MASHALOVE AFUNGUKA BAADA YA KUFUNGA NDOA/ATAJA IDADI YA MAHARI/SABABU YA KUOLEWA GHAFLA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 лип 2021
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    MASHALOVE AFUNGUKA BAADA YA KUFUNGA NDOA/ATAJA IDADI YA MAHARI/SABABU YA KUOLEWA GHAFLA
    #Bonatv #Exclusive #diamond #gigymoney #mashalove #drkumbuka #jikeshupa #iyo
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 569

  • @victoriajoseph8645
    @victoriajoseph8645 3 роки тому +18

    Jmn huyu ni masha ninaemfaham mimi au pachaake 😀😄kama nawe umeshangaa kama mimi gonga like yako hapa

  • @salhanassor5201
    @salhanassor5201 3 роки тому +98

    Kweli ndoa kitu chengine yani huyu ni masha nnaemjua mie yani kapoa hivi..dah alhamdulillah mungu mkubwa..sasa ndo ubadilike utoto uache..wale wanaotaman masha aache upuuzi wa insta like hapa ili ajirekebishe

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 3 роки тому +1

      Mashaallah mashaallah
      Allah akuhifadhi doa yako
      Iweyaheri yarabi

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 3 роки тому +1

      Inshallah hiyo misahafu uliyo
      Itoa itanusuru doa yako yarabi
      Utapata watoto inshallah hongera
      My love sister wangu

    • @anahanah9145
      @anahanah9145 3 роки тому

      yani nimeshangaa

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 3 роки тому +1

      @@anahanah9145 😁😁usishangae ukaskia ni movie hii mi simuamini vizuri masha😁😁

    • @anahanah9145
      @anahanah9145 3 роки тому

      @@salhanassor5201 mambo ya aibu aliopost na vishati yake Akiwa uchi ndo imefanya nisiamin

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому +19

    Mashallah Allah Kareem 👏 Mungu akakusimamie ndani ya ndoa yako ukaishi salama mpaka Mungu atakapo watenganisha Inshaallah 👏 mabrock Masha love wakati wa mungu ni wakati sahihi

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 роки тому +44

    Masha"Allah Allah Awape wepesi

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 роки тому +6

    Mashaallah Mungu atakufungulieni kwenye maisha yenu. Mkae vizuri tuu.. Beauty Masha leo umependeza na una haiba yako.

  • @aminayusuph9247
    @aminayusuph9247 3 роки тому +10

    Mashallah mashallah jmn hongera sana dada Allah awajalie khery kwenye ndoa yenu inshallah chenye kher mungu hutia baraka zake

  • @mariambintsaid3814
    @mariambintsaid3814 3 роки тому +5

    Uyu dada mkweli kupita maelezo. Nmependa alivojibu 'sijui ka amewah kuoa' Hajausemea moyo..hajajimilikisha,...YaAllah akutakabilie ikawe ya kheir da masha

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому +5

    Maashallah basi ndiyo uwache kujitia uchizi usikae miziwa wazi ujistili kijumla Allah akuongoze atuongoze na ss lnshallah

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 3 роки тому +6

    Maashaallaah mungu akupe amani pia mdumu milele daima inshaallah mzikane mzae watoto wema pia mungu akupe utulivu ue mke mwema sana inshaallah

  • @munaabdallah9665
    @munaabdallah9665 3 роки тому +20

    Mwenyezi mungu akutakabali duwa zako, mungu ni mkubwa daa masha.

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 3 роки тому +7

    Masha habint usilie Allah akupe subra na UVUMILIVU ktk ndoa yako mlee akulee mpate watoto wema

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 3 роки тому +4

    Kumbe Masha mdogo Sana jamani Mungu akupe Utulivu wa nafsi na uvulivu katika ndoa yenu .Alf Mabrook waalhi hadi machozi yanitoka Hongera dadangu .kila maisha ni hatua Subra uvumilivu na kumtanguliza Mungu .

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому +4

    MashaAllah hongereni sana Allah akuzidishie kheri piya urudi kwa Allah.

  • @aishatabwara6018
    @aishatabwara6018 3 роки тому +4

    Mashaallah. Alfu mabrook iwe ya kheri

  • @aminaluhamba9387
    @aminaluhamba9387 3 роки тому +17

    Mashaallah,Allah awasimamie ktk ndoa yenu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 роки тому +1

    Hongera sana Masha, love you, Allah akusimamie katika kila lenye KHERY, hongera sana niko hapa kukuombea 😘🙏

  • @hamissahamissa105
    @hamissahamissa105 3 роки тому +3

    Hongera sana Masha mwenyezi mungu awape kheri katika ndoa yanu inshaallah

  • @fatmab8juma541
    @fatmab8juma541 3 роки тому +1

    Mashaallah Mwenye enzi Mungu ampe maisha yenye kheir na ndoa iwe ya baraka ndani yake

