Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

⚒️RADDI KWA ABUU MUHAMMAD HASNUU JUU YA MAQALA YAKE, USTADH ABUU ZAGHAR حفظه الله تعالى

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Місяць тому +2

    Na kwakweli ndugu zetu masalafy hapa hawawezi kujtetea kwa njia yeyote, wamemkhini na kumdhulumu Shekh Abuu Mu'aawiyah Allaah amrahamu, na amuingize ktk Rehma zake.

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 Місяць тому +2

    Mmmh Mimi nilijua ALIKATAZA WATU WASIENDE KUMZIKA, KUMBE AMEWARUHUSU NA KUWASHAURI WATU WAENDE KUMZIKA. Acha kuamsha fitina Ustadh Abuu zaghar. Acha kumgombanisha sheikh Na waislam. Na hilo la kutokumuitikia salamu, tunaomba ushahidi, hututaki fitina ktk dini.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Місяць тому +2

    Shekh Abuu zagar Allaah akulipe kila lakheri, na bayana zina hitajika, lkn jitahidini ndani ya bayana hizo pasipatikane maneno mabaya..............

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 Місяць тому

    Wasemaji Maa shaa Allah wameibuka kwa kasi sana baada ya sheikh kufariki Allah awape Nguvu ya kusomesha kama walivyo onyesha Nguvu ya kumtetea sheikh,
    Lakn pia mm mpka sasa Sijaelewa nn haya yote yanajiri sabab sheikh Ana yakwakwe aliyo fanya na kuyadhihirisha mpaka yakatokea haya,
    Lakn pia vijana tuache jazba kama una masikio sikiliza ukiwa na shaka uliza masheikh walio kuwepo maneno tupu hayana faida.
    Elimu changa itabaki changa tu. Watu tusomen haya makelele hayana faida.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      Nkamuulize shekh kwanini magadid hawataki sulhu na abu mu'awiya?

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 Місяць тому

      @@hafidhwajina6718 yaan kusema sulhu na sheikh Abu muawiya ilikua sio rahis kutokea sababu alikua anawatetea wanao tukana wanachuoni 😔 kama hujafatilia hii Mada Tangu mwanzo hutaelewa na nakushaur achana na jazba fatilia uhakika wa Manhaj aliyo kua analingania sheikh Allah amrehem na Manhaj anayo lingania sheikh Abul fadhil Allah amhifadh,
      Manhaj hii haihitaji jazba wala hamasa za kijinga.

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 Місяць тому

      Haya si makelele na faida inapatikana,ikiwa i'lmu inakufanya umhzbshe mtu bila sababu sasa i'lmu yakusaidiani?

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 Місяць тому

      @@hafidhwajina6718
      Akhy wacha jazba Kaa chini kwa walimu upate elimu kwanza na ushabiki uwache, na siku zote ukweli hautafutwi kwa kusikiliza upande mmoja
      Hz chuki juu ya sheikh Qasim zilianzia mbali Sema wew yaonyesha umeanza kuziona baada ya sheikh Abu muawiya kurudi Tz, fatilia kuanzia mwanzo wa mzozo wacha kupakia juu juu utakosea sana.

  • @SharifTwahirAbdullqadir
    @SharifTwahirAbdullqadir Місяць тому +1

    Umesoma kweli alivyo andika au umehadisiwa

  • @user-dp8xb3vj6g
    @user-dp8xb3vj6g Місяць тому

    MARA ABUU UMEIR ALIKUWA ANASOMA SEQULER KWANI WEE IYO SEQULER HUKUSOMA YANI ACHA UJINGA BHANA WEE .

  • @ABUUDARDAAI
    @ABUUDARDAAI Місяць тому

    ALLAH AKUBARK

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому +4

    Jamaa hawakutaka sulhu na alijitahdi sana kutafuta sulhu ila hawakutaka.

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini Місяць тому +2

    ukweli wamemzulum sana na watakwenda kusimama nae siku ya kiyama😢😢😢😢😢😢

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому +1

    Mm napenda uadilifu ukwwli no kwamba chuki na hasad kutoka kW maduati wake ndizo zilotawala kwa sheikh Abu muawia Allah amrehmu aliitafuta sana sulhu ila wzke hawakutaka.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Місяць тому +1

    Yani ktk vitu vinavyo umiza moyo wangu nihili kosa walilo lifanya ndugu zetu masalafy na wanaendelea nalo, la kuwakata Mashaayikh na Madu'aat wa Ahlissunnati Waljamaa'ah.
    Kwakweli jambo hili lina niuma sana, na sio peke yangu, bali kila alie soma na akafahamu Sunnah na Manhaj ya Salaf na moyo wake ukawa uko salama na ubinafsi, hili lazima limuume na alilaani sana.

