TUMAINI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME |AOMBA MSAMAHA KWA ZAHIR KWA HAYA ALIYEMSINGIZIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @luckydubebello1131
    @luckydubebello1131 3 роки тому +9

    Tenda wema nenda zako kaka zahir im frm kenya bt I love u soo much and I love ur job may god bless you 🙏🙏💖 💜 ♥ ❤ 💗

  • @graciousmbise5464
    @graciousmbise5464 3 роки тому +12

    Za hir mm nimesoma comment za watu hap nyingi zanakuvunja moyo ameshaomba msamaha msaide tu kwa ajili ya huy malaika asiyejuwa kitu alichokifanya mama yake kwa kumlea mtot ningumu mtot analia njaa nyonyo hakuna maziwa hakuna uji hakuna huy mtoto atateseka jaman msaidie tu mungu ndiy anayejuwa nin umefanya kwa huy mtoto lakis sio sis wanadamu

  • @mwajumaissa2358
    @mwajumaissa2358 2 роки тому +1

    Subhannallah jaman ubinadamu kazi kweli kweli kk Zahir kuwa na subra na uwe na. Kifua kipana maan kkumbana na mitihani mingi yote hiyo ni kkupima Iman yako mswamehe tu Kwan hajui ayafanyao ss twakuombea mno kk binafsi Nakupenda saan Zahir Allah akuzidishie Hekima, Busara, Ucha Mungu na Imani ktk maisha yako na akujarie husinul khatima njema Yarabb msaidie tu huyo dd na Allah atakulipa kwa Ihisani yako

  • @hubbyemmanuel3267
    @hubbyemmanuel3267 3 роки тому +33

    Msimsaidie uyu hana lolote bahat n mala moja haumwi afanye Kaz 2 atakugeuka tn uyu

    • @christinatarimo6026
      @christinatarimo6026 3 роки тому

      Umeona eee

    • @totooz5853
      @totooz5853 3 роки тому +1

      Kabsaa..sai watu na afya zao awajitumi bda yakujua maximum tv yasaidia watu...hyu c mgonjwa ameze dawa atafute dili zngine

    • @Jessy-f9w
      @Jessy-f9w 3 роки тому

      Kabisa

    • @catherinejumanne9378
      @catherinejumanne9378 3 роки тому

      Sio mgonjwa wa Kulal uzur ameshajifungua salaam afanye kaz bahati haij mara mbili

    • @sikudhanibusanya4585
      @sikudhanibusanya4585 3 роки тому

      Wakiishiwa ndo wanarudi mikono wameweka nyuma na kujifanya wanaomba misamaa na sura zimepooza km wamemwangiwa na maji ya baridi Akisha pata pesa tu zina watia wazimu muone sasaivi jinsi Alivyo mpole kumbe nafisi yake ss

  • @zuushitobe2644
    @zuushitobe2644 3 роки тому +52

    Ana miguu na mikono atafutee biashara afanyee yoyote

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 3 роки тому +2

      Umeongea nilichokiwaza Zahiri angepoteza nguvu Kwa wenye maradhi makubwa

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 3 роки тому

      😁😁😁😁😁😁

    • @shantellemwanakombo3703
      @shantellemwanakombo3703 3 роки тому

      Halafu baadaye wanamchafua kweli jaman🥲

    • @saniajuma5103
      @saniajuma5103 3 роки тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @ziadamsongo2302
      @ziadamsongo2302 3 роки тому +3

      afanye kazi uyo sio mgonjwa afanye kazi alee mtoto dili na wagonjwa wanoteseka na kuumwa hao wazima wanasaidiwa badae wanageuka

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 3 роки тому +22

    Zahir usifanye biashara ya madela aweke genge ili apate muda wa kumtuza mtoto wake

    • @agiasaidi5294
      @agiasaidi5294 3 роки тому +2

      Tena akiwa na akili genge linafaida

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 3 роки тому +4

      Bora hy madela watu hawatanunua mpk wawe na shughuli lkn genge mtu akiwa na njaa atanunua

  • @aminasuleiman6402
    @aminasuleiman6402 3 роки тому +10

    Daaahh!!ila kaka Zahir kwakweli una roho ya hurumaa hongera kaka Allah akuzishidishie Imani zaid ya hapo napia tumsamehe kwali kwa ajili ya mtoto jamanii😢😢😢

