HAWA APIGWA KIPIGO KIKALI NA KUFUKUZWA KWA DADA FADINA |SITAKI KUJIUZA TENA MWILI WANGU NIOKOENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 бер 2021
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому +168

    Waonatamani Yule mama tumkamate tumbinye Kama sisimizi like

    • @Siti_maroneit
      @Siti_maroneit 3 роки тому +5

      Mama yangu anatafuta msichana anateseka sana kama yupo tayari basi niongee na kaka zahir kuliko kuhangaika hangaika tu sio vizuri mtoto wa kike

    • @mwanahamis5487
      @mwanahamis5487 3 роки тому +4

      @@Siti_maroneit bora ndugu utakua umesaidia saaan

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому +1

      @@Siti_maroneit mchukue mana anateseka

    • @mikelinagomezi1766
      @mikelinagomezi1766 3 роки тому +1

      Hizi ni siku za mwisho wangu, Yani ni tatazo. Acha tu

    • @polosbtv8724
      @polosbtv8724 3 роки тому

      Kabisa tena apewe kipondo na yey chakumsaidia maisha . Hana huruma huy mam

  • @nyadundogerald4828
    @nyadundogerald4828 3 роки тому +62

    Jamani huyo mtu akamatwe huwezi kumpiga binadamu mwezio hivi😭😭

  • @mamydady6819
    @mamydady6819 3 роки тому +12

    Subuhanallah yule mama tangu siku ya kwanza roho yangu ilimkataa kabisa, Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema atamlipia binti yetu kwa aliyofanyiwa inshallah

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому +32

    Huyu mama akamatwe hadi polisi alipe hizo hela zote kabisa🌞🙏🇰🇪

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому

      kwani my kenyan blood 🇰🇪🇪🇺

    • @zuhuramuhanga5400
      @zuhuramuhanga5400 3 роки тому

      Nyumba aliyo jenga huyo mama iuzwe hatakama ni boma au kiwanja zirejeshwe pesa mfuko ni kwa wachangiaji ilikilakitu usimamie mwenyewe zahir

  • @fahadfahadmaabadmzee7437
    @fahadfahadmaabadmzee7437 3 роки тому +39

    Hawa Tutakusaidia Kadri Ya Uwezo Wetu Mwenye Mia Mwenye Elfu Tumchamgiye Jamani Ndugu Yetu👏

    • @asiaali1124
      @asiaali1124 3 роки тому

      Uyo mdada mm namtaka JEE nifanye nn zahri na mm niko zanzibar namuomba

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 роки тому

      @@asiaali1124 angalia muendelezo wa nyumba ya bibi utaon no yake kaka zahir

    • @Matildariziki123
      @Matildariziki123 3 роки тому

      Kabisaa nakwambia huyo mama niwakuonyeswa moto

    • @Matildariziki123
      @Matildariziki123 3 роки тому

      @@asiaali1124 hata mm nivile siko kenya but ningemuchukuwa nikae nayy

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 3 роки тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Duniani Kuna vituko

  • @irenegudluck1214
    @irenegudluck1214 3 роки тому +35

    Wewe mama kama unasoma hii’ Mungu yupo kazini kuhusu adhabu yako 😩 dua zetu hazitakuacha Salama 🙏🏻

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +23

    Subhanallah 😭😭😭😭😭 😭😭 pole Sana dada hawa ALLAH akupe shifaa ya haraka 😭😭😭

    • @jestinanicdorf8711
      @jestinanicdorf8711 3 роки тому

      Duh Pole hawa.mie naona asipelekwe kwa Babu na bibi.waacheni wenyewe wamezoana 2 hawa anatakiwa asante maisha yy km yy

  • @isamony58
    @isamony58 3 роки тому +34

    nakosa chskusema huyu dd kwa anayo pitiya natamani mungu cikumoja akuinuwe uwe na kwako😭😭😭😭😭🙏

  • @esthermoraa6648
    @esthermoraa6648 3 роки тому +14

    It's so painful kuona dada mwenzangu anateseka hivi 😭😭😭😭huyo mama ni zaidi ya mchawi kabisa

  • @mpondamedia2416
    @mpondamedia2416 3 роки тому +16

    Bro pamoja na yote hayo huyo mama mchukulie hatua za kisheria asiachwe liwe fundisho kwa wengine JAZAAKA RRAHMAANI KHAYRA

