HAWA ARUDIA KUJIUZA MWILI KUVUTA BANGI NA KULEWA |KAKIMBIA HUKUMU |ANATAFUTWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 чер 2021

КОМЕНТАРІ • 3 тис.

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  3 роки тому +22

    GUSA LINK HII MPYA YA GROUP LETU JIPYA AMBALO HALIJAJAA ILI UWEZE KUJIUNGA NA TEAM MAXIMUM TV
    chat.whatsapp.com/GutkVc90rvg56f4mZ5pCTu
    LINK HYO HAPO

    • @betybety8447
      @betybety8447 3 роки тому

      Msameheni akienda uko akujua litakalompata watu wamemfanyia unyama

    • @happyjovitha1059
      @happyjovitha1059 3 роки тому

      0692861317 niunge

    • @marthadanielgethro6216
      @marthadanielgethro6216 3 роки тому

      Mlifanya haraka kumpangia Hawa alihitaji elimu kwanza kama kumpeleka Soba mlipanga kumsaidia msichoke yani huyo akili zinaingia na kutoka anahitaji Darasa atabadilika na atakuwa mfano ila pia sijapenda mlivyochukua jukumu la kuchambua nguo zake mnataka kuona nini ikiwa nyie ni wanaume ilipasa hiyo kaz ifanywe na mwanamke vinginevyo kaz yenu nzuri

    • @uwimanauwimana7692
      @uwimanauwimana7692 3 роки тому

      @@marthadanielgethro6216 kama umeumia mchukue umlee kama rahisi, ukiona mwenzie kanyolewa na wewe jiandae

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому

      @@happyjovitha1059 umeambiwa bonyeza link hiyo yenye maandishi ya blue wewe unaweka namba uungwe bonyeza link tu hiyo my

  • @mariammwidani9289
    @mariammwidani9289 3 роки тому +26

    Subhanallah kaka zahir mrudishe kwao naujiepushe nae kabsa angalau na ww upumzika zahir

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 Рік тому +3

    Jomanii Hawa😢😢😢 Kitambo 🥺 napitia Video nakutana na hiyi Subhanallah 😢😢

  • @simphoslyvia2570
    @simphoslyvia2570 3 роки тому +5

    Pole Zahir nimelia Sana ni changamoto kubwa 😭😭😭kuna kitu kinaendelea Kwa Hawa ,namuonea huruma dah Ni mtego wa kukuangusha Zahir shetani ana kila njia ya kumshusha mtu Pole Ila Mungu yupo atakufanyia wepes.

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 3 роки тому +10

    Pole sana Zahir ndio mitihani yenyewe. Sasa nahisi huyu Hawa anaweza kukuletea matatizo lakini kama unao moyo wa kujaribu kumsaidia tena labda kwa ushauri wangu apelekwe kule kunaitwa "SOBA HOUSE" huenda akapata tiba ya kisaikolojia na kitabia ili kuacha kila kitu kibaya alichozoea kukifanya huenda akabadilika.Mwenyezi Mungu amuongoze katika njia sahihi na awafanyieni wepesi wote kwa ujumla

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 роки тому

      Kweli huo utakuwa ndio msaada tosha kabisa na kumaliza nae

  • @khadijakhamis381
    @khadijakhamis381 3 роки тому +31

    Pole Sana kaka Zahir kwa mitihani ila hawa atakuletea ma tatizo mengine mrudishe kwao

  • @fatumasidi3372
    @fatumasidi3372 3 роки тому +5

    Àsalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, kaka zahir mm nakufuatilia wala sipendi ku comment ila kwa hili leo...... Huyu msichana atatuongeza shida zingine...
    Naanza kuliangalia lile suala la akina fadina kwa jicho la pili sasa..
    Hawezi kurekebisha kilichomfanya aende kwenye party ni nn, wacha siku tano hata siku nusu pia haifai.
    The best option is for her to be taken home kwa mamake kijijini.

  • @angelbarnabas7075
    @angelbarnabas7075 2 роки тому +2

    Upipata mwanadamu anaekupigania kwenye dunia ya Leo ,shukuru Mungu 🙏🏾 bless you bro .

