UNABII MZITO WA KUHANI MUSA KWA MTOTO ALIYEOZA MKONO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 70

  • @ApôtreMika
    @ApôtreMika 3 місяці тому +2

    Ubarikiwe Sana kuhani musa
    Ndugu zetu wa Tanzania mutufate n'a sisi kwenye youtube
    Ili injili isongembele

  • @NaomiAgreey
    @NaomiAgreey 3 місяці тому +2

    Kuhan mungu azidi kukubariki unatusaidi

  • @neemamawenya4992
    @neemamawenya4992 2 роки тому +1

    Kuhani Mussa ni motooooo Mungu anamtumia Sana Mungu akubariki sanaaaa baba

  • @Priscadzidzamasha
    @Priscadzidzamasha Місяць тому

    YESU usieshindwa naomba unishindie na mm YESU 🤲🙏

  • @MeshackAndrea-uo3ko
    @MeshackAndrea-uo3ko 5 місяців тому +1

    Mtumishi wa mungu naomba uniombee niweze kufanikiwa katika maisha yangu nipo chuon ili niweze kusaidia wadogozangu walemavu

  • @saraphinaSamweli-rv7bv
    @saraphinaSamweli-rv7bv Місяць тому

    Kuan Musa we noma mungu akubless jmni yaan utume uzidi kutukomboa

  • @Priscadzidzamasha
    @Priscadzidzamasha Місяць тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante YESU 🙏🙏🙏🙏

  • @ZainabuGodon
    @ZainabuGodon 2 місяці тому

    Jamani naomba mxaada mnao huxika kuakailibu naknhani musa anisaidie nateseka sana nafamilia yangu sielewi naomba msaada

  • @jokepenis2016
    @jokepenis2016 2 роки тому

    Lilian Achieng juma I am warching from Germany 🇩🇪 🇩🇪 for this testmony i have faith, i belive that Jesus is the lord he never lives us thank you Jesus 🙏🙏🙏

  • @verenaisskimambo5783
    @verenaisskimambo5783 2 роки тому +1

    Mungu akulinde sana kuhani
    Musa nasi wengine watoto wetu waweze kuoa nakuolewa basilica sana kuhani

  • @LoveOmary
    @LoveOmary 3 місяці тому

    Amina baba

  • @DayaLukube-ph9yf
    @DayaLukube-ph9yf 3 місяці тому

    Mungu akubari

  • @MercyMercy-l1k
    @MercyMercy-l1k 3 місяці тому

    Amen and amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌

  • @godfreylucas2436
    @godfreylucas2436 2 роки тому +1

    Dah inahudhunisha sana

  • @CheerfulHandbag-nk9vu
    @CheerfulHandbag-nk9vu 4 місяці тому

    Duuh mungu akubarik mtumishi wa mungu niombe namm niepuke na mambo ya shetani

  • @LameckVenance
    @LameckVenance 5 місяців тому

    Nibaliki na mim baba nifanikiwe katika maisha yang naomb msaada wa maomb yako

  • @lucyjustine8970
    @lucyjustine8970 2 роки тому

    Baba angu musa ubaliki mala erufu moja mungu akupiganie had mwisho wamaisha yako milele na milele malaika wa mungu waguse maisha yako mungu asije kuku acha hata sekundemoja ubalikiwe ubalikiwe ehhhhh yani

  • @MélanieNizigiyimana-t4i
    @MélanieNizigiyimana-t4i Місяць тому

    Amen

  • @NabutuwaOlivia
    @NabutuwaOlivia 4 місяці тому

    Amen 🙏🙏🇺🇬🇺🇬 give me the number of that pst Musa plz

  • @JamilaJabibiri
    @JamilaJabibiri 2 місяці тому

    Fichuaaa

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 4 місяці тому

    Kuna mdada anaishi chalinze alisali hapo kwa kuhan Musa akashikwa uchawi huyo dada anasema hatak Tena kusali mana aliitwa mbele analazimishwa ww n mchaw anakataa na yule dada sio mchaw jmn anaambiwa hvyo' hvyo' utasema ukwel kakataa" Sasa huyo duli n mdg ataitika tu jmn unabii huu tumuombe Sana mungu" huyo mtt anaumwa badala amsaidie huenda n cansa lkn yy anasema mchaw au mkono wa kutengeneza? Mana mm huyu mchungaji simuamin hata kidogo tangu aanze kuchimba chimba ardhi kama lamba lamba

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 роки тому +1

    Yesu wa ngome ya Yesu nipiganie Mimi 😭

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 2 місяці тому

    ❤️❤️❤️❤️

  • @NaomiMasawe-un2ds
    @NaomiMasawe-un2ds 5 місяців тому

    wachawi wote wauwawe kwa jina na yesu kristo.naomb uniombee mim naomy nipate kazi 🙏

  • @neemafabian7721
    @neemafabian7721 2 місяці тому

    Kwa ushuhuda huu naomba niunganishwe na kuhani nipate mawasiliano Niko mwanza Nina shida kubwa

  • @mercykavere1258
    @mercykavere1258 5 місяців тому

    Pastor naomba unisaidie mime wangu Amekua akiota anasukumwa kwa shimo kubwa alafu hiyo ikifanyika anapiga ndura hataki kuachwa peke Yake .ndoto ya pili anaota manyoka Mimi ni mercy kutoka kenya