    • @nasranasranasriyahay9119
      @nasranasranasriyahay9119 2 роки тому

      Kaka Zahir msameh kwajil ya allah msaidie tu ajui alifanyalo kaa nae ongea nae kaka angu bless kk zahr

    • @fatumajumbe1616
      @fatumajumbe1616 2 роки тому

      Kaka zair sasa hapo tunakuwa na wasiwasi sasa uwo wasiwasi ni wa yule dada ake mjamzito inawezekana alidanganya mwanzo aliyokuwa anaongea ni muongo basi huyo mtt

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +31

    Tunakutakia malezi mapya, akue kwa kumjua Mungu

  • @Zahrazahra-ue7bp
    @Zahrazahra-ue7bp 3 роки тому +22

    Zahri yure mtoto wakiume ariokua anarara nje ariomchukua yure dada anakaanae kasema anamsomesha vipi aureti mrejesho unaereta wa wengine

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 3 роки тому +1

      Wewe ni mtanzania au vp maana kuandika huku vp hiyo ra, kila sehemu khaaa kiswahili kigumu

    • @mariamushi9662
      @mariamushi9662 3 роки тому

      @@niaanthony9588 🤣

    • @OmanOman-ik9sp
      @OmanOman-ik9sp 3 роки тому

      @@niaanthony9588 😂😂😂😂😂

    • @shamzone388
      @shamzone388 3 роки тому +1

      @@niaanthony9588 usimseme kwa ajili ya lugha inategeme ni wengi sana badili ya raaa wanasema laa bora ufaham tu

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 3 роки тому

      @@niaanthony9588 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @khadijaali1168
    @khadijaali1168 3 роки тому +24

    Akatafute kazi mbona afya yake nzuri tu wapo watu wenye maisha magumu na wenye uhitaji zaidi

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 роки тому +21

    Ahsante kaka Zahir kwa kutujali tunaokufuatilia..nilikuomba umlete tuma na umefanya hivyo thank you

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому

      Lakini kaka yangu uyu yuko uzima wote na migu na mikono na afya yoye mtaftie tu mtaji aaze maisha....alafu na wewe usaidie weye uhitaji zaidi

  • @assilaibra4563
    @assilaibra4563 3 роки тому +8

    Mashaa ALLAH,
    ALLAH Akukuzie Mtoto Wako.
    Ila Hawa Watu Sina Imani Nao Kabisa, Nikimfikiria Hawa 🤔 Kua Makin Nao Sana Kaka Zahir.

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 3 роки тому +15

    Yaan kaka zahir katika mabint wote wenye akili ni happy tu me nimeona hawa wengn pesa zinawachanganya na tamaaa

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 роки тому +1

      Happy ni kabinti kanao jitambuwa ajabu yule mkubwa wake afathali akaondoka angefanya kama hao wengine wapenda hela umeongea ukweli dear

    • @sikudhanibusanya4585
      @sikudhanibusanya4585 3 роки тому

      Kabis my happy Anajielewa sana rkn wengine hawa ni viraza tu wakipata pesa wanamuona kk yetu Ana msaada tena kwao

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 3 роки тому +5

    Masha Allah amenenepa Tumaini,Allah amlinde kababy kake.

  • @evalineawary3604
    @evalineawary3604 3 роки тому +23

    Zahir yule mtt uliye mwokota akapelekwa shule, mrejeshoo

  • @zuhuraimran3659
    @zuhuraimran3659 3 роки тому +23

    Kaka zahir nakupenda sanaa kwa ajili ya Allah....lkn kaka zahir msaidie tu na biashara yyte tu

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +7

    Kaka Zahir nae unapenda watu km awo looooh Ukomi kaka dah hongera mama Mtoto

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 3 роки тому +1

      Zahir ana huruma kwa hao watu wa kumchafua

    • @tatotato506
      @tatotato506 3 роки тому

      Watu ndio walikuwa wanaulizakuusu uyu binti

    • @mmn7480
      @mmn7480 3 роки тому

      yani anawapenda

  • @mariamgodfrey53
    @mariamgodfrey53 3 роки тому +9

    Zahir huyo ni hawa kabisa uso mkavu achana nae apambane na hali yake amekutafuta kwa sababu hela imeisha kama huamini ni mshenzi achangiwe tena ndio utamjua yeye nani saidia wagonjwa zahir achana na hao wanaojiuza wakiona maisha yamewashinda wanakuja huku kusumbua watu kiufupi wanakera

    • @mamiyfeiy
      @mamiyfeiy 3 роки тому

      Hakika

    • @sistajoy1
      @sistajoy1 3 роки тому

      Iyo ni kweli kabsa!

