MAMA SABRINA AJITOKEZA |AMWAGA PICHA ZA NDOA YA MWANAE |ATEMA CHECHE |MAZITO BALAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 кві 2022
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

КОМЕНТАРІ • 839

  • @maximumtvonline
    @maximumtvonline  2 роки тому +10

    chat.whatsapp.com/HN3h2cmMUucGq6438nYZGj
    JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP

    • @richardelias6003
      @richardelias6003 2 роки тому +1

      huyu mwanamke amelipywa na muungu inaonekana alimkosea mumewake wa mwazo na kumzara kwa sababu kuwa nimasini ila hayo ndio malipo yake

    • @swaumumwanalia7054
      @swaumumwanalia7054 2 роки тому +1

      Nimechukia sana huyu kaka

    • @user-le9lb8oc8d
      @user-le9lb8oc8d 2 роки тому

      @@swaumumwanalia7054 huyu kama kipo anachokitafta n mwanaume mastarab sana akiongea maneno mazuri matandaoni na kuwateka wanawake na kukingia mkeenge 😂 looh

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому +106

    Mama ana busara sana ila sikuizi maisha yamebadirika ukiona mwanao anateseka chukua mwanao maana ukichelewa utachukua maiti ndoa atapata kwengine

    • @mohamedelzobery7194
      @mohamedelzobery7194 2 роки тому +3

      Hakika fety umenena jmn using'ang'anie ndoa maana kama mtu alikutamani utamwona tu mambo yake

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 2 роки тому +1

      @@mohamedelzobery7194 Hutu kaka amekera sana wala sio shekh mdhalilishaji mmoja tu huyu

    • @mohamedelzobery7194
      @mohamedelzobery7194 2 роки тому +2

      Hakika huu ni uzalilishaji wa wanawake tu nasi vinginevyo

    • @rahmaa1573
      @rahmaa1573 2 роки тому +1

      Jamani hongera sana wewe mama Ila uyo mwanaume haaaahaa nishidaaa

    • @allymsimbe3122
      @allymsimbe3122 2 роки тому

      Sana

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 2 роки тому +80

    Mama Sabrina yuko sawa sawa kabisa tena anabusara sana jamani.yani anafaa kua mamamkwe bora.nimempenda sana sana mama mwenye busara zake mungu akubaliki sana sana

  • @hazimamohammed1340
    @hazimamohammed1340 2 роки тому +57

    Mama Sabrina nimekupenda buree..wewe ni mama bora..ni mama wa kupigiwa mfano. ni mama honest kwa kweli umetawaliwa na busara mama maashaaAllah 👌

  • @mirryamabubakar3305
    @mirryamabubakar3305 2 роки тому +30

    Bado mdogo Sana tafuta maisha utapata mume bora

  • @balozibalozi4483
    @balozibalozi4483 2 роки тому +15

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah mama anajua ana khekima ana hofu ya Allah naskia raha kumsikiliza hata SABRINA nimempenda kwakweli atulie awe na subra amsikilize sana mama!!!

  • @kuruthumrajabu2394
    @kuruthumrajabu2394 2 роки тому +28

    Mashaalah nimekupenda kwa busara zako mamii

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 2 роки тому +26

    safi sabrina umefanya vizuri kuwasaidia akina Diva na wengine kunyamaza sio vizuri kuanikwa ndio mpango mzima😃

  • @nellyrhn5369
    @nellyrhn5369 2 роки тому +7

    Miaka 22 bado mdogo sana ashukuru Allah kwakumuondolea ilo tapeli wawanawake andelee na maisha yake miaka bado Kwakweli ❤️😓😓😓

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 2 роки тому +9

    Mash Allah I'm a mum but she a very good woman God bless her ameen 🙏

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому +36

    Dah!Mungu anakuona wewe kaka mganga wallah atajibu kilio chahuyu binti(KARMA)ogopa sana hiikitu

  • @rajeep-ni7lh
    @rajeep-ni7lh 2 роки тому +11

    You are very good woman InshaAllah every becomes alright InshaAllah❤❤❤❤❤❤

  • @hadraomar9762
    @hadraomar9762 2 роки тому +12

    Huyu Abdulrazak ni tapeli wa maneno mimi nilikuwa najua wake zake wana raha tupu, kumbe mweee, mama sabrina na sabrina mlichofanya ni vizuri sana matapeli kama hawa lazima tuwajue

