Tariq Kipemba Aeleza Alivyomwagiwa Tindikali | Anaejihusisha na Ushoga Atajwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 кві 2023
  • Clouds Digital Ipo Mubashara kutokea Mjengoni Clouds Fm katika Kipindi cha #LEOTENA
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 264

  • @SalumSadallah
    @SalumSadallah 4 місяці тому +1

    Pole sana ndugu Tariq Kipemba mungu atakupa afueni na wepesi wa kurudi ktk shughuri zako .

  • @nasrakharim5763
    @nasrakharim5763 Рік тому +24

    Duniani tunapitia mengi jaman binadamu tumekosa roho ya utu kabisaa mungu atuongoze tuwe na roho ya huruma na utu🙏 MWENYEZI MUNGU AKUPONYE

  • @ImaniMadiba-yu7wn
    @ImaniMadiba-yu7wn Рік тому +5

    Pole saana brother Tariq,,,pia ahsante saana Mungu wa mbinguni kuendelea kukupigiania,,,,tutaendelea kukukumbuka ktk Sala na maombi 🤲🙇😢😢😢🙏🏽.

  • @angelakalalu2755
    @angelakalalu2755 Рік тому +8

    You're still Handsom T..May Almighty God Heal you in JESUS NAME.

  • @aboumwago7113
    @aboumwago7113 Рік тому +2

    Pole sn kaka Tariq kila alipangalo mungu mwanadamu ndio humfika pole sana kwa mtihani uwo Allah akujalie nguvu imani na ujasili zaidi km uliweza kuuvuka uwo mtihani wa kumuingilia bado hata kwenye ili lililokukuta litapita inshallah

  • @maherzain2555
    @maherzain2555 Рік тому +15

    Allah akufanyie wepesi bro, kama hili jambo limechukuliwa poa hvi na serikali hakuna haki ktk hii dunia wala haina haja kushobokea viongozi, tuishi tu vile Mwenyezi Mungu katuruzuku ufike mda turejee kwake 😪

  • @jacklineernest3155
    @jacklineernest3155 Рік тому +13

    Pole Tariq., Mungu awe pamoja na wewe na tumefurah unaendelea vzr Mungu aendelee kukupigania kaka , kweli binadamu tumegeka wanyaama na tunaroho mbaya zaidi hata ya shetani yaan unataka 😢 kumtoa uwah mwenzako kisa shida zako binafs loooh Tusali sana aisee dunia imeisha yaan 😢😢

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 Рік тому +6

    Ebwanaeee
    Pole sana tariq the future
    Pole pole pole sana..
    madin nimepata mengi kupitia hii interview yako 🥲🥲🥲

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +7

    Asante Mungu kwa kumpigania Tariq endelea kuweka mkono wako kwenye matitabu yake na yoyote alieshiriki ukampe adhabu itakayokupendeza

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 Рік тому +1

    Tarik hongera sana kwa kutokunywa Pombe na kilevi chochte kile n kukataa kufanya LIWATI dumu katika msimamo huo, hakika Allah yuko pamoja na ww🙏🙏 namuomba Allah akupeshifaa urudi katika hali yako ya kufany majukum n kumtumikia Allah

  • @dorcassalvatory1518
    @dorcassalvatory1518 Рік тому +4

    Pole kaka Tariq Allah azidi kukufanyia wepesi utakua sawa tu.

  • @mwipagipaggy5486
    @mwipagipaggy5486 Рік тому +1

    Pole sana Tariq. Mungu alilileta hili kwako alijua unaliweza. Na kupitia wewe Mungu wa Mbinguni atainuliwa. Umekuwa ushuhuda na hasa umeomyesha ujasiri wa kusema kilichokuwa nyuma ya pazia. Mungu wa rehema akutunze na asimame nawe kwa kila hatua yako. Ulinzi wa Mungu usikupungukie.

