MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA
Вставка
- Опубліковано 13 січ 2024
- MWANAMKE ALIEPACHIKWA MIMBA NA KAKA YAKE SIRI YAFICHUKA MUMEWE AJA JUU NA KUMKATAA
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig
Mungu akutunze baba yangu wa kiroho ipo siku Mungu atakulipa
Amina baba naomba nitabilie toka kwa wazazi wangu na kwangu naitwa john toka kinyerezi
Amina baba nisaidie nikomboe mm na familia yangu
Bwana yesu asifiwe nabii kiboko ya wachawi naitwa Debora Mbanga nipo dodoma naomba ufungue maisha yangu.
Bwana Yesu asifiwe Nabii kiboko ya wachawi naomba mchawi anayefuatilia maisha yangu na makusudi ya Mungu aliyoyaweka katika maisha yangu afe kwa jina la Yesu leo.Amen.
Naomba mungu wa kiboko ya wachawi anisaidie nso yangu inateketea uchumi wangu ufunguke naitwa coreta Niko buguruni
Bwana Yesu asifiwe Nabii wa Mungu naomba uniondolee hii roho ya uhari ifu iliyo tumwa na wachawi kufuatilia maisha yangu na kunisababishia magonjwa nndoto mbaya uangushe hiyo roho na kuirudisha huko iliko toka kwa jina la Yesu
Mume wangu ni mtumishi lakin Jana upako, anatamani kuwa kama wewe baba😊❤ 3:41
Mm naitwa Emanuel Habibu Nyenzi nakuja japo sijawahi kukutana na wewe mm ni dreva wa mabasi ya kwenda nchi za nje Mungu naomba tuonane Ubarkiwe na Bwana Yesu uishi kama Mungu aishivyo
Asante Mungu kwa kutuletea pastor dominic Mungu akupe maisha marefu-Amani
Yesu mkono wako si mfupi ha usiweze kuokoa mao u yeti yametufarakanisha na uso wako Niokoe Mimi na uzao wa tumbo langu Amina
Naomba roho iliyotumwa kufuatilia na kuharibu maisha yangu iharibiwe na kurudi huko ilikotoka kwa jina la Yesu
Bwana yesu asifiwe mtumishi Mama yangu anaumwa na hawezi kutembea miguu Haina nguvu
Naitwa maria nabii naomba unitabirie mm na mme wangu pamoja na familiy yangu maana najiona mwenye mikosi kwenye maisha yangu😭😭
MUNGU akulinde baba
Mama Amina mwenyewe Kama akili zake hazipo sawa 🤣🤣🤣
Ameen nabii ubarikiwe 2:48
Amina baba nabii kiboko ya wachawe naitwa BILALI ABDi BAKALI naomba uni fungulie kiuchumi
Ameen nabii ubarikiwe 2:48 3:08
Nabii naomba nitabirie maisha yangu
Bwana yesu asifiwe pole na kazi Baba
Bwana yesu asifiwe mchungaji wng...
Naitwa Devotha Michael mteng
Naomba maombi yko nimjue anaye niroga baba!!
Bwana yesu asifiwe naitwa Aman niko goba naomba nitabirie uchumi wangu mbaya
Sikuamini unatembea na bodigadi wa nn kaka ww ni nabii istoshe hayo ni maigizo mungu akubomoe
Kama ni maigizo na wewe fungua kanisa uigize
Umeona ee
Humwamini halafu unamwangalia au unmflow
Walinzi wake km majambaz
Hujui kazi ya bodigad au kusudu tu jamani
Amina baba naomba unifungulie nipate kazi
Ameen nabii ubarikiwe katika kaz zako
Kuna dini moja tu duniani ,yenye utukufu sana ,nyumba zao za ibada ni tukufu mno ,wakiinama na kuinuka kutwa mara 5 kumuomba mola wao mlezi.
👏🏾
Amina naamini ilo mtumishi
Ubarikiwe nabii hakika wewe ni kiboko ya wachawi
Hongera sanaaaa mtumishi wa Mungu
Baba naomba ufungue maisha yangu, fungua uchumi wangu, na Vito vyote walivuonifanyiya
Baba naomba ufungue maisha yangu ya kupata watoto na kurudishwa kazini kwangu nilikokuwa nikifanya kazi
Jamani nakuelewa Sana nafunga safar kuja hapo mungu anitangulie
bwana yesu asifiwe basta
Bwana asifiwe baba naitwa jastini mamboyangu yameyumba sana baba
Ameen nabii ubarikiwe
Absolutely right indeed Daddy
Amina baba naomba maombi nipate mume nakipato maisha nimagumusana
Baba naomba unitabirie unachokiona ndan ya maisha yng kwan nakuamini
Nabii sema na maisha yangu pamoja na familia yangu mungu akubariki sana
Nimesikia Kuna mama kaibiwa tulubai kanisani Kwa kiboko mpaka sasa ajalipwa ukizingatia kiboko wewe tunakuamini uyu mama inakuaje tulubai lake au habali ujaisikia 😢😢😢😢😢
😂😂😂 Kiboko mwenyewe mwizi unamtafuta mwizi kwa kumshtakia mwizi mwenyewe
Amina mtumixhi wa mungu
Bwana yesu asifiwe kwa majina naitwa Angel naomba uniombee mume wangu amenitelekeza na mtoto nisaidie mume wangu arudi
Bwana yesu asifiwe nabii naomba msaada baba
Mungu Akubariki sn Mtumishi.