    • @halimasaid4977
      @halimasaid4977 2 роки тому +2

      Hata wametufumbua macho hata mie nilijua huyu abduli ni mtu sahihi hadi nilimtamani kumbe balaa tupu ya raby tusaidie

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d 2 роки тому +14

    Muda si mwingi tunasuburi ya diva atatendwa tuu mi niko hapa huyu kaka ajirekebishe na haya 😭 dah inauma ila mama anabusara sanaa🥰

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 2 роки тому +27

    Nimempenda mama sabrina Masha Allah

  • @saniaidrisa3920
    @saniaidrisa3920 2 роки тому +18

    Wanawake plz tutafuteni pesa zetu wenyewe usitegemee ndoa ndio chanzo Cha wewe kuwa na furaha na maisha mazuri kwa kutegemea pesa ya mwanaume,dunia imebadilika jamani furaha inatengenezwa na nguvu zako mwenyewe Trust me asilimia 75 ya wanawake wanaopambana hawaumiii Sana wakiachwa

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 роки тому +15

    Natamani Mama ake Sabrina awe Mama angu Pia.. Mwanamke wa Shoka😮😮

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 2 роки тому

      @@fatmahashimu1487 muulize vzr mie sipendi mtu asema ivyo wallah kama unamkataa mama yako vile

    • @eashaeasha9776
      @eashaeasha9776 2 роки тому +1

      @@fatmahashimu1487 angesema tu huyu mama MashaAllah nimempenda lakini mwezetu kapitiliza maneno

  • @wardahrasheed3947
    @wardahrasheed3947 2 роки тому +4

    Allah akujalie umri mama hongera maongezi ya busara saut nziri Masha Allah

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 роки тому +7

    Mkombozi wa mwanake ni kipato chake, mijegejoo ipo tu ukiwa na pesa wanaumee wapo tu na hawatakubabaishaa!

  • @hadraomar9762
    @hadraomar9762 2 роки тому +39

    Mambo ya wanawake kunyamaza yamepitwa na wakati hili liwe funzo kwa wasichana wanaomsikiza huyu jamaa anajiita Doctor love! Ukweli utoke tu hamna kukaa kimya tuko 2022 WOMEN POWER

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 2 роки тому +2

      Nimeipenda hiyo hatar

    • @user-le9lb8oc8d
      @user-le9lb8oc8d 2 роки тому +2

      Kweli huyu jamaaa tapeli wa maneno sana kudanganya wanawake na kuingia kwake rahic na kuwatenda mabaya mjinga sana

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому +1

      @@user-le9lb8oc8d tna tapeli na watu wanavyodanganyika bs heee.

    • @user-le9lb8oc8d
      @user-le9lb8oc8d 2 роки тому +1

      @@malak-lz6kx Tunasubir DiVa Nate mud a s mwingi aki anaongeaga kama mwanaume kweli kumbe zero

    • @devothaignatus5911
      @devothaignatus5911 2 роки тому +4

      Lijitu litapeli

  • @seinabelimi2296
    @seinabelimi2296 2 роки тому +13

    mashaa Allah mama ni mama hikma ya hali ya juu mola awahifadhi zaid na sabrina mola atampa risk yke kwa wakati sahihi na mtu sahihi atupe sote wake na waume Ammyn🤲🤲

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 2 роки тому +4

    😱😱😱 subhanallah Allah atunusuru 🙏🙏🙏🧕 twapitia mengi San Allah atulinde kwakwel 🙏🙏🙏🙏

  • @merymrema420
    @merymrema420 2 роки тому +4

    Nimekupenda sana mama Sabrina unahekima Sana

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g 2 роки тому +3

    Mashallah 🥰 nilikuwa na hamu ya kumuona mama 💃 maana katika Ile interview ya Awali Yule mume WA Kwanza wa Sabrina nilisikia alikutong*🤦 kumbe mama uko vizuri Mashallah 😘 waoow

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 2 роки тому +22

    Jamani wanaume punguzeni kuchezea watoto wawatu haijuzu wala haimpendezi Mola wetu

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 роки тому +16

    Lo!!!!huyo Diva kakanyaga Mavi, mwanaume bazazi, mnafiki, mwenyezi mungu atamuanika inshaalah

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 роки тому +14

    Kitapeli subhanaallah ,Bora ukope kuliko kuwa tapeli hivyo

  • @user-pn1hb3ej1e
    @user-pn1hb3ej1e 2 роки тому +6

    Masha Allah, mama Sabrina anaongea ukweli mtukupu.