  • @moshmachicha4219
    @moshmachicha4219 Рік тому +9

    kwahio serikali imeshindwa kumsaidia huyu kaka jamn maan kesi washashindwa wamekula rushwa basi wamsaidie apone wamshike mkono mpk apone jmn mnajua Mungu yupo na atalipa jmn so sad…😢😢😢😢

  • @zenamsumeno7302
    @zenamsumeno7302 Рік тому +7

    Lakin kaka ukiachana na kipindi kile ata sasa iv bado gentleman handsome boy
    Lakin pole sana kaka angu mungu
    Akusimamie kwenye afya yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AdelahDamas-ws1ww
    @AdelahDamas-ws1ww Рік тому +3

    Pole kaka Mungu akusaidie🙏

  • @ratifaratifasuma8707
    @ratifaratifasuma8707 Рік тому

    Pole sana kaka mungu atakusaidia utakuwa sawa.machozi yamenitoka. daa uyo mtu aliekufanyia hayo mungu amlaani.

  • @abdullahmhina2207
    @abdullahmhina2207 Рік тому +1

    M.mungu akujalie bro uweze kuona km ulivyo zaliwa InshaAllah

  • @giftibrahim
    @giftibrahim Рік тому +8

    Allah atakulipia Tariq pole san mshukuru mungu unaona unaweza kuendelea na shughul zako pia bado uko handsome 😘 💖 ila binadam tumekosa utu kabisa yaan mtu anakufanyia unyama kisa tu umegoma kufanya ushetwan wake ila Allah yupo hawai wala hachelewi atajibu tuuuu utapona inshallah pole sna

  • @gaspermoko171
    @gaspermoko171 Рік тому

    Pole sana kaka hakika mungu anaweza hadi at list umeona kwa jicho moja

  • @WinaMaliki-gd8uk
    @WinaMaliki-gd8uk Рік тому +3

    Pole sana kaka kweli umepitia wakati mgumu sana na mungu amekupigania hadi umepata nafuu ya kuona ila muachie mungu huyo kaka ataukumiwa vya kutosha

  • @superwomen6506
    @superwomen6506 Рік тому +1

    Pole sana Tariq Allah atakufanyia wepesi Inshallah

  • @luiannasolutions
    @luiannasolutions Рік тому +7

    inasikitisha sana dunia yetu inapoelekea, kama mtu anakufanyia hivi bila wasiwasi wa mungu. Mungu akupe na azidi kukupa nguvu.

  • @Mk-xk1jk
    @Mk-xk1jk Рік тому

    May God's ✨ grace 🙏 🙌 continue sending blessings to you kaka you are still handsome boy child 💙 ❤ he happy 🎉 baba🍃🕊🍂🕊🛐 💘

  • @ommarysaid7391
    @ommarysaid7391 Рік тому +1

    Namuomba Mwenyezi Mungu Akufanyie Wepesi Upone Haraka Biidhinllah 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @jennifersirikwa7449
    @jennifersirikwa7449 Рік тому +15

    Kama mama. Nimeumbiwa sana tumbo la uchungu imeniuma. Real am speechless. I wish kuongea kwetu kungesikiwa but ndo hivyo tumekuwa watoto yatima wa Baba yetu mpendwa JPM. Kweli ulisema tutakukumbu. Pengo lako ni kubwa mno😭😭😭😭

  • @elimuyetuleo5505
    @elimuyetuleo5505 Рік тому +5

    Hii stori imeniumiza sana,na kuniliza pia ,mungu awe nawe katika kipind chote hiki kaka tariq

  • @MwinyimkuuMwimbe-kg1st
    @MwinyimkuuMwimbe-kg1st Рік тому

    Mwenyezi Mungu akusimamie Tariq kweny kipindi iki kigumu unachopitia na pia atujaalie Mwisho mwema sote

  • @deborasajilo4793
    @deborasajilo4793 Рік тому +2

    Pole sana bro❤❤get well soonest

  • @ester283
    @ester283 Рік тому +4

    Mungu akuponye Tariq na akutie nguvu ulisimamia kilicho sahihi 🙏

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 Рік тому +4

    Hongera Sana kwa kukutaa Allah akufanyie wepesi insha'Allah pole kwa mthn

  • @graciedivyang
    @graciedivyang Рік тому +1

    Huyo cousin mungu ambariki ❤️🙏🏻

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 Рік тому +2

    tariq unaushadi mkubwa mpaka kiama Allah akujaalie kheri mpaka mwisho wamaisha yako Pole sana kwamitihani

  • @Issa_negro
    @Issa_negro Рік тому +2

    Tariq kipemba wewe ni shujaa bruh... And we love you for the decision you've made💯🌹

