Dhambi mpya Hiihapa : Mch Abiud Misholi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 361

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 5 днів тому +13

    Injili ya kristo ni tamu sana ikihubiriwa na walio pewa na Mungu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @felistervenance8863
    @felistervenance8863 6 днів тому +16

    Ashukuriwe Mungu aliyefanya uzaliwe katika nchi hii;;;
    Wewe ni wa thamani sana pamoja na mama Mungu wa mbinguni awatunze na kuwalinda kila siku...

  • @evadanielgunze977
    @evadanielgunze977 2 дні тому +1

    Mungu wa mbinguni akubariki sana Baba kwa kuihubiri injili ya kweli. Ulindwe siku zote, na mataifa yapate kusikia mafundisho haya wapate kumrudia Muumba wao kwa toba ya kweli. Amina 🙏

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 5 днів тому +9

    Wana heri kondoo uwalishao kwani wanalelewa na mchungaji wa kweli Mungu akutie nguvu mchungaji 🙏🏿🙏🏿

  • @kichwachafamilia
    @kichwachafamilia 6 днів тому +44

    Mungu nipe kaz tofaut na upakarangi ili nishi katika uwep wako

  • @apostlepetermponzi8690
    @apostlepetermponzi8690 5 днів тому +9

    Mchungaji Abiud Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu NAKUOMBEA huduma yako izidi UBARIKIWE sana Baba yangu

  • @ChachaFashion-i3s
    @ChachaFashion-i3s День тому

    Niko Burundi 🇧🇮 mchungaji asante sana kwa injili Mungu wa mbinguni akubariki na akuongeze mafuta,umenisaidia sananaa😢😢

  • @BarakaMathew-zv1yy
    @BarakaMathew-zv1yy 6 днів тому +12

    Mungu akupe mwisho mwema baba wa watu wengi

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 День тому +1

    Ni kweli watu Wameuvua mwenendo Wa kale Na kuishi kisasa .Ohio yesu tusaidie.barikiwa mtumishi

  • @samuelthiga4776
    @samuelthiga4776 День тому

    Mafunuo na mafundisho mazuri ambayo Mungu amekupa,utukufu wote kwake.Mungu akuzidishie Neema.From 🇰🇪

  • @eunicesemere5555
    @eunicesemere5555 День тому

    Barikiwa sana mtumishi umehibiri mambo makuu na ukweli dhahiri sio wachungaji wengi wanao hubiri ijili hii ni neema kubwa iko ndani yako tusaidie tujue kweli ituweke huru much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️

  • @LindaJohn-fy1in
    @LindaJohn-fy1in 5 днів тому +7

    Ee mungu nirehemu sikuyajua haya yote nilijua nikosawa kiroho kumbe kuanika nguo za ndan ni dhambi asante mungu kwaajili ya mtumish wako abiudi umenitoa kwenye kusuka na surual hadi hapa ni neema wachungaji semeni yote ili tupone

    • @user-od2mc4mj4e
      @user-od2mc4mj4e 5 днів тому

      Ubarikiwe sana

    • @dastankalinga442
      @dastankalinga442 2 дні тому

      Barikiwa kwa kujali

    • @dastankalinga442
      @dastankalinga442 2 дні тому

      Waebrania 2:3 (KJV) sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia;

    • @RachelRachel-zx6dx
      @RachelRachel-zx6dx 2 дні тому

      Ameeni kwauponyaji

  • @henrychfestobrown
    @henrychfestobrown 2 дні тому

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, Neno la Mungu ni Hakika Ndio na Kweli na Taa Mwangaza katika Maisha yetu. Neno la Leo na Mungu atu Rehemu.🙏

  • @geofreymwasaka2602
    @geofreymwasaka2602 21 годину тому

    Mungu akutunze pastor Abiud naomba siku moja Mungu nami anikumbuke

  • @user-ed4hn1kv2q
    @user-ed4hn1kv2q 4 дні тому +5

    Thank you for preaching the true gospel

  • @VeronicaEdesiusBernard
    @VeronicaEdesiusBernard 6 днів тому +8

    Ee Bwana Yesu nisaidie peke yangu siwezi

  • @user-fq9mx6fx1r
    @user-fq9mx6fx1r 5 днів тому +3

    Mchungaji mungu Akupe maisha marefu wewe unamahubili ya yesu huo ni wokovu wa kweli