Mungu amuinue zaidi
Amina
Aitwa yahaya mkewangu alifaliki miaka2 je alikufa kwahalali au❤❤
I love prophecy man of God
Pasta kiboko yawachawi miim Amina bilali niangalie maisha yangu mom namwanangu mohamedy nnamaisha yaashida sana mwanangu nae Ivo ivo
Baba naomba unitabirie unachokiona kwangu
Thank you 🙏 Lord Jesus
Nahitaji kutabiliwa mtumishi wa mungu maisha yangu siyaelewi
Amen. Amen. Amen. Nitabirie Mtumishi wa Mungu. Mimi Dr Maselle
Jambo usilojuwa kaa kimya, huyu ni Nabii wa Mungu kwelikweli
Hakuna nabii wa Mungu anayegombanisha watu soma vitabu vyote vya dini kama utakuta kuna nabii alikuwa wa hivi, huyu ni mganga wa kienyeji tu
Ombeni muwe na macho ya rohoni watu wa Mungu, Mungu wetu sio wa style hii 😢
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mungu
Tabiri juu ya maisha yangu mtumishi
Acha sanaa wee mchungaji unatuletea michezo ya kuigiza na mateja wenzio unawapa mtuletee story za kichoko choko hapa
Hayo mambo yapo ktk familia zingine
Mimi. Naitwa sadick Jerome Niko wazo. Mivumon. Ninashida Kuna. Mtu namdai million. Tisa. Hataki. Kunilipa nisaidie pasta
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Acheni ujinga nyie mtumishi wa mungu tupi huyo?!
Amen postar
Naitwa baraka adam magesa baba nabii, ubarikiwe sana
Amina Baba
amina baba nitabirie mambo yanyohuzu famill yangu
Baba mimi nina shida naomba nisaidie ninaota nalishwa vitu ndotoni na kuna vitu vime nikaba kooni sina ata rahaa naomba uni saidie vitoke baba nakuomba sana pia naomba nipate kazi baba niinuke kiuchumi
Unawapeleka jehanam watu hao kwa uongo unaotengeneza.....Mungu aliye hai hatakuacha salama
Kanisa la wakongo matapeli wote.Shuhuda zote za usiku zimerekodiwa ni COMEDY, hata zile za kanisani zimepangwa wanaigiza
Dominick anafanya mazingaombwe tu,hakuna huduma yeyote ya kiroho.
Amkeni watanzania.
Amka mwenyewe,
Baba tembea kwenye maisha Yangu. Niondolee dhiki nipate kuwasaidia wenye huitaji pia
amina aminaa mimi anastazi swsy 12:29
Mungu anitetee naitwa coleta Niko bugurun
Acheni manabii wa mungu wagichue kweli ya mungu
Ila na sisi ifike mahara tumtafute mungu wa kwel kuliko kutafuta miujiza hyu mchungaji mwenyewe amejichubua hvi na mijitu imekalisha makalio inamsikiliza kwel jaman hapana
Igizo hao wote hapo wanaigiza mchungaji kajikoboa kama enock inonga
Wanaigiza, hadi mtoto mdogo akiangalia anaona maigizo
Mlichofanywa nyie mm sijui hii ni kweli
Kweli kabisa
Hayajakupata dada acha kuongea mdm utakuponza ,ndo nyinyi wachawi mnatutesa pumbafu zetu amekuja kiboko yenu acha awaue hata kama anajivhubua muache ni sehemu ya kupenda ngozi yake na ni asili yao achana nae
1.Wathesolanike 5:20 amina m2mishi. Mungu aendelee kukupa uzima
Amen
Nami mume wag anagufu mungu msaidie mume wag
Amina baba
Mungu ni wa aja bu sana
Amen nabii mm ninamatatizo Kuna mtu namdai hatak kunilipa naomba unisaidie nataka nizipate pesa zangu
Bwana Yesu asifiwe nabii naitaji maombi Yako maana changamoto. Nayoipitia naisi kukataa tamaa majaribu yamekuwa meng peke yangu siwez kila mwaka nnn mmm tu nabii nafukuzwa kazi naomba unisadie nabii
Mimi Othman nina matatizo nguvu za kiume na uchumi mdogo mno nami nipo Zanzibar
Ameeen
Baba Mimi naomba ufungue maisha yangu ya kupona malazi yote
Mungu atu saidie na family zetu
Naomba mungu aniteende
Kazi baba
Mume wangu ni mtumishi lakin Jana upako, anatamani kuwa kama wewe baba😊❤ 3:41 😢
Amina sana baba
Amen Amen Nabii kiboko ya uchawi naitwa Hellen John Mushi
Bwana asifiwe baba
Aminaaaaaaaa Daddy
Asante nabii kiboko ya wachawi...
Niombee baba siioni future yangu
Abii nisaidie nimedhulumiwa mahindi maroba 60
Nimehangaika sana
Niko manyara uwezo wa kuja dar sina
Nisaidie nabii
Badala umuombe Mungu unamuomba binadamu mwenzio ila nyie😢
Mmh Mungu tusaidie
Amina baba naitwa Rita damiani naomba umuombee baba watoto wangu anipe mtaji baba
Mpenda tu mumeo naanza kuomba wewe na kumshirikisha wewe zaidi
Baba naomba maombi nimalize nyumba yangu kilais baba
Sema ukweli baba siku zote msem kweli apendwi ila sisi tunakupenda bwana aimidiwe🙏
Aminaaa
god bles u
Habari yako mutumishi
Namm naomba maombi nifunguriwe.nikama nimefungwa
Kwasababu natafta spati mtoto
Wangu mutundu sana naomba uniombee niko inchini.marecani mafanikio.sion