  • @FaizaSaid
    @FaizaSaid Рік тому +2

    May God heal you bro it's so painful wah kuna watu hawana utu kabisa

  • @ummyremmy-pc9cy
    @ummyremmy-pc9cy Рік тому +7

    Allah ampe mwisho mwema kwakukataa kufanya uchafu

  • @witnessjohnphilip665
    @witnessjohnphilip665 Рік тому +1

    Pole Mungu atakusimamia wakati mwingine Mungua anatupitisha katika majaribu ili uzidi kuwa karibu nae

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 Рік тому +2

    Allah atakulipia .🤲🙏

  • @sheikhabdalla7635
    @sheikhabdalla7635 Рік тому +2

    Allah atakufanyia wepesi In Shaa Allah

  • @mariakipese2544
    @mariakipese2544 Рік тому

    Kaka pole Sana malipo nihapahapa mungu atakulipia kwakila Jambo jinsi ulivyokuwa mwanzo dah mungu ashukuriwe na tunawapondeza aho madaktri waindia

  • @jamilajuma4522
    @jamilajuma4522 Рік тому +69

    Hii nchi ya hovyo Sana yan mtu anafanyiwa ukatil lakn sheria haifat mkondo. Alafu watu muwe Makin na Hawa watu wenye vituo vya watoto yatima na wasiojiweza hawa watu ndo wanaeneza ushoga

    • @clementinamalaki7796
      @clementinamalaki7796 Рік тому +6

      Nikwel tasisi nying zimevaa ngoz ya msaada lkn wanaeneza ushog na usagaji mungu tuhurumie

    • @dannywillson5874
      @dannywillson5874 Рік тому

      Kes ipo mahakamn acha kupayuka

    • @maherzain2555
      @maherzain2555 Рік тому +5

      @@dannywillson5874 hv kwann kesi zinakaa mda mrefu kiasi hiki? Nchi ni ya hovyo kweli hili jambo nilakulikalia mda mrefu huoni kama huyo mtu atazidi kuaribu watu? Hizi mahakama nazo hamna kitu

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 Рік тому +6

      @@dannywillson5874 kesi ipo mahakamani,na aliemfanyia kitendo hicho yupo wapi?

    • @josephmassawe1211
      @josephmassawe1211 Рік тому +3

      @@dannywillson5874 acha kutetea ujinga wewe hawapo serious na huo ndyo ukweli

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi

  • @jumaibrahimu4681
    @jumaibrahimu4681 Рік тому

    Pole sana kk

  • @familylove5417
    @familylove5417 Рік тому

    Dah pole sana

  • @muhamedkabora4843
    @muhamedkabora4843 Рік тому +1

    Stay bless bro

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Рік тому

    Dah pole sana 🙏🙏

  • @abubakarjabir3132
    @abubakarjabir3132 Рік тому +1

    Noma Sana

  • @mbunah255
    @mbunah255 Рік тому +3

    Angekuwepo magu asinge chekea huu ujinga rest easy mtetez wa wanyonge

  • @yusuphmakhahala6570
    @yusuphmakhahala6570 Рік тому +1

    Pole sana my brother Mungu awe nawe

    • @mwajumahassan8157
      @mwajumahassan8157 Рік тому

      Pole sana Kaka ang mtegemea Allah tuu binadam hawana wema

  • @accountsdaraccountsdar7261
    @accountsdaraccountsdar7261 Рік тому

    Allamdulillah👋

  • @vee4296
    @vee4296 Рік тому +2

    Dah pole saana

  • @dandy_unique
    @dandy_unique Рік тому +1

    pole saana bro

  • @mwanaishamande8880
    @mwanaishamande8880 Рік тому +5

    yaarab wahurumie watoto waliopo katika vituo vya kulelewa wewe pekee ndio mlinzi waviumbe vyote 🤲🤲🤲🤲😭😭

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 Рік тому

      Kabisa yani inatia uchungu wallah watoto wanaharibiwa sana

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Рік тому +2

    Pole sn broo umenifanya nilie sn huo ni ukatili ila mungu ni mwema umeona

  • @mshangapeter6566
    @mshangapeter6566 Рік тому

    Daah Mungu akutie nguvu...