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому

      Ja watu tujechange kumsaidia fadina ajenge nyumba yake yy achukue pesa ajenge nyumba zake tena mbile fadina hana lolote watanzania na tusiwo watazania tulijenyima kuakikisha fadina na mtoto wake tunarudisha furaha kwao na hawapo wenyewe alafu mjanja ale pesa zetu sheria ifutwe huyo mama aturudishee ela zetu mmoja baada ya mmoja

  • @fatumajuma2518
    @fatumajuma2518 3 роки тому +6

    Kaka Zahir nazidikukuombea Mungu ushauri wangu naomba mungu huyu dada akishapona akipataela aende kwa wazazi wake akapatebalakazao ndo ajipange tena inshaallah

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 3 роки тому +11

    Daah, 😭😭😭amakweli watu wanapitia maisha magumu ee Mungu muinue huyu binti, simama nae kwenye kila jaribu analopitia...

    • @aishaukuthymwanachahaya4511
      @aishaukuthymwanachahaya4511 3 роки тому

      Dada nancy weeeeeee acha to mm nikikpa story yng Italia mm nilifukuzwa kwtu n mom wngu mzazi baba nae akaniktaa kbsa ila nksma Mungu ypo pamoja n mm nkaolewa nilipoona masteso yamezdi nkrd hom nilijuta nami nikasimama n Mungu mwanzo mwisho Mpka Sasa fmy wananitafta mnk walisikia mm nko arabun Sijaongea n mtu yyte wa hom sai nko n miaka 9 hko warabuni namshkr mung nmejenga nimenunua shamba fmy hawajui nilko mm tn fmy nzma nakuntkna mm wakiniambia nisiwah krd hom sai nko wananitafta cna time nawao so Ple siz wngu

    • @aishaukuthymwanachahaya4511
      @aishaukuthymwanachahaya4511 3 роки тому

      Allah akupe wepsi ukiona mambo bd ukishapoa to tafts agent usafri fmy watktfta to

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 роки тому +11

    Asalaam aleykum
    kaka,Zahir tunakuombea Dua Allah akuzidishie,na usichoke,wazo langu mpeleke kwa Babu na Bibi,huko atakumakinika,na atakuwa salama zaidi,na ataweza kuwaangalia wazee na wazee watamungalia yeye,na atajifunza sana ukiwa na wakubwa wenye heshima utaheshimika pia,mpeleke kwa Babu na Bibi please,maana utapata kujisitiri pa kulala na kupata chakula mpaka siku mtakapo enda mwanza th:23 march,na baadae mtafutie kitu afanye ili aweze kujiongoza baadae akiona yuko tayari kujiongoza,tumesikitika pia kuona huyo mama anaroho mbaya hafai hata kupata misaada ya Fadina,pesa za fadina zipitie kwako na sio kwake tena,sasa muangalie Hawa zaid

    • @naamohamed1042
      @naamohamed1042 3 роки тому

      Mhhhh fadina nani atamchangia tena na huyo kukaa kwa bibi na babu mtihan unajua wazee wakizeeka mambo yao kama wtt yataka uvumilivu pia kuishi nao

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 роки тому +1

      @@naamohamed1042 wajua kwa huu muda mfupi inafaa akakae kwa babu,maana th:23 Zahir anampeleka Hawa Mwanza kwa wazazi wake

    • @naamohamed1042
      @naamohamed1042 3 роки тому

      @@aairraahseif5648 ohoooo kama muda huo wanaenda sio mbaya akikaa kwa mda

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 роки тому +1

      @@naamohamed1042 yes my dear,pale ni pazuri in'shaallah Allah atamsaidi nae atajikwamua najua Zahir atamsimamia kwa hili,Allah amuwezeshe

  • @mariamdjae9825
    @mariamdjae9825 3 роки тому +9

    Subhanallah Zahir huyo mama mfungulie mashtaka pesa zake zote alochangiwa azitowe na amlipe alivyo mchukua kwenda nae mtwara kumfanyisha kazi bila malipo, na achunguzwe account yake pesa zilochangiwa na wt zote azilipe ni mshenzi sana. Na huyo fadina mwisho atamfukuza kama huyo, tulikuambia Zahir pesa sasa zipitie mikononi kwako.