  • @PaulNdonga-ns1vd
    @PaulNdonga-ns1vd 2 дні тому +1

    CONGRATULATIONS CONGRATULATIONS FOR PREACHING THE TRUE GOSPEL
    HII DIO INJILI KWA SASA
    ×××× ...SIO KUHUBILI PESA NA UTWALIZI ...
    ONGEZEA NA TOMBA NA UTAKATIFU
    ALAFU UWAABIE YESU ANARUDI
    IVI KALIBUNI .

  • @user-sg7hj3ik2k
    @user-sg7hj3ik2k 6 днів тому +1

    Asante sana baba mchungaji umeni jenga sana kwa injili ilio hai uwinuliwe mtumishi wa Bwana Mungu

  • @user-xd7uj8sz5w
    @user-xd7uj8sz5w 6 днів тому +2

    That's the spirit of Jezebel.God bless you Man of GOD

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 3 дні тому

    Asante Mungu kwa kuzidi kufunulia watumishi wako siri za kuzimu, big up man of God.
    Hakika sisi wanaume tunaenda må salons naamini kwa injili hii tumepona.
    Nimepona kweli.

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 5 днів тому +11

    Mchungaji, waambie wanawake wafunike vichwa vyao wanapoenda mbele za Bwana. Ni maagizo ya Mungu hayo.

  • @augenmagabila3081
    @augenmagabila3081 4 дні тому +12

    Haya ndiyo mafundisho yenye uhai na wokovu wetu wa kweli unadhirika hapo. Jina la YESU KRISTO Lihimidiwe. AMINA.

    • @GroliaKamugisha
      @GroliaKamugisha 3 дні тому

      Mafundisho ya Yesu kristo yapo kwenye vitabu fine vya injili ok?

    • @augenmagabila3081
      @augenmagabila3081 2 дні тому

      @@GroliaKamugisha NDIYO, MCH, ANAPOSEMA HAIKUANDIKWA, IMEANDIKWA NA ALIYEBUNI HIYO DHAMBI ALISOMA vitabu yaani Biblia inapotaja TAMAA YA MWILI.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 3 дні тому +1

    Mch Abiud nakupenda Hadi mwanzo ,kuanzia nyimbo zako hadi mafundisho yako hujawahi tetea uovu

  • @user-dn6tu7zq2h
    @user-dn6tu7zq2h День тому

    MUNGU wa mbingini azidi kukutunza sana Sana mtumishi wa Mungu alie hai, Mungu anisamehe sana Mimi tena Sana, watoto wangu wameona zangu, pia ata mimi nimeona za babangu maana namuuguza anaumwa alikua hajiwezi kabisa.

  • @SamwelMchungaj
    @SamwelMchungaj День тому

    Ubarikiwe Sana Baba mchunga
    Mungu wambinguni aipiganie utumishi wako

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 2 дні тому +1

    Mimi mwenyewe huwa napata sana shida ninapoona watumishi wa Mungu wanafanya vitu kama hivyo wachungaji Siku hizi hata massage wanafanyiwa huko saloon yaani sijui huwa wanataka nini na wanajipamba kwa sababu ya nani ni aibu sana

  • @loveandrew9694
    @loveandrew9694 5 днів тому +1

    Mungu aendelee kukupa unyenyevu ili uendelee kukemea dhambi na habari za Yesu kurudi....maana tumebaki na wahubiri wachache sana.

  • @FabiolaAntony-up7ih
    @FabiolaAntony-up7ih 4 дні тому +1

    Mtumishi wa
    Mungu paza sauti tupone, Asante
    Mungu kutupa maonyo

  • @user-nx9qt3tp5s
    @user-nx9qt3tp5s 3 дні тому +1

    Ukweli usemwe tuweze kuhurithi ufalme wa MUNGU, barikiwa sana mtumishi🇰🇪

  • @isaacjosephjoseph2733
    @isaacjosephjoseph2733 2 дні тому +1

    Natamani sana hushiliki chakula hiki Cha uzima nikizuri mno mimi nakitafuta sikipati dunia imejaa manabii wauongo tupu hakuna NENO tena.