  • @ashuraissak8561
    @ashuraissak8561 2 роки тому +17

    Mashaallah kumbe sabrina ni mrebo kama mamake

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 2 роки тому +1

      Mwanaume anataka tabia sio urembo, ukiwa na tabia chafu utaachika kila siku

  • @zulekhahamad3512
    @zulekhahamad3512 2 роки тому +6

    Uyuuuu ni maaaamaa wa Taifaaaaa kwa kweliiiii......💪

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +16

    Sabrina kaa utulie mlee mtoto Wako usibishane na mwanaume mtandaon tafuta kazi ufanye uendeleze maisha yako achana na wanaume

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +1

      Bora mumwambie asijizalilishe kwani maisha bado yapo tu na Mungu atampa rizki yake kwa kweli hata kama anampenda akaze moyo.Hawa watu wamitandao wanamtumia kupata faida kwao .

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому +1

      @@leokamil6284 umr wake mdogo Angelea mtt Kwanzaa,,,akikua atafutut stara

    • @maryjonh311
      @maryjonh311 2 роки тому +2

      😂😂😂 mtandaoni anajishongondowa kumbe akuna lolote toba nipisheni mie.

    • @dottohamisi9844
      @dottohamisi9844 2 роки тому

      @@maryjonh311 Amina inshallah

  • @halimaabdi4829
    @halimaabdi4829 2 роки тому +1

    SubhanaAllah. Ndoa gani hyo ya mwanamke mjamzito. Ya Rabb tuongoze

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 роки тому +1

    Subhannahllah pole sana Sabrina Allah atujaaliye waume wema.

  • @asiacruiz5165
    @asiacruiz5165 2 роки тому +1

    Mmmmh pole Sana dadangu mamake swabrina ,wa llahi huu mtihani mzito ila Allah atatiya wepesi

  • @dhulkiflali2966
    @dhulkiflali2966 2 роки тому +13

    Ipo hadithi ya mtume s.A.w hapana kupandiza palipo pandikizwa haifai kuolewa mtu na mimba kwa kupatikana uhalali wa kizazi kwenye mirathi na sio kama wanavyosema watu kuwa kww ajili ya mapambo au hina

  • @husnaameen9309
    @husnaameen9309 2 роки тому +19

    Ukimtazama tu yule Kaka utagundua kitu mungu atusaidie wanawake umdhaniae ndiye kumbe siye😄😄akaaaa umetuacha midomo wazi doctor wa mahaba

    • @ruqayyahmohammed3188
      @ruqayyahmohammed3188 2 роки тому +2

      Me sijawahi mkubali hata

    • @joycemmassi5046
      @joycemmassi5046 4 місяці тому

      Ni tapeli sana huyu jamaa ifike mahali aambiwe ukweli au afunguliwe mashtaka

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 2 роки тому +4

    Manshallah mamayetu anabusara 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 роки тому +38

    Yote tisa kumi, wasichana tuacheni tamaa ya ndoa, tusihadaike na ndoa.
    Ndoa jambo la kheri na waeza ishi kwa huzuni for the rest of your life, ndoa sio kitu cha kubahatisha katu.
    When it comes to marriage be wise...
    It's heart, Pole sana swabrina

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 роки тому +3

      Asante maana mimi huwaambia sana watoto wa Kike na hawasikii.Wanafikiria kuolewa ni issue ya maana sana au muhimu sana,mwisho wake ni majuto makubwa.

    • @emmahtamara4542
      @emmahtamara4542 2 роки тому +4

      Tujitume tufanye kaz kwa bidii na tusiwe na tamaa yakuwa tutaolewa na wanaume wenye pesa, ukiwa na pesa zako nakujituma. Den sidhan kma tutachezewa.
      Tusijidanganye na uzuri, eti mimi mzuri nitapata mwanaume mwenye pesa

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому +5

      @@emmahtamara4542 wanajidanganya kuwa ukiwa mweupe unapata mume mwenye pesa ndio wanawake wengi wanajichubuwa .

    • @teddylameck3355
      @teddylameck3355 2 роки тому

      Ameen ubarikiwe

    • @eshialabonita7736
      @eshialabonita7736 2 роки тому +1

      Well Said.