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 роки тому +8

    Sasa manyonyo zitatulia, ishakua vyakula vya watoto wake, usitinginge teba😂😂😂 hujui tu vile ulikua unanikela jamani, Shii nimefurahi adi basi,🙌🙌❤❤

  • @rahmaomary8021
    @rahmaomary8021 3 роки тому +5

    Mashahllha leo nimekup enda bure mwenyez mungu awafanyie wepesi kwenye ndoa yen

  • @alshabje7185
    @alshabje7185 3 роки тому +1

    Mungu akujalie kila LA kheri Kati yamaisha yako inshaallah mahari mashafu najuzuu mashallah dada

  • @nasseralrowahi4084
    @nasseralrowahi4084 3 роки тому +8

    Inshaallah yaraab /mwezi /mungu atakujaliya kilalaheri dada yangu

  • @edwinaoduol5474
    @edwinaoduol5474 3 роки тому +5

    Congratulations! nakutakia ndoa njema God's time is the best time.

  • @munahjira8236
    @munahjira8236 3 роки тому +1

    MaashaAllah Alf mabrouq my dada etu

  • @sekelamwambungu356
    @sekelamwambungu356 3 роки тому

    Masha Nakupenda sana we dada nimefurah ad machozi ya furaha hongera Mungu akusimamie kila lakheri kwenu.

  • @shakira1301
    @shakira1301 3 роки тому +21

    Mabrook mdogo wangu

  • @user-ou2ls3ws7c
    @user-ou2ls3ws7c 3 роки тому +1

    Mabruq mashalove mungu akujaalie kila la kher utulie na ndoa yk almuhimu uheshimu ndoa yaliopita yamepita mungu atakusamehe nafikir dini unaijua na umesoma dunia ipe mgongo hongera sana

  • @patiencebadete8726
    @patiencebadete8726 3 роки тому +1

    Mayshaallah ongera dada naiye heri dada .Allah akuwekey wepesi nimefuray sana dada.

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +1

    Mashallah, Masha mimi nakuombea utuliye , ujistiri kwa ajili ya Allah mimi naomba nikuletee sidiria bora duniani special kwa heavy duty km yako .

  • @maryamnassor1171
    @maryamnassor1171 3 роки тому

    Hongera dada Allah akusimamie ktk ndoa yako na pia ubadilike uwe mwanamke mwema na Allah akusamehe na utubu dhambi zako tnakupenda sana da masha

  • @rayaali7551
    @rayaali7551 3 роки тому +1

    Daah mmungu akusimamiee inshaallaah ilaa GENGENII SIO WAJIBU WAKO KWENDAA NA KUHAKIKISHA MUME KULAA NNOP HIYO NI KAZI YA MUMEE KUHAKIKISHA MKEWEE KUWA AMEKULA AUU ANATAKA KULA NINI AUU ANA TAKA KUVAA NINII, NA KIKUBWAA KWANZAA MUME NI WAJIB WAKEE KUHAKIKISHA MKE ANALALA WAPII, KULAA NA KUVAA HUOO NI WAJIBU WA MUMEE WAJIBU WAKO MKEEE NI KUWA NA HESHIMA KUJIHESHIMU NA KUMUHESHIMU MUMEOO MPAKA DAKIKA ZA MWISHO
    NA MMU GU ATAZIDI KUKUSIMAMIAAA INSHAALLAAH

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 3 роки тому +1

    Hongera masha mwenyezi mungu ajalie ndoa yako iwe ya kheir na baraka muishi salama na mumeo inshaallah

  • @mwachipangahalima2504
    @mwachipangahalima2504 3 роки тому +2

    Masha Allah mahar mazur Allah Akujalie kher kwenye ndoa yko

  • @maggiemamaafricaofficial7080
    @maggiemamaafricaofficial7080 3 роки тому +1

    Congratulations🎉🎉🎉🎉💃💃💃💃 dear am happy for you darling I hope sio kiki because Tanzania kwa kiki ni number one

  • @jescaizengo9722
    @jescaizengo9722 3 роки тому +7

    Mungu awajaalie maisha marefu ❤❤❤

  • @zuhurakhamismwinyi7290
    @zuhurakhamismwinyi7290 3 роки тому +7

    Alifu mabrouk habibty

  • @saknajumapili8282
    @saknajumapili8282 3 роки тому +1

    Adi raha da masha mashaallah 🤲,tulia sasa mpz 💕💕

  • @fauzakassim2271
    @fauzakassim2271 3 роки тому +28

    Mashaallah allah akufanyie wepesi inshaallah yaani siku zote nakuona lakin leo mzuri sana 😍