    • @mamumiyaskitchenvlogs5858
      @mamumiyaskitchenvlogs5858 3 роки тому +1

      Ni kweli dada usemavyo bado Fadena sasa atamfanyia tili amfukuze manake ajua sasa ashapata

    • @umaima-cl2so
      @umaima-cl2so 3 роки тому

      Ni kweli dada yake fadina tapeli anakula hela za hawa na fadina mungu atamlani yule dada tapeli haki ya mtu haipotei kabisa

  • @suleysalim5260
    @suleysalim5260 3 роки тому +1

    Asante sana Kaka Zahir kwa kazi ya ukombozi wa wenye shida. Ubarikiwe wewe na campany yako. Hawa anaumiza lakini tumsaidie.

  • @doggodallas8412
    @doggodallas8412 3 роки тому +2

    Mungu akupe nguvu zahir na wote walioko nyuma yako Kwa kazi munayoifanya kusaidia wasiojiweza.Mungu awajaze Imani na baraka katika kila hatua zenu Inshallah

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +26

    Zahir umeleta ligi kweli kweli Kwa kuwasaidia wanyonge watu wanajinufaisha wao Tu khaa uyo mam siku zake za kufa si nyingi madua yetu yatamzuru

    • @separatebetres5315
      @separatebetres5315 3 роки тому

      Huyo mama atachapwa bakora ya mungu so sio nyingi atafutwe ahojiwe

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 роки тому +13

    Haki mm ningekua karibu huyu Mtoto ninge mchukua akae na mamangu nimfanye mwanangu kabisa. nimpeleke college hata ya tailoring at least anaeza jitegeamea mbele mbele.😢

    • @khadijasayeed3381
      @khadijasayeed3381 3 роки тому +3

      Kama kuna uwezekano msaidie inshaAllah Mungu atakupa

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 3 роки тому +1

      @@khadijasayeed3381 sai niko mbali Sana na siko tz but insha'Allah kidogo changu na mwengine kitasaidia.

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 роки тому +2

    Wallah Yule mama hata sikumdhania unajiendeleza kimaendeleo n mchango wa wenzake insha'Allah Mungu atawalipia Kwa alicho wadhulumu hapa hapa duniani ....inafaa aende hospital pia kisha aende police akamshataki aliyempiga maskini hawa mpole ni ngekuwa karibu ni ngekuchukuwa tukaishi wote Ila simpo karibu mdogo wangu

  • @lailamohamed3238
    @lailamohamed3238 3 роки тому +40

    Zairi mkamateni huyo mama mshenz sana wallah inauma😭

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому +1

      Sanaa

    • @ashnuhu1420
      @ashnuhu1420 3 роки тому +2

      Uyo mama ameshaona watu hawawezi kumfanya kitu kama aliweza kula pesa za fabina unazani atakuwa na moyo wa huruma ukimuona wema kumbe mbaya kam yy hakun mungu anamuona yule mama

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому

      @@credo7837 kweli

    • @credo7837
      @credo7837 3 роки тому

      @@emmamombo7149 yeah

    • @emmamombo7149
      @emmamombo7149 3 роки тому

      @@credo7837 yeah poleni sana

  • @faustinamsilanga6933
    @faustinamsilanga6933 3 роки тому +4

    Kaka Zahiri mie ushauri wangu kwanini asianzushe tuu maisha yake binafsi ? Akipata chumba kimoja aendelee na maisha hata akitengeneza vile vyakula vya uswazi kama vile ulivyomsaidia yule binti mwingine achome hata mihogo maisha yataenda Inshaalaah ! M/Mungu atajalia heri siku yake !!

