EXCLUSIVE: Lukamba - Nimezaa Nje/sababu ya kuoa Mke wa pili/Mamaangu kupigwa/iliniuma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 сер 2020
  • #Exclusive #Lukamba #ZamaradiMketema
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 516

  • @babytracy4221
    @babytracy4221 4 роки тому +29

    I must admit this is the best interview I have ever watched the guy is so straight very open en you he never left any doubts on us viewers very mature than even Diamond himself there is no where he said NO COMMENT there no where he said HAYO NI YA KIFAMILIA ZAIDI the guy answered literally everything en I’m his big fan straight away.

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 4 роки тому +21

    Nimecheka, nime enjoy, interview nzuri Lukamba is a funny guy😂😂😂

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 4 роки тому +9

    Dah pole sana lukamba kwa alichopitia mamaako ALLAH akuzidishie imani na akujalie uwapende wake zako na akuzidishie furaha katika maisha yako

  • @aysherkhamis1803
    @aysherkhamis1803 4 роки тому +11

    Daaah hii interview iko bomba sana! Mungu akuongoze Lukamba🔥🔥

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 роки тому +12

    Lukamba anakili sana kuoa ni kawaida watu wanaokushangaa wanawanawake nje ya ndoa zao wamedumu karibu miaka 10 sasa si sawa kuoa ....usirudi nyuma usiskilize maneno ya watu

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 3 роки тому +13

    lukamba nakuombea salama..ila huyu mke mdogo amekuja kufata umaarufu tu kwako....shaur zako

  • @farajawillson6722
    @farajawillson6722 4 роки тому +11

    Sikuwai kujuwa kma lukamba Anaakili hivo☺️His very matured in head

  • @madinakhamisi9350
    @madinakhamisi9350 3 роки тому +8

    Best interview 2020 I like it

  • @jayblessings2492
    @jayblessings2492 4 роки тому +4

    Lukamba Mungu akutangulie katika familia yako, zamaradi I love your humbleness ❤️

  • @mohammadswabir2092
    @mohammadswabir2092 3 роки тому

    Very interesting interview i have ever watched in Bongo world. i like Zamarandi calm and professional as usually. Lukamba knows exactly what he was doing, answering all the questions from Zamaradi in a very professional level and openly without any hesitation. i have watched this interview till the end without getting bored or tired. I have enjoyed every second watching the interview. Kudos

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +4

    Anaenjoy lukamba kuwa wake wawili Ila hongera kwa changamoto

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 роки тому +9

    Zama wewe ni namba moja presenter ubajua hadi unakera

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 роки тому +9

    Kwa mtizamo wangu mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa huyo wa pili kafata ustaa tu

  • @semwandambaza2184
    @semwandambaza2184 3 роки тому +4

    Wanaume siku zote Ni wabinafsi...huwa wanalenga kinachowapa starehe tu bila kujali maumivu wanayoyasababisha kwa mwingine....it's too bad🤔!!!! Yaaani am speechless 👐👐👐👐

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 4 роки тому +10

    He seems too happy when it's come to talk about his second wife

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 роки тому +23

    Bi mdogo wanakujaga na spidi hao lkn baadae mhhh"""""Ngoja niseme Mungu awasimamie.

    • @soniakinywerosonia8129
      @soniakinywerosonia8129 3 роки тому +1

      Upumbavu mtupu umri huo wake wawili ndomana hamuendelei kwajili ya kuendekeza nyenge na tamaa tu nawe bi mdogo umri huo unakaa ukeweza kwa maisha gani aliokuwa nayo huyu mume si uchukuwe talaka yako ende zako

    • @KeKe-vp8nl
      @KeKe-vp8nl 3 роки тому

      @@soniakinywerosonia8129 ushauri mzuri ila umenichekesha kidogo Asante❤️❤️❤️

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 роки тому

      @@soniakinywerosonia8129 jamaniiii akichukua talaka atakuwa hajurikani mweeeeee

  • @fatmasalum9643
    @fatmasalum9643 4 роки тому +5

    He is too smart MashaAllah keep it up.