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 3 роки тому +24

    Zahir kaumia sana naona sura yote imemsawajika Pole zahir

    • @AnushkaSharma-uc9os
      @AnushkaSharma-uc9os 3 роки тому +1

      Zahir mpeleke uyo hawa kwao plz

    • @sophiankwera9020
      @sophiankwera9020 3 роки тому

      Inaumiza Sana Yan mtu anasacrifies maisha yake kwa mtu asie jielewa kaumia Sana zahir

  • @fairamkhan4744
    @fairamkhan4744 3 роки тому +30

    kuna mchezo unaendelea apo ka Zahir be careful kaka angu plzzz plzzz plzzz nakuomba jamiii bado tubakuhitaji😢😢

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 3 роки тому

      Yule mama yule mchawi keshamroga huyo msimlaumu kapigwa kipapai

    • @suzanambatta1126
      @suzanambatta1126 3 роки тому +1

      Zahir huyu binti atakuletea matatizo achana naye tafadhali

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому

      😢😭😭

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  3 роки тому +15

    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP LA TEAM MAXIMUM TV
    chat.whatsapp.com/IGM3V0nOBEw6HzpGACecBl
    GUSA MAANDISHI YA BLUE HAPO KUJIUNGA..SHERIA ZA GROUP ZIFATWE PIA SOMA KABLA YA KUJIUNGA

    • @happyfaniajackson8680
      @happyfaniajackson8680 3 роки тому +4

      Kaka zahiri inaonekana kunamchezo kachezewa kweli ili wakuchafue ww na itakuwa yule Dada Fadina ndio yuko nyuma

    • @farajasanga8805
      @farajasanga8805 3 роки тому +3

      Kaka zahiri mungu akutie nguvu ila naona kunamtu yuko nyuma ya pazia wanataka kukuchafiria uonekane ufanyi kazi vizuri

    • @farajasanga8805
      @farajasanga8805 3 роки тому +3

      Kaka zahiri mungu akutie nguvu ila naona kunamtu yuko nyuma ya pazia wanataka kukuchafiria uonekane ufanyi kazi vizuri

    • @saidmuhina7070
      @saidmuhina7070 3 роки тому +6

      Mimi nishabiki wako hainipiti habari yako hata moja napenda kazi zako lakini kwahili kaka yangu nakuomba hawa arudi kwao tena kaanae mbali hao vivuri kuna MTU anawatuma ivo bs aende huo nimwiba utakuchuma mwenyewe

    • @saidmuhina7070
      @saidmuhina7070 3 роки тому +2

      Nivyo sema hawa aende kwao nasababu kwa nini kaenda huko buguruni bila kusema pili anakataa kama anvuta singala wakati ushahidi upo huyo nimuongo kaka

  • @lenoxbuhanza4926
    @lenoxbuhanza4926 3 роки тому +4

    Nakufuatilia sana zahir unafanya kazi kubwa sana Mungu atakulipa,kwa kesi ya huyu Hawa hebu msamehe mpe nafasi nyingine

  • @Farida-uz3vr
    @Farida-uz3vr 3 роки тому +20

    Huu nimchezo wamama fadina fatiliya vizuri kaka zahir pole huyu nazabibu hawanatofauti

    • @hadeelahmad7463
      @hadeelahmad7463 3 роки тому +1

      Kabisa wanataka kuharibia

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому +1

      Aji kupatikana na kitu jojote kaka zahor uta ulizwa weye mrudishe kwa mama yake akitaka kurudi arudi mwenyewe usije ukapata kesi

    • @dechaggagirl1614
      @dechaggagirl1614 3 роки тому

      ANi yule mama lamda anahusika

    • @user-bf3hc6we7j
      @user-bf3hc6we7j 3 роки тому

      @@dechaggagirl1614 mm mwenyewe nawaza ivyo

    • @bintimrope
      @bintimrope 3 роки тому

      Hata mimi naona hizi ni njama za dada yake fadina ili asisaidike

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 3 роки тому +16

    Jamani huyu Hawa kadanganywa na wale maadui zake kutaka kumdhalilisha ndicho kilichomkuta muelewe kwamba bado upande wa pili wana hasira na nyie...huwenda kweli wamemtilia kitu kwenye kinywaji jamani ili lengo lao litimie 😢😢

    • @rogerhunda8616
      @rogerhunda8616 3 роки тому +2

      Ni kweli kaweka madawa ila kosa lake kwenda kule

    • @aishaibrahim5607
      @aishaibrahim5607 3 роки тому +1

      Sawa atukatai ila je alienda kufnya nn?wakt yule ni adui yke?

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 роки тому +1

      @@rogerhunda8616 kosa lake ndio ilo

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 роки тому +1

      @@aishaibrahim5607 Adui wana mbinu jamani

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 3 роки тому

      Basi aache kwenda vuguruni jameni

  • @fhfbfhff9206
    @fhfbfhff9206 3 роки тому +7

    Pole Kaka Zahir unamoyo kweli Ila kwasasa wasaidie wagonjwa tu hao wengine wapambane wenyewe na Hawa mrudishe kwao Ila karipoti polisi kwa usalama wako

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 19 днів тому +1

    Kaka zahir mrudishe kwao kabisa ningejua inakuja mwishoni please 🙏 kaka zahir tunawapenda kwa makubwa munayo ya fanya wewe na fab uyo hawezekani tena