    • @ameirameir4349
      @ameirameir4349 Місяць тому

      Kweli kabisa

    • @ahmedseif-cu4ex
      @ahmedseif-cu4ex Місяць тому +1

      Sana mm hadi nakosa furaha ABUU MAAWIYA ALLAH AMREHEMU alikua yupo tayar kutafuta suluhu

    • @allymtito8117
      @allymtito8117 Місяць тому +1

      Kweli kabisa akhy

  • @SuolFat
    @SuolFat Місяць тому

    Uwahabi ni ushenzi

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Mshenzi wa mwako ni ww usijijuaa Wala kujitambua

    • @SuolFat
      @SuolFat Місяць тому

      @@Ibnsalim3 mawahabi mna kuwa kama mabarazuli nyie

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Місяць тому

    Na kwenye hili ndugu zetu masalafy wamekua kama masufi, wako tayari kutii Mashekhe zao hata kwenye batili hii, kwavile Mashekhe wana mawqif hii basi hii ni haqqi na hatuwezi kwenda kinyume!!!
    Sasa maswali haya ni aibu kwenye swafu za masalafy kwa sbb haielekei kwa masalafy kutikea mambo kama haya.

  • @salafnungwi5723
    @salafnungwi5723 Місяць тому

    Washindwa hata kufanya الجمع kati ya النصوص za kisheria.
    Ungalikaa kimya ungaliweka heshima yako na elimu yako ndg uliyokuwa nayo

  • @salafnungwi5723
    @salafnungwi5723 Місяць тому

    Abuu Zaqar upo salama lakini au msiba umekufazaisha kiasi ambacho huelewi waongea nini!!!
    Au ndio wataka kuchukuwa kilemba cha Sheikh!!!

  • @user-dp8xb3vj6g
    @user-dp8xb3vj6g Місяць тому

    ACHENI UPUMBAVU UWOO KAMA HAMNA LA KUFANYA KAENI KIMYA UJINGA TU NAKUTIA WATU MIDOMONI KILA WAKATI TU BHANA HEM ITAZAME NAFSI YAKO KWANZA NAWEE .

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot Місяць тому

    Na haya ni mambo ambayo yatawaporomosha chini na yata wayeyusha wote watakao yaendeleza, kwani ni makosa yenye kukhalifu manhaj na Sunnah ya Bwana Mtume Muhammad Alayhisswalaatu Wassalaam.

  • @malickyhussein9032
    @malickyhussein9032 Місяць тому

    Usalafy huu wa sasa ni upotevu..
    Allah atuepushe na upotevu huu

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  27 днів тому

      Ujinga wako ndio upotevu, usihukumu usalafy lkn muhukumu mtu na makosa yk Manhaji salafy ni safi na haina kasoro ht moja ila watu wanayo makosa ndio hayo wanaokosolewa

    • @malickyhussein9032
      @malickyhussein9032 27 днів тому

      @@Ibnsalim3 inakosoro akhy..
      Usalafy tulionao sasa ni usalafy wa kimakundi sio wakimanhaji..
      Kundi la watu wanaojiita masalaf zama hizi wanaitakidi kuwa ili uwe salafy basi ni ujinasibishe na wao na ufuate wanavuoamini mashekhe wao na kinyume na hapo wanakutoa kwenye usalafy..
      Ukimpinga shekhe Rabii katika rai yake basi ww ni hizbi na umetolewa kwenye usalafy na utaitwa kila jina baya, huo ni upotevu..
      Yupo salafy aliyethubutu kusema maneno ya shekhe rabii ni wahyii, ni kufuru.
      Kwani yatosha kwa muisilamu kuamini Allah ni mmoja na mohammadi ni mjumbe wa mwenyezimungu.. na ukaitekeleza dini yako kwa ufahamu wa wema waliotangulia na ukaipata pepo bila kujiita salafy wala kujinasibisha na usalafy wala haihitaji mtu akuambie ww ni salafy au ww sio salafy.
      Kwa ushahidi wa aya kayika qur-an
      “Wala msife, ila mfe hali ya kuwa ni waisilamu”
      Sio hali ya kuwa ni masalafy..
      Usalafy wa sasa ni upotevu na Allah atuepushe na upotevu huu na umakundi huu.
      Assalam aleykum warahmatuAllahi wabarakatuh

  • @user-iu3me2sm2h
    @user-iu3me2sm2h Місяць тому

    Iyo ata maZiahini skumuona

  • @MusaChambi
    @MusaChambi 29 днів тому

    Nirini mtachoka kupigana radi

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  28 днів тому

      Hatutochoka mpk hakki ibainike na uovu ufichuke na watu watakaporudi ktk misingi sahihi ya wanawachuoni

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 Місяць тому +1

    Mashia ???? Mashia ????? Mashia nao ??????