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 роки тому +5

    Jamani haijuzu hivyo ukisikia haram ndio hiyo dada hataki kuishi Tena kwa mambo mabaya mimi naona bora huyu dada atafutiwe pakuishi jamani Sasa ataenda wapi 😭😭😭💔💔💔💔💔

  • @muniramtika3614
    @muniramtika3614 3 роки тому +4

    Kka zahir naomba ncoment tena. Asikae kwa kina bibi na babu unakumbuka vile umeanza kuwasaidia wandugu walishaanza kujazana hali ya kuwa mwanzo hawakuwa namsaada nao.. Ssa ukimpeleka Hawa akae pale yatazuka mengne🙏🙏

  • @ahlamnasser5703
    @ahlamnasser5703 3 роки тому +1

    You are the best Zahir
    Mungo akuzidishie barka katika maisha yako

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 роки тому +13

    Jamani kule kwa bibi na babu Ata haifai bora akae peke yake tu naona kama babu ataanza maneno 😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @asiahussenn576
      @asiahussenn576 3 роки тому

      Kweli wale watu wazima kukaa nao kazi

    • @ashaali1324
      @ashaali1324 3 роки тому

      Wale ni wazeee hawatoweza kukaaa na msichana huyo atafutiwe kazi afanye ata za majumban au mama tilie ili ajifunze maisha

    • @mariamfaki1166
      @mariamfaki1166 3 роки тому

      Babu anaweza kumtongoza hapo ndo kazi itaanza apangiwe tu chumba afanye biashara zahir uwe unampitia kuona maendeleo yake mpaka atakapokaa sawa

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 роки тому +5

    Pole sana Hawaa
    Huyu angepata mume mwema .vijana alokua anahitaji mke msitirini hawaa.

  • @fatumahramadhani2636
    @fatumahramadhani2636 3 роки тому

    Pole xan unapitia wakt mgumu xan cha muhimu mpelek kwa wazazi wake apate radhi maan wazazi wakimpa baraka ht maisha yake yatakuwa mazuri na Iman hyo na cha pili hyu ashitakiwe kbc maan kuna haki ya hawa ila Mung atamlaan xna kwa dhulum

  • @geofreyjaruo3519
    @geofreyjaruo3519 3 роки тому +1

    mungu akujalie kaka zahir kwa kazi ngumu unayoifanya lakni pia huyo aliyempiga fanya mpango kaka akamatwe huyo aliyempiga

  • @stellah3844
    @stellah3844 3 роки тому +6

    Mm ningekua tz ningemhifadhi kwang kwa hizo siku zilizobaki kabla ya kuondoka kwao dah😭😭😭.

  • @mariabora1596
    @mariabora1596 3 роки тому +12

    Pole bint yangu jamani uyu kijana akamatwe zahir amempigaje hivi jamani

  • @angelhalimatv8258
    @angelhalimatv8258 3 роки тому +2

    Aje, aishi kwangu.mnichek

  • @nurushukrannitajaribukitun2876
    @nurushukrannitajaribukitun2876 3 роки тому +1

    Masikin joo kwangu nitakaa naww pole sana sana namin Allah atakufugulia kilalakher pole sana

  • @faithkavete2967
    @faithkavete2967 3 роки тому +3

    Mimi naonelea aende hio course ya kushona kwa sababu akimaliza atajiajiri. Atakua anapata Mia mbili, Mia Tatu zake pale na maisha inasonga.Hawa yesu akukomboe na akuondolee kila aina ya laana inayokufuata. Nipo Kenya.

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 роки тому +6

    Sasa jaman aiiiiiu😭😭😭😭💔tupunzishini jaman tuwe na utu ata kidogo khaaa😭😭😭💔

  • @twendythomas7072
    @twendythomas7072 3 роки тому +1

    Pole sana mtoto wetu
    Itakuwa vyema akiishi mwenyewe kukaa na watu si rahisi.
    Ila Zahir Mungu Akulinde huu ndio UTUME

  • @veronicapaulo2233
    @veronicapaulo2233 3 роки тому +1

    Pole sana Hawa, Mungu akufungulie milango ya Baraka

  • @MaryamAli-qt4wz
    @MaryamAli-qt4wz 3 роки тому +4

    Huyu mtoto ananigusa sana nikimuangalia anapitia magumu sana ewe mola msaidia huyu mtoto anapitia magumu kuliko umri wake 😓

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +8

    Kwanza nimipole ya rais john pombe Makufuli mungu amrehemu aulaze mwili wake peponi. Masikini huyu mtoto anapata tabu mungu atakulipia inshallah vitu vya haramu havidumu 💔💔💔

    • @ramlkassim2554
      @ramlkassim2554 3 роки тому +1

      Alivo tufanya makufuli haingiyii p

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 3 роки тому

      @@ramlkassim2554 Subhanaallah hakuna anaejuwa hatuwezi kumhukumu kiumbe wowote yule ila mwenyezi mungu tu kila mtu anaubaya wake ilatunaombea kheri mungu atusamehe wanaotangulia mbele ya haki kiwa na sisi nyuma yao amee 🙏🙏🙏

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 3 роки тому

      @@ramlkassim2554 Magufuri kakufanya nini

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 3 роки тому

    Kaka dhahir Asante. Simamia wewe wahitaji wote. Watu wanatamaa Sana. Mbona tunakuamini!. Kumbuka Kazi hiyo amekupa mungu.