  • @pauloessaurashidi8949
    @pauloessaurashidi8949 2 роки тому +1

    MUNGU mwema sana

  • @MarthaDominic-m9d
    @MarthaDominic-m9d 3 місяці тому

    Ameni

  • @MawazoBusagala
    @MawazoBusagala 3 місяці тому

    Ubalikiwe mutumishi

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge3685 3 місяці тому

    Pełekeni huyo mtoto hospital ikatibiwe au akatwe huo Mkono na atakua sawa

  • @CatherineMassawe-pb2jd
    @CatherineMassawe-pb2jd 3 місяці тому

    Duh

  • @jacquelinekimaro8396
    @jacquelinekimaro8396 2 роки тому

    Love you baba I hope mungu ataifungua familia yangu

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 2 роки тому +1

    Baba niombeeni na Mimi hata kanisani nashindwa kuja Nina uvimbe uko kwenye tumbo la uzazi baba nateseka Sina damu naumwa kweli jamani

    • @joycefrances4516
      @joycefrances4516 2 роки тому

      Mtume mtu aende kukucgukulia maji ya uponyaji,na jitahidi kuenda siku ya kukanyaga chimvi na maji ya kikombe kipya km uwez mtume mtu,akuletee unachangia sadaka kdg unapata,hata Kama ya mfuniko mweupe,lunes hayohayo 2500 sadaka chupa 1

    • @mikemike7198
      @mikemike7198 2 роки тому

      @@joycefrances4516 Dada unasali hapo?

  • @dativamushi4835
    @dativamushi4835 2 роки тому

    Mungu atusaidie na vizazi vyetu

  • @cathysimon8515
    @cathysimon8515 2 роки тому +1

    Mm nataka namba yko mtumishi

  • @MkirandaMartha
    @MkirandaMartha 2 місяці тому

    Nibonye na mimi pia kuhani nisaidie

  • @FumitoBakari-d8i
    @FumitoBakari-d8i Рік тому

    😢😢

  • @UWIMANAMARIAMU
    @UWIMANAMARIAMU 3 місяці тому

    Mungu adusaidie kweli

  • @rosamombasa3339
    @rosamombasa3339 2 роки тому

    Yesu mwenyewe ako hapo ngomeni

  • @estareliasmagesa8791
    @estareliasmagesa8791 2 роки тому

    Emee Jesus is good all the time

  • @aishasaif3993
    @aishasaif3993 8 місяців тому

    Yesu niponye na mimi

  • @jalojallow7086
    @jalojallow7086 2 роки тому

    Waah Mungu saidia watoto wetu

  • @KakaKirikalaizer-ph8ts
    @KakaKirikalaizer-ph8ts Рік тому

    Mungu ni mkubwa nataka nisaidike kwa mchungaji musa

  • @emannuelloseria2413
    @emannuelloseria2413 2 роки тому

    Mungu awabariki

  • @jokepenis2016
    @jokepenis2016 2 роки тому

    Lilian Achieng juma I am warching from Germany eeh yesu yeyote anae kuitaji una mshika mkono asahnte baba asahnte yesu binadamu tuna teseka kwa upungufu wa akili utu samehe yesu 🙏🙏🙏

  • @HarunChokera-oo4oc
    @HarunChokera-oo4oc 4 місяці тому

    Mungu wangu

  • @felisterjaphet3377
    @felisterjaphet3377 2 роки тому

    Watesi wote wanaotesa familia yangu wakate Moto Kwa jina la yes

  • @millieholmst6628
    @millieholmst6628 Рік тому

    Ishindwe kwa jina la yesu

  • @agneskoku6574
    @agneskoku6574 2 роки тому

    Yesu atukuzwe

  • @rukiasalim1
    @rukiasalim1 2 роки тому

    😭😭😭maskini...ya Dunia yanatisha

  • @rachelmussa3317
    @rachelmussa3317 2 роки тому

    Mungu atuponye

  • @ritzy1561
    @ritzy1561 2 роки тому

    Mwenyezi Mungu mponye mtoto huyu

  • @NabutuwaOlivia
    @NabutuwaOlivia 4 місяці тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬 Amen Amen Amen 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @rukiasalim1
    @rukiasalim1 2 роки тому

    Amiin kubwa

  • @edithamichael7639
    @edithamichael7639 Рік тому

    Yaan wachaw jaman

  • @oliversambala5999
    @oliversambala5999 2 роки тому

    Mungu akutunze kuhani Musa na kukutumia kuwafungua watoto wetu hakika inauma sana.

  • @stanmuchoki4166
    @stanmuchoki4166 4 місяці тому

    Sitaki kusema ii ni mchezo wa kuingiza lakini mbona kinjana haachili (hapo ndio mkono imewekwa joint akiachilia the fake hand inaaanguka)
    Well scripted. But only for the fools

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 4 місяці тому

      😂😂😂😂kiganja Cha mkono Cha kufek kabisahicho khaaaaa 😂😂😂😂 Jaman tutafika mbinguni hatuna meno mtt hajui chochote anaitika n kuropoka tu

  • @clementinaboniphas7812
    @clementinaboniphas7812 2 роки тому

    Huduma zenu lini na lini wapendwa

  • @edmundkapondo4042
    @edmundkapondo4042 2 роки тому

    🤦😭😭😭

  • @fesiakalaye6740
    @fesiakalaye6740 2 роки тому

    Kila mchwi kwenye familia yetuakate Moto,

  • @rosamombasa3339
    @rosamombasa3339 2 роки тому

    Inshuzunisha nabii wa ukweli

  • @devotajuliana4193
    @devotajuliana4193 2 роки тому

    Jmn duh 🙄

  • @Priscadzidzamasha
    @Priscadzidzamasha Місяць тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante YESU 🙏🙏🙏🙏

  • @BajouNizeye
    @BajouNizeye Рік тому

    😭😭😭

  • @Priscadzidzamasha
    @Priscadzidzamasha Місяць тому

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante YESU 🙏🙏🙏🙏