  • @anethgeorge5474
    @anethgeorge5474 3 роки тому +35

    😭😭😭pole Sana Zahir,mrudisheni kwao Jamani🙌 dunia inamuita imfundishe

    • @anethgeorge5474
      @anethgeorge5474 3 роки тому +4

      Wallah huyu mtoto muuaji dah,nilivyokua namuoneaga huruma aisee😭💔

    • @ukhtyzainab7254
      @ukhtyzainab7254 3 роки тому +1

      Kweli kabisa

    • @suleymanally4729
      @suleymanally4729 2 роки тому

      Chezea mashine nyie 😭😭😭😭😭subhanallah

  • @janethjoshua2353
    @janethjoshua2353 3 роки тому +6

    Ulipo msaidia inatoshaaa kwakweliii
    Na siku zote unaambw huruma isizidi Sana ulipomsaidia inatshaa zahir God bless you mwachee aludii tyuu kwaooo🙏🙏🙏

  • @shakiayusuf2417
    @shakiayusuf2417 3 роки тому +4

    Subhannallah Zahir weye una moyo kama wangu mungu akulipe kheri inshaallah natamani uwe mume wangu wallah

  • @muluarafa9769
    @muluarafa9769 3 роки тому +2

    SubhanaAllah zahir hivo ulivomsaidia vinatosha mrudisheni kwako atakuletea matatizo makubwa zaid ya hayo

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 роки тому +43

    Uyo achaneni nayo saidieni watu wenye shida. Achaneni na wavuta bangi

    • @hawamatuta1905
      @hawamatuta1905 3 роки тому +1

      Mcseme aachwe ana stress jaman tumuombeeni Mungu janga ili tumuombee

    • @hadijaomary2000
      @hadijaomary2000 3 роки тому

      Wapo wangonjwa wengi achaneni nae uyooo jamani Zahiri asikuumize kichwa uyoo ona avyojibu kijeuli

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 роки тому

      @@hadijaomary2000 👏👏👏

    • @sadasalum8778
      @sadasalum8778 3 роки тому

      Bangi mbaya kweli

  • @ramabway1059
    @ramabway1059 3 роки тому +11

    Ushaur wangu kwako ZAHIR mi ningeomba kama mtu umeisha msaidia na akapat msaada kwetu sis huyo tunakua tumeisha malizana nae kama kuenderea kumsaidia mtu awe anajielewa ndo tutaenderea kumsaidia lkn kma huyo binti hajielewi kbs kwa nn husiachans nae piga chini kuna watu weng wa kuwasaidia huyo ni sawa na kunguru hafugiki tunatupa ela zetu tu hapo @zahir fanyia kaz ujumbe huu lasi hivo hizo type za watu kama hao watakualibia media yako mwisho wa sku utarudi nyuma GOD BLESSING U ZAHIR kwa kazi nzuri ya
    Kujitolea hakika una siti yako 🙏 mbinguni

  • @kisakim5660
    @kisakim5660 3 роки тому +7

    Jesus 😭😭😭😭🙌🙌🙌 naishiwa maneno jamani huyu bint ........ pole sana kaka zahil

    • @hadijambaraka804
      @hadijambaraka804 3 роки тому

      Zahiri wachana nae mweu uyo akapate kifungo kwanza Cha bangi uyoo

  • @mrskaboma9292
    @mrskaboma9292 3 роки тому +3

    Kaka zahiri pole sana kwa kweli kazi unazo zifanya ni kubwa sana allah akupe moyo huo lakini huyo Binti mrudishe kwaoo😭😭😭😭😭😭🖐️

  • @ashaa497
    @ashaa497 3 роки тому +11

    Shukurani yapunda mateke siamini machoyangu subhanallah allah tupe mwisho mwema

  • @faithfulphilemon9890
    @faithfulphilemon9890 3 роки тому +48

    Huyo jamaa katumwa na anachokitaka ni hela na kingine nikuharibu media aisee wachawi wengi kweli daah

    • @udaku..travel8506
      @udaku..travel8506 3 роки тому +5

      Zahiri achana naye atakutiya aibu

    • @mwajiranimesalimu5509
      @mwajiranimesalimu5509 3 роки тому +1

      wala c kwao huyo mchuguzeni vzri huyo na dada fadina lao mmoja

    • @LatifaLatifa-qj8tz
      @LatifaLatifa-qj8tz 3 роки тому

      @@mwajiranimesalimu5509 nahisi km ndio hivyooo

    • @mwajiranimesalimu5509
      @mwajiranimesalimu5509 3 роки тому +4

      @@LatifaLatifa-qj8tz mimi siko aliyokwenda kwao tu nilikua na mashaka ile story ilekua fake sana

