INATISHA MTOTO WA MIAKA 5 AINGILIWA MBELE NA NYUMA NA WANAUME WAWILI KWA KUPOKEZANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 тра 2023
  • SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
    kwa Mfano
    1 - WENYE MARADHI
    2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
    3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
    4 - UBAKAJI
    5 - MATUKIO YA KIKATILI
    6 - AJALI
    7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
    8 - WAZEE NA WATOTO
    ___________________________________________________________________________________
    KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
    Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
    Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
    Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 222

  • @agnerapius7244
    @agnerapius7244 Рік тому +28

    Suluhisho ya hayo mambo ingekua mtuhumiwa akikamatwa auliwe moja kwa moja mambo mengi watoto wetu hawapo salama si wa kike wala wa kiume mungu tulindie watoto wetu inauma mno pole sana mama😢😢😢

    • @rayaalhabsi1725
      @rayaalhabsi1725 Рік тому

      Kweli kabisa maneno yako

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому +3

      Wangeuliwa kama wezi vile wanavyo chomwa moto na tairi

    • @shamyally9874
      @shamyally9874 Рік тому +1

      Wawe wanauliwa papo hapo wasiachwe kbx.

    • @kisalaTV
      @kisalaTV Рік тому

      Yani hao wabakaji wangenyongwa bira kusubili😭😭😭

    • @naymaabdallah4919
      @naymaabdallah4919 Рік тому

      Wallah Allah awalaan wote wenye matend kama haya

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Рік тому +12

    Subhanaallah mungu wangu tusitili yaarabi duniani. Binadamu tumegeuka tumekuwa tuna roho mbaya sana hata wanyama wa napendana 😢😢😢😢

  • @WinikimKim-dd6se
    @WinikimKim-dd6se Рік тому +8

    Kma mzazi nimeumia sana Mungu atusaidie wazazi

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +5

    Mama samia umesema huwezi mwenyewe, ila watuhawa wachukuliwe atua na wasipewe dhamana. Hivi vitendo vinakithiri kwa kua wanajua serikali inachukulia poa. Ndo unakuta tunamkumbuka magu .

    • @ashamaneno9819
      @ashamaneno9819 Рік тому +1

      Saahz akuna serikal jaman tuzid tu kuomba mungu nahao watu tukiwajua kikubwa n kuwachoma tu moto ila kwa serikal hakuna. Jaman saahz tunajilea tu wenyewe hapa nchini tunashindwa tu kupigiw la mgambo ila ukwel ndo uwo atusikilizw sisi wanyonge jamani 😭😭😭 kila siku yanatokea. Yeye yuko bize n kutembelea nchi za watu.

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 Рік тому +11

    Kaka Zahir nyoa hicho Kiduku bhana akikupendezi kabisa' ukinyoa kawaida uwa unapenddeza sana kaka

    • @khadijaamiri6629
      @khadijaamiri6629 Рік тому +3

      Tusimpangie maisha tuangalie yetu

    • @salamanauthar5261
      @salamanauthar5261 Рік тому +1

      @@khadijaamiri6629 sio kupangia Maisha ' Ni vizuri' kumueka mwenzio sawa pale unapoona hayupo sawa' kwani nimekose nini kumuambia ivyo???' kwa hiyo kumuambia Ivo ndo nimempangia Maisha?'

    • @khadijarashidy9304
      @khadijarashidy9304 Рік тому +1

      ​@@salamanauthar5261 Wala at hujakosea me hata izo kucha alizo fuga tu sjapenda kwakwel 😂😂😂

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 Рік тому

      ​@@khadijarashidy9304 tokea enzi za fadina nilikuwa nasema zahir kata kucha hizo 😂😂ww km mie

    • @khadijarashidy9304
      @khadijarashidy9304 Рік тому

      @@ruqaiamohammed345 Tatizo Huwa tukimwambia anatuchamba utaskia TULIZANA😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aminaamina9568
    @aminaamina9568 Рік тому +8

    Ao watu wanaofanya ayo mambo wangekua wananyongwa wasinge kua wanarudia Kila siku

  • @aneniamir4787
    @aneniamir4787 Рік тому +3

    Jamani mtuhumiwa auliwe tu serikali pitisha kuliwa hadharani inauma au nawao kuvuliwe wawekwe chupa ili wapate maumivu bila kutibiwa mbaka afe nimeumia Sana Sana makali jamani eeeeee tutauwe jela wanakula wanalala bure mama pole pole pole

  • @ahlamsaeed498
    @ahlamsaeed498 Рік тому +1

    SubhanaAllah.. mtihani mkubwa... ushauri Zahri inavyoenyesha kuwa watoto wengi wanafanyia hiki kitendoz nashauri kutokana na kipindi hiki ungekuwa na mwanasheria kwa maswala ya issues hzi haswa kwa watu wanaopitia kwako..