  • @mehdibaby1621
    @mehdibaby1621 3 роки тому +6

    interview nzuri Sana🥰🇧🇮mi nimke wa pili najifunza kitu Hapo👌

    • @janethkilonzi4260
      @janethkilonzi4260 3 роки тому

      Lazma ujifunze!!

    • @mutwalesylvie7443
      @mutwalesylvie7443 3 роки тому

      Umejifunza nini wakati uyu kijana uwadilifu awazi na wake awaelewani kipato chake pia nikidogo sana

  • @lydiahmartinz925
    @lydiahmartinz925 4 роки тому +4

    Lukash... U r so inteligent n understanding. Life is a jany....U really touched ma heart hunyyy. Buh what can tell u pls don't take advantage of ur bby mama for acomodatng al url stuff (sh*t)..wish u luck in ur marriage. My prayers tho.

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 4 роки тому +6

    Leo wa kwanza kucomment...ndio nasikiliza..nampenda sana Lukamba

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 4 роки тому +3

    Very true Dini play a BIG part..Very good

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda 4 роки тому +2

    Nimefurahi Zamaradi lile tatizo la sauti linerekebishwa nakupata vizuuri sana.
    Hii interview ya Lukamba ilikuwa nzuri sana ila umeipunja. Mwite tena siku nyingine. Natamani stori ya maisha yake ya kazi ingekuwa pana zaidi. Kuna sehemu alipata kuongelea safari zake na boss wake wa sasa na namna alivyoweza kukonect na watu mbalimbali maarufu duniani

  • @gagedamoursarusaru8079
    @gagedamoursarusaru8079 3 роки тому +2

    Lukamba una wisdom ya kushinda umri wako! Much respect kijana wetu!❤️❤️❤️

  • @economistsarafina8085
    @economistsarafina8085 4 роки тому +1

    So matured, interview nzuri Sana Kuna mengi ya kujifunza hapa, mengi Sana, ukiachana na tamaa za wanaume, sometimes we women Ni factor kubwa ya wanaume kutoka nje, Ila pia kwa ndugu zangu waislamu nadhani pia kuwa mtu kuoa mke wa pili, na bado anaendelea kumthamini mke wa kwanza Ni mapenzi tosha Sana maana otherwise angekupa talaka tatu, au anaendelea na uzinzi na kukuletea magonjwa, all in all Lukamba uko matured Sana na nimependa uwazi wako

  • @nouraalaoui4996
    @nouraalaoui4996 4 роки тому +39

    Zama umetusahau, dada wa kazi tunaisubiri sana.

  • @daniellouisbeckford8222
    @daniellouisbeckford8222 4 роки тому +2

    So well spoken Lukamba ✨✨✨✨

  • @sexyblove
    @sexyblove 3 роки тому +6

    Lukamba is very honest person siyo Siri baada ya kusikiliza interview 3 tofauti nimegundua kuwa bi mdogo siyoila let's watch but yo be honest for my opinion the first wife is the one who bring him to be lucky and if she leave him he will be nothing that my own opinion!!!

  • @yannickkajibwami8365
    @yannickkajibwami8365 4 роки тому +1

    This guy!!!amaizing...

  • @neemanelson3001
    @neemanelson3001 4 роки тому +11

    Jaman bmkubwa hawezi akawa na raha kama bimdogo kwanza anahisi labda pengne Mme hana mapenzi nae ilefuraha halisi imepotea kupata ukewenza nishuhuri hasa kwenye umri Kama shuu

  • @rahmaayubu2514
    @rahmaayubu2514 4 роки тому +3

    Uko vzr lukamba na Mwenyenz Mungu azidi kukupa furaha ktk ndoa zako

  • @agneshiza7229
    @agneshiza7229 4 роки тому +12

    Nilichokiona hpa ameshindwa kumuacha mke mkubwa kwa KUWA ameanza nae anaogopa dhambi lkn Mapenzi kwa bi mkubwa hayapo kabisa yapo kwa bi mdogo

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 4 роки тому +8

    Bonge moja ya interview. Hongera Lukamba. Mungu akupe furaha kwenye ndoa zako.