  • @terrychaupole9473
    @terrychaupole9473 2 роки тому +6

    Mama anabusara sanaaa🙏 nimempenda bureee

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 2 роки тому +1

    Hongera cna mma Allah akuzidishie busara maana unataja mema na mabaya yake abduli

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 2 роки тому +18

    Abdul nakuita umemuoa huyo Binti bila kulazimishwa angalia sana uko mbele maisha yako utalipwa maumivu uliompa huyo Binti hapahapa Duniani. Umemdanganya sana kakupenda kwa dhati kwa nini ufanye hivyo?.

  • @fatmahalfatmah4076
    @fatmahalfatmah4076 2 роки тому +12

    Tapeli mkubwa uyo subuna Allah

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 2 роки тому +3

    Mashaallh mama🥰🥰

  • @pillyolsen8377
    @pillyolsen8377 2 роки тому +15

    Kwa hali hii kwakweli diva kaukanyaga mkenge da duniani kuna mambo mungu nipe umli mrefu nijione mambo🤔🫢🤭huyu manaume ni tapeli wa kupindikia na kuwachezea wanawake kwa diva kafata kulelewa kwakweli wacha mimi nijikite kutafuta pesa 🤲👏🙏🏿namshukuru mungu kwa kila kiyu mpaka hapa nilipofikia mungu mwema🙏🏿

    • @adijaniyonkuru9731
      @adijaniyonkuru9731 2 роки тому +1

      Unaweza shangaa Diva akadimu daima.

    • @duhrurhhddhheud8575
      @duhrurhhddhheud8575 2 роки тому +1

      Ila wamekutana Diva chopeko na Abdu Mnofu CHOPEKO&MNOFU

    • @gloryr9497
      @gloryr9497 2 роки тому +1

      Abdul na diva ni pipa na mfuniko, labda watawezana

    • @theblessedone7526
      @theblessedone7526 2 роки тому

      @@duhrurhhddhheud8575 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 2 роки тому

      @@adijaniyonkuru9731 pesa tu ndio itamtuliza lakn mwsho yatakua uchebe na shishi

  • @nicholauspeter9454
    @nicholauspeter9454 2 роки тому +2

    Anaoaga chapchap sijui ana lengo gani

  • @umranim5854
    @umranim5854 2 роки тому +1

    In shallah mungu mkubwa sabrina mungu atakufanyia wepesi na atakupa mume bora yarab 🤲

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 роки тому +33

    Dada Tafuta cha kufanya . Achana na huyo mwanaume. Bahati yako imesha ishia hapo. shukuru Mungu. Songa mbere. Msaada ario kupa wa kulea mimba sio yake pia shukuru Mungu. Fanya kazi uvivu uperekea kulalama kama hiv. Funga mkanda sahau yote piga kazi fanya mambo yako

  • @khadijamussa7727
    @khadijamussa7727 2 роки тому +3

    Yalini Kuta haya tena mimi nimeachwa na mimba ila nimeshukuru TU mungu saii Niko zangu Mombasa naosha vyomba na maisha yangu yanaenda TU poa

    • @zubeidaahmed280
      @zubeidaahmed280 2 роки тому

      Hata mm yamenikuta tu kma ww nilirudi kwetu msa hata nishajifungua mwanangu yuko namwaka sai nimekuja zangu oman kutafuta maisha

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 2 роки тому

      Tuloumizwa tupo wengi na bado tunapambana tunalea watoto na Mungu anatusaidia

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +4

    Nimekupenda sana Mama Sabrina una subra sana na ustaarabu, Allah atampa bint yako Mume anaestahili inshallah 🙏Mackini alipendeza Mashallah, ila Sabrina Mrembo sana Mashallah, Mashallah.