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 роки тому +1

    Mungu akubariki zahir

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 роки тому +11

    Yule mama mimi nilimuona tu kama tapel halafu anajifanya analia mbele ya camera

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 роки тому +5

    MUNGu wangu🙄😢😢😢wallah binadamu baadhi yetu tumekuwa na roho gani ?? wapi tunaenda sisi waja

    • @lucyhussein7126
      @lucyhussein7126 3 роки тому

      Yaan hadi nimelia pole mwanangu iko siku utapakwa mafuta vimb yote itakungutwa namungu amina

  • @alisaid5378
    @alisaid5378 3 роки тому +1

    Subhanalla cjawahi kuanhalia kz yko kumbe huyu ndie hawaa

  • @fatumakassim716
    @fatumakassim716 3 роки тому +1

    Daaa nipo mbali jamni ningekuwa tanzania 🇹🇿 ungekuja kukaa nyumbani kwetu huku tunahangaika kutafuta pesa daa inaniuma wallah .fadina kazi anayo ataliwa pesa yake mpaka mwisho waisha yake ila asikate tamaa mungu atakujalia

  • @gaudensiayustini8669
    @gaudensiayustini8669 3 роки тому +7

    Kwa nini fadina tusimtafutie chumba na huyo dada m bane aonyeshe pesa zake yaan mnamwogopa wakati pesa ni za watanzania?

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 3 роки тому +6

    Dah, wallah mmejua kuniliza mimi..

  • @aminasuleiman6402
    @aminasuleiman6402 3 роки тому +1

    Ukistaaajabu ya bibi Amina utayaoona ya dada ake Fadina!kweli hii dunia ina mambo jamaniii!!!

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 роки тому +2

    Subbuhana Allah daah 😭😭😭pole sana habity uyù mma ni shwetwani haswaa

  • @husnaiyasulesh4687
    @husnaiyasulesh4687 3 роки тому +7

    Yan zahir sasahiv mtu akiw nashida mfano huyo Hawa fadin nawengin nibor uweunasimam nao kam wakipat pesa wapange huku mchang unaendelea wanafany biashar kuliko kuwaamin hao watu wanasem wanasaidia kumb wanajinufaish wenyew

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 3 роки тому +5

    Niliwahi ongea kitambo sana kuhusu huyu mama kuwa sio mzuri kwa sababu kila anaemsaidia hataki ajue awe watarudi kwa wazazi wake ...lakini watu wengine waliniinukia kuwa mimi nina roho mbaya ..haya siyametokea live sasa mmejeonea niliyoyasema ..mtu akikoment tafadhali tusimchukie kwa haraka bali tumsikilize ushauri wake.

  • @hadija846
    @hadija846 3 роки тому

    pole sana kipenzi Awa M/mungu yupo nawe wakati wote🙏🏼😍
    Ndugu yangu Zahiri asante sana kwa yote🙏🏼😍Na pole sana kwa kazi

  • @user-nr1bf7iu8z
    @user-nr1bf7iu8z 3 роки тому

    Zahri kaka tafadhali nakuomba usimuache tenahapo muchukue uende naye kwako au umpeleke mahalisalama akisubiri kuchangiwa.anaezakupigwa tena zaidi yahivyo.pole sana mdongo wangu. mungu akupenguvu inshaAllah

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 3 роки тому +5

    😭😭😭😭 kwakweli inauma kama mtoto kike anahitaji stara yarabii Dahhh

  • @zanzibarone-tzonlinetv9934
    @zanzibarone-tzonlinetv9934 3 роки тому +8

    Nashaur broo huyo aliempiga achukuliwe hatua za kisheria hata huyo bibi coz kawazulimu haki zao Hawa na fadina Kaka naomba licmamie hili coz wew ni muandishi na naam in lipo ndani ya uwezo wako hilo

