TULIMTENGENEZEA MAMA AJALI YA KICHAWI ILI AFE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2022

КОМЕНТАРІ • 46

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 Рік тому +5

    Wachawi wafe kwa jina la Yesu Amen🙏🙏🙏

  • @alfredkombe9156
    @alfredkombe9156 Рік тому +2

    amina babaa mungu akubariki sana baba

  • @scholastiquefeza6154
    @scholastiquefeza6154 Рік тому +1

    Mungu funguwa kamba zote za kicawi zinazo funga maisha yangu. Funguwa milango ya kazi baba. Mungu wa ngomeni nipe kazi na kuomba ee Mungu wa kuhani Musa.

  • @RehemaFidelis
    @RehemaFidelis 2 місяці тому

    Amina.ubalikiwe.kwahuduma.mana.unasaidia.san

  • @halimaabdallah386
    @halimaabdallah386 Рік тому +3

    Wachawi wote wafe kwa damu ya yesu kristo wa Nazareth

  • @user-yh9yh8no2q
    @user-yh9yh8no2q 18 днів тому

    Wachawi wafe kwa jina la Yesu.

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 6 місяців тому

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-ut2xw8fl4q
    @user-ut2xw8fl4q 3 місяці тому

    Heemungu nashulu kwa kuletaa kuhani mussa mungu azidikukubariki

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 3 місяці тому

    Baba uwa wachawi wanatutesa sana

  • @marykifolo1252
    @marykifolo1252 21 день тому

    Wachawi wafee..wamenitesa sana kenya

  • @shuwekhatwalib3331
    @shuwekhatwalib3331 3 місяці тому

    😢😢😢😢 maskini mama wa Watu....Yesu wa Ngomeni nisaidie na mimi mwanangu apoe KIFAFA NA KUANGUKA NA KUFAFATIKA.

  • @bwamijeannejo5473
    @bwamijeannejo5473 6 місяців тому

    Amiiiiiina. Baba
    Musa
    Lichard
    Mwacha.
    Mungu panguwa yesu naguchukuru.

  • @chw2525
    @chw2525 Рік тому +5

    Wachawi wafe wote kwa jina la Yesu

  • @HeriKayson-vm4yu
    @HeriKayson-vm4yu Рік тому

    Nakukubali baba yangu wa kiroho

  • @GorethKamikazi
    @GorethKamikazi Рік тому

    Yesu wakuhani musa saidia kizazichetu mungu akuzidishie nguvu wanaseee aswaaaa

  • @GraceKara-o4t
    @GraceKara-o4t 5 днів тому

    ila mungu siku za mwishoo ndio hizi.jaman kama ange ruhusu kuhukum bass wachawi wafe wote

  • @LeahMerilainen-hn3iy
    @LeahMerilainen-hn3iy 9 днів тому

    Nami awanipata kwa hii maombi napokea

  • @HappyGreenTea-fo8lz
    @HappyGreenTea-fo8lz 4 місяці тому

    Mungu fungua maisha yangu na familia yangu mchawi anaechezea familia yetu afeee kwa jinn la yesu

  • @RehemaFidelis
    @RehemaFidelis 2 місяці тому

    Amina.kwaneno🙏🙏🙏

  • @WitnecCharles
    @WitnecCharles 3 місяці тому

    Napokea uponyaji kwajina la yesu amen 🙏🏼🙏🏼

  • @beatusnsiima8005
    @beatusnsiima8005 Рік тому

    Wachawi so wa kuhurumia kabisaaa, waumbuliwe na waadhibiwe kwa jina la Yesu

  • @user-yb2jo7re1l
    @user-yb2jo7re1l Рік тому

    Amen

  • @AKIMANAAfsa-ki3vk
    @AKIMANAAfsa-ki3vk 8 місяців тому

    Amiiiiina
    Baba
    Musa
    Mwacha lichard

  • @user-mt6ln2uf4g
    @user-mt6ln2uf4g 11 місяців тому

    HAKIKA YESU ANATENDA NGOMENI

  • @HappyGreenTea-fo8lz
    @HappyGreenTea-fo8lz 4 місяці тому

    Shetani ashindwe kwa jinn la yesuu

  • @s2.zombie
    @s2.zombie 8 місяців тому

    Mungu wa kuhn musa anisaidie nipet kaz nzur na familia yang ifungliw kiuchm

  • @LeahMerilainen-hn3iy
    @LeahMerilainen-hn3iy 9 днів тому

    Wachawi mchomwe moto kwa jinsi la yesu

  • @EVERGREENMOSES
    @EVERGREENMOSES Рік тому

    Amina kubwa baba

  • @christinaaminakuhanimateo3380
    @christinaaminakuhanimateo3380 Рік тому +1

    Tena wachawi wakate moto maana Ni vikwazo

  • @zamdajeremiah
    @zamdajeremiah 11 місяців тому

    Mungu nisaidie

  • @HeriKayson-vm4yu
    @HeriKayson-vm4yu Рік тому

    Ukweli wachawi urudisha maisha yetu nyuma ni heri wakate moto

  • @mankamushi4588
    @mankamushi4588 Рік тому

    Tena wateketee kwa jina la yesu

  • @MerryKashaija-jk9xh
    @MerryKashaija-jk9xh Місяць тому

    Wachawi wote popote Walipo wafe kifo kibaya sana kwa jina laYESU

  • @hamadilymo6483
    @hamadilymo6483 Рік тому

    Hawafai kuishi

  • @JohariHakimu-eu5yw
    @JohariHakimu-eu5yw 4 місяці тому

    Natamani kuja ngomeni jamani

  • @lahabesheuya1257
    @lahabesheuya1257 11 місяців тому

    Maombi ya baba nimoto mtesi wangu alikata moto nanimesikiliza radio uhiru tu

  • @QueenLyakonda-og9re
    @QueenLyakonda-og9re 6 місяців тому

    Wachawi wote waabishe

  • @fatumaachombo1777
    @fatumaachombo1777 11 місяців тому

    Wachawi wote wafe kwa kina la yesu

  • @estasimba8149
    @estasimba8149 Рік тому

    Kuha Musa ,marikia aliyezaa na nyoka ibaada iyofanyika siku ya jmnne

  • @MANKASHIRIMA-ey2dw
    @MANKASHIRIMA-ey2dw Рік тому

    Wapendwa watumishi wa MUNGU
    Naombeni mumuombee mtoto gadieli baltazari mlai alielazwa hospitali ya muhimbili anasumbuliwa na marazi ya kansa na degedege amelawa gorofa ya tatu wodi ya watoto wenye kansa.

  • @lahabesheuya1257
    @lahabesheuya1257 11 місяців тому

    kweli kuhani mtoto wakike elimu ndio mkombozi wake

  • @honorathapaulo5863
    @honorathapaulo5863 7 місяців тому

    Mwenye namba za cm huyu kuhani jmn

  • @kapitekapite8485
    @kapitekapite8485 Рік тому +1

    Daah namjua sana huyu dada

  • @rahmahamisi8130
    @rahmahamisi8130 Рік тому +2

    wachawi wote wapigwee

  • @clarissengalila402
    @clarissengalila402 Рік тому +1

    Napanguwa kila mipango yakichawi