JOKA KUBWA LA KICHAWI LANASWA BAADA YA MAOMBI KUHANI MUSA NA VIFAA VITAKATIFU VYA KIROHO KUTUMIKA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 кві 2022

КОМЕНТАРІ • 74

  • @ibrahimfelix8657
    @ibrahimfelix8657 Рік тому +2

    Hakika wewe ni sniper mungu akubarik na akujalie maisha malefu tunakutegemea baba

  • @elizabethsimonmapunda7678
    @elizabethsimonmapunda7678 Місяць тому

    Ushuhuda mkubwa sana,Asante BWANA YESU wa kuhani Musa R Mwacha kwa kusikia na kuona ushuhuda huu mzito,YESU ULIYEYETENDA HAYA TENDA NA KWANGU NA FAMILIA YANGU NIKUONE KWA MACHO YANGU NA NIKUSHUHUDIE KWA MIDOMO YANGU PALE NGOMENI,KATIKA JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI,AMEN

  • @ElishaAfraeli
    @ElishaAfraeli 2 місяці тому

    Mungu ni mwema sana yesu atusaidie

  • @user-pg2bz3et1o
    @user-pg2bz3et1o 3 місяці тому

    Mungu wa ngomeni naomba unisaidie pamoja na familia yangu nawatesi wetu wakate moto

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 2 роки тому +3

    Yesu ni Mshindi🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @josefinarachide4843
    @josefinarachide4843 2 роки тому +2

    Amém

  • @subirayussuf7690
    @subirayussuf7690 3 місяці тому

    Amen ⚡💥🔥💚🙏

  • @lenahriasi415
    @lenahriasi415 2 роки тому +1

    Amen hallelujah watching from Kenya

  • @veronicafrancis2545
    @veronicafrancis2545 Рік тому +1

    Watesi wangu washikwe kwa damu ya yesu toka 🇬🇧

  • @joycendoss6254
    @joycendoss6254 Рік тому

    Aminaaa,🙏🙏🙏🙏

  • @kkjustn8385
    @kkjustn8385 2 роки тому +2

    Mungu ni mwema sana zidi kutukumbuka

  • @djumazuena52
    @djumazuena52 2 роки тому +1

    AMEN AMEN AMEN

  • @violethrobson2332
    @violethrobson2332 2 роки тому +2

    Yesu anisaidie🙏🏽

  • @alineniyuhire2190
    @alineniyuhire2190 Рік тому

    Amen ,Mungu apewe sifa kubwa Hallelujah Amen ushuuda umenibariki sana naomba Yesu aniludishie byenye shetani ameninyanganya kwa jina la Yesu

  • @humphreymassawe5135
    @humphreymassawe5135 2 роки тому +2

    mungu ni mwaminifu sana

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 6 місяців тому

    🙏🙏🙏🙏

  • @joycendoss6254
    @joycendoss6254 Рік тому

    Kweli mungu mkali

  • @benganabenjamin3304
    @benganabenjamin3304 Рік тому

    Niko tayari Yesu nisaidiye nifunguwe mimi na wanangu

  • @user-sx9ur4dj5z
    @user-sx9ur4dj5z 7 місяців тому

    Mungu anitetee na mm

  • @bibianakiwali1969
    @bibianakiwali1969 Рік тому

    Hongera dada yangu umevuka. Umewapiga Hongera sana.

  • @mohamedsalimu2809
    @mohamedsalimu2809 2 роки тому +1

    kweli mungu ni wa ajambu sana

  • @user-gk1fz3zw8e
    @user-gk1fz3zw8e 6 місяців тому

    Yesu was kuhan mussa ndy mwanzo na mwisho❤❤❤❤

  • @augustinanemes1353
    @augustinanemes1353 2 роки тому +1

    Amina 🙏

  • @mbarakajuma4640
    @mbarakajuma4640 Рік тому

    Mungu akuongoze milele kuhani aminaaaa,🙏🙏🙏🙏

    • @hadijambunda7099
      @hadijambunda7099 9 місяців тому

      BWANA YESU KRISTO MUNGU MKUU TENDA NA KWANGU MAMBO MAKUBWA YESU KRISTO MUNGU WA KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NAOMBA TENDA NA KWANGU KUPITA USHUDA HUU NAPOKEA BARAKA NA. NEMA ZA NGOMENI BWANA YESU KRISTO MUNGU MKUU NISAIDE🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿

  • @marymoraah3507
    @marymoraah3507 Рік тому

    Amen 🙏🙏, Yote yanawezekana kupitia kwake Yesu kristo.

  • @user-uk6kv4zi9p
    @user-uk6kv4zi9p 3 місяці тому

    Jamaani kwasitairi hii tutaisha mungu tuokowe

  • @jonisshayo5334
    @jonisshayo5334 2 роки тому

    Amina sana baba

  • @xalomedanieli3664
    @xalomedanieli3664 Рік тому

    Mungu anisaidie nipate kazi na awabariki familia yangu

  • @sandrairanzi9475
    @sandrairanzi9475 Рік тому

    Mubarikiwe sana munisaidiye kwamaombi

  • @memorytumbi819
    @memorytumbi819 2 роки тому +1

    Yesu ni mwema

  • @joycendoss6254
    @joycendoss6254 Рік тому

    Napokea na Mimi Kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏

  • @user-uk6kv4zi9p
    @user-uk6kv4zi9p 3 місяці тому

    0:10

  • @gisttya8416
    @gisttya8416 Рік тому

    Amen👏👏👏👏👏

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 Рік тому

    Amiiiiina

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 2 роки тому +1

    Mungu ni mwema Kila wakati, Anaetafsiri Kwa lugha ya kiingereza anatumia neno Cobra, Huyo nyoka ni Python siyo Cobra.