  • @oman8573
    @oman8573 Рік тому +5

    Wallah nimekosa hata la kuongea pole sana mama angu

  • @fadhilamsagati1337
    @fadhilamsagati1337 Рік тому +4

    sheria ipitishwe watu wakikamatwa hukumu kunyogwa itaisha lakini wana tetewa ndio maana hawaogopi

  • @kunyaobelela4062
    @kunyaobelela4062 Рік тому +2

    Duh jmn, mbona matukio yanakithiri?

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Рік тому +4

    Pole sana mama Viatu vyako avivaliki

  • @user-qs9pr7nn1e
    @user-qs9pr7nn1e Рік тому +5

    Innalilahi waina Lilah ranjouun daah dunia imeharibiki kweli Yaa rabby tulindie watu wetu 😥😥

  • @Mahruqiya
    @Mahruqiya Рік тому +1

    Pole sana mtoto na mama, in shaa Allah mtapata misaada yote mnayohitaji na mtoto utapona in shaa Allah. Wazazi, wazazi, wazazi.... tujifunze kutokana na matukio yanayotokea kwa watoto kila siku. Tusiwatume au kuwaachia watoto kutoka peke yao nje au kuzunguka mitaani, haijalishi ni mtoto wa kike au wa kiume. Matukio haya ni mengi tuwalinde watoto wetu kwa kadri tutakavyoweza. wazazi tuwe makini haswa tunaoishi uswahilini. Haya majanga ni msiba mkubwa. Binadamu wana roho ngumu kuliko hata wanyama, SubhanaAllah

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Рік тому +4

    Inallillah wahinahillah rajiun jamani tuwauweni hawa ni zaid ya payarod police kwanini mnatuweka roho juu wazaxi kwanini kila kukicha watoto wetu wanaharibika 😭😭

  • @user-mc6um1it1r
    @user-mc6um1it1r Рік тому +2

    Pole sana dada angu sijui kwann tanzania tumekuwa na roho mbaya sana

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Рік тому +5

    Mungu Atakulipiya Insha Allah Mbona Wanaume Mnakosa Imani Jameni Duuu Kitendo Cha Ukatiliii Pole Sana Mzazi Mwezangu Mshitakie Mungu Ndie Akimu WA Yote😢😢😢😢

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 Рік тому

    Pole sana mama Allah akupe subra, amiin.
    Mlivyokua mkiangalia channel za Znz mlikua mkipiga sana kelele na kuitupia kila laana Znz na tulikua tukikwambieni kua hv vitendo vimejaa Tnz nzima Ila bara mnavificha tu mlikua mkikaidi. Ssa mmeamua kuvifichua naona mnatufahamu. Mtihani kwa kweli, Allah awahifadhi wtto wote, amiin.

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 Рік тому +3

    Jamani watu Hawa. Wauliwe msiwafunge kizazi kina zidi kuharibika inasikitisha kwa kweli 😢😢😢😢😢😢

  • @s0phiairumba-sw4lb
    @s0phiairumba-sw4lb Рік тому +2

    Duuuh nmechoswa nahaya matukio jaman.....mungu atulindie watt wetu jaman

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 Рік тому +1

    Hasbiya Allah wani'mal wakiil Mwenye Enzi Mungu awa laani wote wanao husika na vitendo vya unyama kama hivyo. Kwa kweli ni lazima wachukuliwe hatuwa kali sana

  • @radegundachambi-gx9gg
    @radegundachambi-gx9gg Рік тому +2

    Wewe Rais ni nwanamke lakini hivi vitu unavisikia lakini kimya sana pangeni sheria wanyongwe wasitoke jer a hii ni aibu ya nchi

  • @happylemboto9103
    @happylemboto9103 Рік тому

    Pole mama mzuri,, Mungu yupo atakutetea

  • @salmahilaly9708
    @salmahilaly9708 Рік тому +2

    Mama Samia pesa unazotoa kwenye mipiri toa na kwa watu km Hawa wanaoteseka hata pesa ya matibabu hawana

  • @latifabande2381
    @latifabande2381 Рік тому +1

    Pole Sana mama wanatakiwa wanyongwe tuu

  • @ahlamsaeed498
    @ahlamsaeed498 Рік тому +1

    Na hao watu wanaohusika familia zao ndo watoe huduma

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 Рік тому +1

    Dah pole dadangu

  • @GraceHizza-lc9zp
    @GraceHizza-lc9zp Рік тому +3

    Haki nimelia. Mungu tusaidie twangamia.