    • @skilindaissa5441
      @skilindaissa5441 3 роки тому

      Kabisa

    • @aishawapalila8622
      @aishawapalila8622 Рік тому

      daa uyu mtot ata kwa ndg zake anatatizo mtu umemsaidia alafu ananzaa kuleta mdomo daaa mhhh uyu dada ni mtoto ni mxhenz sana achana nae muache da my umesema kweli

  • @fatmadarweysh2209
    @fatmadarweysh2209 3 роки тому +23

    Msamehe zahir tumsaidie

  • @ashasaid5061
    @ashasaid5061 3 роки тому +30

    TUMPE MTAJI TUU MAISHA YAENDELEE ILA TUKO BUSY NA WAGONJWA JAMANI

    • @husseingonga8331
      @husseingonga8331 3 роки тому +3

      Mimi siafiki hiyo swala ake kushoto mm sijawah kukomement

    • @ashasaid5061
      @ashasaid5061 3 роки тому

      @@husseingonga8331 Hussein Unamuona vipi Tumaini kama hawa au

    • @anifamickidard4555
      @anifamickidard4555 3 роки тому +2

      @@husseingonga8331 naunga mkono hoja haina haja ya kumchangia

    • @fatumayusufu1706
      @fatumayusufu1706 3 роки тому +2

      @@husseingonga8331 kwamaana alichangiwa akapata pesa nyingi na nyingine hakuzitaja kazifanyia nn kwann asifanye biashara

    • @hajramcha30
      @hajramcha30 3 роки тому

      Hapana kumchangiaa amepata pesa nyingi sasa sisi tuna wagonjwa wengi wanahitaji msaada kwetu

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 3 роки тому +11

    Masha Allah kanenepa tumaini

  • @frdausmwawughanga9047
    @frdausmwawughanga9047 3 роки тому +16

    Msamehe Kaka sote nibinadam tunamkosea MOLA anatusamehe hakuna mkamilifu usife moyo Kaka mpe mtaji ajikim namwanae

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd 3 місяці тому

    Dah kakukosea sana ubinadamu kazi sana kakaangu unasaidia sana watu Mungu akubariki sana kakaangu

  • @twocountrieslady6307
    @twocountrieslady6307 3 роки тому +22

    Iko cku na fadina nafsi itamsuta.

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 3 роки тому +5

    Team maximum ilikupenda sn ikakupa nafasi ila umeichezea , pole sn dogo umeshakua na nguvu weka mkaa uuze ulee mtoto wako.

  • @azizamvungi6203
    @azizamvungi6203 3 роки тому +13

    kaka zahiri mungu atakulipa sana.. hata wakikuchafua Allah atakusafisha tu, huoni wanarudi wenyewe

  • @halimaswaheli1495
    @halimaswaheli1495 3 роки тому +2

    Mashallah mungu akukuzie mwanao anahaki yakusaidiwa Haswa kwajili ya mwanae Kaka uyomtoto amfanyie mazoez ya kumwachisha ziwa

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 3 роки тому

    Yaani huyo msichana hajiongezi kabisa ingawa mungu kampa mtihani yaani kuna waschana wadogo wanabusara sana ona happy busara zake mashallah tena mdogo wao sana tumuombee allah ampe ufaham ajitambue atakaeweza amsaidie vile anamtoto atatulia zahir msaidie allah atakulipa kwa yote

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +10

    Mashaa Allah kanenepa 👌

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 3 роки тому +8

    Masha Allah

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 3 роки тому +7

    mashaAllah

  • @thimayrahmuhammad1465
    @thimayrahmuhammad1465 3 роки тому +6

    ZAHIR sio KWA ubaya please huyo mtu Ana afya yake nzur atafute kazi cz alichangiwa pesa Alhmdulillah angeweka akiba akafanya biashara sio wakichangiwa Wana kula pesa Kisha warudi tena NO ZAHIR ajisimamie saa hii please Kuna watu wanashida 😭

    • @habibakhalfan1065
      @habibakhalfan1065 3 роки тому

      Kweli_eti_mtu_akiomba_msamaha_anachangiwA_tena_mimi_natafuta_laki_tu_yabiashara_sijui_,nato_wPi

    • @roseuwambe893
      @roseuwambe893 3 роки тому +1

      Tusha msamehe ila pesa hakuna auze maandazi

  • @naemawadhi4736
    @naemawadhi4736 3 роки тому +21

    Achana nae atakuja akuchafue tena

  • @Nelima1945
    @Nelima1945 3 роки тому +10

    Msaidie mdogo wangu, Zahiri

  • @angelicamanyaga1116
    @angelicamanyaga1116 3 роки тому +2

    Bahati nzuri ameishapata mtaji wa kuchoma maandazi, ajitahidi kuuboresha aendelee na hiyo biashara.
    Kuna wengi sana wa kusaidia wenye shida zaidi.