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому +6

    Nimecheka jmn huko mwishon lukamba😂😂😂😂

  • @chantalh2671
    @chantalh2671 4 роки тому +1

    Best interview

  • @officiallee271
    @officiallee271 4 роки тому +14

    Kwann useme sisi wanaume tunapenda hvi na vile ,Kwan wanawake hawapendi kuwa care ???acheni ubinafsi wanaume

    • @mutwalesylvie7443
      @mutwalesylvie7443 3 роки тому

      Kweli kabisa umeongea point

    • @saniaidrisa8229
      @saniaidrisa8229 3 роки тому +1

      Huwa wanajiangalia wao tu hatafuti furaha ya mwenzie anajiangalia yeye tu mwanamke haihitaji care ndo anavomaanisha anasahau kama Mwanamke naye anahitaji kujaliwa.ila all in all hakujawahi kupatikana amani nzr kwa wake wawili ni maumivu tu

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy3431 3 роки тому +1

    Dah! Hii interview nimeipenda Sana Lukamba iko vizuri kwenye kujibu 🤣🤣🤣 na yuko 💪 Ahsante nime jifunza tena upya 🙏

  • @faudhiajuma7340
    @faudhiajuma7340 4 роки тому +11

    Wanawake tujifunze kitu apaminimejifunza mengi Asante lukamba

  • @nazalenapatrick33
    @nazalenapatrick33 4 роки тому +14

    Tunataka dada wa kaz

  • @zulphermbwana7775
    @zulphermbwana7775 4 роки тому +21

    His young but his very matured in head.

  • @nickjuma3937
    @nickjuma3937 4 роки тому +1

    Congrats Da Zamaradi! zile sauti ss hv naona hazisikiki tena!

  • @jovitharutta6534
    @jovitharutta6534 4 роки тому +4

    Matured enough, thou ni mdogo

  • @aishamukandanga272
    @aishamukandanga272 4 роки тому +2

    Dhuuuh nzuri kweli na inamafunzo mazuri saaana

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому +6

    Kweli kabisa DINI NDIO KILA KITU.👍👍👍

  • @tinaedu1363
    @tinaedu1363 3 роки тому +1

    Upo making zamaradi nakupenda sana

  • @germasanguya5671
    @germasanguya5671 4 роки тому +5

    Huyu Nae anapenda Tu Wanawake Ajatulia

  • @rayneybugeraha4717
    @rayneybugeraha4717 3 роки тому +3

    Da zama unajua San interview...honger xana

  • @daniellouisbeckford8222
    @daniellouisbeckford8222 4 роки тому +11

    He can make a perfect presenter too. His voice is top notch.

  • @gracemwaura18
    @gracemwaura18 3 роки тому

    Lots of 💕💕 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tatubadi9010
    @tatubadi9010 4 роки тому +24

    Huo ndo uwanaume lukamba.. Ila utakufa kwa presha nyau ww😂😂😂

    • @stephenyonah8868
      @stephenyonah8868 4 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @maidamhanje5993
      @maidamhanje5993 4 роки тому

      😂😂😂😂😂atakufa kweli kwa presha

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 роки тому +1

      Tatu m oma unanifurahisha ww unavyosema nyau weeeee nimecheka tena kwa sauti huwe amin dahhhh wewee
      🤣🤣🤣🤣

    • @tatubadi9010
      @tatubadi9010 4 роки тому

      @@munaahmed8499 cheka tu ndugu yangu.. Anajifanya anajua kupaingilia 😃😃

    • @tatubadi9010
      @tatubadi9010 4 роки тому

      @@maidamhanje5993 yaan... We acha tu🤣🤣

  • @milkaauma6312
    @milkaauma6312 3 роки тому

    Love you lukamba😂😂😂umenipunga kweli uke mwenza haujasilimu

  • @shaiakhalfan717
    @shaiakhalfan717 3 роки тому

    Da Zama umencheksha et unaenjoy 😍😆

  • @beatricejoseph7695
    @beatricejoseph7695 4 роки тому +3

    Welcome back zama .