    • @subiramohd1895
      @subiramohd1895 3 роки тому

      @@LatifaLatifa-qj8tz pana jambo hapo si bure lakini

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому +1

    Subhannahllah atakatisha hawa watu,,washidwe hata kusaidia wengine wenye shida..poleni sana kaka zangu Allah awaepusheni

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 3 роки тому +9

    Pole sana kaka zahir na team yako kwa mitihani mnayokutana nayo kwenye kazi ya kusaidia jamii dah nimeumia sana aisee🙆😭😭

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +20

    ZAHIR unamoyo wa peke yako mashaAllah💕 yani aujaonesha kama Hawa alikua anakusumbua kipindi anakaa kwako.kajeuli kumbe.mungu akuongoze Hawa

    • @christinaprotas3541
      @christinaprotas3541 3 роки тому +3

      Zairi mdogo wangu huyo msichana mrudishe kwao na ukamkabidhi kwa mama yake atakuletea matatizo makubwa sana nakwambia

    • @yasodishonest9792
      @yasodishonest9792 3 роки тому

      @@christinaprotas3541 Nikweli kabisa yani

    • @azezakhmiss4824
      @azezakhmiss4824 3 роки тому +1

      @@yasodishonest9792 kakika zairi una moyo hawa hiyo bahati huto kuja kupata tena

  • @asyaasya3766
    @asyaasya3766 3 роки тому +19

    Ya Allah 😭😭😭nimelia Hawa Hawa Jmn 😭😭😭unatafta kifo Hawa,, poleni Sana Kaka Zahir na team nzima ya maximum, roho imeniuma Sana 😭😭

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      pole 😭😭😭Sanaa,yani kwakwer kz wanayo hila basi tu,Asivunjike moyo,

  • @najathtemo3908
    @najathtemo3908 3 роки тому +19

    Wenzio tunatamani kusidiwa hvyo daaah,umechezea bahati Hawa mdogo wangu😭😭😭😭

  • @princesschii4090
    @princesschii4090 3 роки тому +2

    Community work ni professional work....inahitaji elimu kabisa Zahir na wenzanko pateni elimu kidogo ya sociology itawasaidia sana.

    • @roseatieno6691
      @roseatieno6691 3 роки тому +1

      Social work sio mchezo inataka big heart .

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +19

    Hao ni watu wa dadaake Fadina definetly. uwe makini Zahir yule dadaake Fadina kakusudia kukudestroy .

    • @ayshameme4856
      @ayshameme4856 3 роки тому +4

      Kweli umeona mbaliiii nanZahir ukicheza kesi ile itakupelekesha sbb uyo hawaa Ana jeuli Ila mwanzoo alifichaa

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому +1

      @@ayshameme4856 . sasa tumshaeishi Zahir amrejeshe Hawa kwao asitake kutufungia milango yetu ya kheri.

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 3 роки тому +1

      Pia mimi fikra zangu zinaenda uko uko hapa kuna kitu behind the scenes kuhusu mama fadina

  • @khadijaali1168
    @khadijaali1168 3 роки тому +10

    Sasa zaher achana nae huyu msaada unatosha atakupatia matatizo zaher wallahi angalia sana zaher

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 3 роки тому +7

    Binaadamu n watu w kubdilika Sana wallah,
    Uyu Dada zahili achana nae tu atakutafutia zaama.

    • @zaizai7019
      @zaizai7019 3 роки тому

      Pole Sana kaka Zahir kwa matatizo unayoyapata

  • @josephinewafula37
    @josephinewafula37 3 роки тому +1

    The best way to help her is by taking her to rehabilitation center because she is an addict,you cant help an addict by giving her money because thats temptation and she will fortunately be tempted to do drugs,take her to rehab and before one year she will be very much reformed/clean,prayers/love from🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 роки тому +9

    Pole sana kaka Zahir mrudishe kwao bangi haijawahi kumuacha mtu salama

  • @janesalome9364
    @janesalome9364 3 роки тому +25

    Zahir you have done your best. Forget anout this girl.

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 3 роки тому +4

      🐈 peddlers aren’t ready to change, Zahir amuache aendelee na biashara yake ya Kujiuza, atauwawa hivi karibuni

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 3 роки тому +5

      Huyo mama atamuua shauri zake

    • @judithkatoto3316
      @judithkatoto3316 3 роки тому +3

      Maskin jamni Hawa kwann unafnya hivyo

    • @maximumtvonline
      @maximumtvonline  3 роки тому +2

      Already

    • @user-lf9eh4mz1j
      @user-lf9eh4mz1j 3 роки тому +3

      Kaka zahiri kwa isani yako mrudishe kwao atajijua mwenyewe atakuletea shida ushinde kufanya kazi zake plz plz kaka usimuweke hapa tena kamkabizi kwa mama yake huyo kashakuwa jambaz sugu plz kaka anaweza akamzuru dada reila

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 3 роки тому +2

    Khaa!Kaka yangu mungu ameona mnavyo saidi watu ,pamoja na jamii yenye uhitaji hivyo achananeni na Hawa ,atawatia matatizoni wote tumeona Hawa arudishwe kwao huyo wewe mkataeni ili uendelee na kazi zako Kaka ,inasikitisha lakini utafanyaje ,.