  • @aminaalabri4170
    @aminaalabri4170 Рік тому +1

    Subhana allah serikal mpo wp duh 😢😢😢 hiv tuwaweke wap watto wtu

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 Рік тому +1

    Jamani nimeumia sana pole sana mama pole sana Mwenyezi Mungu amfanyie wepes inshallah 🙏 mtihani mzito huu jamani 😭😭😭😭

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 Рік тому

    Zahir. Mambo haya yamezidi sana. Pole mama

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 Рік тому

    Pole dada angu mungu arakulipia

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 Рік тому

    Inauma sana pole sana, ee mungu tuhurumie sis waja wako

  • @eshamaamun5932
    @eshamaamun5932 Рік тому +1

    Mungu akupe wepesi naomba huyu mama asaidiwe japo atume account number watu wamchangie maana anaputia mazito Mungu atupe moyo tusaidiane jamani haya nimazito mno.

  • @faizafaiza9822
    @faizafaiza9822 Рік тому +1

    Serikali,serikali,serikali.ivi hukmu kali ni ipi ili wasirudiye?Ya ALLAH twayiomba nusra itokayo kwako .

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Рік тому +3

    Inauma sanaaa 😭 wanaume mna nn lkn mbona wadada wamejaa tele jamani

  • @ashuraissa7762
    @ashuraissa7762 Рік тому

    Pole sana dada angu

  • @zawadimhando-3596
    @zawadimhando-3596 Рік тому +2

    Nimeskiza Jana crip za Dr sule kuna mama anaogopa ht kumuacha mtoto wake na baba yake mzazi,maana Dunia imeisha .jamani ndugu zangu turudi kwa Allah

  • @Dafetty
    @Dafetty Рік тому +1

    Subhannallah jaman mbona matatizo haya yamekithili hivyo 😢😢😢 pole sana mama Allah atamuaf

  • @asiaibrahimasiaibrahim5418
    @asiaibrahimasiaibrahim5418 Рік тому

    daah 😭😭😭😭😭😭jamani inauma pole lakini utafkili serikali hamna inauma sanaa duuh Allah tulindie watoto wetu

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 Рік тому +1

    Jamani Mimi mwenyewe nashindwa kuvumilia kabisa Mungu tusaidie

  • @wahidothmanali1531
    @wahidothmanali1531 Рік тому +2

    Wallah nilivtoisikia sauti ya mtoto nikuweza kustahamili nimetumia sana Allah atalipia Kwa uovyo waliomfanyia mtoto wako

  • @Tatafati-uk8vy
    @Tatafati-uk8vy Рік тому +2

    Pole sana sana hakika inauma mno mno 😢😢yani yani pole sana mama

  • @lilianmasaki3596
    @lilianmasaki3596 Рік тому

    Pole sana dada na mwanao.mungu amponye huyo malaika na wahusika wapate wanachostahili

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому +1

    Wanaume mnatia aibu.

  • @fathiyahemed8781
    @fathiyahemed8781 Рік тому

    Pole sana dadangu

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 Рік тому

    Yaani natamani wawe wananyongwa hawa wabakaji wote,inaumiza sana jamani, kweli unaenda kuharibu mtoto wa mwenzio namna hiyo😢😢😢😢,watu wanatisha mnoo,harafu serikali ipo kimya wakati matukio hayo ya ubakaji yamezidi kukidhiri,wangeweka hadhabu ya kunyongwa wangekuwa na mipaka angalau kwa watoto, angalia mtu anabaka mtoto chini ya mwaka na kesho unakutana naye mtaani anaendelea na maisha,mtu km huyo ana haki gani ya kupewa dhamana😢😢😢😢

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому +1

    Wanaume mmepatwa na laana gani? Mna matatizo kweli, sisemi wote nasema wabakaji, wapigaji na wauwaji, na wanaojifanya wanawake. Mna matatizo kweli. Hata kuzaa tunaogopa kwa ajili yenu. Mmeondoa amani kabisaaa nchi. Mnategemea nini hasa mkifa.