  • @mirryamabubakar3305
    @mirryamabubakar3305 2 роки тому +17

    Mama kijana mashallah mzuri

    • @duhrurhhddhheud8575
      @duhrurhhddhheud8575 2 роки тому +1

      Ndo maana baba wa mtoto wake ali ali ali ali mtong***

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому

      @@duhrurhhddhheud8575 😁😁😁😁

  • @shabashmnoma7351
    @shabashmnoma7351 2 роки тому +25

    Insha Allah mwenyezi mungu amupe wepesi kwa kila jambo mmi inaniuma nitamusaidia pia mtoto mdogo bado

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 2 роки тому

    Masha Allah kumbe Sabrina bado binti ty duu miaka22 Masha Allah

  • @galbyshaban1087
    @galbyshaban1087 2 роки тому

    Subhanallah huyu kaka Allah amuone Instagram aliandika ujumbe mrefu kumkana huyu bint kwamba hajamuoa mbadala wake alikuwa msichana wa kazi tu daah inauma mno na ushahid upo hapo

  • @aminamohd2427
    @aminamohd2427 2 роки тому +3

    Mtihani

  • @talibali478
    @talibali478 2 роки тому

    Mashallah

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 роки тому +24

    Subhanaallah daaaaa umeumbuka kijana

  • @tifaomy527
    @tifaomy527 2 роки тому +13

    Mama MashaALLAH una busara na akili kubwa

  • @wyclefnyangena3664
    @wyclefnyangena3664 2 роки тому +2

    Masha Allah mama sabrina unaongea vizuri

  • @omanigaming6430
    @omanigaming6430 2 роки тому +4

    Mungu kamuepusha sana atapata rizk nyingine

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 2 роки тому +3

    Mama una busara sana, ila mpambanie mwanao akae mbali na huyo kaka hata muweza, mwanao amekosea lakini amesaidia wengi ambao hawamjui wangedanganyika zaidi, mpe moyo mwanao asikate tamaa, atafute kazi ajitegemee, ndoa ni ibada mola atampa mume mwenye kheri na yeye

  • @themembinga3996
    @themembinga3996 2 роки тому

    Maa shaa Allah huyu mama ana busara sana

  • @user-ir3zu9wq1l
    @user-ir3zu9wq1l 4 місяці тому

    Pole

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 роки тому +1

    Jaman hyu dada ambaye ni mama mkwe anabuxara xna❤️❤️

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 2 роки тому +3

    Sabrina achana na uyu kaka vunja ndoa kimwili pia omba Mungu sana avunje kiroho, tafuta shughuli ufanye yaani hasira na uchungu ulionao Wekeza kwenye kazi, mwanao, na mama na jamii uku ukimtanguliza Mungu uone Mungu atakavyokushangaza

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому +7

    Mtihan kumbe huyu kaka ndo yupo hivi duuh mungu amsamehe

  • @moanamessi1749
    @moanamessi1749 2 роки тому +10

    Dada sabrina njoo warabuni mwenzako yalinikuta sahii niko Saudia niko na mtoto 1 nasomesha mwanangu jikaze dada achana na waume msikilize mama

    • @zainabnassoro1109
      @zainabnassoro1109 2 роки тому +2

      Kumbe Saudi Arabia tuko hapa😄😄🙈

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 2 роки тому +1

      Mshono haujamaliza ata miez 5

    • @moanamessi1749
      @moanamessi1749 2 роки тому +1

      Inshaallah akipona mshono ajitahidi hataka kama nikutafuta kazi tu tanzania

    • @prettynayally2177
      @prettynayally2177 2 роки тому +2

      Kabsa time gulf kazi kazi mme kazi akija atakuja na adabu zake

  • @juliethfrancis7799
    @juliethfrancis7799 2 роки тому +13

    Wanawake Wanawake tuna Cha kujifunza hapa,maneno na matendo matamu yasitupumbaze! Tunahitaji hekima katika kuamua hatima yetu hasa ktka mahusiano) ndoa.

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 роки тому +4

    Watoto wetu wakike jamani chunguzeni waume kabla ya kuingia ktk ndoa msivamie tu ndio mwisho km huu jmn unalipata jitu la ovyoo!!!

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +1

    Mtihani sn

  • @swaumumohammed6450
    @swaumumohammed6450 2 роки тому +2

    Mrejee mungu my young sister Allah atakufanyia wepesi duniani na akher atakulipa kwa subra yako nyanyuka simama endeleza maisha yak Allah atakulip yote yatapit mungu atakupa mzuri zaidi yake
    Jiamini haswa kama ni mzuri bado ni mdogo na una nafasi ya kuendleza maisha yake habibty😍😘