  • @mutindamuthama4124
    @mutindamuthama4124 2 дні тому

    Mungu nisaindie , nisamehe Mimi ni mwenye dhambi natubu sasa

  • @MimyBinenunyer
    @MimyBinenunyer День тому

    Mutumishi wa Mungu ubarikiwe umenibariki sana 🇨🇩 bunia ituri

  • @neemakawogo5479
    @neemakawogo5479 2 дні тому +1

    Ni zamu yangu kurudishwa nimegundua dhambi yang ambayo nilichukulia vyepes Mungu asante

  • @maernov4257
    @maernov4257 4 дні тому

    Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU

  • @emmilianamlewa3239
    @emmilianamlewa3239 2 дні тому

    Ubarikiwe baba maamuzi magumu yametufukuzisha ila tupone barikiwa baba❤❤

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 6 днів тому

    Ahsante Yesu kwa maonyo yako kupitia Mtumishi wako. Ila huku Ulaya watu wanahitaji haya mahubiri, maana watu wamepotoka sana! Kuonyesha miili yao kwa watoto wao ilishakua ni sehemu ya maisha ya @ siku licha ya kuvaa nusu uchi huko mitaani! Nguo zao za ndani zinatupwa tupwa hovyo hadi watoto wanazichezea!! Mungu aturehemu kwakweli!

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga 4 дні тому +1

    Abiud Misholi, you are one among the chosen one. Be blessed and continue with the real gospel of Jesus Christ. I'm blessed for you❤❤❤

  • @AnethSam
    @AnethSam 2 дні тому

    Barikiwa baba nimeanza kuipenda huduma yako nilikuwa sikuelewi kabisa lakini mungu alivyo anza kusema namimi hakika naelewa mafundisho yako barikiwa

  • @AidaRaphael
    @AidaRaphael 4 дні тому

    ❤ Asante YESU kwa ujasri uliompa mtumishi wa wako, YESU Tuponye.❤

  • @JENIPHAIBRAHIM
    @JENIPHAIBRAHIM 4 дні тому +2

    Mungu akutumie zaidi kutuambia ukwel baba

  • @ElishaBenson
    @ElishaBenson 2 дні тому

    Amina baba unge kuwa baba yangu ninge kuwa mbali zaidi ya hapa nilipo

  • @barakajohn
    @barakajohn 3 дні тому +1

    Barikiwa sana Bishop nami nilikuwa napenda kunyoa kwenye berbar shop hizo lakini niliacha hiyo nimeipenda nzuri, maana nikaona kabisa utukufu wa Mungu unaondoka.

    • @mch.abiudmisholi
      @mch.abiudmisholi  2 дні тому

      Ubarikiwe sana

    • @mesamale
      @mesamale 2 дні тому

      ​@@mch.abiudmisholi
      Baba Nina jambo naomba nikufuate inbox

  • @ruganoantony
    @ruganoantony День тому +2

    Hakika tupate Watumishi kama wewe watano tu apa Tz kanisa lingekua mbali sana

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 5 днів тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu, ni kweli baba siku izi mambo yamebadilika sana🙌

  • @ReubenSimwanza
    @ReubenSimwanza 3 дні тому

    Pastor Abiudi thank you preaching very good gospel.

  • @dominicmuoki
    @dominicmuoki 3 дні тому

    Mungu akubariki sana mtumishi kwa kwa kuubiri true Gospel of Jesus Christ keep it up...waambie ukweli ndio wakaweze kuwekwa huru❤

  • @kizuben
    @kizuben 4 дні тому

    Amina baba wewe ni baraka kwa kizazi hiki tunaendelea kujifunza mengi kutoka kwako mwenye sikio na asikie neno lile Bwana aliambia makanisa.

  • @hbwayesuphilibert-lv1kg
    @hbwayesuphilibert-lv1kg День тому

    Ujumbe mdhuli sana mtumishi Wa Mungu

  • @mahirmohd1931
    @mahirmohd1931 6 днів тому +1

    Yaani injir za huyu BABA waga nabarikiwa sana,👏👏👏🙌🙏

  • @StivinWambuto-zy5ft
    @StivinWambuto-zy5ft 6 днів тому +1

    Waliobaki kuihubiri KWELI ya injili kama hii ni wachache, MUNGU akubariki mtumishi.