  • @tato8979
    @tato8979 Рік тому +3

    Pole sana mama 😢😢😢

  • @hellymdelele2327
    @hellymdelele2327 Рік тому

    pole sana mama

  • @JongooMpendawatu-sl1yb
    @JongooMpendawatu-sl1yb 11 місяців тому

    Pole

  • @ruqayaissa990
    @ruqayaissa990 Рік тому

    Pole sana mamaang

  • @BobgIsmail
    @BobgIsmail 7 місяців тому

    Pole sana dadaangu inauma sana sana

  • @oman8573
    @oman8573 Рік тому +3

    Dunia hii jaman sijui tunaenda wap

  • @ahlamsaeed498
    @ahlamsaeed498 Рік тому

    Hawa watu wauliwe tuu kwa kweli maana saivi wamezidi mnooo SubhanaAllah

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 Рік тому +2

    Dunia imekwisha' Tumuombe MUNGU SANA

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 Рік тому

    Daaaah yni nimeumia kwa kwel pole san mama

  • @user-xh8zt4fr6i
    @user-xh8zt4fr6i Рік тому

    Yarabbi wahifadhi watoto wetu. Walakad ataina lukmana lhikmat anishkurulillah faman yashukru fainnama yashkurulinafsik wamaan kafara fainnallaha ghaniyu lhamiid

  • @user-mc6um1it1r
    @user-mc6um1it1r Рік тому

    Inauma sana jaman

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Рік тому

    Subhanallah

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 Рік тому

    Pole sana mama eeee MUNGU walinde watoto wetu😢🙏

  • @hawasaid2670
    @hawasaid2670 Рік тому +1

    Pole sana mama😭😭😭😭

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Рік тому +2

    Mtihani walah kufanyia unyama huo mungu alani huyo aliyofanyia washenzi hao ni mbwa wakumbwa mungu yupo anawaona😮

    • @priscamboya3091
      @priscamboya3091 Рік тому

      Hapana aisee ..Mungu ingilia kati dah Hawa vijana ni mashetani kabisa

    • @mamibaybii2669
      @mamibaybii2669 Рік тому

      Mm naomba kuwe na sheria mpya mbakaji hukumu yake iwe ni kukatwa nyeti zake ili iwe fundisho kwa wengine

  • @sadaalsheibani7106
    @sadaalsheibani7106 Рік тому

    Kina mama wanalia wala hakuna mtu wa wakuwasikiliza lakini wabakaji na polisi mjue mungu anayaona haya machozi iko siku mungu atatoa adhabu kwa hawa watu mama samia unazisikie sauti kina mama wenzako

  • @annalaizer7142
    @annalaizer7142 Рік тому

    Pole sana mpenzi dooh inauma sana jamani.🙏🙏

  • @vero57
    @vero57 Рік тому +2

    Kwahivyo hii imetokea toka mwaka jana, na huyo kijana bado yuko mtaani ee??? Wazazi mbona mumekaa kimywa siku zote hizi???pole sana mama

    • @ashurakodd1589
      @ashurakodd1589 Рік тому

      Hivi hiyo mambo ukiwa hata wakati umefika lakin siku ya kwanza ni msala sasa hii ya kuingiliwa watoto ni vipi jamani Mungu simama

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +1

    Jamani jamani😭😭😭😭

  • @miishhassn
    @miishhassn Рік тому

    Pole sana😢😢😢😢😢

  • @mwajumamkwaya2408
    @mwajumamkwaya2408 Рік тому

    Innah lillah waina ilaih rajiun hawa watu wawe wanavunjwa nguvu zao za kiume na kufungwa maisha. Wamelaanika

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 Рік тому

    SubhanAllah 😭😭😭

  • @user-eb3sr5wi5v
    @user-eb3sr5wi5v Рік тому

    Jaman hao wazaz wa watuhumiwa hata kufika ,duuuuu,aiseeee hata huruma jaman,eeeeeeee mungu wangu,binadam wa ajabu mnooo,

  • @nolascodismassilayo3927
    @nolascodismassilayo3927 Рік тому

    Inahudhunisha sana mtuhumiwa kama huyu akiingia anga zangu niko tayari kuibeba kesi ya mauaji mchana kweupe inahudhunisha sana tena sana😢😢😢

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому +1

    Wanaume hamna thamani, hata nguruwe bora kuliko nyie.

  • @christinedeuz3707
    @christinedeuz3707 Рік тому

    mama pole sana ila hao watuhumiwa wakhukumiwe kunyongwa bla huruma sheria ifate mkondo wake please hii inaskitisha sana

  • @Yunis-hn9hn
    @Yunis-hn9hn Рік тому +2

    Wazazi chungeni watoto wenu dunia ya leo sio kama ya zamani hakuna usalama .