  • @MellanieKay
    @MellanieKay Рік тому

    Pole sana

  • @eshaleemar5555
    @eshaleemar5555 Рік тому +6

    Shifaa ya haraka in sha Allah

  • @crownprince399
    @crownprince399 Рік тому +7

    Dah pole shukuru Mungu kakuepusha na UKIMWI 😔😔😔😔😔😔😔

    • @lulually5209
      @lulually5209 Рік тому

      Bora ya ukimwi kuliko hayo yalomkuta angepata ukimwi macho angebaki nayo mwili wake ungebaki km ulivyo lkn muangalie Leo alivyo anaishi kwa masharti maji asitie usoni na mambo mengine kadhalika mwili wote umeharibika hapo hajavua nguo ndio mana nasema bora ya ukimwi na hapo bado kila baada ya miezi 4mpk 6 anatakiwa akafanyiwe sagery

  • @allymatilda7519
    @allymatilda7519 Рік тому +1

    MUNGU WANGU JAMANI MPK TUMBO LA UZAZI LINAUMA NA SIJAZAAA 😭😭 MWENYEZI MUNGU AKUSAIDIE KAKA ANGU POLE SANAAA KAKA ANGU DAAH WANASEMA BORA WANYAMA KULIKO BINADAMU..ila mungu wa haki atawalipia waliokufanyia huuu unyamaa hakika Mungu wa Haki halali na anaona matendo yetu mwenyezi Mungu atawahukumu kwa hili pole sana kaka angu 😭😭😭

  • @priscakenedy5336
    @priscakenedy5336 Рік тому

    Pole sana kaka MUNGU AKUPONYE

  • @maosatv8820
    @maosatv8820 Рік тому +2

    #God did 🙏🙏🙏

  • @valerianmchau7368
    @valerianmchau7368 Рік тому

    Dah mungu amponye

  • @najmasaid7057
    @najmasaid7057 Рік тому

    Simama katika ibada kaka angu Allah akusamehe achana na starehe mshtakie mungu ndie hakimu wahaki haghafiliki Wala hasahau ipo cku Allah atalipa Tena atalipwa kwa uchungu zaidi

  • @paulalove1223
    @paulalove1223 Рік тому +3

    Cousin Mungu akutie nguvu pia

  • @Aminamuhamed
    @Aminamuhamed Рік тому

    Watu wanapigania kujitatua kwenye janga hili la ushoga yeye anatuletea HASUBUNALLAH WANEEMAL WAKIL ☝️

  • @petermziray2933
    @petermziray2933 Рік тому +3

    Pole br mung yupo na ww

  • @didahog
    @didahog Рік тому

    Ahsante mungu kwa uzima nilonao

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Рік тому +2

    😂😂pole sana, huyo jamaa naona ndio wanaoeneza ushoga, kazi yao kuwaaribu watoto dah mtihani mwaname anatongoza mwanamme mwenziwe dah mtihani mkubwa dunia imefika mwisho

  • @neemavennace7030
    @neemavennace7030 Рік тому +1

    Pole sana Tariq

  • @kenjoseph3337
    @kenjoseph3337 Рік тому +15

    Quick recovery bro,all shall be well

  • @naomilumolwa7864
    @naomilumolwa7864 Рік тому

    Pole sana Mungu akupe wepesi ktk afya yako, upone kabisa.

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 Рік тому +1

    Allah atamponya Tariq lnshaallah

  • @_Miseh2
    @_Miseh2 Рік тому +3

    HASBUNALLAH WANI'MAL WAKEEL😭😭😭😭

  • @Farida-ci4cs
    @Farida-ci4cs Рік тому

    Duh,Mtu huwezi jua Kilichompa kama una Macho mawili,sisi wenywe jicho Moja tunajua Maumivu!!!poleee kaka

  • @RJHOPETV
    @RJHOPETV Рік тому

    Bwana akutie nguvu bro

  • @patricemichael6743
    @patricemichael6743 Рік тому

    Hii nchii niya hovyo sana aicee ...pole sana
    Mm nilisha wahi kuibiwa tvs pikipik mpya ilikuwa na week tu nlifanikiwa kumkamata mwizi nilimpeleka rockup siku ya ijumaa nlivoenda j3 nikakuta katolewa mtuhumiwa wangu nauliza wanambia kuwa niende mahakamani then ndo tuka mkamatee nitampata wapnmwizi ila serikali yakisenge san m3 ilipotea hivi hivii

  • @hadijangaina2833
    @hadijangaina2833 Рік тому +6

    Yaarabi mponye mja wako 😢, pile saana Tariq, aliekufanyia haya yote Mungu amlipe

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Рік тому +4

    Mungu akufanyie wepesi tariq. Kuwa strong bro😭.