  • @jothammakenzi934
    @jothammakenzi934 4 дні тому

    Amen Amen Amen Servant of God. May the Lord our God Protect you. Thanks for this powerful encouragement word of God

  • @user-tf7vm1rq3l
    @user-tf7vm1rq3l 2 дні тому

    Papa alisema yesu hata Rudi hivi karibuni.mungu saidia watu wako

  • @martinmligo302
    @martinmligo302 2 дні тому

    Mungu turehemu watoto wako...Amina.🙏🏻

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 2 дні тому

    Unafundisha ukwel kabisa! Ubarikiwe!

  • @PeterClaude-ym2nw
    @PeterClaude-ym2nw 6 днів тому +1

    Nabarikiwa sana Mch Abiudi ipo siku kama Mungu akinijalia lazima nije nikusalimie apo kanisani

  • @SikujuaEmmanuel-fj4mg
    @SikujuaEmmanuel-fj4mg 3 дні тому

    Mungu akubariki baba ,injiri iletayo wokovu kwa mataifa yote,,tupone kabsa

  • @faithe4063
    @faithe4063 6 днів тому +1

    Awawesi itika Amen kwa maana awapendi kuambiwa ukweli ila ubarikiwe wewe mtumishi wa Mungu watu waache dhambi Yesu kristo Yu karibu kuja lasima ukweli usemwe

  • @user-fy9zl1oq7x
    @user-fy9zl1oq7x 2 дні тому

    Mwenye sikio na asikie neno hili ambalo Roho ayaambiya makanisa

  • @andrewkasongo1368
    @andrewkasongo1368 5 днів тому

    Ameen Ubarikiwe sana Na Mungu mtumishi wa Bwana!!

  • @RachelRachel-zx6dx
    @RachelRachel-zx6dx 2 дні тому

    Ameeni pastor ubarikiwe sana

  • @jeremykamwela1229
    @jeremykamwela1229 16 годин тому

    Kweli kabisa mtumishi ni Mungu kabsa, watu tunaleta ukisasa ndani ya ukristo 😥

  • @ashamuhenga
    @ashamuhenga 6 днів тому

    Amina Baba..Mungu akubariki kwa Mahubili haya

  • @simonlomayani5743
    @simonlomayani5743 5 днів тому +1

    Abiud ni chombo cha MUNGU cha dhamani ( Mwl mwakasege,. Mathayo nnko,. David mmbaga )Ni masalia ya watumishi wa YESU KRISTO na wengine wachache ambaye sijawataja kwenye mabano

  • @caritasmushi8896
    @caritasmushi8896 6 днів тому

    Sema baba ni kweli. Mungu atusaidie sana

  • @user-ru4sj5lp8b
    @user-ru4sj5lp8b 3 дні тому

    Eee mwenyezi Mungu uturehemu kwa maana tumekutenda dhambi

  • @mariahyera3737
    @mariahyera3737 5 днів тому

    Neno lisilogoshiwa, Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU.

  • @kingsonkambey1436
    @kingsonkambey1436 6 днів тому +1

    Mtumishi wa Mungu Ubarikiwe sana hakika hiyo ndio Injili ya kuokoa Roho na Nafsi na sio Fedha na Dhahabu❤

  • @PhilipMgala
    @PhilipMgala 4 дні тому

    This is a Powerful messege .May God bless you Pastor, Amen.Philip Mgala from Malawi.Chitipa