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 3 роки тому +8

    Hongera sana my dear #MashaLove ❤👌

  • @salimyussuf6062
    @salimyussuf6062 3 роки тому +2

    Mashaa😭😭😭 Sina la kukuambia mpenz yaani nnafuraha hadi machozi yananitoka ndoa ni jambo bora mama mungu akudumishe kwenye ndoa yenu (barakallahu lak wabaraka alayk wajamaa bainakuma fiiy khair) 🤲 maisha mema mwaya🥰

  • @liliankemuma9475
    @liliankemuma9475 3 роки тому

    Masha mzuri mimi nampenda, Mungu akufanyie wepesi, hongera Sana dada

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 3 роки тому +5

    Masha'Allah hongera masha

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 3 роки тому +1

    Alf mabrook. Nimefurahi sana. Allah aibarik ndoa yenu muishi mudumu awape masikilizano

  • @jestinamagembe2125
    @jestinamagembe2125 3 роки тому

    Masha leo umekuwa mpolee,Mungu akutunze maisha mapya ya ndoa yako

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 роки тому +6

    Manshallah Allah Awenanyi awarinde mabaya

  • @aminamodi8927
    @aminamodi8927 3 роки тому +1

    Masha mwenyezi mungu akujalia saana ILI upate unachohitaji na kama unayosema basi Allah akujalie saana

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 роки тому +6

    km Ndoa ma sha Allah km ni kiki aaaa umeniwahi

  • @ckukuu8404
    @ckukuu8404 3 роки тому +3

    Masha Allah kila LA kheri 😍😍😍😍

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 роки тому +3

    Mashallah alfu mabrook ❤❤❤

  • @dorahmwadime2886
    @dorahmwadime2886 3 роки тому +2

    Congratulations 👏🏼 mashlove

  • @jacklinengozi2794
    @jacklinengozi2794 3 роки тому +3

    Congratulations Masha.💖💞💞

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 роки тому +5

    MashaAllah mabruk sweetheart inshaAllah iwe ya heri Allah awajalie vizazi vyema vyenye kuendeleza qalma ya laillaha ilallah mob love 🌹😍🌹🇶🇦🇶🇦

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421
    @khadijahomankweliyamjahaya7421 3 роки тому

    Ma shaa allah , ndo ukatuliee tena mungu akupe kheri

  • @saudangalleni388
    @saudangalleni388 3 роки тому

    Hongera sana Masha mungu awajalie mkae vizur ktk ndoa yenu

  • @mwanamtamadochi3497
    @mwanamtamadochi3497 3 роки тому +12

    Hongera dadangu kutoka Kenya

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah TabarakAllah

  • @shishiojaneffer7850
    @shishiojaneffer7850 3 роки тому

    Congratulations Masha,pole kwa kuwapoteza wazazi wako,usihofu wewe ni yatima lakini mungu ni baba wa yatima,mungu akusaindie

  • @mellatyseif
    @mellatyseif 3 роки тому +1

    Hongera masha wangu nakupenda sana

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 3 роки тому +13

    Congratulations darling ❤

  • @KA-yz2ld
    @KA-yz2ld 3 роки тому +1

    Nakutakia amani na faraja, M/Mungu awabariki kwenye ndoa yenu Inshaallah.

  • @beatricefondo2513
    @beatricefondo2513 3 роки тому

    Hongera sana dadangu ,furaha ilioje kuolewa .acha mungu akawatangulie kwa kila jambo.

  • @lovenessaron2669
    @lovenessaron2669 3 роки тому +4

    Hongera sn masha love 🔥🔥🔥

  • @abuubilal6586
    @abuubilal6586 3 роки тому +2

    MashaAllah Allah awajaalie kheri inshaAllah

  • @OmarMohamed-tp4uf
    @OmarMohamed-tp4uf 3 роки тому +3

    MashaAllah mabruq 👏

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 3 роки тому +1

    Ni ndoa kwel au maigizo nahyu ni masha kwel au nafananisha masha Allah Mwenyez Mungu awaifadh Ktk ndoa yenu

  • @moketuponake5270
    @moketuponake5270 3 роки тому +1

    Hongera sana masha Mungu niwetu sote amefanya njia pasipo kuwa na njia

  • @najmanajma-4765
    @najmanajma-4765 3 роки тому

    Dah! Mpaka nimemsahau ongera masha

  • @samuellacecille717
    @samuellacecille717 3 роки тому +30

    Kumbe mpole jaman kazi tu ndozinaubadilisha mtu 💃💃

  • @hawahabibu661
    @hawahabibu661 3 роки тому +3

    MashaAllah hongera

  • @mwanakhermarisho8120
    @mwanakhermarisho8120 2 роки тому

    Hongera Masha kwa kukamilisha nusu ya dini

  • @ashasalum1003
    @ashasalum1003 3 роки тому +1

    Inshallah,mwenyezi mungu akujalie kwenye ndoa yko.