  • @rilkabuya6519
    @rilkabuya6519 3 роки тому +1

    Mm ni mkenya sijui huyu dada ni mpate vipi nikae nae jamani, mungu wangu na kuomba msadie huyu dada

  • @rahmaomary8021
    @rahmaomary8021 3 роки тому +1

    Daaah pole Sana mdogo wangu. Mungu atakulipia

  • @shsjjdjhd9624
    @shsjjdjhd9624 3 роки тому +25

    Jamanii jamanii 😭kazahiri minaomba atafutiwe pasipot jamanii. Atapata furaha uyu ipo siku atakuja kuleta mrejesho akiwa oman

    • @rehemahramadhani3428
      @rehemahramadhani3428 3 роки тому +5

      hata. hata. mm. nakuunga. mkon. kikubwa. ni. uvumiliv. na. subra. ss. wengine. tumepitia. mengi. lkn. asa. iv. familia. zet. wanatuon. watam. kam. asali.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому +2

      unajua ataweza kazi uarabun kuna watu wenye kutaka kweli kazi

    • @shsjjdjhd9624
      @shsjjdjhd9624 3 роки тому +1

      @@rehemahramadhani3428 umeona shogaangu yaan achaaa tu mungu mkubwa yaan

    • @shsjjdjhd9624
      @shsjjdjhd9624 3 роки тому +5

      @@heyumi2340 shogaangu kazi za uku binafsi naona nihizohizo tufanyazo nyumbani kwetu labda changamoto nikukaa mbali na familia yako na mazingira lkn km unauchungu na maisha yote kwa Allah ni mepesi ukiweka subra na dhana nzuri kwa Allah subhanna wataala. Na kujiheshimu. Uaminifu shogaangu uku unatoboa kimaisha

    • @chrismasiakidasi4300
      @chrismasiakidasi4300 3 роки тому +1

      Umeongea kitu kikubwa sana kama wakikuelewa ipo siku watakukumbuka

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +6

    Yaaan nimejawa hasira mpak nacomment kila saa watu wanauzi San dunian hap

  • @azizimpambahi2382
    @azizimpambahi2382 3 роки тому +1

    Pole sana

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 3 роки тому +4

    Misin chakusem jmn dah huy mama akamatwe arudish vitu vyahao walosaidiwa 😭😭😭😭mh laanatulah

  • @isamony58
    @isamony58 3 роки тому +6

    kwahiyo fadina imekula kwake 🙄🙆‍♀️😭🙏🤔yule mm tapeli hawa mungu yupo

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 3 роки тому +3

    Subhana llah pole mdogo wangu hadi jino wamemtoa😭😭😭

  • @khalfanjuma7678
    @khalfanjuma7678 3 роки тому +2

    Kweli mpeleke kwa babu, lakn awe na ujuz wake ambao bdae atatengeneza maisha yake, ila nyumba usisahau kuiandika wakfu kka.... asante

    • @estherponda790
      @estherponda790 3 роки тому

      Pole dadangu mungu atakufungulia milango ya baraka,malipo ni nihapahapa zahir ubarikiwe

  • @floraflora9490
    @floraflora9490 3 роки тому +7

    Hata meno pia ameumia, huyu ni wa hospital akaangaliwe

  • @princesssally3276
    @princesssally3276 3 роки тому +4

    Kaka zahir mm ni bint wa miaka 19 nimeolewa Ila nataman aje niishi nae na kila Mara mkiwez kuja kumuangalia Kama. Yuko salama ni ruksa Kaka zahir

    • @naamohamed1042
      @naamohamed1042 3 роки тому

      Mhhhh yan ww una 19 mwenzio 20 wote bado damu changa mtawezana ????

