Ujenzi unaoendea haujakidhi taratibu za ujenzi kiusalama 1. Mafundi hawana safety gear s Kama helmets gloves safety boots n.k 2. Baada ya kufunga mkanda plinth beam ulipaswa kuhakikisha msingi umejazwa kifusi ndo uendelee nakazi za juu ili kuondoa adhali za ajali na ubora kiujenzi wakati wakupandisha boma. Hivyo kazi yako umeifanya kienyeji bila kuzingatia taratibu zakiusalama ktk ujenzi.
Ndugu Zahir ulipokuwa unasimamia ujenzi wa mpakstani sikutegemea kuwa unanambo mazuri kama haya. Uko vizuri sana ngoja nikusanye hela nikutafute.
Asante sana mungu akubariki
Hy yuko swa haibi pesa ya mtu mm mwenyew natak anijengee mwanzo mwisho
Pole sana kwa kudondoka jamani na hongera sana kwa kazi nzuri Mungu akulinde na akuzidishie
Masha allah nipeni na mim ramani bs jamani wengine hatupo tanzania 😢
0753393036
@@maximumtvonline samahan kaka sija elewa
Mashallah mashallah wamekuwa zahir upo vizuri na mafundi yako
Zahiri. Mashallah umenifuraisha walah.
Mm ulinipa nyingine
Mabruuk, iko vizuri sana.
MUNGU hongera Sana Zahir kila la kheri kazi njema barikiwa Sana
Amiin
Pole sana hujaumia lakini sehemu kama hizo chini wekeni tofali ni hatari mutavunja mikono
Maa shaa Allah
😂😂😂 kaka zahir pole pole jamani utakuja kuumia buana 😢na pia pole kwa kudondoka
Asante
Nikwer tunateseka jamani Bora Umejitolea kusu Hili 😢
😂😂😂😂😂alotokea na panga sjui nae anataka kukufyeka😂😂😂dah pole
😂😂😂😂😂😂😂unyanyasaji tena Zahir umenichekesha 😂😂😂
Maeneo gan haya kaka , nimevutiw na hii sehem
Hapa kivule boss
@@maximumtvonline shukran kaka
@@maximumtvonline ivi hamna mapagala maeneo ya huko watu yalo Washindw kanunua
Pole.sana.kaka
Asante sana
Kaka ongela sana
Pole sana
Pole kaka
Pole sana my kaka
Asante my sistaa
Punguza unene 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Nimepungua sana nilikuwa 130 sasahv 90
@@maximumtvonline looo 130 sitembo kabisa wa ngorongoro
😂😂😂😂😂😂tembo et wa gorogoro wawili tena kwa mara moja😂😂😂😂😂 kaka zahiri@@FatumaMamlo-st8pj
Pole.kaka.wapi.hiyo
Pole sanq
pamoja na pole zote hzo ila kilchotangulia ni kicheko, Kwan imekuaje jaman kaka
Ubongee boss
Ujenzi unaoendea haujakidhi taratibu za ujenzi kiusalama
1. Mafundi hawana safety gear s Kama helmets gloves safety boots n.k
2. Baada ya kufunga mkanda plinth beam ulipaswa kuhakikisha msingi umejazwa kifusi ndo uendelee nakazi za juu ili kuondoa adhali za ajali na ubora kiujenzi wakati wakupandisha boma. Hivyo kazi yako umeifanya kienyeji bila kuzingatia taratibu zakiusalama ktk ujenzi.
Pongeza kwanza kwa alipofanya vizuri alafu utiririke kushauri .
Watanzania wazito kupongeza wepesi kukosoa .
Pole jamnani uwiii😂
HONGERA SANA KWA KAZI NZURI
Asante sana
😂😂😂😂😂
kaka zahiri na mie nataka ila nita kitafuta wasap tutaongea vizur kaka naomba uni saidie
😂😂😂
Kaka zahri Mimi nataka mafundi waniezekee bati nirisha jenga
Nichek 0625466848
@@maximumtvonline Inshallah
Zahiri nimecheka pole
Zahir hapo ni sehem
Kivule karibu na mama mpakistan
Amezidi ubonge
😂😂😂
Khaaa
😅😅😅😂😂😂😂
Zahir una namba mbili?
jmn kiwanja huko bei gani
Kaka zahiri nime mmuss railati anaendreaje
Varanda au balaza? Mm ninavyo jua varanda ni sebule😂😂
Daa sehem gni hapo
Kivule huku
Kaka zahir ni bei gn iyo nyumba mm mwenyew nimesumbuka mika 8 sasa sina mafanikio yoyote zaid ya pesa kuliwa tu natama na mm nipate nyumba ya maana 😢
Sorry brother may Allah protect you
Amiin
Kaka Zahir nisanue tu kiwanja napata wapi
Hapa ni kivule..vipo pia mpaka msongola
Uwe unajazamkifusi ndio.kita zopande. Huu ujenzi wako mie huwa siuelewi kiukweli
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