#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 кві 2021
  • #LIVE : EXCLUSIVE INTERVIEW AISHA LOKOLE NDANI YA MASHAMSHAM YA WASAFI FM - APRIL 23, 2021
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 382

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому

    Mungu awabariki sana Familia ya Masham Sham kwa jambo zuri kama hili la kuondoa tafauti zao Juma na Mama Watt wake Alhamdulilah Alhamdulilah M.mungu awape kila la kheri Dunia na Akhera Bii Idhinillah Ameen

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому +7

    Hongera Sana kwa mama dangote kuzaa mtoto mwema mashallah mungu ampe afya njema nasiha njema 🤲

  • @theceefamily7764
    @theceefamily7764 3 роки тому

    Isa azam nakukubali sana,zidi kupambana kabisa, 💪❤️🌞🙏🇰🇪. Lakini juma lipa deni na Kama mnaweza kusameheana basi mrudiane maisha mengine yaendelee👏🔥❤️🌞🙏🇰🇪.

  • @teeyspices4190
    @teeyspices4190 3 роки тому +5

    Asante aisha vzr sana umemnyoosha

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 роки тому +9

    Mwanamke anampenda juma bado.. Asante momo na dida mmemaliza vizuri
    Big up lokole

  • @Official83640
    @Official83640 3 роки тому +6

    Issa Azam huu mwezi Mtukufu halafu ni muislam bado una sengenya Subhanallah

    • @kakasijohari7461
      @kakasijohari7461 3 роки тому

      Okopa mtu anaesema ndugu yake wa damu. Ipo siku na hawo utawatangaza mabaya. Gari tu inakutowa povu. Ndugu ni ndugu omba apana kuponda wako. Issa muokope Mungu duniya nimapito. Naokopa!!!!!!!

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 3 роки тому +5

    Wanawake tunaowatoaga wanaume tongotongo huwa tunaumizwa sana, tukisema tunawaanika ni aibu yao. Hongera Bi Aisha na Juma kuyamaliza swalama!🙏

  • @subiramichael3840
    @subiramichael3840 3 роки тому +8

    Ira mpe pesa zake dhambi usipompa pesa zake muogope mungu nayule dada alikupenda kwa dhati na mvumilivu na msili akuongelei vbaya naww usimuongelee vbaya

  • @cassyrex2023
    @cassyrex2023 2 роки тому

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga. Asante kwa kutoa heshima na kukumbuka aliyesumbuka nawe.🙏🙏🙏

  • @kwizerasamia5397
    @kwizerasamia5397 3 роки тому +3

    Ma sha allah mzur bi aisha😘😘

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому

    Dida upo vizuri mashallah napenda upo vizuri kwamaswali endelea kumswalika juma ujuba umemuisha kweli muosha huoshwa

  • @clionmasha3328
    @clionmasha3328 3 роки тому +1

    Ramadhaniii radio nzimaas mumeamua kumchafuaaaa mwenzenuuuu gariutuuuu ndio linaganyaaa unaaichafua familiaaa Mungu akusamehee

  • @zuhuraibrahimu446
    @zuhuraibrahimu446 3 роки тому +4

    Ila dada dida nakupenda atar😘😘

  • @angelsalome8053
    @angelsalome8053 3 роки тому +1

    Juma mungu anakuona

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 3 роки тому

    Love you Didaaaaa!

  • @teeyspices4190
    @teeyspices4190 3 роки тому

    Wallah momo nimekupenda unaongea point saana

  • @venasasende1474
    @venasasende1474 3 роки тому

    Niatari🔥🔥

  • @meriserge1415
    @meriserge1415 3 роки тому +1

    Yooo Jum nchek Pak mbavu zinaum

  • @fettymurhan229
    @fettymurhan229 3 роки тому +3

    dada DIDA nakupendaaa

  • @salehemkwawila6421
    @salehemkwawila6421 3 роки тому

    Nawakubari sana wasifi

  • @zaidankasamya2211
    @zaidankasamya2211 3 роки тому

    Nimeipenda hii

  • @user-ws4qk6hr3j
    @user-ws4qk6hr3j 3 роки тому

    Mashaallah djuma.ana mwanamke mzuriii kabisa niujinga wak tuu waumbea lakin nikaz