  • @user-xh8zt4fr6i
    @user-xh8zt4fr6i Рік тому

    JAMANI michangu dowa ilojaa kumumiza Malaika wamungu bilakufkiria astaghfirullah tusaidie mungu wajawako

  • @MaryamAli-rs4rr
    @MaryamAli-rs4rr Рік тому

    Mungu atawalaani watakufa kidogo kidogo hap hap dunian

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 Рік тому +1

    Allah akutie nguvu mama yetu 😢

  • @popobeka-rz2xj
    @popobeka-rz2xj Рік тому

    Subhanallah 😭😭😭 inaniuma san kam mtoto wangu

  • @nuubaby
    @nuubaby Рік тому

    Huyu mama anamdanganywa masking et mpk mtoto apone na haend kufuatilia km yupo ndani au la mh😭,Watamzunguka dah😭😭😭

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому

    Mchozi umenitoka kwa kumwuona huruma mtt kwa ukatili aliofanyiwa
    Mungu atawalipa kwa kitendo alicho mfanyia mtt

  • @Abbychibu
    @Abbychibu Рік тому

    Yaarab stara eeh mungu hali inaenda wap jmn😢😢

  • @ndalusanzekassim5902
    @ndalusanzekassim5902 Рік тому

    Mwenyezimungu atakusimamia inshallah

  • @wariditambi8679
    @wariditambi8679 Рік тому

    Znz yupo kijana nikichaa adi sasa alibaka mtt wa watu wazazi wakasema atuendi polisi ila wamempa adabu iyo anafungwa kamba adi sasa nikichaa aya mambo yanatia asira unamfanyia mtu kitu cha maisha yake ukitegemea serekali utachelewa unamshusha nguvu zote za kiume anakuwa kama dem yanauma bana kila siku mambo ayo tu serekali aifanyi mkwazo itafikia atua tutachukua mamuzi yetu mikononi mwetu

  • @adidjasaidi3369
    @adidjasaidi3369 Рік тому

    Kwanini hawa watu msiwe mnawaua ...acheni mambo yakwenda shtaki police maana hakuna wanachosaidia zaidi yakuwahifadhi tu jela...Mkiua wawili aidha watatu watapunguza ila mkizidi shtaki police wataendeleza huo unyama...ANZISHENI MTINDO WA KUWAUA WAMWAGIWE PERTOLEWACHOMWE police itafika tayari mmesha maliza .

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr Рік тому +1

    Ivi serikali ipoh kweli kwa ukatili huu

  • @zamzamhassan2651
    @zamzamhassan2651 Рік тому

    Jamani nchi hii hapana government wako wapi this is too much 😭😭😭 watu maskini wanaumia 😭😭😭 7 yrs 😭😭😭

  • @estertiffa-ew5id
    @estertiffa-ew5id Рік тому

    Wallah nimekosa neno 😭😭😭😭

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 Рік тому +1

    Hivi Hawawanaume si wauwe TU jamani mbona imezidi

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому +1

    Huyo niwakumkata kivuli tu na kufa Mara moja

  • @christinamwashoma2440
    @christinamwashoma2440 Рік тому

    Mweh kaka zahir kanenepa jmn ad raha

  • @mahekisholia1847
    @mahekisholia1847 Рік тому

    😢😢 😢

  • @aishahassan3517
    @aishahassan3517 Рік тому

    Daaaah😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔

  • @nolascodismassilayo3927
    @nolascodismassilayo3927 Рік тому

    Duuuh roho yangu inatetemeka morarii wa kuuaua umenigusa

  • @skjjsj1889
    @skjjsj1889 Рік тому +1

    Jamani mbona watu wamexidi ukatili kwa wtt

  • @aishamnamba1064
    @aishamnamba1064 Рік тому +1

    Jmn jmn tumogombe mungu mtt wa mika 5 kweli we ba jmn

  • @hawasaid2670
    @hawasaid2670 Рік тому +1

    Innalillah wahinahiIIah rajiun😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому

    Alafu wakienda polic polic nao wanawspiga watoto walobakwa hilo sisawa. Polic waache kuwapiga watoto wawapige wabakaji ikiwezekana wawauwe. Polesana mama Allah hatakulipa. Hi ji dalili yakiyama shweitwani yupokilakona usipomjua Mungu ndiyomtihani

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 Рік тому

    Wanaume wanaume wanaume heeee 🙌

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Jamani mbona kila kukicha mitihani hii duniya ilipo fika tusubiri mwenyezi mungu atuhurumiye maana tunako elekeya ni majanga