  • @zoozzoz9879
    @zoozzoz9879 2 роки тому +1

    Uwiiii...Mganga na diva wameumbuka

  • @nahyamohamedi6430
    @nahyamohamedi6430 2 роки тому +1

    Mama nimempenda sana anataja mema na mabaya ya Abdul

  • @rajykemarkemarrajy9899
    @rajykemarkemarrajy9899 2 роки тому +7

    Jamaa uyo abdully atakua anamatatzo ya akili jaman ushahid wote huo hapo unabisha nn

  • @elinapouljensen9244
    @elinapouljensen9244 2 роки тому

    Watu wamejawa na roho za kishetani humjui yupi ni sahihi kwako m mungu peke ake ndie anaejua sabra akubali tu magumu alopitia na asiruhusu tena uhitaji wa mme umpelekee kufanya maamuzi aya sio kwake tu yanatokea kwa wengi sababu ya uhitaji tunajikuta tunaingia sipo, Ila malipo pia ni apa apa kila mmoja ulipwa Kwa matendo yake, inshallah m mungu atampa mme mwema ataemfaa kwa wkt sahihi sa ivi aachane nao asubiri Yule ambae m mungu anataka kumpa wala asikate tamaa ni Mapito tu

  • @machoshop8761
    @machoshop8761 2 роки тому

    Duuuh nimeumia kweli poleni sana sabrina nzuri alafu anapita changamoto kubwa ajawai kufuraia ndoa, nipo tayari kunsaidia kama dadayangu nipo Mozambique Nampula kama ataitaji msada wowote nipo tayari kunsaidia kwa hali na Mali.

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 роки тому +29

    Ukimuona huko mitandaoni sasa anavyojifanya bazazi wa mahaba, waeza tamani awe mumeo, kumbe balaa tu, tofauti yake na mbwa ni miguu tu.

    • @hemedyawadhi2935
      @hemedyawadhi2935 2 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salmaamiry7674
      @salmaamiry7674 2 роки тому +2

      Kumbuka kila ndege hutua kwenye mti aupendae kiufupi kuomba mungu tu tupate wenye kheri ila hawa viumbe kuwajua mkweli na muongo ni kazi sanaa

    • @Legends_Interviews
      @Legends_Interviews 2 роки тому

      😀😀tapeli

    • @gloryr9497
      @gloryr9497 2 роки тому

      😂😂😂🤸🤸

    • @berthamahangila4462
      @berthamahangila4462 2 роки тому +1

      😅😅😅😅😅😅😅afu hakuna anachojua kwenye mapenzi yule tapeli tu km matapeli wengine

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 2 роки тому +6

    Diva kapelejwa magomeni kwenye Kiplinger's cha mganga wa kienyeji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 2 роки тому

    MashaAllah..mum mthuli thn mwenye hekima

  • @kattemwanambulu9403
    @kattemwanambulu9403 2 роки тому +4

    Fabiani huyo Mama yake sabrina yupo makini sana , na tu smart

  • @hadharaalli5201
    @hadharaalli5201 2 роки тому +8

    Kisheria ya dini haswaa ukiifatilia abduli Hana MKE hata mmoja Kwa sababu mwanamme akiwa na MKE halafu akasema Mimi Sina MKE hapo MKE anakua ameshaa achika tayari kisheria sababu tayari amesha mkana mbele za watu kama alipokuja Kwa kina Sabrina akaulizwa unamke akajibu Sina MKE MKE hapo tayari ameshaa chika anatakiwa Abdull uisome dini kiundani kama ndio tabia Yako ukiona mwanamke mwengine ukamkana mkeo bs jua hapo wake zako wote umeshaa Wacha Kwa kuwakana hivo

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 2 роки тому +2

      noo hapo sio kweli maana mke haachik kwa kumuambia mtu kua huna mke, pili dini inaruhus kuoa mwanamke wa pili au watatu mpaka wa nne ata bila wao kujuana yaan ukaoa kisiri siri maana yakuoa kisiri yaan unaoa mke wapil hajui kua unamke mwingne tayar, NB simtetei uyo Abdul nimeelezea point

  • @istumaimilandu8739
    @istumaimilandu8739 2 роки тому +8

    Mama sablina nimekupenda kwa maelezo yako

    • @aminaamiri7684
      @aminaamiri7684 2 роки тому

      Maa shaa llah,,,mama hyu Allah amhifadh

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому +4

    Huyu Abdul laghai wa maneno , tangu day one tulisema kuwa huyu tapeli kafata umaarufu tu lakini tukaambiwa kuwa tuna choyo kuona Diva kaolewa . Na ile kujiingiza kwa media kupigana mabusu yote ni utapeli na ndio hiyo yalomchongea .
    Sabrina kafanya sawa sawa maana yule jamaa anajifanya msafi wa mapenzi hadi watu walikuwa wanamtamani kuwa naye .