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому +7

    Hata Fadina atarejea kwa Magoti Malipo ni hapahapa wasicheze na huyo aliye juu 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @agentinamatthew6868
      @agentinamatthew6868 2 роки тому

      Zahri Mungu akubariki kwa huduma unayoifanya Mungu atakulipa usipozimia moyo

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 3 роки тому +24

    Huy ndo Wale Wale wakina hawa kaka Zahid dili na happy tyu

    • @julietmlaki2816
      @julietmlaki2816 3 роки тому +1

      MM NASHAURI KAKA ZAHIRI ACHANA NA HAWA WATU MAANA WANAKUFANYIA MABAYA KILA WAKATI,HANGAIKA NA WAGONJWA WANAOONEKANA WANA UHITAJI.HUYU BADO KIDOGO ANGEKUSABABISHIA KAMA WALE WAKINA THREE NA HAWA MSAMEHE ILA ACHANA NAE UTAKUJA KUJILAUMU KAKA NA SS HATUTAKI TENA UPATWE ULIYOYAPITIA KWA WATU WALE NA KES ZA KIPOLIS BILA SABABU.

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 3 роки тому +2

      Tatizo ana mtoto jamani, tufanye kwa ajili ya mtoto wetu jamani

    • @alodiadiocless3546
      @alodiadiocless3546 3 роки тому

      Tumsaidie jamani kwa ajili ya mtoto

    • @allamki2661
      @allamki2661 3 роки тому +1

      Uyu ni kama hawa

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 роки тому +3

    Mashallhaaa mungu amuwezeshe

  • @Amina-bq2xe
    @Amina-bq2xe 3 роки тому

    Congratulations my young sister! Jitahidi sasa kutulia ulee mwanao .

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому

    Manshallah tuma wangu nilimmis daaaa shukran sna kwa kumleta tuma mungu azidi Kumpa afya

  • @bhatibhati2799
    @bhatibhati2799 3 роки тому +24

    Zahiri msaidie tu maana hajui aritendalo

  • @hamizaramadhan1275
    @hamizaramadhan1275 3 роки тому +12

    Hongera kaka zahiri yupo kama hawa lakini msaidie tena ALLAH atakulipa tu

  • @neemakibasa3425
    @neemakibasa3425 2 роки тому +2

    Kaka zahiri ni ana roho Nzuri sana sana ndio maana mungu anampigania mungu amsaidie sana ana majukumu makubwa

  • @roseuwambe893
    @roseuwambe893 3 роки тому +6

    Tupo bize na wagonjwa kesha saidiwa sana tuhudumie wagonjwa kwanza tusirudie kusaidia walio kwisha kusaidiwa

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 3 роки тому +12

    Msamehe zahir hakuna mkamilifu

  • @fauzakassim2271
    @fauzakassim2271 3 роки тому +5

    Nia safi hairogwi kaka zahir tenda wema wende zako usingoje shukurani

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому

    Binadamu hawana shukran haswaa hawa wenye mikono na miguu na macho ,unamsaidia roho safi anakuzunguka anakuchafua, mfungulie biashara apambane tu

  • @annamwangaza605
    @annamwangaza605 3 роки тому +6

    Zahir msaidie kwa mara ya mwisho pia kwa ajili ya mtoto.

