JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2021
  • Pamoja na nguvu ya Mungu iliyokua juu ya Mariamu mpaka kuumba kitu ndani, Mariamu alijifunza kufunga mdomo.Kitu cha muhimu na cha kuzingatia, jifunze kufunga mdomo. Sio kila anayekupongeza kwa mazuri yako, anakufurahia kutoka moyoni.Mariamu hakumueleza kila mtu kuhusu kitu alichokibeba, kulikua na mtu sahihi aliyeandaliwa ku-share naye jambo lake. Elizabeth aliandaliwa kwa ajili ya Mariamu.
    Ukiona unatumia nguvu kubwa kumshawishi mtu aamini kuhusu maono yako, ujue hajaandaliwa kwa ajili yako. #PastorSunbella#Jifunze#KukaaKimya

КОМЕНТАРІ • 404

  • @irenenyauhele2122
    @irenenyauhele2122 2 роки тому +36

    Mungu nisaidie kuanzia leo ninyamaze kwa jina lá yesu

  • @wandedalushi2984
    @wandedalushi2984 2 роки тому +25

    Mungu nisaidie nijifunze kutunza siri

  • @carolinamponji4294
    @carolinamponji4294 2 роки тому +6

    Mungu nipe neema ya kunyamaza ni tatizo langu kubwa nawashwa San mungu wa madhabau hii nifundishe kunyamaza

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 роки тому +20

    Mungu wangu nisaidie nisiongeeeeee kila kitu.

  • @teresiaakinyi3282
    @teresiaakinyi3282 2 роки тому +15

    From experience nimejifunza kunyamaza kwa yote, nimepitia usaliti mwingi maishani but nashukuru Mungu cz it made me Wiser, my life and secrets are safe with God! Asante kwa kunikumbusha haya

  • @anittasamwely8297
    @anittasamwely8297 2 роки тому +25

    Eee mungu🤲 nisaidie kutambua jinsi ya kutunza Siri, nawoto nilio waambia yasiyo stahili, Mungu naomba uni epushie Hatar zote mbaya wanazo niwazia ktk maisha yangu Emen🙏

  • @johnvitalis7580
    @johnvitalis7580 2 роки тому +6

    Amina Mtumishi umenisaidia sana naomba uniombee ili nifikie malego yangu

  • @janebeky
    @janebeky 2 роки тому +57

    Kuanzia Leo nitajifunza kukaa kimya ktka maisha yangu god bless you

    • @otrishxavi8350
      @otrishxavi8350 2 роки тому +1

      Ni vizuri sana na mm nakuombea kheri kutoka kwa mwenyezi mungu

    • @innocentmichael7725
      @innocentmichael7725 2 роки тому

      Mungu akubariki mtumishi wa Mungu

    • @marryjohn8716
      @marryjohn8716 2 роки тому +2

      Amen 🙏 mtumishi wamungu,kuanzia leo nitakaa kimyaa 😷

    • @evecristiano
      @evecristiano 2 роки тому

      Hakika nimejifunza pia

    • @jimmybongotz1751
      @jimmybongotz1751 2 роки тому

      Napenda unavyofundisha neno Mungu

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 2 роки тому +10

    Nimekuelewa mtumishi wa Bwana, Mungu akubariki sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 роки тому +6

    Mariamu alikuwa na akili nzuri ndiyo maana Mungu aka mchagua kuwa mama yake Yesu.Abarikiwe mama mtakatifu

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому +12

    Amen barikiwa Sana pastor Sanbella 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏. nmejifunza kufunga mdomo wangu..ujumbe n mzur sana

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 2 роки тому +10

    Kaka mchungaji nakuonmbea mungu akupe nguvu ya kupunguza mwili.kwa afya tunakuhitaji sana mchungaji.

    • @viddamgeneka8881
      @viddamgeneka8881 2 роки тому +1

      Hahaa! Dunia nzima wote waweza kuwa wembamba? Mungu aliamua watu wawe tofautitofauti.

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 2 роки тому +3

      Yamkini ni unene wa kuzaliwa maana kazi ya Mungu sio rahisi, ina hekaheka sana. Wee unadhani anavyotembea hapo hadi akimaliza kuongea si atakuwa amesafiri Moshi to Arusha!!!

    • @marrykavete-6916
      @marrykavete-6916 Рік тому +1

      Huyu mtumishi wa Mungu ana neema ya ajabu ata akiwa jinsi alivyo.

  • @lindavfwazipachieng6443
    @lindavfwazipachieng6443 2 роки тому +28

    Asking God for wisdom, to know when to talk what to say and to who. This preaching has touched on me

  • @doricasoribo4820
    @doricasoribo4820 2 роки тому +20

    Pastor you are right.....work hard in silence ...,.let success make noise.