  • @rosemwakio2883
    @rosemwakio2883 3 роки тому

    Zamaradi Mketema... uko juu dada, show nzr sana.. Namependa vile Lukamba anajieleza, he looks young bt ana akili sana. Keep it up bro..

  • @mmn7480
    @mmn7480 Рік тому

    Nampenda zama jmni da zma nikuletee zawadi gni nikirudi oman

  • @thisiszai2045
    @thisiszai2045 4 роки тому +9

    Interview nzuri sana 😘
    Nime enjoy sana..

  • @faridataza5616
    @faridataza5616 4 роки тому +11

    Jins nnavyoumia Kama mm ndo mke mkubwa vile

  • @rosepeter415
    @rosepeter415 4 роки тому +1

    Hongera umejitahidi sana

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 3 роки тому

    Nilivyokua namchukulia lukamba sivyo nilivyodhani.daa kweli mungu akusimamie kwa kila jambo na akutunze na wake zako

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +2

    Zamaradi wewe your the best in intev

  • @anniefrankie8110
    @anniefrankie8110 4 роки тому +15

    ZAMA AMECHANGANYIKIWA NA HAELEWI KAMA MIMI...

  • @sarahwilium7763
    @sarahwilium7763 3 роки тому +1

    Yaan. Hii interview Ni bomba Sana dah

  • @zuhuraabiki1103
    @zuhuraabiki1103 4 роки тому +6

    Yaan nimecheka daah nimependa interview yako Lukamba

  • @johndieme6402
    @johndieme6402 4 роки тому

    Hehehe miyesikujuwaLukamba ata wezaowa mungu

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 4 роки тому +7

    Interview tamu zama nimecheka saaana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 3 роки тому

    Uislamu mtamu jamani mmemskia Lukamba anafuata sunna za Bwana Mtume 😘😘😘😘

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому +7

    Mambo yauke weza noma wala Sitamani wali siombi yaje y anikute kbsaaaaa

    • @agnessherman2926
      @agnessherman2926 4 роки тому +1

      Nikivaa kiatu cha mke mkubwa,nahisi maumivu,kweli si rahisi.

  • @jacqekhan231
    @jacqekhan231 4 роки тому +5

    Kiukwel nmejfunza meng mno lukamba unajielewa sana nakuombea heri katka ndoa zako japo n ngum sana kwa shum ipo cku ataelewa nawapenda sana

  • @hildammari52
    @hildammari52 4 роки тому

    Lukamba 😄😄😄😄big up💪

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому +11

    Kila siku mwanaume ni mtoto wa kwanza ndani ya nyumba . Lakini sisi tumekosea, na mwanaume hakemewi, na uke wenza sio uwadui ni amri kutoka kwa Allah anasema ikiwa una uwezo 💕💕💕

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 роки тому +1

      Kweli kabsa sisi ukewenza tunaufanya uadui nauhasana mpaka watoto wetu tunawachangia ugomvi ilhali babayao mmoja

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 роки тому +2

      @@antybabybintrashid2333 Ndio hapo dada sisi wamama ndio tunakuwa wakorofi. Lakini sio wamama wote.mm nashukuru wanangu wanasikizana na wenzao na sisi pia alhamdulillahv

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 роки тому +1

      @@khadijaangore4408 Alhamdhulillah mwenyez mungu azid kuwaongeza

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 роки тому +1

      @Preetty Shemsa no sikubalian na ww kabsa dadangu

    • @rachelbahahazo6362
      @rachelbahahazo6362 4 роки тому

      Peleka uko hayajakukuta

  • @a.856
    @a.856 4 роки тому +3

    🙏

  • @vdhjhdhdhhhd9332
    @vdhjhdhdhhhd9332 4 роки тому +1

    Hongera yotee maisha..Lal nimependa uko muwazi

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 роки тому

    Nime enjoy kbs🤣😁

  • @salmaomari6223
    @salmaomari6223 4 роки тому +1

    Lukamba umeniliza mwisho kabisa pole sana

  • @Royalcakespoint
    @Royalcakespoint 4 роки тому +6

    Huezi ongeza mke sababu mwanamke hana unyenyekevu ..eti umuolee ndio atafanya kila unachohitaji...hilo ni kosa unatakiwa utafute suluhicho la akili ili kumaliza tatizo....ukiamua kuoa ongeza sababu ya huyo mke wa pili umempenda ila isiwe sababu eti unataka kumrekebisha bi mkubwa utakua unafanya makosa makubwa hutaakaa upate amani ya moyo....