  • @safy2225
    @safy2225 3 роки тому +5

    Hongera kwa kujifungua ila zingatia kumnyonyesha mtoto miez sita mbona mingi sana kumnyonyesha mtoto angalia usije mpa mtoto matatizo

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 роки тому +5

    mm kwa maoni yangu zahir hatakama atamsaidia pesa isipite mkononi mwake umunulie tuu mahitaji aweza rudia tenaa

  • @hfjfjhfjffj455
    @hfjfjhfjffj455 3 роки тому +1

    Alhamdulilah kwa kujifungua salama Allah akuhifadhi ww pamoja na mtoto wako ili umlee mtoto wako kwenye malezi bora

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 роки тому +2

    MashaAllah hongera mdogo wangu Naona na kipin juu

  • @didahnidhar8009
    @didahnidhar8009 3 роки тому +10

    Asimnyonyeshe 😰 apo apo alipo Fikia amuachishe tu

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 3 роки тому +1

      Kitaalam Hadi mwaka cku hiz wananyonyesha Ila kikubwa ni kufuatilia clinic na kufuatilia maelezo utakayoambiwa na wataalam wa afya!!

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 3 роки тому +9

    Kaka zahiri naomba umsamehe kwa ajili ya mtoto msaidie tu jamani nadhani kwa anayopitia atajirekebisha,

    • @subiraathumani9424
      @subiraathumani9424 3 роки тому +1

      Hawa awambadiliki nikina Hawa tu ila afanye kazi uyu nimzima

    • @roseuwambe893
      @roseuwambe893 3 роки тому

      Hakuna msaada apewe pesa ya chakula 2 hakuna biashara hajielewi huyo

  • @sharifaabdullah6825
    @sharifaabdullah6825 3 роки тому

    Zahidi mwili wako unarudi masha allah mungu akusaidie kwenye kazi zako

  • @saudamakole601
    @saudamakole601 2 роки тому

    Allah akuweke kaka

  • @duhrurhhddhheud8575
    @duhrurhhddhheud8575 3 роки тому +5

    yeye si alisemaga anajua kushona anunuliwe cherehan

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 роки тому +8

    Kaka Zahir ushaur wangu tumchangie pesa apate chumba na hayo magunia ya mkaa mpatie situmai akaanze biashara

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому +1

      Kamuahid happy

    • @mwannerajabu8688
      @mwannerajabu8688 3 роки тому +2

      @@rehemasalim4590 ndio sikatai ila Kama keshampatia mtaji na maendeleo yanaonekana. Why wasiangaliwe na Hawa wengine wanauhitaj pia

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 роки тому +1

      @@mwannerajabu8688 uyo aliichezea bahati

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 роки тому

      Ndio alimhadi Happy lakini na huyu pia anahitaji msaada jamani mwacheni apewe akaanze maisha mengine nae ila Happy anajitambua sana yule binti

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 3 роки тому +1

      @@user-rd7jt1vi5x acha dunia imfunze kwanza kuna wengi wana itaji msaada alipewa aka chezea ata pewa tena ata chezea ina tosha ana nguvu akafanye biashara mshenzi wa tabia tu

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +2

    Mashaa Allah

  • @maryamjuma1087
    @maryamjuma1087 3 роки тому

    Maa shaa allah hongera mwaya

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +3

    Mashallah Allah atukuzie mjukuu wetu.

  • @faithfulphilemon9890
    @faithfulphilemon9890 3 роки тому +3

    Ukweli humweka mtu huru kiukweli ,kila amtendae mwenzie ubaya utamfanya ajute ,hii timu ya maximum TV wanajitoa sana Mungu awabariki hatakama mnachafuliwa Mungu atawasafisha .

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 роки тому

    Alhamdulillah ka zahr Allah azidi kukupigania kaka angu kipenz
    Hakika Mungu ni mwenye kukujibia hapa hapa duniani
    Kawa mpole hatar sema da laila popote ulipo balikiwa sana dada angu una moyo mzuri mashallah

  • @annastaziadaniel2308
    @annastaziadaniel2308 3 роки тому +14

    Huyu nae ndo wakina Hawa watu pamoja na Zabibu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gladysisuba4438
    @gladysisuba4438 3 роки тому +12

    Kaka zahir umsaidie

    • @uyreehhuyr45
      @uyreehhuyr45 3 роки тому

      Musaidie tu hajui alitendalo ujana ni maji ya moto

  • @halimaadaudy3228
    @halimaadaudy3228 3 роки тому +2

    Mashallah, jmn kapendeza but msamehe kwa ajili ya Allah Zahir

  • @mariambakari996
    @mariambakari996 3 роки тому +2

    Sijaangalia mpaka mwisho ila kaka zahir kuwa makini na hao watu ambao walishakusaliti usipende kuwapa nafasi tena watakuja kukuletea shida kama mtu alishindwa kujua thamani yako iweje wewe umthamni achana na hao watu kaka zahir kaka zahir kaka zahir nimekuita mara tatu kaka yangu bado tunakupenda sana pia ujue sisi ndio tunaoumia kuchafuliwa kwaki binafsi yangu ungeachane nae tu .