  • @samsonmkumbo4793
    @samsonmkumbo4793 2 роки тому +3

    Nami somo hili ni langu naomba mungu awafunge mdomo wale marafiki zangu wabaya yesu nisaidie🙏

  • @NivessKomba
    @NivessKomba 13 днів тому

    Bwana YESU nisaidie kukaa Kimya ktk maisha yangu.

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 2 роки тому +10

    Amen. Ni kweli mtumishiii Mungu naomba unisaidie kutunza Siri.

  • @aloycejoseph22
    @aloycejoseph22 2 роки тому +4

    Hakika unanifundisha sana mtumishi na UBARIKIWE sana uwe VIWANGO na VIWANGO

  • @michaelbwoma2760
    @michaelbwoma2760 2 роки тому +29

    This Pastor can real preach, he follows the steps of apostle Christopher Mwakasege.. can someone share his location please?

    • @vailethmbulule8339
      @vailethmbulule8339 2 роки тому +4

      Sinza mori, opposite na la chaz bar

    • @noelpaul640
      @noelpaul640 2 роки тому +1

      Reality of Christ Ministry (ROC) Lipo sinza Mori karibu na ofisi za Tamwa

    • @noelpaul640
      @noelpaul640 2 роки тому

      Dar es salaam

  • @Kichechecomerdy
    @Kichechecomerdy 9 днів тому +1

    Eeee mungu nifunze kunyamanza

  • @lydiakanah4478
    @lydiakanah4478 2 роки тому +14

    This hit me hard oh LORD help me to stay SILENT

  • @raveenagasper8491
    @raveenagasper8491 2 роки тому +3

    I love him😍...baba Kama ananiambiaa Mimi🙏🙏🙏umejua kuniponyaaa

  • @didasstanley3769
    @didasstanley3769 2 роки тому +4

    Baba nimepokea ujumbe kwa mikono miwili 🙏🙏ubarikiwe sana

  • @pstmoseskamwela6196
    @pstmoseskamwela6196 2 роки тому +5

    Ameen barikiwa sana

  • @carolinewairimu224
    @carolinewairimu224 2 роки тому +11

    Wonderful sermon

  • @dorothyshiyyo3370
    @dorothyshiyyo3370 Рік тому +1

    Somo zuri sana. Mungu azidi kukutia nguvu pastor.

  • @neemamuchuruza8631
    @neemamuchuruza8631 2 роки тому +5

    Amen nabarikiwa

  • @BG15540
    @BG15540 2 роки тому +24

    Wise people knows how to keep their lives private and being silence

  • @edsonsilumbe758
    @edsonsilumbe758 2 роки тому +4

    "An untested friend is just a neighbor",Pastor I am exceedingly blessed by your sermon! May God Bless You!

  • @MAUREENKNIGHT-qs8cx
    @MAUREENKNIGHT-qs8cx Місяць тому

    Ameen hallelujah ❤naona kitabu kina hubiriwa🙏

  • @rachelkimambo9804
    @rachelkimambo9804 2 роки тому +2

    Ee Bwana YESU nisaidie niweze kukaa kimya🙏🙏

  • @loyceyahya2622
    @loyceyahya2622 9 місяців тому +1

    Amen Amen Mtumishi wa MUNGU umenifundisha kitu kikubwa... Barikiwa sana

  • @emanuelmajele7237
    @emanuelmajele7237 2 роки тому +3

    Amina baba

  • @MusukwaAmos
    @MusukwaAmos 11 місяців тому

    Amen baba am Amos musukwa from Zambia

  • @adelacasmiry9134
    @adelacasmiry9134 2 роки тому +2

    Mungu nisaidie niweze kutunza siri zangu hadi za familia yng had watu wengine 🙏

  • @jacintamuinde3426
    @jacintamuinde3426 2 роки тому +1

    Leo umeongea ukweli ni vizuri kunyamaza sio Kila mtu anakutakia mema.Amen.

  • @pendomalisa8148
    @pendomalisa8148 2 роки тому +5

    Ahsante poster

  • @estherkinganga6202
    @estherkinganga6202 2 роки тому +1

    Mungu nifundishe kunyamaza

  • @AnnaYotham.
    @AnnaYotham. 2 роки тому +4

    Nifundishe kunyamaza YESU 🙏🏾🙏🏾

  • @fatiaali1959
    @fatiaali1959 2 роки тому +2

    Mm ni Muslim lkn nimejifunza kitu pastor ubarikiwe sn kwa maneno mazuri na mungu anisaidie kutunza siri inshaallah

    • @shamisahmed4806
      @shamisahmed4806 5 місяців тому

      Hekima ni kitu kilichompotea Muislam,popote akikutapo anatakiwa akichukue!!