    • @saniaidrisa8229
      @saniaidrisa8229 3 роки тому

      Maskini akipata ndg yangu, maana kipindi hana alimuona ana maana Sasa hivi kapata kidogo tu kabadilika

  • @janethkilonzi4260
    @janethkilonzi4260 3 роки тому +3

    Hahahahahahahaha!!!!!duuuh izo stress sitak kabisaaaa

  • @mgesibabere4743
    @mgesibabere4743 4 роки тому +20

    Angefanya kazi atengeneze helaaa, wake wawili hiyo kwio umri huo loooh!!!
    He's just playing na maisha yake.
    Angekuwa na misimamo angeoa tena, wanaume mnalalamika sana wanawake hawafanyi hv na hv nyie mnafanyia nn wake zenu?

    • @asmaafamau8307
      @asmaafamau8307 4 роки тому

      Swadakta

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 роки тому +1

      Kabisa,hatuombi mabaya bahati mbaya katika huko pesa ikamuishia,huyo bumdogo maneno mengi atavumilia kweli

  • @salmashariff3025
    @salmashariff3025 4 роки тому +1

    Nice lukamba

  • @Royalcakespoint
    @Royalcakespoint 4 роки тому +16

    Ninauhakik hiyo tabia ya paka unayosema anayo bi mdogo hata bimkubwa alikua anafanya ...ila ndio mapnzi halisi ya mwanzoni yanavokua.....na hapo bi mdogo lazima afanye hivo na aongezee na vimapenzi vya movie ili anogeshe umuone anakitu special ...ila hicho kitendo cha kwenda polisi teari ushajionea tabia yake halisi uvumilivu hana...na utaendelea kuona mengine mengi....

  • @hadiomary6966
    @hadiomary6966 4 роки тому +2

    Lukamba uko vizurii

  • @cynthiaweinand9986
    @cynthiaweinand9986 4 роки тому +3

    Very mature than his boss

    • @silperaura5283
      @silperaura5283 3 роки тому

      Wacha ujinga diamond mmoja awe na wisdom ya watu wangapi usimlinganishe

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 роки тому +1

    Love u da zama

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 4 роки тому +11

    Napitia ukewenza jamani ni mgumu sana tena sana

    • @subiraomari5908
      @subiraomari5908 4 роки тому +1

      Pole dear

    • @hawamsabaha5356
      @hawamsabaha5356 4 роки тому

      Pole dear

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 4 роки тому

      Hivi had uolewe uke wenza unajua mbaya kias gan jaman mnieleweshe hapa..au unakua rejected kias gan??

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 роки тому

      Na ilo jina ilikuaje

  • @deboralukawe3883
    @deboralukawe3883 4 роки тому +1

    Lukamba is so funny

  • @alaidertolatine4750
    @alaidertolatine4750 3 роки тому +3

    Mimi timu bi mkubwaa 😅😅

    • @neemazee1864
      @neemazee1864 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂Ata mimi

  • @massimilianoraffadali5482
    @massimilianoraffadali5482 4 роки тому +4

    Kumbe Lukamba ni mjinga hivi ngoja nimuache na hili tu mpuuzi huyu

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 роки тому +3

    Sauti iko bomba leo🤗

  • @nesielias317
    @nesielias317 4 роки тому +5

    Amenichekesha Ila nimejifunza vitu vingi

  • @manuellahblessing5734
    @manuellahblessing5734 4 роки тому +2

    Very well said huyo bibi mkubwa anaonekana mjeuri sana sasa she has to lie low and swallow the bitter pill of having a competitor awache kuita mwenzake mchawi akubali alipush the man into the other woman's hand