  • @nawafnasss9463
    @nawafnasss9463 3 роки тому +4

    slm zaher Allah atakulipa msaidie kwa ajili ya Allah

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 роки тому +4

    😁😁kana chekesha haka😂tumsaidie kwa ajili ya mtoto

  • @ericniyonkuru6841
    @ericniyonkuru6841 3 роки тому

    Zahir kweli sijui nisemeje Mungu aendelee kuku bariki kwa kazi zako njema , na naami Mungu yuko nawe usikate tamaa ata vukwazo nivingi.

  • @jasminemussa4546
    @jasminemussa4546 3 роки тому +2

    Mwenyez Mungu atakulipa kwa wema wako inshaallah zahir msaidie kwaajil ya mtoto

  • @twocountrieslady6307
    @twocountrieslady6307 3 роки тому +4

    Mungu stadhihirisha uongo wote insha,allah

    • @zainabally2756
      @zainabally2756 3 роки тому

      Zahiri msaidie lakin pesa zipitie kwako then umpatie kwa mahitaj maalum ili akili yake ipate kukuwa

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 3 роки тому +5

    Mashallah kapendeza kweli ongera

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 роки тому

      Ahsante kwa kutuletea huyu dada jamani maana ni siku nyingi sana hakuonekana

    • @qwqw1665
      @qwqw1665 3 роки тому

      Kwani hana wazazi napia kwaoniwapi huyo mana siomkumbwa kwahiokama ana wazazi apewe hela aende kwaomana huyo sawa na hawa tuu

    • @qwqw1665
      @qwqw1665 3 роки тому +1

      Napia twaomba utuletee sofia tujue aendelea vpi nahaliyake napia dada yakenimtu mzurisana

    • @tangomuhamad1959
      @tangomuhamad1959 3 роки тому

      @@qwqw1665 hana wazazi huyo

  • @razikimustapha4731
    @razikimustapha4731 3 роки тому

    MA SHAA ALLAH kanuna haya utulize Akili ulee mtoto

  • @alimahmud1228
    @alimahmud1228 Рік тому

    Asalam aleikum bro madamu amejua kosa lake inshallah asaidiwe lakini mufungulia mradi nyinyi wenyewe sawa inshallah na mungu ata waifathi tuko pamoja sana brother

  • @zubedaally7306
    @zubedaally7306 3 роки тому +17

    Muwache.akauze.mandazi.uyu.achana.naye..mladi.msingi.umempa.basi

  • @shamyinshallahshekh7778
    @shamyinshallahshekh7778 3 роки тому +4

    Ndo pale unaambiwa pata pesa tuijue tabia yk,ukiwa huna pesa mtaratibu kwel daa ni mtihan kwakel

  • @omklthomomklthom8090
    @omklthomomklthom8090 3 роки тому

    Zahir msaidie lakin kua makin nae asije akakutia matatizon bure wakisha pata pesa midomo juuu ila Mungu yupo pamoja naww kaka Allh akuhifadh💗💯

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому

    maa shaa Allah 😘😘

  • @user-wy8up5ho5b
    @user-wy8up5ho5b 3 роки тому +7

    Zahir msaidie kwa jili yamtoto

    • @muhsiniissa8151
      @muhsiniissa8151 3 роки тому

      Uyo aliempa mimba ana jukumu gani?

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 роки тому

      @@muhsiniissa8151 kakataa mimba toka ikiwa changa na hajui alipo

  • @lissalawrence9253
    @lissalawrence9253 3 роки тому +4

    Malipo ni hapa hapa duniani amejuta alichofanya ulikuwa utoto na mimba pia ilikuwa inamsumbua msamehe tu

  • @pilially7959
    @pilially7959 3 роки тому

    Inshaaallah allah akupe we pesi msadie

  • @mariamsaidi1681
    @mariamsaidi1681 3 роки тому +2

    Manshallah mungu yu mwema

    • @hanoonkarak3323
      @hanoonkarak3323 3 роки тому

      Kaka zahir achana nae huyo anajidai tuu huyo sababu anashida shida zikiisha wewe mbaya wala sio mdogo achana nae huyo sisi tudili na wagonjwa hao makahaba achana nae

