Nabii naomba kule ninakokaa niamishwe niamie dar es saalam pia familia yangu inateseka uchumi nimbaya sana na nduguzangu hakuna aliefanikiwa nisaidie baba
Nalia namlilia Mungu lwa huyu mpiga ramli Mwenyez mungu ana muona amemvisha mwanangu vitu kwa kutumia mtu nakamuonyesha aende kwake kawa muumini wa uko leo mtoto wangu nilomlea mwenyewe kasoma mpaka chuo kikuu kwa jitihada zangu kapata kaxi kaambiwa mimi ndo mchawi wake nimepewa umalkiia nalia mwanangu anateketea anachokifanya hakuna daaah wale hela wao aambiwa mm ndo nazichukua MUNGU UTATENDA HAKI
Samahani ndugu kwema, nauliza kama nikitaka kuchati na nabii Richard Musa nafanyaje maana no zake hazionyeshwi kamaunazo nisaidie nateseka san pamoja na familia yangu nisaidie kuniunganisha kwake
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive
Amina baba namimi napokea kupitia maombi haya mwanangu arudishwe kwajina ra yesu kristo wanazareti aminaaaaaaaaaaaaaa
MUNGU ninakushukuru kwakuwa Wewe nimwema San 🇹🇿🇹🇿 ubarikiwe Sana mtumishi wamungu
Ee Yesu naomba unikumbuke katika hii Madhabahu nami nifunguliwe na watoto wangu na mume wangu kwa jina la Yesu
Amina baba
Amen mtumishi 🙏
Amina
Piga kazi ya mungu yesu akuongezee siku za kuishi kuhani mussa
amina baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Baba mungu akutie nguvu nmebarikiwa sana naomb uniombee nimeachana na mume wng
amina
Mungu akuongezee nguvu za kulitangaza jna lake🙏🙏🙏
Yesu tusaidie kufumua mabaya yote
Mmmh haya bwana!
Mungu tusaidie ss waja wako maana shetani yupokazn
Mmmh
Dah jamani watu wakimbilie kwa Yesu. Baba Mungu akubariki
Nabii naomba uombee wazazi wangu wafunguke kiroho. Amina
Nashukuru mungu kumgusa huyu baba asaidie wa2b ubarikiwe san
Amen 🙏🙏🙏 mungu akubariki mutumishi
😢😢😢😢😢😢nipewe uponaji nami pia mitashukuru maana nateseka
Amina 🙏
Eeeeeeh Bwana Yesu nisaidie duniani machafuko
Ameen
Naomba kuwa huru pia😢😢😢Eeeh mungu
Ameeeen
Wafichue baba
Mmmmmmmh
👏👏👏
Najiunganisha nipate kaz nzurii
Ubarikiwe sana Baba Kuhani wa Mungu. Hallelujah
Naomba namba ya mchungaji huyo
Amen 🙏 🙏 🙏
Mnazinguwaaa
Nabii naomba kule ninakokaa niamishwe niamie dar es saalam pia familia yangu inateseka uchumi nimbaya sana na nduguzangu hakuna aliefanikiwa nisaidie baba
Na mm nimepona amen
Amen🙏🙏🙏
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen Amen Amen Amen Amen 🙏
Amen. Kuhani mchawi.
Mke wa nyoka.amezàa na nyoka.
Amen. Kaandaliwa kafundishwa na analipwa.
Umeona kama mimi, huyu anawalipa na ameona script hawashiki vizuri anamuongoza mwenyewe.
Nalia namlilia Mungu lwa huyu mpiga ramli Mwenyez mungu ana muona amemvisha mwanangu vitu kwa kutumia mtu nakamuonyesha aende kwake kawa muumini wa uko leo mtoto wangu nilomlea mwenyewe kasoma mpaka chuo kikuu kwa jitihada zangu kapata kaxi kaambiwa mimi ndo mchawi wake nimepewa umalkiia nalia mwanangu anateketea anachokifanya hakuna daaah wale hela wao aambiwa mm ndo nazichukua MUNGU UTATENDA HAKI
Wachawi mnajulikana,Moto unawawakiae
@@jescadeogratias5292 mmm labda na wewe mchawi
Nakukubali Sana Baba Angu Kuhani Mussa Richard Mwasha.... Nafuatilia nikiwa Ethiopia
Samahani ndugu kwema, nauliza kama nikitaka kuchati na nabii Richard Musa nafanyaje maana no zake hazionyeshwi kamaunazo nisaidie nateseka san pamoja na familia yangu nisaidie kuniunganisha kwake
Àmeeeeeen
Nime funguwa🔥🔥🔥🔥🔥
Kupitia madhabahu hii Yesu nisaidie dhid ya rafik zangu kuwa adui zangu
Awashiwe moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwakweli
🔥🔥🔥🔥🔥
Asant yesu
Ee Mungu wangu
Yani hawa wachawi ni wachafu
Ya Ile ndege ya mwanza kumbe wao kaiteka,,,, eeeh Mungu tusaidie
Yesu wa Ngomeni ni. mafuriko hizi nii levo zingine ee Mwenyezi Mungu tunaomba tusaidie
Mmm
Mungu funguwa watu wako
Mtoto wa nne nmemzalisha mm kama nurse wa zamu kipindi hicho eee mungu tenda miujiza
Mbon unamlisha maneno mdomoni
Wachawi wenyewe wamepararaaa waa
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive
R.i.p Joseph
👏👏👏👏👏👏👏🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Naomba mtu anaejua namba za Nabii richard Musa anisaidie jamani nateseka sana
Asante baba
Fichua kila kona bwana yesu
Bwana uwajua walio wake
Siku moja nitafika hapo ngome,najua nahitaji sana huduma yako nami niwe huru
Asante yesu
Najiunganisha madeni yaishe
Naomba mungu namimi nipone kupitia kuhani musa
Natamani kipata namba ya office
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba namba yako
Unapatikana wap mtumishi
FUMUA KILA MAHALI
Najiungamanisha nipone magonjwa niliyonayo
Kuhani naomba number yako
Aludifwe
Yesu Kristo alie hai WA NGOMENI ni motoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dah nataman sana kufka uko kwamtumshi wamungu shida zangu zote zinaweza kuisha
Hakika jitahidi sana ufike hats asipokunyanyua utspokea. amini tu utamuon Mungu kwa viwango vingine na ukifika hutamani kutoka,
Mmm shida tuu ndizo zinawapeleka Kusali
Sina mashaka sana na mtumishi wa Mungu huyu lakini najiuliza mbona mda wote anazungumzia uchawi kanisani na sio watu kuomba sana na kuacha njia mbaya?
Hii ni clip tu.enda Kwa live yake utaona Ibada yote
Shida mnasikiliza vipande vidogo
Wewe umerongw uwezi elewa 😏😏
Brother unachoongea Mimi Ndio najiuliza kila siku
Nimekuelewa mno wachache watakao kuelewa, kwanza mchawi mwenyewe hata sijamuelewa, macho makavu kama Katengenezwa vile
Amen
Amen