  • @jamilamajid2287
    @jamilamajid2287 3 роки тому +2

    Kaka momo umeongea point sana

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 3 роки тому

    Nice

  • @khadijashaban3218
    @khadijashaban3218 3 роки тому +5

    Mwanamke nimzur mashallah

  • @elizabethsakina2306
    @elizabethsakina2306 3 роки тому +3

    Nimempenda didah 🤣😂😂🤣😂😂😂😂mmbea sana🤣🤣😂🤣

  • @idas.kitchen05
    @idas.kitchen05 3 роки тому +2

    Tena muosheni vizuri uyo juma

  • @user-xh7vw4kk7o
    @user-xh7vw4kk7o 3 роки тому +13

    Juma mrudishe mkeo isa umeongeya vizuri na uchebe ume zungumza vizuri pia wcb 4 life leo ilikuwa tamu kwa masham sham

  • @kwelikabisa1171
    @kwelikabisa1171 3 роки тому +2

    Huyo issa fala sana

  • @pierrebigirindavyi4378
    @pierrebigirindavyi4378 3 роки тому +5

    Momo unabusara saaana kaka

  • @annamsabila534
    @annamsabila534 3 роки тому +1

    Umekoma leo

  • @mathewmwamba9161
    @mathewmwamba9161 3 роки тому

    Only in tz

  • @khadijaamani9807
    @khadijaamani9807 3 роки тому +1

    Juma Shikamo 😃😃😃😃😃😃

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 3 роки тому +17

    Juma yeeeeeee 🤣🤣 mrudishe mama ni mzuri ❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @julejule4477
      @julejule4477 3 роки тому +1

      Tena sana km anauko na snora adi kuongea anmoyo waimani waume bwana

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 роки тому +2

    Sound hiyo inaharibu

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +2

    Nimemsikiliza huyo Dada media Kama mbili tofauti
    Aisha bado anampenda Juma ila cjajuwa kumpenda huko kwavle yupo WCB au tokea kpnd cha nyuma

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 3 роки тому

    Juma sii dini Inamruhusuuuuu

  • @mariajojoshoo4465
    @mariajojoshoo4465 3 роки тому +6

    Dida una hekima sana. nimekupenda sana

  • @marylilianachieng5711
    @marylilianachieng5711 3 роки тому +1

    Juma kapatikana leo. Dida shukran sana.

  • @mariammariam6765
    @mariammariam6765 3 роки тому

    Kapatikana leo lokore1

  • @zuuzuundotterz4032
    @zuuzuundotterz4032 3 роки тому +4

    Juma mkeo mzuri kushinda ulozaa nae 😎

    • @fadhilamohammed8764
      @fadhilamohammed8764 3 роки тому +1

      Huyo pia kazaa nae mtoto wakwanza cjajua km amepata mwingne

  • @shashauwase9745
    @shashauwase9745 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣 love you guys❤️❤️

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 роки тому +4

    Hilo tatizo moja hutoongea kwa Sabu sio zur kwa jamii nii twambie au ndo Yale wanaviongea watu🙈

  • @evelynochola3280
    @evelynochola3280 3 роки тому +1

    Na Amina henekeni ulivamia?

  • @kwelikabisa1171
    @kwelikabisa1171 3 роки тому +2

    Huyo issa fala sana kiba hamuongelei wala nini yeye kila interview kiba

    • @MctMct-tt4rq
      @MctMct-tt4rq 3 роки тому

      HAJIELEWI HUYO ANAONA BORA USHABIK KULIKO UDUGU HAJUI UDUGU HAWISHI

  • @subiramichael3840
    @subiramichael3840 3 роки тому +10

    Kweri juma unazarau punguza

    • @lucyhussein7126
      @lucyhussein7126 3 роки тому

      Ha ha ha ha sijui anaechabwa hajuilikan wote mnachambana!!!! Keleeeee

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 роки тому +2

    Nyie mna mambo kwakweli

  • @koimo7345
    @koimo7345 3 роки тому

    Kapatikana juma lokole

  • @idas.kitchen05
    @idas.kitchen05 3 роки тому +1

    Juma leo ana kigugumizi

  • @tatuhongeranurushaus485
    @tatuhongeranurushaus485 3 роки тому +13

    Juma lokole wapi hiyo sikuon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥😁😁😁😁leo tunakusema wewe maana umezid kusema wenzio