  • @AhmadMohamad-ew8vo
    @AhmadMohamad-ew8vo Місяць тому

    Kila siku Raddi

  • @suleyazidu4991
    @suleyazidu4991 Місяць тому

    Inakuwaje mtu anafurahi Kwa kifo cha mwislam mwenzake??
    Ajabu sana.

  • @abdurashidinasorodini
    @abdurashidinasorodini Місяць тому

    binafsi nimeshindwa kuwaelewa hao watu wanao jiita masalafi sielewi ni usalafi gani wanao ufata

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 Місяць тому

      Soma

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini Місяць тому

      anae soma na anae kalilishwa yupi mjinga zaidi endelea na ujinga wako wakufata mkumbo nakama unauhakika wakusimama na unaweza kusimama nae mbele ya mahakama ya Allah na uambiwe toa ushahid ju ya tuhuma ya sheikhe bc endelea na ujinga wako Kwanza ninamashaka na usalafi wako huenda huujui hata usalafi wenyewe ni unafata mkumbo tyu

  • @AbrahamanSaidi-uf1dw
    @AbrahamanSaidi-uf1dw Місяць тому

    Upuuzi upuuzi tu mnatafuta upepo na nyinyi sasa zamu yenu 😂

  • @user-dp8xb3vj6g
    @user-dp8xb3vj6g Місяць тому

    Unataka uwamshe hisia za watu bhana kwani makundi mangapi umeyakata sasa tukuulize kwani ktk uislam hakuna kuafanyiwa kitu kinacho itwa mukaatwaa sasa nikuulize maswahaba walipo mfanyia mukatwaa yule swahaba na Na mtume sala na salam ziwe juu yake haku mfanyia swahaba mukatwaa sasa nikuulize iyo Hadithi ya Mtume ya haki za muislam kwa muislam mwenziwe vp walikuwa hawazijuwi ?.

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Mukatwaa upoo kwa hakika Wala haukataliki lkn mukatwaa huo haofanani Bali upon mbali sana na huu na huu mulioufanyaa kwasbb ukiangalia Ile hadithi ya mukatwaa kabla ya Mtume kuamrisha watu wawakate wale maswahaba Mtume aliwauliza sabb ya kutokwenda KWAO ktk vile vita ikisha pale waliopokuwa hawana UDHURU ndio akaamrisha wakatwe lkn nyy hamkumuuliza wala kumpa nasaha sheikh abuu MU'AWIYA kabla ya kumkataa hivyo mumemdhulumu sna sheikh abuu MU'AWIYA na mukatwaa huo ni kinyume na menendo ya WANAWACHUONI hata wale munaowakubali km sheikh rabii'i na wengine

  • @user-dp8xb3vj6g
    @user-dp8xb3vj6g Місяць тому

    Mambo ya kijinga tu bhana hem bakia na ubaharia wako uko ustuletee upumbavu wako bhana sasa kama mtu kasema mazikoni watu waende kisha unaaleta balbala tu bhana kwani wee na uyo Muaawiyah Hajawira mna wasalimia au izo haki za muislam huzijuwi kwa hapo acha upumbavu bakia na ubaharia wako.

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Ww ndio mjingwa mkubwaa sana, Kwan mambo ya ubaharia unahusikaje hapo ww huna hoja unaanza kuwatukana watu wa mambo binafs ambayo ni halili na kzi ya halali ww unatakiwa ukosoe hajo MANENO kwa Elimu sio kuwatukana watu na kuwatia dosari kwa mambo yake binafsi ww ndio mpumbavuu mjingaa usiojielewaa

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Місяць тому +1

    Tatizo kubwa
    Daawa ya salafia znz hakuna wasomi wa dini
    Ndo maana matatizo mengi
    Yaani kijana mmoja anataka awaendeshe mashekh wote
    Ukimuangalia yy kasoma yemen miez 6

  • @SaidIssa-tq3yv
    @SaidIssa-tq3yv Місяць тому

    Nyote wakumbavu wakubwa, waislamu kazi kutukanana TU wajinga wakubwa. Kila mmoja anajiona Bora Kwa madheheb yake. Hamna umoja wowote.kama taka za baharini.poleni sana Kwa ujinga wenu.

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  Місяць тому

      Km masalafy ni wajinga bc ww ni maiti unaonukaa mpuunzi usio na adabu