  • @christinatarimo6026
    @christinatarimo6026 3 роки тому +4

    Kaka achana nae huyo,ni muongo Sana anaweza kukuzushia vitu vya uwongo tena

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 3 роки тому +4

    Msamehe tuu lkn mambo na michango Wacha tuchangie wagonjwa ss

  • @aishahamid3544
    @aishahamid3544 3 роки тому +1

    Hayo magunia apewe tumain aanzie biashara

  • @khadijaali1168
    @khadijaali1168 3 роки тому +19

    Zaher huyo akatafute kazi mbona anaafya nzuri bora tuchangie wagonjwa wenye uhitaji wapo wengi ty

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 3 роки тому +10

    Tenda wema nenda zako Kaka tuendelee kumsaidia

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому

    Wapendwa tusaidie tu wenye mahitaji iwe kwa wagonjwa iwe riziki ya tumbo tusibague mumshukuru Mungu ila Zahiri ana Moyo wa kiume angeumbwa na Roho ya kike angezira hawa watu Mungu amlinde Zahir🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @agneswangeci1926
    @agneswangeci1926 3 роки тому +5

    Zahir wapeleke Kwa semina kuwashari jinsi yakuishi na vitu via lazima Kwa maisha buna wao Kwa sasa sitarehe bali ni uhai na kupambana msaidie

  • @christinatarimo6026
    @christinatarimo6026 3 роки тому +4

    Wa maana ni happy tu,haya mauzauza mengine ni shida

  • @aishahemedi7869
    @aishahemedi7869 3 роки тому +1

    Jamani kaka pore hongera sana kaka mungu atakumpa

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому

    Mashaa Allah kapendeza

  • @gladysisuba4438
    @gladysisuba4438 3 роки тому +9

    Kaka zahir umsamehe ni kiutoto tu

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 3 роки тому +1

      Kwani alifanya ninijamani???

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 роки тому

      @@fetychina3273 namie sijui

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 роки тому

      Fuatilieni toka mwanzo alivyo kuwa anahojiwa ndo mtajua alikuwa na matatizo gani

    • @fetychina3273
      @fetychina3273 3 роки тому

      @@user-rd7jt1vi5x asante kwa msaada wako

    • @julietmlaki2816
      @julietmlaki2816 3 роки тому

      @@user-rd7jt1vi5x KABISAAAA

  • @habtyaminasadala1943
    @habtyaminasadala1943 3 роки тому +7

    Kk zahir asipew pesa bali apew tu mtaji afanye biashara.pia msamehe bure tu dunia itamfunza

  • @zamzamndid3145
    @zamzamndid3145 3 роки тому

    😂😂😂😂👌subhanallah nacheka kama mazur et dera la msomali ndii kwanu silinauzwa 25,000

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 3 роки тому

    Mimi naona amuachishe sasaiv jamani Allah atupe nguvu tumchangie pesa japo pesa ya miezi mitatu minne aweze msadia mtoto Ameen zahir msamehee watu wanao ishi na mambukizi wanakuaga na hasira sana tumchukulie ni ndugu yetu kama mtanzania mwenzetu Hongera kwa kipindi

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 3 роки тому +7

    Heee huyu tena yatakuwa Yale Yale hebu achana nae twende tuangalie wagonjwa watu kama hawa wakuachana nae msamehe lakini achana nae sio mgonjwa wala kilema afanye biashara nalazima watu kama hawa wanarudi maisha magumu Ila wakipata vimchango basi masikuo yako juu achana nae

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 3 роки тому

      Zahir huyo achana nae tu huyo kakutafuta sababu anataka pesa, huyo ndo dizaini ya hawa. Wenye tatizo kama lake wapo wengi mbona. Kwani huo utoto sasa hivi umeosha. Mwache apambane na hali yake

  • @fatmaismail1447
    @fatmaismail1447 3 роки тому +3

    Tuachane na matatizo yak yakuzusha mengine asaidiwe tu apate pesa ya maziwa asimnyonyeshe huy mtt akamuambukiza

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j 3 роки тому

      Hapo kashaulipa nakaka yake achukue hela wakatumie yani sisi hatulalikutafuta pesa

  • @saidmatikti2783
    @saidmatikti2783 3 роки тому +2

    Nnachokiona kwa tumaini huyu bado ni mtoto, msamehe kaka Zahir,then mm namhofia Sana uyo mtoto mchanga asije akafanya mistake akamuambukiza Maradh, ewe mungu msaidie 😭😭