  • @johnsonbagambi1908
    @johnsonbagambi1908 2 роки тому +3

    Asante mtumishi wa mungu

  • @florencemzungu9979
    @florencemzungu9979 2 роки тому +1

    Nifundishe kunyamaza na unipe wepesi palipo na ugumu amen 🙏🙌💖❤👏😊🙏🙌💖

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 роки тому +1

    Umeninyoosha akiii mweeh asanteh nimejifunza

  • @elizaberthkaizilege747
    @elizaberthkaizilege747 2 роки тому +6

    Amen

  • @evangelisteJordanmirimo-bp3ob
    @evangelisteJordanmirimo-bp3ob 6 місяців тому

    asante baba yangu mungu akupe nguvu zaidi

  • @JacklinaJeremaya-jb3zw
    @JacklinaJeremaya-jb3zw Рік тому

    Asante mtumishii nimejifunza kitu

  • @alextercisio
    @alextercisio 2 роки тому +2

    Truth pastor ...u get me offside surely ntajifunza kunyamaza ... people are not good at all...

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 2 роки тому +2

    Ee Mungu wangu nisaidie, mi pia Nina kiherehere. Nanyamaza kuanzia leo.

    • @jacquejapheth8814
      @jacquejapheth8814 2 роки тому

      Chako kidogo mi changu ndio balaaa😂😂Mungu anisaidie

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 5 місяців тому

    Nakupenda Sanaa Sanaa pastor

  • @dorcasmajela6238
    @dorcasmajela6238 2 роки тому +1

    Asante sana iyo nikweli MWENYEZI MUNGU anisaidiye

  • @michaelassam5789
    @michaelassam5789 2 роки тому +6

    Pastor miti mingi, ambaye bwana ametuletea
    Ubarikiwe sana 🙏🏽

  • @veronicamangwela9665
    @veronicamangwela9665 2 роки тому +7

    Ameen 🙏 Baba ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @theckssuperstar.gusiiqueen1994
    @theckssuperstar.gusiiqueen1994 2 роки тому +1

    Eeeeh mungu wangu nifundishe kunyamanza,
    Ni mengi niliyoyaongea Kwa maadui waliojifanya marafiki na yakafeli, nashukuru mungu alinifungua jicho la ndani nikaweza kuona na kutambua
    Amen amen

  • @user-vm8gj8bs2r
    @user-vm8gj8bs2r 4 місяці тому

    Mungu ni fundishe kunyamanza,

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 2 роки тому +6

    Amen, Amina

  • @officialBrunoSavage-theYoungOG
    @officialBrunoSavage-theYoungOG 2 роки тому +3

    Cool.... think it's dope.....💥💥💥

  • @haikadavidmkwizu6904
    @haikadavidmkwizu6904 2 роки тому +3

    Ameen 👏

  • @binmicjackie3148
    @binmicjackie3148 2 роки тому +14

    I agree with you Pastor, silence is the language of the wise too. N poa kunyamaza tu 😊

  • @user-mi7eo3hz5t
    @user-mi7eo3hz5t 4 місяці тому

    Mungu nipe ukimya😊

  • @loisekigio7438
    @loisekigio7438 2 роки тому +1

    Mwenyezi Mungu nifunze kukaa kimya

  • @maggiemkawuda5870
    @maggiemkawuda5870 2 роки тому +1

    Eeeh mungu nijalie neema ya kukaa kimya,roho mtakatifu nielekeze kwa right friend

  • @bongeerasto8808
    @bongeerasto8808 2 роки тому +3

    Nimejifunza .

  • @thomasardoph
    @thomasardoph 2 роки тому +3

    Sound like Peter Mitimingi

  • @djackishara-lj6zd
    @djackishara-lj6zd Рік тому

    Amina 🙏

  • @user-vm8gj8bs2r
    @user-vm8gj8bs2r 4 місяці тому

    Mungu ni fundishe kunyamanza

  • @KesheMedia
    @KesheMedia 2 роки тому +3

    Amiin

  • @naomimalongo7482
    @naomimalongo7482 2 роки тому +1

    Barikiwa mtumishi

  • @eleanemusic4139
    @eleanemusic4139 2 роки тому +2

    Nimejifunza sana, be blessed pastor.

  • @jackrenesanga8728
    @jackrenesanga8728 2 роки тому +1

    Nimepokea 🙏🙏🙏nimejifunza pia nimuhanga pia 😭😭😭😭hasa kwa watu ninao waamini

  • @user-ty8nl7zn3n
    @user-ty8nl7zn3n 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana

  • @mariathomas4850
    @mariathomas4850 2 роки тому +1

    Nimejifunza kitu kikubwa sana katika maisha yangu.......You mean tuwe na upako wa kuficha mambo.Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.