  • @memorytumbi819
    @memorytumbi819 2 роки тому

    Amina

  • @chakimtaratibu9255
    @chakimtaratibu9255 Рік тому

    Yesu ni muhindi, naomba afichue kilicho jificha nyumbani kwetu kwa jina la Yesu.

  • @susanngatia4928
    @susanngatia4928 Рік тому +1

    Manyoka yote inayozuilia baraka zangu mnakamatwa kWa damu ya yesu kristo

  • @felixbaussi8595
    @felixbaussi8595 5 місяців тому

    Jambo naomba msaada Niko DRC goma

  • @user-tt5zj8wu2s
    @user-tt5zj8wu2s 8 місяців тому

    Glory to God

  • @janenkata6290
    @janenkata6290 Рік тому

    Nabii Musa mimi nipo Oman ila mume wangu yupo dar tunaomba utusaidie

  • @victoiredeborah8741
    @victoiredeborah8741 Рік тому

    Watesi wangu wooote washikwe kwa damu ya Yesu christo

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 11 місяців тому

    Kuna jambo la kiwango cha juu sana nimejifunza kupitia huyu YESU AMBAE SI HADITHI NI HAKIKA ALIVYOTENDA KWA HUYU MAMA.

  • @reginamuthoni2239
    @reginamuthoni2239 Рік тому

    Niko tajari yesu nirudisie

  • @victoiredeborah8741
    @victoiredeborah8741 Рік тому

    MUNGU wa Kuhani Musa ni mwaminifu,n'a mimi anifunguwe kweli,nimepingwa kwa hali ya ndoa,

  • @mohamedsalimu2809
    @mohamedsalimu2809 2 роки тому

    mungu na Mimi nionyeshe watesi wangu

  • @veronicafrancis2545
    @veronicafrancis2545 Рік тому

    Yesu nisaidie.

  • @celebrityvibes3839
    @celebrityvibes3839 2 роки тому +1

    shetani ameshindwa

  • @sifamanyori-kf9vq
    @sifamanyori-kf9vq Рік тому

    Kubukeni munakataa ushuda nawakati nimabo abayo yapo duniani tumuachie rafaeri majani katika jiji ra dodoma durojiji rasodoma nangomora

  • @edmundkapondo4042
    @edmundkapondo4042 2 роки тому

    Power

  • @reginamuthoni2239
    @reginamuthoni2239 Рік тому

    Amen Amen🙏🙏

    • @victoriamkumbo5866
      @victoriamkumbo5866 Рік тому

      Mungu akurehem na kukukngeza me
      Akulngeze siku zote naiwe hivyo

  • @estherfaidamalkia4021
    @estherfaidamalkia4021 2 роки тому

    YESU wa NGOMENI anatisha kweli

  • @maryburule9790
    @maryburule9790 2 роки тому

    Mungu wa ngomeni niondolee watesi

  • @user-xv7hp2vq5c
    @user-xv7hp2vq5c 3 місяці тому

    Naomba namba ao adresse yenu nataka kuya kule

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 Рік тому

    Wangapi wamegundua kuwa ni aliekuwa mume wake ndie anaemchezea. Maana ukisikiliza vizuri huyo kijana aliropoka kuwa aliekuwa mume wake, mama akamnong'oneza nabii akasema nimtesi wake

  • @carolyneomwoyo4911
    @carolyneomwoyo4911 2 роки тому +1

    Amina , na nko tayari Yesu atanirudishia mambo yangu

  • @charlesmarwanchama9898
    @charlesmarwanchama9898 Рік тому

    Hahahahahaah

  • @carolyneogutu6489
    @carolyneogutu6489 2 роки тому

    Niko tayari 🙏🙏

  • @wizdomchotter5027
    @wizdomchotter5027 Рік тому

    Yesu muezah wa yote

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 11 місяців тому

    Huu ni ushuhuda unatisha na Unajidhihirisha kabisaaaa YESU WA NGOMENI SIWA KUMCHEZEA . jamani jamani tumshike huyu YESU anatenda kwa maarifa yasiyopimika. AKISEMA NDIO HAKUNA WAKUMSHINDA AKIKUBARIKI HAKUNA WA KUNYANGANYA

  • @ilungafils1639
    @ilungafils1639 Рік тому

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @charletsada8779
    @charletsada8779 2 роки тому

    MUNGU ni mshindi

  • @carennabu8162
    @carennabu8162 2 роки тому

    Jesus Christ

  • @furestonmajaliwa5315
    @furestonmajaliwa5315 2 роки тому

    Nasisi walioko mbali mna tusaidiyaje tu inchi za mbali

  • @nshimiyimanapetero9803
    @nshimiyimanapetero9803 2 роки тому

    Amena Amena 🙈 mungu asifiwesana pasta 😋 😍

  • @benedettakavesu7912
    @benedettakavesu7912 2 роки тому

    Jameni mungu nimuenza yote, naweza Pata hio anointing water 💦 na anointing oil wapi niko kenya 🇰🇪 Nairobi

    • @mage5371
      @mage5371 2 роки тому

      njoo Dar Kimara Temboni

  • @costantinekikinda7574
    @costantinekikinda7574 2 роки тому

    Sikuizi uganga ni mwingi makanisani

  • @mbarakajuma4640
    @mbarakajuma4640 Рік тому

    Mungu akuongoze milele kuhani aminaaaa,🙏🙏🙏🙏