    • @fatmaabdi8813
      @fatmaabdi8813 3 роки тому +1

      Kupatwa kwa juma🤣🤣🤣

    • @fatmaabdi8813
      @fatmaabdi8813 3 роки тому

      Kupatwa kwa juma🤣🤣🤣

    • @fatmasaid7093
      @fatmasaid7093 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @rahmamussa8780
    @rahmamussa8780 3 роки тому +11

    Kweli huyo mwanamke anamjua juma vizuri mana juma kapooaaaaa 😃😃😃😃

  • @mathewmwamba9161
    @mathewmwamba9161 3 роки тому +4

    Walking with bodyguards yet you never owned a car your entire life..lol see your life

  • @octavianafrican289
    @octavianafrican289 3 роки тому +1

    Ila juma ni mshari

  • @victoriagasper4478
    @victoriagasper4478 3 роки тому

    Juma anazarau sana

  • @nzizakaycharles9028
    @nzizakaycharles9028 3 роки тому

    Juma apata mhahoooo

  • @suzanamhakilicha3358
    @suzanamhakilicha3358 3 роки тому +2

    Kosa moja hata yeye analijua nasio vizuri kusema hata kwajamii,aisee

  • @rayouaabdallah1394
    @rayouaabdallah1394 3 роки тому +3

    Ndo naww uache tabia zakike haipendezi mwanamme ukamchamba mkeo uache umbea juma

  • @fatmammanga5275
    @fatmammanga5275 3 роки тому +3

    Jamn juma pole moyo was m2 msitu juma

  • @thomasmosesmganga2552
    @thomasmosesmganga2552 3 роки тому +1

    Hii stesheni niyakijiweni

  • @maryammilao9882
    @maryammilao9882 3 роки тому +1

    Kweli muosha huoshwa Juma Lokole leo Kapata na kigagaziko juuu anacheka bila ata kutengenywa Bababaeeee

  • @mwanatumually7312
    @mwanatumually7312 3 роки тому

    Jumaaaaaaa🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️aibu....lipa mahari....mwangalie mtoto chefuuuu mbea kumbe mshamba tu

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому +1

    Mtihani mzito innalillah yaani chuki kwasababu yaaa mtu khaaaaa ndugu hampendani jamaniii nanyie niwa Islam dini mnajiua 😢😢😢😢

  • @chankmdoli917
    @chankmdoli917 3 роки тому +1

    Kweli juma leo kawa mpole jatariii

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 роки тому +4

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shyrosemichael3466
    @shyrosemichael3466 3 роки тому +7

    juma huyo ndo mke

    • @marthakilowoko8868
      @marthakilowoko8868 3 роки тому

      Nikweli huyo nimke wake jamani kampenda toka hana kitu na mahari katoa pesa zake jamanii na KAKUPENDA ukiwa huna sura huyo ndio mke wako .

  • @ABDULKITINDI
    @ABDULKITINDI 4 місяці тому

    Hallo wasafi

  • @mariambakari996
    @mariambakari996 3 роки тому

    Juma leo kawa mpole sana yamemfika

  • @d.cwayoutube8874
    @d.cwayoutube8874 3 роки тому +1

    Kimeumana

  • @franckazaidifranckzaidi9306
    @franckazaidifranckzaidi9306 3 роки тому +4

    Sauti ya Aisha Lokole kama ya Zuchu mashaallah

  • @hafsahamadi1631
    @hafsahamadi1631 3 роки тому +2

    Huyo issa azam anaonyesha ana roho mbaya sana njaa itampeleka pabaya sana mmbwa huyo unaambiwa damu nzito kuliko maji ipo siku damu itakuumbua tuu nyooooo

    • @lilianlukindo6502
      @lilianlukindo6502 3 роки тому

      Kweli kabisa me ananikera kweli tushajua ni ndugu kinachomuongelea ally kiba nn na akikaa akisubiri kiba amjibu atasubiri Sana hana ujinga wako mpuuzi huyo Fanya maisha yako kiba kiba mnamtaja bcs unamwogopa chawa mkubwa ww

  • @mercychelangat1903
    @mercychelangat1903 3 роки тому +1

    Third

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 роки тому

    Juma lokole weeeeeeee 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @smiththestoryteller
    @smiththestoryteller 3 роки тому +1