  • @ernestchilons944
    @ernestchilons944 2 роки тому +8

    Love from Kenya, powerful Sir

  • @joycekemani1706
    @joycekemani1706 2 роки тому +3

    Come on pastor I feel blessed HALLELUYA

  • @EsterKelphas
    @EsterKelphas Рік тому

    Amina

  • @ernestkunja3472
    @ernestkunja3472 2 роки тому +1

    Amen mtumishi nimepokea

  • @christaeletlawe1804
    @christaeletlawe1804 2 роки тому +1

    We Mungu wangu nisaidie kufunza kwako
    Nifundishe kunyamaza

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 роки тому +3

    E Mungu nifundshe Kunyamaza

  • @mariammwamaso3984
    @mariammwamaso3984 2 роки тому +1

    Ameen

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 2 роки тому +1

    Shukrani kwa somo baba.Mdomo sio mzuri!.

  • @user-ty8nl7zn3n
    @user-ty8nl7zn3n 2 місяці тому

    Asante mtumishi😊

  • @oliversebastian3808
    @oliversebastian3808 2 роки тому +1

    Amina, kuanzia Leo nitakaa kimnya nimejifunza

  • @lindalubowa-wj8im
    @lindalubowa-wj8im Рік тому

    U changed my life from today

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 Рік тому

    Amen amen mtumishi wa Mungu , asante kwa mafundisho mazuri

  • @blessedtumaini516
    @blessedtumaini516 2 роки тому

    Bwana Yesu Kristo unirehemu kwa kuto kunyamaza nifundishe kunyamaza naomba neema yako initoshe kunyamaza ninapopaswa kunyamaza. Roho Mtakatifu naomba unisaidie mimi kunyamaza.

  • @margaretwambui1421
    @margaretwambui1421 2 роки тому +2

    Wow what a blessing message

  • @user-mb9np7hp2u
    @user-mb9np7hp2u 8 місяців тому

    Mungu wangu sisaidiye kbs ndo tatizo yangu hiyo ,Niwezeshe Mungu wangu

  • @lookbabes8710
    @lookbabes8710 2 роки тому +4

    God bless you man of God. God help me to keep quiet all the time.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    Awesome daddy 🙏🙏😪Ubarikiwe daddy 😪🌹

  • @elizabethwilliam520
    @elizabethwilliam520 2 роки тому +11

    I normally get alot from your teaching ,may God continue depositing His wisdom a pon your life because of us 🙏🙏

    • @Helen-uh1ww
      @Helen-uh1ww 2 роки тому

      Iapreceit your preaching may God bless you in talent which God has given to you amen

  • @MaombiPhilimon
    @MaombiPhilimon Місяць тому

    Nifundishe kunyamanza yeah wangu

  • @EverineJaques10
    @EverineJaques10 2 роки тому

    Mungu akulinde Babaangu 🙏 una fanya kazi nzuri sana katika Kristin🙌🏾🙌🏾🤲🏽 mema nakuombeya Baba 🙌🏾🙌🏾🤲🏽🤲🏽

  • @idaharunga9553
    @idaharunga9553 2 роки тому +12

    This hit me hard 🙏

  • @nelithamimwani4516
    @nelithamimwani4516 2 роки тому +1

    Amen MUNGU nisaidie kutunza siri za mambo yangu

  • @tumwaminiamenya4265
    @tumwaminiamenya4265 Рік тому

    Naamin sijachelewa kuyasikiliza haya maneno Mungu atafanya Amina Mungu nikumbushe kukaa kimyaa

  • @evamanirubamburachristian9970
    @evamanirubamburachristian9970 9 місяців тому

    Amen baba. Wewe ni baraka sana kwa kanisa.

  • @irenemendez7715
    @irenemendez7715 11 місяців тому

    Mungu nisaidie sana niweze kufunga mdomo wangu kwa damu ya YESU 🙏

  • @rebecasanke4758
    @rebecasanke4758 10 місяців тому

    Hili ni somo langu 😭eeh MUNGU nisaidie mwana wako niepushe na mabaya yoote🙏🏼🙇

  • @neemapanga4784
    @neemapanga4784 2 роки тому +2

    Amen God is the reedimer at any moment

  • @CharlesWamburaWambura-ls8vb
    @CharlesWamburaWambura-ls8vb 3 місяці тому

    Amina mtumishi

  • @esterlauden7538
    @esterlauden7538 2 роки тому +4

    Ameen!! Nimejifunza sana sana, Mungu akubariki.