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 роки тому +12

    Kunguru hafugiki Hawa hayo maisha ndio ana yapenda crocodile tears Zahiri achana nae hana shida huyo.

  • @ummulkurthumabeid2914
    @ummulkurthumabeid2914 3 роки тому +25

    Jmn masikini weee inasikitisha sn wallah inauma kwa kweli mm sina ht cha kusema ila maumivu tunayapata wote

    • @doricemwaikasu8201
      @doricemwaikasu8201 3 роки тому +1

      Mrudishe kwao Zahir huruma itakuponza Mwanza mlimpeleka umekaa nae kwako lakini bado hayuko sawa huyu ni tatizo tayari

    • @doricemwaikasu8201
      @doricemwaikasu8201 3 роки тому

      Teja huyu peleka kwao

    • @helgahussein1413
      @helgahussein1413 3 роки тому

      Ifikie hatua mjue kuna majaribu msimuhukumu kiasi kwamba yy ndo wa kwanza kufanya makosa

  • @attyambaraka3756
    @attyambaraka3756 3 роки тому +13

    Subhaana Allaahu kichwa cha habari tu kimeshtua

    • @hawamvao8691
      @hawamvao8691 3 роки тому

      Kaka zahili nakuomba kaka yangu nakuomba mrudishe kwao usijifikilie wala usijiulize kaka yangu naombaa umurudishe kwaoo haraka sana.

  • @joanondeng8818
    @joanondeng8818 3 роки тому +6

    You did your best Zahir, take her back to her people

    • @roseatieno6691
      @roseatieno6691 3 роки тому

      No let him give her another chance. Or she be taken to the sobber house she's giong to change.

  • @caslidajosephat8912
    @caslidajosephat8912 3 роки тому +11

    Mvuta sigara, mvuta bangi, pombe hawezi kuacha mtashoshwa vichwa mwacheni Dunia imfunze, yaleyale ya zabibu Leo kaacha kesho anarudia zahiri achana naye huyo ni mtu mzima asiwachoshe.

  • @mrunknown2825
    @mrunknown2825 3 роки тому +28

    Duuh mpka nimeishiwa na pozii kwann ivo tena jamniii 😭😭

    • @lovvy854
      @lovvy854 3 роки тому +2

      Binaadam wazito

  • @saumuimeda5181
    @saumuimeda5181 3 роки тому +20

    Subhanalllah😭😭😭 Kaka Zahir wema wako utakupoza sasa mrudishen kwako yasije kuwa makubwa zaidi ya hapo

  • @aishafeysal9630
    @aishafeysal9630 3 роки тому +1

    Pole sana kaka zahir ,kwamtihani watu kama hawa nivigumu sana kuacha tena sana chamsingi mludishe kwao uachane nae kama ataludi atajua mwenyewe

  • @MrTouch-rm4rh
    @MrTouch-rm4rh 3 роки тому +4

    Dah zahir mwanangu unamoyo sana Allah aku blessing sana

  • @nasseradel9784
    @nasseradel9784 3 роки тому +40

    Kaka zahiri saidia wagonjwa achana na hawa

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +4

    Yale yale ya tumaini😂😂😂😂😂😂 Pole sana Kaka Zahir kwa mitihani mpka utumbo unaniuma huyu mma wa Buguruni kaloga ili mgombane kikubwa achananae aendelee kusambaza huyu bint ni mkosi atakuletea matatizo makubwa sana na atasababisha watu wengine wasisaidiwe

    • @judithmwambe4767
      @judithmwambe4767 3 роки тому

      Sure kipo kitu kafanya yule mama, Mungu wangu nisamehe

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 роки тому

      @@judithmwambe4767 hii kitu aoiiandaa yule mama ili aje afanye hii kitu watu wapate kuamini huu ndo ukweli

    • @marryamkhamad8800
      @marryamkhamad8800 3 роки тому

      Uchawii upo jaman sio bure

  • @abduibrahim7363
    @abduibrahim7363 3 роки тому +4

    SUBHAANAALLAH ,zairi uyo mrudishe kwao uyo kwa wazazi wake ili wajue

  • @shababygirlshambuwa8388
    @shababygirlshambuwa8388 3 роки тому +1

    Daaahhhhh subhana llah kaka zahir mrudishe kwao ili akija kupata tatizo atajijua mwenyewe kuliko kuja kupata matatizo kwenye mikono yako. ..kweli kunguru Hafugiki ...