    Jamani juma unazarau sana

  • @aishamukandanga272
    @aishamukandanga272 3 роки тому +2

    Juma kakamatwa leo

  • @saidimkome3818
    @saidimkome3818 3 роки тому +3

    Mashaisha bwana yani craunw paka upewe na mwanaume mwenzio dar inamana wewe unashindwa kutafuta m15 ivi dar kwema masta wa bongo maisha magum😁😁😁

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 3 роки тому +1

    Nyoo kumbe juma piya ww hupatikana

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 3 роки тому +2

    Mrudiane sasa

  • @minzagabriel1493
    @minzagabriel1493 3 роки тому

    Juma ana mhao

  • @ericlizalia1315
    @ericlizalia1315 3 роки тому

    hello hello juma lokole mrekeshe bibiye

  • @mwanajumasaid1983
    @mwanajumasaid1983 3 роки тому +4

    Huyu ni uchebe jmn

  • @victoriabaker6198
    @victoriabaker6198 3 роки тому +3

    Huyu kaka ni mshenzi kabisa kama kiba ni ndugu yako kwa nini umuanike kuwa ni mbaya kwa watu undugu haufi urafiki haufi fala sana wewe

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 роки тому +1

    Juma mrudishe mkeo

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 3 роки тому +2

    Mahakama ndogo.....

  • @walburgammassy2050
    @walburgammassy2050 3 роки тому +4

    Juma kapatwa na muhaho anahahaa!!

  • @mariamsallum5396
    @mariamsallum5396 3 роки тому

    Jumaleo kwishine....

  • @zombiecute8793
    @zombiecute8793 3 роки тому +6

    Wa kwanzaaaaa😁😁

  • @mapendosafi3429
    @mapendosafi3429 3 роки тому +7

    Dida nakupenda sana kabisa kwakweli juma alikua nakauka kama musomalia😅😅😆😆oooh juma ule mwanamke alikua nakupenda sana juma wanaume walimbukeni akipata pesa kesho anakutupa juma Mungu akusame haki yamungu this it's was time for you ku make that women happy ila unamurudishiya mabaya nooooo man juma murudishane yule mwamke nimuzuri wazuri niwengi ila wenye mapenzi yakweli awako most women today wata kupenda kwasababu unakua najina but this women did mind you did have money .juma ume mukoseya sana kabisa uyu mwanamke

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 3 роки тому +4

    Naona mchaga yupo kama chawa leo

  • @rahmasalim3087
    @rahmasalim3087 3 роки тому +5

    Mm napenda mashamsham wamuite rayvanny na fahyma tuwaskie

  • @mamanunu26
    @mamanunu26 3 роки тому +6

    Muyoshwa huyoshwa hapo chachaa

  • @michaellagwen8198
    @michaellagwen8198 3 роки тому +1

    Hivi juma naye yuko humu

  • @sharmarkeyusuf2752
    @sharmarkeyusuf2752 3 роки тому

    Mmbea juma umepatikana leo

  • @yusuphally6996
    @yusuphally6996 3 роки тому

    Juma kapaniki kweli😊😊😊😊

  • @zuhuraibrahimu446
    @zuhuraibrahimu446 3 роки тому +5

    Juma yeeee mpemahari yake

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +3

    Huyo Dada mzur cjuw kwann waliachana na Juma,,,
    Aisha Kama huna bwana njoo kwangu me nipo 🏃

    • @julejule4477
      @julejule4477 3 роки тому +1

      Juma ataka kulelewa nasai dadawawatu hana hela apo umemdikia pia uyo alonaee kamlipia mahari

    • @ferouzmasoud4741
      @ferouzmasoud4741 3 роки тому +2

      @@julejule4477 duuuh 😲

  • @marympemba1829
    @marympemba1829 3 роки тому +1

    Dida👌

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому

    Kawa mpole km moja

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 3 роки тому +2

    Jumah hata nipewe bure siwezi mkubali huyu..not husband material

  • @QwQw-tr7gy
    @QwQw-tr7gy 3 роки тому +1

    Watu wanasahau walikotoka lokole asingemuacha uyu Dada make alikua anambemba Sana pind Hana kipato

  • @josephmkutu5228
    @josephmkutu5228 3 роки тому +2

    Turudshe to mahar ya watu