    • @faudhiasalum7279
      @faudhiasalum7279 3 роки тому

      Mmh hongera kwa kuolewa me 24 bd na nipo kwa warabu hongera sana

    • @princesssally3276
      @princesssally3276 3 роки тому

      @@naamohamed1042 ndioo tutashaurian na hamn wakumpiga mwenzie

    • @princesssally3276
      @princesssally3276 3 роки тому

      @@faudhiasalum7279 thnks s*

    • @naamohamed1042
      @naamohamed1042 3 роки тому

      @@princesssally3276 kufikia jukumu hilo kwa umri wako bado kwanza la sivyo subutu uone nn namaanisha kwanza umeongea tu je umepata ridhaa kwa mumeo au umeamua ww tu binafsi wkt ww mwenyewe upo mikononi kwa mtu utwii sheria za anae kumiliki

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 3 роки тому +2

    Zahir namuomba hawa aje niishi nae,nitamfanya kuwa mdogo wangu,aje nitampa mtaji kidogo afanye biashara yake

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 3 роки тому +1

    Mzur mashaallh pole Sana mdogo wangu

  • @didakalaule7840
    @didakalaule7840 3 роки тому +6

    Yule mama sio mtu mzuri jmn 😭😭😭

  • @rahmamohd4822
    @rahmamohd4822 3 роки тому +4

    Pole mwaya

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 роки тому +2

    Na kama Umefika hat miak 20ukichangiwa Anza maisha yako unaweza Mim nilianza maisha ya kupanga na kujitegemea nikiwa na miak 17 na nikaweza mungu atakubadiki

  • @suzanpatrick9380
    @suzanpatrick9380 3 роки тому +1

    😭😭duuuh poleee mnooo mdogo angu jmn Mwenyez Mungu atakulipia mama

  • @upendoabraham2942
    @upendoabraham2942 3 роки тому +3

    Nimeshindwa kuzuia machozi yangu😭😭😭😭😭 unateseka mdogo angu pole sana

  • @galary8688
    @galary8688 3 роки тому +7

    Maskini akuna siku yenye nmelia kama Leo wallah jaman😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 3 роки тому

      Subhanallah maskin
      Wallahi mpeleke kwa babu zahir

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 3 роки тому +1

    Mumtafutie mume mwenye Imani mumuozeshe

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 3 роки тому +2

    Pole sana mungu tupe roho zahuruma wallah

  • @samiramuhammed4271
    @samiramuhammed4271 3 роки тому +5

    Mungu wangu we hawa 😢😢

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 3 роки тому +10

    Kiukweli km mtaenda kwenye comment zangu za nyuma niliwai kusema yure mama tapeli harafu yupo km wale wa mama wanao Uza wadada

  • @uktyaminahsadalah6074
    @uktyaminahsadalah6074 3 роки тому +1

    Pole sn mdogo wangu mungu atakusaidia imenitoa machozi

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому

    Zahir kakaangu malipo yako kwa Allah, pole sana mdogo wangu.

  • @mwajumakabesha5662
    @mwajumakabesha5662 3 роки тому +4

    Nilikuwa naomba kama itawezekana mumnipe uyo mtoto bila msaada wowote. Ila misihishi tanzania

    • @simplyfay5308
      @simplyfay5308 3 роки тому

      Unaishi wapi mamy

    • @mwajumakabesha5662
      @mwajumakabesha5662 3 роки тому

      @@simplyfay5308 minaishi Uk ila nilikuwa naitajia Akaishi kwetu kama mtoto wa mama yangu mama Anaishi na wa wadogo zangu wawili wote wakiume bado wadogo. Wapo burundi. Ila kama Ataniamini. Atanambia

    • @simplyfay5308
      @simplyfay5308 3 роки тому

      @@mwajumakabesha5662 oh ongea na Zahir

    • @mwajumakabesha5662
      @mwajumakabesha5662 3 роки тому

      @@simplyfay5308 yah nitamtafuta niongee naye

  • @user-eg1dr6so4c
    @user-eg1dr6so4c 3 роки тому +3

    Kuna mdada aliongea kuwa yule mama malaya tu halafu alisema ni Tapeli tu watumkamshambulia vibaya
    Nasubir watu wanje watasemaj kuhysu hili

  • @sofiaally5027
    @sofiaally5027 3 роки тому

    Pole sana hawa..

