SIRI YAFICHUKA MAMA ANAEISHI NAMWANAUME MWENYE ROHO YA USHOGA
Вставка
- Опубліковано 18 гру 2023
- SIRI YAFICHUKA MAMA ANAEISHI NAMWANAUME MWENYE ROHO YA USHOGA
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig
Ila alisema mtafanya mambo makubwa kuliko haya mnapenda kukosoa bila kufuatilia Neno msiropoke
tabiri naba juu ya mume wangu baba
Sema baba
❤❤sema baba
Be blessed man of God
Ubarikiwe natamani kuja baba
Acha aseme baba wakweli sana huyo
Baba hongera sana nisaidie baba familia mzma hatueleweki
Huo ni usanii na uchawi yesu hajafanya hayo kizazi kibaya kizazi cha nyoka kinataka ishara na maajabu
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, NA KUBWA KULIKO HIZO ATAFANYA, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Kabisa
Pale kisimani Yesu aliongea nini na yule mwanamke msamaria.
Nitowe uvhawi mualimu,niondolee moyo WA uchawi
Amina sana
Babaa kiboko ya wachawiiii naomba utabiliii Juu yangu
Baba naomba uniombee namimi nasumbuliwa Sana namagonjwa kiu 5:09 5:09
Mimi naumwa mwili nzima,Yani nasumbuliwa na uchawi.
Kwa utabiri huu kuna siku watu watauwana haki.
Msanii tu
Uwiiii Yaan nabiii kweli huwezi kuficha kitu unayabwaga hadharani aaaaah😅
Kweli wewe nikiboko oooiii nabii tamka neno tu kwangu unabii wangu uwe na nguvu natamani sana niwe kama wewe niko kenya naitwa peter
Nabii wa uongo watasumbua watu sana
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, NA KUBWA KULIKO HIZO ATAFANYA, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Kiboko ya wachawi niombee nipate pesa.kila
Siku
Naomba unisaidie kwenye masomo yangu nipate divison one form six
Ameeeeen Nabii rusha nyukilia za kiroho wachawi wote wafeee
Nabii niondolee aibu hii
Hayo makubwa ndio kama hayo Mimi sijawhi kuona uganga wenye unafanyika hivyo
hili kanisa litakuwa na waumini
waaminifu
Duh kama wewe ni malaya na nimchawi usiende kwenye hili kanisa utaumbuka!!!
Balikiwa saana mtumishi naitaji saana mawasiliano yako
Utapotea Huyu Siyo mtumishi wa Mungu. Ni nabii wa Uongo Hajui anachokifanya.
Mambo yote yatapita lakini neno litasimama
😂😂😂😂😂😂
🥱🤗🙄
Mtafute Mungu akupe neno la kuokoa hizo Roho hapo. Hicho Ukifanyacho ni Uongo na Uharibifu.
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, NA KUBWA KULIKO HIZO ATAFANYA, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Wewe unasema kiboko ya wachawi mwongo unasema neno vizuri ? Hayajakukuta yakikuta utaenda
Hulu ni utapeli serikali mko wapi hizi ni ramli chonganishi
Naomba unisaidie kwenye masomo yangu nipate divison one
Hiv akitokea mme wa huyu mama akaenda kukushitaki nabii kwa kumchafua jina utaweza kumsafisha jina uyu mama pia uliyemdhalilisha hiv akienda kukushitaki utajibuje maana hiyo ni ramli chonganishi
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, NA KUBWA KULIKO HIZO ATAFANYA, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Dah hatari sana kweli ni roho mtakatifu anazungumza au ramli?
Huyu ni mjinga mpaka anakera
Yohana 14:12
Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, NA KUBWA KULIKO HIZO ATAFANYA, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Endelea kuwapiga wajinga wote wapenda miujiza na si MUNGU hadi akili ziwakae sawasawa
Hivi hayaa mambo siyaelewi mnataka nini kwenye injili 😭😭😭
Kwanini usimuite ofsini kwako ukasuluisha unasuluisha hadharani ili nini ?huoni unamdhalilisha acheni ujinga wa kudhalilisha injili