Mapito hukufikisha katika hatima ya kuinuliwa kwako
Вставка
- Опубліковано 21 кві 2023
- Ibada Hii Ilifanyika Kanisa La Vuka Yordani Kisongo Waya - Jijini Arusha Tanzania na kuongozwa na @Bishop Elibariki Sumbe Mwangalizi na Askofu Mkuu Wa Makanisa Ya Grace Evangelical Church Tanzania (G.E.C.T)
Follow Our Social Media Pages :
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
tiktok.com/BishopElibarikiSumbe
/ bishopsumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #KisongoWaya #ArushaTanzania
Amen baba,uombee bwanangu alipe madeni zawatu n'a tena mungu aondoe roho yamadeni baba tusaidiye
Amina baba niombee na mimi nakuelewa
Amina..... Baba
amen Mungu Baba utushindiye nasituko namatatizo
Amina.mungu.nombee.mtoto.wangu.macho.shalet
Nimepita mapito mengi sana naomba kuinuliwa
Eeee mungu wangu mponye nynyngu ni mgonjwa bila ww hawezi
Amen amen kwa mafundisho time bariwa❤❤❤❤
Amina
Aminà 🎉 Aminà
Ameeeeeeeeen
Ameeen
Ameen🙏🙏🙏
Amina mtumisha
Amen Ubarikiwe sana
Amen amen amen
Amen
Amina mtumishi wa Mungu napenda mafundisho yako, yananijenga kiroho.
Amen
nashukuru kwa mafundisho
Glory to God, Amen
Amina tunaomba aje na dar
Amen amen
Ubarikiwe sana baba askofu maana unatujenga kiroho
Amen acha bwana
Napokea...baba
Shalom, naomba munielekeze gisi yakutuma ule msaada wa ujenzi asanteni sanaa
Napokea..... Ushindi
Mungu kupitiyailinenolakousinipite mm na nyumba yangu
Napokea.... Leo
Kweli kabisa ndugu mtumishi wa mungu
Yes I received inJesus name amen
Namebarikiwa sana maneno la mungu kutoka kwa pastor mungu mwema atusaidie amina 18:27 18:35 18:35 🔥🔥🔥 18:55 18:55 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🙏🔥🔥
Amen I receive in Jesus name Amen
Amen amen amen Asante yesu
AMEEN AMEEN mtumishi wa Mungu
Amen amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu unanijenga sana kiroho na mafundisho yako
Amina kubwa baba bishop elibariki sumbe bamoja na kanisa vuka Yordani church 🙏🙏
Kupitia hii ibada ya Mungu nikombolewe na damu ya Yesu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Amina mtumishi uko sahihi
Yesu unaposuru wengine, usinipite, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Ameen Mungu ni. Mwaminifu atatimizaa barikiwaa Sana mtumishi wa Mungu
Amen baba muchugaji.mungu azidi kuku ongezea mafuta kila Siku
Amina.mutumishi.wayesu
Ameen kusudi la Mungu litimie ndan yangu
Mafundisho yako mutumishi inanigusa sana ndani ya moyo wangu ubarikiwe sana
JINA LA BWANA libalikiwe sana 🙏🙏🙌🙌niko naelewa manaake ya hili neno, mtumishi wa MUNGU ubalikiwe sana na YESU
Mtumish unarikiwe sana naomba uniombee mungu anipe mume mwema na mwaminifu mwenye kumpenda mungu
Kwa jina la Yesu Ameeeen
Amin
Amen kusudi la mungu likatimie ndani yangu
Ameeen 🙏🙏🙏
Amina sana mtumishi sumbe pia naomb mkumbuke San mam ang anayetokwa na damu sasa hivi ni mwaka wa nne
Amen mtumizi mm nitakua nyota kwetu
Mungu kupitiya iyi mafundisho nikumbuke na mimi
Amen 🙏
Asante sumbe usıku nımesıkıa mafundısho leo nımalala vızurı kwel ubarıkıwe sana
Nikweli mungu azidi kukujaza nguvu
Nabarikiwa sana mchungaji nikisikiliza maombi naomba uniombee nipate mchumba mwema na mwenye hofu ya Mungu natamn nifike kwe kanisa lako siku moja Mungu akubariki daima uwe na afya njema baba askofu sumbe
Ameeeen 🙏🏼🙏🏼
Hii nimafudisho huinua moyo ngu nakusikisa mutumisi nikiwa Kenya ubalikiwe sana
Innocent by faith
Mtumish ubarikiwe naomba umuombee mdogo wangu amalizie nyumba na afunge ndoa
Je reçois au nom de Jésus christ
Amen amen Alléluia Amen
Haleluya kwa Yesu Kristo
Jina la bwana libarikiwe sana. Fundisho nilenye tumaini.
Nina mkubali sana huyu mtumishi fundisho lako liko sahihi
Hakika
Oh ADONAI ADONAI ADONAI Na Mimi nifuguliwe katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareti Alie hai
Eeee mungu wangu usimpite tuma mahali alipo apokee uponyaji kwa jina la yesu
Nabarikiwa nikisikiliza mafundisho yamtumishi jamani mchungaji niombee nataman.siku moja.nifike. Kanisani kwako
mtumishi wa Mungu niombee rehema kwa Mungu ili nipone magonjwa nina miaka saba na huguwa
Mumewangu Joseph namkabidhi mbele zako Yesu Kristo mkomboe Na mitego za adui ogoza atua zake mpe ekima Na maarifa mpe Kibali ya kumiliki awe hodari Na Moyo wa ushujaa usiwe mbali naye
Mtumishi msikilize mungu sana kuliko watu usuhuze kazi ya mungu kwa ajili ,Tampa ya feza ,majivuno mtumikiye kwa moyo wako wote na kwa nguvu zako zote naye atakuwa pamoja nawe daima ulalapo uamkapo uteameapo usiwe kama watumishi wengine Bali shika sheria za mungu na utabarikiwa zaidi maana kupitiya wewe tunamuona mungu wa kweli na nikwa sababu mungu ameweka Karama kubwa ndani yako tunakuombeya mtumishi ili huwe na mwisho mzuri maana shetani pamoja na ma ajenti wake awataki kazi unayo hifanya kufunguwa watu na kupona hivyo anakuwinda chini juu mchana na usiku kwaiyo baba usiwe mwenye Tamaa kama ya feza na vinginevyo mungu awe pamoja awe
10th qq1qq11
Toeni sadaka mkiombwa sadaka mnaona km mtumishi anapenda hela viti hivyo bei yake ni hela miki hela spika hela selikali mapato kulipia kanisa wagonjwa wanatakiwa wale chakula hela malazi hela mavazi hela hiyo HUDUMA KUSHUTI HELA SASA UNATAKA ASIOMBE HELA ...KWELI JAMAN
Baba angu niombee niolewe na mchumba lkn bado hajanioa
Hili somo mbona linanigusa sana
Na mahombi svp mutu ashiye tufate paka mwisho
Mina fata mafudisho minaomba ufungulivu mbamba uniobeye ufungulivu munannayote
Amina.... Baba
Amen amen kwa mafundisho time bariwa❤❤❤❤
Amina
Amen
Amen amen
Ameeen
Amen amen kwa mafundisho time bariwa❤❤❤❤
Amina
Amina
Amina
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen amen
Amen
Mungu waibraimu akubari