    • @heyitsazrah6275
      @heyitsazrah6275 4 роки тому

      You know nothing about her nyamaza tu Coz hata wewe na kasoro zako you wouldn’t want a co-wife

    • @manuellahblessing5734
      @manuellahblessing5734 4 роки тому

      @@heyitsazrah6275 I am talking as per the Man's words my dear he said it clearly that she pushed him away mpaka akazaa na mwanamke mwingine before marrying the so called 2nd wife, it's clear the first wife doesn't give him the peace and love he needs if you know her tell her it's too late now she must accept she has a co-wife and stop calling the 2nd wife a witch period!

  • @zaharampaki883
    @zaharampaki883 4 роки тому +1

    Pole lukamba
    Mama ni mama

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 роки тому +3

    Asaalam alykum , hongera sana kaka kila kitu ni uwamuzi na isitoshe ni amri ya Allah . Kwaiyo sio hajabu kaka hata mm Nina kakangu yuko na 34 year na yuko na wawili . HONGERA sana keep going mungu atakupa nguvu 👍👍💗😍

    • @halimaissah2525
      @halimaissah2525 4 роки тому +5

      Nakuombea na ww uolewe mke wa pili au kma umeolewa uongozewe wa pili

    • @mwanaidyibrahimu8861
      @mwanaidyibrahimu8861 4 роки тому

      @@halimaissah2525 Ahahahhaahah

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 роки тому +2

      @@halimaissah2525 Alhamdulillah Ameen mm niko tayari nimepata neema ya mke wa pili. Tuko sawa kabisa alhamdulilah uke wenza ukiwa na imaan ya dini wala haukutii roho mbaya niko vzr dada tumezaa na tunawajukuu pia .

    • @mimiapa8436
      @mimiapa8436 4 роки тому

      @@halimaissah2525 kabisaa

    • @heyitsazrah6275
      @heyitsazrah6275 4 роки тому

      Kama unauweza uke wenza Tulia ila msiba we mwenzako usiufanye sherehe.. Eti keep going 😂😂hivi wanawake kwann mnakuwa hamwafikirii wenzenu..

  • @alinasssor9983
    @alinasssor9983 3 роки тому +1

    Weweee lukambaaaa uyo wapili siku zote atajifanya anaiman

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 4 роки тому +1

    Waooo

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 3 роки тому +3

    Yani huyu Lukamba akiongea mimi nacheka tuu sina mbavu 😃🤣😂

  • @batulimakame7947
    @batulimakame7947 3 роки тому

    Well matured......ni kweli kukosa misingi ya dini ni tatizo kubwa

  • @aishaally1788
    @aishaally1788 4 роки тому +2

    Mi nampenda hana maneno meng

  • @mwanaidiyousup8727
    @mwanaidiyousup8727 4 роки тому +4

    Dada wa Kaz Lin jamn tunaisubr Da zama

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 4 роки тому +1

    Mmmh.... Hongera sna.. Bado 2... Dini..ikamilikeee

    • @beatricetenywa4367
      @beatricetenywa4367 4 роки тому

      Hiv wake 4 ni lazima kutimiza misingi ya kiiman au hata usipokuwa na wake hao ni sawa?

    • @fadhilahaji8719
      @fadhilahaji8719 4 роки тому

      @@beatricetenywa4367 sio lazima ,hata hao 2 pia sio lazima

    • @beatricetenywa4367
      @beatricetenywa4367 4 роки тому

      @@fadhilahaji8719 sawa asantee love

  • @naomioman9794
    @naomioman9794 4 роки тому +2

    Lukamba nioe mke 3 mie😌

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✋

    • @adelaidemunezero2828
      @adelaidemunezero2828 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kama na mimi natamani ilaa inakuja inatakaa🤣🤣🤣

  • @ashumohd2192
    @ashumohd2192 4 роки тому

    Lukamba umenichekeshaa saaana wallah😂😂

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 роки тому

    Lukamba 🔥🔥