"Nimekuja kujisalimisha,nilitumwa kuja kumuuwa mtoto wa boss wangu kichawi" -Bint wa kazi za ndani.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 бер 2022

КОМЕНТАРІ • 29

  • @jokepenis2016
    @jokepenis2016 2 роки тому +5

    Lilian Achieng juma I am warching from Germany kuhani musa is Our last bus stop for Our problems ooh lord fight for us thank you Jesus 🙏🙏🙏✝️🕎

  • @magrethfestomassawe5708
    @magrethfestomassawe5708 2 роки тому +4

    Dada olive pole Sana mwachie Mungu wa Kuhani Musa atatenda Mungu akubariki Kuhani wakate kamba shetani ameshindwa Amen ✝️✝️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MeshackAndrea-uo3ko
    @MeshackAndrea-uo3ko 2 місяці тому

    Mtumishi wa mungu naomba uniombee niweze kufanikiwa katika maisha yangu nipo chuon ili niweze kusaidia wadogozangu walemavu

  • @GladysNyaboke-yc9yi
    @GladysNyaboke-yc9yi 2 дні тому

    Pastor pray for my family,and my husband has mpango wa kando.she wanted to kill me they have take everything belongs to me.Please pray to me and my husband ataki kuniona na wanataka kuniua

  • @magrethfestomassawe5708
    @magrethfestomassawe5708 2 роки тому +2

    Miaka 24, shetani ameshindwa Hallelujah Hallelujah Amen 🙏

  • @LauSeven-vj1tf
    @LauSeven-vj1tf 2 місяці тому

    Naomba maombi mungu anisaidi nipate mtaji nifungue 3:46 duka la dawa na vipodozia mungu anisaidie mwezi wa kumi niende chuo nifanikiwe kusomea utrafiki mungu anibariki 🙏

  • @jacquelinekimaro8396
    @jacquelinekimaro8396 2 роки тому +1

    Love you dady tupo tunakusikiliza japo tunao Kaa nao wanatuzuiya kuja ila naamini nitapokea ata mm

  • @LauSeven-vj1tf
    @LauSeven-vj1tf 2 місяці тому

    My name is eneah mwaipopo mungu bariki maombi yangu🙏

  • @estareliasmagesa8791
    @estareliasmagesa8791 2 роки тому +2

    Uchawi hauna maana,Ni bora utoke

  • @annamwakasege9620
    @annamwakasege9620 2 роки тому +3

    Wabanweeeee🙏🙏🙏🙏

  • @samwa9496
    @samwa9496 Рік тому

    Duuu ukoo mzima mnakula nyama za watu kuna kitu kitabaki Dunia hii kweli. Mungu tusaidie

  • @florencenjeka6630
    @florencenjeka6630 2 роки тому +1

    Amen Amen

  • @Dogs-jg3mg
    @Dogs-jg3mg Місяць тому

    AMENE

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 5 місяців тому

    Ameeeen baba

  • @EvaJulius-dk3vu
    @EvaJulius-dk3vu Рік тому

    Barikiwa Sana kuhan musa

  • @suzyrevo8792
    @suzyrevo8792 Рік тому

    Amen kubwa mwenyezi Mungu atutangulie

  • @djumazuena52
    @djumazuena52 2 роки тому

    Mungu wa kohani musa nahomba unifunguwe kizazi na mimi ni zahe mapacha

  • @grancemashauli6661
    @grancemashauli6661 2 роки тому

    Dada mchawi unaniuzi sana unavyojinyoga subiri moto WA kuani ukuwakie utajua dada Oliva acheni kuzoazoa wafanyakazi wengi ni wachawi

  • @charlesmakoni135
    @charlesmakoni135 22 дні тому

    Dah mdg Wang zawadi nilivyokuona mwiili umenisisimuka unakuja kwetu kupiga story kumbe mchawi mbona familia nyenu wakalimu sana

  • @neemanwa7807
    @neemanwa7807 Рік тому

    Huyu mungu ana watu wengi jaman

  • @nzeyimanaamina2829
    @nzeyimanaamina2829 Рік тому

    Mungu tu kabisa

  • @upendotarimo8560
    @upendotarimo8560 2 роки тому

    Jmn dadaang mimi khaa hawa wasichan bwana mh sema unamoyo lkn mungu yupo

  • @stellajohn1638
    @stellajohn1638 2 роки тому

    Baba yetu wewe ni kiboko ya wachawi ishi miaka mingi

  • @brownmtofole
    @brownmtofole Рік тому

    Hongera sana pasta kwa kazi nzuri,ila nashauri Mahojiano kama haya yaishie hapo kanisani yasirushwe hewani yanaweza kusababisha uvunjifu wa amani kwa jamii inayoishi na ndugu wa binti huyo na pia binti mwenyewe..!

    • @samwa9496
      @samwa9496 Рік тому +1

      Ndio yapo kwenye u-tube yaani sio vizuri japo wanafanya mabaya ila kama mtu amefanyiwa ubaya atamtafu kwa kweli mtihani mkubwa sana huu

    • @susanboke5040
      @susanboke5040 Рік тому

      Emen Baba najiunga na maombi kutoka Kenya

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 2 роки тому

    Itabidi nije hapa nna matatizo 😭😭😭

  • @estareliasmagesa8791
    @estareliasmagesa8791 2 роки тому +2

    😀😀😀😀😀aeleze yote ngome ya yesu sio ya kawaida ukingia na uchawi wako Lazima yesu akuny'oe kwenye kiti na kukimbia mbele kabisa ukaelezee uchawi wako

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 6 місяців тому

    😂😂😂😂