  • @najmaulaya8819
    @najmaulaya8819 2 роки тому +4

    Kwani baba wa mtoto anaswmaje na yuko wapi aty ukiachwa achika omba mungu akupe alie bora kwako

  • @markiolpima9285
    @markiolpima9285 2 роки тому +4

    Acha chezea abduri namsubili diva misheuo nione

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 2 роки тому +11

    Mtihani jamani bora tutafute pesa akuna wanaume sikuizi

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 2 роки тому +5

    Wallah ni hatari kabisa na wanaume

  • @hadijamulleris3734
    @hadijamulleris3734 2 роки тому +13

    Ww mama bora sana kwa mtoto

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +3

    Mashallah mama Sabrina mrembo sana ndio maana yule mkwe wa kwanza akamtongoza waah!!

  • @zeyanaalgheithy6561
    @zeyanaalgheithy6561 2 роки тому +4

    Mambo mengine yanatatuliwa kifamia sio kisocial media mzazi mwenzangu kuwapa watu faida tu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +3

    Ridhik popote mamaa
    Mwambie bint apoze moyo sikuhiz watu wanataka umaarufu na pesaa!!
    Atapate saizie

  • @khadijamussaali9731
    @khadijamussaali9731 2 роки тому

    Hongereni kipindi kipo poa sn na editing imetulia sn

  • @asdasd9253
    @asdasd9253 2 роки тому +3

    Tatizo tunaoana kwakufahamiana hatuoani kwakuojuana duh mwanamme sie lkn nifundisho mungu atusaidie

  • @kuruthummussa3811
    @kuruthummussa3811 2 роки тому +13

    Kiongoz samahah Kama huyu Dada yupo mwenyewe naomba unipe namba nimuoe maana napenda Sana mwanamke aliyeshika din

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 2 роки тому +3

    Sema kimeumana

  • @mwanashambanisalim8569
    @mwanashambanisalim8569 2 роки тому

    Pole sana dear we lane true mistake

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 2 роки тому +5

    Abdul kaumbuka kweupee, aje abishe tena

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 2 роки тому +8

    Yaani abdulrazaq mshenzi sana tunasubiri kilio cha diva 😁😁

    • @jasminyiddysulaiman9807
      @jasminyiddysulaiman9807 2 роки тому +1

      Haki

    • @aishahusseni3352
      @aishahusseni3352 2 роки тому +1

      Uislamu sio kanzu Wala shuka na kilemba uislamu ni kuswali swala tano na kufunga ramadhani kaka hiyo SI muoaji hiyo diva ajiandae dada wewe sio wa kwaza Wala sio wa mwisho jipe moyo utashinda kwanza mzuri alafu mdogo unavyomzungumzia unampa kichea au ulisikia wapi kaburi kuna kaburi la mjane ?uyo akufai ata kidogo

    • @fhyubhhh2881
      @fhyubhhh2881 2 роки тому +1

      Kwa Diva atakoma atanyooshwa mana yule si mtt wa kinyumbani!! Diva ni wa mjini jambazi mwezie

  • @fatmareshed9975
    @fatmareshed9975 2 роки тому

    Allah atakuongozeni

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 2 роки тому +5

    Mama nimekupenda sana❤️❤️ lakini si nasikiaga kuolewa ukiwa na mimba hairuhusiwi kisheria ya dini

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 2 роки тому

      Nawe unapumbaza watu kwano soalikataa akasema haifai ila abdulo kuna shehe kafatilia akasema inafaa

    • @laymashabani832
      @laymashabani832 2 роки тому +4

      @@ukhtyrayyan7884 Hairuhusiwi wanafosi tu

    • @ayshasulaiman5026
      @ayshasulaiman5026 2 роки тому +1

      Hairuhusiwi hawa wanaenda na matamanio yao

    • @laymashabani832
      @laymashabani832 2 роки тому

      @@ayshasulaiman5026 Bora umenisaidia

  • @Atb300
    @Atb300 2 роки тому +4

    Uyu Abdul ni mzalilishaji tu kha!