  • @aminabakari2598
    @aminabakari2598 3 роки тому +50

    Kaka kabra ujampeleka kwao muandikishane polisi kisha mpelekeni kwao mwanza

  • @bupeisaya4414
    @bupeisaya4414 3 роки тому +10

    Kaka zahiri msameheni tuu baba angu,pengine yule Mama kafanya yake jamani mko vitani zahir .Mungu akusaidie sana bro

    • @ayshameme4856
      @ayshameme4856 3 роки тому

      Yap anaweza uchawi mbayAaa mhm ampeleke kwao

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 3 роки тому

      Hapana atamsababishia matatizo zahir

    • @severajackson3584
      @severajackson3584 3 роки тому

      Nikweli eti sizani Kama yuko sawa

    • @idifonceshizle
      @idifonceshizle 3 роки тому +1

      Ni kweli hapa ni uchawi uwenda umefanyika dhahir bora amludishe tu kwao maana hyo ni vita ya fadina

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 роки тому

    Pole wafadhili .vita yenu isiwe ya nyama na damu iwe ya roho wale wabaya . Mungu awaruzuku kwa kazi yenu njema amina

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 роки тому

    Subhannallah hadi moyo umenienda mbio walah uwiiii
    Jmn umesababisha kaka Zahir kaingia matatizoni leo umeregea tena subhannallah ungetumikia tu hiko kifungo miez 6 si mingi maan hulali kule dahhh pole sana kaka yng ulipomsaidia mungu atakulipa

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 роки тому +11

    Ndio maana alilazimisha apate chumba chake ili afanye hayo mambo yake subuhannallah Allah akulinde zahir huo mtihan. Kubwa arud kwao mwanza

  • @smsalama6540
    @smsalama6540 3 роки тому +14

    Hyu mtoto amelogwa hyu mtoto amelogwa na yote hayo anafanyiwa ili asisaidiwe mnamuhukumu bure lakini hana makosa🤝🙏

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 3 роки тому +1

    Hapa iwe mwisho . Huu ni mtihani kweli. Mungu amuongoze yeye na cc. Ameen

    • @elizabethngasala3361
      @elizabethngasala3361 3 роки тому

      Anaitaji maombi pepo limemkaa linampa vishawishi sio yeye msimlaum afanyiwe maombi

  • @saifalhabsi4829
    @saifalhabsi4829 3 роки тому +1

    Dh pole kaka zahri mtihani huo Allah akufanyie wepesi mpeleke kwqo kabisa kama kurudi Dr ataludi mwenyewe

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 3 роки тому +12

    Yaanii Sura inaonekana ya ulevi na madawa yaanii ungakulevya huyo kawa. Kama Ray C enzi zake mh. Ila alipendezaga jamani kwanini karudi eee???

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 роки тому +6

    Hawa akili yake Bado ya kitoto n'a kweli huwenda alipangiwa njama ili wamuharibie uhusiano yake n'a kaka Zahir ila yy hakujua masikini pole dadaangu ogopa mwana damu Hawaaminiki

  • @kumbukamohammed4796
    @kumbukamohammed4796 3 роки тому

    Sawa sawa zahir mnaacha kusaidia watu walemavu wasio jiweza mnasaidia machangudoa walio kubuhuu anaye jiweza sasawa na bado mungu ata kulaani sana bado muwasaidie walemavu mnasaidia maraya hao 😂😂😂😂😂

  • @mashakathomas9992
    @mashakathomas9992 3 роки тому

    Msamehen na mpambane nae kumnusulu huyu alikua kashaangamia ili alud kwenye maisha ya utakatifu inahitajika nguv ya ziada na maombi sana mungu atawalipa hata bibilia imeweka wazi kuwatoa watu jaan/jalalan zaid Mungu akutie nguvu huyu bado shetan anamfatilia

  • @rachelsika9588
    @rachelsika9588 3 роки тому +5

    Pole sana kaka Zahir,,naomba umrudishi kwao,umsaidie Akiwa kwao ,,hilo ndilo wazo langu

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +16

    Waleleleeeeee asara ii lakn mchuge ule shagaz fadina kamroga.lakn zahir tupa uyu hawa atakudhalilisha bure.

  • @caslidajosephat8912
    @caslidajosephat8912 3 роки тому +12

    Zahiri natamani uwe mume wangu nakupenda moyo wako wa tofauti sana.