  • @mawananasoro4405
    @mawananasoro4405 3 роки тому

    Masha Allh mungu ailinde ndoa yenu iwe ya baraka na amani

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 3 роки тому +2

    Maa Shaa Allah.
    Mbona una Majonzi badala ya kuwa na Furaha.

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 3 роки тому

      Aaamini hakutegemea Amini Ili ,wanawake wengi tunatamani kuolewa au tunataka kuolewa ila wanaume ndoivyo.msiwaone wanalopoka kama aunt Ezekiel wengi ndoa tunazitaka😂😂😂

  • @mullah_omary4599
    @mullah_omary4599 3 роки тому +1

    Dah masha duuh hongera

  • @veronicatweve8908
    @veronicatweve8908 3 роки тому +2

    Hongera mwaya

  • @tatungeni6937
    @tatungeni6937 3 роки тому +3

    Masha Allah mungu ajalie ❤️♥️♥️❤️♥️💃

  • @sidratybinkhamis2837
    @sidratybinkhamis2837 3 роки тому

    Masha mazuri mashaallah allah ajalie . Mzuri buwaanaaa

  • @happygw6930
    @happygw6930 3 роки тому +7

    Nafurahia sana mashalove kuolewa sasa manyonyo usitingishe tena mpe mumeo.heshima

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 3 роки тому +1

    MashaAllah MashaAllah na ikawe heri kwako

  • @khamisirashidi219
    @khamisirashidi219 3 роки тому +1

    Masha hongera kwa kufunga ndoa mungu aidumishe ndoa yako

  • @fatu.stronggirl5620
    @fatu.stronggirl5620 3 роки тому +1

    Kumbe mpole jamani Masha Hongera

  • @fariyaosmanali9220
    @fariyaosmanali9220 3 роки тому

    Masha Allah to much love you for 🇰🇪😘♥️

  • @mwanarusishambi9452
    @mwanarusishambi9452 3 роки тому +11

    Ameen ya rabb Allah amiin 🤲🤲

  • @kanyangeadidja2178
    @kanyangeadidja2178 3 роки тому

    Mashaa Allah hongera sana bi harusi Allah akulindieni ndoa yenu

  • @stukiaally4690
    @stukiaally4690 3 роки тому +1

    Mashaallah 💞💞💞 kweli wewe mashaallah kila la kheri kwake

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 3 роки тому +1

    Masha allah allah nimkubwa kama masha love amefunga ndoa basi na wengine mutaolewa hata kama umezaa wala umeachika insha allah

  • @nasmawaziri1939
    @nasmawaziri1939 3 роки тому +27

    Hahahahaaaaaaaaaaaa dada masha leo analia hahahahhhahaha nmecheka kwa nguvu km c kiki Allah awadumixhe jaman mana hamukawii

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 роки тому

    Hongera Sana Masha kalitulize ziwa lako my likawe chakula Cha bwana na Watoto utakaozaa maana ulikuwa unanikera kulizungusha ziwa na Hilo joto la Dar

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 роки тому +8

    Mashaalah Mashaalah Mashaalah

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 роки тому

    Hongera Masha nakupenda sana

  • @zuhuramdoba5015
    @zuhuramdoba5015 3 роки тому +1

    Umependeza sana hongera

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 роки тому +1

    Hongera sana dada Don masha

  • @adelinenziku6358
    @adelinenziku6358 3 роки тому

    Mashallah masha ...Hongera kama kwelii na ikawe heri kwelii....Ila isiwe kiki tu kipenziii maana utatukelaaa

  • @shamilahussein5294
    @shamilahussein5294 3 роки тому +3

    Mungu atakubariki inshaallalh kwauwezo wamwenyezimungu

  • @nissamwapoladi7345
    @nissamwapoladi7345 3 роки тому +33

    Nimependa wewe ni mkweli umekiri umemzidi umri.hongeraaa

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 3 роки тому

    Umependeza masha hongera mwaya kuolewa ni bahati

  • @sarahkamwela5802
    @sarahkamwela5802 3 роки тому

    Mungu akujalie kumbe mpole Ivo jamani hongera Sana.

  • @omaryally6737
    @omaryally6737 3 роки тому

    mashallah masha mungu akupefuraha kwenye ndoa yako

  • @halimakalinga7764
    @halimakalinga7764 3 роки тому +3

    MashaaAllah

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 3 роки тому +1

    Mungu akujaliye udumu kwenywe ndowa ishauwalah upate watototo 2 pacha ya mwanzo wanaume mm nitafurahi sana mdongo wangu ishauwalah kumbe ni mdongo sana wewe hongera ishauwalah