  • @AhadiAgness-nv3gi
    @AhadiAgness-nv3gi Рік тому

    Jamani pole sana utapona mngu yupo

  • @mwanah3643
    @mwanah3643 Рік тому

    Poleee sana 😢

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 Рік тому +2

    Pole Sana karibu kwetu India..... Lini unakuja india tuonane tusaidiane chochote kitu

  • @REBECCAHGEOFREY-wq3dr
    @REBECCAHGEOFREY-wq3dr Рік тому +5

    Huyu mtu itabidi anyongwe 😢😭 Yani mashoga wauwawe tu Kwa kweli

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 Рік тому +2

    WAZUNGU WENGI SANA WAKUTOKA GERMANY HUWA NIMASHOGA

  • @user-pn1hb3ej1e
    @user-pn1hb3ej1e Рік тому

    Pole, Tariq tupo pamoja mama Sabra Oman

  • @estheremmanuel4593
    @estheremmanuel4593 Рік тому +6

    Mara ya kwanza kumuona tarick ni siku tatu baada ya kumwagiwa tindikali, hakika nilimwaga machozi na nilimuombea kwa MUNGU akapone alikuwa akisema anasikia maumivu usoni, lakini sasa tunamshukuru mwenyezi MUNGU 🙏 maana amerudi salama🙏🙏🙏

  • @andrewkitaly6003
    @andrewkitaly6003 Рік тому +1

    Dah imeniuma sana

  • @naomipeter8093
    @naomipeter8093 Рік тому +6

    Yote katika yote Mungu ni mwema kwako

  • @sarahcharles965
    @sarahcharles965 Рік тому

    Dah pole Sana Kaka MUNGU azidi kukutetea yeye ndio hakimu mkabidhi yeye atakutetea

  • @erubemalita7162
    @erubemalita7162 Рік тому +2

    Dah nimeishia kulia 😢2 pole broh

  • @joanngatulile4687
    @joanngatulile4687 Рік тому

    Poleee kaka Tariq,mwana moshi mwenzangu!
    Hakika haki ipo kwa Mungu tu,wanadamu tumekua hatupendani Mungu wangu adi inatishaaa😭😭😭.Alipokutoa Mungu ni mbali lakn naamkni atakufikisha pazuri zaidi na yote haya yatakua historia,hang tight🙏🙏Tutatuma michango yetu kadri tutakavyojaliwa soon Insha’Allah🙏

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 Рік тому

    Wa kwanza today

  • @zeylicioussaid2356
    @zeylicioussaid2356 Рік тому +2

    Pole sana mungu hatakuacha😢

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Рік тому +6

    Any way Mashoga ni wengi sana Mungu awaaangamize InshALLAH

  • @radynnyagaly3692
    @radynnyagaly3692 Рік тому +6

    God is with you bro, Hii nchi sheria unebakwa na umasikini wa fikra mtu anafanya hivi na anakuwa huru uraiani. Bushit police

  • @greatkizito2070
    @greatkizito2070 Рік тому +1

    Allah Akbar

  • @sadahassan148
    @sadahassan148 Рік тому +4

    Wekeni story kwa mpangilio basi tuwe tunajua hii namba moja au namba mbili nakuendelea

  • @richardmlaguzi8572
    @richardmlaguzi8572 Рік тому

    Kwa Mungu wewe niwathamani kubwa Dunia tunapita na kuna maisha baada ya kifo na kwa Mungu tutakuwa wapya Mungu akupe nguvu wewe ni mshindi unasubili kuvishwa taji

  • @katotoog4137
    @katotoog4137 Рік тому

    😢😢

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 Рік тому

    hela ndio kitu jmn 🙌yaan uyo katoaaa hela nying saaan

  • @kulvetiaseli3569
    @kulvetiaseli3569 Рік тому

    duuuh pole sana brother

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 Рік тому +4

    Jamani hii dunia ina binadamu wanyama kuliko hat the "BIG 5"