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 3 роки тому +14

    Duuu hawa jamani upendwejwe wew daah mtihani wallah kka zahir pole sana tena hawa umenenepa

  • @priscakomba2786
    @priscakomba2786 3 роки тому +11

    Pole Zahir Mungu akutetee

  • @veronicavenance6264
    @veronicavenance6264 3 роки тому +2

    SubhanaAllah wee 😢😢😢 hawa jaman khaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌kaka zahir mrudishe tuu kwao

    • @mozaally4209
      @mozaally4209 2 роки тому

      Mtusaidie na Ss mitaji jamani kuliko hao walevi

  • @ramadhanideu6444
    @ramadhanideu6444 3 роки тому +3

    Zahir ww ni kidume wallah Allah akukutanishe na wema waliotangulia awasameh wazaz wko

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 3 роки тому +13

    Yaani inakela Sana , huyo asaidiki ,braza zahir Naomba ukae hata mwaka kaka upumzike maana hao unao wasaidia watakukondesha na utashinda kufanya mambo ya msingi.

  • @tatukachingwe7451
    @tatukachingwe7451 3 роки тому +20

    Pole sn tm maximum, Zahir naomba umrudishe hawa kwao, asijekuwaletea matatizo zaidi,,,

  • @witnessariro5062
    @witnessariro5062 3 роки тому +4

    Pole sana zahir hawa umemsaidia lakini asaidiki huyo mrudishe kwao asije akakuletea matatizo

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 3 роки тому

    SubhanaAllah nakuonea huruma Zahir huyo c mtu wa kudili name kabisaa atakuweka pabaya achana naye kakusababishia mpka kuwa na kesi kwa akjili yake duh inasikitisha😇

  • @agnessherman2926
    @agnessherman2926 3 роки тому +15

    Kwa akili zangu,zahir ungemkuta hawa mochwari,kwa matusi aliokuwa anatukana hao majirani,hao majirani ni wavumilivu,nasikia hasira,nasikia hasira

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 3 роки тому +43

    kunguru hafugiki rudisha kwao kaka Zahir

  • @sofiasofia7557
    @sofiasofia7557 3 роки тому +2

    Subhanallah mtihani sana Allah akupe subra kakaang

  • @zainabumsafir1182
    @zainabumsafir1182 3 роки тому

    Pole sana kaka zahir hyo mludishe kwao atakuumiza kichwa amebadilika sana akuna kutia huruma hyo mpumbavu sna watu wanatafuta msaada awapat

  • @bimkubwaothman3726
    @bimkubwaothman3726 3 роки тому +42

    Zahir umrudishe kwao uyo asikuletee matatizo

  • @joharinaz5007
    @joharinaz5007 3 роки тому +6

    Zahir unapenda unene😁😁😁pole kwa mtihani kk zahir
    Ila hawa mdogo wangu mtu anajileaga dunia iyi inamafunzo ipo siku utajuta

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 3 роки тому +3

    Aiseeh kwenye miti hakuna wajenzi
    Huyu ana pepo mpelekeni kwenye maombi🙏🏼Mungu anaweza kila kitu

  • @mariamsaidiwandii5258
    @mariamsaidiwandii5258 3 роки тому +3

    SubhanaAllah

    • @zuwenataki9154
      @zuwenataki9154 3 роки тому +1

      Mh jamani nashindwa kuongeya😒😒

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +18

    Huyu ni dada fadina hakuna mtu mwengine dada fadina tu mungu anamuona

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 роки тому +2

      Alafu zahir kama anamgwaya hyo dada fadina..ashukuru kamkuta zahir

    • @jestinamagembe2125
      @jestinamagembe2125 3 роки тому +1

      Itakuwa ni huyo huyo dada wa fadina,ingawa roho ya uchafu bado Hawa anayo,Kaka zahir aachane na huyo bint adili na wagonjwa tu

    • @fatmazola1204
      @fatmazola1204 3 роки тому

      @@jestinamagembe2125 hapo umeongea point adili na wagonjwa tu kuna walemavu kibao wanahitaj msaada

    • @tatumluv6054
      @tatumluv6054 3 роки тому

      Aki tena wanaumwa hawa kusaidiwa ndo wanafanya ivo ili ka zahri asimsaidie jaman lkn hawa usiwe na urafiki na mtu

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 роки тому

      Dhambi kumdhania mtu msikize vizuri kaka Zahir anavyo ongea na isitoshe mtu mlevi sio mwenzako

  • @happycharles7169
    @happycharles7169 3 роки тому +19

    Pole kakangu zahir,cha msingi huyo mrudishe kwako,umemsaidia vya kutosha huyo kashindikana

  • @angelrobert7019
    @angelrobert7019 3 роки тому

    Kaka Zahir naomba nikutie moyo kwamba unapoamua kufanya kaz km hz kubaliana na changamoto piah ,hz ni changamoto zenyewe na pia naamin unaweza kuzihili .Ushauri nimefatilia hp nikaona kuna kamchezo kanachezwa na wale wabaya wako ,ombi naomba umuache Hawa imetosha kumusaidia ,Kuna watu weng sana wenye shida .Kingine mi naomba km huna mchumba mi nipo ,una moyo fulani ivi wa pekee .Just keep going sisi Kama maximum family tunakuombea kwa Mungu akuepushe na kila baya.