  • @rajabungatanda630
    @rajabungatanda630 3 роки тому +2

    Tena bint anajieleza kistarabu sana
    Lkn kwanini uyu mama amekua katili kiasi hichi?
    Eee mungu namkumbuka kipenz chetu aliyefunika macho juzi
    Mh.magufuli mambo kama haya ndoalikua anaamua fasta

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +3

    😭😭😭😭😭Aaaa jamani mtoto wake ampige halafu afukuze aa huyo mama tapeli tapeli sana 💔💔💔💔💔

  • @khadijagundumu6210
    @khadijagundumu6210 3 роки тому +4

    Kaka zahir tunakuomba mpeleke kwa wale babu na bibi 🙏🙏🙏🙏 tunakuomba

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому

    Mi ushaur wang uyo kijana akamatwe hawa sending kushtaki police jmn nauyo kijana wake. Mama arudishe pesa zahuy bint nasheria ichkuwe mkondo wake ju yauyu kijana. Pia bint arud kwao kwawazazi wake jmn atakuja kufa kabla yasiku zake 🙌🙌🙌

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 3 роки тому +2

    Maskini pole sana dada yangu natamani ningekuwa karibu ningekuchukuwa uishi na mimi lakini niko mbali sana 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @Official83640
    @Official83640 3 роки тому +4

    Dada tapeli yule Mungu anamuona

  • @florencemlay9333
    @florencemlay9333 3 роки тому +4

    Ila Zahir upate tuzo sasa🙏🙏🙏

  • @brigitelinda550
    @brigitelinda550 3 роки тому +1

    Pole sana hawa

  • @happyzablondaudi1955
    @happyzablondaudi1955 3 роки тому +1

    dàaaah uyo Kaka na mamaake wote wakamatwe washtakiwe jamanii daah mbona wanawake tunateseka ivii

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому +9

    Kaka Zahir nakuomba tu huyo kijana achukuliwe hatua alafu sijui utampeleka wapi akakae au ni kwa akina zawadi,Babu/Bibi kitambo apate kwake au vipi hapo Mungu atasaidia hadi asimame pekee🌞🙏🇰🇪.

    • @fhvbvgkvgc8073
      @fhvbvgkvgc8073 3 роки тому

      Tatizo nyumba ya bibi na babu ni ndogo.

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 3 роки тому

      Maskin tena anajistiri anapendastara

  • @janemusumba820
    @janemusumba820 3 роки тому +5

    Huyu mama ni mkora mwenye ako na fadina

  • @asaa3219
    @asaa3219 3 роки тому +1

    Maskini Hawa mungu Yuu pamoja nawe usife moyo ,,,,, kaka zahir🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏mungu aendelee kukpa nguvu na moyo ,,,,, ananitoa machozi😭😭😭😭😭 huyu binti

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 роки тому

    Duh pole sana dadangu Mungu atakusaidia utatoboa tu, yule mama ni tapeli sana

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 роки тому +6

    Jaman hawa hana mama kwani si arudi mtwara shida gani hii mtihani huu😭😭😭😭💔

    • @naamohamed1042
      @naamohamed1042 3 роки тому +1

      Kwao mwanza sio mtwara

    • @sulemohd4812
      @sulemohd4812 3 роки тому +4

      Kuanzia leo hakuna kupewa mtu pesa alienashida .shika wewe pesa zahir

    • @nornooo7225
      @nornooo7225 3 роки тому

      @@sulemohd4812 watamkaba wampole pesa zote na akiileta zengwe wanaweza kumuondoa uhai maana binaadamu waleo ni changamoto Sana.

  • @allahakbar6498
    @allahakbar6498 3 роки тому +1

    Kweli kabisaa kaka dhahir mpeleke kule kwa Babu akaishi nawo awe anawasaidiya kule hatinyanyasika babu na bibi wazuri Ila unanitiya uchungu dada yangu Ila Allah yupo pamoja na wewe usijal my from burundi

  • @ashamasoud969
    @ashamasoud969 3 роки тому +1

    Dah subhanallah ningekuwa tz ningemchukua

  • @naamohamed1042
    @naamohamed1042 3 роки тому +3

    Zahir huyo akirudi kule kaisha mana hapo tyr kuna vitu kashaviweka wazi na pia afanye mpango arudii kwao kwa wazaz akapate baraka hata kama wamekufa aende tu nyumban lkn kwa sasa ataangaika sana bora aende kwao hata akitaka kurud kufanya kaz dar lkn alishaonana na ndugu zake

  • @chizifresh6133
    @chizifresh6133 3 роки тому +3

    Iyo kijana afungwe 😭😭😭🇰🇪