hata kwenye mtihani Kuna wa kwanza na WA mwisho

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 29 днів тому +3

    Keki, chumvi, mafuta, maji na kitambaa ni biashara ya kichawi.
    Serikali inafahamu na imekaa kimya matapeli wanawaua watu kwa kuwaambia wasitumie dawa za hospitali wameponywa. Yatima wameongezeka kwa ajili ya vibaka waliyojificha kwenye dini.

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 27 днів тому +1

      Unaposema biashara ya kichawi hapo umedanganya. Ulishasikia mchawi gani anatumia sabuni na mafuta na maji ya upako.

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 26 днів тому

      Wee ni uchawi tu hapo hamna kitu😮​@@moseshaule586

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 26 днів тому +2

    MIMI NI MUUMINI
    NATUMIA MAFUTA
    CHUMVI
    NA VINGINEVYO SAWA NA NENO LA MUNGU
    NAFANYA KAZI NAMWABUDU MUNGU
    NASOMA NENO LA MUNGU
    NAISHIA NENO LA MUNGU

  • @leahnzali4933
    @leahnzali4933 27 днів тому

    ⛹️⛹️⛹️👍👍👍 Asante Mtumishi

  • @asmanikahungu7171
    @asmanikahungu7171 21 день тому +1

    Kafara ya mu Christo ni Yesu ikisema myama sioni sawa île damu ilio mwangika musalabani inamana gani.

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 27 днів тому

    Die twee lesers wat onthou word, maar die wat nie geglo het in trots en spiesjies, hoeveel mense is voor hulle Hulle is 'n gevolg van hulle, en hulle het gesê: Hulle loop en wees geduldig met jou afleiding Ons het nie gehoor nie dit in die hiernamaals Dit is niks anders as 'n versinsel nie. Die Boodskap is uit ons midde gestuur Voor hulle was die mense van Noag en Aad Farao, die man met stokke, en die mense van Lot, en die metgeselle van Mekka reg Aqaba al -Masabar oor wat hulle sê en onthou ons dienaars, dit is dieselfde Die een wat 'n muddhur het Moenie bang wees vir die twee opsommings nie, ons wil hê ons moet dit doen, so ek sal onder ons wees met die waarheid Soetheid van die bose, ons het jou 'n opvolger in die land gemaak. Diegene wat deur die pad van God mislei word, het 'n ernstige pyniging van wat hulle vergeet het op die dag van die rekenskap. , of ons sal maak Die wat veilig is, doen die geregtigheid in die land in die land Wat is die aanbidder, want hy is 'n wyk Met die sluier, het hulle geantwoord op my, so hy het geslaag

  • @user-rg1vs9mb8x
    @user-rg1vs9mb8x 21 день тому +1

    NI KWELI MCHUNGAJI BILA KAZI HAKUNA MAFANIKIO WAELEZE UKWELI MUNGU YU PAMOJA NAWE UBARIKIWE SANAAA

  • @YasreArafat-kk9en
    @YasreArafat-kk9en 12 днів тому +1

    Huyu Jamaa haekeweki kabisa ukiwa unasema unaamini ktk kafara
    Je wewe ulipewa Na Nani Hilo jukumu la kuwafanyia watu hizo kafara
    We ni mtume WA Nani acha ubwege
    Unamnyea mwenzako wakati we mwenyewe ni tapeli
    Huna Lolote fara 17:44

  • @reginaldthomas3892
    @reginaldthomas3892 7 днів тому

    Imani juu 🙏

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 19 днів тому

    Asante kuwa wazi umewasaidia

  • @MordAlly-ng8jj
    @MordAlly-ng8jj 28 днів тому +2

    Huu ndio ukweli, ni wakati sasa serikali kubadilisha sheria kuanza kutoza kodi kwa wezi wa aina hii.