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 3 роки тому +6

    Zahir nakusihi huyu hafai, mrudishe kwao, ndo maana alikuwa anang'ang'ania kurudi dar kumbe mshenzi hana fadhila.

  • @yvesntawuyamara1972
    @yvesntawuyamara1972 3 роки тому +3

    Pole sana ndugu yangu Zahir. Nakuomba mpe hawa fursa ya mwisho. Watu kama Hawa waliozowea madawa ya kulevya inakua vigumu kuacha. Mvumilie labda hali yake itabadilika na kuwa nzuri. Kwetu kuna methali inayosema " huwezi kula nyoka na ushindwe kumalizia mkia". Umeshafanya kazi kubwa na ngumu sana kumsaidia hawa. Usivunjiki moyo uwape wabaya na fasi ya kusema. Courage.

    • @bimgenabdulrasool5987
      @bimgenabdulrasool5987 3 роки тому

      Zahir pole lkn mm naona mchezo umechezwa hapo kukuchafulia jina

    • @najmahamisi3251
      @najmahamisi3251 3 роки тому

      Kuna watu wengi wanaitaji msahada huyo ni kahaba na kama mtu kazoea kunogeshwa hawezi kuacha Bora apelekwe kwao maana kwanza alishazikwa huyo

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 Рік тому

      kwer Amsamehe ampe nafasi yamwisho uwenda akabadirika

  • @rosemarymoshi127
    @rosemarymoshi127 3 роки тому +15

    Kaka angu zair pole pamoja na timu yako yote, ungeweza ungemrudisha kwao umkabidhi kwa mama yake alafu we unawe mikono. Maana ukimwacha apa dar akipatikana na matatizo utasakamwa wewe

  • @jenniferfungo2424
    @jenniferfungo2424 3 роки тому

    Pole Sana Kaka Zahir huwa nakufatilia Sana achana nae huyo Kuna watu wengi wanahitaji msaada kwanza Hana shukran mbwa huyo

  • @annamonyo5812
    @annamonyo5812 3 роки тому +1

    Inakatisha tamaa kusaidia watu lwa style hii sasa.pole sana kaka zahir

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 3 роки тому +7

    Subhanallah mtihani huu
    Pole sana zahir

  • @mammyyassie7322
    @mammyyassie7322 3 роки тому

    Rudisha kwa mamake . Huyu anaweza kukupeleka mahakaman akakushtaki. Zahir rudisha huyu binti kwao. Unawe mikono. Pole sana

  • @tatumakwega6170
    @tatumakwega6170 3 роки тому +1

    Subhan Allah,

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 роки тому +18

    SubhanAllah

    • @mwanaidrashid8752
      @mwanaidrashid8752 3 роки тому

      Kaka zair huyo achana naye atakuletea matatizo pengine nijini hilo

  • @davinagodfrey6240
    @davinagodfrey6240 3 роки тому +7

    Daaah...Speechless wallah, pole sana Zahir

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 19 днів тому +1

    😂😂 nacheka kama mazuri etu hawajakubaka eti haujajiangalia asubuh 😂😂

  • @rahmahassan1157
    @rahmahassan1157 3 роки тому

    Kaka zahir anahuruma sana tuzidi kumuombea huyu kaka mwenyez mungu amuepushe na hizi changamoto yarabii

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 3 роки тому +11

    Nimelia hadi natetema jamani hawa mdogowangu unatakanini lakini ama unataka ubebwe vipi😥😥😥😥😭😭😭😭💔💔💔💔💔yaaani hawa hana shukran jamani habebekiii....yaani unatamani kumpiga jamaani

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 роки тому +1

      Anatafuta ugonjwaa hakuna lingine mana kulewaa huko hata utabwakwaa

    • @saitawilson7307
      @saitawilson7307 3 роки тому +1

      😭😭😭😭😭

    • @zainabually2968
      @zainabually2968 3 роки тому +1

      Jmn zahir hahahaha et asubuh hujajiangalia hahaha..walimbaka kustaarabu uwiiiiii

    • @asinakassim1548
      @asinakassim1548 3 роки тому

      @@nurafedrick378 kiukweli huyu hajitakii maishamazuri anabebwa abebeki watu wanatamani sana kupata chance alichokipata kwa maximum tv online...

    • @asinakassim1548
      @asinakassim1548 3 роки тому +1

      @@saitawilson7307 🤝😭😥✅💔💔💔

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 роки тому +11

    Kaka Zahir mrudishe kwawo asikuleteye matatizo 😭😭😭😭