  • @BarakaEnockKangoma
    @BarakaEnockKangoma 5 днів тому +1

    I agree with you Pastor Misholi

  • @petermwenda6470
    @petermwenda6470 2 дні тому

    Hekima ya kiwango cha juu, naomba walau nipate mawasiliano tuzungumze baba

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 6 днів тому

    Mungu nipe mwisho mwema ❤❤

  • @user-kv4ub1mr3s
    @user-kv4ub1mr3s 6 днів тому

    Mungu akubariki kwa neno zuri kama hili asante baba

  • @MeshackmarwaKihengu-in3sn
    @MeshackmarwaKihengu-in3sn 4 дні тому

    Daah moyo unauma! Mungu atusaidie wat wake

  • @rebecca-nj6wl
    @rebecca-nj6wl 3 дні тому

    Ameeen Ameeen Bwana akubariki sana mtu wa Mungu

  • @PhilmonAkonaay-yw5ll
    @PhilmonAkonaay-yw5ll 5 днів тому +1

    Nakuelewa sana mtumishi Mungu

  • @ItikaWito
    @ItikaWito 5 днів тому

    shaloo baba Nikweli kabisa baba mm mwenyewe ni mwimbaji wa injili kunyoa ndiyo kazi yangu uzinzi niwakutisha Mana mm mwenyewe naona haya Sana

  • @elwinsimumba
    @elwinsimumba 4 дні тому

    Mungu ashukuliwe kwa dunzo hili mtumishi wa Mungu

  • @jescakazungu5027
    @jescakazungu5027 3 дні тому

    AMEN,Baba Mungu Akubariki

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 4 дні тому

    Na Mungu atuponye tuache kutetea dhambi maana ulimwengu wa Sasa mtihani Sana watu wanachukua baadhi ya vitu na kuvipa alali kama sio dhambi ila njia Ile ni nyembamba iyendayo uzimani ndo utajua kwann ni nyembamba.

  • @naomichristopher3941
    @naomichristopher3941 4 дні тому

    Ahsante mtumishi wa Mungu , umenisaidia .

  • @Zimnana-rp6dq
    @Zimnana-rp6dq 6 днів тому

    Amen Baba mchungaji,,,,,kuingia mbinguni sio rahisi

  • @olivaerasto6669
    @olivaerasto6669 5 днів тому +1

    Mungu nisamehe sikujua.

  • @sheubwazae9564
    @sheubwazae9564 3 дні тому +1

    Ubarikiwe baba Mchungaji

  • @Lilianmbeyu-ev2rw
    @Lilianmbeyu-ev2rw 3 дні тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @BritonNineza
    @BritonNineza 5 днів тому

    Mungu atuhumie sana especially wa mama wanao shinda salon ku tinda nyuso, makucha, kujichubua Jangalasoni aliwahi kuviongelea kwenye nyimbo zake.
    Na wamama wengi kwa sasa hawajali. Na mambo amebadirika wa mama ndio sasa wanatongoza. Roho za uzinzi zimeshamiri kuliko siku za nyuma.

  • @CateringAmare
    @CateringAmare День тому

    Mungu azidi kukuongezea nguvu

  • @BarkaHaidary
    @BarkaHaidary 3 дні тому

    Amen baba ubarikiwe sanaa kwa mafundisho mazuri tumejifunzaa

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 3 дні тому

    Mafundisho yananiingia mungu akubariki mch Abiud

  • @user-wo2ht2ei9o
    @user-wo2ht2ei9o 4 дні тому

    Mungu akubariki sana kwa mafunndisho haya hadimu duniani

  • @lukasemmanuel4614
    @lukasemmanuel4614 3 дні тому +1

    Uko sawa mchungaji wangu

  • @gggghhhbh5755
    @gggghhhbh5755 3 дні тому

    Funzo lilo bora na ni ukweli kabisa mungu akubariki pasta Abuiid

  • @joelakyoo7981
    @joelakyoo7981 6 днів тому

    Mchungaji Abiud kiukweli mm nnakuelewa sana huu ujumbe umefika natamani utuletee Arusha

  • @MumeloBrian
    @MumeloBrian 3 дні тому

    You are right pastor,,,,continue telling them the true

  • @JacqueJoseph
    @JacqueJoseph 5 днів тому

    Mungu akubariki sana Mtumishi ❤

  • @joelndoros8304
    @joelndoros8304 4 дні тому

    Mungu wa MBINGUNI akutunze Baba Mchungaji na akupe MAISHA Marefu Kwa ajili ya kazi yake

  • @johnshauri86
    @johnshauri86 2 дні тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 3 дні тому

    Mungu akusaidie uwaelekeze watu ktk kweli

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 6 днів тому +1

    Mungu nihurumie na unipe neema kutii

  • @JamesSilvester-n5q
    @JamesSilvester-n5q 6 годин тому

    Hiyo nimeipenda sana