  • @brightnjau651
    @brightnjau651 23 дні тому

    Asante sana, wengi wahuni tu kuwaibia waumini wao

  • @SimonFire-ms2be
    @SimonFire-ms2be 27 днів тому +1

    🙏🙏🙏👏👏👏

  • @KaroliJulias-b1x
    @KaroliJulias-b1x 14 годин тому

    MUNGU akulinde kwa damu ya YESU

  • @BENEDICTMwanga
    @BENEDICTMwanga 25 днів тому +1

    Mafuta yanakusaidia kuondoa vipingamizi kwenye maisha yako my be uchawi nguvu za Giza amefungwa Kila anacho Fanya afanikiwi kwahio mafuta yanamsaidia anacho kifanya afanikiwe

    • @rerisamba
      @rerisamba 23 дні тому

      Kumbuka Mungu kama Mungu hahitaji kusaidiwA neno lake latosha je ukifa itakusaidia kuingia mbinguni

  • @fredrickkaaya6287
    @fredrickkaaya6287 25 днів тому +1

    Mtumishi hakuna mtume au nabii mwenye uwezo wa kuuzia watu Kwa maelfu vifaa vya kiroho kama unavyodanganya watu. Sikatai Kwamba Kuna wanaoigiza upako na wanajipatia pesa lakini si Kwa kiwango kikubwa kivile. Pia elewa Kwamba Kila nabii au mtume wa kweli lazima awe na ufunuo wake aliopewa na Mungu. Wewe ni vizuri ukashughulika na mambo yako uliyotumwa na Mungu wako. Sijui wewe ni mtumishi gani unayetumia usembe?

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 29 днів тому +4

    SIWEWE PIA JAMBAZI TU ULIUZA MAFUTA YA GOLD WAJINUNULIA MAGARI YA KIFAHARI WEWE NA BIBI YAKO

    • @lucaslupaso5824
      @lucaslupaso5824 27 днів тому

      Amesahau

    • @paschalpaul3862
      @paschalpaul3862 27 днів тому

      @@lucaslupaso5824 alikuwa anafanya tafiti na hivyo amejiridhisha, na hivyo uwezi kuelewa jambo bila kwenda field, uwezi elewa uchawi bila kwenda kwa mchawi

    • @user-id1cg8ik1d
      @user-id1cg8ik1d 27 днів тому

      ​@lucas😂😂😂😂😂😂😂😂lupaso5824

    • @phiniasbagoka3998
      @phiniasbagoka3998 5 днів тому

      Nami niliona

  • @LuciaChacha-y9l
    @LuciaChacha-y9l 11 днів тому

    Jamani mungu ni mwema namshukuru Mimi namwomba mungu peke yangu na anasikia maombi yangu

  • @josephinesagumo
    @josephinesagumo 26 днів тому +3

    Hizo bei ni za kwako, hakuna bei kama hizo, meamposa maji na mafuta elfu moja moja

  • @ZachariaGilbert-c7y
    @ZachariaGilbert-c7y 11 днів тому

    Hongera sanaaaa.tunaangamia kwa kukosa maarifa.

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 27 днів тому

    Very true

  • @CASFETATAYOMIUdom-CoED
    @CASFETATAYOMIUdom-CoED 11 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤❤ Mungu tusaidie

  • @ramadhaniathumani1025
    @ramadhaniathumani1025 28 днів тому

    Seen

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 26 днів тому +1

    Makanisa yamekuwa silaha ya kuwaumiza wananchi.Inakuwaje mtu anakusanya 800M.Lkn hata Kodi halipi,uwizi huo

  • @user-iu4du7ws6s
    @user-iu4du7ws6s 8 днів тому

    Muhubiri Yesu Kristo usihubiri maono ya Mtumishi mwenzio, mbona humsemi Yesu alitumia udongo??????

  • @AnthonyRuben-fi7cc
    @AnthonyRuben-fi7cc 26 днів тому +2

    Wewe mwenyewe muhuni nyie wote NI mbiz kasolo langi

  • @armansabbor-ui3jb
    @armansabbor-ui3jb 26 днів тому +3

    Baba mungu akubariki sana ni ukweli mtupu❤